SHEIKH FARID HADI AMALIZA UTATA MZOZO WA ARAFA | KHUTBA YA IJUMAA | MASJID JAMII ZINJIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 июн 2024
  • KARIBU KATIKA CHANAL YETU USISAHAU KUSUBCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT :
    TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU ILI PATE FAIDA KTIKA BIASHARA YAKO
    PIA CHANAL YETU INAOMBA MSAADA WAKO WA VIFAA ILI TUWEZE KUENDELEZA ZAID TV YET HII KUZIDI KUTOA ELIMU KATIKA JAMII AHSANTE
    www.nouralmustafatz.org
    Tel : +255 777 144 988 :
    TUNAPOKEA USHAURI NA MAONI

Комментарии • 222

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 10 дней назад +5

    unajua kuna watu wanashindwa kutofautisha baina elimu na msimamo!!😢 shegh farid allah akulipe gheri

  • @AllySaadat
    @AllySaadat 11 дней назад +11

    WALLAH ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH, WATU WOOTE WENYE HEKIMA NA WAKWELI WASIOTUMIA HISIA KAMA WEWE KATIKA ARAFA WANASEMA KWELI NA KUUNGANISHA UMMA. ALLAH AKUHIFADHI.

    • @Foodgrower112
      @Foodgrower112 11 дней назад

      Jela mbaya sana hata kama huna elimu huwezi sikiliza huu ………..

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 11 дней назад +2

      @@Foodgrower112Imekhusu nini Jela hapo??????

    • @AhmedAli-ws2lz
      @AhmedAli-ws2lz 10 дней назад

      ​@@Foodgrower112lete wako yeye Kaleta kwa Dalili kama huu si malizia ww ambae hujaenda jela mbona huna hoja

    • @falmaliciousfoods4638
      @falmaliciousfoods4638 10 дней назад +1

      Aamiin thumma aamiin

    • @user-su7np6sn7s
      @user-su7np6sn7s 9 дней назад

      Sasa wewe unaempinga huyu sheikh Ni Nini?
      Mbona anaongea Kwa ushahidi kabisa?
      Au kwababu mlitaka ajiunge Na nyinyi miwahabi ili apotoshe watu sheikh faridi akajiongeza akaona huku Kwa mawahabi hapafai
      Sasa wewe unaempinga lete ya kwako tukusikilize
      Au kama VP wewe Fata unayoyajua wewe
      Sisi Wala hatutokufuata wakazigani wewe ndomana pia mlianza kumsema sheikh kishki eti amemleta sheikh kutoka Saudia Kua Ni sheikh wa kiibadh
      Nendeni mkasome
      Tena sheikh faridi akiongea unamsikia stereo yake very clear kama Hothman maalim vile

  • @abdallahhalifa5860
    @abdallahhalifa5860 11 дней назад +11

    Mashallahu Mqmeno Faswaha Kabisa Allah akujaze kheyr Sheikh

  • @sadicksince2008
    @sadicksince2008 11 дней назад +7

    Allah akulipe kheri shekhe na akujaalie mwisho mwema wewe na familia yako na waislamu wote wanafuata mwenendo wa mtume. Aaamin

  • @SaidHassan-ot3un
    @SaidHassan-ot3un 11 дней назад +8

    Mashallah maneno yameeleweka,allah akuzidishie elimu na ufaham ulio mzuri

  • @user-su7np6sn7s
    @user-su7np6sn7s 9 дней назад +1

    Anampinga sheikh faridi tuaacheni waendelee kumpi ga hao ni mashetani wa kiyahudi ndo maboss wao
    ALLAH nakuomba unipe umri mrefu na pia umpe sheikh farid umri mrefu ili nikachume ilimu japo kidoogo kwake
    Au kwa masheikh wengine wenye msimamo kama wa sheikh farid
    INSHA ALLAH

  • @masoudrashid6807
    @masoudrashid6807 6 дней назад

    mimi nilikuwa niikose hii faida Alhamdulillah ALLAH kanijaalia kuipata.Yaani Umeieleza kwa uzuri ALLAH Akuhifadhi sheikh Farid..

  • @AhmedAli-ws2lz
    @AhmedAli-ws2lz 10 дней назад +2

    Mashaallah Sheikh wetu Sheikh Farid Allah akuhifadhi walikua tena habariiii ndo hawa sikia kwa ukaidi wao

  • @w4058
    @w4058 7 дней назад

    Tatizo lenu ni kutowa kufahamu uchambuzi wa Masheikh Ibnu Baaz na wenzake ufahamu wenu mfupi na ukaidi tu kwasababu elimu za hao mnaowafuata mshatajiwa mpaka Mtume SAW bado tu mnakaidi Subhanallah Wazayuni wamekupateni na hao Masheikh wenu wanaokuwa hawataki kuona kwamba wamekosea

