GODBLESS LEMA KATIKA DK 90 KWA KINAGAUBAGA AFUNGUKA YALIYOKUWA YAMEJIFICHA KWENYE MEDANI ZA SIASA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2024
  • Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
    Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
    Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
    Star TV Brightens Your Day !

Комментарии • 300

  • @brunowilliam826
    @brunowilliam826 4 месяца назад +29

    Tungepata watu kama 10 tu Tanzania aaàh tungekuwa mbali sana .LEMA KICHWA

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 4 месяца назад +19

    Godbless Lema Mtumishi Anaehubiri Ukweli Hata Pahali Pa Hatari, Mungu Akulinde Mwamba Wetu,🙏🙏🙏

  • @abdulally2764
    @abdulally2764 4 месяца назад +12

    Lema Mungu akubariki sana ... nakuombea . Hakika hizi ni dk 90 zitazo ishi mika mingine 90

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 4 месяца назад +13

    Lema wew kichwa ubarikiwe Sana kiongozi wetu ✌️✌️

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 4 месяца назад

      Kwa lipi ndugu yangu jiongeze 😂😂😂

  • @user-mp7zk7dk7f
    @user-mp7zk7dk7f 4 месяца назад +17

    Hongereni star tv mnajitahidi kujitofautisha na Yale ma tv

  • @abdulmshamu801
    @abdulmshamu801 4 месяца назад +20

    Good my lema,umekomaa kisiasa.

  • @user-bg8zz5vw5v
    @user-bg8zz5vw5v 4 месяца назад +9

    Lema ww nimtu muhimu sana mungu alikuweka hpo kwasababu tuna kukubalisana ww nifaither brother.

  • @wiza2309
    @wiza2309 4 месяца назад +7

    Hongera sana Mh Lema, uko vizuri sana, Mungu akutunze

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 4 месяца назад +21

    Lema akili kubwa sana huyu jamaa sema tu mungu akubaliki

  • @mocomoja4229
    @mocomoja4229 4 месяца назад +23

    Lema Anaongea ukweli na hata mtangazaji anajua Hilo

  • @MakalaSimulizi
    @MakalaSimulizi 4 месяца назад +11

    Lemaaa!!!!!!! Smart Sanaa hiki kiumbee

  • @user-fl7jl7vk3n
    @user-fl7jl7vk3n 4 месяца назад +25

    Lema ni shujaa

  • @jamallysayd3886
    @jamallysayd3886 4 месяца назад +12

    Najiulizaga chadema wanatoaga wapi watu wenye uelewa mkubwa,ukiachana nalema kamata yeyote pale chadema hata mfagiaji point nikubwa full madin kichwan yani utajibiwa na utarizika sio wababaishaji wawale jamaa wengine wanaojar matumbo yao2 Allah akubariki sana kaka lema

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven 4 месяца назад

      Tupeni fursa tuunde Serikali ya CHADEMA.
      Wananchi wakiamua inawezekana tukafanya mageuzi.

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 4 месяца назад

      UKO SAHIHII NDUGU UMESEMA UKWELI, CHADEMA INAHAZINA YA VIONGOZI, TAIFA MPAKA VITONGOJINI NI WATU WENYE AKILI KUBWA SI VIONGOZI TU HATA WANACHAMA WA CHADEMA WENGI NI WENYE UWEZO MKUBWA SANA WA KUFIKIRI AJABU!!! NDIYO MAANA CHADEMA IKO IMARA SANA!! KUMBUKA VYAMA VYOTE VYA UPINZANI NCHINI VIKO MFUKONI MWA CCM, LAKINI CCM HIYO HIYO IMEISHINDWA KABISA KUIWEKA CHADEMA MFUKONI MWAO NA HOFU KUBWA YA CCM NI JUU YA CHADEMA. HAKIKA CHADEMA NDIYO KIBOKO YA CCM.

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 4 месяца назад

      Tatizo siyo wanatowaga wapi, ni watu wanaoamini utawala Sheria na haki.

