Wanajeshi feki walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 1 тыс.

  • @alexkweka1374
    @alexkweka1374 4 года назад +8

    Mbona anajieleza kama yupo bongo star search hana hata wasiwasi 😎😎

    • @selestineramadhani7325
      @selestineramadhani7325 5 дней назад

      Ni polisi mwenzao hapo amejiprnyeza kwa wahalifu engine ili ionekane nimwalifu. Amepangwa tu na huyo pilisi

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 Год назад +2

    Safii sana jeshi la police kazi nzurii allah awaongoze kweny kazii zenu inshaallah🤲🤲dodoma sio mji wa matukio mkifika uku cha moto mtakiona😏😏

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 6 лет назад +9

    Hongera sana kamanda wa DODOMA Mungu akusimamie. Hawa ndio wanaotesa wananchi kuwarudisha nyuma kiuchumi

  • @gabrielgodwin2698
    @gabrielgodwin2698 2 года назад +2

    Asanteni jeshi la police kwa kazi nzuri endeleeni kuchapa kazi.

  • @fredrickmalunde3426
    @fredrickmalunde3426 5 лет назад +42

    Mzee mwanajeshi ,nimempenda sana ,anaconfidence na alikua anatafuta chakula cha familia ,

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 года назад +1

    Kazi nzuri Jeshi letu la polisi.., , hao ni wavuvi wakajifuze kazi gerezani..

    • @bobelichi7721
      @bobelichi7721 4 месяца назад

      Kaka umekoxea siyo wavuvi.....ni wavivu😂😂😂

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr Месяц назад

      ​@@bobelichi7721 lakini si wanavuwa pia 😂😂Tena wanavuwa pesa

    • @Ramadhanseleman-x8p
      @Ramadhanseleman-x8p 24 дня назад

      ,​@@RahimaMct-ik8mr😂😂😂

  • @TaboraTalentCenterTTC
    @TaboraTalentCenterTTC 21 день назад +3

    From Tabora talent center. Pongezi sana kwa jeshi la polisi kwa kazi nzuri

  • @msafirially7849
    @msafirially7849 10 дней назад

    Wewe Mungu wazidishe amani kwenye kazi

  • @sosteneschahe6487
    @sosteneschahe6487 6 лет назад +7

    Anaeona ni maigizo akaibe au avunje sheria ya nchi nae wamuigizie kama hao,ila mm ushauri kwa jeshi, MTU akiachishwa kazi apekuliwe vilivyo asiondoke na kitu kinachohusiana na jeshi maana ni hatari sana,hatujui vita itatokea lini,na wapi,sasa hawa walio na sare za jeshi watafelisha mapambano zidi ya adui maana jeshi likiona sare hiyo litasema in mwenzao kumbe sio#safi sana mzee wangu hiyo ndiyo kazi ya jeshi.

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Год назад

      Wewe ni muhuni wewe kwanza ulikataza wananchi wasifanye maombi kipindi cha kaka yetu mpendwa wetu lisu alivyo shambuliwa na hawo wahuni washenzi kama wewe sis tuliumia sana kaka yetu kuhumizwa na mashetani wenzeni

  • @ezekielanastatus1579
    @ezekielanastatus1579 6 лет назад

    Asanteni jeshi la polisi ao wamezidi kuta peri wana nchi kazi nzuri

  • @bm2tv299
    @bm2tv299 6 лет назад +5

    Safi sana,Askari wetu kazi nzuri sana,hakika kazi yenu tunaiyona.

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 года назад +2

    Kubwa zima zee zima ovyooo

  • @mosesmwile4308
    @mosesmwile4308 6 лет назад +11

    Big sana mzee wangu mungu akubaliki mzee wangu kwa kazi nzuri ya kukamataa waalifu hapa nchini na mkoani dodoma big up sana mzee raisi akufikirie maana unapiga sana kazi

  • @juliuskatemi6816
    @juliuskatemi6816 6 лет назад

    hongera sana tena sana RPC DODOMA unafanya kazi nzuri muno na jeshi lako,,,kwa hakika tunajivunia tuko salama ..endelea kutulinda wananchi MUNGU atakulipa kwa kazi nzuri unayofanya ya kutulinda

  • @happynessmkuyu545
    @happynessmkuyu545 6 лет назад +2

    Hongera polisi Dodoma, na Veyula mje kuna wezi sana tena wanaanzakuiba kuanzia saa 4

  • @gracewambura4823
    @gracewambura4823 2 года назад +2

    Mhhhh!!!mbona wanaongea wanajiami kihivyo hata hawana hofu.

