MUHAMMAD BACHU APEWA SOMO KUBWA NA SHEIKH IZZUDIN ALWY JUU YA UFAHAMU WA FIQHI NA IBARA ZAKE
HTML-код
- Опубликовано: 11 июн 2024
- SHEIKH IZZUDIN ALWY/ USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT
ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE
Allah amuhifadhi sheikh Muhammad bachu
أهلا وسهلا ومرحبا ❤❤❤
Bacho mh majanga umaaarufu ausaka
Allah akupe umri mrefu sheikh
Shekhe wangu Allah ukuhifadhi
Shukran sana Allah akubaariki shekh
Shuqran sheikh 💚
Kama anahitaji kufaham engekua na adabu
Muhammad bachu kichwa mtihan
masufi ni mbwembwe tu zenu hamna chochte mjuacho,na ndio maana mkiwa katika munakasha mkijua hapa tutabanwa mwaanza usumbufu ili mradi tu msifikie kwenye kibano mshajulikana kitambo masufi
HUYU NI SHEIKH SIO MTOA MAWAIDHA WENGINE NI WATOA MAWAIDHA KUNA TOFAUTI KATI YA KUZUNGUMZA NA KUWA SHEIKH
Huu ni mtihani kweli,ananikumbusha maneno ya mchungaji 'mzee wa upako ' Anthony Lusekelo ,ambaye siku hizi amekiri na anatangaza waziwazi kwamba Mungu yuko mmoja tu ! Wala Hana mtoto,na Yesu sio Mungu ! na akaendelea kusema ' wale wachungaji wanaotangaza Uungu wa Yesu Huwa wanapata Taabu Sana kukinaisha watu juu ya hoja zao ,Inawachukua muda mrefu kuelezea watu uelewa huo,kama safari ya Dar to Dom. Ndivyo nilivyomuona Sheikh Izzuddin .na Mbaraka Awesu wanapata taabu sana kutenganisha Arafa Swaumu na Arafa Hajji.. mimi nakushauri sheikh wangu Usiende kwenye mjadala na Bachu juu ya Jambo Hilo .
Ww wacha ujinga hawa wanao dalili ww na bachu munao dalili na mashekhe wenu wa kiwahabi wanakataa kufuata saudia alafu unaleta mambo ya paster ww Huna akili sasa kama kweli bachu ajee akae kwenye meza afundishwe fikii hadithi munkar tu hajui wanazuoni wasemaje kuhusu hadithi munkar akashindwa kujibu ww wahabi tu kazi yenu kumzushia mtume s a w
@@saba-gv3mj kama kisha Cha Nabii Musa na wanawaIsrael , waliambiwa kwa kifupi tu , mchinjeni ng'ombe, Lakini wakaleta mashauzi kibao kama nyie , mwishoe wakaibukia kutakiwa wamchinje ng'ombe wa Njano, umeshawahi kumuona ng'ombe wa manjano wewe, we Huogopi ?. Sheikh Mselem anakuulizeni , kwa mfano mtume saw angekua yupo hai huko makka au Madina hivi sasa . na anatamka Hijja ni Arafa na akaifanyia kazi. Nyie mngebakia na tarehe 9 zenu au mngemfuata yeye ?. Hivi sasa masufi mmegawanyika wapo wanaoelewa na wale mukallid a'amaa- wale ' tuwaache masheikh zetu? Haiwezekani ' matusi sio Hoja, Muflis.
Hamna hoja
Bachu nyie humumuwezi
Kwan ngum hizi
Kweli hatumuezi kwa ujinga lakini ki ilimu bachu hana ilimu hilo lijue
Labda hawamuwez kwa ubishi lakini sio hoja ya vitabu.
Bachu anakurupuka saana na atazidi kugongwa saaana yaani huwa anaonyesha yeye ndiyo kipimo karibu Manyema usome
Sasa mm nlivyomfaham sheikh cjui km yy kajifahammm🤔 kasema miez itofautiane masiku yote sawa lkn ikifika hijjah uzingatiwe mwez mahala hapo sasa kwa hivyo sote tunatakiwa kufuat huko au vp??‽?
Tuweni na hishimaa tusitukanea mashehea tuateni ushapikii msomaji maulidi akisoma hawi kafiri na ambao hasomi maulidi pia hawi kafiri shahada yetu ni moja Shia ndio kafiri watu kana maswahaba na ummuil muminina
Basi hiyo fiqhi unayo ww tuu kesha kijibuni kupitia vitabu vya maulamaa wengine maana mnapenda ubishani mkikosolewa jambo, watu wanataka kujua hakhi ilipo wafuate ww washabihisha watu kila Mtu Awe na misimamo wake
Tujaribu kuwa na nidham kwa wanazuoni wetu,tusijibu km tunawajibu marafiki zetu
Huyo ni shabiki wa bachu
Elimu si ndio hiyo inatolewa,na vitabu ndio ivoivo vya akina ibn thymin,akina imam hambar,na wao wanasema kua kila watu wafunge kulingana na muandamo wakwao,sasa wao ndio wtuambie huo mwez wa kimataifa ni hadith gani au qur an gani ilioelekezaa
Kwenye masuali ya dini acha ushabiki, kwanza tafuta elimu kwanza. Sio tu kwa sababu kasema fulani, wewe unaridhika nayo.
This Sheikh KASUKU doesn't know anything about Islam, but he knows everything about Sufism.
Ww umechanganyikiwa uwahabi umekuvaa.mnakataa hata fatawa za sheikh wenu uthaymain.mnae mtegemea mpotevu mwenzenu.
Kaka unajiumiza kichwaa waache tuu hao wanaelewa ukweli but fuluus
Wapi aliposema Ibn Taimiyah "Haifai kabisa kufuata Saudi kama wewe haupo Saudi" wapi aliposema kauli hiyo shee kidevu chachandu?
Ww hizudini mtu wa bidaa😂😂 umuwezi bachu utasumbuka bure yule kijana simba wa khurafi
Ashaonekna bachu ni zuzu kiilmu
@@KomoraMohamed zuzu kweli zianawanduwa makhurafi na ushirikina mnaofanya na uzushi alompandisha Allah huwezi mshusha kaka Allah anamuinua amtakae na humshusha umtakae
@@user-yj5on8cz3e bachu ni kikojozi tu
@@KomoraMohamed utakwenda kuulizwa uthibitishe hilo roho zinawauma kwavile anapinga uzushi na ushirikina munaofanya wa kuabudia makabuli hamumuwezi kamwe Allah anazidi mbariki na kukomesha makhurafi wa kisufi
@@KomoraMohamed towa hoja za msingi so matusi kama matusi ashatukanwa sana na hata mtume wakati analingania alikutana na mitihani ya kutukanwa ndo ilivyo watu wakiwa wapotevu ukija wabainishia kweli utasemwa vibaya utatukanwa utafanyiwa njama mbali mbali kila aina ya majina mabaya utapewa akuna kipya so wakwanza yeye kutukanwa