IBILISI MKE WAKE NI NANI?- NDACHA VS Pr MAZINGE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 251

  • @moseshandsam1865
    @moseshandsam1865 Год назад +7

    Ndacha wafundishe 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 proffessor wa vitabu mr Francis ndacha wafundishe

  • @benardombinya7708
    @benardombinya7708 Год назад +12

    Keep it up ndacha let God give you more for the good work you do for evangelism ministry

  • @dennismajesonlenamunyi7761
    @dennismajesonlenamunyi7761 Год назад +7

    I like the way Paulo is reading....the reader is marvelous

  • @IssaSaid-vf3lg
    @IssaSaid-vf3lg Год назад +22

    Ndasha mungu akihifadh na akuajaalie mwish mwema napend sana maubir yakoo

    • @hmha9728
      @hmha9728 Год назад +1

      Mwisho mwema ataupata inshallah akiingia katika uislam ila kama yupo huko bas hawez pata mwisho mwemaaa asilan

    • @jamesombaso9493
      @jamesombaso9493 Год назад +1

      Asante kaka

    • @MakameKombo-n9q
      @MakameKombo-n9q 8 месяцев назад

      Pesa ndacha itakutumbukia nyongo

  • @Efflix_123
    @Efflix_123 Год назад +14

    Mazinge is a comedian,....

  • @nyaungaosiemo9341
    @nyaungaosiemo9341 Год назад +13

    Ndacha ni moto
    Mungu akubariki

  • @AminaFuraha-gi7ii
    @AminaFuraha-gi7ii 5 месяцев назад +7

    Ndacha Mungu akuzidishiye Mara elfu

  • @godloveabraham5088
    @godloveabraham5088 Год назад +4

    Ukristo ndiyo dini ya kweli na Yesu ndiye njia ya kweli ya kufika kwa Yehova

  • @amongreyson1326
    @amongreyson1326 Год назад +13

    Nashukuru Mungu nimezaliwa mkristo,Ningekua muislamu maskini Pepo ningeisikia tu 🙌

  • @JamesOdhiambo-wu2pj
    @JamesOdhiambo-wu2pj Год назад +3

    Mwalimu Ndacha unakazi kweli wale unafunza, wana masikio na hawasikii

  • @kayembeyves6422
    @kayembeyves6422 4 месяца назад +1

    Majina ni Kayembe yves kutoka komgo drc niko south Africa nataka kitabo chako mimi nadambaza video zako apa nakupenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @emmyndunge6406
    @emmyndunge6406 Год назад +7

    Ndacha mungu akubariki sana

  • @princessafrash8757
    @princessafrash8757 Год назад +1

    Masha Allah! Shekh mazinge wallah sijui hata nikuombee dua gani kila dua nitayoomba nahisi haistahili kulingana na heshma yako ndani ya dini yetu lakini Allah anajua zaidi Akuhifadh tunakuhitaji zaidi ya neno sana

  • @kayembeyves6422
    @kayembeyves6422 4 месяца назад +1

    Ndikwendete yesu kristo yesu yesu yesu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @machindafadhili3186
    @machindafadhili3186 Год назад +3

    Atawanyoosha FRANCIS NDACHA, mutabatizwa leo

  • @nourlaboratory
    @nourlaboratory 11 месяцев назад +1

    Namshukuru mungu kwakunibadili na kuwa mkristo japo wakristo wengi hawajui ukwel

    • @alhajijuma3675
      @alhajijuma3675 8 месяцев назад

      Sasa nijukumu lako kuwalisha uongo uujuao n ukweli

    • @lilianphilipo9219
      @lilianphilipo9219 3 месяца назад

      ​@@alhajijuma3675hata ukikataa siku Ile parapanda itakapolia kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri ya kwamba Yesu kristo ni Bwana. Muulize shekhe omari wa Tanga Tanzania atakupa habari za waislam. Muislam ni mganga au mchawi lakini anaendesha ibada huku kwetu wakristo hawezi thubutuu

  • @zuhura.suleimanmwamwari3083
    @zuhura.suleimanmwamwari3083 Год назад +4

    Yesu aliingia kwenye sinagog sinagog ni msikiti so yesu ni muislam mpende MSI pende

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 5 месяцев назад +1

    Ndacha kiboko ya Mazinge, ongera sana mwalimu Ndacha🎉🎉🎉🎉❤❤❤ unajibu bila chenga, Mazinge ni m'babaishaji tu hana lolote

  • @amongreyson1326
    @amongreyson1326 Год назад +5

    Mazinge badala ajibu swali anapinda pinda hata haeleweki,Hakuna shekhe hapa janjajanja nyingi 😁