  • @mshambawamjini2671
    @mshambawamjini2671 5 лет назад +3

    Mimi hiyo kazi ya jeshi LA Tanzania naipenda sana ila hawo washuhulikieni Mimi nasubiri mh magufuli atakapo kuja rombo aniteuwe niende mafunzoni jeshiniiii

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 6 лет назад +1

    Poleni sana jeshi la polisi mnafanya kazi ngumu sana

  • @getrudamatoto1979
    @getrudamatoto1979 6 лет назад +3

    Tushukuru sana majeshi yetu Kwa kazi nzuri

  • @pendochibwae4982
    @pendochibwae4982 2 года назад

    Hongereni kazi yenu ni njema Mungu awaongezee maarifa na macho

  • @wcbwanatishakiranikirudiab2349
    @wcbwanatishakiranikirudiab2349 6 лет назад +45

    Asanteni sana majeshi yetu kwa kazi nzuri sana mwenyezi MUNGU yupo pamoja nanyi

    • @danielhilya3877
      @danielhilya3877 6 лет назад +1

      wcb wanatisha kira nikirudia bado daaa Omary pole

    • @richardlobulu3822
      @richardlobulu3822 6 лет назад

      wcb wanatisha kira nikirudia bado daaa Omary tudulisu

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 4 года назад +2

    Safi kamanda kazi nzuri

  • @e_voicespanish1182
    @e_voicespanish1182 6 лет назад +5

    Kazi nzuri askari wetu
    Mungu awatie nguvu kwa kujitoa kuilinda nchi yetu

  • @ABDUUDOBA-q9d
    @ABDUUDOBA-q9d 4 дня назад

    Tuna Imani kubwa na usalama wetu makamanda Mungu awatangulie

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 6 лет назад +11

    Siku zote Soldier ni mkweli...nimekubali Combat ‘ ...!..💣💥

  • @aishachambo3293
    @aishachambo3293 6 лет назад +1

    Safi sana mzee wa watapata tabi sana wapewe kipigo cha mbwa koko tu

  • @kiratugakinya6778
    @kiratugakinya6778 5 лет назад +5

    Am glad to see how this Tanzanian senior police officer address the press and the general public, cautions them not to fall prey of these thugs,on same note he's exercising great care while handling the exhibits not touching them with bare hands.

  • @hajimakame1062
    @hajimakame1062 4 года назад +2

    Kazi nzuri kamanda umefanya

  • @vinotieno4893
    @vinotieno4893 6 лет назад +6

    Tunacheza sana Dodoma😂😂😂

    • @apewemuyull651
      @apewemuyull651 3 года назад

      uwo niuzalilishaji wajeshi kwanini musimvue kweza ilovazi au amujui kamailovazi ndousalama wamchi

  • @fakihassan9021
    @fakihassan9021 25 дней назад +1

    Mshezi sana huy mstaafu

  • @MKobe_254
    @MKobe_254 4 года назад +6

    Nilikua nangojea Harmonize, sijui mbona hajakamatwa pia..

  • @stevenkambeytz2459
    @stevenkambeytz2459 6 лет назад

    Daaah kazi nziri sana Jeshi la polisi..ningekua na uwezo ningewapa zawadi kubwa sana but MUNGU awabariki sana na awe nanyi katika kazi zenu awape nguvu na imani ya kutumika kwauwaminifu.

  • @politeman8011
    @politeman8011 6 лет назад +18

    huyo mwanajeshi japo ni mhalifu lakini ni ishara ya kwamba jeshi letu lina majasiri yuko smati jasiri haogopi yeye aliandaliwa kupambana na vita sasa kesi kama hiyo ndo atetemeke nini sasa
    Cha muhimu wewe pata picha aliyetolewa kazi jasiri hivyo walio baki je?
    Hongera jeshi la tanzania.

  • @dicksonluena3266
    @dicksonluena3266 3 года назад +2

    Hizo Kazi Mzuri,,,Sio kutunyima Raha Bodaboda

  • @Mushivictor
    @Mushivictor 6 лет назад +14

    Hahahahaha huyo MZEE anavyoelezea utadhani biashara Fulani hivi halali yani hadi kutabasamu . Hongera kamanda Dom mambo motooo

  • @meddodoma5235
    @meddodoma5235 6 лет назад +2

    Pongezi kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa kazi nzuri, watu wa aina hiyo wamekuwa tatizo kwenye jamii. Kila la heri Kamanda na vijana wako.

