#THEBIGAJENDA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 май 2024
  • Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
    Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
    Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
    Star TV Brightens Your Day !

Комментарии • 57

  • @bahatikamihanda3689
    @bahatikamihanda3689 Месяц назад +5

    Yawezekana nikweli Nyanda umepoteza mwelekeo umekuwa chawa lkn naona hapo umekwama pamoja na kujalibu kumuweka kwenye mtego umekwama,naona taratibu Nyanda unaanza kupoteza umaili na hivo unapoteza radha ya kipindi, uenda baada ya muda mfupi utaaza kupoteza wafuasi.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 22 дня назад +1

    GOOD JOB MR PAMBALU 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼🌹🌹🌹

  • @jovinjoseph1247
    @jovinjoseph1247 Месяц назад +6

    Kama sio machawa mkaribisheni Wakili Mwabukusi hapo au ndio maelekezo Toka juu

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn Месяц назад +5

    Aloys nyanda sasa kawa chawa wa CCM

  • @WilliamKileta
    @WilliamKileta Месяц назад +3

    Nyanda amekuaa mnafki siku hizi namuamini sana chief odemba medani za siasa yule jamaa anajua sana huyu amekaa kinafki na anahoji mhusika kama anamshambulia nahic amekengeuka viva odemba

  • @user-hf9kp7ys2h
    @user-hf9kp7ys2h Месяц назад +5

    Nyanda umetoka kwenye uhalisia wako mbona unalazimisha aseme maneno yako uliyotumwa.Tayari umekuwa Chawa inaonekana unautaka Ukuu wa Wilaya

  • @safiyaalharthy6382
    @safiyaalharthy6382 Месяц назад +3

    Keep up Pambalu
    Good job 👏

  • @stanleymuhimbula5590
    @stanleymuhimbula5590 Месяц назад +2

    Nyanda wala haelewi point ya Pambalu.
    Nitaendelea kuwa shabiki wa Odemba.👍🏻👍🏻

  • @MuhojaMalicho
    @MuhojaMalicho Месяц назад +3

    Nyanda uwezi kubishana na ukweli

  • @sulaimanmallecha6134
    @sulaimanmallecha6134 19 дней назад +1

    Nyanda uliza maswali yakisomi ili wa tz wakuelewe vizur

  • @marwasaid8283
    @marwasaid8283 Месяц назад +2

    Wewe mwandish wa habari umerishishwa

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 16 дней назад

    Pamoja Pambalu

  • @WilhelmIbaganisa-bx7zj
    @WilhelmIbaganisa-bx7zj Месяц назад +2

    😅😅😅😅 siku ya mafiga 3 hapao mwanza PM MAJALIWA ALIMUAHIDI UTEUZI NYANDA 😆😆😅😅😅😅😅😅😅😅😅 28:02 😅

  • @michaelmlyuka6032
    @michaelmlyuka6032 15 дней назад

    Nyanda jali sana Cv yako

  • @MuhojaMalicho
    @MuhojaMalicho Месяц назад +2

    😂 nyanda umekwisha kimawazo

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 26 дней назад

    Kumaa ya ma akoo nyandaaa huna akil nyumbu wew

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Месяц назад +2

    NYANDA unatupotezea MB za bure tunaingia kwenye Chanel yako star tv kwenye kipindi cha big ajenda ili tusikilize hoja za wageni unao waalika kwenye interview siyo kukusikiliza wewe na unapenda sana kuwaonea wapinzani kuwapotezea muda kuwakatisha lkn wa ccm huwa huwakatishi katishi mazungumzo yao kwaufupi hiki kipindi cha ajenda umekishusha hadhi

  • @LazaroELucas
    @LazaroELucas Месяц назад +1

    Mtangazaji Acha kuingilia maongezi Acha mtu ajibu ndio uulize swali lingine

  • @evaristosanga471
    @evaristosanga471 18 дней назад

    Duu, Nyanda anapoteza mwelekeo wa kipindi.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 22 дня назад

    BIG BRAIN PAMBALU

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 22 дня назад

    Nyanda usimlazi.mishe Mr Pambalu akukubalie Unachokitaka KUMBUKA UNAONGEA NA KICHWA KILICHOJAA MADINI 😂😂

  • @cloudjulius-sf6nw
    @cloudjulius-sf6nw Месяц назад +1

    Nikweli nyanda Simon wa zamani

  • @user-bn4br7qm7r
    @user-bn4br7qm7r Месяц назад +1

    Nyanda anataka ukuu wa wilaya,lakini sio kwamba hajui,hapo anajitoa ufahamu tu

  • @richardnyarugenda9769
    @richardnyarugenda9769 Месяц назад +2

    Huyo anayeuliza hajui lolote

  • @JoshuaStanley-qu3im
    @JoshuaStanley-qu3im 26 дней назад

    Nyanda anaelewa, ila anajifanya haelewi

  • @alexjovin2981
    @alexjovin2981 28 дней назад

    Hata jakaya alishambuliwa na chadema ndani na nnje ya bunge ndo maana halikuendelea

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 Месяц назад +1

    NYANDA USHAKUA KICHWA HASARA PORE SANA HII NCHI SHIDA SANA

  • @user-bn4br7qm7r
    @user-bn4br7qm7r Месяц назад +1

    Huuu ni mdahalo au ni Nini?mbona nyanda haeleweki

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 Месяц назад +1

    Nyanda umeamua "kumtumika kafir upate mradi wako"? Simama kwenye mizania!