  • @mudriksalum4752
    @mudriksalum4752 Год назад +3

    Mashallah Allah katupa professor

  • @erickmaisha4773
    @erickmaisha4773 Год назад +5

    Kiboko yenu ndacha hata muite majini😂

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Год назад +3

    Mama wa mwenzio ndio mama ako na wake za Mitume ni wanaadamu wanasifa za kuzaa na kuzaliwa. Lkn Mungu hana sifa ya kuzaa wala kuzaliwa. Km unaakili timamu huezi kufananisha mfano wa wake za Mitume na Mungu. 😊

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 Год назад +2

    Mazinge doctor hatari sana

  • @ModestyBleise-oj5ch
    @ModestyBleise-oj5ch Год назад +1

    Ndacha kuja timboroa please we need to get this good gospel that you have

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 27 дней назад

    Mnamwita Yesu Mwana Wa Mungu Mnakufuru Mungu Yaani Mna Maana Mungu Amezaa Na Mariam Niye Mnajua Mungu Ana Jinsia Gani Mnakufuru Semeni Astaghfirullah Allah

  • @BarubinaNyoni-it9ol
    @BarubinaNyoni-it9ol Год назад +1

    Ndacha Mungu akubaliki ila napenda sana mkutano wa ndacha na mazinge😅😅

  • @godloveabraham5088
    @godloveabraham5088 Год назад +1

    Mwaljmu Ndacha Mungu akupe neema zaidi na hekima zaidi ubarikiwe sana ndugu

  • @ismaailabuughariyb313
    @ismaailabuughariyb313 Год назад +5

    Professor Mazinge utawauwa hao wakristo kwa hoja

  • @khadijatamimi2495
    @khadijatamimi2495 Год назад +1

    Kiboko ya Ndacha ni Professor ALLAH amlinde na madui

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko Год назад +2

    Allahuakibaru jazakumllah kheir ust mazinge

  • @halimasalim3985
    @halimasalim3985 Год назад +5

    Allah akuifathi ya Rabb na akulipe siku ya haki Sheikh Mazinge❤

  • @kingahmed5442
    @kingahmed5442 Год назад +2

    NDACHA KWA KUPOTOWA WATU 😅 MAZINGE PROFESSER

  • @AminaFuraha-gi7ii
    @AminaFuraha-gi7ii 5 месяцев назад +1

    Wislam mutubu Yesu chritu atawasamehe

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 3 месяца назад

    Hakuna wokovu,wala Rehema kwawanaomkataa yesu kristo kuwasiyomwana Mungu.

  • @benalbyk2905
    @benalbyk2905 10 месяцев назад

    mwalimu ndacha Mungu akuzindishie myaka uelemishe hawa waislaam makafiri waelewe neno

  • @IsayaOkwomi
    @IsayaOkwomi 11 месяцев назад +1

    Mazinge Wacha vituko yesu ndiye njia

  • @FaraKeys-sz6mb
    @FaraKeys-sz6mb Год назад +2

    Mungu ni mmoja sasa ime kuwaje hizi dini wame tuletea binadamu wenzetu wao wame zipata wapi na sisi tumeshindwaje kuzipata bila wao… kwa wema gan walio kuwa nao paka wapewe kibali cha kutu andikia vitabu sisi

  • @fredymligo-hd6pj
    @fredymligo-hd6pj 11 месяцев назад

    Mungu akupe maisha malefu ndacha unasoma kweli lakini mazingecanasomo kipisi Cha neno hasomi neno lote

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 Год назад

    Shekhe mazinge Allah akihifadhi vyema uzidi kutuelekeza ishaallah

  • @barakawabuge5285
    @barakawabuge5285 Год назад +13

    Haha mazinge ni professor..Allah amuhifadhi

  • @sergesnshimirimana6049
    @sergesnshimirimana6049 Год назад +1

    MNGU NI MWEMA tunawafatiria sana burundi

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Год назад +3

    Subhanalha ❤

  • @cmb6342
    @cmb6342 Год назад +3

    Namkubali ndacha Ni genius Ni hatari sana

  • @FrancisTawa-ig6fv
    @FrancisTawa-ig6fv 2 месяца назад

    God bless you Ndacha

  • @LuisFaustinoLuis
    @LuisFaustinoLuis 5 месяцев назад

    Msomaji WA ndacha ni hatali sana mungu akubaliki

  • @MumoMtua
    @MumoMtua 5 дней назад

    😂ndacha ww ni mkali mungu akubarki

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko Год назад +1

    Ust mazinge nakupenda kwa ajili ya Allah mola akuongonze ktk hili inshaallaah

    • @saidiMsume
      @saidiMsume 7 месяцев назад

      Mazinge mapepo yamekuchanganya,hata unachojibu ni utumbo,nashangaa pumba zinazokusupport

