CAMERA ZA SIRI ZILIVYONASA WIZI WA MAMILIONI / WAZIRI BASHE AWA MKALI, "INATOSHA".

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 май 2024
  • CAMERA ZA SIRI ZILIVYONASA WIZI WA MAMILIONI / WAZIRI BASHE AWA MKALI, "INATOSHA". #breakingnews #trending
    GADI TV ndiyo
    Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: gaditvhabari@gmail.com
    Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV
    Thanks.

Комментарии • 246

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 25 дней назад +31

    Mh. Bashe kwa kuwa upo kwenye kusema ukweli kutetea haki zipatikane kwa wanaostahiki kutetea wanyonge Allah akusimamie akuhifadhi akujaalie elimu busara hekma na ujasiri

  • @zuwenarajab6675
    @zuwenarajab6675 25 дней назад +25

    Waziri Bashe na waziri Silaa nawakubali sana. Allah awahifadhi na walinde na kila shari.

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 25 дней назад +11

    Mwenyezi Mungu akulinde Mh BASHE . Iendelee kuwapigania Wakulima wa TZ.

  • @abdulrahmanally1412
    @abdulrahmanally1412 25 дней назад +18

    Bashe you are the outstanding Minister and you deserve more

  • @shabaniramadhani8026
    @shabaniramadhani8026 25 дней назад +26

    Una sifa zote za Uwaziri brother

    • @EK-kp2np
      @EK-kp2np 24 дня назад +1

      Zaidi ya uwaziri 🤲

  • @thomassenga2526
    @thomassenga2526 25 дней назад +17

    Safi kabisa kijana piga kazi

  • @hillshipping5117
    @hillshipping5117 25 дней назад +5

    Kwakweli wewe Bashe,slaa Allah awalinde kwa hassada zao wanao taka kuwachafua mnaweza na mtaweza zaid hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke inshaAllah

  • @user-il5pk2dr5n
    @user-il5pk2dr5n 25 дней назад +12

    Wanatupiga sana mkuu ata kwenye mbaazi..

  • @vivianjosephsamwelimushi2345
    @vivianjosephsamwelimushi2345 24 дня назад +6

    mungu akusimamie kwa kazi nzuri waziri bashe uwazi ndio maendeleo ya taifa

  • @55goodmen
    @55goodmen 25 дней назад +23

    Huyu Mh Bashe is hard worker jamani abarikiwe sana hes intelligent wise and genuinely PAN AFRICANiST...Africa we badly need these heros i believe he can be even be a President !!!

  • @allynassor1119
    @allynassor1119 25 дней назад +4

    Nakuelewa ktk kupambana na haki mungu akuongoze ktk kusimama na Tanzania

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 6 дней назад

    Hongera Mr Bashe wafungwe jela maisha hao hawafai

  • @danielmsuya720
    @danielmsuya720 4 дня назад

    Bashe Ubarikiwe sana wewe Kijana Mungu akutunze.

  • @upendoeliya7682
    @upendoeliya7682 21 день назад +1

    BASHE MUNGU BABA AKUPE UHAIIIII MREFUUUUI
    NAKUPENDAGA SAAANA 💕

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 25 дней назад +6

    Mh, Bashe mimi siku zote nasema Ushirika ndiyo chanzo cha umasikini katika Nchi hii

  • @mwaisumbemwaisumbe2585
    @mwaisumbemwaisumbe2585 25 дней назад +8

    Brilliant minister 👏

  • @adeltuszakumuha9618
    @adeltuszakumuha9618 25 дней назад +8

    kila siku CAG anasema wizi hakuna kinachofanyika.

  • @peterlangay6469
    @peterlangay6469 25 дней назад +9

    Ila nimefikiria sana nikagundua kumbe tanzania watu wenye uwezo wa kuwa maraisi wapo wengi sana shida ni kuangaliana usoni tu

    • @ThomasIkerrs
      @ThomasIkerrs 24 дня назад +2

      Wapo wengi,ila hawatakiwi, kwa kuwa wanazuia kula za watu.

