#MEDANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 мар 2024
  • Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
    Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
    Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
    Star TV Brightens Your Day !
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 157

  • @paull8659
    @paull8659 3 месяца назад +13

    Mwandishi huyu ni smart sana, Gambo ni takataka mavi.

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 3 месяца назад

      Utakataka wa gambo uko wap? Basi ww utakuwa mavi kabisa

    • @elizariatsere7701
      @elizariatsere7701 3 месяца назад

      Mbona Yuko vizuri ila wewe uwezo wa uelewa uko chini ya kiwango

  • @user-mt6ik3dc4u
    @user-mt6ik3dc4u 3 месяца назад +7

    gambo muogope mungu ww hukushnda

  • @user-ij2vf9fn3t
    @user-ij2vf9fn3t 3 месяца назад +7

    Gambo hana uwezo wa kushindana na Lema Arusha

  • @kakawataifa6752
    @kakawataifa6752 3 месяца назад +7

    Gambo nimekusikiliza kwa makini ukiwa mzee utakuwa bonge la mchawi

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 3 месяца назад +7

    Gambo anachekesha hana ubavu kabisa amshukuru magu

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 3 месяца назад +5

    Gambo ana jua. Lema ni mwamba.
    Gambo hana kitu zaidi ya umbea.
    Tuna mshauri ata fute kazi ya kufanya.

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 3 месяца назад +6

    Machawa wa mwendazake hawa waliishi kwa kumtegemea binadamu badala ya kumtegemea mungu..

  • @MamertiPeter-uo7ul
    @MamertiPeter-uo7ul 3 месяца назад +2

    Dah! Mpaka naona aibu kuwa na mbunge WA aina hii,utafkiri nlimchagua.

  • @ngalamawecheslous9976
    @ngalamawecheslous9976 3 месяца назад +4

    Mwadishi nitafute kunazawad yako safi sana kwa maswali mazur yaliyokosa majibu sahii bila kusahau kauli ipuuzwe au

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 3 месяца назад +7

    Lema ndiye Mbunge wa Arusha!

  • @marselihindoy8977
    @marselihindoy8977 3 месяца назад +10

    Maswali mengi unafeli kujibu. Lema bado anafiti sana Arusha mjini.

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 3 месяца назад +3

    Chieff Odemba. Unapomaliza kipindi basi usisahau ile salamu yako yakilugha chako cha kijaluo. Huwa naikubali sana.

  • @vitalisnyagali2774
    @vitalisnyagali2774 3 месяца назад +8

    Mwandishi namba moja

  • @mwl.michaelsainethmlowe2641
    @mwl.michaelsainethmlowe2641 3 месяца назад +5

    Maswali Bado hawezi kujibu kabisa 😊😊😊

    • @qonquererqanquerer1781
      @qonquererqanquerer1781 3 месяца назад +1

      Ni Mjinga Anangangana Kumshambilia Mwenye Jimbo Lake, Anajua Yupo Bungeni Pasipo Na Kibali Cha Wapiga Kura Wabunge Wa Mchongo Wa Mwendazake.

  • @MuhojaMalicho
    @MuhojaMalicho 3 месяца назад +7

    Sijawai kumsikia gambo kutetea watu wa ngologolo wala maisha magumu kwa wanaichi yeye anagalia masilai yake

  • @user-fl7jl7vk3n
    @user-fl7jl7vk3n 3 месяца назад +13

    We kalale huna lolote tuachie lema ndoo mbunge wa Arusha mjini

  • @mmassfashion963
    @mmassfashion963 3 месяца назад +3

    Hamna anachojibu anaulizwa kitu anajibu ujinga tena ujinga wa hali ya ujuu ila odemba salute san una ubongo mzur wa kutafakari na wa hoja nzur san