    • @whitetigerprincy5882
      @whitetigerprincy5882 6 месяцев назад

      Bro unapotea mpokee yesu wacha mawenge

  • @yusufjuma8384
    @yusufjuma8384 Год назад +1

    Takbiriiii

  • @Chrispine.Weonga-f4x
    @Chrispine.Weonga-f4x 3 месяца назад

    Good work ndacha.

  • @NurathNassor
    @NurathNassor Год назад +1

    Allah endelea kumuhifadhi Sh Mazinge na umpe umriii mrefuu yaan Allah bado tunamuhitaji Sanaaa mafunzo yake n Nuru kwetu
    Amiiiin 🙏🙏🙏

  • @barakawabuge5285
    @barakawabuge5285 Год назад +4

    Swali la Ustadh Mazinge halijajibiwa hata 😂😂...

    • @fredrickonyango94
      @fredrickonyango94 Год назад

      Hukua makini andiko limetolewa yesu na baba ni umoja tatizo lako unapenda majibu za propaganda kushinda andiko.

    • @barakawabuge5285
      @barakawabuge5285 Год назад

      @@fredrickonyango94 onyango soma tena kiswahili kisha utaelewa....jibu bado hata mtoto wa chekechea anafahamu hili ndo maana mnadanganywa kufunga hadi kufa kule shakahola..watu wa yes boss

    • @fredrickonyango94
      @fredrickonyango94 Год назад +1

      @@barakawabuge5285 kweli uislamu bila uongo haupo, mimi vitabu vya majini siwezi amini ni mungu wetu wanamzungumzia bali ni shetani ndie kiongozi wao

  • @zuhura.suleimanmwamwari3083
    @zuhura.suleimanmwamwari3083 Год назад +3

    Dini ya kweli ni islam

  • @mejukassim
    @mejukassim Год назад +11

    Dini ya haki mbele ya Allah ni islam

  • @Kimug-25
    @Kimug-25 25 дней назад

    Professor Ndacha teach them

  • @KhamisiKelly
    @KhamisiKelly Год назад

    Big up ustadh

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Год назад +6

    Ndacha kama hukuacha kupoteza watu moto wa jahannamu unakusubiri

    • @imageinternational.1100
      @imageinternational.1100 Год назад

      Moto wa jehanamu ni kwa wale wanaopinga kua Yesu Kristo ni mwana wa Mungu

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 Год назад

      @@imageinternational.1100 hahahaaa akiwemo yesu mwenyewe tutaingia naye jehanamu kwa sababu ndo Wa kwanza alopinga na kukataa kuitwa mwana Wa mungu akasema yeye ni mtu alokuja kutwambia kweli aloisikia kutoka kwa mungu hakuwahi kusema mimi yesu ni mwana Wa mungu sasa wacha tumfate yeye

    • @leonardmwayeya13
      @leonardmwayeya13 Год назад

      Kinacho nifrahisha mungu nimwanamke au mwanaume nakama mwanaume hivi kwri mwanaume anaza Keri acheni ujinga wakana mazinge

    • @MakameKombo-n9q
      @MakameKombo-n9q 8 месяцев назад

      Huyu ndacha hujifikicha na kiswahili kicha panzi

  • @dismanManota
    @dismanManota 2 месяца назад +1

    Nacha hatariiiiiiii

  • @muryangoissa794
    @muryangoissa794 Год назад +3

    Wakristo Mnapote sana

    • @imageinternational.1100
      @imageinternational.1100 Год назад +1

      Wewe ndio ulipotea tangu kuzaliwa

    • @saidiMsume
      @saidiMsume 7 месяцев назад

      Soma vema Quran Yako ili ujue kuwa bible ilkuwapo kabla ya dini hiyo ya mapepo

  • @JemilaMusa-pt3yh
    @JemilaMusa-pt3yh Год назад +2

    Ndacha jibu maswali kwaza elimu hauna kwakweli

  • @jpmanotaofficial9041
    @jpmanotaofficial9041 Год назад +1

    Uislamu ni sanaa

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs 8 месяцев назад

    ❤ Allah akulipe

  • @LucyKioko-rn3ll
    @LucyKioko-rn3ll 5 месяцев назад

    I love adventist my church

  • @whitetigerprincy5882
    @whitetigerprincy5882 6 месяцев назад

    Ndacha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @alexandermulilison5844
    @alexandermulilison5844 Год назад +2

    Mazinge Wacha chenga ....jibu swali vizuri.....kama mwana katoka kwa mungu kwa kauli yake, huyo mtoto atakuwa ametoka wapi kwenda wapi? Na mtoto atakuwa nani? Pili mke wa shetani nani? maana ana kizazi chake.

