#MEDANIZASIASA
HTML-код
- Опубликовано: 29 апр 2024
- Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
Star TV Brightens Your Day !
Ashim Rungwe umetisha sana mkuu
Mwandishi mjuz Niko upande wako jinsi unavyo mchota anajaa mazima Asante sana kwa uwezo wako😊😊😊
😂😂😂😂😂
Hashim ndo yuko vizuriiii
Sana mzee wa ubwabwa una sera zinakonga nyoyo
Saaana mzee wa ubwabwa... Toboa ili tuyajue 😊😊
Accountability
Mzee.hashimu.akili.kubwa
Ila haya mahojiano nimecheka sana😂
Mzee wa ubwabwa namsikiliza kutoka California 😂😂😂
"Na hii Bahari ,Dodoma..tunaelewana ? Nitapeleka Bahari Dodoma wagogo wakavue samaki! Na nyinyi watoto wadogo hamuelewii " -Hashmu Rungwe
Kunahaja yakubadilisha katina
Tafadhali tuletee lissu
Duh ndo mimi tu nnaeangalia hii jobless itaniua walah
Wewe ndo jobless na maccm wenzio
Vyama VYOTE vya upinzani wakiwa kama wewe na chadema tunafika mbali
😂😂😂😂