Asante sana kamanda wangu!!, kamanda Muroto on air again!!. Kazi nzuri, endelea kuimarisha ulinzi wa raia wema na mali zao. Kwa kufanya hivo unaokoa mambo mengi sana Kamanda M. Dhibiti! tupe na taarifa.... tunafarijika kuona na kusikia hivo
Eti ameshawahi kukaba ata mama yake, ujanja hapa mjini hakuna, hili tumbo brother fanya kazi huyu afande kila nikiona taarifa yake lazma nimsikilize nakuwa nacheka sana
Kamanda hao ndo wezi wa pikipiki maaa uku dar es salamu zina ibiwa sana pkpk hebu muwe mna zitaja pleti namba zao na chesesi na injini namba ili tuzitambue izo pikipiki kamanda huwenza tuka pata pikipiki zetu kama una amini hawa ata pikipiki wana iba gonga like apaa
Hawa ndio makamanda wanaotakiwa na sio Wale wanaotesa na kunyanyasa viongozi wa upinzani hongera sana kamanda muroto viongozi na makamada wengine waige mfano WA kamanda Muroto.
Muroto Njoo Dar! Hapo kuna Polisi/Afsa Uhamiaji Feki moja yupo kazini maeneo za Samora kutoka miaka 15!! Sikutanii. Anajulikana na wote pale! Kazi zake kuwatapeli kina mama and watoto wa kihindi na expats! Kama kuna Mzalendo wa maana anataka kumkamata huyo Mshenzi basi nitumie ujumbe. Mie nilishamfikisha jamaa Central lakini walinizingua sana mpaka nikachoka.
Muroto RPC unatisha kamanda unafanya kazi kubwa kuliko police wote nchini rais akupe zawandi ya nishani maana wewe ndiyo kamanda pekee unayefanya kazi za uhakika mungu akubariki sana na akulinde watapata TABU SANA
Kamanda Honge kwa kazi Nzur , Naomba makamanda wengne waige mfano huu mikoa yote Tz
huyo kamanda anafaa sana maana mal za raia anazirudisha mikonon mwao. kama umemkubal muroto gonga rike hapa
Ezekiel michael Msigala Namkubali kwelikweli huyu Kamanda Mungu mpe umri mrefu Amin amini amini.
Ezekiel michael Msigala siyo rike ni like correction please.
Ezekiel michael Msigala swadakta
ninomaa dom
Hata mimi namkubali kwa kweli may Allah protect him.
Hongera sana jeshi letu la polisi kun'gamua na kuchukua hatu Kali kwa wapuuzi hao👏❤
Kama unamkubali kamanda gonga laik apa twende sawa
Hongera kwa jeshi la polisi, wezi wakomeshwe ,hatuafanyii kazi wao pumbavu
Nimekupenda sana kamanda, uko vizuri, ulistahili kua IGP
MTU MNENE AFYA NZURI LAKINI MHALIFU KAMANDA MAKINI SANA HUYU
Watapata tabu sana
Mwngne anardsha tumbo
Ajali dar
Kamanda safi sana unastahili pongezi umeitendea haki taaluma yako...
Asante sana kamanda wangu!!, kamanda Muroto on air again!!. Kazi nzuri, endelea kuimarisha ulinzi wa raia wema na mali zao. Kwa kufanya hivo unaokoa mambo mengi sana Kamanda M.
Dhibiti! tupe na taarifa.... tunafarijika kuona na kusikia hivo
Huyu RPC murotto ni kiongozi bora wa mwaka 👏👏
Wanahitajika makamanda kama hawa kwakweli Mungu akulinde wasije kukutoa roho maana kazi unayofanya kuna wanaochukizwa nayo
Mwanajuma Mahundumla kweli sister Mungu awe nae
Mwanajuma Mahundumla welcome to my channel ukhtyruclips.net/video/ctGxynrpAZA/видео.html
Mwanajuma Mahundumla kweli kabisa
Huyo policy aneshikwa tumbo Alisha wahikunikamata kumbe feki.
