NDACHA AWAHUBIRIA ALISHABABU MOTO UMEWAKA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • Ona hawa waislamu walivyo watata wabishana na Ndacha mwanzo mwisho bila kukubali chochote wakidai hajui kiswahili.

Комментарии • 254

  • @MusaKatana-q4i
    @MusaKatana-q4i 4 месяца назад +40

    Mwalimu Francis Ndacha, nilikuwa nimepotea njia ni mwezi mmoja sasa tangu nikujue katika mitandao ya kijamii, hakika umebadili mwenendo wa maisha yangu, karibu sana Bamburi msa

    • @isacmaningo5618
      @isacmaningo5618 4 месяца назад +1

      Karbu sda tufanye kazi ya Mungu

    • @tomnethan757
      @tomnethan757 4 месяца назад +1

      ​@@isacmaningo5618
      Si SDA, ila akuje kwa Yesu. Mambo ya SDA ni kudunisha wokovu maana ni kama unajaribu kukweza SDA kwa kiburi cha kimwili.

    • @FerouzMussa
      @FerouzMussa 2 месяца назад +1

      Ushapata hasara kubwa

    • @hashim.22kamal27
      @hashim.22kamal27 2 месяца назад

      17.3.

    • @leonsmpangala5782
      @leonsmpangala5782 Месяц назад +1

      Ubarikiwe kwa kutambua ukweli .
      Ndacha anasaidia watu wengi kuwaumbua waislamu na hoja zao dhaifu

  • @danielkasau8747
    @danielkasau8747 9 дней назад +4

    Ndacha is very genius he can be compared to none 🔥🔥 nyinyi mnaadika maandiko kwa vijikaratasi bali yeye anapewa maandiko direct from heaven 🔥 hakuna mahali ameadika

  • @TresorKagombe
    @TresorKagombe 4 месяца назад +19

    Hakika ndatcha anajuwa kufundisha saana, Mwenyezi Mungu Akubariki

  • @shembarongo3034
    @shembarongo3034 Месяц назад +5

    Mungu wa mbinguni akupee longlife Mr ndacha kwa kutetea ukweli longlife sir am shemaih from USA

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga Месяц назад +3

    ❤❤❤❤❤
    Ndacha Mungu akupe maisha narefu ya baraka

  • @PhiniasMwirigi
    @PhiniasMwirigi 3 месяца назад +5

    ❤Ansante mwalimu God bless you wafundishe njia ya kweli

  • @hezronmangi4082
    @hezronmangi4082 4 месяца назад +7

    Asante Sana mr Ndacha waombee toba wote hao.

  • @OLUNGAJOSHMAH
    @OLUNGAJOSHMAH 4 месяца назад +21

    Ukweli huo waruke juu au chini..Yesu ni Mwana wa Mungu

    • @ramadhanborudiba6267
      @ramadhanborudiba6267 2 месяца назад

      Soma matendo 7:55 hdi 56 insemaje yesu ako mbiguni kma nani?

  • @SevenBabili
    @SevenBabili 2 месяца назад +5

    Ubarikiwe mchungaji

  • @ericwafula8501
    @ericwafula8501 10 дней назад

    Umeeleweka mtumishi,Barikiwa sana

  • @Jobatambwe
    @Jobatambwe Месяц назад +1

    Ndacha, Mungu akupe hekima, najua wewe nimwalimu kweli.....

  • @bonifacekyalo2143
    @bonifacekyalo2143 4 месяца назад +3

    Safi sana. Freedom of expression and worship

  • @BarakaMbise-t2e
    @BarakaMbise-t2e 2 месяца назад +2

    Mungu akubariki mwalimu

  • @AgathoniMwenda
    @AgathoniMwenda Месяц назад +1

    Ndacha ni Jembe la Yesu hata wapinge Yesu ni njia na kweli na uzima siku ya mwisho Ndacha kaza buti Hadi wanyooke vizur wamwamini Yesu

  • @Martindavid-g5x
    @Martindavid-g5x 2 месяца назад +3

    Ndacha ebu wafungue Mungu akuongezee nguvu

  • @HelmaniNyanginywa
    @HelmaniNyanginywa 2 месяца назад +8

    Muchungaji ndacha kazi umeifanya waisilamu watakufa kwa ujinga wao ila somo limeeleweka sana wewe ni ni mwalimu wakimataifa umefundisha sana baba.

