BILA WOGA ANGALIA WANANCHI WAMUONESHA MAKONDA MADUDU YANATOTEA ARUSHA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 127

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 Месяц назад +35

    Nakuona mbali mheshimiwa makonda ww ni rais ajae ktk jina la yesu wakuu wa mikoa wote wangekua kama makonda hakika hii nchi tungefika mbali 🥰🥰

    • @RobertsonNandime-eo9fp
      @RobertsonNandime-eo9fp Месяц назад

      Amina na kweli

    • @justerissaya9165
      @justerissaya9165 Месяц назад +1

      Msiseme bana mlimwongezea magufuli muda tukamkosa mnataka tumkose na hyu!? Ebu acha Bhan au mnafikili watumish wote wanapenda

  • @nesalerorian9161
    @nesalerorian9161 Месяц назад +17

    Mungu akulinde na kukupa maisha marefu.
    Taji ya kaz ya moyo na mikono yako uipokee hapa duniani.

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 Месяц назад +14

    Mti wenye matunda hupigwa mawe. Watakurishia lkn baba wa Mbinguni atakulinda ❤

  • @muhundanyakiroto3038
    @muhundanyakiroto3038 Месяц назад +24

    Magufulification of Paul Makonda

  • @FidesMushi-lz3xz
    @FidesMushi-lz3xz Месяц назад +20

    Jamani mnaomsema makonda vibaya mungu awalaani popote mlipo

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya Месяц назад +1

      Kama warimuchukia magufuri watashindwaje kumuchukia makonda

    • @chachadr1
      @chachadr1 22 дня назад

      Amina ya nguvu kabisa!

  • @mvullamanase
    @mvullamanase Месяц назад +3

    Namuona yesu kristo aliye hai Ndani yako. Wamama walimlilia yesu

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im Месяц назад +5

    Pole sana baba Makonda. Una Kazi kubwa sana. Mungu akusimamie akupe nguvu za kuwatendea haki za watanzania

  • @user-pi1st6pj3w
    @user-pi1st6pj3w Месяц назад +10

    MUNGU Akubariki Makonda piga kazi

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 Месяц назад +3

    Ndugu zangu Raisi wetu Mh Dr Samia
    Atakuwa anashangaa sana kwa uteuzi wake ambao alikudia kwa nguvu zake mwenyewe.
    Mungu Akulimde.
    Mungu akuongezee hekima.
    Asante Mama kwa kumpeleka Uyu mtu Chuga.

  • @rajabomary8079
    @rajabomary8079 Месяц назад +3

    Makonda kama wakuu wa mikoa wote wangefanya kama wewe nadhani Rais angepumzika kwa KAZI Hongera mungu akupe unachosiitahili (Na udumu kusaidia watu)

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Месяц назад +13

    Makonda ni mtu na nusu

  • @muhidiniabass4385
    @muhidiniabass4385 Месяц назад +2

    Wasafi wasafi tena kwa mara nyingine wasafi, mnazingua sana kwa sauti

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 Месяц назад +4

    Hongera Mhe Rais kwkumteuwa huyu Rc👏

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 Месяц назад +5

    Mh Makonda nikuombe kiongozi wangu usiwe huru Kwa kiasi cha kutohitaji Askari wa kukulinda hiyo vita sio ndogo kusimamia haki ni watu wachache wanao pendwa

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 Месяц назад

      Ni kweli bro lazima awe makini sana, security ni muhimu

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 Месяц назад +2

    Nakupenda sana makonda kweri unatutia moyo na tungekuwa na viongozi wa aina hii Tanzania tunge thubutu Ninatamani uje uwe Rais wangu na nita Funga na kukuombea Makonda