  • @masoud7486
    @masoud7486 6 дней назад

    Kweli kabisa Allah akuzidishie eliimu. Hawo wanataka kupoteza watu wana lipwa kupoteza watu

  • @w4058
    @w4058 7 дней назад

    Nakuunga mkono hao hawana elimu ya fiqhi wala sheria za chimbuko la ibada Allah akuweke Sheikh wetu Allah akuzidishie elimu

  • @user-wu8yy4mw5p
    @user-wu8yy4mw5p 10 дней назад +3

    Nilivyomfaham shekh nikua Kuna mambo mawili tofauti,kunakisimamo Cha Arafa,na Fungal ya Arafa tufaham HIV nivitu viwili tofauti

  • @thamani5842
    @thamani5842 11 дней назад +3

    Jazakallahulkheir Sheikh.

  • @AlSianySelemani
    @AlSianySelemani 5 дней назад

    😢 Masha Allah! Allahuma barik alayhi, i am so blessed to day??

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 11 дней назад +3

    جزاك الله خيرًا جزيلًا وبارك الله لك
    حفظك الله من حسد المفسدين

  • @MARSCONGONAUHURU
    @MARSCONGONAUHURU 11 дней назад +2

    Mashallah ni kweli shekh farid

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 10 дней назад +1

    unajua tofauti ya waafrica na wazungu nyingi sana::: ila waafrica tatizo letu ni, kujikweza sana na wajinga huwa ndio wenye kutoa fatwa....... unakuta mtu anatoa fatwa ili hali umwambie aichambue bismillah haiwezi😂😂:: note tusiwadharau wenye elimu,,, allah awajaze heri mashegh wetu🙏🏿

  • @user-mv5wu5or9v
    @user-mv5wu5or9v 5 дней назад

    Hayo maajabu yapo kwetu TU ila Dunia nzima inafahamu na Allah ni mkwasi msifiwa na humuongoza amtakae kwenye nuru yake

  • @MuhammadRashid-jq7eq
    @MuhammadRashid-jq7eq 11 дней назад +4

    Swadaqtaaa

  • @salminimaloki1992
    @salminimaloki1992 11 дней назад +2

    Jazakallah khayran

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 9 дней назад

    Maneno ya hakki maneno kuntu, anaetaka na afahamu na asietaka basi na aendelee na uwahabi wake 🎉

  • @MohamedChamwenyewe-tn3gw
    @MohamedChamwenyewe-tn3gw 11 дней назад +3

    Maashallah

  • @user-xv7ui8ji1j
    @user-xv7ui8ji1j 10 дней назад +1

    Sawa sheikh faridi...

  • @susususu139
    @susususu139 4 дня назад

    Baraka Allah fik

  • @mwanamvuajamali8215
    @mwanamvuajamali8215 7 дней назад

    Uzuri haki haizami battli ndo inazama Allah atailinda dini yake yahaki na itazid kuwajuu,mashekh wakisalafi Allah azidi kuwapa maarifa wazidi kuifahamisha haki

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 11 дней назад +2

    Mashaallah

  • @mdoekibai3991
    @mdoekibai3991 10 дней назад

    nikikuangalia machiz Yananilenga leng chakufanya can ila nakuombea kwa Allah akuifadhi na akuondoshee matatizo yaduniani akuingize ktk pepoyake inshallah

  • @AllyOthman-cb6tk
    @AllyOthman-cb6tk 11 дней назад +2

    Mashallah

  • @MrishoKibavu
    @MrishoKibavu 10 дней назад +4

    Hakika umemaliza haki ndio hiyo anaetaka afate asietaka aaache uko mkweli kabisa

  • @omarathmani6216
    @omarathmani6216 9 дней назад

    MashaAllah shekh

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 9 дней назад

    Waislam tuna tarehe mbili ndan ya Siku moja huu ni mtihan,

  • @user-xf9bn8ol7y
    @user-xf9bn8ol7y 10 дней назад +2

    Ndugu zangu kama hutaki kumfuata ama kumsikiliza usimtukane.huo sio uislamu

  • @mufydal-harousy5939
    @mufydal-harousy5939 10 дней назад

    JAZZAKA LLAHU KHAYRA

  • @khamismaulid-zh4xk
    @khamismaulid-zh4xk 5 дней назад

    Shehe wangu Alla akuhifadhi hii fungeni tisa umetowa wapi usizongewatu

  • @user-gk8tt1qd8p
    @user-gk8tt1qd8p 10 дней назад +1

    Ahsanta

  • @khamishassan68
    @khamishassan68 9 дней назад

    Ivo kweli umoja katika dini nikwa sisi wazanzibar tu !! Uislamu hauko ivo na ndio mana Uislamu huwaunasimamia ulimwengu mzima (Khalifa)

  • @MuhammadRashid-jq7eq
    @MuhammadRashid-jq7eq 11 дней назад +3

    Maneno ya kisawasawa

  • @user-pe9nq3wu4p
    @user-pe9nq3wu4p 11 дней назад +1

    Hogera she wetu wasomo

  • @HABIBHABIB-bt8dp
    @HABIBHABIB-bt8dp 8 дней назад

    Kila mtu Ana upeo wake wa elimu na hio yeye ndio ufahamu wake na dini si kwa akili ya mtu Allah amjalie kila la kheri

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 10 дней назад +1

    Kwa wasomjuwa sheikh farid huu ndo msimamo wake miaka na miaka. Kabla hajafungwa na hata asaiv.
    Kwa hyo shiken adabu zenu kumtukana sheikh.