  • @lilianbunjulu1281
    @lilianbunjulu1281 6 лет назад +5

    Safi kamanda good work

  • @matitu_jr5035
    @matitu_jr5035 5 лет назад +2

    Ajali kazini, Dodoma kunapigika sana tu.

  • @mpelienock
    @mpelienock 6 лет назад +4

    Wapigaji wastaarabu kweli hawana haja ya kudhuru mtu.
    Walikua well organized lazima mtu awaamini.

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 2 года назад

    Mroto upo vizuri sana mungu akuongoze kwa kila jiti hada zaako za kupambana na wa harifu kwa kweri upo kikazi zaidi

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 5 лет назад +6

    Kova Jr Hakunaga Mwendelezo hapo 😂😂😂😂😂

  • @cassianndunguru3560
    @cassianndunguru3560 6 лет назад

    Hongera RPC dodoma kwa kazi nzuri....

  • @ancomagu8531
    @ancomagu8531 6 лет назад +11

    Congratulations isipect

  • @SostenesBamuhiga
    @SostenesBamuhiga 14 дней назад

    Hongera sana

  • @detectivejeffrey6401
    @detectivejeffrey6401 6 лет назад +8

    Afande wangu hongera kwa kazi nzuri kuwakamata hao majangiri... Lakini nikushauli kitu kimoja ili JWTZ wawe na amani wapelekeni hao waalifu pale Maktopola muwakabizi pale wakachezee kwanza.. Wakabizi kwa wale MP ambao hawajawai kuliona jua wenye macho mekundu nadhani baada ya hapo haina haja ya case peleka moja kwa moja gerezani wataponea huko huko majeraha yao.

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw 11 дней назад

    Daah hii ni hatariii

    • @abdalahngozi5455
      @abdalahngozi5455 11 дней назад

      Kamanda wetu anaonesha ushirikiano adi raha 😂😂😂

  • @shylagwadebalima7572
    @shylagwadebalima7572 6 лет назад +4

    Daaaa hii Kali, yaani mtuhumiwa unafunguka bila wasiwasi, sijaelewa hiii

    • @kingyehoshafatitvbornerys2496
      @kingyehoshafatitvbornerys2496 6 лет назад

      Shylagwa de Balima yaani wewe una mawzo kama yangu .....angalia kwenye koment yangu uone nilicho andika!!!!!

    • @mtangagraphics9146
      @mtangagraphics9146 6 лет назад +1

      hajawah kuwa afande anatoa sirii tu kurahs

    • @dicksonmajogoro7575
      @dicksonmajogoro7575 6 лет назад

      Fanya uhalifu ndo utajua Kama utafanywa nn ili ufunguke kila kitu

    • @mitemafilm88
      @mitemafilm88 5 лет назад

      Unadhani anaongea tu, ashapitishwa jikoni kwanza

  • @sebastiansalamba8236
    @sebastiansalamba8236 6 лет назад +6

    Nyinyi mnaomdhihaki Kamanda endeleeni tu mnafikiri Tz ni nchi ya mchezo sisi tulioshuhudia wakati Wa makaburu wakitaka kuhujumu nchi hii nawakashindwa tunajua,na nyinyi kama mmetumwa haya tutaona mwisho wake

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 6 лет назад

    Asante kamanda safi sana

  • @Millidady
    @Millidady 6 лет назад +23

    Mwanajeshi kafunguka vizuri

    • @abduLlah-yj3pr
      @abduLlah-yj3pr 6 лет назад

      views 22k hana kinyongo hhhhh

    • @dovicochristopher5388
      @dovicochristopher5388 6 лет назад

      views 22k 😂😂😂

    • @stevenlyando1801
      @stevenlyando1801 6 лет назад

      kama mchezo hivi,muharifu halafu kesi inahusu jeshi anatiririka kwa confidence hivyo wakati anajua linalomfuatia,,,,

  • @petermuganda7087
    @petermuganda7087 6 лет назад

    hongereni sana jeshi la polisi kwakazi nzuri.

  • @jonaselias7729
    @jonaselias7729 6 лет назад +7

    namuonea huruma I'm coming from very humbly soldiers family he is looking like my dad...