  • @DerickOkuku-y5c
    @DerickOkuku-y5c 16 дней назад

    Ni kweli yesu alitembea dunia namiujiza nyingi hadi wengine wakadai miujiza ili waamini But ata na hayo yote bado mioyo ikawa ngumu kwasababu ya miili yao!..YESU ni bwana bila hata ufunuo...na amebarikiwa zaidi yule anaamini bila kuona!!

  • @Djjoblayz
    @Djjoblayz 8 дней назад

    😂😂huyu anaweza kuwa shehe....ni mjanja kuliko shehe mwenyewe

  • @kaghjj4668
    @kaghjj4668 2 месяца назад +9

    Mwalimu Ndacha, wewe umeeleweka kuliko Hawa ndugu zangu WA kiislam, ubarikiwe kwani umenibadilisha.

    • @jayrhymes-jay
      @jayrhymes-jay Месяц назад

      Barikiwa sana pia kwa sababu ya kukubali Mungu. Rehema zake ziwe juu yako

    • @aggreyomusikoyo
      @aggreyomusikoyo Месяц назад

      Ata wanashaangaa

  • @JaphetJohnston
    @JaphetJohnston 3 месяца назад +1

    Safi sanaaa mwalimu wangu ndacha

  • @Oman-m5k2j
    @Oman-m5k2j 25 дней назад

    Yesuuuuu nimeana wa mungu

  • @danielkimani-p1l
    @danielkimani-p1l 2 месяца назад +1

    Ndacha God bless

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 Месяц назад +2

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @ramadhaniyahaya7286
    @ramadhaniyahaya7286 2 месяца назад +3

    Kiswahili sio hoja numeelewa hujaelewa mbona ubishi mwingi mjueni yesu

  • @thomasbussa5301
    @thomasbussa5301 Месяц назад

    Ubarikiwe sana

  • @amittambwe473
    @amittambwe473 2 месяца назад +1

    Hakika kipofu wa macho na Roho niule anae ona na hafahamu. Unapo mufananisha ao Unafikiriya Mwenyezi Mungu kwa sura ao maumbile yoyote hakikisha wewe kipofu

  • @AlbertKassa-l4b
    @AlbertKassa-l4b 4 месяца назад +4

    Tangu nimekusikiliza Rev Ndacha Leo Roho mtakatifu kakufunulia kuwa mpinga Kristo ni Mohammed, kwani alikataa hata kifo cha Yesu.

    • @ZahariaHamisi
      @ZahariaHamisi 18 дней назад

      Wewe mpinga kristo ni wakristo kwa sababu yesu alisema kutakuja makristo na nabii wa uongo Matayo.24;24) mbali na hyo aya ukisoma Matayo.7;21;22;23) yesu anasema atakuja kumikataa nyie mnao muita bwana bwana kwa sababu yesu aliwakataza sana wanafunzi wake wasiwaambie watu yeye ndiye kristo 😂 muache kutafuta Kiki mitandaon somen maandiko

  • @jayrhymes-jay
    @jayrhymes-jay Месяц назад +3

    My dear Muslim brothers in Eastleigh, believe in Christ jesus and be saved

    • @faizG254
      @faizG254 24 дня назад

      We believe In God and Jesus is a prophet

    • @janetmwende7280
      @janetmwende7280 9 дней назад

      ​@@faizG254 quran ina ujio wa Masih dajal,mpiga kristo,we unajua uislamu ni mpiga kristo

  • @MaomiKemunto
    @MaomiKemunto 4 месяца назад +5

    Mariamu alizaa Kwa uwezo wa mwenyezi mungu mkubali mkatae

    • @DanielMwai-ld4qm
      @DanielMwai-ld4qm 4 месяца назад

      Quran 4:171

    • @AbdiweliAdow
      @AbdiweliAdow 2 месяца назад

      Na huyo Mwenyezi mungu ni Nani, Ni uyu Mwana anazaliwa ama ni Baba mwenye uwezo

    • @hashim.22kamal27
      @hashim.22kamal27 Месяц назад

      Soma.matayo.27.45

    • @faizG254
      @faizG254 24 дня назад

      Nyinyi mmechanganyikiwa.Sasa kama Mariamu Elizabeth kwa uwezo wa mwenyezi huyo .ungu ni yesu?

