DEBATE. Prof. Mazinge azima mbwembwe za Mch. Ndacha kutoka Kenya.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Omar Bakari Almasi online tv

Комментарии • 516

  • @MayaOuthman-bd8bg
    @MayaOuthman-bd8bg Год назад +8

    Allah amzidishie Uhai na nguvu Ma sheikh wote wanao pambana

  • @abbakarmwangio7066
    @abbakarmwangio7066 Год назад +5

    Pro. Mazinge Allah akuzidishie maisha marefu ili uzidi kutupea elimu inshaAllah

  • @amirhemed2483
    @amirhemed2483 Год назад +10

    Professor mazinge Allah atakuhifadhi na atakulipa ajra Yako,from🇰🇪

    • @lizndunchez720
      @lizndunchez720 Год назад

      Professor pastor ndacha sio mazinge bado mko chini kbsa

  • @abdallamasoudrashid7358
    @abdallamasoudrashid7358 2 года назад +6

    Hongera shekhe mazinge kiukweli mungu akulipe pepo inshaallah wakristo wanajaribu kupambana lakini hawakuwezi kuhoja

  • @NkurunzizaAudace-u4t
    @NkurunzizaAudace-u4t Месяц назад +1

    Rwandan na Burundi tunakupende sana sana P mazing Mungu akubarikiye

  • @zwuenakhalfan2098
    @zwuenakhalfan2098 2 года назад +3

    Mashaallah Prf Mazinge Mungu akubarik akuzitishie uzima na Afya uzidi kuelimisha watu wote

  • @yasrially8261
    @yasrially8261 3 года назад +10

    Mungu akupe maisha marefu shekhe mazinge

  • @rhiophiri6857
    @rhiophiri6857 3 года назад +27

    Professor Mazinge, you are leaving us wordless, you are making us prove that Islam is a true religion,be blessed Mazinge

  • @AlverSmith-lf1np
    @AlverSmith-lf1np 11 месяцев назад +1

    Allah akuhifafhi SHEIKH MAZING, from USA

  • @Kitabu_tv
    @Kitabu_tv 3 года назад +18

    Mazingeeeeeeee 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @leilaathumani3611
    @leilaathumani3611 2 года назад +23

    Yaallah tujalie mazinge jannatul furdaus 🤲🤲🤲🤲🥺

  • @mullahmobam1195
    @mullahmobam1195 2 года назад +2

    Allah akubariki sheikh

  • @jessikaakinyi8445
    @jessikaakinyi8445 3 года назад +5

    Mungu akubariki sana Ndacha KAZI nzuri yenye utajiri wa Mungu na team yote

  • @mohamedmmuni6189
    @mohamedmmuni6189 3 года назад +13

    Hongereni mashekh wetu kwa kazi mzuri
    Nina neno kwenye utupiaji video hizi mungetuma video ilio kamili hii ya vipande inasumbua

  • @sarahkudoyi4371
    @sarahkudoyi4371 3 года назад +4

    Watutukane,,watupige mawe,,watudharau na kutucheka ila kwa Yesu ndo hatuondoki ngo'!!!! Jesus is the way,true and life forever!!,,,,,thank you so much our pastors for the good job of preaching the gospel to the lost ones 🙏🙏🙏🙏

  • @MaryamJumwa-mp2ds
    @MaryamJumwa-mp2ds 10 месяцев назад

    Sheikh mazinge Allah akupe maisha marefu ili uzidi kutufunza dini ya Allah Insha'Allah 🤲🙏

  • @ndugumalila3296
    @ndugumalila3296 3 года назад +12

    Alllaah awape kila lakher kwa elimu wanayotoa ya kuwaelimisha wakristo na kufru yao ya mungu ana mtoto

  • @nailahsaeed837
    @nailahsaeed837 2 года назад +5

    Shekh Mashallah Allah akuweke akupe Afya na umri Shekh Mazinge.

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 года назад +10

    Hatuna la kukulipa sheikh wetu mazinge nawenzake Allah ndiye atawalipeni inshaallah

  • @emanuelkilanga6446
    @emanuelkilanga6446 3 года назад +6

    Hongera ndacha

  • @abedibrahim671
    @abedibrahim671 2 года назад +4

    Mwalimu Mazinge, le professeur ✊✊ nimekunja ngumi

  • @akeem1221
    @akeem1221 3 года назад +17

    Ndacha kashindwa nyumbani kenya eti kavuka kwenda TZ, huko napo wembe ni ule ule. Shukran Bw Mazinge.