  • @JacksonMtese-gn4so
    @JacksonMtese-gn4so 25 дней назад +9

    Bravo

  • @nazraseiban1082
    @nazraseiban1082 7 дней назад

    Surely you are a patriot...congrats👏👏👏

  • @bharyasarbjit1187
    @bharyasarbjit1187 19 дней назад

    Hongera sana sana sana Mhe Bashe wewe Simba kabisa you know how to Handle Tapelis so keep it up Help the Poor Hardworking Farmers. Hongera sana kwako na RC songwe. God bless you Always..

  • @saidkhalifa34
    @saidkhalifa34 15 дней назад

    Huyu nikweli msaidizi mzuri wa mh Rais hongera sana mh Rais

  • @user-je5uc6bd8m
    @user-je5uc6bd8m 7 дней назад

    Mungu akuepushe. Na mahasidi. Wasiotaka maendeleo ya watanzania

  • @user-mp6zd2ui7r
    @user-mp6zd2ui7r 25 дней назад +17

    Mama ukimaliza mdawako mungu akijalia muangalie huyu bashe mpigie hatadebe awe raisi wetu,

    • @kasimkassam9565
      @kasimkassam9565 25 дней назад +1

      makonda naye y uko vizuri sanaa

    • @adeltuszakumuha9618
      @adeltuszakumuha9618 25 дней назад

      Acha hizo

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 25 дней назад

      ​@@adeltuszakumuha9618asilimia kubwa ya wanaocomment humu wanajaji mtu kwa kazi moja tu nzuri waliyoiona.

    • @valenakomba7686
      @valenakomba7686 24 дня назад

      JAMANI UCHAGUZI WA 20/25 TUUANGALIE UPYA. YUSIMCHAGUE MTU KWA KUMUONEA HAYO. TUWE WAKWELI JAMAANI..HASA SISI TUNAOTESEKA KIMAISHA TUANGALIE SANAA .

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 24 дня назад

      Hapa tunaongelea bashe na sio makonda Wala madereva

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 25 дней назад +13

    Ufisadi tu,mko kuleana, nchi ni shamba la Bibi kweli,mama anakula nao mafisadi wenzake, RIP JPM

  • @MARKOLuoga-lx9yw
    @MARKOLuoga-lx9yw 25 дней назад +8

    Hata kwenye mahindi tozo ninyingi mheshimiwa wapunguze

  • @sabinuskomba2535
    @sabinuskomba2535 25 дней назад +3

    Very excellent, Mwenyezi Mungu akulinde

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 25 дней назад +2

    Watu wanaosimama kusema umweli vita yao huwa ni kubwa sana nakuombea sana Mungu akulinde na kila visasi juu yako kwa haya uliyosema wakisikia lazima watapanga vita na ww ndio maana nasema Mungu akulinde sana mh waziri bashe nchi hii Inamuhitaji sana Mungu watu hawana huruma kbs wamekuwa walafi kupindukia utadhani wataishi milele hapa

  • @deogratiusmakindamakinda3797
    @deogratiusmakindamakinda3797 20 дней назад

    Mungu ni mwema kazi nzuri waziri bashe siku zote msema kweli hapendwi

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 24 дня назад +1

    Musimusahau ally happy wapo watatu tu bashe silaa nahuyu jamaa wapo vzuri sana munguawalinde

  • @NescharlesMalando-xm6lg
    @NescharlesMalando-xm6lg 25 дней назад +6

    Safi kbx bashe!!tunahtaji viongoz kama wew!!

  • @user-bm5ov6kx3c
    @user-bm5ov6kx3c 25 дней назад +1

    ❤❤❤❤duuu amakweli sisi tu ndio tunakula ugali dagaa hii nchi inapigwa tungefanana na Dubai

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 24 дня назад +1

    Waziri bashe mtuu wamaana kabisaa asante sana na mungu akubariki na ambariki raisi kwa kukuteua kututetea wakulimaa mtu wamaana kabisa

  • @sebastianmwakulya8146
    @sebastianmwakulya8146 24 дня назад +1

    Safi sana mh waziri unjua na mungu akubariki endelea

  • @khomeinially3165
    @khomeinially3165 22 дня назад

    ❤Mashaa allaah Mashaa Allah wallah nakupenda sn kwaajili ya aallah uko sawa n unaumakin sn ktk wizara yko allah akuongoze n akunusuru n hasad inshaallaah

  • @iddimakunguto3143
    @iddimakunguto3143 25 дней назад +2

    Ongera sana mh.

