ARUSHA KIMEUMANA! MAKONDA AMBANANISHA MWANANCHI - ''KUUZA KIWANJA MARA MBILI, RPC NAOMBA MWEKE NDANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 май 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 257

  • @teachingtruthmission2140
    @teachingtruthmission2140 Месяц назад +72

    MAKONDA angekuwa mwenyekiti wa wakuu wa mikoa

  • @teachingtruthmission2140
    @teachingtruthmission2140 Месяц назад +26

    MAKONDA nakuombea sana Mungu akupe hekima na maisha marefu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Месяц назад +48

    Makonda anapendwa sanaaaa kwa kazi yake nzuri namuombea kwa Mungu awe Rais baada ya Mama Samia akimaliza 2030

  • @haidarykufakunoga8869
    @haidarykufakunoga8869 Месяц назад +9

    Hapo ndipo ninapokupendea MH. MAKONDA.👍👍👍

  • @user-vb9ci1wl5e
    @user-vb9ci1wl5e Месяц назад +21

    Duh makonda ww unaweza, nimesikia ukisema tia ndani huyu

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 Месяц назад +41

    Hahahah nchi hii kuna vituko kweli! Kesi nyepesi kama hiyo ukijiroga kwenda mahakamani kesi miaka kumi! Makonda asanteh!

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 Месяц назад +14

    Makonda mungu akubariki sana sana

  • @hamisimahenge5807
    @hamisimahenge5807 Месяц назад +2

    Mungu akupe maisha marefu sana Mr. Paulo Makonda!!!!

  • @SaidiMgoa
    @SaidiMgoa Месяц назад +10

    Mungu akulinde mh makonda. Na usirudi nyuma kwa msimamo wako

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 Месяц назад +3

    HONGERA SANA MH. MAKONDA.... YOU ARE THE REAL LEDER INDEED..... Mungu azidi kukubariki maishani na pia akulinde kwa kila jema unalolifanya....#UBARIKIWE SAAAAANA

  • @user-dt7ec3tr2v
    @user-dt7ec3tr2v 26 дней назад +2

    Hongera!👏👏👏👏👏 uko vzuri Chapa kazi usiogope mtu Allah atakusimamia🤲🤲🤲🤲🤲 uyo asitoke ushaidi umejitoshereza ivi kwa mtindo huo tutafika kweri😂😂😂😂😂😂

  • @leonardkinanda3284
    @leonardkinanda3284 27 дней назад +2

    Mh:Makonda hakuna mshahara wakukutosha ! Kazi yako ipate kibali machoni pa Mungu! Maombi yng ni Mungu akupe afya nzuri na maisha marefu sana,

  • @HassanMpanda-jx9bg
    @HassanMpanda-jx9bg 5 дней назад

    Safi Sana rc

  • @thedon8467
    @thedon8467 Месяц назад +24

    DAA HUYU JAMAA HODARI SANA MASHAALLAH UONGOZI ANA UWEZA

  • @ImmaThelonewolf-bk2cx
    @ImmaThelonewolf-bk2cx Месяц назад +9

    Daaaaah Makonda weee Mungu akuweke

  • @georgeigogo9259
    @georgeigogo9259 Месяц назад +10

    Kazi nzuri sana

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Месяц назад +18

    Mzee analundikwa ndani kizembe kabisa. Nonsense

  • @andrewngussa9684
    @andrewngussa9684 Месяц назад +8

    Umetumia hekima kubwa sana kuamua hii kesi!! Uzidi Kubarikiwa Mhe!

  • @SamsonMalisa
    @SamsonMalisa Месяц назад +11

    Huyo mzee mchagga kaja kutafuta pesa😂😂😂😂😂

  • @OnesmoJoseph-xd1xh
    @OnesmoJoseph-xd1xh Месяц назад +3

    Daaaaah,,,Magufuri mwingine huyu jamani mungu ametuletea watanzania

  • @JeffJoeNya
    @JeffJoeNya Месяц назад +3

    Safi kabisa makonda kwa kazi nzuri

  • @paulomaligana3958
    @paulomaligana3958 7 дней назад

    Safi sana

  • @saxo-mm4me
    @saxo-mm4me Месяц назад +5

    Wazee wa Arusha wapigaji sana

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 Месяц назад +4

    Safi sana mheshimiwa...