  • @manricky100
    @manricky100 3 месяца назад +2

    Chief Odemba hii kazi unaiweza

  • @pascalmtui7305
    @pascalmtui7305 3 месяца назад +7

    This is big agenda 2024 Mwandishi unastahili ulinzi

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 3 месяца назад +10

    Mzeee chuga hawawez kuchagua mtu kama ww😅😅😅 em toka hapaaa

  • @oscarwasenga1333
    @oscarwasenga1333 3 месяца назад +6

    Huyu mwandishi anaakili kuliko wakina ayo tv

  • @paull8659
    @paull8659 3 месяца назад +8

    Kweli Gambo amejaa mavi kwenye ubongo wake, kama walivyo maccm wengi.Pumbafff

  • @Jamessichone-tg7pm
    @Jamessichone-tg7pm 3 месяца назад +3

    Kiukweli ndugu mtangazaji unamswali mazuri sana mh gambo akumbuke kuwa wananchi wa vyama pinzani nawao ni walipa kodi kwanini wanyimwe haki zao za msingi

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 2 месяца назад

    Great associate....tulikuwa wote uvccm

  • @ivanrobert3071
    @ivanrobert3071 3 месяца назад +9

    Arusha si Maboya banaa Gamboo huwezi mshinda Lema hata kwa kumkaribia tu katika uchaguzi huru na haki Arusha ni Lema na Lema ni Arusha ww ni Asante Magufulu we all know that.

  • @kibundapesamadimba6352
    @kibundapesamadimba6352 3 месяца назад +3

    Hakuna mbunge hapaaaa,ni mbwembwe!!!!!

  • @frankyahaya8978
    @frankyahaya8978 3 месяца назад +2

    Kweli gambo huna Sela hata Moja, nikweli ulipitishwa na time ya uchaguzi, katafute kazi yakufanya

  • @zebedayodiganyeck2046
    @zebedayodiganyeck2046 3 месяца назад +2

    Dah mtangazaji upo vizuri kwenye maswali majibu ndo hayapo

  • @lucaolerikoyian2217
    @lucaolerikoyian2217 3 месяца назад +4

    I love this journalist

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 3 месяца назад +6

    Gambo mbona unashindwa kujibu maswali unayoulizwa na mwandishiiiiiiii??? Nenda ukalale kama umeshindwa hoja.

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 3 месяца назад +6

    Bonge la mwandishi wa habari, tumpe maua yake.

  • @user-oq5sd7kh4r
    @user-oq5sd7kh4r 3 месяца назад +3

    Bonge la muamdishi

  • @Dismasmmassy
    @Dismasmmassy 3 месяца назад +5

    Kichaaa uyo

  • @rejobu9723
    @rejobu9723 3 месяца назад +4

    Gambo huna jipya

  • @mmassfashion963
    @mmassfashion963 3 месяца назад +3

    Ety serikal inadai wananchi umeanza kuchanganyikiwa😂😂😂😂😂

  • @giftyjackson2461
    @giftyjackson2461 3 месяца назад +4

    Mwandishi safi

  • @frocoissango8973
    @frocoissango8973 3 месяца назад +6

    Yani huyu kilaza kweli swali ni kwamba ela unatowa wapi mmbuge? Na usipo pewa izo ila ufanyeje? Kila alipo mpizani atupeleki…?

  • @Uncle_Poul
    @Uncle_Poul 3 месяца назад +4

    😂😂😂 Gambo hana chake Arusha kwa staili hii

  • @godfreytarimo4296
    @godfreytarimo4296 3 месяца назад +3

    Unaulizw hiki unajb tofaut we ni boy

  • @rastheunique
    @rastheunique 3 месяца назад +1

    Huyu ni mashaka kweli aisee😅😅

  • @feruzmato4422
    @feruzmato4422 3 месяца назад +1

    We chifu ni noma kwa maswali

  • @crispinKutandawa-cv2vo
    @crispinKutandawa-cv2vo 3 месяца назад +2

    Hebu angalia mwizi na fisadi Gambo anavyoropoka kama mshirikina alekutwa na laana

  • @user-jo9gp5tb9w
    @user-jo9gp5tb9w 2 месяца назад +1

    Gambo hana uwezo wakushindana na lema

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 3 месяца назад +4

    Uwiano wa maendeleo ya taifa na umri wa taifa..miaka 63 ya uhuru kutowiana ni swala linalohitaji mjadala mpana zaidi!

