"RAIS SAMIA AMENIRUHUSU -NITAPITA KILA WILAYA" -MAKONDA AWACHANA WANAOMPINGA KUWASIKILIZA WANANCHI..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 май 2024
  • "RAIS SAMIA AMENIRUHUSU -NITAPITA KILA WILAYA" -MAKONDA AWACHANA WANAOMPINGA KUWASIKILIZA WANANCHI...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 73

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Месяц назад

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 Месяц назад +15

    Kama unamkubari Mr Makonda ,jembe,Jiwe,Chuma,kama mimi gonga like twende sawa

    • @user-fo9cn6kx1s
      @user-fo9cn6kx1s Месяц назад +1

      Yaan nakubali sana jembe sana kiongozi makini

  • @richardmessayi9578
    @richardmessayi9578 Месяц назад +10

    Ulinzi wa Mungu uwe juu yako brother!!unafanya jambo jema sana na sisi kazi yetu ni kukuombea!

  • @maulidimopen1273
    @maulidimopen1273 Месяц назад +9

    Wewe ni Mwamba Makonda,
    Sisi kutoka Kenya,,
    We are Salute you ❤

  • @EliauMtishbi-os5ky
    @EliauMtishbi-os5ky Месяц назад +10

    Congratulations 👏 cna Mh. Makonda 🎉 piga kzi Mungu yupo mbele yako .

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur Месяц назад +5

    JEHOVAH MUNGU Mwema Akulinde na Uendelee mbele Muheshimiwa Paul makonda

  • @mustafanassoro-zv8fc
    @mustafanassoro-zv8fc Месяц назад +8

    Mheshimiwa makonda tunakupenda san tunamshkuru mama samia kutuletea arusha mwamba hyu sana

  • @mwamvuamagongo8163
    @mwamvuamagongo8163 Месяц назад +9

    God bless you ❤️🙏

  • @user-qe7or5jc1u
    @user-qe7or5jc1u Месяц назад +7

    Tunawambieni mkithubutu kumuua makonda au kumpa sumu kama mwemdazake safari tutaonana wabaya !!nchi hii niyasote jalibuni kumdhuru makonda muone!!!tunajua mijizi wapigaji wanaumia !!watu kama hawa nilulu ktk taifa mungu mlinde.

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur Месяц назад +5

    Huyu makonda ana walinzi hatari sana wengi wamevaa kiraia,pamoja na Ulinzi Mkuu wa JEHOVAH MUNGU

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Месяц назад

      Na pia ana ulinzi wa Allah pia tumuombee dua sote kwa pamoja.

  • @user-qq7eq2mm3y
    @user-qq7eq2mm3y Месяц назад +5

    MAkondo Mungu akulinde. Wanaomsema. Vibaya. MAkondo ni Wadhulumaji wa Haki za. Wananchi. RAISI. Samia mlinde Makonda Mtetezi. wa. Haki.

  • @paulm.kaponda2300
    @paulm.kaponda2300 Месяц назад +5

    Ubarikiwe

  • @KuluthumuAdamu
    @KuluthumuAdamu Месяц назад +7

    Yaan siamin km nimepew haki zangu kupitia huyu baba MUNGU akulinde

  • @bugapeasant1827
    @bugapeasant1827 Месяц назад +7

    Upo vzuri kaka piga kazi

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Месяц назад +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g Месяц назад +10

    Makonda oyeeee piga kazi Mwamba. Usikubali kukatixhwa tamaa 🎉

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s Месяц назад +9

    Wakuu wa mikoa mingine wafukuzwe,Abaki RC makonda tu

  • @user-xl3sr4jj4l
    @user-xl3sr4jj4l Месяц назад +1

    Hongera sana makonda kazi iendelee

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 Месяц назад +13

    Mheshimiwa rais samia ungepata watu wanaofatilia kero zawatu km makonda nchi ige nyooka tena mheshimiwa rais fuatilia kazi za makonda uone wananchi wako wanavyo teseka yani wanao kuwakilisha huku chini ni shida kisha wanakulisha matago pori

  • @user-rr1ri7nw7q
    @user-rr1ri7nw7q Месяц назад +5

    Makuombea sana mwanangu Mungu akulinde na madui

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Месяц назад +1

    Makonda Mungu akutunze mno chuku maua🎉🎉🎉

  • @user-zi1gp6dc2q
    @user-zi1gp6dc2q Месяц назад +2

    Yaan we kijana wewe yawezekana ni nabii toka moja kwamoja kwa mungu sio wakawaida natunakuombea usiku namchana ishi sana mdogo wangu

  • @user-lh4hx2wj6u
    @user-lh4hx2wj6u Месяц назад +4

    Hakika unastahili makonda

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 Месяц назад +2

    Mh karibu karatu Yani nakupenda sana

  • @user-zi1gp6dc2q
    @user-zi1gp6dc2q Месяц назад +3

    Kwastahili hii vyama pinzan watulie kwanza maana nfo haki wanazozihitaj

  • @FrolenceRogath-fv6ku
    @FrolenceRogath-fv6ku Месяц назад +2

    Piga kaz mzee makonda anaetaka kuzofisha kaz yako . Milima mabonde na mawe yatapaza sauti

  • @user-hu3bz3lv7s
    @user-hu3bz3lv7s Месяц назад

    The voice of the voice less !