Nimekubali kamanda hapo kazi tu wakomesheni hao
Mungu akulinde kamanda Muroto kwa kazi nzuri.
dingi muroto hoyeeee wataelewa tu ukingia dodoma hutokiii
Watapata taabu sanaaa!!!! Huyu Afande asitoke Dom,Presdaa usimpandishe cheo mapema asafishe kwanza Dodoma!!! Hongera Sanaa MUROTO.
mtanzania mzalendo
Dodoma ipo vizir kamanda anaupiga mwingi mashallah
Nalipongeza jeshi la polis Kwa kazi nzuri ya kuwakamta hao waaalifu, opreshen hiyo ifanyike nchi nyima
Jembe sana makamanda Dodoma, Dodoma saaaaaafi
Muroto akiwa anakuhoji utazani anakuachia kumbe anakusukuma ndani 😂😂😂😂
Danzania,, police wenu wezuri kweli god bless all danzania police,,Aki Kaa Ni Kenya utafinywa,,, Kenyan police learn something here,,,
Eti ameshawahi kukaba ata mama yake, ujanja hapa mjini hakuna, hili tumbo brother fanya kazi huyu afande kila nikiona taarifa yake lazma nimsikilize nakuwa nacheka sana
mohammed abdallah mi nampenda sana sio Dar kila siku kuona matako tu na chuki za kisiasa na wanaompinga huyu basi na wao wezi au vibaka
Mwanajuma Mahundumla kweli sister huyu afande Mungu amsimamie kwa kweli
mohammed abdallah Hahahaha iyo yakukaba mama yake noma .eti usirudishe tumbo nyuma
mohammed abdallah
mohammed abdallah 😂😂😂😂
Mgogo mpiga kazi nakukubali sana muroto💯💯💯🙏🙏🙏
Mungu muweke Kamanda wa Dodoma mpe umri mrefu na wajaalie wakuu wa mikoa wengine utendaji kama huu
Dodoma safiiiiiiiiii
man jaruu jr safi kabsaaaa
Achakurudisha tumbo.
Kazi nzuri Kamanda nakukubali sana.
Jamani mpaka anazeeka ndo wanampandisha cheo huyu Kamanda mzuri sana
Ao machalii wafungw miaka yao yote yan
Hongelen sana jeshi lapolisi mungu awalinde🙏🙏🙏
Hongera Kwa kazi nzuri unastahili pongezj zaidi
Funny 🤣🤣 haha huyu aje Kenya 🇰🇪🇰🇪
Hongera murotto ucilewe cfa mkuu wakalishe wotee
nlikua namchukia huyu afande ila sahiv nataman kuona matukio zake 😅😅😅😅😅😅
Hongera sana afande wa Dodoma.
Kazi nzuri makamanda,Mungu awe nanyi siku zote
Rpc uko vzr sana unafanya kazi vzr kabisa
Kazi nzuri sana kamanda nakupongeza sana na serikali kwa ujumla ujanja ujanja hakuna mjini twendelee tu kupata tabu sana
Hongera Kamanda,kweli wewe ni AFANDE. Ukistaafu,tutakumiss sana.
safi kamanda Mtoto hapa kazi tu
woooyooh!!!!!!
Dodoma safi!!
Pita kote lakin usisogee kweny sumaku ya Muroto... Aiseee utapata tabu saaaana . hongera kamanda ..
uyu afande nampenda sana anafanya kazi nzuri sana natamani sikumoja nionane nae japo nimpe mkono
Hongera polisi kwa msako
Nampenda sana kamanda huyu
toa tumbooo likingia dodoma halitoki lazima utapike sawaaaa
Nakuelewaga saana Kamanda kazi kazi
kamanda upon making hongera sana
Chapa kazi wajina
Kamanda tunakuitaji Dar💪💪
RPC Muroto. Kazi nzuri🤣😂
Dodoma kunamatukio nako khaaaaa😠😠😠 wakaozeee jela
Big up kamanda #mroto. watapata Tabusana!
Kamanda upo vizuri
Muroto baba uko vizuri
Kamandaaaaa👏👏👏👏👏
Kamanda hao ndo wezi wa pikipiki maaa uku dar es salamu zina ibiwa sana pkpk hebu muwe mna zitaja pleti namba zao na chesesi na injini namba ili tuzitambue izo pikipiki kamanda huwenza tuka pata pikipiki zetu kama una amini hawa ata pikipiki wana iba gonga like apaa
Dodoma noma aipimiki
Mwenyez Mungu akuongezee maisha maref yny baraka kwa kaz yako nzr
Afande kazi nzuri kwa kiingereza wanaita "dirty work"
Mkuu wa mkoa mwenyewe hanambavu😂😂😂😂😂 muroto kwakweli hua ana nifurahisha
Njoo Dar Kamanda utusaidie maana uku siasa tu badala ya kazi,
Aman Mark katokea Dar,Mkoa wa Kipolisi Temeke😆
Aman Mark .
