ANAMUOMBA MUNGU ATOE UHAI WA MAMA YAKE MAANA ANATESEKA SANA_MAUMIVU NA MATESO _AMETENGWA NA NDUGU...

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 165

  • @LenjyMedia360
    @LenjyMedia360  10 дней назад +5

    KWA MSAADA CHANGIA CHOCHOTE KUPITIA
    LIPA NAMBA YA VODA
    36710656..JINA ;LENJYMEDIA

  • @FatumaRusimba-j3z
    @FatumaRusimba-j3z 11 дней назад +15

    Mungu mwenye nguvu na huruma asieshindwa jambo naomba umponye huyu mgonjwa amen

  • @ElizabethGititia
    @ElizabethGititia 2 дня назад +2

    Mungu aponye huu mama hakuna kitu nguvu kwa mungu ata pona in Jesus name amen God have mercy on her and May God forgive her sins in Jesus name

  • @hamidahnassoro-12
    @hamidahnassoro-12 10 дней назад +4

    Pole sana kipenz mungu yupo usikate tamaa na rehma za ALLAH NI NYIGI SANA ❤❤❤❤❤❤

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 9 дней назад +4

    Mungu hashindwi na jambo lolote. Iko siku atakuponya tu. Hebu tujitahidi kumwombea kwa dhati. Mungu atafanya njia.

  • @karisakahindi7583
    @karisakahindi7583 5 дней назад +1

    Pole sana mungu afanye miuniza ili upone mtoto Bado anahitaji ulezi wako

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 10 дней назад +2

    Pole mama Prince,mungu ndiye mponyaji.Prince mungu akuzudishie nguvu upendo na upole.

  • @catrhine93
    @catrhine93 10 дней назад +2

    Mungu akupe nguvu dada Pole sana mungu ndiye mwenye uwezo usikate tamaa.

  • @KaungaDory
    @KaungaDory 8 дней назад +2

    Mwenyez Mungu akuponye dada mtumaini yeye usiwafikirie binadam utadhoofikazaid Mungu nikilakitu. Daaah matatizo hutuonesha marafiki na ndugu wa kweli ona sasa😢

  • @naomichimbeja1412
    @naomichimbeja1412 9 дней назад +4

    Pole sana mungu ampe afueni shetani ni muongo mpelekeni kwa maombi na mungu atatenda 😢😢

  • @KanadeMrangu
    @KanadeMrangu 10 дней назад +2

    Pole sana my love sister MUNGU akutunze umpendeze MUNGU NA WANADAMU pia

  • @DinaMahambo
    @DinaMahambo 10 дней назад +3

    Pole sana Mungu akutie nguvu upate afya njema.

  • @tatumusa4202
    @tatumusa4202 8 дней назад +2

    Mungu atamsaidia apone ishaallah

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 7 дней назад +1

    Dah inaumiza sana
    Ewe mola wetu mlezi uliejaa huruma kwawqja wako kuliko wanavojihurumia wenyewe tunakuomba kwapamoja kwahurumq zako mponye mja wako huyu dhaifu na uwaponye wagonjwa wote ulimwenguni ya rabb😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 9 дней назад +4

    Allahu Akbar MNGU tujaalie mwisho Mwema na utusamehe na mpe afuani huyu mja wako 🤲

  • @MargaretKarua-s3s
    @MargaretKarua-s3s 8 дней назад +1

    Pole sana mungu akuponye ,hakuna jabu lililongumu kw.mwenyezi mungu

  • @rosemtwaki
    @rosemtwaki 10 дней назад +4

    poleee kipenz MUNGU nimwenaaa

  • @ImanRamadhani-z2u
    @ImanRamadhani-z2u 10 дней назад +2

    Mungu akulinde wewe mtoto na mungu akusaidie selekari ikuone waweze kukusaidia

  • @AminaJuma-g1t
    @AminaJuma-g1t 7 дней назад +1

    Pole dada mungu akufanyie wepes uweze kupona

  • @RoseChristopher-t2p
    @RoseChristopher-t2p 10 дней назад +2

    Pole sana prens mungu akutie nguvu mtoto wa kiume

  • @cristinamushi4606
    @cristinamushi4606 11 дней назад +2

    Pole sana dd yangu Mungu akujalie uponyaji na aendelee kumuimarisha kijana wako anayetoa maisha yake na kukutunza kwa upendo mkubwa.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 10 дней назад +2