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 28 дней назад

    Huyo nyanda ni ccm anataka cheo mbona hakujibu maswali unayomuuliza

  • @issajuma4068
    @issajuma4068 27 дней назад

    Saiv hatutaki serikali 3 , hoja ya kwanza kabla ya yote , tujadili muungano, maana ndio hoja iliyopo sasa

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 29 дней назад

    Nyanda nichawa hata Skumoja tulimshangaaa na Kaka Gofrey mahonge ameramba asali

  • @user-bf7sr1cv1g
    @user-bf7sr1cv1g 29 дней назад

    Mtangazaji huyo ni kilaza hajui kitu

  • @bilid4128
    @bilid4128 Месяц назад

    Mbona ile Interview ya yule Mwanafalisafa umeipotezea ? Nyanda

  • @mwajumaomary1918
    @mwajumaomary1918 Месяц назад

    Nyanda Acha amalize kujibu then umuulize swali lingine. Kwanini unamlisha maneno

  • @user-bf7sr1cv1g
    @user-bf7sr1cv1g 29 дней назад

    Nyanda tulia ushibe unarukaruka nn

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 29 дней назад

    Nyanda unakera skuizi

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 29 дней назад

    Chawa mkubwa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Месяц назад

    Siyo watu na mafisiemu

  • @gellangi9694
    @gellangi9694 Месяц назад

    Issue ya Bandari ya Bagamoyo haikuridhiwa na wengi.Mijadala ya atakacho Rais wa JMT haukuwahi kuwa Huru maana Bunge limetishwa.

  • @user-py9jj5yr9l
    @user-py9jj5yr9l Месяц назад

    Uyu ashaanza kuaribu atatumwa na ccm ivyo kama utaendelea kufanya kazi kwa uchawa wa ccm bora nimtafute odemba

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Месяц назад +2

    Muite mwabukusi

  • @maryamrubeyah6502
    @maryamrubeyah6502 Месяц назад

    Tuchukulie serikal tatu tayar je hii serikal ya tanzania ndio ya tatu vyanzo vyake vya Mapato vitatoka wapi la pili je rais wa muungano arakuwa na jeshi na police embu tufafanulie uendeshaji wake hapo au tuvunje muungano???

  • @user-hf9kp7ys2h
    @user-hf9kp7ys2h Месяц назад

    Hovyo kabisa wewe Nyanda hustahili kabisa katika nafasi hiyo maswali yako siyo uchawa umekuteka

  • @lgf7297
    @lgf7297 Месяц назад

    Huyo Mwandishi zero, anaongea zaidi kuliko anayehojiwa, wanabishana kama mtoto

  • @RockusssySanka
    @RockusssySanka Месяц назад

    The way, Ntozi anavyo mhoji Pambalu anashindwa kujiweka kati ( Neutral) .
    Wanahabari hawajielewi kabisa . Kimsingi wao ndiyo JICHO la jamii ,lakini wanabanwa kiasi kwamba wanakuwa MACHAWA.
    Ni shida sana .

  • @user-or2od2rz1c
    @user-or2od2rz1c Месяц назад

    wewe nyanda pia zamani tulikuwa tunakuelewa sana ila kwenye mdahalo wa mafiga ma 3 ulionyesha zahili kuwa tayali umeisha kuwa chawa wa ccm kwahiyo sasa hivi umezishusha sana cv zako ndomaana hata maswali unayouliza zahili niyakukibeba chama tawala ila umekutana najiwe gumu sana

    • @WilhelmIbaganisa-bx7zj
      @WilhelmIbaganisa-bx7zj Месяц назад

      Huyu nilimtema siku hiyo na kumwona ni chawa mkubwa aliahidiwa uteuzi na waziri mkuu. !! 20:38 20:40 20:41 20:41

    • @frankcharles3980
      @frankcharles3980 Месяц назад

      NYANDA UMEKUA KICHWA HASARA PORE SANA

  • @rizikakazoba9668
    @rizikakazoba9668 Месяц назад

    TAKUKURU kazi kwenu watuambie hizo fedha zimetoka wapi???