    • @MussaSelemani-wz5np
      @MussaSelemani-wz5np 3 месяца назад

      HAHAHAHAHAHAHAAAAAA UMENIFURAHISHA SANA

  • @pastorstevenmdoe5143
    @pastorstevenmdoe5143 4 месяца назад +20

    Kiongozi shupavu G Lema

  • @omaryidd4373
    @omaryidd4373 4 месяца назад +16

    Lema ameongea ukweli kabisa Arusha barabara alitengeza kipindi chake 42:08

  • @user-dc2xo6tp4n
    @user-dc2xo6tp4n 4 месяца назад +5

    God bless lema uko makini sana umeupiga mwingi waambie ukweli na waswahili wanasema myonge mnyongeni lakini mpeni haki yake

  • @josephatmsaki5944
    @josephatmsaki5944 4 месяца назад +19

    Lema nakuelewa san

  • @apostlejoelyamo2983
    @apostlejoelyamo2983 4 месяца назад +14

    Lema uko safi pipoooooooz

  • @gallegalleson4427
    @gallegalleson4427 4 месяца назад +15

    Lema nimemfuatilia ana uelewa mpana wa mifumo wa serikali ya tz

  • @juliuslukumay333
    @juliuslukumay333 4 месяца назад +8

    Goodbless lema ni mwanasiasa mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na pia anauwezo mkubwa wa kufikiria kuhusu maisha ya watu na kuhusianisha na utawala.

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 4 месяца назад

      Kwa kujenga hoja hata akiwa muuaji awe kiongozi wa nchi. Kwa kweli fikra zenu matope ndo maana Tanzania na utajiri wote tuliokuwa nao fikra za Mtanzania ni kiwango cha chini sana sana, hamjithamini kama nyinyi ni binadamu mnaostahili usawa, haki na maendeleo. Ni mtu asiyejithamini tu na mjinga ambaye hajielewi. Inasikitisha kuona na elimu zetu, miaka ishirini bado tunaongelea afya bira, barabara mbovu, elimu duni, ufisadi, kuporwa ardhi, kuteka watu. Bado mnakihitaji hiki chama kiendelee hivyohivyo , basi sisi si binadamu kamili bali nusu watu tusiojielewa.

  • @udazakikoti3419
    @udazakikoti3419 4 месяца назад +10

    Wenye mitazamo ndiyo wanaopigwa vita na serikali ya nchi hizi, lakini lema hayumbi kwenye misimamo yake

  • @thomasmollel9465
    @thomasmollel9465 4 месяца назад +8

    Bro nakukubali sana

  • @isayakihongile4921
    @isayakihongile4921 4 месяца назад +6

    Namuona Odemba akipokea madini kutoka kwa professor nguli wa siasa ya jamii G.LEMA

  • @listenshao2716
    @listenshao2716 4 месяца назад +9

    Safi sana kamanda wetu

  • @ignacekiwale7281
    @ignacekiwale7281 4 месяца назад +10

    Navutiwa sana na Mwandishi Odemba kwa weledi na maswali mazuri anayowahoji watu mbalimbali...Mhs Lema,ni mkweli,mwenye ufahamu wa mambo ya kimsingi,mtetezi wa haki na mwanasiasa mahiri sana...

    • @FrankMichael-tg4vz
      @FrankMichael-tg4vz 4 месяца назад

      Nilimuomba mungu anipe mtt wa kiume nimuite jina la huyu mwamba na kweli mungu amejaalia nimetimiza ilo Sasa mwanangu ni God bless ❤

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 4 месяца назад +4

    ❤❤❤❤ hakika kabisa mwamba umesema kila kitu chakweli

  • @danielmakelemo2395
    @danielmakelemo2395 4 месяца назад +13

    Odemba Leo Kawa msikilizaji emekutana na ulimi ufunfishao😂😂😂the born agen huyoo

    • @mhinajerome5964
      @mhinajerome5964 4 месяца назад

      Kaabisa kabisa

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 4 месяца назад

      Odemba Kiri kuwa umekutana na kiumbe chenye uelewa Kwa maendeleo ya nchi yake. Ukikiri labda serikali ya ccm itakuchukia?

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u 4 месяца назад +6

    BRAVO MH. LEMA....UMEKUWA JASIRI NA MUWAZI KUHUSU MAKONDA.....HUYU MAKONDA NI MUUAJI...MLA RUSHWA NA FISADI WA KUTISHA....LAANA YOTE YA UTEUZI WAKE ITAMPATA TU MH. RAIS SAMIA....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU 'HACHEZEWI'.

