KWA MARA ya KWANZA MAKONDA AJIBU VIDEO YAKE AKIVAMIA CLOUDS ILIYOZUA TAHARUKI - URAFIKI na RUGE...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025
  • KWA MARA ya KWANZA MAKONDA AJIBU VIDEO YAKE AKIVAMIA CLOUDS ILIYOZUA TAHARUKI - URAFIKI na RUGE...
    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 270

  • @Emkeybrotherkingi
    @Emkeybrotherkingi Месяц назад +1

    Asante Sana mweshimiwa makonda kwawema wako kwawanaichi
    tambua mtu apendewi nakila mtu Kuna watu wasio kupenda kulingana nakazi yako hupo vizuri katika kazi yako mungu akutangulie tunakupenda Sana
    Bora hungekuwa Ata raisi
    Mungu akusaidie uwe namoyo huyo huyo waupendo

  • @NgunoSangano-w9s
    @NgunoSangano-w9s Месяц назад

    Mungu akulinde mkuu natamani Uwe pale mungu wangu kamurinde makonda natamani niwe nae

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 Месяц назад +9

    Kiukweli wanao mchukia makonda basi someni kitu mtayajua mengi mungu akuhifadhi sana sana wewe ni nembo kubwa sana😊

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 Месяц назад +7

    Makonda sio mtu mzuri asilimia 💯 jibu swali la Jambo uliloulizwa. Unazunguka ubuyu

    • @benanceisaack9199
      @benanceisaack9199 Месяц назад

      Mbona kajibu tayari kuwa anaendaga sana na walinzi alokuwa nao ndo walinzi anaotembea nao. Au we ndo hujaelewa? Na alikuwa ana edit video ya miaka miwili ya ukuu wa mkoa wake. Usichoelewa hapo ni nini?

    • @methuselaemmanuel1950
      @methuselaemmanuel1950 Месяц назад

      ​@@benanceisaack9199hawàsikiliz chote wanakat kipand then wanashikilia ap apo

    • @dottosindani2141
      @dottosindani2141 Месяц назад

      ​@@benanceisaack9199yani kuna watu wana wanavichwa vigumu sana,mkuu kajibu swali vizuri tu,lkn bado kuna mtu anajifanya haelewi

  • @yasminally1015
    @yasminally1015 Месяц назад

    Asallam maalequ Maashallah Maashallah Maashallah Makonda. Allah hjelp you Ishaallaha Ishaallaha Allahadulilah

  • @Luccado-kn2xs
    @Luccado-kn2xs Месяц назад +4

    Sipendi mtu kupenda kujiwekea kivuli cha Mungu wakati matendo yako machafu

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c Месяц назад +7

    CZA OSHA NYOTA BABA😊,,,KILA NENO CZA UYAPA,,MUULIZENI CZA UYO APO 😊

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 Месяц назад +2

      Halafu Mimi sijapenda kabisa kumhusisha CZA

  • @frankmichael411
    @frankmichael411 Месяц назад +4

    Bora umeliona kwenye kutoa majibu anatuibia mda sana

  • @DenisMatemu
    @DenisMatemu Месяц назад +13

    wapiga makofi ni watu sijawaelewa, majibu yana mlolongo mwingi sijui sielew mapema😢😮

    • @benanceisaack9199
      @benanceisaack9199 Месяц назад +2

      Tumeshaelewa mbona, amesema alkuwa ana edit, video ya ukuu wa mkoa wa miaka miwili na ameenda na askari kama protection ambao anakuwa nao mara nyingi tuh.

    • @JudeKinyai
      @JudeKinyai Месяц назад

      Uchawa live

  • @amisanjenda8885
    @amisanjenda8885 Месяц назад

    Watu walipewa mpango kazi wakafeli
    Kwaiyo makonda akafanya wakauza
    The mission accomplished
    Na pesa wakapata 😂😂😂😂
    Ayaaa

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 Месяц назад +5

    Kuna watu watakua kwenye moto wa chini sana aisee.