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy 9 дней назад

      😂😂😂😂😂😂​@@faizG254

  • @vincentcharo5360
    @vincentcharo5360 4 месяца назад +2

    Ndacha congrats

  • @EdisonMkakilwa
    @EdisonMkakilwa 6 дней назад

    Bwana akubariki kwa ukweli uliowapa leo hao jamaa

  • @mutuasteve2179
    @mutuasteve2179 Месяц назад

    Isaya 7 : 14
    Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto mwanamume, naye atamwita jina lake Imanueli.

    • @mutuasteve2179
      @mutuasteve2179 Месяц назад

      Isaya 9 : 6
      Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.

  • @mbusirowaingari9429
    @mbusirowaingari9429 3 месяца назад +2

    Hakika Ndacha wayasema yaliyo haki

  • @SaadamMagweiga
    @SaadamMagweiga Месяц назад

    Mashine ya kazi ndacha

  • @HAMADIHASSANI-oh4hp
    @HAMADIHASSANI-oh4hp 27 дней назад

    Ndacha hawezi 😅😅 ona nahayo mandiko wako ya viraka 😅😅

    • @alerts9917
      @alerts9917 25 дней назад +1

      Hiyo mandiko haikua inapinga yesu si mwana wa mungu. kusoma andiko na kutafusiri vile unataka waislamu wako na iyo upotovu ilikubishana na bibilia. Bibilia imeweka utaratibu kutoka mwanzo hadi mwisho hata yohana alisema yesu ni mwana wa mungu ambaye ni nabii kwa uislamu. Mohammed hakua na elimu vile quran inasema kama hamwezi amini wenye hawana elimu mbona mnaamini Mohammed juu pia hakua na elimu

  • @Inkubutembo7779
    @Inkubutembo7779 4 месяца назад +3

    Quran ni neno la Mungu lililo geuzwa.

  • @christophermuthuri819
    @christophermuthuri819 Месяц назад +1

    Mtumisi ndacha umesema ukweli

  • @SmartPhone-x2k
    @SmartPhone-x2k Месяц назад +1

    Nimerudia hii clip mara tano na sijaskia Ndacha akisema "na" huyu amekuja kujifanya anajua fasihi ndio ajifiche kujibu hoja! 😅😅😅

  • @ManuSekahunde
    @ManuSekahunde 11 дней назад

    Damu ya yesu ikufinike kwa kuweza Mushuhudia azarani.

  • @mauriceouma7390
    @mauriceouma7390 2 месяца назад +1

    Yesu alikwa ata kabla Dunia na binguni kuumbwa nyinyi kataeni eti yesu sio mwana wa mungu sauri yenu

  • @SamweliMaliyamungu
    @SamweliMaliyamungu 15 дней назад

    Wewemweu kajibu kama umesoma kuliko ndacha

  • @JacobJoel-cb3ni
    @JacobJoel-cb3ni 17 дней назад

    Daaah hawa jamaa hawana kitu kabisa duuhh

  • @AbuhamzahJumaa
    @AbuhamzahJumaa Месяц назад +1

    Huna lolote Ndacha kasome

  • @kamanjamwenjerwa7032
    @kamanjamwenjerwa7032 Месяц назад

    Muslims can be very good people if they BELIEVE in JESUS

  • @basilejuma
    @basilejuma 4 месяца назад +1

    Ndachaaa hoyeee

  • @HalimaMrisho-qk1rp
    @HalimaMrisho-qk1rp 25 дней назад

    Hamna maarifa nyny wakristo mnapotea😂

    • @alerts9917
      @alerts9917 25 дней назад +1

      Mohammed hakua na elimu hivo pia yeye anapotea kumbuka wenye waliona hawana elimu ni wale walio kuwa wanapinga iyo inamanisha waislamu wanapinga wao juu hawa kuwa na elimu kama Mohammed but mnakubali Mohammed pia nyny mnapotea

