This sermon really amazing it's confusing who doesn't know who is God.. but all in all..we believe Jesus christ as our sevior and Saturday is the day to rest ❤❤❤❤
God has now filled men with His Holy spirit to fearlessly come out and call sin a sin,,,,and among them is pr.Ndacha ...continue with this powerful Gospel pr,because we have no time,Jesus is coming soon.God bless you.
Kwa kweli nafuatilia midaharo hii ni nzuri mch Ndacha Mungu akubariki sana jinsi ambavyo Roho wa Mungu anavyokufunulia maandiko unatisha na wahadhiri wengine Wote Mungu awabariki
Hii injili inachoma. Vitu vyote vitapita lakini neno litasimama. Pastor Ndacha umejenga Imani yangu na Nina kila sababu ya kuwa Mkristo imara. Mfuasi wa Yesu Kristo
Hana ukweli ila shetan wakanisani wamjaa kwakichwa yake..saut yake imkua kama yashetan..ata sura zake zimebadilka kaa zashezan wakanisni..bblia ilisma kanisni kuna kiti cha cha enzi chashetan..ndio hao mashetan wamejaa kwa ndacha..nayeye anatumia nguvu zashetan wakanisa...
Kwani hauna habari muhammad ndie alimdilimisha shetani akawa muislam? Toa ata shetani ni mkristo Mimi nitakutolea ata shetani na majini wore ni waislam na kitabu chao ni quran s
Shindwa una andiko Yessu anasema mimi ni Mungu wacha kuamini upotovu wa wachungaji Hawa wanajali mambo ya Dunia wala hawajali jinsi gani Mungu atawaadhibu kwa kuwa fuata Hawa wapotoshaji nyie mnadhani Ndacha anawaongoza kumjua Mungu hapana sivyo alivyo fuatilieni mijadala vizuri Kisha wekeni kumbukumbu kwa maneno yake kila siku huwa anabadilisha na kusema vyengine kwa sababu huyo ni mchungaji biblia imewatahadharisha juu ya Hawa wachungaji lakini hataki kuamini hata biblia inapofikia kuwajadili na kuwajua someni wenyewe maandiko mumjue Mungu msiwategemee Hawa
Wahalambu wanafukaka Manduka wana henda kusaali waalambu wana juuwa dini awata funguw manduka mupaka watoke kusaali kuko kalimbu aliwahi kumusuhaniya mtoto wake tena akatomboka sana juu akufunga duka akasema akasema funga tukahenda tuka muchukulu mwenyenzi mungu kwakuwa yeye jo anatupa Barak
If you were achristian well but if you were amuslim don't be deceived the gay is lying read the complete verse surah 7:163 and understand that was acertain israil community and also 16:124 which talks to the prophet not to follow those who refused to follow Abraham.and he is lying by saying ati siku ya sabato ndiyo siku ya ibada wala siyo ijuma please check well iwill put the full ayah here
😂😂😂😂😂😂 Kubalini kuwa hakuna dini ila uislam tu angalieni katika hii dunia watu wanavyoingia dini ya kiislamu bado tu mme lala na kitabu cha mwingereza na sasa katika Makanisa wanamfundisha LGBT Hamjuwi kama BIBILIA wamebadilisha mambo mengi
Nani waliopotea nakupotezwa kama si nyinyi makafiri wakiristo? Tunamuomba Allah atuepushe na upotovu wenu huo. Hivi hata huoni ni kwa kiasi gani wakiristo wenzako wanavyosilimu wanapoiona haki inayotoka kwa Mola wao? Na miongoni mwao ni hao wakubwa wenu katika mapadri na wengineo basi hivi hutafakari? Hebu jiulize iyo dini yako ya ukiristo imetokea wapi kama si uzushi.
@@hanifaabdalla2096 Satani anakudanganya Sana Yesu alisema ndie njia ya ukweli na uzima hakuna mwenye atakae ingia mbinguni bila kupitia kwake.sasa wewe unamufuata Nani????