    • @thamani5842
      @thamani5842 10 дней назад

      Wasitutukanie Sheikh wetu, watuache na miezi yao ya viganjani

    • @user-og5vd9qu7r
      @user-og5vd9qu7r 10 дней назад

      Na siku Marekani akizuia mitandao ikawa hakuna mawasiliano wao watafuata nani

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 9 дней назад

    Ukute yeye mwenyewe siku ya Arafa ikifika ataamka na nia ya kuungana na mahujaji kwenye viwanja vya Arafa.
    Ila tena jamii awe tofauti nayo, hajasahau kuleeee

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi 10 дней назад

    Wote mko sahihi acheni ikhtilafu zitakazowasumbua waislamu.

  • @user-fz9ir4nj1y
    @user-fz9ir4nj1y 11 дней назад +5

    Sasa nyie izo zenu ni dhana na kumdhania mtu dhambi kubwa uwo shkh Farid ndo msimamo wake zaman c kwamba anogopa wat yeye azumza haki t acheni kasumba nyie mnaokoment muache taasubi zenu fuateni wanachuon mana wao wemepita Karne bora

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 11 дней назад +2

      Kuna watu wa maajabu lazima comments zao ziwe za dhabi ndio wanaona raha. Tuskilizeni MaSheikh wetu wa Dini mpate kuelimisha watoto wenu pia.

  • @user-mv5wu5or9v
    @user-mv5wu5or9v 5 дней назад

    Tunaelewa hata angekuwapo Rasulullah akawatangazia pia mungelimuambia kuwa nyinyi mnafuata mwezi wenu hamutomfuata.

  • @mwanamvuajamali8215
    @mwanamvuajamali8215 7 дней назад

    Siku nimojatu tofauti nimasaatu shawwali yamwaka huu mbona tuliswali wote nasaudia imekuwaje na tarehe zadunia nitofaut?naje nipo Tanzania ndani yamwezi wa ramadhani kwetu ni1 na saudia ni2 ndani yasiku1 nikaw nimesafiri kwenda saudia nilipofika wa29nashawwal ikaandama namimi nikaona kwamacho yangu namimi ni28 nitafanyaje?

  • @mashakhamiskh8880
    @mashakhamiskh8880 10 дней назад

    Mm nashauriii toa maoni Yako tusiwe tunatukana, hiii haisaidii ila itaharibu na itabomoa

  • @user-qe8xp6ii1u
    @user-qe8xp6ii1u 9 дней назад +1

    Faridi ni Msufi.

    • @latif15
      @latif15 9 дней назад

      Sufi nyepesi unafahamu na safi.

    • @user-qe8xp6ii1u
      @user-qe8xp6ii1u 9 дней назад

      @@latif15 USUFI ni Madhehebu ya watu wa bidaa ambapo wanadai Wao kuwa neno hilo Maanake ni ZUHUDI.
      Lakin hakuna Maana hyo ktk Lugha ya Kiarabu kabisaa.bali ni neno walilolizua wao wenyewe baada ya zile Kuruni Bora kabisa.
      Na amewasema vbaya sana Imaam Shafi.
      Masufi ni watu wanafuata Falsafa Kwa kutumia Akili zao kuliko Maandiko kwa Ufaham wa wema waliotangulia.
      wao ni Ni Asw-haabul Kalaaami,Mantwiqi,Na Ilmul Hisaab.

  • @w4058
    @w4058 7 дней назад

    Nakuunga mkono hao hawana elimu ya fiqhi wala sheria za chimbuko la ibada

  • @USSIIDDI-qn7od
    @USSIIDDI-qn7od 9 дней назад

    Amemalizaje utata

  • @salimmahamud2027
    @salimmahamud2027 9 дней назад

    Shekhe Allah akuweke umetumia hekima sana, sasa waislam wengine walitaka usemaje hapo?