  • @ahmedmukolwe43
    @ahmedmukolwe43 Месяц назад +1

    I like this man for sure

  • @sosomokobiasharamgaya3020
    @sosomokobiasharamgaya3020 Месяц назад +4

    Hujajibu swali Mh.unazunguka Tu

  • @AdiaAhmad-s5o
    @AdiaAhmad-s5o Месяц назад +1

    Wakasome. Luga. Ya kiswahil. Makonda. Ni msukuma. Gusa unate. Unapotea ukionekana. Umekuwa msukule. Muendelee na. Midomo yenu. Yetu. Macho. Mnapewa. Sh ngapi

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 Месяц назад

    9:27 Swali la Kikeke; Nataka kujua tu Kama clouds ilikuwa ni familia yako nani alie vujisha zile picha kwa sababu huwa zina udhibiti?? ,,, Jibu la muheshimiwa sijaelewa 😂😂😂

  • @fredrickmwegole7337
    @fredrickmwegole7337 Месяц назад +1

    Msameheni Ndugu yenu Mnajua Alikuwa Anaelekezwa fanya Uyu ni kiongoz wetu mwadilifu

  • @AlfredMatemu
    @AlfredMatemu Месяц назад +1

    Waandishi wa habari wengi hamna uwezo na ujuzi wa mambo bado sana kwa hii nchi

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 Месяц назад +24

    Makonda anatumia maneno Sana kuwachanganya watu...mwingi ni uwongo

    • @arondickxon2806
      @arondickxon2806 Месяц назад +1

      Ukiwa muhuni lazima ujiamini mudomon jamaa inaonekana ni suugu sana haogopi kujibu hovyo bila aibu 😂😂😂

    • @vincentmokenye4465
      @vincentmokenye4465 Месяц назад

      😂😂

  • @davidpastory1192
    @davidpastory1192 Месяц назад +3

    Jamaa hajajibu hata swali moja hapo😢

    • @JudeKinyai
      @JudeKinyai Месяц назад

      Yeah ni kumung'unya tu maneno

  • @YohanaPeter-r1y
    @YohanaPeter-r1y Месяц назад

    Uyu mm simuamin ata kidog wanaopig makofi pigen sana ukimskiliz vizur akunasehem alojibu swali ila anajisifia2 ckumoj mungu atawaaibisha vibaya

  • @jackiefredrick586
    @jackiefredrick586 Месяц назад +9

    Bwana eeh mwenye majibu ji Ruge. Umesubiri kafariki unatudanganya

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina Месяц назад

      Sasa mtu kama kauliza ulitaka asijibu

  • @demask3423
    @demask3423 Месяц назад +20

    Makonda hilo la clouds umezunguka swali..
    Hatujakuelewa😂😂

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d Месяц назад +1

      😅😅😅😅😅😅 uwiiii nimecheka mimi jaman I love Tanzania

    • @festusbokoro1615
      @festusbokoro1615 Месяц назад +4

      Hatujamuelewa wwe na Nani,,,jiongelee mwenywe

    • @stephanompunga1026
      @stephanompunga1026 Месяц назад +1

      Kweli shuke hujaenda, hujaelewa nini sasa

    • @boniphacemashauri3318
      @boniphacemashauri3318 Месяц назад

      Siyo kwamba hatujakuelewa,sema Kwa nafsi Yako kuwa hujamuelewa.

    • @LucasMaiko-g1w
      @LucasMaiko-g1w Месяц назад

      Na wewe ulihusika kuvumisha huo uongo?unataka ajibu ulichoaminishwa?,mmefeli sana.

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 Месяц назад +11

    RAISI MTARAJIWA❤❤

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Месяц назад

      Kabisa🙌🏼🙌🏼

    • @tgeofrey
      @tgeofrey Месяц назад

      Sio lazima awe Rais Was Dunia

    • @RobertMshiko
      @RobertMshiko Месяц назад +1

      Haji kuwa rais mpaka kufa kwake mungu alishamkataa

    • @mwamakaassely2260
      @mwamakaassely2260 Месяц назад

      Rais wa chumbani kwako. Una akili timamu kweli?

    • @chikusangalala7759
      @chikusangalala7759 Месяц назад

      @mwamakaassely2260 wewe ndio huna akili kwani hapo alipo nani kamuweka si mungu basi huyo alie muweka hapo pia atampa Uraisi kwa mungu hakuna kinacho shindikana

  • @juliusmashauri
    @juliusmashauri Месяц назад +1

    Mission!

  • @OmyCrez
    @OmyCrez Месяц назад +13

    Tekinologia hajawahi kumuacha mtu salama maneno yanaishi ukweli na uongo utakuja kujitenga

  • @robertsuna
    @robertsuna Месяц назад

    Zembwela kataka kuipotezea boss wake asipigwe pin Boss akasikia noma kusaidia kaamua kuendelea na topic, Zembwela aibuuuuu imemshika

  • @alextarimo4972
    @alextarimo4972 Месяц назад +4

    Hii confidence ya waandishi ni ya kutukuka😂😂

  • @rogersiddy
    @rogersiddy Месяц назад +2

    Kama aliweza kuruka swali Lisu hata la Clouds nilitarajia atakana tu lazima😂😂😂😂😂🙌

