LEMA ATANGAZA VITA NA GAMBO UBUNGE MWAKA 2025 HAPATOSHI WASHIKANA MASHATI "MIMI BADO MBUNGE"
HTML-код
- Опубликовано: 28 янв 2024
- Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
RUclips : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...
Mm naomba tyu wasiibe kura ila atakae husika kuiba kura za lema mungu asimucheleweshe
Huyo mwandishi kafilisika sera kichwani! Akamuulize Mwenezi wa Chama Twawala shida,manung'uniko, na masikitiko ya Wananchi!
Unatangaza vizuri sana... Harmon ya utangazaji uko na sauti yako unaiweka safi sana... Big up mtangazaji
Me ninavyokufaham bado naona hata ubunge sio sehemu yako ila basi tyu wewe nafasi yako ni kua Raisi wa nchi hii kabixaaaa
Nakupenda bure kaka angu Lema
Hongera mh mkiti wa Kanda ya kaskazini
Lema hustaili kugombea ubunge tunaomba ugombee urais
Sema kweli mtumishi wa mungu,akika lema akirudi kua arusha mjini kua mbungu arusha utapona
Lema akigombea urais mimi nitampatia kura yangu.
Ongela kamanda
Halafu walimu na police ndiyo wanaitetea ccm waache waendelee kuteseka mpaka akili zao ziamke
Tuna msubiri kwa ham ❤ baba arusha ❤ jembe hlo baba ❤ mungu yuko nae kila wa kati❤
Lema utumishi uliotukuka upo ndani yako na Mungu akubariki(Mungu akuepushe na kila hila za Yule mwovu,na kila atendaye kazi za Ibilisi
Arusha tunampenda lema
Lema endelea kuomba mungu akudabo ujasiri mara zote.Wa nao kubesa ni mafala
Big up 💪xana lema akilinyingi sana
Aloo kweli Lema Yuko sawa kabisa hana xhd
Kura lema umepata mm nimwananchi wa kawaida tyu watu mtaan wanakupenda
Lazima ushinde kwajina la yesu
Na kubali maneno yako mpe mpe bana ❤
Arusha ni yako
Lema alitafuta wafadhili Arusha mjini tupate maji, Gambo akaingilia kuuvaa mradi ule kama kiongozi wa serikali mfadhili akaondoka mpaka Leo maji ya uhakika hakuna!
Waambie
Inshaallah atayiba kura Tanzania atalaniwa na mwenyezi mungu
Arusha is belong to God and Lema
Safi tuu
Dolla $1500-3000 ndo mshara wa kazi za chini Europe na USA.
Lema usijipe 100% kushinda,
Watu makini chadema
anazarau Sana
Gambo safar hii lile dirisha alopita lmezibwa
Naenda kaibe kazi yako ya zamani
Wanyiha bwana mnkondya huna lolote Bado upo enzi za zambi elim ndogo
Gambo atafute kazi ya kufanya hta uende ukagombee dar tyunakuletea lema upambane na jembe kwanz lema kidume
Waambie ukweli Hawa CCM ni wajinga sana
2020 mbona hukupita kama unskubalika
Mwandishi tulia tusikilize madini kidogo
Kuna vitu huyu jamaa akiongea vinapenya sana
Anastahili tu kuwepo alete changamoto.
👍
Porojo nyingi sanaa huyu Lema
Fatani mkubwa huyo muongo mkubwa. Mbunge ulikimbia muongo fatan mkubwa huyo mbaka Dini zetu anakebehi muongo na fatani mkubwa huyo
Mbona.husemi.raiya.unatamani.ubunge.wapeni.nawengine
👍✌️👊.
Arusha Mji wa.Mataifa
LAKINI MJI UN MATATIZO .....NO WATER...IKIPATA
MAJI NI YA CHUMVI
AIBU KUBWA SANA......
KWELI ARUSHA HAIENDELEI...
NO WATER
NO POWER
NO MILK
..........
Kugombea
Ungepunguza sifa
mhemiwa.kagombekondoa upeleke
Maendeleo. Mbele.
Ulikuwa Mbunge Hujafanya Lolote Hatukutaki Wewe Ni Mchochezi Tuuuu
Maswali ya mambumbumbu ya chama Twawala! Kodi zenu mnampa Mbunge ili muwadai wamefanya Nini?
