Ukitaka owa chunguza MATAWI na SHINA | visa vitamu vya waja wema na Sheikh Othman Maalim

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 69

  • @bashirmrisho8491
    @bashirmrisho8491 Год назад +10

    Allahumma bariki sheikh Othman....wallah Allah amekujaalia mdomo mtamu sn...waumini hatuchoki kukusikiliza....

  • @kassimbeka1441
    @kassimbeka1441 Год назад +1

    Barak Allah fiikuum Allah akuzidishie kwa sababu unatupa vitu mubashara....tunakupenda kwa ajili ya Allah,Allah akupe mwisho mwema na sote waislamu tukayaone matunda ya kumcha Allah siku ya Qiyama.

  • @asinakassim1548
    @asinakassim1548 Год назад +3

    Yaaa Rabbi tujalie waume wakheir nasiye tuwe wakewema🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @NdewaNassir
    @NdewaNassir Год назад

    Mwenyezi Mungu naakupe umri mrefu wenyeheri nawe shekh Othman tuzidi kufaidika ishaallwah

  • @hanaalsiabi2821
    @hanaalsiabi2821 Год назад +4

    Allah akupe umri mrefu wenye manufaa uzidi kutuelimisha na akupe mwisho uliokuwa mwema tunakupenda Kwa ajili ya Allah

  • @thelion8223
    @thelion8223 Год назад +1

    ALLAH amhifadhi huyo sheikh. Napenda mawaidha yake sana. (Kaka yako kutoka Kenya.)

  • @agentmsami5303
    @agentmsami5303 Год назад +4

    Allah Akuzidishie killa la kheri na akuepushie killa la shari sheikh wetu Amiin

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 Год назад +3

    MASHA ALLAH shukrain sheikh wetu ALLAH akujalie afya njema akuifaidhi ALHMDULLAH tunafaidika kwa kutufuza kisakizuri sn😄

  • @zubedamujibu-vb3mw
    @zubedamujibu-vb3mw Год назад +3

    Mashaaallah jamani Allah akuzidishie natamani kwa uwezo wa Allah anipe mume na kizazi chenye sifa za daaa'i kama wewe inshaallah

    • @Lassana755
      @Lassana755 Год назад

      Njoo tuyajenge basi kwa mapenzi ya Mungu

  • @esthermunywoki3334
    @esthermunywoki3334 Год назад +6

    Allah atujalie kujua na kuipenda Dini yetu siku zote

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 Год назад +2

    Allah akujaalie kher maalim othuman

  • @maryali2122
    @maryali2122 Год назад

    Subuhana Allah nikweli maneno yakeli mwanagu aliangania mke asli na mwsna wakisilam mpka na hofoa watoto wske naomba dua yako lnshallah

  • @meshakirahman7819
    @meshakirahman7819 Год назад +2

    Mashallah Allah akujaze kheir sheikh pamoja na kizazi chako😊

  • @newsuprisetv9286
    @newsuprisetv9286 Год назад +1

    ALLAH akuzidishie kwa kila lilojema kwako , hakika wewe umefanya wema kwetu kwaiyo naona wema wako haujautupa , kweli wewe ni mwema pia . ALLAH akufanyie wepesi katika majambo yako Inshallah.

  • @AbdallahIkondo
    @AbdallahIkondo Год назад

    Dàah shuqran sana sheikh wetu allah akupe afy njemaaaaaa

  • @yusuphyakub7464
    @yusuphyakub7464 Год назад +2

    Mashallah napenda kukusikiliza Maalim wetu

  • @RajabuRajabukatumbat
    @RajabuRajabukatumbat 18 дней назад

    Mungu mjaliye maisha malefu shehe wetu hazid kutupa mawaidha ilimu ishaala.

