KIVUMBI! POLISI WATINGA NA BUNDUKI KUZUIA NDOA YA MWANAFUNZI ALIYEKUWA AKIOZESHWA KWA LAZIMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025

Комментарии • 410

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km Год назад +8

    😂😂😂nimeona masufuria ya pilau

  • @pennykiruka9314
    @pennykiruka9314 Год назад +14

    I respect this governor i salute u yoooo u do ur job no favours .am kenyan n am proud of this tanzanian government ,good good step for girl child no more child marriage 👏 😅 😄

  • @joliapantaleo349
    @joliapantaleo349 Год назад +15

    Safi sana jeshi la police nawote mliomsaidia Mungu awabariki

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 3 месяца назад

      Mpumbavu wewe unaezibwa macho na serikali

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 месяца назад +2

    Duu!!haita simama tena huyu jamaa mbele ya mitutu😂😂😂😂😂 nimeipenda

  • @HappyNkya-n8j
    @HappyNkya-n8j 3 месяца назад +3

    Safi saana keshi la police kazi nzur

  • @christinanjombi1830
    @christinanjombi1830 Год назад +3

    Hii Kali 👌

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 Год назад +31

    Na wanaomaliza masomo muwafate kama hivyo muwape ajira, sio kuzuia ndoa tu

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 Год назад +9

    Sasa hapo ada atalipa nani

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 Год назад +5

    Dj nimempentaa huyoooooo chaguo lakooooooo😂😂😂😂😅

    • @rukiauwonde7062
      @rukiauwonde7062 Год назад +1

      😂😂😂hana habar na waja🤣🤣chezea mchele wew🤣

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili Год назад +4

    noma sana

  • @jacobshao1260
    @jacobshao1260 Год назад +7

    Hiyo sufuria mbona kama ugali au naona vibaya😂😂😂

  • @aydamohamed4508
    @aydamohamed4508 Год назад +15

    Ndoto gani kakatishwaa asomee weee mwisho wa siku ajira hakuna,..au huko atalipiwa adaa?? Hyo mikopo chuo mtihanii

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 Год назад +5

    Jamani mtu ana miaka 20 mnamzuia asiolewe, Kama bi harusi ana miaka 18 ana haki ya kuolewa,kwani akiolewa akaendelea na masomo,huu ujinga,hii ni kinyume na haki za binadamu,kusoma ni maamuzi yake mwenyewe,huyu DC hafai,

    • @Dantaata
      @Dantaata Год назад +1

      tunajua wewe uliolewa na miaka 11 Sasa hili halikuumi kabisa

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 Год назад +1

      @@Dantaata mimi nimeolewa miaka 18

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 Год назад +1

      Na Nina virembwe sasa,umri wangu sasa ni miaka 65

    • @Dantaata
      @Dantaata Год назад +2

      @@sabraham5308 pole sana ndio mana bado upo mitandaoni Hadi umri huu,, Kuna maisha yalikupita km uliolewa 18

    • @MussaAhmad-gd6sm
      @MussaAhmad-gd6sm 2 месяца назад

      Fala wewe

  • @Robertpejajuma
    @Robertpejajuma 2 месяца назад

    Hongereni sana kwa Hilo serikari

  • @RashidAbbas-zy6xx
    @RashidAbbas-zy6xx 3 месяца назад +15

    Tatizo ata mtu akisoma ajira HAKUNA Bora aolewe akatafute maisha

  • @bushimpinatv
    @bushimpinatv Год назад +6

    Dj bado anapiga ngoma tu huku harusi ishaingia mdudu 🤣🤣

  • @AdveraKadida
    @AdveraKadida 2 месяца назад +1

    Hatari sana hizo Mila zilishapita jamañ Bora police wamemuokoahuyu binti

  • @DessyTT
    @DessyTT Год назад

    Very good job.Keep it up

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Год назад +10

    Askari na mabunduki yenu mara akapimwe akuwe na mimba 😂😂

  • @beatricelivigha4959
    @beatricelivigha4959 Год назад +5

    Safi Sana tia Ndani wote hao washenzi

  • @moseskillagane4848
    @moseskillagane4848 Год назад +1

    Huyooooo,.nichaguo lakoooo😅😅😅

  • @dogomojatz3492
    @dogomojatz3492 Год назад +2

    Kasome tu mdogo wangu kwa moyo ♥️ mmoja kama bahati yako ipo ipo tu.! Naimani hiyo miaka miwili ukisoma kwa bidii utafaulu tu.! Shem kama anathubira akusubili tu.! Usomee miaka miwili sio mingi Sana serikali imesema usomee soma tu.! Dada angu hakuna ujanja.....By dogo moja conk ze don..