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Месяц назад +26

    Huyu jamaa wala rushwa na wavivu wa kazi lazma waungane kumchukia na kumchafua

    • @Mjuni3
      @Mjuni3 Месяц назад

      Kabisa inabidi tumuombee sana

  • @johnmakindya5834
    @johnmakindya5834 Месяц назад +7

    kazi nzuri kaka angu Mungu akulinde

    • @lilianlema9587
      @lilianlema9587 Месяц назад

      Akimaliza apitee na hospital za Arushaa

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 Месяц назад +2

    You are not the same to Jesus but you're the part of his life history Makonda Christian Paul our God bless you

  • @user-ex9sd8wm4l
    @user-ex9sd8wm4l Месяц назад +3

    Mimi mwenyewe leo nimedondosha machozi ya furahaaa kwa njisi mkuu wamkoa wa arsha makondo anavyo wapambaniya wanyonge hakika mungu yupamoja nawewe

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Месяц назад +9

    Makonda Asikali Nilazima Wawe Kalibu Yako Arusha Iyo Watu Wengi Wamevurugwa Kwa Bangi Kwaivo Popote Ulinzi Muhimu Viko Vilio Vya Kujenga Na Viko Vilio Vya Kubomoa Pia Vya Kuundwa

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 Месяц назад

    Nakuona mwanangu Mh Makonda endelea kuwasaidia watu kwanii uongozi ni kichwa wewe nikichwa cha nchi tunakukimbilia kwavile unaupendo na uongozi wa haki sio wakupinda pinda fanyakazi dunianzima inakuona mkuu wamkowa wa Arusha piga kazi mungu anakuona Masha Allah❤❤❤❤

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 Месяц назад +1

    Uyo kijana ni mvivu na mzeembe mimi mwenyewe nilizaliwa mvula mmoja katika familiya wanifatao wote ni dada zangu nanikawaachiya urithi tulio achiwa.

  • @annalorry2196
    @annalorry2196 8 дней назад

    Eee Mungu wasaidie Hawa watu mbona matatizo ni mengi hivi. Mhe. Mungu akulinde

  • @JosephJosephKwekaSaimon
    @JosephJosephKwekaSaimon 25 дней назад

    Mungu akulinde mh makonda

  • @abuuqamar58
    @abuuqamar58 Месяц назад +2

    Mungu asimame na wewe makonda
    Mungu akulinde na kila balaa makonda
    Mungu akufanyie wepesi kwenye kila hatua makonda.
    Mungu akupe umri mrefu makonda.
    Ipo siku utaongoza nchi Insha Allah. Mi ni muislamu nitakuombea kila wakati unayo yafanya ni makubwa sana.

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Месяц назад +7

    Family zinatoka mikoan kutoka ata dar Kwan wakuu wa mikoa mingine hamjifunzi ili au hamna pesa za kusaidia wananchi

    • @neema-ee6qm
      @neema-ee6qm Месяц назад

      Hao mabosi wamesoma san😂😂😂😂😂

    • @muhammednassor3569
      @muhammednassor3569 Месяц назад

      Mungu ametakasika hana mtoto hajazaa wala hajazaliwa wacheni kufru

  • @claudineali3561
    @claudineali3561 Месяц назад +6

    Makonda Raisi watanzania

  • @TatuMasudy
    @TatuMasudy 15 дней назад

    Kwa kweli makonda kazi unayo mungu akuwe miaka mia

  • @ramlamohamed4401
    @ramlamohamed4401 Месяц назад +4

    Huyu ndio Mwamba tunayemtaka

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 19 дней назад

    Makonda uns kazi nzto sama na yenye majonzi mengi. Vumilia na jikaze kiume maana mengine unaweza kupata majonzi mazito yakakuumiza sana moyoni. Jitahidi mwanangu Mungu amekuchsgua maana anakuona rohoni.

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr Месяц назад +3

    WAKUU WA MIKOA HII NI SEHEMU YA MAJUKUMU YENU SI MAKONDA PEKEE TU NANYIE SIKILIZENI RAIA HUKO KATIKA MIKOA YENU.

