- Видео 111
- Просмотров 91 188
Alwiy Muhanna
Добавлен 8 июл 2018
Alwiy Muhanna youtube channel ukumbusho kwa wote
MASHA ALLAH! SHEIKH OTHMAN MAALIM MAHABA YETU KWA MTUME NI MAKUBWA MNO HAYANA MFANO
USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT.
ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE
ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE
Просмотров: 143
Видео
SHEIKH MUHAMMAD KUSOMA AKISOMESHA NA KUJIBU HOJA ZA MAWAHABI
Просмотров 3474 месяца назад
SHEIKH MUHAMMAD/ USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE
MNATUITA MAKHURAFI TUKIMSIFU MTUME JE! ALLAH ALIEMSIFU SANA MTUME MTAMUITA NANI?
Просмотров 5994 месяца назад
MUFTI ABUBAKAR ZUBEIR/ USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE
TUWE NA ADABU KATIKA IKHTILAFU ZETU. KILMA BAADA YA SWALA YA EID SHEIKH SAID ALI HASSAN
Просмотров 6775 месяцев назад
SHEIKH SAID ALI HASSAN/ USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE
HATUKUANZA SISI KUMKHALIFU CHIEF QADHI BALI KAJIKHALIFU MWENYEWE
Просмотров 10 тыс.5 месяцев назад
SAYYID SWALEH AL AHDALY/ USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE
MUHAMMAD BACHU NI MFITINISHAJI ANAETAFUTA UMAARUFU SI MSOMI
Просмотров 12 тыс.5 месяцев назад
USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE
MUHAMMAD BACHU APEWA SOMO KUBWA NA SHEIKH IZZUDIN ALWY JUU YA UFAHAMU WA FIQHI NA IBARA ZAKE
Просмотров 9 тыс.5 месяцев назад
SHEIKH IZZUDIN ALWY/ USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE
SWAUMU YA ARAFA NI IBADA YA TAREHE NA SIO IBADA YA TUKIO
Просмотров 1,8 тыс.5 месяцев назад
SHEIKH MUHAMMAD IDD/ USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT. ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE🤝
VIPI UTAPATA UTAMU KATIKA KUMUABUDU MOLA WAKO?
Просмотров 965 месяцев назад
ALWIY MUHANNA/ USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE🤝
ZIARA NA HISTORIA FUPI KUMUHUSU ALHABIB SAYYID ALAWY BIN SAYYID OMAR AL AHDALY
Просмотров 2376 месяцев назад
ALWIY MUHANNA/ USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT. ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE🤝
MASHA ALLAH! KIJANA YASIN HASSAN GHOLAMI AKIISOMA QUR'AN KATIKA NJIA ZAKE. QUR'AN & HADITH FESTIVAL
Просмотров 516 месяцев назад
YASIN HASSAN/ USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT. ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE🤝
NI ZIPI FAIDA ZA KUKUMBUKA KIFO?
Просмотров 956 месяцев назад
ALWIY MUHANNA/ USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE🤝
SIO KILA JEMA HULIPWA KWA WEMA
Просмотров 1706 месяцев назад
ALWIY MUHANNA/ USIACHE KU SUBCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT. ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE🤝
QASWIDA ILIYOGUSA NYOYO ZA WATU. WATOTO WA NASWAHA CREW WAKIIMBA MAMA NI TUNDA LISILOSHUKA THAMANI
Просмотров 5366 месяцев назад
NASWAHA CREW/ USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU SHARE, KU LIKE, NA KU COMMENT. ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE🤝
ALWY TV INAWATAKIA WAISLAMU WOTE EID MUBARAK🌙
Просмотров 2287 месяцев назад
USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT. ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE🤝
MASHA ALLAH! MSHINDI WA ADHANA KUTOKA MOROCCO KATIKA MASHINDANO JIJINI DAR ES SALAAM TANZANIA
Просмотров 2,9 тыс.7 месяцев назад
MASHA ALLAH! MSHINDI WA ADHANA KUTOKA MOROCCO KATIKA MASHINDANO JIJINI DAR ES SALAAM TANZANIA
MASHA ALLAH! KIJANA SHIHAB AHMAD KUTOKA MISRI AKIITENDEA HAKI QUR'AN
Просмотров 12 тыс.7 месяцев назад
MASHA ALLAH! KIJANA SHIHAB AHMAD KUTOKA MISRI AKIITENDEA HAKI QUR'AN
JE UNAJUA UISLAMU ULIINGIA LINI TANZANIA NA EAST AFRICA?