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 года назад

      Yap cku hz amegundua tz🤣🤣🤣

    • @sarahkudoyi4371
      @sarahkudoyi4371 3 года назад

      Nani kamvukisha kma sio huyo mazinge wenu na ubishi mwingi na kumbe quran yenyewe hajui na hoja zake duni na bored!!!🙄😏

  • @hamadsultan6305
    @hamadsultan6305 3 года назад +11

    Kazi.mzur.mashekhe.Allah. awalinde

    • @taifaletutanzanialisingeku8123
      @taifaletutanzanialisingeku8123 3 года назад

      Hivi huwa unaangalia na kusikiliza kwa makini mambo haya au upokishabiki?.

    • @reubenbushiri1753
      @reubenbushiri1753 3 года назад

      @@taifaletutanzanialisingeku8123 Hata nashngaa sana naona wanakomenti kwa ushabiki tu.

    • @ms.zeyana7175
      @ms.zeyana7175 2 года назад

      Ameelewa ndio maana aka comment sasa km ww hujaelewa in shaa Allah Mungu akuongoze.. hakika viongoz wetu wa dini wanafanya kazi nzur sanaa alhamdulillah Allah awalipe kheir pale aliporidhia amiyn

  • @eduosamo849
    @eduosamo849 2 года назад +8

    mazingeee is a genius Allah akupe umri mrefu ameen

  • @MwalimuRichardMwangi.7202
    @MwalimuRichardMwangi.7202 Год назад +2

    Kongole sana mwalimu Ndacha. Kongole sana Ustadhi

  • @mirajiramadhani8128
    @mirajiramadhani8128 2 месяца назад

    Mazinge wewe sio mwalimu, Bali wewe unaonyesha njiaaa ya kwenda peponi mashallah ❤❤❤❤ mazinge

  • @PetroDeo-s2v
    @PetroDeo-s2v 5 месяцев назад +3

    Ndacha fundisha Hawa watu waijue kweli Na mungu awasaidie

  • @AyubuIkaku
    @AyubuIkaku 7 месяцев назад

    Mashaallah. Mwenyezimungu mmoja akuzidishie elimu Sheikh Mazinge.

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 года назад +2

    Takbir Allahu Akbar, Maa Shaa Allah, Shukran Sana Ma Sheikh, Allah Awabariki. Muzidi Kutuelemisha.

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 3 года назад +4

    Ndacha anajua sana kujieleza mpaka unaelewa safi sana Mtumishi Ndacha

  • @chimamymammy4111
    @chimamymammy4111 2 года назад +2

    Wafundishe sheikh Mazinge watakuelewa 2 inshaallah na watasalimu inshaallah

  • @jadidially1696
    @jadidially1696 3 года назад +8

    Subbhana manta waahada bil mulki...Ametakasika mola wa viumbe vyote..inshallah allah awalipe nyote mnaoenda fiisabihillah 💪🕌📿

  • @lulmohamed4076
    @lulmohamed4076 3 года назад +6

    Maanshaallah tabarakallah Mazinge.

  • @hemedijuma6393
    @hemedijuma6393 3 года назад +7

    Hakika mungu awadhidishie kher nyingi kwakazi nzur yakuitangaza dini

  • @KevinKeter-te6yi
    @KevinKeter-te6yi Год назад +1

    Allah atujalie mwisho mwema

  • @issaally7607
    @issaally7607 3 года назад +14

    Wachungaji ukweli wanaujua hawausemi subhanallah

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy Год назад

      Wa naogopa ili wa silipwe sunajua wa past mwisho wa mwenz wa na pewa mushahara

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 3 года назад +4

    Ndacha yupo vizuri sana safi sana

  • @faridahramadhan7180
    @faridahramadhan7180 2 года назад +2

    Mwenyezi mungu ajalie mazinge jannatul firdaus

  • @hassansaddam-g5o
    @hassansaddam-g5o 4 месяца назад

    Dr Mazinge Allahu Akbar Allahu akbar Allahu akbar 💪💪💪💪💪

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 3 года назад +4

    Takbir zitakuchoma Sana,

  • @hamisibwanamdogo8708
    @hamisibwanamdogo8708 2 года назад +3

    Mashallah shekh mazinge

  • @AminaSheekh-b5j
    @AminaSheekh-b5j 9 месяцев назад

    Masha Allah shekh mazinge napenda sana unavopambania dini yako Allah akupe pepo ya firdows.