  • @saidmsinga7336
    @saidmsinga7336 10 дней назад +2

    Maulamaa acheni ,uongo ,hadith inasema funga siku ya arafa ,haijasema mwezi tisa, hiyo tisa kasema nani,mtume au sheikh,tuleteeni hadithi iayosema funga ya mwezi tisa ya dhul hijaa kama ipo,msitubabaishe kwa kaulinyingi na kututoa ktk ,mstari wa kauliya mtume ,funga siku ya arafa,

    • @mujilbtoq1827
      @mujilbtoq1827 3 дня назад

      Hiyo siku ya arafa inapatikana mwezi gani na tarehe ipi.

  • @AllyRashid-st2hl
    @AllyRashid-st2hl 7 дней назад

    Huyo alie sema tuna tarehe mbili siku moja kakalishwa mbona Tanzania kila siku tuna swala moja ya alfajiri lakini muda wanaoswali dar sio wanaoswali shinyanga

  • @IssaAli-wz5jh
    @IssaAli-wz5jh 7 дней назад

    Mwandishi unaposema Sheh Faridi amaliza utata mzozo wa Arafa kwaiyo watu sote tutakuwa wamoja kuhusu suala hilo au vipi?

  • @MudiMabox
    @MudiMabox 10 дней назад

    Hebu fafanua hadidhi ya mtume inayosema hakika funga ni siku ya arafa fafanua vizur

  • @canalmasoud9561
    @canalmasoud9561 10 дней назад +1

    maneno yote kamaliza shekh msellem bin Aliy

    • @user-og5vd9qu7r
      @user-og5vd9qu7r 10 дней назад

      Yule mwehu kama wewe, hiyo elimu anayo?

  • @HamisFundi-ct7qw
    @HamisFundi-ct7qw 8 дней назад +1

    Kipindi cha COVID hakukuwa nahija walakisimamo cha Arafa waislam walifunga mwezi 9 kwann tucache kwaxbabu hakukuwa naibada yhija

  • @LautaroIshak
    @LautaroIshak 11 дней назад

    Jee shee Muhammad nassoro wa kadiria Jee si mwanachuon au kwa sababu si muarabu

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 11 дней назад +1

      Imekhusu nini sasa Sheikh Muhamed Nassor au kwasababu siyo MuArabu? Wacha fitna yako hapo. Sasa wewe fikra zako unafkiri Sheikh akiwa siyo MuArabu anakuwa siyo Sheikh.?? 😂😂huu ni ujinga mpya wa mwaka huu. Samahani kwa hili Suala….Wewe kwani Muslim hata unataka kubaguwa baina ya Sheikh na MaSheikh very sad.

    • @LautaroIshak
      @LautaroIshak 10 дней назад

      @@awatifalghanim1106 kwa sababu futua yake mbona huisikii kutajwa kuhusu arafa kwa sababu yy msimamo wake kufuata nchi ya saudia

  • @user-mv5wu5or9v
    @user-mv5wu5or9v 5 дней назад

    Acha uongo funga inaaza alfajir na kuisha magharibi Kila nchi inafunga zikifika nyakati mtume kasema siyamu yaumu aarafa kw io siku ni Moja hakuna nchi iliyo mbele au nyuma kwa masaa 24 basi hata mtume angekuwepo leo kwenye maisha yetu akawatangazia mngelimkataa

    • @fareedahmad6857
      @fareedahmad6857 4 дня назад

      wewe unajisemea tu kabla ya Mwezi kuandama huko Suudia nchi ya KIRIBATI WANAKUWA WAKO SIKU NYENGINE KABISA
      Nyie hamjui Jografia na tafauti za masaa baina ya Nchi ziko Nchi zinapishana siku na ziada ya masaa mawili

  • @kitosio
    @kitosio 10 дней назад +2

    Shekhe Faridi Una mawazo 50% Rudi tena ukasome UPYA. Neno NI صيام يوم عرفة. Hapo hakuna habari ya masaa Bali pametajea يوم. SASA kiarabu inaonekana kinawatumbuwa wingi Sana.

    • @user-og5vd9qu7r
      @user-og5vd9qu7r 10 дней назад +1

      Wewe unauejua hiyo يوم ni dharfu zamani au makani
      Sasa tufunge kwa kufuata muda, Au kwa kufuata pahala?
      Uwe na adabu kwa Masheikh

    • @latif15
      @latif15 9 дней назад +1

      Naam na يوم na upande mwengine wa dunia unakua ليل na ndio pia tunapata ليلة القدر haijulikani siku gani katika usiku wa 21,23,25,27,29.

    • @latif15
      @latif15 7 дней назад

      @@user-og5vd9qu7r makani arafa hakuna kufunga na zamani tunafunga na zamani kwa mujibu wa ahila moon 🎑.