    Allahu akibarr. Subuhanallah Allah amponye kwa uwexo wake 🤲

  • @JumbeRajab-x7c
    @JumbeRajab-x7c 11 дней назад +5

    Mungu atampa afya njema inshallah

  • @NancyWambui-fj6gx
    @NancyWambui-fj6gx 10 дней назад +2

    Pole sn mungu kubuka huu mama na mwenye kama hawa

  • @FransiscaThomas-zs4nn
    @FransiscaThomas-zs4nn 11 дней назад +2

    NAOMBA mungu akuponye umtumikie yeye ni kila KITU uzima uko mikononi mwake pole sana dada.

  • @blessedggithinji6192
    @blessedggithinji6192 10 дней назад +3

    Yes ipassed through this God as how you healed me,heal my sister and shamed all her enemies 🙋🏼‍♀️🇰🇪👆🏼

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 11 дней назад +7

    Kuzaa si kunya mungu akupe nguvu mdogo wangu 😢

  • @AnnaMichaely-yn2vm
    @AnnaMichaely-yn2vm 10 дней назад +2

    Pole dada angu mungu atakuponya endelea kumtumai n

  • @ImanRamadhani-z2u
    @ImanRamadhani-z2u 10 дней назад +2

    Pole sana kikubwa zidi kumuomba mungu

  • @lodalusaka
    @lodalusaka 9 дней назад +2

    Pole dada mungu awe pamoja nawe

  • @LeahWilliam-i3z
    @LeahWilliam-i3z 10 дней назад +2

    Pole sn mungu yupo pamoja nawe utapona tu

  • @masitaanne5139
    @masitaanne5139 4 дня назад +1

    Mungu naomba umponye huyu dada na anapoenda kupona na dada florence pia apokee uponyaji in Jesus name Amen

  • @johnmeshack4431
    @johnmeshack4431 10 дней назад +2

    Pole sana dada usijali mungu yupo pamoja nawe

  • @sabatoager
    @sabatoager 9 дней назад +2

    pole kwakwe mungu hatamsimami

  • @amanimakombe7141
    @amanimakombe7141 10 дней назад +2

    Mungu akuponye dada na mwanao atabarikiwa sana

  • @SesiliaMkude
    @SesiliaMkude 10 дней назад +1

    Mungu wetu nimwaminifu sana atakuponya autakufa umlee mtoto pole kipenzi mungu afanye miujiza kwako

  • @DevothaJuma-s2y
    @DevothaJuma-s2y 10 дней назад +2

    Meenyez mungu mwenye rehema na huruma naomba umponye huyu dada, awe naafya kama awali tenda miujiza mungu wetu usieshindwa chochote

  • @HappyHappy-k4j3i
    @HappyHappy-k4j3i 8 дней назад +1

    polesana dada mungu atakusaidia maama hakuna jambo gumu linalo tushinda yeye asili tatue

  • @SalomeMugisha
    @SalomeMugisha 10 дней назад +2

    polen mlete kwa kuhani musa richard mtumishi wa mungu atamsaidia sio kila kitu hospital mambo mengne mkabidhi mungu muangalie ktk mtandao atakusaidieni

  • @AchanaJudith-w7v
    @AchanaJudith-w7v 7 дней назад +1

    Watching from Nairobi kenya

  • @Oman-s7f8u
    @Oman-s7f8u 10 дней назад +2

    Pole sana mungu akubariki

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 7 дней назад +1

    Eee Mungu,, kaa nasi tupe amani ya moyo na afya njema. Shetani anatutesa sana

  • @RevocatusMasunga-f6p
    @RevocatusMasunga-f6p 8 дней назад +2

    Mungu tenda muijiza kama ulivyo tenda Kwa razaro mtie nguvu mama huyo aliye chin ya. Godoro ameen

  • @PendoMkenda-m6i
    @PendoMkenda-m6i 10 дней назад +2

    Mungu mpe uponyaji mama yake pris akapate Tena furaha duniani mungu ndomponyaji

  • @ChristopherMsogoth
    @ChristopherMsogoth 10 дней назад +1

    Mungu amsimamie apone na muuguzi mwanae amtie nguvu . Mungu atende maajabu maana hashindwi