Просмотров 3,1 тыс.8 месяцев назад
JE UNAJUA UISLAMU ULIINGIA LINI TANZANIA NA EAST AFRICA?
VIPI UMEJIANDAA KUUKABILI MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN?
Просмотров 1268 месяцев назад
VIPI UMEJIANDAA KUUKABILI MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN?
HEKMA YA LEO: KWANINI UNAIPENDA DUNIA?
Просмотров 1249 месяцев назад
HEKMA YA LEO: KWANINI UNAIPENDA DUNIA?
MJUE SAYYID AHMAD BIN SAYYID OMAR AL-AHDALY ALIEUTETEA UQADHI KENYA
Просмотров 34510 месяцев назад
MJUE SAYYID AHMAD BIN SAYYID OMAR AL-AHDALY ALIEUTETEA UQADHI KENYA
TAAREKH BAADHI YA WANAZUONI WA KIAHDALY KUANZIA ASLI YAO MPAKA KUFIKA KENYA KUENEZA DINI
Просмотров 51110 месяцев назад
TAAREKH BAADHI YA WANAZUONI WA KIAHDALY KUANZIA ASLI YAO MPAKA KUFIKA KENYA KUENEZA DINI
HISTORIA FUPI YA SHARIFF OMAR BIN SHARIFF ABDALLAH AL-AHDALY
Просмотров 34610 месяцев назад
HISTORIA FUPI YA SHARIFF OMAR BIN SHARIFF ABDALLAH AL-AHDALY
SHEIKH MUHAMMAD ALHATIMIY AKITOA NASWAHA KWENYE NDOA YA BINTI YAKE MUFTI ABUBAKAR ZUBEIR
Просмотров 16310 месяцев назад
SHEIKH MUHAMMAD ALHATIMIY AKITOA NASWAHA KWENYE NDOA YA BINTI YAKE MUFTI ABUBAKAR ZUBEIR
MUFTI WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR BIN ZUBEIR AKIMUOZESHA MWANAE RAHMA WAKIHUDHURIA MASHEIKH WENGI
Просмотров 72110 месяцев назад
MUFTI WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR BIN ZUBEIR AKIMUOZESHA MWANAE RAHMA WAKIHUDHURIA MASHEIKH WENGI
MASHA ALLAH! ALHABIB SAYYID MUHSIN BIN SAYYID ALLY BADAWIY AKIONGOZA QIYAAM MAULID LUSHOTO TZ
Просмотров 35910 месяцев назад
MASHA ALLAH! ALHABIB SAYYID MUHSIN BIN SAYYID ALLY BADAWIY AKIONGOZA QIYAAM MAULID LUSHOTO TZ
MASHA ALLAH! RAIS MSTAAFU WA TANZANIA MH: JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIONYESHA UHODARI WAKE KWEYE DHIKRI
Просмотров 94511 месяцев назад
MASHA ALLAH! RAIS MSTAAFU WA TANZANIA MH: JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIONYESHA UHODARI WAKE KWEYE DHIKRI
USIA WA SAYYID LUQMAAN AL HAKIIM No. 2
Просмотров 5911 месяцев назад
USIA WA SAYYID LUQMAAN AL HAKIIM No. 2
USIA WA SAYYID LUQMAAN AL HAKIIM No.1
Просмотров 10811 месяцев назад
USIA WA SAYYID LUQMAAN AL HAKIIM No.1
Shukran sana Sheikh Wetu MUHAMMAD KUSOMA Hata Mtumi MUHAMMAD SAW Alipingwa Shukran sana Sheikh KUSOMA
ASANTE SHEKH ALLAH AKUPE KILA LA KHEIR UTUSOMESHE NA PIA KWA WALE WANAOTAKA KUWAJUA MAADUI WA ALLAH NA MTUME SAW INGIA UTUBE ANDIKA RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA
UKITAKA KUWAJUA WANAOMTUKANA ALLAH NA MTUME SAW BASII INGIA KTK UTUBE ANDIKA RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA??