  • @SuleimanSalim-ql3ny
    @SuleimanSalim-ql3ny 10 дней назад

    Ata mimi sijasoma ila naelewa kuwa natakiwa kuishi kw kigezo cha mtume na kufata maelekezo ya qur-an na hadithi za mtume sasa iweje masheikh watubabaishe

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 9 дней назад

    Yan iwezekane father's kuwa siku moja dunia nzima ila inashindikana kwenye dini yakwel kukosekana Arafa moja 😂😂😂😂 huu ni mtihan afu tunajunasibu dini yetu imekamilika, nini anajifunza mtu aliye nje ya dini yetu atashika lipi wakat akitaka kuingia kwenye dini, nani mkweli kwenye hili?,

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi 10 дней назад

    Shekh kweli umemaliza mgogoro. Kwa sababu kuna watu hawana vyombo vya habari harafu mawingu yametanda mvua inanyesha je, watu hawa ibada zao hazitakubalika?

  • @idrisaMohd-hf4xv
    @idrisaMohd-hf4xv 10 дней назад

    Sheikh mungu akuhifadhi unaanza kushughilishwa na mambo ya kisiasa au ndo unamuogopa uyo raisi apo

  • @sirajismail3978
    @sirajismail3978 10 дней назад

    Hukulazimishwa kumfuata aliyo yafundisha na kama amekosea dhambi ni zake Wala sio zako tuache mihemuko dini yetu haiko hivyo al Islam nadhufu fatanadhwafu sasa huonwako usafigani kumtuhumu kiongozi wa dini zaidi ya kuudhalilisha UIslam tujitahidi kuwaheshimu viongozi wetu wa Dini

  • @rashidhemed1444
    @rashidhemed1444 4 дня назад

    Mawahabi hawako kwa ajili ya dini ndio maana wanakua wakali ukiwaukiza masuali kwa sababu hawana hoja

    • @abeidpazia1720
      @abeidpazia1720 4 дня назад

      Mbona siku ya ukimwi Dunia I ni Moja a..arafa ndio ziwe mbili x3..ok tuachane na hao ambao wanapisha masaa na makka na SS hapa Tanzania tunapishana msaa na makka??

  • @JumbiSecondary
    @JumbiSecondary 10 дней назад

    Samina wa ataana

  • @abuukhairat7738
    @abuukhairat7738 6 дней назад

    Kwanni amiri faridi unafuata kauli za wanachuon wetu baadhi tu unazozitaka ww mbona nyengine hufuati.

  • @ubuguvu
    @ubuguvu 9 дней назад

    Watu wa mirombo

  • @akbarosman3892
    @akbarosman3892 9 дней назад

    Sheikh unalazimisha unavotaka wewe, elmu ni pana tatizo mnataka tufuate msimamo wenu wa kiibadhi wa omani, tuache na msimamo wetu wa ki sunnah
    USILAZIMISHE !!!!!!!
    Allah akuongoze na hakki itabaki kua hakki milele

    • @latif15
      @latif15 9 дней назад

      Ahila hauna madhehebu, mwezi hauna madhehebu ni kuuona au kuto kuuona.

  • @mswadickbushumbiro6923
    @mswadickbushumbiro6923 9 дней назад

    Unaekataa ukatae Kwa hoja,

  • @PassoNewmodel
    @PassoNewmodel 10 дней назад +2

    Bora urudi jela tuu mnafiki unaye ficha ukweli

  • @majidhilal4948
    @majidhilal4948 10 дней назад

    Kwa maana hiyo swaum ya araf inaanza saa 6mchana au siku nzima

  • @fadhilfathamula4224
    @fadhilfathamula4224 10 дней назад +2

    We sheikh unazingua kama huku kwetu ni saa kumi marekani ni asubuhi sasa Kuna shida gani siku ni moja ileile acha kupotosha umma

    • @Naseemsalum
      @Naseemsalum 10 дней назад +2

      Anachosema kama unafunga kisa watu kusimama mbona marekani itakuwa usiku
      Inatakiwa ufunge siku ya 9 sio kisa watu wamesimama Makkah

    • @user-og5vd9qu7r
      @user-og5vd9qu7r 10 дней назад +1

      Wewe muwahabi hata ukifahamishwa akili ina kizibo

    • @rashidmasoud1111
      @rashidmasoud1111 9 дней назад

      Sheikh, soma sio utoe maneno ya kudharau.

    • @fadhilfathamula4224
      @fadhilfathamula4224 9 дней назад

      @@rashidmasoud1111 huyu unayomtetea ndio kadhalau

  • @kitosio
    @kitosio 10 дней назад +1

    Wisho hata hawa Wakristo watawacheka. Dunia nzima kukifanyika sherehe Zote hutangazwa tarehe moja na inajuilikana kuwa watu wamepishana ila sio 24 hours. Naona maarifa yenu yamefikia hapo mwamba utofauti lazima uwe 24 hours. Mpishano WA swala mnautaja lkn hampati mazingatio kwanini?