  • @PiusMajo-sg6sc
    @PiusMajo-sg6sc 27 дней назад +1

    Safi sana tia ndani huyo

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Месяц назад +5

    Mwenzake alikuamini akakupa hela yake. We mzee utafia jela

  • @Pen960
    @Pen960 29 дней назад +1

    Makonda anawezaaaa!!! Proud of you Brother

  • @user-jd5ru7dr2r
    @user-jd5ru7dr2r Месяц назад +7

    👑 makonda piga kaz mkuu

  • @Iddybaidu
    @Iddybaidu Месяц назад +10

    Makonda piga kazi

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 Месяц назад +3

    Sijawahi kuona mtu mzee mjinga kama huyo maishani mwangu, big up makonda

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g Месяц назад +5

    Yani huyu mzee angekubali kutudixha pesa milioni 30 akakubali kumuachia huyu wa milioni 26 haya yote asingemtokea 😅😅😅Ona Sasa kajichongea eti mkataba umeguxhiwa 😅so 😅 Mh Makonda oyeeee piga kazi Mwamba wetu 💪💪💪💪💪 Asante makonda kazi nzuri Mungu akubariki, akusimamie kila hatua Dua

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 Месяц назад +2

      wachaga shkamoo offcose mi ni mchaga yaani siwezi kununua Mali au ardhi kwa kabila lijulikanalo kama wachaga

  • @user-fs4uh3id3c
    @user-fs4uh3id3c 29 дней назад +1

    Ee makonda mungu akupe uhai mrefu kwa kuwatetea watanzania

  • @tumahai157
    @tumahai157 Месяц назад +9

    Shilamoo makonda,wewe ni kiongozi kabisaaa

  • @user-mr3qg9iq5k
    @user-mr3qg9iq5k 29 дней назад +1

    Mungu akuweke mkuu una Hekima flani za Mfalme Suleman utafika mbali sana

  • @robertempire9542
    @robertempire9542 Месяц назад +2

    Safi sana Makonda huyo mzee ni mwizi

  • @apaelmbise635
    @apaelmbise635 Месяц назад +7

    Hii ndo Arusha 😂😂😂😂

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj Месяц назад +1

    Makonda don't worry for anything God will be with.you,for everything. We are back with you.haki huinua Taifa ball dhambi ni aibu ya watu.wote.Amen

  • @Danielmwasumbi
    @Danielmwasumbi Месяц назад +5

    Safiii sanaaaa

  • @user-pi1st6pj3w
    @user-pi1st6pj3w Месяц назад

    MUNGU Baba wa Mbinguni Akubariki Sana Mheshimiwa Mkuu Wa Mkoa Wa Arusha nakuombea Kwa YESU Akupe Ujasiri wake Milele Amina

  • @georgemallya4311
    @georgemallya4311 Месяц назад +1

    Hichi cheo wamekupa lakini unastahili cheo kikubwa zaidi ya mkuu wa mkoa.Mungu atakupa tu

  • @SaidShemkieti
    @SaidShemkieti Месяц назад +3

    Nilisema mbegu alizozipanda magufuli hazitopotea hv hv lazima zitachipua tu hope mnaona wenyewe

  • @abdalafaki
    @abdalafaki Месяц назад +1

    Mkondo Mungu akuongoze kaka Magufuli kaachajemb

  • @joshuanizigiyimana8409
    @joshuanizigiyimana8409 Месяц назад +2

    ❤❤❤ Makonda

  • @yohanasamwelnguti9098
    @yohanasamwelnguti9098 27 дней назад

    Dunia Ina mambo

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 29 дней назад

    😂😂tamaa silimuuwa mzee fisi

  • @msafiripascal2757
    @msafiripascal2757 Месяц назад +2

    Jamani mimibinafsi natamani niitwe makonda......mungu akubariki kakayangu makonda hao watu ndowanarurisha mafanyikio yawengine nyuma....makonda baba mungu akulinde daima