  • @princesinko4073
    @princesinko4073 6 лет назад

    Hongereni kazi nzuri

  • @geraldrobert1801
    @geraldrobert1801 5 лет назад +20

    Waliompiga Lissu waliingia Dodoma na wakaondoka kurejea Dar kiulaiiinii

    • @protasmalala7559
      @protasmalala7559 4 года назад +1

      Mwenzetu kumbe unajua walitokea dar?

    • @aizackkajika5086
      @aizackkajika5086 4 года назад

      @@protasmalala7559 hahahaha anawafahamu🤣🤣😂

    • @jumamofu9573
      @jumamofu9573 4 года назад

      Kumbee inabidi uisaidie Police

    • @arqamibnarqam.7185
      @arqamibnarqam.7185 4 года назад +1

      Atatusaidia zaidi kupunguza mlolongo wa upelelezi

    • @evansm8802
      @evansm8802 4 года назад

      Kkkkkkkk interesting Indeed. Wakiingua dodoma hawatoki. So the attackers of tundu lissu bado inside Dodoma

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 лет назад

    Hongera sana kamanda kwa kazi nzuri

  • @goodluckmrosso486
    @goodluckmrosso486 6 лет назад +23

    Kama mwalifu anajieleza hvyo nihatareeeee sana...😎😎😎😎😎 ila nahc tyu jaman hizo ni mbinu za kujulikan tyu nahc tyu jmn

    • @Mushivictor
      @Mushivictor 6 лет назад

      Goodluck Mrosso yaani jamaa anavyojieleza kama anaelezea tamthilia hivi , hana hata chembe ya hofu yani jaamni

    • @ayoubcharles7038
      @ayoubcharles7038 6 лет назад

      tehetehe

    • @fatumamilimo1936
      @fatumamilimo1936 6 лет назад +2

      Anajielezea vizurii ili asemehewe jamani

    • @allymfangavoo6065
      @allymfangavoo6065 6 лет назад +1

      Hamna mualifu apo wametengeneza watu wao mtuhumiwa gani anajieleza kama biashara ya nyanya anafanyaa

  • @ebenezerebenezerjoelynnko3535
    @ebenezerebenezerjoelynnko3535 4 месяца назад

    kweli!!! Mungu tusaidie.!!!

  • @aminasanga7096
    @aminasanga7096 6 лет назад +8

    acheni hzo mroto ni mchapa kazi tk akiwa ocd maturubai ni mlinzi mzuri Wa RAIA wake hongela sana

  • @wilsonuhenge1926
    @wilsonuhenge1926 5 лет назад

    Huyo arudishwe kazini, ugumu wa maisha ndio humfikisha MTU mahari hapo

  • @Focus_Mengi
    @Focus_Mengi 6 лет назад +3

    Hongera sana askari we2, Mungu awabariki

    • @nasraabdul2522
      @nasraabdul2522 6 лет назад

      Ni Sheria, mwanajeshi akifukuzwa kwa utovu wa nidhamu anyang'anywi mavazi ya keshi!! hatari sana.

  • @hoseaswai6247
    @hoseaswai6247 6 лет назад

    Asante sana jeshi la usalama kwa kazi nzuri. Mwenyezi MUNGU aendelee kuwajalia uweza na nguvu ya kuu kabili uovu na kuuondosha kabisa.

    • @landsospeter2298
      @landsospeter2298 6 лет назад

      Hosea Swai ww fala usimtaje mungu kwenye maigizo kama haya ebu muogopeni mungu

  • @aristocresseverian6623
    @aristocresseverian6623 6 лет назад +4

    Wanajeshi gani hao wanaropoka hivyoo najua mwanajeshi rohongumu kumezaa 😈😈

    • @veronikadalali7251
      @veronikadalali7251 3 года назад

      Huo ndo uwanaume akipatwa hakuna jins nimemkubal Afand wang

  • @dawillygene
    @dawillygene 6 лет назад

    Kazi nzuri kamanda,hongereni sana.