  • @petromasolwa9754
    @petromasolwa9754 25 дней назад +6

    God bless u Bashe

  • @matildayasini1777
    @matildayasini1777 22 дня назад

    Mh. Bashe Allah akusimamie katika shughuli za kuleta maendeleo na kuinua kipato kutokana na kilimo nchini Tanzania.

  • @BigoIshanshu
    @BigoIshanshu 24 дня назад +1

    Mungu wangu, Bashe ni JPM mtupu, mungu amlinde baada ya samia tunahitaji kiongozi wa namna hii

  • @TwahiliMassudi
    @TwahiliMassudi 25 дней назад +2

    Saf sana mkuu wa kilimo umetishaa mkuu

  • @DM_15
    @DM_15 25 дней назад +1

    Sasa brother Husen Bashe kwanini tusikuombee kwa Mungu maisha yako iwe njema! Trust me Mungu kasha sikia hiisauti yangu kitoka ndani ya moyo wangu naye Babayangu wa mbinguni atakubariki sawa sawa na impendezavyo. Amen

  • @innocentkyungai1138
    @innocentkyungai1138 22 дня назад

    Naomba mungu uje kupewa Uraisi nchi hii

  • @angelnicholaus9248
    @angelnicholaus9248 22 дня назад

    Kweli hii wizara inakufaa,nakukubali sana mr.Bashe.

  • @hillshipping5117
    @hillshipping5117 25 дней назад

    MashaAllah, Allah akusimanie kwakweli wakulima tunaumia mm nimeanza kilimo mh bashe kaza hivyo hivyo wacha wapige miruzi hawalijui wafanyalo nikweli wanataka kukuchafua Allah atakuengua kwa hassada zao hawata kupaka matope hao waongo pambana Bashe msaidie mama samia huna baya wache na laana zao pambana Allah atakunusuru kwa kila mabaya yao wataadhirika hao.

  • @StellaSamora
    @StellaSamora 24 дня назад

    Mungu akulinde jamani

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 22 дня назад

    Mwenyezi mungu akupe uzima na afya uendelee kuwatetea wakulima

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 24 дня назад +1

    Saf sana bashe huwa nakukubali endelea kutetea wanyonge ilitakiwa wafikishwe mahakamani ila ndoivo tena

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 21 день назад

    Watanzania tumlinde❤

  • @isayaamulike
    @isayaamulike 17 дней назад

    Sihangaiki na udhaifu wako
    Nazingatia tu ubora wako Mungu akulinde mheshimiwa

  • @FidasMwaiteghelesya-hw9qs
    @FidasMwaiteghelesya-hw9qs 24 дня назад

    Hongera Bashe ila siasa safi sana alie tufunga ndiye alie tufungua sisi ni asante

  • @HulumaKisakali
    @HulumaKisakali 25 дней назад

    Asante wazili Mungu akulinde unatutetea wwanyonge tunaibiwa sana

  • @user-cf9oi4xr9n
    @user-cf9oi4xr9n 22 дня назад

    Nakukubali sana

  • @Kim19onlinetv
    @Kim19onlinetv 18 дней назад

    Huyu BASHE is very important minister in our country

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 24 дня назад +1

    Mawaziri ni wawili tu, Mh bashe na Mh Jerry slaaa

  • @margarethmwaibasa3697
    @margarethmwaibasa3697 24 дня назад

    Waziri Bashe Yesu wangu akulinde dhidi ya wasiopnda kuambiwa ukweli.Hakika wewe ni shujaa usiogope Mungu atakuwa upande wako atakulinda utokapo na uongiapo na ulalapo.