    • @suuahmed71
      @suuahmed71 10 дней назад

      Hiii si sherehe kaa ukijuwa . Hii ni dini na ni Ibada aloiweka ALLAH. Respect plz

    • @kitosio
      @kitosio 10 дней назад

      @@suuahmed71
      ALLAH NDIO SIKU KASHAZIWEKA ALIVOTAKA MSIBADILISHE. FUNGA YA ARAFA HAINA KHITILAFU KTK VITABU MNAJICHANGANYA KIUJANJA NA KUKUZA UPINZANI PASIPO NA UPINZANI. HAMUMUOGOPI ALLAH MNAWAKOSESHA WATU NA FUNGA YA ARAFA

    • @kitosio
      @kitosio 10 дней назад

      @@suuahmed71
      Heshimuni Quran na Sunna na muacheni Bidaa. Dini ilishakamilishwa. Mkifuata mliyoletewa hamutaikosa pepo ya ALLAH tena bila kuzidisha maoza_maoza

  • @user-qn8ig9ey6b
    @user-qn8ig9ey6b 9 дней назад

    Tatizo la watu wengi ni kushikilia misimamo ya wanao wapenda hata wakipewa dalili za kielemu bado hawataki huu ni ujinga jitu linasema sheikh farid amenunuliwa ndoninisasa na ushahidi wa hdithi na aya za quran bado huelewi wewe ndo umenunuliwa na sheitwani

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 9 дней назад

    Ukweli ni kwamba funga ya arafa unahusiana na siku ya arafa na siku ya arafa inahisiana na eneo la arafa, haihitaj PHD wala D mbili kuwa tunafunga arafa ili kujinasibisha wale walioko kwenye viwanja vya arafa, MUOGOPEN MWENYEZIMUNGU Mnawalisha watu matango pori kisa kuogopa wanaadamu, hivi kwa mfano mtume angekuepo hadi leo nyie wandengeleko wa bongo msingekuwa mnafunga na kufungua kwa tarehe ya Saudi 🇸🇦?

  • @MwalimJecha
    @MwalimJecha 9 дней назад

    HUO NDIO UHAKIKA

  • @user-kq7mp8qz9e
    @user-kq7mp8qz9e 11 дней назад +3

    Arafa nijumamosi

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 9 дней назад

    Ww muibadhi achakupotosha ww waulizen Tu munataka hamuutaki au ilemulokuwamukisemani haki mukatupigisha mabomu na vigongo bure Leo iyohakiyenu mumeinyamazia Leo munapotosha

  • @user-kc4fv6cf8l
    @user-kc4fv6cf8l 11 дней назад +1

    Msalafi hakanyagi ardhi yoyote ila atainajisi kwa fitna yake
    Qarne 14 watu walikuwa kitu kimoja kwenye jambo hilo kwa kufuata muandamo wao mpaka walipokuja mawabi ndio wakafaraqanisha waisilam

    • @adamcity9441
      @adamcity9441 10 дней назад +1

      Mtume alisema fitna na Shetani atatokea Najd na huko ndio alipotokea Muhammad Abdulwahab na ndio Imam wa kiwahabi kwa hivyo kila anaefata uwahabi ni fitna na ushetani kuwakufurisha waislam.

    • @MohammedSaid-tf5qc
      @MohammedSaid-tf5qc 10 дней назад +1

      Hakika

    • @user-ee2wd3fv1s
      @user-ee2wd3fv1s 10 дней назад

      Na nyie mnaopiga ngoma nakukta viuno na dad zenu kwenye madufu sio mashetan

    • @user-kc4fv6cf8l
      @user-kc4fv6cf8l 10 дней назад

      @@user-ee2wd3fv1s
      Wafanyao hivyo ni waovu sana lakini uovu wa masalafi ni mkubwa zaidi kupita hao . Ingawaje mimi sijapata kuwaona watu kama hao ulio wataja wewe

    • @user-og5vd9qu7r
      @user-og5vd9qu7r 10 дней назад

      Saladi hawajui isipokuwa matusi

  • @2003hintay
    @2003hintay 10 дней назад

    Sheikh anafafanua jadok raha

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd 11 дней назад

    Sasa ikiwa tumeambiwa fungeni siku ya arafa siku ya arafa zipo ngapi?

    • @almeidhalu3238
      @almeidhalu3238 11 дней назад

      Umeambiwa tazama mwezi usitazame tokea la maujaji

    • @AllyAlmiskry-yy3xk
      @AllyAlmiskry-yy3xk 11 дней назад

      Siku ya arafa ziko 2 kula asubuhi na kula mchana siku ya Eid

    • @thamani5842
      @thamani5842 10 дней назад

      Kuna funga ya arafa na kisimamo cha arafa.
      Funga ya arafa ni mwezi tisa dhulhija inafungwa na waislam wa duniani kote kwa anae
      taka (sunna).
      Kisimamo cha arafa ni kwa waliokwenda kuhiji makka ktk milima ya arafa na kwa wakati maalum na inafanyika mwezi tisa dhulhija
      Hapo ulipo (nchini kwako) mwezi ngapi muandamo? Km j.mosi mwei tisa dhulhija ulipaswa ufunge na j.pili usifunge mana ni haram kufunga siku ya mwezi kumii itakua siku ya eid ya kuchinja (sio eid lhaj)
      Na km j.mosi mwezi nane basi j.pili mwezi tisa ufunge funga ya arafa

