MNATUITA MAKHURAFI TUKIMSIFU MTUME JE! ALLAH ALIEMSIFU SANA MTUME MTAMUITA NANI?
HTML-код
- Опубликовано: 17 ноя 2024
- MUFTI ABUBAKAR ZUBEIR/ USIACHE KU SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YETU ALWIY MUHANNA🔴 KU LIKE, KU SHARE, NA KU COMMENT
ALWY TV UKUMBUSHO KWA WOTE
Waisilam kweli tumuogope mungu unaenda kusali sala tano halafu unatukana hz so sifa za waislam
Hii dini inautaratibu sheikh.
MUSHAJUA MNAITWA HIVO KWA SBB GANI ILA HILO ULISEMALO NI UBABAISHAJI TUUUU
Ubabaishaji huo tena hadhi y chini sana hamna hoja twarika hio ni upotevu chungeni mijikaswida tuu
Makhulafy kwasababu mnamkhalifu mtume kumsifu mtume sio hoja wakat mnamuasi na kumpinga
Sababu mnakhalifu njia ya sunnah sahihi ndo maana makhurafi masufi ama watu wa bidaa
Mawahabi ndio watukanao ahlu Sunnah waljamaa hakuna ahlu Sunnah waljamaa anawatukana watu kwa kuwaita makhurafi nitajie ahlu Sunnah waljamaa yoyote aliyeita watu makhurafi hutapata Zaidi ya vijana wa kiwahabiya na mashehe zao ukipata ahlu Sunnah waljamaa njoo uchukue zawadi na mm nakuwa muhabi kuanzia hapo
@@mhusinigau3231 mnajiita ahlulsunnah na nynyi makhurafi masufi mtu yeyote wa Sunnah hamzulii mtume wake uongo kisa na kufanya ati tunampenda mtume kumpenda mtu Fanya aliokwamrisha ufnye n la kuacha muache then,,,,
Una suna ukiipata na nan ww ahh, mtume hakuwa mnafiki wala mchoyo na ww cfa hizo uko nazo
Uyo Mzee ndio hatari kaenda kudanganya kule mpaka Ati kunatareh yamkaa natareh ya tz wakati kule ilikua j mosi nahuku j mosi
Makhulafy wameenda kujificha kwenye madema ya mina kufanya mizushi yao ya maulid .Acheni kujificha kwenye madema Kwa bidaa zenu
Shee Comedy...
Makhurafi sio sababu ya kumsifu mtume swalla llahu aleihi wasallam, wacha ubabaishaji!!! Mnaotwa hivyo sababu mnazua mambo hayamo katika dini kwa akili zenu, ukhurafi ni kuzua mambo yasiokuwa na kichwa wala miguu....
Kama wewe ni khurafi mkuu, ukijibiwa utasema unatukanwa... na ni khurafi mkubwa... 😂😂😂😂
Wanajifanya ati mapenda kwa mtume ambapo hata Sunnah y kanzu balaa lafagia ardhi ndevu kama tako la mtoto wanatoa zote alafu ujiite ahlulsunnah vp ww usituharibie jina nynyi makhurafi Sufi twarika etc
We kiumbe usome vitabu bhna acha kubishana shekh Abubakar yuko sahihi
@@mwanaherimatata8571 makhurafi tunawajua kwa reactions hampendi hao wapotoshaji kuitwa makhurafi ama masufi nyie hampo rudini ktka njia ya sawa viumbe hv dhaifu vyao Allah n atawasamehe kwa kurudi kwake