    • @user-vd1vx1dc8p
      @user-vd1vx1dc8p 4 месяца назад +1

      Kuna watu Tanzania hii ukiwaambia kuhusu Makonda wanakutukana matusi kama yote, watakumbuka baadaye wamechelewa subiri tuone mwisho wake

    • @aloycemruma6552
      @aloycemruma6552 4 месяца назад

      ​@@user-vd1vx1dc8pmm 57:08

  • @waltergeofrey8543
    @waltergeofrey8543 4 месяца назад +5

    Nyamaza Odemba hahahahahaha nice Interview 👏

  • @MuhojaMalicho
    @MuhojaMalicho 4 месяца назад +7

    ❤❤❤❤❤ kamanda wakwe nia yao nzur kwa ichi

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 4 месяца назад +6

    Odema jitahidi kutoa sauti , lema tu hapo hakusikii vizuri!
    Unauliza maswali kama unaogopa , be free man of god

  • @swaxtv4650
    @swaxtv4650 4 месяца назад +9

    Lema 🙌🙌

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 4 месяца назад +9

    CCM WATAFAKARI WAJIULIZE KWANI KONGO HAWAKUWA NA ASIKARI BINADAMU ANABADILIKA WASIJIAMINI KWENYE JAMBO LA HAKI

  • @richardhoseni2643
    @richardhoseni2643 4 месяца назад +3

    Absolutely 💯

  • @user-xr9ql3cf9k
    @user-xr9ql3cf9k 4 месяца назад +2

    He's the mindchanger.....nothing more

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 4 месяца назад +6

    Kazi nzuri Godbless

  • @MnuwiiItowela-vf1td
    @MnuwiiItowela-vf1td 4 месяца назад +10

    Kamanda upo sahihi

  • @DoctorKajase
    @DoctorKajase 4 месяца назад +3

    Odemba hanakitu hapo niyaleyale makapi ya sisiemu mapandikizi madogo madogo. Kwanza hana anacho kijua kimataifa. Akiwa anamuhoji lema nisawa na kilimanjaro na kichuguu. Hakuna muandishi hapo. Kuna chawa hapo tu anaefikiria kwamba anaweza kuchaguliwa DC Pumbavu ni ujinga mtupu.lema anaongea point kubwa sana na zamsingi ila huyo bwege anae muhoji anaegemea sana chama tawala.

  • @egbertmachumu8552
    @egbertmachumu8552 4 месяца назад +6

    Kauli ya mkuu wa majeshi kuwa kuna wakimbizi wako kwenye nafasi za maamuzi nchini ni nzito sana ...

  • @user-in9gt2nz9x
    @user-in9gt2nz9x 4 месяца назад +6

    Bro umetisha sana umekomaa kisiasa una PhD ya siasa

  • @thomasmollel9465
    @thomasmollel9465 4 месяца назад +12

    Big up we appreciate you brother

  • @JoshuaStanley-qu3im
    @JoshuaStanley-qu3im 4 месяца назад +7

    Lema nakukubali sana

  • @tubonemahalack7505
    @tubonemahalack7505 4 месяца назад +21

    Kabisa lema unachokisema ni kweli tupu

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 4 месяца назад +4

    God Bless you Godbless Lema ❤

  • @selemanishambi6524
    @selemanishambi6524 4 месяца назад +5

    Sawa bwana umeneja Asaalam alahkum mema.

  • @pendolema7195
    @pendolema7195 4 месяца назад +6

    Safiiiii😊

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 4 месяца назад +5

    Serikali hii inatawaliwa namagaidi ndiyomaana wanaiba wanaua wanabambika raiawemamakesiyabure walaghai walafi hawajari haki zawatu,

  • @queenmama2033
    @queenmama2033 4 месяца назад +5

    😂😂😂😂😂 brother lema big up😂 iyo ya makondaa bhn

  • @deomuday7315
    @deomuday7315 4 месяца назад +7

    Lema kama Lema God bless you my brother

  • @ERICKEXON
    @ERICKEXON 4 месяца назад +4

    Lema nikiongozi Bora ajaye

  • @calistusmahombo-ty8ni
    @calistusmahombo-ty8ni 4 месяца назад +2

    Great minds

  • @user-or5hm7nl7q
    @user-or5hm7nl7q 4 месяца назад +4

    Nakubali sana

  • @Euph59
    @Euph59 4 месяца назад +3

    Chama Makini

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 4 месяца назад +2

    Hapo Lema siyo sawa mpe nafasi nzuri sio umwambie nyamaza.