  • @dalfatsoud6119
    @dalfatsoud6119 10 дней назад +2

    Usituletee paukwa pakawa hapa nyinyi na Saudi mumepishana masaa mangapi. Nyamaza kimnya usipoteshe watu hapa shekhe utakuwa wewe

    • @allybyarushengo5727
      @allybyarushengo5727 10 дней назад +1

      Hata mimi sijaelewa hebu simama wewe ktk mimbari utuelezee arafa ni lini ili tuelimike.

    • @user-og5vd9qu7r
      @user-og5vd9qu7r 10 дней назад

      Mabaradhuli ndio wanatukana kama wewe

    • @mussakisope7207
      @mussakisope7207 10 дней назад

      Tusomeni Kuna sheikh na ustadhi

    • @binausiimohammed3265
      @binausiimohammed3265 9 дней назад

      We hasa punguani kwani hizo line za nyakati amezichora nani mtume au Allah mpaka useme tumepishana masaa mangapi?

  • @amritwaha-kp3hu
    @amritwaha-kp3hu 6 дней назад

    Sheikh hapa ambae hajaelewa haelewi kamwe japo wajinga wako wengi na mtume s.a.w.amesema mjinga ameshakufa kabla ya kufa kwake tatizo wajamaa wabish kama pili

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 10 дней назад

    Farid unataka nafasi ya soraga nini naona sasa unatami kusema wapigwe kama zamani mshachelewa watu sasa waelewa

    • @user-og5vd9qu7r
      @user-og5vd9qu7r 10 дней назад

      Watu wanaongea maneno wewe unaleta ushoga

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd 11 дней назад

    Wambie bac waache kura ya mapema...ili upatikane huo umoja unaousema.Dini sio msikitini tu kila penye harakati ya maisha inatakiwa dini iwepo na uadilifu uwepo.wee sheikh vip?

  • @hassanidha3744
    @hassanidha3744 10 дней назад

    Sasa una maanisha dunia ina siku mbili kitarehe sio
    Saum ya Arafa ni siku nzima ya siku arafa sio kiamu ya Arafa pekee.
    Dunia inaenda kwa hisabu za siku wa mwezi sio kwa jua ambayo jua lina mwacheya tauti hata hapo kwenu watu wa mjini hawawezi swali nyakati za swala kwa moja.
    Pia suudia akikupangia hajji na wewe kwa mji wako hukuona mwezi kamili basi usiende maana wasema hukuona mwezi

    • @user-og5vd9qu7r
      @user-og5vd9qu7r 10 дней назад

      Wewe mwehu hata hili hujui kwamba kuna tarehe 29 au 30

    • @hassanidha3744
      @hassanidha3744 10 дней назад

      Mwehu ni wewe usiejielewa

    • @hassanidha3744
      @hassanidha3744 10 дней назад

      Nimeuliza hiyo tarehe kama ni 29 kwenu huko muliko na suudia ni tarehe moja utafuata suudia kuja kufanya haja au utanngoja ukamilishe yako 30 ndio uje huku ufanye amali yako ya hijja utaweza

    • @binausiimohammed3265
      @binausiimohammed3265 9 дней назад

      Hayo machweo nyakati na saa kakuchorea nani ni allah au mtume?

  • @AbdiRashidi-rl7tx
    @AbdiRashidi-rl7tx 10 дней назад

    Shida sio.masaa ila tarehe

  • @mwanasitimpole8746
    @mwanasitimpole8746 10 дней назад

    Mm nauliza huyu sheikh endapo yuwatoka kwao alikouona mwezi kisha akaenda hijja atasimama arafa nawatu wa makkah au atafuata hisabu yake yakwao.sheikh ufahamu wako ni sufuri bin ziro.

    • @salmasalim14
      @salmasalim14 10 дней назад +2

      Akienda hijja hafungi maana swaum ni kwa wale ambao hawako ktk ibada ya hijja. Ndugu yangu pinga hoja bila kumuita majina mabaya mwenzako nahii ni nasaha kwangu na kwako. Mungu akulipe kheri nyingi

    • @user-og5vd9qu7r
      @user-og5vd9qu7r 10 дней назад

      Kuna watu hawafundishwi na wazeeisipokuwa matusi

  • @w4058
    @w4058 7 дней назад

    Usimfuate kwa wewe nani jina kubwa fahamu huna mtumwa wa Mazayuni ni wewe ulokuwa hujui kufafanuwa