Ewee kafri ulie laaniwa namungu katika injili nataurat nazabur naquraan...Bblia insma kanisnai kuna kiti cha enzi chashetan. Iksma tena munapo kusanyika kanisani sikwafaida Bali nikwahasara.iksma walio lala katika kiristo wamepotea...kwann mupotee najua iko kwa uislam .nabii yesu hakuenda kanisani wala hakuwatuma Muende huko kanisani kwa shettan. Munafanya nn huko kwenye shetan??mabishop napamsta makuhani wote hao niwanachama washetani..wao wanwpoteza ninyi wafuaci ili Riziki yao itokao kwahetan waikose...bc njoon kwenye njia ya uzima kwuislam...
This encouraging and I support Ndacha for what he is doing let's join him so that we may fasten the second coming of Christ so that the word may be witness on the judgment day
Ukweli wa Mwenyez Mungu utabaki balebale Sabato ndio Ukweli wa Mwenyenz Mungu utabaki palepale Sabato ilifanyika kwaajili ya Mwanadam yani shehe anaonyeshatu kua anajua ukweli ulipo naipo ck atabatizw
Yesu ndiye sadaka ya kuteketezwa. Hatuitaji tena kutoa kafara ya kuteketeza maana damu ya Yesu imetuosha na kutufanya watakatifu. Nyote waislamu na hawa wasabato mnawapotoza wanaowasikiliza. Mungu awasamehe.
16:124...hakika sabato imewekewa wale......kwahivyo Kuna wale waliowekewa....wacha kupoteza watu.....ati waislamu wamepotea..je wakatholiki na anglican nao jumapili tutasema nn....hiyo aya inao wale mungu alielekeza...soma vizuri uelewe we pastor wacha biashara
Huyo jamaa ni chizi. Mapepo yanamsumbua kichwa yake..Ana mapepo elf moja..Atakua wapi na Akili kujua Dini yakiislam. .mwanzo mapepo wamtoke. .kisha ndio ata faham dini yakiislam..Na mukifuata huyo hamutajua ukweli mutakua kwenye giza leusi sana..
Reeh Gold wallahi my sister unajidanganya nakupa mawaidha angalia wazungu waliowaletea dini na kuwadanganya Mungu ni watatu father son and holy spirt venye wanasilimu watch mawaidha ya Sheik Ahmed deedat na Dr zakir naik iyo mbili tu sikupi mingi
Reeh Gold Sheik Ahmed deedat is class six dropout bt wise man anawashika wazungu wale wakubwa malawyer na professers na wale wamesoma wewe huoni kama ni miracle and he is just class 6 drop out Allah is Great
Warumi 14: 5 - 6: Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku, mwingine aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe. Yeye aadhimishaye siku, huiadhimisha kwa Bwana; naye alaye, hula kwa Bwana, kwa maana amshukuru Mungu; tena asiyekula, hali kwa Bwana, naye pia amshukuru Mungu.
Waislam mavi yamewagonga kwenye vyupi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Asante Mungu kwa kua mkiristo Asante baba angu kwa kuiacha dini ya mashetani umenizaa Kwenye ukiristo Asante baba😘😘😘😘😘
@@zulfaabdallah3217 waulize wasenge wezio waislam walio kufa kama wameingia peponi alafu nipe jibu😂😂😂😂😂😂😂😂amna atae uona ufalme wa mbinguni bila kumuamini yesu amna ata siku moja mbona amnza yule anawaambia kila siku na anawasomea iyo iyo Qran yenu mtachomwa moto nyinyi wachawi wauwaji wafuga majini
We sasa ndo shetani Wa pembe mbili..haya ni maneno ya MTU Wa Mungu au shetani..matusi haibadilishi chochote jibu maswali ulioulizwa..Mimi siwezi kukutukana ...huyo Muhammad (saw) uliye mtusi hajawahi kukutukana.. na anafwatwa na mabilioni duniani si kama wewe hata kwenu hujulikani..na matusi yote ulio tukana inaonyesha babako na mamako niwatu wasiokua na tabia ndo wakakufunza matusi..hufai hata kujiita MTU w Mungu Shetani wewe...