  • @michaelocheing6618
    @michaelocheing6618 3 года назад +6

    Kazi nzuri mashekhe Allah.awalinde

  • @victormtani7170
    @victormtani7170 2 года назад +1

    Ndacha Mchungaji uko sahihi hakika Yesu kristo ndiye Mungu na hakika Waislamu hamuwezi kujipanga na kristo Yesu.

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 3 года назад +5

    YAA ALLAH,MUEZESHE SHK.MAZINGE AWASILIMISHE MAKAFIRI HAO.

    • @nurunuruadam8110
      @nurunuruadam8110 2 года назад

      mazinge hanalolote. vitabuvyakuluanivinginevikowapi. .nikuluanitu

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy Год назад

      Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲

  • @amuribacamumihigo5162
    @amuribacamumihigo5162 2 года назад +2

    Kweli kabisaa mazinge Allah akulipe

  • @AliMohamed-ng5ps
    @AliMohamed-ng5ps Год назад +2

    Mashaallah mazinge wafunze

  • @jumamatata6690
    @jumamatata6690 3 года назад +2

    Mashallah Sheikh Mazinge Mungu akujalie leo na kesho uwaelimishe walioghafilika

  • @allyissa6705
    @allyissa6705 2 года назад +2

    Mazinge daaaaa hatari

  • @HassanMoshi-v6h
    @HassanMoshi-v6h Год назад

    Mashaallah prof mazing-- jazaka llah khayra

  • @eleasemugo5371
    @eleasemugo5371 3 года назад +2

    Mchungaji watezea wembe......... Mazinge moto wa kuotea mbali Sanaaaaaa........ Sana

  • @winnyk.
    @winnyk. 2 года назад +3

    Congratulations Dacha for standing with the truth about Jesus Christ 🙏

  • @nailahsaeed837
    @nailahsaeed837 2 года назад +1

    Mashallah shekh wewe kiboko wa Ndacha nimekubali kweli wamueza juu yeye apenda kuweka viraka Sana natoka KENYA

  • @عائشةعيس
    @عائشةعيس 3 года назад +3

    Mashaallah

  • @Abdishukriolat
    @Abdishukriolat 3 месяца назад

    Petro nenda nyuma yangu, shetani wewe 😂😂😂 mashallah Allah akuwekee sheikhe

  • @SAMUELSIMIYU-cg6jr
    @SAMUELSIMIYU-cg6jr Месяц назад

    Kongole mwalimu ndacha ❤❤❤ wambie wasikie😢

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 3 года назад +20

    Ndacha humjui Mazinge kiboko wa makafiri

    • @najmaawadh1359
      @najmaawadh1359 3 года назад

      Mm mkenya huyo ndacha naona mkikuyuu maana Kiswahili yke haieleweki

    • @sarahkudoyi4371
      @sarahkudoyi4371 3 года назад +1

      Aty nani kiboko ya ndacha,?!!!! Na venye anawapiga nyundo za vichwa hadi mizinge yenyewe inachanganyikiwa kma sokwe mtu mzee mmmmh!!!😂😂😂😂

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy Год назад

      Ata mujua tuuu😂

    • @lizndunchez720
      @lizndunchez720 Год назад

      Ww ujui nn unasema ndacha moto wakuotea mbli tulia bdo tunasonga uyu mazinge akna ktu anajua

    • @lizndunchez720
      @lizndunchez720 Год назад

      ​@@najmaawadh1359ww unaelewa nn unaskia wpi akisoma kma mkikuyu wacha story z jaba kma ww unjua verse gani kma ujui enda ukalale