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 Месяц назад +3

    Inauma sana

  • @agustinoandrea6030
    @agustinoandrea6030 Месяц назад +12

    Hiv kwann tucmchangie huyu achukue fom ya urais 2025?????

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh Месяц назад +3

      Si rahisi kwa mwaka huo juu watu wanamtaka Samia na makonda kachaguliwa Samia watampiga na chini juu wataona anataka kupindua meza Inshallah 2030 panapo maajaliwa sio mbali

  • @DM_15
    @DM_15 Месяц назад

    Duh kijana makonda anapiga kazi Mungu akubariki sawasawa na kibari chake neema yake Mungu ikawe juu yahuyu kijana wapo vijana kama watatuhivi kwenye hilitaifa Mungu akawape nuru nawao ikawejuu yao wakaweze kua mbegu itakayo kua chachu ya taifa let la tanzania

  • @EufranciaNgombo
    @EufranciaNgombo Месяц назад

    Hongera Sana mheshimiwa Mungu akulinde unastahili pongezi Sana na hizi changamoto zipo mikoa Mingi kwa kweli unakipaji kikubwa Sana hicho Ni kipaji

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Месяц назад +4

    Wasafi mbazingua sauti

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 Месяц назад +1

    Juhudi zako na uzalendo wakuritumikia Tanzania unaonekana kwa wa tanzania

  • @SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz
    @SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz Месяц назад +1

    Doctor Paulo makonda your the best president of United Republic of Tanzania future

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq Месяц назад +5

    Watu wema hawa dumu kwa kazi unayo fanya mutangulize mungu mbele nchi hii nihatari makonda tunakupenda kwa utendaji wako rais wa masikini magufuri aliyafanya haya ana nukuu kauli yake sikuzote mtu anapotenda wema hakumbuki ila akisha kufa utasikia eti pengo lake halitozibika na kweli tunajionea ss masikini

  • @OmanAlkamil-nl2zw
    @OmanAlkamil-nl2zw Месяц назад +2

    Hayo mambo ya kuwagaia watoto mali shida ndo hii,, acheni wakatafte wenyewe

  • @StevenMasunga-fd7xf
    @StevenMasunga-fd7xf Месяц назад +5

    Hakika kama wewe ni mwizi na mbadilifu wa mali za umma na mdhurumaj huwezi ukampenda huyu bwana

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 19 дней назад

    Mh. Makonda kama tungekuwa na wakuu wa mikoa kama wewe nchi yetu ingekuwa na sifa kubwa duniani ya amani,.imani na haki. Ukweli kabisa ni kwamba wakuu wa mikoa wote wangetakiwa wafanye kama wewe jambo ambalo kwanza lingepinguza dham i, pili watu wataishi kwa amani na matumaini makubwa na cha ajanu nchi itakuwa tajiri sana mana wizi, utapeli utakuwa hakina. Sina cha lukuzawadi mwanangu ila ninakuombea sana ili kazi yako idumu na maisha marefu uzidi kuokoa maisha ya watu. Heri nane za kweli ziwe nawe daima.

  • @kassimjuma93
    @kassimjuma93 Месяц назад

    Makonda nakukubali 👍

  • @EmmanuelSichone-qy3wg
    @EmmanuelSichone-qy3wg Месяц назад

    You're the best barikiwa.

  • @HamisiForogo
    @HamisiForogo Месяц назад

    Safi makonda yani kama vile yesu anapita vile

  • @tituskaponda9343
    @tituskaponda9343 Месяц назад

    Nice work Makonda.