Fitina ni moja ya dalili ya kiama. Wakati huo uislamu utarudi kuwa mgeni. Mijadala ina wagawa waislamu.
Mashallah Shekh nimekuelewa
Allah amehifadhi sheikh izudin
Huyu bachu anataka umaarufu tu lakini hajui chochote hakina ilimu sijui anasoma gazeti tu
Huyu kitoto cha bachoro hakijasoma hakina ilimu musiache kumsomesha hichi katoto kichwa cheupe hamna kitu humu
Kwasasa hiv adabuhakua
Kwasasa hiv adabuhakua
Wahadhili wengi wamekosaadabu watuwajifanya wajuasana
.ashalaa
Masuf bwana lakin bora nisiseme
Ufahamu wako m bovu kuna aya nyengine katika suurat nnisaai ya wataka mumtwii kiongozi badala ya twaa ya Allaah na mtume je umeisahau waikumbuka yakuto pinga amri ya mtume tuu? nakama angekua ni rais pia mnge mpinga?
Kama kejeli umekosea hii dini sio ya kukejeliyana na kama ni nasaha mtu hunasihiwa kwa sirri unapo mnasihi mtu hadharani nikua ume muhaadhiri iko haja na ww ukasome tena bado hujafaham nini ilimu maana yake, wabillaahi taufiiq.
Suaal umekuja kumkejeli bachu au umekuja kumnasihi?
Makhuraf wanapenda kiminyano nakutumalizia MB zetu hawanaga jambo analipiza kisa yy alikosolewaa
Ujinga wko tu, hamna alokulazimisha , Kwan c mlisha katazwa na mabwana zenu?
Izzu ddiin Anakiri kua naye alikosolewa na bachu lakini hapa anajifaragua kama vile yy fiqh anaijua saaana
Nyie mashabiki tu
jazaaka llahu khayra
Allah akuhifadhi sheikh Bachu
Kama Muhamed Bachu ni sheikh hakuna mwislam ambae si sheikh leta ushahidi kasomea wapi uyu hizbi
Shee Comedy...
Sawa
Sheikh ukosawa mtachokabure nahawa watu
Huyu bachu nimropokajitu dini ikokamili sstumesoma kale yy bado hajazaliwa
Wanazuoni wa miji yetu walitufundisha kuabudia makaburi na kuwaba maiti na kupiga zefe na kutinsha mabega na sasa viuno Tuliju ndo dini kumbe ni utamauni wenye mafhambi ndani yake
Sasa mm nlivyomfaham sheikh cjui km yy kajifahammm🤔 kasema miez itofautiane masiku yote sawa lkn ikifika hijjah uzingatiwe mwez mahala hapo sasa kwa hivyo sote tunatakiwa kufuat huko au vp??‽?
Kakosea wapi,,jaman mbona mnalialia sana ,,yeye anasoma vitabu,,
"Na kama mungu alijua kwamba hili litakuja" hilo neno sidhani kama limekaa sawa kwa upande wa kumnasibishia Allah, au kama kuna ushahidi wa kufaa kulitumia naomba kufahamishwa?
Hii dini inautaratibu sheikh.
Waisilam kweli tumuogope mungu unaenda kusali sala tano halafu unatukana hz so sifa za waislam
Unapata nguvu vipi yakusme bachu Ni mfitinishaji...kijana anaeleweka Kwa fwasaha ya ilmu anayoitowa ALLAH AMJAALIE FIRDAUS IWE MAKAZI YAKE...
Maneno yako yanajifunga funga mwenyewe. Amekataa Mijadala huku anaileta. Ufam wako mdogo Allah akuongoze.
Allah akuhifadhi
Mashaallah ukweli kabisa
SHEKH BACHU ALLAH AKUZIDISHIE MAANA HAWA MATWARIQA KILA SIKU LAZIMA WAUMIZE VICHWA KUPAMBANA NAE LKN WANAFELI....