  • @hasanimohamedi279
    @hasanimohamedi279 Месяц назад +2

    daah makonda mungu akulinde

  • @swaiseif2989
    @swaiseif2989 Месяц назад +4

    Makondaa oyeee🔥🔥🔥🔥makonda kiboko yao😂😂😂

  • @revelianalphonce993
    @revelianalphonce993 Месяц назад +1

    makonda geneus

  • @laurentvicent
    @laurentvicent Месяц назад

    Mwenyezi Mungu awabariki azidi kukusimamia na kukupa hekima siku zote a

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 Месяц назад +2

    Makonda👍👍👍👍👍

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 Месяц назад +7

    Nais Mama anasikia na kuona kinachoendelea hivyo ndo ilivyo nchi nzima

  • @PiusMajo-sg6sc
    @PiusMajo-sg6sc 27 дней назад

    Narudia tia ndani huyo h

  • @user-wm4nd3dk1t
    @user-wm4nd3dk1t 21 день назад

    Uyomzee muhuni sana

  • @baloz8974
    @baloz8974 Месяц назад

    Hongera kijana mwenzangu

  • @KinogeTz
    @KinogeTz Месяц назад +6

    “Wale walokole wakataka kuniombea sana”😂😂😂😂

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d Месяц назад

      😂😂😂😂😂

    • @user-jl5zh6qi2w
      @user-jl5zh6qi2w Месяц назад +1

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅nilifika pale wale warokole walitaka kuniombea

    • @NasriMohammed-yw7lp
      @NasriMohammed-yw7lp Месяц назад

      Hahahw

    • @EmanuelyMbagalla-rt2vm
      @EmanuelyMbagalla-rt2vm Месяц назад +1

      Ahaahahhh
      Walokole wapuuzi sana, mwenzao anaenda kudai eneo wao wanataka kumuombea.

    • @jessechristinme3923
      @jessechristinme3923 Месяц назад +2

      Na maombi Yao yamekitia ndani Leo,,,,,,, huwez kushindana na walokole😂😂😂

  • @christopheritungi1228
    @christopheritungi1228 Месяц назад

    Huu ndio uongozi.

  • @paulolmabu7161
    @paulolmabu7161 25 дней назад

    Na hapo ni mkoa mmoja tu na hajatembelea mkoa wote. Ni picha halisi ya kinachoendelea kwenye maeneo mengine

  • @mjsenso9773
    @mjsenso9773 Месяц назад

    Mkuu huna baya!!

  • @user-eg6fz8jz3k
    @user-eg6fz8jz3k 5 дней назад

    Dunia hii matapeli mpaka wazee😂😂😂

  • @InnocentLeonard-gy1mn
    @InnocentLeonard-gy1mn 28 дней назад

    Huyu Mzee ukipnga kwakwe mh

  • @boskomushi8574
    @boskomushi8574 Месяц назад +1

    Makonda na kukubali sana jembe

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Месяц назад

    Mungu akulinde

  • @sumatraveler1957
    @sumatraveler1957 Месяц назад

    Duh jamani Bongo kuna watu wauni aisee Yaani mzee mzima hovyo kabisa. But mi sio shabiki sana wa MAKONDA ila kWa uamuzi huu bro Mungu akupe maisha Marefu .

  • @maneno_kairuki
    @maneno_kairuki 29 дней назад

    Honger sana makonda

  • @OthmanjumaJuma
    @OthmanjumaJuma Месяц назад

    Mungu akuweke hai makonda akupe mzima

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 Месяц назад

    Hongera Mh.Makonda

  • @mbokaandbahatitv8509
    @mbokaandbahatitv8509 Месяц назад +3

    Makonda nakuombea ulindwe na Mungu

  • @JescaMuyabi-ix8ly
    @JescaMuyabi-ix8ly 26 дней назад

    Hii Dunia inamambo

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 Месяц назад +1

    huyu mzee amepewa heshima sana na mkuu wa mkoa na ameikataa, mungu ampe nini sasa?