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 4 месяца назад +3

    Lema yupo good

  • @amedeusleonce-hg7qf
    @amedeusleonce-hg7qf 4 месяца назад +2

    Ww apo kwenye nyuklia nimestopisha kwanza nimekunywa maji then naendelea kusikiliza kiukwel nainjoy na elimu napata

  • @PaulMadatta
    @PaulMadatta 4 месяца назад +3

    Da! Huyu jamaa sikuwahi kufikiri kama anauwezo namna hii aiseee😢😢😢😢😢

  • @FredrickKinyaha
    @FredrickKinyaha 4 месяца назад +2

    Hongera samaa mh lemaa

  • @godfreytarimo4296
    @godfreytarimo4296 4 месяца назад +2

    Hongera lemaa

  • @yusuphkichawele1009
    @yusuphkichawele1009 4 месяца назад +1

    Very wise Lema✌️✌️✌️

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 4 месяца назад +7

    Mrombo nikiwa gikombaa Nairobi

  • @kirariwilanya1850
    @kirariwilanya1850 4 месяца назад +2

    Ukimuona mwana cdm popote ujue ni madini Bora na adimu katika Nchi

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 4 месяца назад +2

    Mbona linapokuja suala la kutangaza kiasi tulichochanga kwenye programu ya Join -the chain anakuwa mkali.Wachaga kwenye pesa hawana utani.

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 4 месяца назад +1

    Odemba uko vizuri.Mtulivu.

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 4 месяца назад +5

    MFUMO UMETUTENGENEZEA UMASIKINI SERIKALI KUJIÓNA KUWA INAMAAMU ZI YANCHI NA SIO WANANCHI

    • @user-vd1vx1dc8p
      @user-vd1vx1dc8p 4 месяца назад +1

      Uko sawa! Ila wenye akili timamu tu ndiyo watakuelewa

  • @user-qe8yi9oh1d
    @user-qe8yi9oh1d 4 месяца назад +3

    Ila Mimi Lema Huwa nabarikiwa sana kukusikiliza

  • @RamadhanMdoe-pe9il
    @RamadhanMdoe-pe9il 4 месяца назад +3

    👍👍👍

  • @user-cl6oe4xu9g
    @user-cl6oe4xu9g 4 месяца назад +4

    Mbamban boss ✌️✌️✌️✌️💯

  • @PaulLukumbi-en3qd
    @PaulLukumbi-en3qd 4 месяца назад +1

    Odemba kwanza hondera kwa mijadara mizuri inayolenga kuelimisha jamii,pili tunahitaji viongozi kama lema nawengine wenye uthubutu.

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 4 месяца назад +4

    TIME WILL TELLLLLLLLLLL

  • @amedeusleonce-hg7qf
    @amedeusleonce-hg7qf 4 месяца назад +1

    Apo kwenye tuzo ya raisi na majibu nimepozi nimekunywa maji afu naendelea kusikiliza napata elimu ya kutosha apa

  • @michellerobert4600
    @michellerobert4600 4 месяца назад +4

    Madini

  • @ManaseJubilate-kk2gz
    @ManaseJubilate-kk2gz 4 месяца назад

    Great thinker 👏,nchi ina hali ngumu wala haionyeshi matumaini kwa watu wa kada ya chini🥺

  • @agtbss3463
    @agtbss3463 4 месяца назад +1

    Think tank ✌️✌️

  • @WamburaJomu-xy2is
    @WamburaJomu-xy2is 4 месяца назад +7

    Lema uko makini na majibu 👏👏👏

  • @user-ib5pj5sf8y
    @user-ib5pj5sf8y 4 месяца назад +1

    Lema,Heche na Pambalu ninyi ni vifaa kweli kweli 2ko pamoja mpaka kieleweke

  • @zuberilekengere5763
    @zuberilekengere5763 4 месяца назад +2

    Safi

  • @MakalaSimulizi
    @MakalaSimulizi 4 месяца назад +2

  • @BenjamnimsakaBenjamnimsa-ls9gu
    @BenjamnimsakaBenjamnimsa-ls9gu 4 месяца назад +2