  • @arnoldnyondo
    @arnoldnyondo Месяц назад

    Kila alie zaliwa hapa chini ya jua aitwae binadamu kibayologia ili uzaliwe lazima mume n mke wakutane ndio kupatikane kitakachopatikana baada ya mke n mume kukutana, sasa basi hawa wanaopiga kelele apa wanitafutie baba yake Yesu ili basi nipate kujua kuwa Yesu sio mwana wa Mungu

  • @smadon5638
    @smadon5638 Месяц назад +1

    Nyie wasenge tu,waita watu Alshaab wakati nyie Mungiki😂

    • @JasonChogo
      @JasonChogo 24 дня назад

      Sinilifikiri al-Shabaab ni jina nzuri ama ni mbaya tena😂😂

  • @teresiaMkame
    @teresiaMkame Месяц назад +1

    Mtume waambia ukweli zaburi 110 na yohana 1 na Marko 16.15

  • @peterekiru7607
    @peterekiru7607 4 месяца назад +2

    Waislamu lazima mtaokoka.....na kujua yesu ni mwana wa Mungu

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy 9 дней назад

      Ushindwe pepo mbay mujue mwenyew yes km mwan wa mung😂😂😂

  • @shortverses1604
    @shortverses1604 Месяц назад +1

    Wakipata jibu mtoto anayezaliwa ni wa baba au mama? Watapata jibu yesu ni mwana wa mungu siyo kufru neno hili wala hakuna hatia ya dhambi

  • @IssaMbamba
    @IssaMbamba День назад

    Yaani wakristo kuweni makini na hilijambo la yesu kuwa mwana wa Mungu,labda huo uwana unakusudi a kivipi?je Mungu ni mzazi?

  • @YohanationkizaTresor-ev6lc
    @YohanationkizaTresor-ev6lc 4 месяца назад +1

    Fundi mitambo, unaaribu na iyo piano yako

  • @vincentbabili4499
    @vincentbabili4499 Месяц назад

    Kwa bahati mbaya sana ukweli kuhusu kristo huja kwa mtu mwenyewe moyoni mwake. Neno la Mungu linafundisha yeyote atakaye mwamini Yesu atakombolewa. Sasa mnapofundisha kinyume na hapo mwawapotosha watu. Biblia inaeleza wazi, ombi langu ni moja tu. Someni Biblia hasa agano jipya huku mkimwomba Mungu na ukweli utakuja...

  • @OnesmoKiliza
    @OnesmoKiliza 19 дней назад

    Wachane ndacha tatizo wanaabudu majini.

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 4 месяца назад +1

    Ajui kiswahili vip kati tumemuelewa nyinyi tulieni yesu akiludi akimfufua muhamadi wenu ndo mtajua yesu nan

  • @ABDIKADIRISSACK-c3c
    @ABDIKADIRISSACK-c3c Месяц назад +2

    Sasa Alshababu katoka wapi? Wakristo wengine ni mafala haki😂

  • @JaphethuKiogora
    @JaphethuKiogora 3 месяца назад +1

    Alisabab wafanye nini....paster dancha analidwa na mungu amuwezi mfanya kitu...we unafikilia iyo ujasili ni mwiri wake

  • @MaaDii-iz3ur
    @MaaDii-iz3ur 4 месяца назад +1

    Waislamu wote hawana ufahamu wa bible hata wakisoma kuelewa ni ngumu sana, lakin matusi ndio wanajua,ila YESU kristo BWANA ni mwana wa MUNGU

  • @PaulShija-qw3hr
    @PaulShija-qw3hr 3 месяца назад +1

    Wameisha hapo waisilam kiukweli wameumbwa 2 nikwa ajili ya jehannm2 la wammkubali yesu ndo wataona uzima wa mile le2

  • @lilianomwenga8630
    @lilianomwenga8630 5 дней назад

    This people will never let themselves to know the truth because they are so preoccupied by the spirit of religion

  • @MussaChivalamba-v4u
    @MussaChivalamba-v4u Месяц назад

    Huyu aliye ANDIKA ndacha kahubiria alshabu mama Yake naisi alishika mimbq kwakusagana pumbavu

  • @mjombawallace4966
    @mjombawallace4966 8 дней назад

    Ndacha hakusema hivyo eti Jesu alikuja na jina hapana ilisomwa eti alikuja kwa jina please