  • @tupacthedon7104
    @tupacthedon7104 Месяц назад

    Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda mtetezi wetu🎉

  • @mgosimkome9242
    @mgosimkome9242 27 дней назад

    Huyu mzee namjua jmn duuu

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku Месяц назад

    Ahsante Makonda.

  • @user-rl6vf9tg8m
    @user-rl6vf9tg8m Месяц назад

    Hayo mambo yapo nchi nzima

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Месяц назад

    Tamaa mbaya

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct Месяц назад

    Kazi nzuri makonda

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 Месяц назад

    Izo hela akanyee tepeli mzee

  • @user-bc2wd1sq3k
    @user-bc2wd1sq3k Месяц назад

    Natamani Sana nikuone makonda,mungu akubariki

  • @user-it6pm4rh8s
    @user-it6pm4rh8s Месяц назад

    Makonda daaah mungu akupe umri mrefu utasaidia weng

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 Месяц назад +2

    Nakupenda makonda asubui mchana na usiku tena usiku wa manane❤❤❤

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 Месяц назад

    Jizee tapeli hilooo

  • @allymahiyo2464
    @allymahiyo2464 Месяц назад

    Hatar?

  • @ndiiyolazaro1125
    @ndiiyolazaro1125 Месяц назад

    Hii ndo Arusha bhana😂😂😂😂

  • @elizabethswai7777
    @elizabethswai7777 Месяц назад

    ❤❤❤naanza kunielewa ccm

  • @warriomashaz5184
    @warriomashaz5184 Месяц назад

    Safi sana...

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 Месяц назад

    Makonda M/Mungu akupe umri urefu

  • @JumaAlly-fb3xq
    @JumaAlly-fb3xq 29 дней назад

    Duuuh nakuona mbali sana makonda piga kazi

  • @exaudswai
    @exaudswai Месяц назад

    Tunakukubali makonda mbele kuna furaha zaidi ya Watanzania kazi iendelee

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 Месяц назад +2

    Angekuwa Waziri hapo Slaa hapo angemnyahanya mnunuzi maana yeye haangalii haki ya aliyeuziwa anaangalia mmiliki akikanusha kuuza anarudisha umiliki Kwa mmiliki.

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 8 дней назад

    Bifsi nilikuwa sikupendi kabisa bro nikaanza kukufuatilia mpaka hapa Kaz unayoifanya inatosha inabidi nikupende bro na kukuombea kw Mungu

  • @emanuelmkama1325
    @emanuelmkama1325 Месяц назад

    Namuon jpm ndan ya makonda,mludshen na polepole haw viongoz bomb sanaa

  • @EmanuelBim
    @EmanuelBim 26 дней назад

    duh

  • @msafiripascal2757
    @msafiripascal2757 Месяц назад

    Wanyooshe vizuri usiangaliye umri wamtu...kaka makonda mungu akulinde

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 Месяц назад

    Hahahahahaha hahahahahaha makonda hoyeeeeeee

  • @terrabrandtech
    @terrabrandtech Месяц назад

    Makonda baba yetu asante, arusha tunakupenda sana

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Месяц назад +3

    Uhai wa makonda historia itaandikwa wakuu wa mikoa wengine wapo wapo tu maofisini

  • @BON357
    @BON357 Месяц назад +1

    Sasa iyo milioni moja kama alishindwa kumalizia ili apate mkataba kaferi uyo aliyo uziwa mzee kamili alichukua ela nusu nyingine akimalizia

  • @user-gy3bv7nm7d
    @user-gy3bv7nm7d Месяц назад +1

    Hili zee kweli tapeli lipeleke ndani pumbavu zake

  • @WilsonFisoo
    @WilsonFisoo Месяц назад

    Makonda abarikiwe na mungu

  • @KamuliShija-iy6sb
    @KamuliShija-iy6sb 28 дней назад

    Mm nakupd makoda kulko hat mama coz ww n product ya jpm