    Tatizo mkuu akili Yako kubwa ubongo wa watanzania nimdogo unaingiza vitu vizito kwenye ubongo mdogo

  • @CRJr0905
    @CRJr0905 4 месяца назад +2

    🔥🔥🔥

  • @user-pb6qe7fv1u
    @user-pb6qe7fv1u 4 месяца назад +2

    Huyu odemba na alloyce nyanda ni waandishi wazuri na wanao jua sio hawa wengine machawa na wachambuz wa mapenzi

  • @alibalushi4691
    @alibalushi4691 4 месяца назад +2

    Star tv au chadema tv?msiwe wanafik.awamu hii ya sita imebarikiwa na mungu kuleta haki na utanda wazi.tukubali hali halisi

  • @fmleli.tz2004
    @fmleli.tz2004 4 месяца назад +3

    Lema ubunge ni kitu kidogo sana lami kata ya Ngarenaro ni alama

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 4 месяца назад +1

    Aliyempiga kofi Mzee Sinde Warioba,ni yule aliyemuuliza Kubenea swali unajua mimi ni nani? Kubenea alijibu nini?

  • @agustinokimaro1483
    @agustinokimaro1483 4 месяца назад +2

    Uchaguzi uje tuu lema tukurudishe mjengini haraka cnaaa

  • @Zanijasy-hy7vm
    @Zanijasy-hy7vm 4 месяца назад +1

    Lema ni Nabii

  • @IddyWahabu
    @IddyWahabu 4 месяца назад +3

    Hivi serikali yetu ni masikini kweli mbona viongozi wetu wanatumia magari ya kifahari sana mbn kama vile sisi sio masikini kiivyooo

  • @user-rc1dp6ux3k
    @user-rc1dp6ux3k 4 месяца назад +2

    Ccm haiwezi kushinda bila nguvu ya dola mshahara dhambi ni mauti watakufa

  • @pendolema7195
    @pendolema7195 4 месяца назад +1

    😮

  • @rahabufilangali-cp6br
    @rahabufilangali-cp6br 4 месяца назад

    Lemaaaaaaaa sio utamaduni wangu kuangalia comedy😂😂😂

  • @pendolema7195
    @pendolema7195 4 месяца назад +1

    ❤😮😮😊😊😊

  • @amedeusleonce-hg7qf
    @amedeusleonce-hg7qf 4 месяца назад +1

    Kinachoniuma una mwelimisha hadi odemba et pambana jiamin ila so vizur lema

  • @pendolema7195
    @pendolema7195 4 месяца назад +1

    😮😮

  • @innonjau19
    @innonjau19 4 месяца назад

    Hongera sana Mr Odemba kwa mahojiano mazuri, nimefurahishwa na utulivu mzuri uliokuwa nao wakati wote na kuibua hoja zilizokuwa zikimkera mlengwa.
    Job well done.

  • @DottoMussa-fx8pn
    @DottoMussa-fx8pn 4 месяца назад +2

    Hahahahahaha lema kamanda kweli kweliii nmefurahi na wazo lako kua umshauri mkuu wa jesh la polix makonda awe ndani

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 месяца назад +1

    👊✌️👍.

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 4 месяца назад +3

    TUNATAKA uhuru wetu

  • @omaryidd4373
    @omaryidd4373 4 месяца назад +1

    Lema wakikuita tena ongelea na machinga ulisahau Kamanda wangu Mbauda hamna sehem ya kufanyia biashara wanatukamatia biashara zetu

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 4 месяца назад +1

    Maccm niviziwi hawana bahatihiyo yakusoma nyakati ingawamwenyezi mungu amewafunulia nakuonyeshanguvu yake lakini bado wameshupaza shingo kama Farao kipindi cha musa, kwahiyo kunakitukibayasana kinainyemelea TZ eemungu tusaidiye utuepushe naubaya huu

  • @boniphacemwalikiamos4516
    @boniphacemwalikiamos4516 4 месяца назад +1

    tofauti ya Paul Makonda na Paul Mackenzie ni Nchi lakini mauaji ni yaleyale 😢