  • @innoipolit5424
    @innoipolit5424 3 года назад +5

    Daaaa ndacha yuko vzuri sana

  • @liyanahilwa9666
    @liyanahilwa9666 3 года назад +7

    Brother Mazinge yangu kwako ni Du'a tu nakuombea na wote wahadhiri Allah awape nguvu,afya,awakinge nakila Bala Shari, NK..na awape Jan'ah Firdaus bighairi hisaab.
    #Nawapenda mno kwa ilmu na ukakamavu mlo nayo

  • @halimahassan8633
    @halimahassan8633 3 года назад +6

    Wallah Raha xna..Allah hwaifadh mashekh wetu jannat iwe makaaz yenu.Amin

  • @JumaIsamkombozi
    @JumaIsamkombozi Год назад

    Allah nakuomba mazinge umzdishie maisha marefu azd kutupa raa!

  • @benyoussoufaboubcar1575
    @benyoussoufaboubcar1575 3 года назад +5

    Allahuma barik

  • @adeshqura4293
    @adeshqura4293 3 года назад +9

    ALLAH akuongezee siku ya kuishi ndo ueneze ukweli

    • @saudahassam3031
      @saudahassam3031 2 года назад

      Proud to be muslim...dini ya uislam unakuw free kuuliza na kujua sio mpaka mchungaji aseme,,maana wanaongeza porojo zao ambazo ndizo wakristo wanazifuata

  • @zahratinsaleh1004
    @zahratinsaleh1004 3 года назад +7

    Mazinge ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @akaniwasamweli5249
    @akaniwasamweli5249 3 года назад +3

    YESU NI NJIA YA KWELI NA UZIMA

    • @Abdishukriolat
      @Abdishukriolat 3 месяца назад

      Hizo ni porojo zako ndo munaamini yesu alikufa sababu ya madhambi yenu ebu wacha kumkejeli yesu kama ww ulifanya zina au ukaiba utajibu ww siku ya kiyama yesu hawezi ekewa madhambi ambayo sio yake😂😂

  • @twalibusikilinde6255
    @twalibusikilinde6255 3 года назад +4

    Lailah hailahlah

  • @erickmaisha4773
    @erickmaisha4773 2 года назад +1

    Title mnaiweka nzuli lkn ujumbe waislumu hawana

  • @daimonmalekano6086
    @daimonmalekano6086 2 года назад +1

    Allow me to introduce chrislum

  • @ipyanapaul8268
    @ipyanapaul8268 2 года назад +1

    Mchungaji ndacha ubarikiwe sana mtumishi

  • @rsfdzxzx2274
    @rsfdzxzx2274 Год назад

    Amin

  • @rihanawanzala4335
    @rihanawanzala4335 2 года назад +2

    Yesu ni Bwana... Mukatae mkubali shauri yenyu
    Hata mkimbinga pole nyinyi

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 3 года назад +7

    Wacha kukufuru wewe mucrito yote hayafahamiki hata kwa mtoto alozaliwa lewo atajuwa ni uwongo uko wazi unayo yasema ili usikose mkate wako baba subhanallah

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 2 года назад

    Mathayo 26:62-63
    Luka 9:27 maandiko yote yesu anapinga kuwa si mwana wa mungu

  • @TekkenBeatz
    @TekkenBeatz 2 года назад +1

    Masha allah

  • @fatumakassimrashid9867
    @fatumakassimrashid9867 2 года назад +2

    ALLAH azd kutuongoza na mafunzo mema 🙏🤲

  • @habibuissa6992
    @habibuissa6992 3 года назад +4

    Allahu akbar

  • @MelchiorNiyonkuru-p2b
    @MelchiorNiyonkuru-p2b 22 дня назад

    Inshaallah

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 2 года назад +1

    Kinyogoli anamwogopa ndacha ndacha is Geneous

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy Год назад

      Mmhhh hakun sik hata moj mwislam agop mukristo

  • @martinwanjala7658
    @martinwanjala7658 2 года назад

    Mazinge ata ajielewi mungu ni spirit na sisi ni wanadamu mazinge ana lolote ni uwongo mtupu

  • @edigajoh5669
    @edigajoh5669 3 года назад

    Hapo tunaona mipasho,na mafundisho.❤️❤️❤️ Jesus.