  • @NgunoSangano-w9s
    @NgunoSangano-w9s Месяц назад

    Munao msema vibaya makonda hamna lolote makonda tunampenda Tanzania🇹🇿 aslimia 100%

  • @bukuwine931
    @bukuwine931 Месяц назад

    Viva Makonda🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky Месяц назад +10

    Unajitambaaa now Becouse Muhusika Na mwenye majibu ni Marehemu nyauuu weweeee

  • @godsson5954
    @godsson5954 Месяц назад +5

    Macho ya bdozen inaonyesha anajua ukweli😅

  • @ZawadiSimyota
    @ZawadiSimyota Месяц назад +1

    Mmmh htr sana

  • @IbrahimVedasto-ut9ds
    @IbrahimVedasto-ut9ds Месяц назад +11

    Hapa Kuna mtu anasafishwa

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 Месяц назад

    Mh kazi kwelikweli

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 Месяц назад +12

    Mtu anatumia Omo kiulaini Sana 😂😂😂 na tulivyo Tz ndio washaaminishwa teyari...

    • @veterinarytips8059
      @veterinarytips8059 Месяц назад +1

      ulichoandika ni fumbo wenye uelewa washa nasa codes

    • @veterinarytips8059
      @veterinarytips8059 Месяц назад

      ulichoandika ni fumbo wenye uelewa washa nasa codes

  • @christianmahembe4827
    @christianmahembe4827 Месяц назад +1

    Majivuno sana

  • @aluminiumradon569
    @aluminiumradon569 Месяц назад

    mtu smart

  • @TonnyJimmy-z5c
    @TonnyJimmy-z5c Месяц назад +9

    Swali linajibiwa kihuni😂🤣🤣🤣

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Месяц назад

      Ko wew unataka ajibu je? Mbona kashajibu vizuri

  • @DenisRukangula
    @DenisRukangula Месяц назад +3

    Wewe ulitaka kuitumia clouds kumchafua Gwajima

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o Месяц назад +1

    Unajua makonda ni mwanasiasa uwez kumueleza makosa yake makubwa kama haya akakubali eti ndio nilifanya awezi kubali atatunga uongo wowote uku akimtaja mungu . Alafu Kuna mzuzu apo wao ni kupiga makofi TU

  • @mwinjanavil
    @mwinjanavil Месяц назад

    eleweni makonda ni mjanja sana huwezi kumnasa kirahisi

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 Месяц назад +19

    Kipindi kilikuwa live mmeingia na Mitutu leo unakataa we mbaba ww 😢😢

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Месяц назад +1

      Kama hukubali basi kaa nalo hivo hivo

    • @wazinzatv3152
      @wazinzatv3152 Месяц назад

      Watu wanataka aseme uongo ili kuwafurahisha​@@MrTop-wj7no

  • @MejackPaul
    @MejackPaul Месяц назад +1

    Mm pamoja na yote makonda nakukubali

  • @PiusMdoe
    @PiusMdoe Месяц назад +2

    Hata wakati wa Warioba alitudanganya hivi hivi

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 Месяц назад +2

    Kama ni hivyo kwahiyo magufuri alikuwa mjinga kiasi ka gani akakuita wewe na ruge akawapatanisha hadharani Kama hamkuwa na ugomvi

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 Месяц назад +1

    Huyu jamaa anacheza na akili za watu lakini ukimtizama usoni utaona ana kitu anaficha makonda tumuangalie jicho la tatu #

  • @StephanoGwelino
    @StephanoGwelino Месяц назад +2

    Una bahati sana luge hayupo sizani kama ungekuwa na nguvu ya kujibu kiasi hicho maana yule ndo kiboko yako

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 Месяц назад

    Alafu mbona ni tukio. Baba jibu swali maneno Mengi Sana mkuuu😅😅😅

  • @alihassan3648
    @alihassan3648 Месяц назад +3

    Kuweni makini cku moja mutakuja juwa

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 Месяц назад

    Mwamba anajisafisha ila ukweri huu mdahalo mzuri Sana
    Ni kama na yeye anajisafisha😅

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh Месяц назад +12

    Nakukubari lakini hapa unatudanganya mwamba

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 Месяц назад +3

      UONGO MCHANA KWEUPEE

    • @SamwelMtewele
      @SamwelMtewele Месяц назад

      Kabsa

    • @JujuGurugu04
      @JujuGurugu04 Месяц назад +1

      Endeleeni kukubali tuu but knowing that ur children will suffer for long-term kwasababu mmnapemda shobo a person like me I won't be fooled with someone like him all things he is doing is acting mapichapicha but siwalaumu I know mostly Tanzanians they are easy to be manipulatied 😂😂😂