  • @carlosmenza680
    @carlosmenza680 10 месяцев назад

    Video quality ikiwa nzuri sauti inaenda kuwa mbaya

  • @kenethaliwa8940
    @kenethaliwa8940 Год назад +1

    Ndacha upo vizuri Sana,Dunia yote IPO kimya kukusikiliza. Amen

  • @maprosokelly2986
    @maprosokelly2986 4 месяца назад

    Ndacha mwalimu bora Africa tuzo nakupa

  • @leonardmwayeya13
    @leonardmwayeya13 Год назад +3

    Hakunakitu kwamazinge

  • @hamisikushonda4
    @hamisikushonda4 Год назад +7

    Proff Mazinge you are the King Of East Africa in terms of Bible

    • @hmha9728
      @hmha9728 Год назад

      Exactly 💯 Allah amuweke tunamhuhitaj

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 Год назад

      Mmmmh which africa ????proff mazinge????

    • @imageinternational.1100
      @imageinternational.1100 Год назад +1

      Mmh ati king? We have others who are knowledgable than him and they dont show themselves

    • @ndoretv
      @ndoretv Год назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @a_melly
      @a_melly Год назад +1

      Kujua maandiko ya Bibilia tu na revelation ya neno lake Mungu ni vitu viwili tofauti.

  • @Hamadimuya-s7t
    @Hamadimuya-s7t Год назад

    Nimekuba mazinge sana kwasababu nikiboko chawakirito wafudishe wajiga hanaakili

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 27 дней назад

    Mongeyson Usijidanganye Pepo Huipati Hata Ukeshe Kanisani Ulale Hk Uamke Huko Pepo Utaisikia Kwa Masikio Pepo Huipati N'go

  • @Nacirabdalaambasse
    @Nacirabdalaambasse Год назад

    Alihadulihi mungu ni kubwa usiwaje Au macafiri hostas mamzigue

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 Год назад

    Allah awagifadhi Masheikh wetu. Amin

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 8 месяцев назад

    Nyie mnadhani mnahua lugha sana ..ila uelewa wenu mdogooo

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 27 дней назад

    Kesho Qiyama Dini Ni Moja Tu Hamna Ukristo Wala Chchote Dini Ni Moja Ukristo Ni Dini Ya Biashara Sio Dini Ya Haki Na Qur'aani Ni Kitabu Cha Mwenyeez Mungu Si Biblia

  • @makameSlima
    @makameSlima 11 месяцев назад

    Ww brach hakufahamu maandiko acha kuficha ukweli

  • @AwadAthman-d6m
    @AwadAthman-d6m 3 месяца назад

    Mazinge kidume. Kweli

  • @stephen-S7n
    @stephen-S7n Месяц назад

    Kumbe Jeff Massawe ni rafiki wa Ndacha wa kitambo sana. Lakini Yohana Omari alipotelea mahali ile siku wataungana hema ya waislam itawaka moto😂

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 Год назад +3

    Mazinge anaongeaga upumbavu wa kibinadamu tu na asipoangalia atakufa vibaya sana

  • @fabilianothedecor3393
    @fabilianothedecor3393 Год назад

    unajua kuna kitu watu hawaelewi ila cku za mwisho zitakapofika mtajibu hayo makufuru na na mabishano mbele za mungu tafuteni njia ya kweli na uzima msitafute vilivyopo kwenye giza maana mtapolea gizan enyi wa christo na waislamu acheni hayo mambo maana mungu anahasira na hayo mambo mnayoyafanya upanga upo juu yenu ote

  • @ismailmustafa4553
    @ismailmustafa4553 Год назад

    Ajaabu watu huwa wanajitahidi kutafuta ilm kuongoza watu kina Ndacha nawenziye ujitahidi kutafuta ilm yakupotosha

  • @FransiscoNjeje
    @FransiscoNjeje 5 месяцев назад

    Mwalm ndacha Mungu awe nawe

  • @BILALKASSIM-ol6kk
    @BILALKASSIM-ol6kk Год назад

    Ndacha jibu swali umeshindwa kujibu swali

  • @ERICKANDERSON-zt2nh
    @ERICKANDERSON-zt2nh 2 месяца назад +1

    Yan ukienda kusklza midahalo hii kama mtu mtafta njia yan si mkristo wala mwislamu utagundua kuwa uislam n njia ya moton yan hawana hoja na hawajawah kushnda mdahalo hata sku moja