  • @alerts9917
    @alerts9917 25 дней назад +1

    Mohammed hakua na elimu basi mbona mnafuata Mohammed. Haona wenye waliona hawakua na elimu ni wale walikua wanawapinga sasa mnachanganya mandishi kujinufahisha uislam hata Mohammed hakua na elimu but mnafuata yeye

  • @em-2139
    @em-2139 Месяц назад

    Iyo background sound music ina boa, inaondoa focus, ulietengeneza hii video, nenda darasani tena unatuharibia mahubiri...😬

  • @Martindavid-g5x
    @Martindavid-g5x 2 месяца назад +1

    Uisram hata siyo din

    • @jayrhymes-jay
      @jayrhymes-jay Месяц назад

      Hii ni dini ya kishetani kabisa. Hadithi tu

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 15 часов назад

    Ndacha uok poa

  • @faizG254
    @faizG254 24 дня назад

    Mmelaaniwa nyinyi.Eti Al shabab. NYINYI WAJINGA SANA

  • @sammymugo8216
    @sammymugo8216 20 дней назад

    They have eyes but they do not see. The pharisees saw Jesus and His mighty works. Their sick were healed yet they crucified HIM.
    The last day hamtasema hamukuambiwa.

  • @KallindeFaustin-f8d
    @KallindeFaustin-f8d 4 месяца назад

  • @NduwimanaGaddy
    @NduwimanaGaddy 25 дней назад

    Luga njo inabasumbuwa

  • @Y0hanaElisha-u2i
    @Y0hanaElisha-u2i 13 дней назад

    Ndacha mungu akubariki

  • @paschalbenito9783
    @paschalbenito9783 24 дня назад

    Background music inaondoa usikivu usiweke

  • @shaurikhamisi5689
    @shaurikhamisi5689 4 месяца назад +1

    Wewe ndacha ndio unaropokwa

  • @OmaryMongi
    @OmaryMongi Месяц назад

    Yaani ktk watu upeo wao mdogo ni huyu ndacha

    • @chrispineacademicus5784
      @chrispineacademicus5784 Месяц назад

      Kipofu wewe,endelea na msimamo wako,utalia siku moja,Shauri yako,Yesu anakufanya unakuwa mtakatifu laki Muhammad wenu hawezi

  • @nzaisafari4934
    @nzaisafari4934 Месяц назад

    Muslims are blind...wanasema yesu ni mwana wa yusufu wala si Mungu...Quran yao inasema maryamu alipata mimba pasipo uhusiano wa binadamu 😂...halafu hao ndo wanarud wanasema yesu ni mwana wa yusufu...ata sisi wakristo tunaambin kwamba ni mwana wa yusuf lakin si babake wakumzaa kama mimi na wewe tulivyozaliwa..ni babake tu wakumlea...❤

  • @abdinasirmohamed3490
    @abdinasirmohamed3490 4 месяца назад

    Maneno mengi yasiyo na masingi,unajichanganya huku ukijiona una hoja kumbe ni kujidanganya,ndacha umepotea omba mungu akuongoze kwa haki

  • @Jacminejuma
    @Jacminejuma 5 дней назад

    Kwahy Mariamu alilala na mungu mahayawani nyieeeeeee kuwa muelewa Kaz kutembea na majanaba yenu wachafu wa mwili mpk Roho nyie

  • @sosdododo5653
    @sosdododo5653 4 месяца назад +6

    Sasa ndio ndacha anasema ukweli kabisa nampa pongezi huyo ndio mwalimu ,,sasa wakristo hawana tena mungu kweupe yesu sio mungu tena wakristo sasa hamuna tena mungu kama mulivyokua kilasiku Jesus is god yesu ni mungu ,,leo ndacha amewafundisha ,,waislamu bahari kubwa hamuwawezi waislamu kabisa ,,wakristo ikiwa huyo ndacha ndio mwalimu mushapotea yesu sio mungu ni mtoto wa mungu sio mungu

    • @MaryNjeri-d6y
      @MaryNjeri-d6y 4 месяца назад

      Soma Waebrania 2: 8-9 uone Hilo jina la Mungu liki tumika ndio ujue Kiswahili kina tumikaje. Kuenda Kwa jina na kuenda Kwa basi ni tofauti

