'Ndacha'Dr Sule na Ustadh Shafii Aso kwa Uso Kwenye Dibeti Sinza-Ust Shafii Sijakukimbia Ndacha .

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • usisahau ku subscribe channels hii

Комментарии •

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 5 месяцев назад +3

    Aisee Hichi ni kichwa 🙏💯💯💯💯

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina 5 месяцев назад +13

    sheikh shafii allah akuongoze zaidi uzidi kuwaongoa watu katika upotofu na kuwaleta kwenye nuru

  • @taufiqis-haq536
    @taufiqis-haq536 5 месяцев назад +4

    Ostadh shafii. Unapewa Dakika chache Sana. Hazitoshi wakuongezee Dakika tunaomba 🙏

  • @mrishongwikwi6448
    @mrishongwikwi6448 5 месяцев назад +1

    Allah akuhifadhi shekh Shafii umefanya kazi kubwa sana.

  • @KHADIJANDABABISA
    @KHADIJANDABABISA 5 месяцев назад +8

    Shekhe shafi ALLAH AKUHIFADHI INSHAALLAH KATIKA MAISHA YK

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 5 месяцев назад +10

    Huyu Sheikh Shafi inabidi watu tufanye mpango aje kufanya mdahalo ulaya na Marekani inshallah bila kumsahau Juma Kinyongoli

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 5 месяцев назад +13

    Kulingania sio kazi nyepesi allah atupe peponi waislamu wote

    • @mamawamuya
      @mamawamuya 5 месяцев назад

      @@Khatib-xp6fp Amiin

  • @mamawamuya
    @mamawamuya 5 месяцев назад +11

    From Kenya kweli shafi ni kiboko njia zake za kueleza balaa utaelewa utake usitake utamuelewa,kwa njia zake pia balaa

    • @OmarMwachupa
      @OmarMwachupa 5 месяцев назад +3

      Mkristo Kwa muislam Hana hoja Ndacha ataborongo Noronha siku iishe Shida kubwa Sana

  • @AlyAly-dp7iv
    @AlyAly-dp7iv 5 месяцев назад +4

    Nikweli shekh shafi iyo midahalo mimi niko mozambique wilaya ya mueda wengi sana wanakuja kusilim kuusu midahalo munavivifanya aaamina

  • @swalahudinmohamed2666
    @swalahudinmohamed2666 5 месяцев назад +1

    Surat Al hajj
    52. Ewe Nabii! Usihuzunike kwa hizi hila za makafiri. Yalimpata kama haya kila Mtume katika Mitume wetu, na kila Nabii katika Manabii wetu. Nayo ni kuwa kila wakiwasomea kitu kwa kuwaita waifuate Haki Mashetani wa kibinaadamu walio asi wakiyapinga ili waubat'ilishe Wito, na wawatie shaka watu kwa yale wanayo somewa. Makusudio yao ni kujiingiza kati baina ya Nabii na matamanio yake ya kutaka Wito wake uitikiwe. Lakini Mwenyezi Mungu huyaondoa wayatakayo. Na mwishoe Haki ndiyo inayo shinda anapo isimamisha Mwenyezi Mungu sharia yake, na akamnusuru Mtume wake. Na Yeye ndiye Mwenye kuzijua hali za watu na vitimbi vyao, Mwenye hikima katika vitendo vyake. Anaweka kila kitu pahala pake.

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 5 месяцев назад +1

    Jazaka Allah khaira shekh Shafii

  • @ShomiKalunde-zb8gx
    @ShomiKalunde-zb8gx 5 месяцев назад

    Wallahi naapa nimefurahi sana kuwaona shehe shafii na dr sule katika mdahalo mmoja .allah awajaze kheri inshaala

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ 5 месяцев назад +1

    😂😂😂😂ma shaa allah Sheikh shafi mungu akuzidishie elimu na akuruzuku ufahamu in sha allah

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 5 месяцев назад +2

    Nakubali Mzee

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 5 месяцев назад +1

    ❤❤❤

  • @AlyAly-dp7iv
    @AlyAly-dp7iv 5 месяцев назад

    Taki biiiiiiirrrrrr allah akujalie afya na uzima

  • @sheikhaswalehsalim3392
    @sheikhaswalehsalim3392 5 месяцев назад

    Hawa wana uchungu na msahafu, ime teremshwa haibadiliki,maisha milele na milele ,wao wanatowa biblical kila kukicha lakini quran iko pale pale, subhana Allah

  • @abduliashiru9394
    @abduliashiru9394 5 месяцев назад +5

    Shafi afai ndacha amna kitu Mi binafsi nishatosheka na shekhe shafi amemaliza kila kitu.

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn 5 месяцев назад

    Mashaallah

  • @AbduliAshiru
    @AbduliAshiru 8 дней назад

    Ndacha mzinguaji sana

  • @user13375
    @user13375 5 месяцев назад

    Majini yanashilikiana kupinga😮😮😮

  • @NassorKhamis-l6r
    @NassorKhamis-l6r 5 месяцев назад +1

    Mashallah Dr Sule sura yk ina nuru

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 5 месяцев назад

      Kwani ukitaka kuona nuru unafanyaje jamani??hahahaha kuna watu wanchekesha sana

  • @mjunikiobya
    @mjunikiobya 5 месяцев назад +1

    Sheikh Shafi unafanya kazi nzuri Maasha Allah lakini usitumie lugha za kudogosha walimu wa upande wa pili (wa akina Ndacha). kwa mfano Lugha kama "hana kitu", "hana elimu" si lugha nzuri. Wewe mgalagaze kwa hoja ila walindie heshima zao. Sheikh Ahmed Deedat alikuwa bingwa wa hii mijadala lakini kamwe alikuwa hatumii lugha za kudogosha walimu wa upande wa pili

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 5 месяцев назад

    Swadacta ya sheikh

  • @meekman1805
    @meekman1805 5 месяцев назад +2

    Kwa kweli siku tatu hazitoshi, tulitamani wahadhiri wote wapande jukwaani.