  • @tiijuma795
    @tiijuma795 25 дней назад +2

    Ah mie napita tu sina uwezo wa kutafuta wakili anisimamie kesi. Ikiwa makofi kidogo waniite tu nije niyaongeze kw tukio lilofanyika🚴🚴🚴

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 25 дней назад +1

    You always smart. Big up

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 24 дня назад +1

    Mama nnaomba PM akistaf naomba BASHE awe pm.
    Mtanishukuru baadae

  • @-ef3wr1087
    @-ef3wr1087 24 дня назад

    Uko Sawa Tanzania Tunakupenda sana

  • @kamndemwakitosha1439
    @kamndemwakitosha1439 24 дня назад +1

    Wale vijana waliopelekwa kwenye Mashamba kulima, maendelelo vipi?

  • @husseinomary-dg1wx
    @husseinomary-dg1wx 22 дня назад

    Mungu akulinde ila hao ina bidi wauliwe maana wezi wanakufa ntafulai wakiukumiwa kifo

  • @allykalaile-ek3zg
    @allykalaile-ek3zg 24 дня назад

    safi sana muheshimiwa bashe upo vzr

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 21 день назад

    Oooh allah nakuomba mola wangu simamia haki itendeke kwa uwezo na utukufu wako

  • @PeterNMzee
    @PeterNMzee 24 дня назад +1

    Bashed, slaa, doto bila kumsahau makonda ingawa so waziri watanzania tunawaelewa sana

  • @user-xw1ty7pb8h
    @user-xw1ty7pb8h 23 дня назад

    tatizo viongozi wa Tanzania wanaujua ukweli lakini hawapo tayari kushuhulika na wezi wezi wanyongwe kama wachina wanavyonyonga wahujumu uchumi

  • @hizzasheshe3209
    @hizzasheshe3209 22 дня назад

    mh. kaka bashe asnte kwkusema ukweli unao waumiza wakulima ktik nchi hii mungu akulinde usk na mchana

  • @Jal210
    @Jal210 23 дня назад

    Great minister mheshimiwa Rais you have good section of the Kilimo minister

  • @user-xy9xf9re9y
    @user-xy9xf9re9y 23 дня назад

    Mungu akubaliki Kwa kusema ukweli ao Wacha Fu Wana sthaik kufukuzwa kazi mara1

  • @MasumbukoKilunga-mf7sg
    @MasumbukoKilunga-mf7sg 24 дня назад

    Huwa nakuelewa vzr Sana Broo

  • @EdwinMtokambali
    @EdwinMtokambali 25 дней назад +1

    Wewe ni mtoto wa mkulima kitengo umekiweza mh.waziri ✓

  • @robertgallus85gallus52
    @robertgallus85gallus52 25 дней назад +1

    Hili ni jembe haswa,Mungu akulinde Baba.Tunataka viongozi km wewe.

  • @nassorshaaban7295
    @nassorshaaban7295 25 дней назад +3

    Nakupenda sana kiongozi Acha Tumuombe Mola ajaalie uje kuwa Rai's Kwa Nchi yetu hii

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 25 дней назад

    Mungu ni mwema❤kaka bashee Mungu akutunze sana ulinzi mkubwa ni Mungu tu

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 24 дня назад

    safi sana mh mbashe nakuelew sana bro

  • @PraisefulFAITH-pr8sc
    @PraisefulFAITH-pr8sc 24 дня назад

    Upo vizuri mhe.

  • @ahmadseaman3487
    @ahmadseaman3487 22 дня назад

    masha Allah
    thanks so much

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 24 дня назад

    Hawa ndio aina ya mawaziri tunaowataka kwenye nchi hii. Hongera Mhe. Bashe but take care kwani wapo wataochukia

  • @Mina.15
    @Mina.15 23 дня назад

    Good job 👏 my cousin we love you 🥰 🇺🇸🇺🇸

  • @ebitariho9720
    @ebitariho9720 25 дней назад +1

    Hizi ndio kazi za intelligence inatakiwa ifanye . Sio mambo ya kukimbizana na chadema

  • @WaibiFrederick
    @WaibiFrederick 24 дня назад

    Stabilization fund very good approach. to agricultural development program for our farmers.