  • @HappyTanga
    @HappyTanga 10 дней назад +2

    Mungu akufanyie wepesi

  • @MaryamM-t5n
    @MaryamM-t5n 10 дней назад +1

    Pole dada mungu wetu sote ajawai kushindwaa

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 7 дней назад +2

    Mtt wakiume lkn ana moyo wahuruma kupita kias hongera sana kijana mwenzetu kwakuthamini nakuijua dhaman yamama😢😢😢

  • @happymangesho1139
    @happymangesho1139 10 дней назад +2

    Mungu akuponye dada

  • @PaulinaJohn-g8z
    @PaulinaJohn-g8z 9 дней назад +2

    Pole sana mungu akutie nguvu 🙏🥲

  • @StephenKioko-m6x
    @StephenKioko-m6x 7 дней назад +1

    Our good GOD have Mercy on her.

  • @AchanaJudith-w7v
    @AchanaJudith-w7v 7 дней назад +1

    ❤❤❤you will be fine in God s name trust me

  • @mariaprospar8769
    @mariaprospar8769 9 дней назад +2

    Pole sana

  • @BanglaBangla-t2t
    @BanglaBangla-t2t 10 дней назад +2

    Pole sana dada

  • @CarolineThadei
    @CarolineThadei 5 дней назад +2

    Mungu baba ulie ketima hala pajuu nyosha mko wako mponye mama huyu arudi kakika Hali yake ya kawaida

  • @FrolenceWampinda
    @FrolenceWampinda 9 дней назад +2

    Mungu ata simama na nyie amen

  • @Dafetty
    @Dafetty 11 дней назад +1

    Subhannallah mtihani kwakwel pole sana kijana😢😢

  • @hamisanalinga8585
    @hamisanalinga8585 11 дней назад +1

    Pole sana Mungu wetu ni mwema wakati wote atamponya serikali na jamii isaidie matibabu hospital

  • @KantonoZauja
    @KantonoZauja 9 дней назад +1

    Pole sana Dada wangu

  • @SelemanJumanne-j2n
    @SelemanJumanne-j2n 8 дней назад +1

    Poleni sana ndugu zanguni

  • @blessedggithinji6192
    @blessedggithinji6192 10 дней назад +3

    All boychild be blessed my son use to take care of me like this👆🏼while iwas in sick condition atapona hakufi if its me today am alive my son usikate tamaa your mum will be ok in Jesus might name 🙋🏼‍♀️🇰🇪

  • @GraceAfesi
    @GraceAfesi 10 дней назад +2

    Mtotomuombee mama kwa Mungu atapona

  • @ModestaMassawe-br1bw
    @ModestaMassawe-br1bw 9 дней назад +2

    Bwana naomba weka njia pasipokuwa na njia mponye Mungu wangu mpelekeni kwenye maombi please!!

  • @AchanaJudith-w7v
    @AchanaJudith-w7v 7 дней назад +1

    You will stand back on your feet again just believe in God almighty he is the healer

  • @MaryWangui-kf2jy
    @MaryWangui-kf2jy 9 дней назад +2

    Mungu akuponya

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 7 дней назад +2

    Dah kumbe uzur ndo afya bila afya kumbe hakuna uzur inasikitisha sana😢😢😢😢😢😢

  • @rehemamartin4574
    @rehemamartin4574 7 дней назад +1

    😭😭😭😭 eeeh mungu naomba mponye mama huyu

  • @salumsalumrobert
    @salumsalumrobert 10 дней назад +1

    Mwenyezi mungu akuponye

  • @EmilyObwaka
    @EmilyObwaka 10 дней назад +2

    Pole be Strong My Sister 😢

  • @Fatma-gf4xd
    @Fatma-gf4xd 10 дней назад +2

    Naumiya jamani mmenikumbusha mbari sana hadi narya😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