  • @mosesndanga5365
    @mosesndanga5365 3 месяца назад +1

    Dakika ya 11 nimechoka sasa

  • @user-xi9fc9ej5o
    @user-xi9fc9ej5o 3 месяца назад +3

    Jibu maswali gambo

  • @frankyahaya8978
    @frankyahaya8978 3 месяца назад +2

    Jibu maswali acha kujikanyaga gambo

  • @happybello4635
    @happybello4635 3 месяца назад +1

    Daah bonge la interview

  • @user-or5hm7nl7q
    @user-or5hm7nl7q 3 месяца назад +3

    Gambo ujue akuna k2 apo pumba tu

  • @user-py9jj5yr9l
    @user-py9jj5yr9l 3 месяца назад +3

    Mwandishi anaitaji tunzo

  • @claverymayango8288
    @claverymayango8288 3 месяца назад +1

    Mwandishi big up sana, gambo propaganda kwelikweli unazingua.

  • @Emmanuelmbai-in8ie
    @Emmanuelmbai-in8ie 3 месяца назад +2

    ivike atua kaka uwe unawapa point kwa kila swali kaka ongera. Sana kaka maswali ya Yana tija lakini sisi wamasai kutolea ngorongoro je nilani ya c

  • @adamsfamilymediagroup
    @adamsfamilymediagroup 3 месяца назад +6

    Hoja za maswali hazijibiwi, lol

  • @herrymnyika6225
    @herrymnyika6225 3 месяца назад +1

    Gambo Matopeni Au alikuwa na Swaumu 😀

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 3 месяца назад +2

    Uchu wa madaraka

  • @mangenyanyondo8691
    @mangenyanyondo8691 3 месяца назад +2

    Huna uwezi wa kushinda ubunge arusha mjini

  • @frankremishoy5778
    @frankremishoy5778 3 месяца назад +3

    Hakuna hoja hapa ni za mtt wa darasa la saba.

  • @metiliole7189
    @metiliole7189 3 месяца назад +4

    Mbona hajibu maswali

  • @danielamosi6871
    @danielamosi6871 3 месяца назад +3

    Tunamtaka lema

    • @herrymnyika6225
      @herrymnyika6225 3 месяца назад

      Alikuwa hapa mwezi mmoja ukionpitaaa

  • @isackyombe8410
    @isackyombe8410 3 месяца назад

    Nyanda we noma ...una maswali konk na mazur sana

  • @samanyaswai
    @samanyaswai 2 месяца назад

    Chairman Haijawahi babe mtu kwenye roli Wanakuja Wao Wenyewe.

  • @thomasmollel9465
    @thomasmollel9465 3 месяца назад +1

    Chief Odemba nakukubali umekuwa mwanaharakati mzuri katika kutangaza haki na kuinterview viongozi wetu mungu akupe uwepesi lakini gambo bado hajawa na uwezo wa kujibu maswali yako kwa ufasaha lema ndio arusha respect kwake wanaoharibu ccm ni baadhi ya viongozi wasio waadilifu na ndio wanaoharibu sifa ya mama angalau makonda anajaribu kuonyesha njia sahihi lakini wengi hawataupikea na ungesaidia ccm kwa kiwango kikubwa , cha kumshauri gambo atumie ukaribu aliyonayo kwa mama kujihimarisha na kuonyesha uzoefu wa kazi bcoz kwa sasa yeye siyo mwanasiasa lingine kiongozi mwenye madaraka siyo kushindana na asiye na madaraka bali nikutumia kelele yake kujiimarisha na kufanya yale yanayopigiwa kelele na yule mshindani wake . Ndio mbinu sahihi ya kujiokoa na kulinda maslahi ya watoto na familia yao

  • @augustinejobmkongwa7599
    @augustinejobmkongwa7599 3 месяца назад +2

    Mrisho Gambo una kitu ndani yako

  • @allyndebeye9053
    @allyndebeye9053 3 месяца назад +1

    Unampiga maswali kama umetumwa na lema haloo??