  • @shadrackkassale2968
    @shadrackkassale2968 Месяц назад

    Wasafi naona bado hamjajipanga vizuri sijui ni taaluma hamna au ni vifaa hamna na kama mkiona habari ipo hivi kwann mnairusha

  • @shadrackkassale2968
    @shadrackkassale2968 Месяц назад

    Pumbav zenu wasafi

  • @paulm.kaponda2300
    @paulm.kaponda2300 Месяц назад

    Mungu awabariki Makonda

  • @benjabj2207
    @benjabj2207 Месяц назад

    Makonda mungu akuja
    Lie hata wewe ndo unge vaa viatu vya mufalme magu wetu

  • @mohddelo
    @mohddelo Месяц назад +2

    Wanyonge wanateseka

  • @fredrickshantiwa9710
    @fredrickshantiwa9710 Месяц назад +2

    Kiukweli makonda ni mtoto wa MUNGU

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 Месяц назад

    😭😭😭😭Makonda my presdent haijalishi

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Месяц назад

    Kaka yangu Makonda❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @bahatiiddibahatiiddi-be5nj
    @bahatiiddibahatiiddi-be5nj Месяц назад

    Mlisema kuwa et uenezi imekuwaje? Angalieni sasa kazi safi

  • @WilliamKayanda
    @WilliamKayanda Месяц назад

    Tunaomba ccm achukue form ya urais huyu bro ni moja ya modo wa maguful

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Месяц назад +1

    Kwen Leo hakuna live

  • @user-mu1uf2rl4x
    @user-mu1uf2rl4x Месяц назад

    Kumbe arusha kuna dhuluma ivi aisee idara ya ardhi ina watumishi wenye roho ngumu sana

  • @MzeeAhmad
    @MzeeAhmad Месяц назад +2

    Diamond boresha vitendea kazi sio Hela yote iyende kwenye stare

  • @BensonMazinga
    @BensonMazinga 16 дней назад

    Wasaf kwasaut mna bowa kwel

  • @OinotiMbessere
    @OinotiMbessere Месяц назад

    Wazo langu, bora wananchi wasikilizwe mtaa kwa mtaa, kama ni murieti basi iwe murieti, kama ni ngaramtoni basi iwe ngaramtoni, kidogo itasaidiya.

  • @annalorry2196
    @annalorry2196 8 дней назад

    Mhe. Makonda Mungu akulinde naona watu wanapona kupitia wewe

  • @chrismkama4889
    @chrismkama4889 Месяц назад

    Siku zote haki hufunuliwa kwa vitendo.haki haidaiwi gizani.Mungu akulinde na kukupa uzima kuliko ulinzi wa Wanadamu

  • @zenobiakapere1379
    @zenobiakapere1379 Месяц назад

    Halafu wanasema haki mahakamani.Mhh hii nchi ngumu sana.

  • @anithaoyudi4586
    @anithaoyudi4586 21 день назад

    Namuona raisi wetu ajae

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 Месяц назад

    Akilala ndani badae ndio uwaite muongee kama familia analeta ujuaji

  • @elneussimeo1275
    @elneussimeo1275 Месяц назад +1

    Kiingozi anazaliwa hatengenezwi!!!!!

  • @LugomeRisasi
    @LugomeRisasi Месяц назад

    MUNGU akupe maisha malefu

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Месяц назад

    Yani Tanzania nchi ngumu mnooo😢😢😢

  • @AlexisAjwantos
    @AlexisAjwantos Месяц назад

    Makonda we ishi bb

  • @user-no4ny7ox2d
    @user-no4ny7ox2d Месяц назад +1

    Mumpeleke akawe mkuu wa mkoa wa mara Ili wangoreme wakashooshwe

  • @salcle9702
    @salcle9702 Месяц назад

    Huyu jamaa awe raisi wa kaskazini aisee 😊

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 Месяц назад

    Kwann watu wenye power wanaonea watu hiv

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Месяц назад +2

    Muwe mnatulia basi

  • @mr.erickmwacha8575
    @mr.erickmwacha8575 Месяц назад

    Mama 2030 utuletee makonda. utuletee makondaa

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 Месяц назад

    Ili wapatane mtie ndani kwanza uyo kijana ili akili ipoe maana analeta ujuaji

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 Месяц назад

    Anataka mpk wenzie wafe.alithishe wanawe

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 Месяц назад +1

    Hawa wananchi wanateswa na Serikali ya Upinzani iliyoko Madarakani. CCM oyeeee! Serikali ya Upinzani iliyoko madarakani imewatesa sana wananchi.CCM oyeeee.