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 5 месяцев назад +1

    Ndacha ni mbishi ana juwa vizuri sana ukweli ulipo lakini hataki ku ukubali, lakini ipo siku ubishi uta kwisha

  • @ndaimanday6985
    @ndaimanday6985 5 месяцев назад

    Sinza sehemu gan Ustaadh...tufike chap

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 5 месяцев назад +2

    Mm niko asia nipo sambamba

  • @idrissahathumani5136
    @idrissahathumani5136 5 месяцев назад

    Mwalum sulechuma kwelikweli

  • @BilalShingwa
    @BilalShingwa 5 месяцев назад

    Mnapiga. Pesa sana

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 5 месяцев назад

    Kweli kabisa sheikh shafii ina bidi afanye hii dibet times square Newyork

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 5 месяцев назад

    HUYU SHEIKH SHAFI ANAPASWA KUA MWALIMU WA KISWAHILI

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 5 месяцев назад +1

    Twa fwatiliya mdahali kwa umakini kupita online ila tume gunduwa elimu ya ndacha niya magazeti na lingine kikubwa awezi kuchambua vitabu vya dini

  • @AnuaryKISEGE
    @AnuaryKISEGE 5 месяцев назад +1

    WAKRISTO jaman mbona vichwa vyao vigumuuu

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 5 месяцев назад +1

    Ndacha debe tupu kelele nyingi.

  • @juliussamwel6606
    @juliussamwel6606 5 месяцев назад

    Huyu jamaa dk sule ana hekima na busara mno

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 5 месяцев назад

    Ustdh shafii msifanye tena na huyu mdacha huyu anatafuta Kiki tu hakuna faida inayopatikanwa hapo kwa sababu ndacha ye anaona raha kushindana na si kufanya mdahalo msimkubalie tena huyu

  • @basilejuma
    @basilejuma 5 месяцев назад

    Hamna lolote kwa ndacha, amewagonga mara ngapi

  • @bustedislam3578
    @bustedislam3578 5 месяцев назад

    Yaani kwakumshinda Ndacha inafaa mjiunge wengi? Nyinyi ni mbovu kabisa. Hamjitegemee? Hawa wafuasi wa marehemu Muhammad ni balaa kabisa

  • @BarakaAkech-r9q
    @BarakaAkech-r9q 5 месяцев назад

    Sule kale kasema ukweli lkn saffi ni muongo

  • @burudaninaelimu
    @burudaninaelimu 5 месяцев назад

    ruclips.net/video/cHaTOFXGamU/видео.htmlsi=srVkvNa-E_7JkSck KAMA WEWE NI WA ARUSHA FUNGUA HII LINK

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 5 месяцев назад

    Mohamed ni mtu kama wazaramo wa kariakoo tu wala sio mtume anarogwa😂😂😂

    • @savyboy6164
      @savyboy6164 5 месяцев назад +1

      Shida Sio Kurogwa Shida Ni Kurogeka. Alaf Kurogwa Sio Dhambi Mzee

  • @KatanaKariss
    @KatanaKariss 5 месяцев назад

    Hakuna kitu wanaweza kwa ndacha hao

    • @أبوسليمان-د6ه
      @أبوسليمان-د6ه 5 месяцев назад

      Huyu ndacha anaegeuza maandiko unamzungumzia ?? Na anajua wakristo hawajui so anageuza na anasubir wasioelewa wampigie debe , km ungesoma uislamu hata kdg utajua kuwa Ndacha anabadili maandiko kwa kusudi , anajua kbs ukweli upi kisha anawahangaisha wasiojuwa tu 😂😂😂

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 5 месяцев назад

    Mtume Muhammad hana faida gani kwa watu na ulimwengu hana faida yoyote

    • @rashidwalwanda1991
      @rashidwalwanda1991 5 месяцев назад

      Kwa akili zako za kikafiri au Kwa maandiko?

    • @ShafiunaWaziri-vz7bi
      @ShafiunaWaziri-vz7bi 5 месяцев назад

      Yani ww uwelewi na uwezi kuelewa mpaka utaingia kabulini na ubishi utaki kuelewa

    • @jamaldeenhussein
      @jamaldeenhussein 5 месяцев назад

      Huwezi jua faida ya mtume Muhammad s.a.w mpaka ufe shauri yako

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ 5 месяцев назад +1

      Tatizo mavi😂😂😂😂mume zoea kulishwa mavi kanisani haelewi na hata elewa kabisa😂😂😂😂

    • @allyabdallah4679
      @allyabdallah4679 5 месяцев назад

      Ngoja ufe ndo utajua ana faida au Hana faida silimu usijekufa kwenye ukafiri

  • @juliussamwel6606
    @juliussamwel6606 5 месяцев назад

    Huyu dk sule ana hekima na busara mnoo