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 3 месяца назад +1

    Mueshimiwa muandishi wa habari huyu mbunge wa arusha mjini ushamvua nguo kwa wenzake

  • @christianwilfred819
    @christianwilfred819 3 месяца назад +2

    Kwa bahati mbaya mbunge mwenye akili kama hii anaweza kuwa waziri ccm wanaiharibu hii nchi

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 3 месяца назад

    Ila nyanda unitendea haki taaruma yako

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 3 месяца назад

    Kumbe anaitwa mashaka ndio maana anashindwa kujibu maswali. Wazazi tuwe makini tunapowapa watoto majina. Utashangaa unamuita mtoto mashaka, matatizo, mawazo, tabu, shida, hapanaaaaaa!!!!! Haifai tuwe makini

  • @AmanLaizer-rb5rt
    @AmanLaizer-rb5rt 3 месяца назад

    Wabunge wa mwendazake a.k.a viti maalum.

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 3 месяца назад

    Sikujjua huyu jamaa kiwango kiko chini hivyo. Ndio maana G. Lema anajiamini sana Arusha

  • @happybello4635
    @happybello4635 3 месяца назад

    Gambo ebu tuacheee tuchekeeeee yaan ulivyo muongo hata Mungu hapendi

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 3 месяца назад

    Gambo anachekesha kumbe kichwani hazimo kabisa kweli magu alituchagulia vilaza na majukha hivi pumbavu kabisa

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies9670 3 месяца назад

    Mwandishi kwamba jamaa alikua na roho mbaya kiasi hicho, ila ukweli huyu jamaa alitumika vibaya kipindi cha mwendazake

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 3 месяца назад +1

    Odemba wewe ni mwandishi makini na mzoefu sana. Na kituo cha Star TV. Ni kituo kikubwa kabla hamujamualika mtu kuja studio fanyeni uchambuzi wakina kwanza. Sio kila mtu wakualika tu studio hapo. Mnakidharirisha kituo chenu some time.

  • @allyndebeye9053
    @allyndebeye9053 3 месяца назад

    Ndugu mwandishi maswali yako hakiki maana lugha nyengine ni kalii.

  • @suphiandaudimbalazi2488
    @suphiandaudimbalazi2488 3 месяца назад

    Dakika ya 4 hadi 6

  • @user-rw7ww2yd7i
    @user-rw7ww2yd7i 3 месяца назад

    Mwandishi mnafiki ametumwa

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 3 месяца назад

    Huyu Mtangazaji kama hujajipanga vizuri unaweza ukakimbia mahojiano.. Duh!🤣😂!.. Huyu mbunge angejua atakutana na hoja nzito kiasi hicho asingeshiriki hiyo interview..

  • @user-ut5bl9tt3x
    @user-ut5bl9tt3x 3 месяца назад +1

    😂😂Gamboooo

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 3 месяца назад

    Mwandishi bora aliyebakia Tanzania

    • @qonquererqanquerer1781
      @qonquererqanquerer1781 3 месяца назад

      Yupo Yule Mwingine Mtozi Nae Yuko Vizuri, Waandishi Wa Aina Hii Wanaitendea Haki Taaluma Yao.

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 месяца назад

    ILA N KWEL YAN UNAKUTA MTU YUKO KIGOMA ANAMZUNGUMZIA GAMBO AMBAE ANACHAGULIWA NA WATU WA ARUSHA HAWEZ KUONGEA UHALISIA WA WATU WA ARUSHA

  • @allandavid752
    @allandavid752 3 месяца назад

    Analalamika milima inauzwa na viongoz ili hali viongoz wote waliopo kwenye nafasi ni ccm,huku anakuambia ccm ni chama kinachojali watu

  • @yisambimbomatanzaniadaress8531
    @yisambimbomatanzaniadaress8531 3 месяца назад

    Mwenye kiti wa chamade anauwezo wa kumwambia mkurugenzi kuwa nimekuchagua na nimekuoa gari na nyumba? Mwenye kiting wa chama answerable kumquat mkurugenzi yoyote au mtu yoyote nsani ya taifa?