  • @officialmubytz1076
    @officialmubytz1076 19 дней назад

    Mheshimiwa anafanya kazi nzuri Sana
    Ila asimamie pia uonevu unaufanya serikali kwa wafanyakazi wa uma kwenye kikokotoo

  • @paulremigiuspaul3293
    @paulremigiuspaul3293 25 дней назад

    Stay blessed Mkuu

  • @user-oo3kc2cj8n
    @user-oo3kc2cj8n 25 дней назад

    Ukiwa bungeni ni hv sasa big up sana bashe sio kama wengine kazi yao kunyoosha tu tai na kupiga makofi hawachangii maendeleo apana

  • @restcyprian1598
    @restcyprian1598 22 дня назад

    Fanya kazi mh. Ndiyo maana watoto wa maskini hawapati haki

  • @ScolasticaKinyage
    @ScolasticaKinyage 24 дня назад

    Mungu akubariki baba.

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 24 дня назад +1

    Slaa wazili wa ardhi na mpina ndio nawakubali

  • @bahatikamihanda3689
    @bahatikamihanda3689 25 дней назад +1

    Ndg zangu watu kama Bashe wapo ingawa ni wachache,tatizo ni kwaba juhudi zao haziugwi mkono na mfumo utakuta wote walio usika ktk wizi huu wataendelea kupeta tu! Mwisho wasiku Bashe atapigwa chini atawekwe mwana siasa fulani kama Nape tutarudi kulekule.

  • @innocentkyungai1138
    @innocentkyungai1138 22 дня назад

    You deserve to be president of this country

  • @proscoviarwegasira4946
    @proscoviarwegasira4946 25 дней назад +4

    Sasa hiyo ni wizara ya kilimo, je wizara zingine kuna usalama?

    • @rabomunde3550
      @rabomunde3550 25 дней назад

      Mmh!
      Ndugu yangu tunapigwa nchi hii

  • @julianamwalongo6047
    @julianamwalongo6047 24 дня назад

    Karibu Sana mtwara

  • @user-ne5cg4vv1h
    @user-ne5cg4vv1h 23 дня назад

    Kija yeyote wa JPM nikichwa Sana jmn

  • @user-jn2qj5wf6c
    @user-jn2qj5wf6c 24 дня назад

    Mh bashe ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️💯

  • @ssalimsalim3864
    @ssalimsalim3864 24 дня назад

    Sasa kama yametokea hayo na mnawajua jee! mnawachukulia hatua gani?maana tushayasikia sana hayo ila hatua za kisheria hatusikii kuchukuliwa zaidi watahamishwa wapelekwe sehemu nyengine.

  • @matungwaByarugaba
    @matungwaByarugaba 25 дней назад

    Tuna kukubali kaka.unaichapa kazi.Usisahau zao la miti hakuna bei wala aoko rasmi boss wangu.Nakuombea uzima kaka Bashe.

  • @abidandastanmaliyatabu1373
    @abidandastanmaliyatabu1373 22 дня назад

    Shida siyo hao watu kuchukua hela, shida baada ya kugundua wamechukuliwa hatua gani?

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 24 дня назад

    Sasa tumesikia kazi nzuri saana Waziri ongera sasa wezi mnawajua je mnachukua hatua gani kwa hao walio chukua Mabillion ili hayo yanarudishwaje

  • @ankoanko-zz7it
    @ankoanko-zz7it 21 день назад

    Du tanzania niabu kwa wizi huu.

  • @rosekimaro384
    @rosekimaro384 24 дня назад

    Wanani tena jamani je mnawafanya nni wapiga hela? Kelele za chura hizimnyimi Ng'ombe kunywa maji

  • @agathonkalolela9278
    @agathonkalolela9278 25 дней назад +4

    Mungu atakulipa bashe! Wewe ni mtu na nusu

  • @rosesemkiwa3338
    @rosesemkiwa3338 23 дня назад

    Mungu wangu simama na mtoto wako Bashe