Kwani anakusanya kodi
Ulitaka bibi yako ndiyo awe m bunge, huyo ambaye ni m bunge baada ya lema yeye kakufanyia kipi shoga wewe
Wewe ni 00000.0000” x 0000000000”.0000=0
Tulisikia chadema kama katiba na nec haitafanyiwa mabadiko hamtashiriki imekuwaje tena
Lema una point ila sasa unachanganya na kingereza mengine hatuyaelewi ebu ongea angalao kiswahili zaidi
Mheshimiwa Lema Mbona humping nafasi Mtangazaji anapokuhoji.? Kwanini unamkatisha alafu wewe unaongea sana hutaki ukatishwe. ILOVE YOU LEMA.
binafsi namwamini sana uyu mwamba kwnza hana nizam ya uoga nikikumbuka 2005 najuwa awezi kosa ushindi pindi uchaguzi ukiwa nawa huru na aki
Huyu ni mmbunge wetu chuga yetu
Wasiibe kura tu
Lema MÙNGU akubarikisaana miminakuombea
Lema sikuzote your Smart tungepata mawaziri watano kama ww njichi hii ingekua mbali
Huyu jambazi mkubwa
Maandiko yanasema akiwapo nabii MUNGUATAJIFUNUA KUtokananahuyonabii
Tobowa lema mwambiye huyo mwandishi.
Mguakupe uzima
Unataka swawabu kwa uongo
lema mwamba
Arusha bado tunakukubali kamanda Lema,ingawa ccm walikunyang'anya kinyume chetu bado hujapoteza,Karibu Gambo anajua alivyoshinda na hata aongee mema kiasi gani bungeni na uraiani tunataka bunge la mseto na wananchi bado tunakumbuka matendo yake kwa upinzani wakati akiwa DC/RC na aliapa atamshinda kwa vyovyote na kweli ccm ilishinda nchi nzima kana kwamba wananchi woote nchini waliichagua ccm tu!
Lema alikosea kuwatukana bodaboda na JOODEV hilo tu lilimuondolea kasivii frana tena bado anatukana tena maaskofu wachungaji manabii bodaboda hapo tu unakosea
Kwa wao wakina Nani
Mbona viongozi wa ccm amuwaulizi maswali magumu Kama hayo
Hahaha.kama Trump I want to ask you tough questions 😂😂😂
Viongozi wa ccm ni chenga sana hawa jui kujibu maswali
Mwandishi jipange maswali ya kumuuliza huyo jamaa hayo mabarabara na mavitu wanayotaja wamefanya ni kodii zetu.
Sio rahisi miaka 10 alokaa lema ukilinganisha na mitatu ya gambo gambo kafanya mengi lema alikua akijidai eti katupa ujasiri lakini akakimbiza familia yake nje mpk sasa inakula pizza Canada sisi tunakula mihogo na pilipili
Pesa za ccm hupekekwa kwa Kwa mbunge ambaye ni Wa chama chao
Ww kuandika hujui so nyamaza hujui kitu nikianza kukuelewesha napoteza bando
Gambo ana kashfa na chama chake
Gambo ana kashfa na serikali yake
Mengine tunyamaze
Pamoja na yote ila lema hafai sio mzalendo mbona mbowe sugu na wengine hawakukacha mbowe alikaa mpk jela lema akaishia nje ya nchi mpk Leo mkewe na watoto hawapo tz
lema tatizo unapenda sifa mzee
Anasema ukweli we ndo huelewi
Acha ushoga wewe
Mwenye wivu ajinyonge
Lema usijipe moyo. Huna lolote in mhuni tu .Labda CCM isimteuwe mrisho
Ww wasema
Lema mbwembwe nyingi tu lakini una njaa kali tu, Huko nje ulikoenda ukaona kuzuri si ungekaa hukohuko umerudi kuganga njaa tu. Lakini nakusifu unafaabsana kwa PROPAGANDA !
Sasa njaa aliyonayo lema na njaa uliyonayo wewe yupi atakufa haraka kama sio wewe, fikiria vitu vya kuongea na ushoga uache
@@husseinamassanza50sio lazima ulijibu by robot la Ccm Hilo
Uliifanya nini ulivyokuwa Mbunge Arusha wacha ujinga Wewe LEMA mhuni mmoja Jambazi mwizi wa magari Arusha
Huyo kadata
Tunamtaka lema ndio nimbunge kwa sababu hatujamchagua gambo sisi