  • @Grace-q2b4u
    @Grace-q2b4u 10 дней назад +1

    Pole na mungu akuponye

  • @Preetyamshy.
    @Preetyamshy. 10 дней назад +3

    🤲🤲🤲 mungu muponye🙏

  • @DominicaKilingo
    @DominicaKilingo 11 дней назад +1

    NAKUMBUKA dada angu Aliisha hivihivi nilihangaika nae ,pole Sana duu

  • @JanethJulius-y9e
    @JanethJulius-y9e 9 дней назад +1

    pole Sana my uta pona tu

  • @GladyKazungu
    @GladyKazungu 8 дней назад +2

    Mungu ni mwaminifu

    • @roqayaro9439
      @roqayaro9439 8 дней назад +1

      Busiombe mungu aitoe loho yake mama yako unamkosea mungu mda wske ukifika atamchukua mungu

  • @witty-g8z
    @witty-g8z 10 дней назад

    Ni Mungu wa second chance, may he remember you and raise you up in Mighty name
    j

  • @Fatma-gf4xd
    @Fatma-gf4xd 10 дней назад +3

    Poremama mungu mkubwa utapona🙏😭

  • @HalimaIssa-i3o
    @HalimaIssa-i3o 11 дней назад +2

    Pole mtoto ala atupe mwisho Keema

  • @PendoPeter-rr4jk
    @PendoPeter-rr4jk День назад +1

    God is good.

  • @CleanNgoda
    @CleanNgoda 9 дней назад

    Pole sana mungu ampe afueni shetani ni omba mungu atatenda😢😢😢😢😢

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 11 дней назад +1

    Ewe Mmungu amfanyie wepesi mja wako umpe nguvu apone amiina😭😭

  • @PeninahGichuki-z7x
    @PeninahGichuki-z7x 9 дней назад +2

    Lord have mercy on her and her Son😂

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 8 дней назад +1

    Akapumzike mnajua huko anapokwenda allah amfanyie wepesi atapona

  • @GraceAfesi
    @GraceAfesi 10 дней назад +2

    Mungu wetu hashindwi kwalolote maana yeye nizaidi yamadaktari

  • @NaomiChepkorir-pc4qr
    @NaomiChepkorir-pc4qr 8 дней назад +1

    Mungu Yuko atakuponya

  • @Sharifakhamis-vx2ne
    @Sharifakhamis-vx2ne 10 дней назад +1

    Pole Sana jamni daaa

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 День назад +1

    Mungu wewe upo naomba umkomboe na mateso hayo

  • @GraceAfesi
    @GraceAfesi 10 дней назад +1

    Mungu wetu nimwaminifu maana Mungu nizaidi yamadaktar

  • @katherinasamwel3937
    @katherinasamwel3937 11 дней назад

    Pole sana dada Mungu akuponye

  • @vickRagogi
    @vickRagogi 10 дней назад +2

    Ipo siku Mungu atayafuta machozi yetu😢😢

  • @ZakayoSanga-ge4jr
    @ZakayoSanga-ge4jr 9 дней назад +2

    Mungu kama ww umeluhu majalibu yamkute huyu mama basi mapenzi Yako yatimizwe, nakama hujaluhusu majalibu yam kute bas mapenzi Yako yatimazwe,

  • @Asiaha-l7q
    @Asiaha-l7q 11 дней назад +8

    VUMILIA KAKANGU USIMUOMBEE MAMAKO KIFO HILO NI DHAMBI KUBWA MUOMBEE UZMA

  • @timothyotieno2124
    @timothyotieno2124 8 дней назад +1

    GOD still loves you ❤

  • @rtpowercell-h1p
    @rtpowercell-h1p 9 дней назад +2

    Mungu mutie nguvu huyo mtoto na mama ke umuponye

  • @ChristineNjuguini
    @ChristineNjuguini 10 дней назад +1

    Mungu angilie afya yake

  • @MajemePaul
    @MajemePaul 4 дня назад +1

    Wacha mapenzi yake mungu yatendeke

  • @CharityChao
    @CharityChao 10 дней назад

    Pole sana Mungu akuonekanie

  • @yasminally1015
    @yasminally1015 10 дней назад

    Asallam maalequ Allahadulilah Allahadulilah Maashallah Maashallah Allah hjelp you Ishaallaha Ishaallaha Allahadulilah ❤❤❤❤❤

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 11 дней назад +2

    Jmn mungu upo

  • @ZachariaOino
    @ZachariaOino 7 дней назад +1

    Quick recovery 🙏