  • @helenmdee4004
    @helenmdee4004 Год назад

    Hongera mkuu wa mkoa Mungu akubariki

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Год назад +15

    Mtt gani miaka 20 acheni ujinga mbona mtt anaonekana na furaha zake mna acha kufanya mambo ya maana mnalazimisha ujinga tu acheni kuingilia uhuru wa mtu kila mtu na uhuru wake,

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 Год назад +2

      Kama bi harusi ana miaka 18 ana haki ya kuolewa,kwani akiolewa akaendelea na masomo,huu ujinga,hii ni kinyume na haki za binadamu,kusoma ni maamuzi yake mwenyewe,huyu DC hafai,

    • @leoniaathuman1038
      @leoniaathuman1038 Год назад +4

      Binti mwenyewe kabla ya harusi alikuwa analalamika kwa majilan kuwa kalazimishwa ,
      Kwa mazingira ya kawaida tu hata kwa picha hyo familia inaonekana wanamaisha ya kawaida tu ko hakuna kiongoz yeyote angejua kama bint asingesema

    • @EliasPaul-qs2ib
      @EliasPaul-qs2ib 4 месяца назад +2

      Kusoma ni lazima Dada angu

    • @EliasPaul-qs2ib
      @EliasPaul-qs2ib 4 месяца назад

      ​@@sabraham5308hujaskia kuwa Binti kalazimishwa na wazazi? Na hapo ndo Wasukuma Huwa tunafel

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 3 месяца назад +1

      Acha ujinga nenda kaolewe wewe badala yake

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Год назад +11

    Kwann hamkuja kabila yakufungwa ndoa acheni ujinga mnataka tu kiki hiyo ndoa ya kiiristo uwa inatangazwa kabla ya kufungwa mnataka wazin

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw 4 месяца назад +1

    Mnashindwa kutafuta wauwaji na watekaji mnaanza kuharbu maisha ya mtu

  • @odalomary5446
    @odalomary5446 Год назад +1

    Safi sana..pelekwni wote whusika ndani pumbavuu...mana wazazi wanaona wakiwa na mtoto wa kike..kitega uchumi ..ya mahali

  • @JosephMbunju-y7x
    @JosephMbunju-y7x 2 месяца назад

    Dj ulilipwa au mlikubaliana dakika zajiooooni

  • @SamwelLeonce
    @SamwelLeonce 3 месяца назад

    Safi sana hongera kwa kufanikisha tukio ilo Tanzania iko macho tuwaache watoto wetu wasome tusikatishe ndoto zao jamani,wazazi hacheni tamaa nimbaya subirini wakati wake ukifika msiwe natamaa za ukatili.

  • @marierobert42
    @marierobert42 Год назад +8

    Hata mkimchukua kikubwa wamefunga ndoa kanisan Tyr,

  • @MwajumaHamisi-e9v
    @MwajumaHamisi-e9v 3 месяца назад +1

    Navowajua wasukuma wanavyoogopa police 😅😅😅ata uje na ng,ombe 100 hawakubari

  • @sarahtaste2876
    @sarahtaste2876 Год назад +1

    Uyo binti asipoolewa tena atailaani serikali 😂😂😂😂

  • @Hemeddymeddy
    @Hemeddymeddy Год назад

    Saaaafi sana good job

  • @AgnesMgina-ud6ho
    @AgnesMgina-ud6ho Год назад

    Hii imependeza sana toeni namba ya mawasiliano matukio kama haya yako mengi ili likitokea tutor lipoti

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 16 дней назад

    NIMEIPENDA SANA HIYO , SAFI SANA KAZI NZURI KAMATA HAO WAZAZI WEKA NDANI

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Год назад +1

    Safi sana muheshimiwa asome tu kwakweli

  • @julianadaudi4921
    @julianadaudi4921 Год назад +1

    Mi sijaona noma hapo

  • @joyce55727
    @joyce55727 Год назад +3

    Nikatoka na mtt wangu saiz namaisha yangu mazul tu namshukuru Mungu lkn wazaz achen tamaa ya kutaka mali haraka achen binti asomen mim ilifika mda wazaz wangu walianza kujuta kwa nin waliniozesha

  • @michaeljengwaz4328
    @michaeljengwaz4328 3 месяца назад

    Serikali ila ali❤piwe ada

  • @jumafundi3133
    @jumafundi3133 Год назад +11

    Basi musiwe wepesi kuingilia harusit mlipieni na gharama za kuendelea na masomo maana hamjui kaolewa kwa maanagani

    • @rereshap9416
      @rereshap9416 Год назад

      Hovyoooo , hamnazo kwelikweli wewe !!