  • @kaguripenina63
    @kaguripenina63 3 месяца назад

    Hiyo ndoo akiliyako na vyeo vyote ulivyopitia ,??

  • @giftndosi8232
    @giftndosi8232 3 месяца назад

    Chief apewe ubunge aise 😊

  • @godfreytarimo4296
    @godfreytarimo4296 3 месяца назад

    Huyo gambo ni mbw me ni jiran yake Barbara mbov kwnz aish muriet kahm ana maan huyo mjing

  • @shedrackpiniel6800
    @shedrackpiniel6800 3 месяца назад

    Minazani baada ya hii interview huyu jamaa anaenda kuwa adui yako na ifike maali ccm msikubali kuojiwa

  • @MdYeasin-xx1gm
    @MdYeasin-xx1gm 3 месяца назад

    unastaiki kufanya kazi BBC au CNN ongera mwandishi akuna mbunge apo

  • @Joseph-vo1cj
    @Joseph-vo1cj 3 месяца назад

    Achana has uyo ukawa

  • @omaryidd4373
    @omaryidd4373 3 месяца назад

    Sasa mrisho gambo waliouza mlima unawajua tuambie ni ccm au nichadema na kama wameuza zipi hatua za kisheria zimechukuliwa na serejali yenu

  • @nyamarungujr7834
    @nyamarungujr7834 3 месяца назад

    Swali la Dakika 18...kama alisema kama mwenyekiti swali ni je mwenyekiti wa chama ndo mwenye majukumu kikatiba ya kutoa izo teuzi za kazi za kusimamia uchaguzi??

  • @kaguripenina63
    @kaguripenina63 3 месяца назад

    Eti ubunge ni wito wakati mnalipwa 18milion nyokozako

  • @crispinKutandawa-cv2vo
    @crispinKutandawa-cv2vo 3 месяца назад

    Acha kuropoka hovyo badae ukapimwe shinikizo la damu

  • @frocoissango8973
    @frocoissango8973 3 месяца назад

    Yani ilo swali ndo uwa lina wagusha kabisa miaka 63 kweli hahahaha Africa shida kweli

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 3 месяца назад

    Dah yaani hii ndio type ya wawakilishi tulio nao

    • @qonquererqanquerer1781
      @qonquererqanquerer1781 3 месяца назад

      Ujinga Mtupu, Hii Ndiyo Ahsante Mwendazake Ubongo Wa Kuku Una Akili Kuliko Hiki Kituko Cha Leo.

  • @hancybrouwn5032
    @hancybrouwn5032 3 месяца назад

    Uyu mbunge dah ni ajielewi kabisa dah skutegemea yaan uyu ilkuwaje ata ccm wampe dhamana ya kuwa mgombea wake

  • @user-mo3ik6go6r
    @user-mo3ik6go6r 3 месяца назад

    Duu kumbe gambo hakuna kitu

  • @AbdulMajid-kj5bi
    @AbdulMajid-kj5bi 3 месяца назад +1

    SAFI SANA GAMBO KWA KAZI KUBWA ILIYOTUKUKA ARUSHA

    • @andrewkissava9184
      @andrewkissava9184 3 месяца назад

      Kazi aliyofanya gambo Arusha au kwakuwa ni mwislamu mwenzako ,hebu tuondokee na Udini wenu ,waislamu ni watu wenye husida

    • @IsmailKatala
      @IsmailKatala 3 месяца назад

      ​@@andrewkissava9184Wewe ndiyo unaleta you udini, ni wapi kataja suala la dini?

    • @mkolwebrown4599
      @mkolwebrown4599 3 месяца назад

      K**

  • @user-uq5vm2ge4q
    @user-uq5vm2ge4q 3 месяца назад

    😂😂😂😂😂 gambo

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 3 месяца назад

    Mambo mbona unafeli, Kuna hoja inatakiwa uzijibu bila kuwa zuzu unajipatia heshima broo huu ni usharudi wa buree