  • @msongera5823
    @msongera5823 Год назад +1

    Mungu akupe afya tele shekh Othman

  • @nurubakari7394
    @nurubakari7394 Год назад

    Mungu akuzidishie shekhe wetu

  • @Husnakinang
    @Husnakinang Год назад

    Allah akuhifadhi sheikh

  • @ayinkamiyeumulisa8070
    @ayinkamiyeumulisa8070 Год назад

    Mwenyezi mungu Akudishiye umuri murefu

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Год назад

    Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim, Allah akulipe Jannah Tunakupenda sana 🙏

  • @alimanshimirimana1706
    @alimanshimirimana1706 Год назад

    Mashaallah Allah azidi kukupa umri mref cheikh inshaallah

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed Год назад +2

    Subhanallah LLAH ALLAH akbaru ALLAH akbaru ALLAH akbaru

  • @sabrinayounisaden7238
    @sabrinayounisaden7238 Год назад

    JazaakAllah khairan shiekh

  • @nasradada7050
    @nasradada7050 Год назад

    ماشاء الله

  • @hammytototundu9292
    @hammytototundu9292 Год назад +2

    Subhana Allah

  • @BentoCaetano-p1n
    @BentoCaetano-p1n Год назад

    Assalamo aleikum warramatulai wabarracato Nakupata sana o jumbe wako wa Mungo Mashala Mungo akuzidihie npaka kifo

    • @BentoCaetano-p1n
      @BentoCaetano-p1n Год назад

      Mimi Issufo zuber Issa Mecula Niassa Mozabique Assante🎉🕋🕋🕋

  • @bintsaidi9600
    @bintsaidi9600 Год назад +1

    Mashaa Allah tabarakallah

  • @alifaki4651
    @alifaki4651 Год назад

    Mashallah

  • @athmaniathmanisimba4976
    @athmaniathmanisimba4976 11 месяцев назад

    Allhamdulilah baraka. LLh. fka

    • @athmaniathmanisimba4976
      @athmaniathmanisimba4976 11 месяцев назад

      Hap kwenye. madili
      Nihatari twaona. Hâta kwenye watoto wadog hawawapishi siti wakae nmsb

  • @AishaSudein-sc9hw
    @AishaSudein-sc9hw Год назад +1

    Allah akujaaliye kheir nyingi

  • @nanjelocompany2484
    @nanjelocompany2484 Год назад

    Yeah.........🤗

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 Год назад +1

    Mashallah ❤

  • @umazza2274
    @umazza2274 Год назад

    ما شاء الله تبارك الرحمان

  • @Lassana755
    @Lassana755 Год назад

    Yaa Rabi tujalie wake wema. Ameen

  • @fatuma5208
    @fatuma5208 Год назад +1

    MASHALLAH

  • @omaraliy6144
    @omaraliy6144 Год назад +1

    😅😅😅bwan hrus akil inkuw haipooo

  • @allyjuma336
    @allyjuma336 Год назад

    Maashaallah ❤

  • @BurdanMwachibanda
    @BurdanMwachibanda Год назад

    P

  • @Alfalife-jp4rt
    @Alfalife-jp4rt Год назад

    A

  • @lulurubby2235
    @lulurubby2235 Год назад +4

    Kuna watu walitoboa pua wakiwa baleghe na sasa wachamungu kwahiyo wasipewe wake sababu ya tatoo na kutoboa pua ,shekhe wanaume wengi wa kiislam wanaoa wengine hawana hata kazi wala biashara ndogo sasa nani atamuhudumia huyo mke ibada na ucha mungu? Ndoa za michango maisha yakianza mtihani hapana kwakweli, waarabu wanaishi kiukoo wanakula chungu kimoja sisi waafrica ,yaani mimi kaka zangu waoe alafu uwe mzigo wangu mimi kweli hiyo😊

    • @badrahibrahim6867
      @badrahibrahim6867 Год назад

      )
      pà😉😉😉
      😆😆

    • @yamdinhopapaa4144
      @yamdinhopapaa4144 Год назад +2

      Anachomaanisha shekh kwama vijana wenye hali hizo ni wale wasio jitambua ktk dini lkn ukimrudia Allah hiyo inapendeza zaidi

    • @aliyussuf8068
      @aliyussuf8068 Год назад

      umemuelewa lakini huyu shekh wewe hebu sikiliza tena

  • @bas2823
    @bas2823 Год назад

    NOW U KNOW HOW TO TALK THE TRUTH BETWEEN MALES N FEMALES MANENO MEMA HUMTOWA NYOKA PANGONI! TRY GIVE SPEECH IN CORRECTS WAY BETWEEN MALES N FEMALS TO BE IN ONE TEAM NOT TO DESTROY THEM! TRY TO KEEP THE MARRIED SAFE BETWEEN MAN LADY👌! INNAMAA AL AMMAL BI NIYYATTUKUM!👌