  • @isacknguvumali3445
    @isacknguvumali3445 6 лет назад +14

    Daaa huyu mkuu wa police Dodoma na mkubali sana

    • @isacknguvumali3445
      @isacknguvumali3445 6 лет назад

      Gasper Kivamba Kivamba yani ni sheeeda ameamua kuzalilisha jeshi la watu achukuliwe hatua kabisa kweli mwanangu daaa

  • @IssaTayari
    @IssaTayari 15 дней назад

    Duuu uyo mjeshi mpaka uje ugundue siyo kazi kubwa

  • @festoedward1902
    @festoedward1902 6 лет назад +28

    Mhalifu gani anafunguka Hana wacwac 🙄🙄🙄🙄🙄 au ni kiki anataka awe igp

    • @wandwechacha7813
      @wandwechacha7813 6 лет назад

      Unataka aongee akilia au

    • @sekinatalibtalib8246
      @sekinatalibtalib8246 6 лет назад

      Festo Edward1 umeona ee it has never happen like this ati mtu akubali live makosa.Tz bhana nchii ya kiki

    • @naftalydeogratius9805
      @naftalydeogratius9805 6 лет назад

      maigizo hyoo

    • @samobicon3195
      @samobicon3195 6 лет назад

      hujawahi kubanwa wewe

    • @AmosBPeter
      @AmosBPeter 6 лет назад

      Festo Edward1 huyo alikuw ni soja ndo maan han wacwac angalia ambao hawan combat

  • @mariunkirungi6201
    @mariunkirungi6201 6 лет назад

    mmmmmh huyu mbaba anajieleza vizuri aisee mbavu zangu mie tapeli hana hata soni ya aibu wonders shall never end safi sana Kamanda big up

  • @develmediatz6371
    @develmediatz6371 6 лет назад +5

    nimekubali confidence ya huyo tapeli mwanajeshi

  • @KIMBY3-z8c
    @KIMBY3-z8c 3 года назад

    Dah mbna mzee anaongea bila wasi wasi Dah noma sana ❌❌❌❌

  • @hamisijumanne3724
    @hamisijumanne3724 6 лет назад +13

    itabidi huyo mwanajeshi wamrudishe jeshini

  • @amouralhabsi9296
    @amouralhabsi9296 6 лет назад

    Asante jeshi la tanzania hii ni kwaajili ya raisi wetu magufuli

  • @african_channel
    @african_channel 6 лет назад +9

    naona kamanda mroto anafuata nyayo ya kova safi sana

  • @danielyissaya9372
    @danielyissaya9372 3 года назад

    Kz nzuri

  • @frankjoseph6213
    @frankjoseph6213 6 лет назад +5

    sawa sawa Mkubwa

  • @jacobwatson7107
    @jacobwatson7107 6 лет назад +2

    Tunaheshimu sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri wanayofanya!!..ila kwa hili ni dhahiri kabsa n igizo la kutengenezwa

  • @lastseen6815
    @lastseen6815 6 лет назад +7

    Kiki za kipuuziii yani ata hamujui kujipanga na uwongo, hao ambao hawakuhojiwa ndio waizi wa ukweli ila uyo mwanajeshi ni kiki tu

  • @florachrist9602
    @florachrist9602 4 года назад +1

    Mi ningemsamehe kusema ukwel ni kutubu.

  • @mawazoselemani614
    @mawazoselemani614 6 лет назад +5

    Big up kamanda!

  • @amosbinmahona9947
    @amosbinmahona9947 6 лет назад

    Hatari sana Good job 4 police force

  • @rodrickdyampaye4499
    @rodrickdyampaye4499 5 лет назад +2

    Gonga like kama una kubari kazi anayo ifanya huyo askali

  • @sudeinwahab906
    @sudeinwahab906 6 лет назад

    Hongera jeshi la police dodoma

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 6 лет назад +7

    msema hukweli mtumishi wa mungu

  • @halimayusuf7985
    @halimayusuf7985 6 лет назад +2

    Uyu mwanajeshi mungu kamukumu kwa zurma

  • @prochesilyakurwa815
    @prochesilyakurwa815 6 лет назад +8

    Kwel watanzania wameoza akili......maaana sio kwa kulalamika huko kwa kipuuzi wakikamatwa mnasema maigizo ....wasipokamatwa mnasema hawajulikani ......jamani kwel ipo siku mtatambua mchango wa jeshi letu imara na lenye sifa ya uadilifu .....Mungu ibarik Tanzania

  • @ezekielymwasenga749
    @ezekielymwasenga749 6 лет назад

    Nazi nzuri hongera MKUU Wa police dodoma

  • @nelsonkyauke1481
    @nelsonkyauke1481 6 лет назад +2

    Tanzania tunajua kucheza na akili za watanzania

  • @avoldwilliam1131
    @avoldwilliam1131 4 года назад +1

    Hajaiva huyo bhana.. Mwanajeshi gani anakuwa hivyo.. Pengine AKILI imeruka

  • @jonathanmasu6803
    @jonathanmasu6803 6 лет назад +38

    Hii nchi ina raia waliooza akili, wasipokamatwa mnaanza kudai police wanasema upelelezi upelelezi lkn hamuoni matokeo, wakikamata wahalifu mnasema wanaigiza, semeni sasa mnataka nini!!, You have been brainwashed by medias, wake up guys.