    • @JosephuSwai
      @JosephuSwai Месяц назад

      Mbona síkuelewi wewe kilaza

  • @sebastianmudwele2945
    @sebastianmudwele2945 Месяц назад

    Bro umenipa kazi ya kukuombea yani ninafurahaa moyoni mwangu kwaajili ya utendajiwako mpaka machozi ya furaha yananitoka

  • @DiorMabaril-qy6yp
    @DiorMabaril-qy6yp 21 день назад

    Tendawema nendazako

  • @mugishagerard8241
    @mugishagerard8241 Месяц назад

    WASAFI NBUZI

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 Месяц назад

    Ni aibu kwa wakuu wa mikoa kutowasaidia wananchi wao mpaka wanakwenda kwa makonda mnakazi gani

  • @Mjuni3
    @Mjuni3 Месяц назад

    Makonda Ata ukifa Leo lazima uende katika ufalme wa milele wa mbinguni

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 Месяц назад

    Waliobainika kushirikia dhulma hizo lazima washtakiwe

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd Месяц назад

    dah jamani sasa mtamfanya makonda akose kazi mnavo mkimbilia ivo kwa wingi watu hawapend

  • @user-bz7kg2lr3f
    @user-bz7kg2lr3f Месяц назад

    Ukipaka lipstik unakoseaaa kwenye matatizo unaenda na lipstc😂😂

  • @Ms05195
    @Ms05195 Месяц назад

    Mi naomba nipate nafasi ya kuogea na watu wa chini?

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 Месяц назад

    Viongozi wanatia aibu wateule wa Rais wanatia aibu nchii wanatakiwa wapatikane vijana kama Makonda maeneo yote Ma DC na ma RC wamsaisaidie mh Rais pamoja na Taifa

  • @AnoliasiKope
    @AnoliasiKope Месяц назад

    mama yetu a Snte kwa huyu

  • @JeremiahMwalukosya-eh5nf
    @JeremiahMwalukosya-eh5nf Месяц назад

    Jamani makonda tungemfanya kuwa rais wa Tanzania aisaidie nchi awasaidie watz shida niwana ccm warafi wajuu hawawezi kumpitisha maana watashindwa kuiba

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 Месяц назад

    Makonda anapepepea yeluleeee.mikoa mingine haina wakuu😂😂😂😂 hamieni CHUGA

  • @faithlucas1723
    @faithlucas1723 Месяц назад

    😂😂😂😂makonda kazi ameipata hasa ,wanambebesha na mafaili

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 Месяц назад

    😂😂😂 mikoa mingine hamna viongoz kabsaa

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 Месяц назад

    KWANI WAKUU WA MIKOA WENGINE WAKO WAPI MBONA WAKO KIMYA TU

  • @sadikingstudio8166
    @sadikingstudio8166 Месяц назад

    Wakuu wa hiyo Mikoa mingine wako wapi?Hakuna matatizo kama hayo kwenye hio Mikoa?

  • @sadikingstudio8166
    @sadikingstudio8166 Месяц назад

    Mbona anayo fanya Makonda Arusha hatuya oni Mikoa mingine?

  • @banguha
    @banguha Месяц назад

    Jmn nakosa la kusema tumuombee tu makonda bibi ana mafail dunia jmn watu hawana huruma hata kwa wabibi nyie mnaowasumbua awa watu wazima mkifa mtajibu nin mnawaachia watoto wenu laana

  • @shabsoomary2514
    @shabsoomary2514 Месяц назад

    Mnazingua kurusha habar fresh

  • @theresiacostantine132
    @theresiacostantine132 Месяц назад

    Makonda pole

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 Месяц назад

    Upendo ni jambo la heri