    • @EliabuShima
      @EliabuShima 4 месяца назад +1

      Jitahidi kuele ndg yangu sio kutuma coment ndeefu isiyo na maana yoyote

    • @michelshemikalamo2537
      @michelshemikalamo2537 4 месяца назад +2

      Morning, nimeshangaa muislam akubali kwamba Yesu ni mwana WA Mungu 😂😂😂 inachekesha

    • @sosdododo5653
      @sosdododo5653 4 месяца назад

      @@michelshemikalamo2537 ndio nyinyi walewale deaf dumb and blind people Christians,,mimi NAWACHEKA hivo leo ni mungu kesho mwana wa mungu kesho kutwa ni spirit yani hamujielewi ni contradiction tupu alafu kitabu chenyewe ni translation of translation of translation of translation,,wafrika niwatu wakuchezewa tu munachezewa kama mpira ,,mascholar wakikristo wenywe wamekubali kitabu kina macontradiction na error kibao ,,translation of translation of translation of translation of translation kuna usalama hapo bure watu nyinyi

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 4 месяца назад +2

      Usipomkubli yesu kristo moyoni mwako ww n jehanam

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 Месяц назад

    Kwani koruani iliandikwa na nani?

  • @bosta5018
    @bosta5018 Месяц назад

    Wwaahh unaita watu al-Shabaab, kweli ww Mkristo gani una matusi kiasi hichi...

  • @YunisnafulaTaabu
    @YunisnafulaTaabu Месяц назад +1

    munganga wenyu mkuku wa majini sulle ako nairobi nedeni awauzie majini mufuge

  • @zuberikijangwa6708
    @zuberikijangwa6708 2 месяца назад

    Takibriiiiiii

  • @didasmushi613
    @didasmushi613 4 месяца назад

    Ndacha wape dozi kaka wafunguke

  • @SuleiWegulo-w2n
    @SuleiWegulo-w2n 17 дней назад

    Ndacha huna lolote rudi shule ujue tafauti ya mwana na mtoto

  • @OmariAbdi-c9k
    @OmariAbdi-c9k 19 дней назад

    Ajabu hakuna andiko kwa bibilia inayosema ukristo ni dini.

    • @rogerssimon9517
      @rogerssimon9517 10 дней назад

      Ila lipo neno lililosemwa mm ni njia kweli na uzima mtu yeyote haji kwa baba ila kwa mm , yaani njia maana yake dini ndugu.

  • @mwanyunimadee4157
    @mwanyunimadee4157 Месяц назад

    Ndacha wwe n baraka maasakofunwakubali wakupee honary degree PhD in theology wd an office u deserve

  • @JacobMayamba
    @JacobMayamba Месяц назад

    Ndacha nakuombea uishi maisha marefu ufundishe mpaka kieleweke

  • @mutuasteve2179
    @mutuasteve2179 3 месяца назад

    Alshabab wako wapi?

  • @ilyasawadh6375
    @ilyasawadh6375 2 месяца назад

    Ndacha Hana ufahamu Na anakaribishwa asome amtambue mwenyezi mungu

    • @WAREENG1
      @WAREENG1 Месяц назад

      Mpinge kwa Hoja siyo Maneno tu

    • @Anthonyzombie-d2s
      @Anthonyzombie-d2s Месяц назад +1

      Mmeshikw masikio mnaabud majin wajing kwel

    • @alerts9917
      @alerts9917 25 дней назад

      Kumbe majini pia ni waislamu 😢

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 4 месяца назад

    Ndacha analipwa kwa kazi ya kuposha tu ndio maana hajafunguwa kanisa

    • @samuelondieki9164
      @samuelondieki9164 4 месяца назад +1

      analipwa nanani

    • @PhilipoMassawe-z1i
      @PhilipoMassawe-z1i 4 месяца назад +2

      Umemlipa wewe mtume alipobaka alilipwa

    • @ThomasYohana-q8f
      @ThomasYohana-q8f 3 месяца назад

      Waklisto wakweli huwa hawafungui kanisa matapeli nawaongo ndohua wanafunga kanisa