    • @shabaniomary9766
      @shabaniomary9766 6 лет назад

      Jonathan Masu
      Hahaha

    • @ziadaalute6836
      @ziadaalute6836 6 лет назад

      Jonathan Masu ,Tunawataka waliomimina risasi 38 saa sabamchana,kama Dodoma ukiingia hutoki,walewalitokajee?

    • @jonathanmasu6803
      @jonathanmasu6803 6 лет назад

      Ziada alute, sawa endeleeni kuwa wavumilivu watawaletea

    • @mwanaharakatidjguy6546
      @mwanaharakatidjguy6546 6 лет назад

      Jonathan Masu hao wa pikipiki sawa lakn yule luten mmmmmh

    • @malickmakatta6089
      @malickmakatta6089 6 лет назад

      Jonathan Masu kuna majitu majinga hata yafanyiwe nini yatapinga tu

  • @suleimanmakameally1395
    @suleimanmakameally1395 6 лет назад

    KAMANDA hongera sana

  • @guyoibrahim3100
    @guyoibrahim3100 6 лет назад +4

    Kwa kweli Askari ya Tz wako na nidamu, ingekuwa ya Kenya hawa shavunjwa vunjwa

  • @rashidsuleiman2663
    @rashidsuleiman2663 6 лет назад +1

    hongereni polisi kwa kazi nzuri,bora kuongeza nguvu zenu kwa wahalifu kuliko kwa wanasiasa.

  • @peterkawandamo9096
    @peterkawandamo9096 6 лет назад +13

    Hahaha daaaah hii movie inaitwajee??

  • @marcolimbe1475
    @marcolimbe1475 4 года назад

    Huyo akawajibishwe kijeshi polisi asanteni

  • @ibrahimmkoko5850
    @ibrahimmkoko5850 6 лет назад +41

    Waharifu wanaongea bila wasi hivyo mmmmhh... Mbona kama maigizo vile.

    • @nurisahim7898
      @nurisahim7898 6 лет назад +1

      Ibrahim Mkoko umeona 😂😂😂

    • @gastongerald493
      @gastongerald493 6 лет назад +1

      Hata mimi nawasiwasi aceee hii kama vile game

    • @sadxkyando5456
      @sadxkyando5456 6 лет назад +1

      Ni njaa juu ya njaa WANAZINGUA HAO

    • @malickmakatta6089
      @malickmakatta6089 6 лет назад +1

      Ibrahim Mkoko wewe ulitaka waongee wakilia, kweli hujaacha upumbavu

    • @amirikhalifa9543
      @amirikhalifa9543 6 лет назад +2

      Ibrahim Mkoko kumbuka huyo ni mwana jesh mstahafu, kwahyo askar yoyote huwa na confidence sana haijalish yupo mazingira gan

  • @thomasmalle3947
    @thomasmalle3947 11 месяцев назад +1

    Kamanda Mliro anastahili kabisa kuwa Mkuu wa Wilaya au hata Mkoa, ameitendea vyema sana kazi yake na nchi yake.

  • @mashmashmkeyenge9210
    @mashmashmkeyenge9210 6 лет назад +3

    DUUUUUU HATARI SANA NA HONGERTA POLISI DODOMA

  • @sakshidayaly2220
    @sakshidayaly2220 6 лет назад

    Daaa kweli hapa kazi tuu watuhumiwa wanatabasam hawana wasiwasi

  • @kahugentobi2715
    @kahugentobi2715 6 лет назад +11

    Wa Lissu Walitokaje Dodoma Mpaka Leo movie 2

  • @kaminyogemwachelwa9884
    @kaminyogemwachelwa9884 6 лет назад

    Hapo nitawasifia kwelikweli.....safi sana

  • @ssaa7495
    @ssaa7495 6 лет назад +5

    Alafu anaongea bila wasi wasi 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