Wadhih. Ya Sheikh👌
قال ابن رجب :" (كل بدعة ضلالة) من جوامع الكلم لايخرج عنه شيء، وهو أصل عظيم من أصول الدين"[ انظر جوامع العلوم والحكم 1/266]. - وقال الشاطبي : " قول النبي - صلى الله عليه وسلم - : ((كل بدعة ضلالة)) محمول عند العلماء على عمومه لايُستثنى منه شيء البتة ، وليس فيها ماهو حسن أصلاً , إذ لاحسن إلا ماحسَّنه الشرع ولا قبيح الا ماقبَّحه الشرع ، فالعقل لا يحسِّن ولا يقبِّح ,وإنما يقول بتحسين العقل وتقبيحه أهل الضلال" [انظر فتاوى الامام الشاطبي ص(181,180)] وقال أيضاً : " والحاصل....أن البدع لاتنقسم إلى ذلك الانقسام , بل هي من قبيل المنهي عنه إما كراهة وإما تحريماً " [ انظر الاعتصام 1/211].
Omba sana ikhlaas, haraka zako hazifanani na wakweli, kijana kama jina lako kasome, unaongea sivyo kabisa...
panga mjadala mutuelimishe mtandaoni hautoshi ana kwa ana itatusaidia mashekhe zetu.
Mashallah
Hhhhhh katwaliini Vzr Mashekhe Mambo ya Bachu Bachu ebu tulieni acheni kumpa kibri kijana mdogo huyu nae kwanza akatwaliii.kisha Huyu bachu yaani yy siku zote ndio Qaadhwil Qudhwaat yaani yy ndio aona makosa hamna mashkhe wengi 😂😂.wallai ajabu kweli
Makhulafy wameenda kujificha kwenye madema ya mina kufanya mizushi yao ya maulid .Acheni kujificha kwenye madema Kwa bidaa zenu
Makhulafy kwasababu mnamkhalifu mtume kumsifu mtume sio hoja wakat mnamuasi na kumpinga
Uyo Mzee ndio hatari kaenda kudanganya kule mpaka Ati kunatareh yamkaa natareh ya tz wakati kule ilikua j mosi nahuku j mosi
Ubabaishaji huo tena hadhi y chini sana hamna hoja twarika hio ni upotevu chungeni mijikaswida tuu
MUSHAJUA MNAITWA HIVO KWA SBB GANI ILA HILO ULISEMALO NI UBABAISHAJI TUUUU
Haki ngumu toka zamani mnafuata mwezi Sasa suudia imeleta watu mnafuata suudia
Nlikua nadhani huyu sheikh Ana akili kumbe n wale wale saa mpya mshale una kutu, kwani hapa dunian kuna nchi haina siku ya jumaa mosi au Ijumaa? Watu wa Bida'a kweli hata elimu ya dunia hamjasoma? N kweli bacho ni mmbovu katika elimu lakn wew n mmbovu Zaid katika dunia na dini Allah atupe elimu yenye manfaa
Sali salah ya ijumaa pamoja na Saudi Arabia hata kama kwenu ni alkhamis au jumamosi au tofauti na masaa ni muhimu kufuata nyakati na miandamo na siku za Saudi Arabia.
Allwah amhifadhi sheikh letu Muhammad bachu. Kwakweli anaitendea haki dini yetu ya kiislamu. Hawa mashehe wengine hawana mpango isipokuwa kupoteza muda. Mimi nimemfahamu saana sheikh Muhammad bachu
Mimi ninaswali jee ipo siku Rasoul aliwahi kuletewa habari mwezi umeonekana mahali flani akaukataa kwakua haujaonekana sehemu yake?
Makhurafi sio sababu ya kumsifu mtume swalla llahu aleihi wasallam, wacha ubabaishaji!!! Mnaotwa hivyo sababu mnazua mambo hayamo katika dini kwa akili zenu, ukhurafi ni kuzua mambo yasiokuwa na kichwa wala miguu.... Kama wewe ni khurafi mkuu, ukijibiwa utasema unatukanwa... na ni khurafi mkubwa... 😂😂😂😂
Wanajifanya ati mapenda kwa mtume ambapo hata Sunnah y kanzu balaa lafagia ardhi ndevu kama tako la mtoto wanatoa zote alafu ujiite ahlulsunnah vp ww usituharibie jina nynyi makhurafi Sufi twarika etc
We kiumbe usome vitabu bhna acha kubishana shekh Abubakar yuko sahihi
@@mwanaherimatata8571 makhurafi tunawajua kwa reactions hampendi hao wapotoshaji kuitwa makhurafi ama masufi nyie hampo rudini ktka njia ya sawa viumbe hv dhaifu vyao Allah n atawasamehe kwa kurudi kwake