  • @RashidMadoti
    @RashidMadoti Месяц назад

    Wanao elewa sana niwatu walio one wa nakuzulumiwa mungu akukinge mwamba wangu

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np Месяц назад +2

    Hakiamungu mukimua makonda. Tunajuwa kwamba memejipanga. Kumutowa roho. Musisubutu. Wana inchi wote tutavaa gwanda tuingiye vitani

  • @LudovickTibakyenda-gs2wh
    @LudovickTibakyenda-gs2wh Месяц назад

    Daaaah kawaaibisha hao maaskari

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 Месяц назад

    Jembe tungetakiwa tuzaliwe tumbo moia mimi na wewe unafanya kama rooni mwangu ninavyotaka ingawa sina mamlaka kama yako!!All the best Mdogo wangu,Mungu akutangulie

  • @DeoKimbe-gt4op
    @DeoKimbe-gt4op Месяц назад +2

    Mh makonda na sraa wa ok architecture

  • @aishamtwana1323
    @aishamtwana1323 Месяц назад

    Naomba hiki kinachofanyika na muheshimiwa Makonda iwe ni kama mfano wa kuendelea kifanyike mikoa yote ya Tanzania na iwe ni zoezi endelevu asante

  • @user-qj2fz8uq3j
    @user-qj2fz8uq3j Месяц назад +2

    Nilkua nihame chama ila kwa 7bab ako siham

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 Месяц назад +1

    Mheshimiwa uanze arumeru maana kuna maajabu kabisaaaa barabara zinazotengenezwa huku ni kituko cha mwaka kila mwaka wanamwaga kifusi

  • @IddMMhina
    @IddMMhina Месяц назад +3

    Piga kazi makonda, tuko nyuma yako

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np Месяц назад +2

    Magufuli kaacha jembe lakazi kabisa. Kama ange kuwa raisi munge yatimba Tanzania

  • @maulidimopen1273
    @maulidimopen1273 Месяц назад +3

    Makonda wakenya tuko nyuma yako

  • @lucasmlowezi9214
    @lucasmlowezi9214 Месяц назад

    Mwamba sana huyu jamaa, tumuombee kutafuta haki ya wananchi ni vita kali sana. Mungu amsimamiee huyu mwamba

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад

    Chadema hawaitaki Zanzibar halafu chama chao kiko Zanzibar

  • @user-hu3bz3lv7s
    @user-hu3bz3lv7s Месяц назад

    Wanakasirika kwa sababu wa nataka kuendelea kuwanyonga. wanyonge wasipate haki zao

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Месяц назад

    Ccm oyeee

  • @SiadMdoe
    @SiadMdoe Месяц назад

    Makonda tosha

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад

    Makonda umejipanga

  • @jumanayopa
    @jumanayopa Месяц назад

    Kwa hakika makonda ww ni bonge la kiongozi yaani kila mwananchi anatamani awe na kiongozi kama ww

  • @maulidimopen1273
    @maulidimopen1273 Месяц назад +3

    Baada ya Magufuli ni wewe Makonda tuu,
    Wa Kenya tunakupenda.

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx Месяц назад

    Samia siamlete mwingine kama makonda ?

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha Месяц назад

    Huyu angejua ndiyo kero namba moja. Hakuna chawa anayeweza kuwa na faida na yeyote hata yeye mwenyewe. Chawa ni chawa.

    • @samwelilazaro2835
      @samwelilazaro2835 Месяц назад

      My friend,, hata kama yeye ni kero,, sawa,, ila kikubwa watu wametoa ya moyoni na yamesikika

  • @mussamussa9446
    @mussamussa9446 Месяц назад +2

    dogo tatizo lako ni dharau kwa wengine, watu wapo kazini unawadhalilisha.

    • @BennihinnyHerman
      @BennihinnyHerman Месяц назад

      Kazi ni ipi!!! Hiyo ndiyo kaziii

    • @emmanuelbernard9552
      @emmanuelbernard9552 Месяц назад +6

      Kama wao wamewadharau wananchi kutokutatua migogoro unatetea nini hapo? Pengne na ww ni wale wale tu. mliofikiwa na Makonda.

    • @samwelsimon7392
      @samwelsimon7392 Месяц назад +3

      jinga wewe tumika vzr tu makonda atawanyosha tu mtanyoka

    • @josephatjordan2150
      @josephatjordan2150 Месяц назад +1

      Ww umewahi dhurumiwa ww au na ww ni mwizi?

    • @user-xd9kw6nt8w
      @user-xd9kw6nt8w Месяц назад

      Iko hiviii anawadharau wanadharau wanachi kwa hiyo wenye dharau hawana jipya wameshagundulika ndo wale wenye wivu wasiotaka kazi ya Makonda akiwepo wewe hapo

  • @SiadMdoe
    @SiadMdoe Месяц назад

    Kuna kero ya umeme hapo madumu makonda fanya mpango ufike

  • @user-fw8wm2xd8x
    @user-fw8wm2xd8x Месяц назад

    Ccm ndo waliotengeneza hlo tatizo hiyo ni kik za uchaguzi ngoja uchaguzi upite kma utatea watu wezi TU Anza na mawazir waliokula mabilion mkaguzi amethibitisha pia Anza na tanesko