  • @bas2823
    @bas2823 Год назад

    Ukitaka kuowa na kuolewa pia! Sio kuowa tuu na kuolewa pia! Need to be both side! Sio daima iwe kuowa only! Some man can be good n some can be bad! As the females also! Not in everything frmales only! Ndio wabaya! So many males are the trouble makes to the females! Both of makhluku ALLAH! WANA BAD ISSUES N GOOD ISSUES! U MA SHEILH WA HUKO AFRIKA DAIMA MMAPENDELEA UPANDE WENU NYIE MALES! MEANS UNATOWA KHUTUBA ZA UBAGUZI! HATA ALLAH! HAYUKO RADHI NA WEYE! DO U KNOW FEMALES ARE THEIR OWN MOTHERS! U DONT KNOW THAT!?? MAMA BORA! GANI!? ZAIDI! YA MAMA MZAZI ALIEWAZAA WATOTO WAKO! WU BAAS! HAMNA MAMA ATAKUWA MWEMA! ZAIDI YA MAMA YAKE MTOTO ALIEMZAA KUTOKA TUMBONI MWAKE! U CALL YR SELF SHEIKH U!? U BETTER GO N STUDY DEEN VERY WELL! BEFORE U GIVE THOSE SPEECH! OKAY! AYYAM ZAMANI PPL WERE NOT TOO BUSY TO LOOK FOR FITURES LIFE LIKE NOW! LIFE WERE EASY TO LIVE NOT LIKE NOW! LIFE IS VERY HARD NOW! DONT COMPERE YESTERDAY NOT TODAY! ABU WHO! OR WHO!? TO COMPERE TO OTHERS OKAY! GOD! MADE DIFFERENT HUMANS NOT ALL THE SAME! OK!

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  Год назад

      Sheikh mbona anawasema wanaume katika Khutba? umefunga?

    • @hassangereza4365
      @hassangereza4365 Год назад

      Khutba nzuri, jazakallah kheir sheikh

    • @salimmachila5736
      @salimmachila5736 Год назад

      Ela umesikiza khutba ama umesoma topic tu😅😅😅

    • @ibrahimkhamis471
      @ibrahimkhamis471 Год назад +2

      Hujaskiza alichoongea shekh umeandika ujumbe mrefu kizungu kibaya na hakuna maana yyte kwenye comment yako rudi usikie shekh kaongelea nini ndio umwambie akasome elimu ndogo alo nayo shekh inatupa mafunzo na uelewa wa maisha kila tunapomskiza acha chuki

    • @salimmachila5736
      @salimmachila5736 Год назад

      @@ibrahimkhamis471 mm namshangaA huyo jamaa na vile khutba yamtetea mwanamke..awachekukurupuka

  • @bas2823
    @bas2823 Год назад

    U call yr self! Sheikh u!? Go study Deen not to talk unafiq u jammaa ppl to listen yr unafik! ALLAH MA YESMAH LAK! ALLAH HAYUKO RADHI NA KHUTTUBA ZAKO AT ALL!😡U😡! MAFROUDH SERIKALI YA HUKO ISIKURUHUSU WEYE KIKUSANYA WATU IKAWATOLEYA HUTUBA ZA KINAFIK! RESPECT YR GOD! N FEMALES YR MAMA IS A FEMALE ALSO! OKAY! BLAA BLAA TOO MUCH 😡U😡 MA YEJUZ! PLEASE

    • @agentmsami5303
      @agentmsami5303 Год назад

      WAALYKUM

    • @ibrahimkhamis471
      @ibrahimkhamis471 Год назад +4

      Kajifunze kingereza kwanza ndio uje uandike manake hujui lolote ndio mana ata shekh ameongea kiswahili pia hujamuelewa shekh amegusia jinsia zote mbili kama umemsikza vzur mpka mwsho ww umesoma maudhui ukaandika comment....Dont be stupid...think before you talk

    • @iqramaxamed474
      @iqramaxamed474 Год назад +1

      Huyu vipi jmni na kingereza chake😂😂😂😂

    • @abdull-majidali6320
      @abdull-majidali6320 Год назад +3

      Jamani baadhi ya wakati ni kheri hivi watu kuandika au kusema. Kwani Kwa kuandika kwao au kusema kwao ndio kunatuwezesha sisi wengine kutambua ujinga walionao. Huyu mwenzetu amekuja kutuonesha ujinga alionao

    • @bakarkhamis6423
      @bakarkhamis6423 Год назад

      Hukuelewk mnafik n ww