BOSS wa KIWANDA KIPYA cha MAGARI KIGAMBONI MBELE ya RAIS SAMIA - ''MAGARI 150 TUSHATENGENEZA''....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 май 2024
  • BOSS wa KIWANDA KIPYA cha MAGARI KIGAMBONI MBELE ya RAIS SAMIA - ''MAGARI 150 TUSHATENGENEZA''....
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 34

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Месяц назад +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @abdirizakhtuke2882
    @abdirizakhtuke2882 Месяц назад +2

    Public speaking is an art.

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 Месяц назад

    Upo sawa kabisa

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 Месяц назад +1

    Mama samia naomba watanzania wapate kazi kwenye hicho kiwanda 80% 20% iwe ya mwanye kiwanda

  • @yassinMungere
    @yassinMungere Месяц назад

    Kazi iendelee

  • @IvanBenjamin-fy9lg
    @IvanBenjamin-fy9lg Месяц назад

    Safi sana viwanda ndy uchumi

  • @user-wf4re7bx3d
    @user-wf4re7bx3d Месяц назад +2

    Kuongeza ushuru wa magari kutoka nje ya nchi ili kulinda assembly plant ni wazo baya. Hiki kiwanda hakitengenezi magari, bali kinaunganisha magari kutoka nchi nyingine. Mkurugenzi atofautishe kutengeneza na kuunganisha. Mbili hii habari ya kulinda viwanda vya ndani ndiyo chanzo cha kupunguza ubunifu na ushindani. Ndiyo maana viwanda vyetu vya sukari vimebweteka.

    • @cHin91O
      @cHin91O Месяц назад

      upo sawa

  • @Madizizi
    @Madizizi Месяц назад +1

    Ninampango wa kuanzisha kiwanda cha ndege 2025

  • @stevenobunde9345
    @stevenobunde9345 Месяц назад

    Tractors za kilimo au za semi?

  • @KelvinOisso-qn1qi
    @KelvinOisso-qn1qi Месяц назад +1

    Nani kama mama

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 Месяц назад +1

    Nabei isiwe kubwa kwa watanzania kwasababu kimondani ya Tanzania

  • @user-nn2cz6zc9o
    @user-nn2cz6zc9o Месяц назад +1

    Mama yupo vizuri

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 Месяц назад

    Namkubali mama samia ww ukitaka kufungua biashara yy ruksa muhim watanzania wapate ajira

  • @user-kx4wd5vb4j
    @user-kx4wd5vb4j Месяц назад

    Ni viwanda vya utengenezaji gari au karakana za kuunganinisha magari?

  • @IssaMapesa
    @IssaMapesa Месяц назад

    Yaani kufungua karakana ya kuunganisha mahari ndio unamshauri rais apandishe ushuru kwa mahari yanayotoka nje ya tanzania...yaani una force watu kununua hiyo takataka mu ayounganisha wajanja wajanja?

  • @catherinecharlz2814
    @catherinecharlz2814 Месяц назад

    Bas mtupatie ajira sisi wahanga wa ajira

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Месяц назад

    Hajui kiswahili vizuri ndio maana ameongea kwa ufupi

    • @seemanishekiao
      @seemanishekiao Месяц назад

      Anajua kiswahili ni mtu wa Tanga Ngamian
      Wajua tena meza kuu tena mbele ya Rais.

  • @ernestkomba5403
    @ernestkomba5403 Месяц назад

    Nimemsikiliza huyu mtoa taarifa,, Campuni ilisajiliwa tareh 20 mwezi wa apriili,hajataja mwaka.
    Kiwanda kilianza kujengwa lini hajataja mwaka kilipo anza ametaja mwaka kipipo kamilika, hotuba ina matobo matobo sijui kwa faida ya nani.

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 Месяц назад

    Kuna watu wapumbavu uvumbuzi wa kiwanda cha mtu binafsi watu wanavaa full suti ya ccm mpka kofia

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 Месяц назад +1

    viwanda kama hivi vinatakiwa kodi ifutwe kabisa

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 Месяц назад +1

      Alafu taifa litajiongozaje bila mapato ?

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari Месяц назад

      Huna akili wewe😊

    • @onetwoem1808
      @onetwoem1808 Месяц назад

      😮😮😮😮😮😮Mungu akujalie usishike uongozi wowote serikalini...

    • @rizikiminga3010
      @rizikiminga3010 Месяц назад

      ​@@onetwoem1808kabisa maana ichi ita kuwa dample

  • @jicjeph2987
    @jicjeph2987 Месяц назад

    Sio kiwanda cha magari,
    Sema kiwanda cha kuunganisha magari.
    Maana ukisema kiwanda cha magari, una maanisha wanaanza process ya kwanza adi mwisho ambacho kitu sio kweli.

  • @hamimumlindwa3244
    @hamimumlindwa3244 Месяц назад +1

    mtanisameh pikipiki si inakuja kuunganishwa hapa mm naona kama ni garege iliochangamka

  • @comics3437
    @comics3437 Месяц назад

    Angetafuta mtu wa kumsaidia kuongea

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc Месяц назад

    Wawekezaji kibao maendoleo ya nchi yakochini sasa huoniuwekezaji au utoloshajiwamalizanchi? Balabala mbovu madalasa mabovu hosptali madawa Hakuna flay ova nizlezle za mjomba jpm Hakuna hata1klichoongezeka tangu jpm atutoke sanasana vimepungua jpm alikuwA anaiendesha miladiyote nakuanzisha mipya kz yakusifiana ujinga

  • @hafidhyakoub8369
    @hafidhyakoub8369 Месяц назад +2

    Jamaaa kuongea pumba tupu shusha bei ww cio uwombe ushuru uzidi au wambie wakupunguzie kodi

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 Месяц назад +1

    uyu jamaa kumbe ni kenge tena omba kiwanda kifutiwe ushuru