    • @jumafundi3133
      @jumafundi3133 Год назад

      @@rereshap9416 haya ukiwanazo wewe inatosha ila pia zikiwa nyingi tuuzie nasisi wajinga.

    • @jumafundi3133
      @jumafundi3133 Год назад

      @@rereshap9416 mana nchihii mukisharisisha hivyo via jira au mtu akimiliki milioni 1t basi wasonakaz wala pesa wot niwajinga

    • @EmmanuelMwamfwandilo
      @EmmanuelMwamfwandilo 3 месяца назад

      Ewaaah Hilo Neno kaka ,,,Shobo kibao wakitoka nje ya Camera Hawana Msaada wowote hata peni ya 100 hawawezi nunua hao

  • @therealkingo
    @therealkingo 2 месяца назад

    😂😂😂, lakini si teali Kesha funga ndoa wakati wa kipingamizi walikua wapi, na alichokiunganisha mungu mwanadamu.......kmmk mpo slowly sn

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 Год назад +1

    Duh! Hatari kweli kweli

  • @jacobshao1260
    @jacobshao1260 Год назад +1

    Waache wale kwanza bufee, nakeki yao 😂😂😂😂

  • @CatherineMmbaga-qe4zf
    @CatherineMmbaga-qe4zf Год назад +2

    Ninachoamini ndoa Ni tayari hapo,ilikuwa Bado ubwabwa tuuu 🤣

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 Год назад

      😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 3 месяца назад +1

    Bwana harusi hapo vipi!
    Umenyang'wa chombo,ila omba mungu Rachael akasome ili badae awe ubavu wako

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw 4 месяца назад

    Mmekoboa nini hapo kwani hajatumika bado bado anayo bikira ama umeshatolewa😂😂😂

  • @AlfaniMohammed-zk1hn
    @AlfaniMohammed-zk1hn 4 месяца назад +1

    Nyie wehu 2 mnanchagulia maisha uyo binti

    • @trecygohy7847
      @trecygohy7847 4 месяца назад

      Wewe unaona je ?. Je akiwa Binti yako ambaye anapenda kusoma na kufanikiwa kimaisha uko ladhi kumuozesha bila ruhusa yake na kumkatisha ndoto zake ? Ambapo kiuchumi kwake kutakuwa shida ( yaani macho yote yana mwangalia huyo mume wake na nyinyi ). Unataka awe mtegemezi kwa mume wake na kwenu ?

  • @haikatheo6362
    @haikatheo6362 Год назад +1

    tuanze na mchungaji kwanza

  • @jeaninekabano9190
    @jeaninekabano9190 2 месяца назад

    Mungu atamsaidia huyo Binti kuolewa wasubiri amalize wasimvuruge

  • @VailettyShigerla-fw2sg
    @VailettyShigerla-fw2sg 2 месяца назад

    Wazazi kama hawa sio hak

  • @nelsonjonathan7660
    @nelsonjonathan7660 Год назад

    Hatuelewi mpaka hatuelewani😂😂

  • @AnjelaSabasHamaro
    @AnjelaSabasHamaro 23 дня назад

    hiiii kwakoli serekali nawap salitu

  • @paparonahtv
    @paparonahtv 3 месяца назад +1

    Hi ni wivu ya serikali

  • @KijukuuTz-in6of
    @KijukuuTz-in6of Год назад +2

    Bora waolewe wakisoma ajira Haman

  • @geraldmakeremo3578
    @geraldmakeremo3578 Год назад +1

    Jamani someni kuoelewa mtaolewa tu

  • @edithajonh2970
    @edithajonh2970 Год назад +2

    Kama mzazi Hana uwezo wa kumusomesha inakuaje et

  • @andrewkaswagula3367
    @andrewkaswagula3367 Год назад

    Safi sana.. kuna wazazi wengine hovyo kabisa..