    • @eliyampesa4352
      @eliyampesa4352 3 месяца назад

      Analipwa na nani?
      Nikweli uislamu na ulongo ni kitu Moja. Lakini ulongo wenu unampangilio ila wewe wasema ulongo ulio nje ya mpangilio wenu

  • @juliuslosivu-yu9lv
    @juliuslosivu-yu9lv Месяц назад

    Mtume Muhammad mama yake ninani na baba yake

  • @jhoairdronekings
    @jhoairdronekings 4 месяца назад

    Na kwa, hahaha

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 4 месяца назад +1

    Aiseee waliofumbwa wamefumbwa tu mbona jambo liko wazi yesu alitokana na neno la nani? la Mungu

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 4 месяца назад +1

      Kila kilichopo ulimwenguni kilitokana na neno la Mungu wakristo hajuwi hilo

    • @jumanjenga7682
      @jumanjenga7682 4 месяца назад +1

      Aisee Mungu alitoa amri kuwa Yesu azaliwe na ikawa hivyo.Alimtuma Malaika Kwa Mariamu na amri hiyo

    • @sebastiansalamba313
      @sebastiansalamba313 2 месяца назад

      Sasa unafikiri analingana na mwanao aliyezaliwa na mwajuma Kwa kuingiliwa na kosmas akazaliwa moto akaitwa shabani

  • @alerts9917
    @alerts9917 25 дней назад

    Sasa waislam wanakubali yesu kuwa manabii walikubali yesu ni mwana wa joseph na quran inakataa hana baba ni mwana wa maria iyo inamanisha quran haikubali manabii wa bibilia basi wawache kusoma bibilia juu manabii wanajua yesu ako na baba

  • @binadimseif2668
    @binadimseif2668 4 месяца назад

    Ndacha kakimbia Tanzania amemuogopa kinyogori

    • @graduationtv3072
      @graduationtv3072 4 месяца назад +2

      Wote kafyeka huku. Jopo zima LA waislam zidi ya mtu momja wote kacharaza bakora za matako

    • @japhetndoro6533
      @japhetndoro6533 4 месяца назад +2

      Hajakimbia tulimwita juu waislamu walikuwa wanataka wabatizwe

    • @stephen-S7
      @stephen-S7 4 месяца назад +2

      Ndacha alinyorosha kinyogoli kitambo sana 😂😂

  • @binadimseif2668
    @binadimseif2668 4 месяца назад

    Ndacha mbabe wake nikinyogori

    • @japhetndoro6533
      @japhetndoro6533 4 месяца назад

      Kinyongori alishindwa hakuweza jbu nyinyi waislamu wabishi

  • @ZachariaOino
    @ZachariaOino 4 месяца назад

    Please wanao tumia matushi kwa mutumishi wa mungu poleni sana na mwokolewe mungu.

  • @Khalidmghosi
    @Khalidmghosi 4 месяца назад

    Nimegundua hawa mikristo lugha ndio shida

  • @AbdiweliAdow
    @AbdiweliAdow 2 месяца назад +1

    Msome Bibilia na mwende msome Quran, Mtajua ukweli ni WA kutoka wpi! Wakiristo Msome Quran ndio Mtajua ukweli, Wasomali wanajua Bibilia yote na Kila mwislamu, Lo Kristo mko in the WRONG direction, Msome Quran Mtajua ukweli

    • @davidochieng2644
      @davidochieng2644 29 дней назад

      Sasa wewe nawe unaambia nani asome hicho kitabu chenu cha majini?

    • @AbdiweliAdow
      @AbdiweliAdow 29 дней назад

      @davidochieng2644 Asante Sana, Na Mungu akulinde kwa Ukweli

    • @AbdiweliAdow
      @AbdiweliAdow 24 дня назад +1

      @@davidochieng2644 ukitumia hiyo akili Hadi ukufe utajipata motoni, Islam teaches us to Respect others and to show them the Truth, Bibilia ikona Contradiction na Corruption mingi, ikona pornography and many things but I always read them and I have never insult or saying anything of it! Hizo akili za utoto itawapeleka pahali papaya! Penda usipende dini ya Haki na Ukweli mbele ya Mwenyezi Mungu ni Islam