    • @JujuGurugu04
      @JujuGurugu04 Месяц назад

      Toliiiii😂 daaqqdeeeeki jmn 😂😂😂 easy to be manipulatied but u know what chears 🎉🎉🎉

  • @mwinjanavil
    @mwinjanavil Месяц назад

    sawa tumekubali badala ya kujibu swali la kuvamia umetuzungusha kujua jibu ni lipi.. lakini hapo kwenye mambo ya TCRA hapo umedhalilisha kusema wakiwa na vimeo wanakupigia utokee kumaliza kimeo

  • @bakarimkolwa
    @bakarimkolwa Месяц назад

    Mkamilifu ni mungupekee si mwadamu aingiae chooni mwisho awamzoga wa kunuka chunga kauli.

  • @NelsoniPhilip
    @NelsoniPhilip Месяц назад

    Hanajibu la clouds

  • @drisakamwakitalima1937
    @drisakamwakitalima1937 Месяц назад +11

    Hayo makofi yanapigwa kwanini

  • @TonnyJimmy-z5c
    @TonnyJimmy-z5c Месяц назад +7

    Hizo tuhuma hawezi kuzikwepa kwa namna yoyote ile,Na zitamtafuna kila uchwao

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Месяц назад

      Aya anza sasa kumtafuta kenge wew

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d Месяц назад +1

    Keshasema tukio lilitokea kumbe ilikua tukio ahhahahaha my ribs

  • @AnnastaziaJeremiah-ch3vx
    @AnnastaziaJeremiah-ch3vx Месяц назад

    Makonda Mungu akutunze

  • @SaidiIduri
    @SaidiIduri Месяц назад +8

    Uligombania nn na marehem ruge??

  • @ShomaryGango
    @ShomaryGango Месяц назад +2

    Kwahiyo anachomaanisha ilikuwa mpango wa kumchafua sio kweli kuvamia lakini pia nawaza tu hivi hadhi ako makonda kipindi kile ulikosa ofisi ya kufanya shughuli zako za kuedit hadi iwe clouds?? Najiuliza tu kwandani na kwanini kati ya hao familia wasambaze clip laiti kama kusingekuwa na tatizo...daaaah haya bhana.

  • @hascod943
    @hascod943 Месяц назад

    Kwann unajibu mswali kwa kumtajataja mtu ambae kashakufa kwakuwa hawez ongea akakataa wewe sema uliennda kwa minajisi ipi? Wala bado hujamjibu dada swali niaibu sana😢

  • @kamwagamwanjale1575
    @kamwagamwanjale1575 Месяц назад

    Tubaki na mapicha ya ugomvi wa Mwijaku na Masudi walivyotaka kuumbuana

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s Месяц назад

    😂😂😂daaaah ila siasa tamu sana sawa

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Месяц назад +1

    Vyombo vya habari vingine kiongizi ni vya kishenzi sana ndio maana wakati wako wewe na mzee magufuli mlivifungia mlikua sahihi kabisa hata sasa mpango uwanze wa kuvifungia

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official Месяц назад +1

    Nidhamu yawoga amesema ataendelea kuwanyuka na wamepiga makofi haki watanzania mtihani

  • @AbdulJs-d8b
    @AbdulJs-d8b Месяц назад

    huyu mtu anaenda kua mtu mkubwa ktk nchi......note it!!

  • @victorburser1717
    @victorburser1717 Месяц назад +8

    Kajitahid kusafisha ktk majibu yake ila waelevu tunaelewa kua wapi tumepigwa matango poli wapi Pako sawa.

  • @MrNibiru2112
    @MrNibiru2112 Месяц назад

    Ni kikao cha familia.

  • @SISIPACHA
    @SISIPACHA Месяц назад

    MH. RUGHE ANGEKUWEPO NA UNGEJIBU ILO SWALI NINGEELEWA ZAIDI ILA KWA SASA ACHA TU TUPIGE STORY

  • @anorderick7162
    @anorderick7162 Месяц назад +3

    ❤❤ Nakukubali Kaka yangu....!

  • @B23-i8p
    @B23-i8p Месяц назад +8

    Machawa wamejazana swali kaulizwa mwengine wao wanapaniki ujinga nchii hii

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 Месяц назад

    Mimi nakukubal sana Makonda ila hili la Clouds ungeachana nalo tu maana mwenye ukweli nalo ameshatangulia mbele za haki

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 Месяц назад

    Ha ha haaaa safiiii

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o Месяц назад

    Aya ni mazingaombwe Paulo makonda ujajibu swali ata Moja apo ulikuwa unabwabwaja TU

  • @Nyaboke-123
    @Nyaboke-123 Месяц назад +11

    Bashite liongo mno

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 Месяц назад +8

    Jamaa mnafiki na muongo sana

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 Месяц назад +4

    He is smart🎉

  • @MonicaMushi-z8s
    @MonicaMushi-z8s Месяц назад +5

    Angejibu swali mbona anatoa maelezo nje ya swali? Hapo anazuga.