  • @MaryMaurus
    @MaryMaurus 2 месяца назад

    Hapo mmefanya Vinzuri Saaaaaana

  • @gracemacha9357
    @gracemacha9357 Год назад +7

    Safii sana acheni kunyanyasa watoto

  • @stellahgeofrey174
    @stellahgeofrey174 Месяц назад

    Mh.pilau nimeiona

  • @yasintamichael-bg9fk
    @yasintamichael-bg9fk Год назад

    Afadhali 😂😂😂 dj huyo ni chaguo lakooo

  • @jescalutegonsombnambyakoda6719

    Mm ningechalaza bakoraaa wazaz na hao wasimamiz

  • @AbuodSeleman
    @AbuodSeleman 3 месяца назад

    kwan jamaa sialishapga mzgo lakini😂😂😂

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 Год назад

    😮😮MUNGU mkuu jamani😊

  • @OmegaMakyao
    @OmegaMakyao 2 месяца назад

    Xax hyo pilao vp?

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Год назад

    Umefanya vizuri mama mndeme wasukuma wamezidi kisa kutaka ngombe

  • @RamadhaniMustafa-b6r
    @RamadhaniMustafa-b6r Год назад

    Kuolewa napo nibahati jamani wengi madunga embe humu wana angaika😂😂😂

  • @allaj-c3f
    @allaj-c3f Год назад +2

    Daaah

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 Год назад +1

    Sasa hapo bib harus ndo yupi😅😅😅

  • @SalahSalum
    @SalahSalum 3 месяца назад

    Safi sana police

  • @AnordEmmanuel-g6w
    @AnordEmmanuel-g6w 3 месяца назад

    Thanks

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 Год назад +1

    Kwani akiolewa hawezi kusoma??

  • @YonahMwankaja
    @YonahMwankaja Год назад

    Jesh mko saw komesha Tania mbaya

  • @EsterWiliam-to5mb
    @EsterWiliam-to5mb 3 месяца назад

    Jaman mbon hasara aisee Duuh

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango 4 месяца назад +1

    Jamani mwee mungemuacha afungishwe ndoa yake maana kulivaa shela tu Ndoto ya mtu ktk maisha! Then angendelea na masomo yako!

  • @solangebagal149
    @solangebagal149 Год назад

    Muna kosa heshima sana

  • @Wama-tz
    @Wama-tz 4 месяца назад

    Mm nataka kujua kama chakula bado kipo 😂😂

  • @AbuodSeleman
    @AbuodSeleman 3 месяца назад

    hii kaliake😂😂😂

  • @abigaelmgabe3417
    @abigaelmgabe3417 Год назад +1

    nilisoma kwa bidii sana sana ila nikipewa nafasi ningeishia form 4 tu nipige mishe nyingine tu yaan.. Vyeti vinaozaaa havinisaidii navichukiaaa...Nimelazimika tumia akili nyingine kusurvive kitaa. Ila wazaz msiwakatishe watoto wenu kisa kuolewa though shule kibongobongo sikuiz kubwa nikujua kusoma na kuandika na kuhesabu. si mimi wala wazazi wangu walonipambania sana aliyejua nitakuwa muuza dagaa. Ukinikuta mwaloni ukaambia nina bachelor ushuz huamini huku aloishia la pili anamtaji mkubwa ujuzi mkubwa na connection kubwa ya biashara kuliko mimi nguchiro mwenye shahada uchwara. Si bora ningeolewa mapema?

    • @michaelkitebo9305
      @michaelkitebo9305 Год назад

      Njoo nikufundishe mishe za MADIN,Mimi nilistuka mapema.nakaa na watu wenye madgrii kupiga story dakika ya mwisho wananiomba elf kumi nashangaaaa!!!

    • @abigaelmgabe3417
      @abigaelmgabe3417 Год назад

      @@michaelkitebo9305 ndo madegree yaloyopo mtaani et elim itamkomboa my foot kusema kweli ni upotezaji muda tu nachokiona. Kuhusu madini noo broo sijawai ata waza

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 3 месяца назад

    Mkwe wangu msubiri mwezako asome ni miaka 2 tu mtakuwa wote inshaallah

    • @GeraldMyuku
      @GeraldMyuku 3 месяца назад

      Haaaahaaaa lakini kumbuka elimu inaongeza maarifa hapo imeisha

    • @nasrahassan7346
      @nasrahassan7346 3 месяца назад

      @@GeraldMyuku Hahahaha anaweza kumkataa mme wake😀

  • @dietrickedward2294
    @dietrickedward2294 2 месяца назад

    nataka waje waniambie na mimi hivi kwa mwanangu!