Nakukubali xana Afande Muruto,wape tabu sana hao
Muroto ww Mungu akulinde.
Amani kwako bro Yusuph
Chapa kazi baba murotu
duu kweli naomba wafikishwe tu mahakamani haooo
Safi sana kamanda mroto.
Kamanda nakukubali sana kaz nzur
Haha uyo aliekaba adi mama yake ndio katisha....
😝😝😝😝ety kamchape,,huyu kamanda namkubali sn,,yupo sw ila minataka niwaambie kwa Dodoma mtapata tabu sn 🤣🤣🤣
daah si waje huku chuga tuondoke na milonjo yaoo daadeki zao
Nakukubali sana afande wangu muroto kwa kuliweka jiji salama
Mungu akujalie kamanda na jeshi lako la polis kaz nzur watu tunapata shida kwenye kaz
Hahahahahaahs nimependa Kwa kauri mbio watapata tabusaaaaana muroto noma kama unamkubari gonga like hapa
Hayo makofi mdogo madogo huwa yananiacha hoi wallah 😁😁😁😁 watapata tabu sana
Safi sana kamanda Muroto
Kamanda uko vizuri sana, Allah akutie nguvu kwa kila hatua unayosonga, wewe ni shujaa.
Hongera sana kamanda
Rpc kwa kweli Mungu akulinde japo wakuu wako wanakuludisha nyuma,Mh Magu unamfaa sanaaaaaàà
Mzee upo vizuri
Safi sana kamanda unasafisha jiji
Hawa ndio makamanda wanaotakiwa na sio Wale wanaotesa na kunyanyasa viongozi wa upinzani hongera sana kamanda muroto viongozi na makamada wengine waige mfano WA kamanda Muroto.
Atwambie basi majambazi waliompiga risasi lisu...hajawakamata tu .
Kamanda fanya kazi yako nakupa zote zote wezi wanaturudisha maendereo nyuma
Utrafik gn matumbo kama vigoda nyoo munge nikaba mm pumbavu zenu ningewazalisha
Hhhhhh asante
Kazi nzuri
Uko vzr mkuuu big up
Kamanda wewe nizaidi yakamanda mungu akubarik sana
😂😂😂😂😂😂Usiombe ushikwe na huyu kamanda
sheillah chisika Aisee kweli 😂😂😂
sheillah chisika 😂😂😂😂 hapo kazi tu
sheillah chisika vp anachapa
kungekuwepo makamanda kama hawa Tanzania ingekuwepo safi sana
This officer deserves to be promoted share this video and show the president the good job this officer doing for the country and community
we baba uishi miaka mingi,, natamani ungekua mkoani kwangu uwanyooshe waharifu. mungu akupe afya
.safiiii kamada
Duu kamanda wee kiboko asante sana
Sharifa 22 karibu katika channel yangu ukhty nmefanya cover ya Maher zain in shaa ALLAH
ruclips.net/video/ctGxynrpAZA/видео.html
Musty Hass shukran
Nimekupenda afande,!
Safi kamanda Muroto
Dodoma number one ☝️
Muroto Njoo Dar! Hapo kuna Polisi/Afsa Uhamiaji Feki moja yupo kazini maeneo za Samora kutoka miaka 15!! Sikutanii. Anajulikana na wote pale! Kazi zake kuwatapeli kina mama and watoto wa kihindi na expats! Kama kuna Mzalendo wa maana anataka kumkamata huyo Mshenzi basi nitumie ujumbe. Mie nilishamfikisha jamaa Central lakini walinizingua sana mpaka nikachoka.
kazi nzur afande
We kamanda unafaa sana, Na mungu atakulinda
Hongera kwa kaz nzur RPC wangu kipenz...mtenda Kaz uliyetukuka
Muroto RPC unatisha kamanda unafanya kazi kubwa kuliko police wote nchini rais akupe zawandi ya nishani maana wewe ndiyo kamanda pekee unayefanya kazi za uhakika mungu akubariki sana na akulinde watapata TABU SANA
kamanda hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hapa kazi tu
Kamanda hongera