  • @vicentpantaleo5837
    @vicentpantaleo5837 10 дней назад

    Kwan siku ya ukimwi dunian huwa wanashelehekea siku mbili au moja

  • @hemedmselem4889
    @hemedmselem4889 10 дней назад

    Kamaliza utata au kajimaliza mwenyewe
    Ana ilmu ya kumzidi mtume huyo ?
    Ambae alishabainisha kua la hajju arafa ??
    Nyie watu wa ubwabwa mna mzaha sana na dini yetu
    Mkiskia mtu anaongea kiarabu tu mnajua shehe
    Zidanae nae anaongea kiarabu

    • @user-og5vd9qu7r
      @user-og5vd9qu7r 10 дней назад

      Wewe ndio mboga unakunwa

    • @hemedmselem4889
      @hemedmselem4889 10 дней назад

      @@user-og5vd9qu7r kwa matusi mko vizuri sana
      Ni laana tu hizo

    • @hemedmselem4889
      @hemedmselem4889 9 дней назад

      @@user-og5vd9qu7r kwa matusi uko vizuri
      Wazee wako walikufunza vyema matusi
      Huko mimi sikifundishwa

  • @sefuriyembe7864
    @sefuriyembe7864 11 дней назад +1

    Wajinga wa jiografia ndo wanasema tarehe ni moja duniani. Nendeni shule acheni ubishi wa kijinga. Watu wanaposimama arafa pale saudia, wakati wa dhuhuri, kule uchina wanasali magharibi !!! Kwahiyo arafa ya china iwe usiku !!?? Acheni ujinga.😅😅😅

  • @user-nk9jt7qo1j
    @user-nk9jt7qo1j 10 дней назад

    Haijalishi nani atafata nani hafati muhimu ukweli na sheria inavotaka. Hakuna sheria inayotaka ufunge kwaajili yanchi mashkh wenyewe mashekh mnaootumika na serekali. Jambo hili lipo waziii mnooo shekh sema halafu tafuta maji unywee.

  • @SwalafyAct-ks5gz
    @SwalafyAct-ks5gz 10 дней назад

    Shekhe umeisha tayar wamekuteks

  • @PassoNewmodel
    @PassoNewmodel 10 дней назад +3

    Jela jela tuu anaadabu ss Yuko waz kupoteza watu

    • @mpunampuna1693
      @mpunampuna1693 10 дней назад

      Lahaula walakuwta illa billah laaliyun ahdqiim

  • @SafiaHaji-fo3sl
    @SafiaHaji-fo3sl 10 дней назад

    ushapewa pesa na mashia ww

  • @allykhatib660
    @allykhatib660 11 дней назад +11

    Tushakushtukia sheh kwnza unaogopa yasije yakakukuta ya kipndi cha nyuma unaogopa watu kuliko mola wako na ushakuwa kibaraka wa mayahudi wa tz hatukufati tena hakuna arafa mbili wa hijjah ya sehemu nyingine zaidi ya Makkah

    • @CLEVERBOY004-cr5cc
      @CLEVERBOY004-cr5cc 11 дней назад

      Ndugu yangu muislam unamkosea sana huyu matatizo aliyopitia hata wewe yanaweza kukutokea kwaio usimuhukumu kwa mitihani aliyopitia mbona wapo masheikh wengi wamezungumzia hili suala la arafa wewe km una hoja za kielimu zitoke sio kumkashifu lengo ni kuelimishana ndugu yangu sio kumzungumzia mambo yasiyo na maana na hili la kuita watanzania mayahudi umekosea sana Kwan hata wewe ni mtanzania tofauti zipo na zitakuepo wewe Baki na msimamo wako Allah atuongoze ktk haki

    • @user-qm2of7vd3k
      @user-qm2of7vd3k 11 дней назад +3

      Sasa hayo ndio maneno ganiulioandika hapa acha chuki zako

    • @allykhatib660
      @allykhatib660 11 дней назад +2

      Wewe hauelewi kiswahili sasa chuki ziko wp hapo niukweli
      Wasitupotoshe

    • @seifserenge3340
      @seifserenge3340 11 дней назад +7

      Acha kutokana watu, kama wewe huyataki hayo anayosema kaa kimya tu. Kwani hayo kayatoa akilini mwake au kanukuu fataawa za mashekh? Acha chuki binafsi

    • @amrunassibu5105
      @amrunassibu5105 11 дней назад +4

      Swali Ni Kwamba Mbali Na Hawa Wanao Zozana Kwa Hoja Za vitabu Na dalili...Wewe Una ushahidi Gani kwenye msimamo yako..ama umekua Bendera wafata upepo

  • @user-qo9xg9zc2p
    @user-qo9xg9zc2p 6 дней назад

    Mashaallah

  • @AllyOthman-cb6tk
    @AllyOthman-cb6tk 11 дней назад +1

    Mashallah