  • @shebbylovemsafi903
    @shebbylovemsafi903 2 месяца назад

    Sasa kama wa, zazi wame bless tatizo liko wapi haya akisema sitaki kusoma au nyie mtamsomesha mpaka amalize au haya hatati kusoma itakuwaje???

  • @LushweKuandika-lm9zc
    @LushweKuandika-lm9zc 3 месяца назад

    Ukiacha kusoma kesi ukimaliza kusoma kazi kupata kesi.

  • @CharlesHamisi-t4n
    @CharlesHamisi-t4n 3 месяца назад

    Mbona sehem nyingine hua hasifuatiliwi jaman nataman iwe nchi sima iwe hivyo

  • @OmanSd-i8y
    @OmanSd-i8y 3 месяца назад

    Wameshindwa kwenda kuchkua watu wanaobaka watoto wakiwa wadogo kbsa 😢

  • @dativajoachimwai1194
    @dativajoachimwai1194 Год назад

    mngepima kama ana mimba tayari. maana kama anayo mliomkataza kuolewa mtakua mmemuharibia maisha

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango 4 месяца назад

    Hapo kuna mkono wa mtu mwenye HIRA! Adui ibirisi shetani huwa anatafuta Visababu! Ktk Aina za ukatili wa kijinsia hapo mmemfanikishia Emotion viorence( Msongo wa mawazo! Maana hata keki yake hajala!Tusameheane Bure( Biblia,kitabu cha Zaburi 119:165 na Luka 17:1-4 na Ayubu 5:12 Kwa jina la yesu kristo!)

  • @BernardSadani
    @BernardSadani Месяц назад

    Safisan polec we2

  • @DevidsLema
    @DevidsLema Год назад

    amna lofoten kwa hapa dar wanganui wamesoma
    na awana ajira pia

  • @victoriatemu-ko8np
    @victoriatemu-ko8np Год назад

    Kamata weka ndani duub😢😢😢

  • @WILLYMAJALIWA
    @WILLYMAJALIWA Год назад

    😢

  • @VeronicaAdam-lx8yd
    @VeronicaAdam-lx8yd 3 месяца назад

    😂😂😂😂hao niweny roh mbay wamemfanyia hujum

    • @EmmanuelMwamfwandilo
      @EmmanuelMwamfwandilo 3 месяца назад

      Umenena mkuu Wivu na maisha ya watu tuu,,,,,,Hii Nchi Imejaa chuki saana Akimaliza shule Wampe ajira sasa ,,,,,Elimu ya Tanzania Hasara tupu

  • @FrenkMassaweFrank
    @FrenkMassaweFrank 4 месяца назад

    C angeenda tu baada ya kufunga ndoa

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 Год назад

    Lakini wimbo unasema uyu ni chaguo lako😂😂

  • @judithmkiramweni4137
    @judithmkiramweni4137 Год назад

    Wazazi tamaaaa za mahali. Watoto wana ndoto zao unamuoza binti baada ya mwaka mgogoro wa ndoa. Sheria ichukue mkondo wake kwa wazazi mnnnhhhh! Siwezi gawa mtoto wangu akaolewe kirahisi hivyo

  • @RonnieBertin-f7f
    @RonnieBertin-f7f 7 месяцев назад

    vizuri polisi sukuma ndani

  • @alonchobasamiye6844
    @alonchobasamiye6844 Год назад +1

    Da ila demu kifaa sana

  • @RebekaJaphetp
    @RebekaJaphetp 3 месяца назад

    Anzeni kuajiri watu waliomalizia ndo mtakuwa mmepunguza watu kuolewa wakiwa bado wanafunzi maana mtu anaangalia sasa anasoma aelekee wapi maana ajira hakuna ko anaona bora aolewe

  • @lama6310
    @lama6310 Год назад +1

    Kwan Si Katimia Miaka Kumi na nane

  • @DM_15
    @DM_15 Год назад

    Jamaaa hana mechi tena 🤣🤣