  • @vincentasava1529
    @vincentasava1529 2 года назад +1

    Kazi safi Ndacha

  • @issaally7607
    @issaally7607 3 года назад +2

    Allah akuongoe

  • @halinishibakari5402
    @halinishibakari5402 3 года назад +2

    Muogopeni.Allah wacheni.kupotosha wasiojielewa

  • @mohamedalio5795
    @mohamedalio5795 3 года назад

    Hiyo pasta mungu akulahani .....penda usipend Islam is truth religion

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 2 года назад

    Kiufupi hakuna mkristo anajua Yesu ni nani Mara mungu, mwana wa mungu mara mungu

  • @omarymonjera8095
    @omarymonjera8095 2 года назад +2

    Allahawalipekilalkherimashekhezangu

  • @ajumaakange1483
    @ajumaakange1483 3 года назад +6

    Mazinge unastaili kuitwa profesa gd

  • @rashidiathumani2300
    @rashidiathumani2300 3 года назад +7

    Shekhe mazinge mwenyezi mungu akurinde

    • @saidiyusufu5032
      @saidiyusufu5032 3 года назад

      Aamiin

    • @mwanahamishamad2335
      @mwanahamishamad2335 2 года назад

      Mungu Hana mtoto wewe kichwa maji Kama yesu Ni mt9to wa mungu kwanini baba amuuw3 mtoto wake?

  • @geffkemei1320
    @geffkemei1320 2 года назад

    Marko 1:11
    Na sauti ikatoka mbunguni, wewe ndiwe mwanangu, mpendwa wangu, nimependezwa nawe.
    Yesu ni mwana was Mungu aliye hai.

  • @macamezunguzungu5584
    @macamezunguzungu5584 3 года назад +3

    Yesu ndio njia sahihi 🙏

    • @jellynesssemu9406
      @jellynesssemu9406 3 года назад

      Hakika Yesu ndo njia ya uzima . Mm nilimkemea mtu kwa jina la Yesu kakaa siku mbili aendi shule .

    • @jellynesssemu9406
      @jellynesssemu9406 3 года назад

      Waislam mkitaja jina la Yesu awapendi . Hata sijui kwann

    • @roycerolls9641
      @roycerolls9641 3 года назад

      Kwa makafir

    • @tumbually3293
      @tumbually3293 3 года назад +1

      Ya kuelekea buza au morogoro 🤣🤣🤣

    • @roycerolls9641
      @roycerolls9641 3 года назад

      Ya kwenda Kwa mpalange

  • @HassanAden-n4x
    @HassanAden-n4x Год назад +2

    Huyu hamjui mazinge

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 года назад

    Hi Mijadala Mizuli Sana Nazani Hata Ali Shababu Na Makundi Ya Kigaidi Wangetumia Njia Izi Wasingekua Wanamuuzi Mungu Kwa Kuuwa Watu Wezao Mtu Aingie Kwa Kukosa Cha Kusema Hi Mijadala Mizuli Sana Sana

  • @abbasyussuf-gk8bc
    @abbasyussuf-gk8bc 10 месяцев назад

    Laanatullahi kwa huyo mkristo Allah akulani

  • @madarakamarumbo6102
    @madarakamarumbo6102 3 года назад +2

    😀😀😀 Mazinge bana

  • @emanuelkitandu3076
    @emanuelkitandu3076 3 года назад +1

    Unapaswa kuokoka kwa jina la jesu usitafute kuipotosha haki ya mungu

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 2 года назад

    Kwa hivyo yesu ni mwana wa mungu sio mungu mwalimu ndacha hujielewi

  • @مريم-ه2ز9ق
    @مريم-ه2ز9ق 3 года назад +16

    Bado bado Sana kijana rudi Kenya mazinge wetu tuachie Allah mpe umri daidi aitete dini yako wakenya wamekushida utaweza mazinge wetu wee mazinge babalao Mashallah

  • @AwamAdam-r5o
    @AwamAdam-r5o 2 месяца назад

    😢 cjui kwann wakristo wanakaza vichwa mimi nishawakimbia mda😂

  • @ismailponda1269
    @ismailponda1269 3 года назад +2

    Allah akbar

  • @joelwachira2459
    @joelwachira2459 2 года назад

    Kip up Ndacha