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 Месяц назад +7

    Kwanini ulipatanishwa na Ruge? Kwani Mlikua na ugonvi gani?

    • @dottosindani2141
      @dottosindani2141 Месяц назад

      Yani kichwa chako ni mzigo wa miguu yako,sasa hapo hujaelewa nini?

  • @PhillyAmbilikile
    @PhillyAmbilikile Месяц назад

    Kikeke anaakili sana

  • @rogersiddy
    @rogersiddy Месяц назад +4

    Wameshaandaliwa watu wa kumkingia kifua kwaiyo hatushangai juu ya hilo watu wake waliandaliwa kbs ili asiulizwe maswali yenye ukweli juu yake?

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d Месяц назад +2

    Magu alikua anakubeba hivi nani angempinga magu kipindi kile acha ufala

  • @laurentshedrack4256
    @laurentshedrack4256 Месяц назад +2

    zembwela akili Mingi mnooo🙌🙌🙌🙌

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 Месяц назад

    Arusha ina wapuuz wengi..hawajui ata wapi wapige makofi 😂

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 Месяц назад +12

    Uongo ulio kithirii

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Месяц назад +1

      Aya leta ukweli wako

    • @Nite-zd8il
      @Nite-zd8il Месяц назад

      Ulikuwa hujazaliwa Google utaupata ukweli​@@MrTop-wj7no

  • @AliKhamis-l1x
    @AliKhamis-l1x Месяц назад +1

    Usifanganye watu acha uongo engekupo makufuli ushengerudi tena madarakani

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Месяц назад

    ❤from dsm

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza Месяц назад +1

    Makona is going round the bush instead of answering questions, and you people in that meeting are clapping hands.

  • @coldkiller-7
    @coldkiller-7 Месяц назад +1

    Makonda ni very very brave man anafaa kuwa kiongozi kapanguwa maswali magumu saana aliyoulizwa nina imani angekuwa mtu mwingine kwa haya maswali angepanic na kujichanganya lakini jamaa ni smart sana

    • @aly_asgar
      @aly_asgar Месяц назад

      No hafai kuwa kiongozi na Magu kalipitisha ilo.

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 Месяц назад

    Ivona kauliza swali linahitaji majibu. Kusema Kwa Nini hamuulizii clips nyingine ni nje ya swali. Ni sawa na kuulizwa 1+1 ukasema Kwa Nini huulizi 2+2...muulizaji anataka 1+1

  • @aly_asgar
    @aly_asgar Месяц назад

    Huyu Makonda hafai kuwa kiongozi wananchi wengi walimpenda Magu sio huyu bwana.

    • @veterinarytips8059
      @veterinarytips8059 Месяц назад

      amekufanyeje kijana wa watu

    • @veterinarytips8059
      @veterinarytips8059 Месяц назад

      amekufanyeje kijana wa watu

    • @aly_asgar
      @aly_asgar Месяц назад

      @ unaachaje uongozi ulopewa na kiongozi wako unaenda kugombania ubunge? Kama sio tamaa ya kula pesa ni nini?

  • @leonardngoga7019
    @leonardngoga7019 Месяц назад

    Kwanini kila kitu huyu shaihidi huy shahidi huyu mzee bwan😂

  • @AliBaba-v7v
    @AliBaba-v7v Месяц назад

    Go day dream Pierc

  • @MembiLema
    @MembiLema Месяц назад

    Jibu swali

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Месяц назад +5

    Halafu mnasema hakuna mtu mkamilifu c huyu apa anasema amekamilika

    • @faridanurdin9635
      @faridanurdin9635 Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂

    • @SamwelJoseph-yk3cw
      @SamwelJoseph-yk3cw Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Wiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 Месяц назад

      Nimecheka ad nimelia 🤣🤣🤣

  • @GisellaLukas
    @GisellaLukas Месяц назад

    Kuwanyuka tena

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 Месяц назад +3

    Kikeke anamaswali ya kimitego

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 Месяц назад +1

    Sasa Hilo ni jibu na mnapiga makofi kweli wanna Arusha kumbe hawana akiri kabisa

  • @rehemarwanda6039
    @rehemarwanda6039 Месяц назад

    Makonda Nembo ya Taifa