  • @ZakariaIbrahim-eo3rd
    @ZakariaIbrahim-eo3rd 6 месяцев назад

    Ndacha analipwa bana

  • @EdithThomas-t3q
    @EdithThomas-t3q 4 месяца назад

    Mazinge komedi

  • @kellykellizer7867
    @kellykellizer7867 Год назад +6

    Mazinge mambo mbaya sana Ndacha ww nlikwambia usipoteze watu bure kila siku kwenye mjadala unashindwa nahuachi😂

  • @EmmyRowland-ir5gh
    @EmmyRowland-ir5gh 8 месяцев назад

    Mazinge MBNA nalia😂😂😂

  • @zuhura.suleimanmwamwari3083
    @zuhura.suleimanmwamwari3083 Год назад +1

    Wewe ndacha mwehu

  • @UtufyoPangachini-ru3yg
    @UtufyoPangachini-ru3yg Год назад +1

    AchA kupotosha watu mazinge soma matayo 16:13hadi 20 unasoma matatu mmoja unatafsiri

  • @KombHajj
    @KombHajj Год назад

    Naupenda uislam

  • @kuulejoackiml8313
    @kuulejoackiml8313 2 месяца назад

    Ndacha teach them,he doesn't know this man, his comedian go to comedy brother

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 Год назад

    Hawa waislam hawana jibu rorote kumujibu ndacha

  • @AnwarAli-bd5tv
    @AnwarAli-bd5tv Год назад

    Yaani hawa wakristo mamwehu kweli, ilo jibu lililotolewa mwisho mmelifaham kama mm lakini, maana uyo mchungaji amepigia mfano wake wa Muhammad kuwa mama zetu kiheshma tu lakini sio mama zetu kweli, pia akasema na yesu ndo hivohivo, kwa nilivyomuelewa kamaanisha Hata yesu sio mwana wa Mungu Bali wamempachika kama heshima tu sasa mnao amini yesu mwana wa mungu Shaurizenu

  • @sharaful-anaam138
    @sharaful-anaam138 Год назад +2

    Hii mishenzi kumbe wanaijua qur an lkn haitak kusilimu

    • @irenekaluse3213
      @irenekaluse3213 Год назад +2

      Mshenzi ww tusilimu tukajitoe muhanga au tukaue watu au tuwe waganga au tutengeneze majini au tukaswali na majin?

  • @abdusheriffsheriff8557
    @abdusheriffsheriff8557 Год назад

    Wesllam wanatumiaka ujaja tuh ila hawajuwi maandiko

  • @ashurantunzwenimana5975
    @ashurantunzwenimana5975 Год назад

    Ni tamko la mwenyezimungu,wanakuceka juu unase ukweli,ila unaupinga

  • @VuaiZuma
    @VuaiZuma Год назад

    Ndacha mjanja sana kama chizi

  • @TresorkambaleMuvuya
    @TresorkambaleMuvuya Год назад

    Nyi nyi mushaka wayi ona wapi nuru ina changanya na giza nyi nyi wote muko n'a kufuru mungu mwenye Ali ziumba mbingu n'a njii

  • @ommy3617
    @ommy3617 Год назад +9

    Al-Islam Dina,,,,Kwa uhakika dini ya haki mbele ya Mwenyezimungu ni Uislam. Uoneni uongofu.

    • @minabuelysee8
      @minabuelysee8 Год назад

      Swadakta

    • @anselmoonolius
      @anselmoonolius Год назад +1

      Ni KWELI kbsa uislam ni Dini ya haki lakn si Dini ya kwel😅

    • @ndoretv
      @ndoretv Год назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @anselmoonolius
      @anselmoonolius Год назад

      @@ndoretv usicheke broo ujue watu wakisikia ni Dini ya haki wanadhan ndo Dini sahihi, lakn ukweli ni kwamba hata jambaz akihukumiwa kifungo na mahakama tafsiri yake mtu Yule amepata HAKI yake, kwahyo Basi Dini ya uislam inaweza kua ya HAKI kw kuwapeleka watu motoni Kwan nayo ni haki anayostahili mtu aliepotea njia.
      Ndo maana hautakaa uone Qur'an ukisema imeleta Dini ya KWELI Bali YESU pekeake ndo njia, KWELI na uzima ❤️✝️❤️