Je! Mwenyezi Mungu hatoshi kwa mja wake, na wanakuogopani pamoja na wale wasiokuwa Yeye, basi hana wa kumwongoa? wa mbingu na ardhi, bila ya shaka watasema, Mwenyezi Mungu: “Je! .Mnazuia rehema zake?” Sema: Mwenyezi Mungu ananitosheleza wanaomtegemea itamfikia adhabu ya kumfedhehesha, na itamfikia adhabu ya milele. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu kwa ajili ya watu kwa haki, basi ni kwa ajili ya nafsi yake Potelea mbali kwa ajili yake, na wewe si wakala wa Mwenyezi Mungu juu yao, anachukua roho wakati wa kufa kwao, na wale ambao hawakufa katika usingizi wao Huipeleka nyengine kwa muda uliowekwa. Hakika katika hayo zipo Ishara kwa watu wanao fikiri watajihadhari na mfano wa Mwenyezi Mungu wa miguu miwili ambayo ndani yake wana washirika wanaogombana na mtu aliyesilimu. Je! Basi mtakuwa mlangoni kwenu Siku ya Kiyama, Je! Na wale wanaoileta Haki na kuiamini, hao ndio watakao kuwa nao, hao ndio malipo ya watendao, ili Mwenyezi Mungu awafutie ubaya wa waliyo yatenda Naapa kwa aliye teremsha Taurati na Injili na Upambanuzi na Zaburi na Qur'ani yenye hekima kwa Bwana wa Mitume Muhammad rehema na amani ziwe juu yake. Mungu awe juu yake yeye na familia yake na maswahaba zake na awape amani wote, na kwa ukweli wa Mungu alivyoumba jua, mwezi, sayari, nyota, mbingu, ardhi, majini, wanadamu, Adam. , amani iwe juu yake, na Hawa, amani iwe juu yake, Shetani, pepo, pepo, wanyama waharibifu, ngamia, miti, mawe, miamba, milima, mchanga, ndege, simba, fisi, simba, nyoka, nyoka, nge. , na kila ndege wa angani, na kila mnyama kitambaacho juu ya nchi, na kila kiumbe kiendacho juu ya ardhi, na baharini, na mito, je! itokeze katika ardhi, kisha ikatoa mimea yenye rangi mbali mbali, kisha ikasisimka, na ukaiona inageuka kuwa ya manjano, kisha anaivunjavunja kifuani Mwenyezi Mungu anaufungua kwa Uislamu, basi yeye yuko juu ya nuru ya Mola wake Mlezi! Wale wanaomcha Mola wao Mlezi hutetemeka kwa hayo, kisha ngozi zao na nyoyo zao zikalainika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu ubaya wa adhabu Siku ya Kiyama, na wataambiwa madhalimu: “Onjeni uwongo wa walio kuwa kabla yao, maadamu nyinyi mmekwisha pata Mwenyezi Mungu aliwaonjesha fedheha ya maisha ya dunia na adhabu ni kubwa zaidi, laiti wangelijua, Mungu Wangu, nionyeshe nguvu zako na uweza wako katika kila jeuri na jeuri juu ya ardhi yako na chini ya ardhi yako. Mungu wangu, uadilifu, uadilifu, uadilifu, na kila nilipowaita kuwasamehe, wanaweka vidole vyao masikioni mwao, na kuacha kuabudu chochote kisichokuwa wewe, ili upate kusamehewa Kwa ajili yao. , ikiwa wangefanya hivyo, wangeweka vidole vyao masikioni mwao ili wasisikie wito wangu kwao kwa ajili ya hilo, na wangejifunika nguo zao Mungu Wangu, sasa wanakuamini, basi usioneshe chochote bali wape adhabu, na waonyeshe adhabu chungu katika nafsi zao, katika mali zao, na katika watoto wao, baraka za Mwenyezi Mungu na amani zimshukie Bwana wetu Muhammad na jamaa zake na maswahaba zake, ewe Mwenyezi Mungu, Amina, Mola Mlezi wa walimwengu wote.
Huyu shekh anapotosha watu...yesu alisema yafaa kutenda kazi njema siku ya Sabato. ..je ng'ombe wako akitumbukia shimoni siku ya Sabato hutamtoa? Someni bana msipoteze muda kulumbana
Eee bwana wee,Wacha roho ya mungu ikuelekese kwa kila unenapo.Nimefurai jinzi unanenea hao wa islaamu.niko kwao huku SAUTI ARABIA mtu wamungu.be blessed.
Waislamu wanasilimu wakitumia sheria wao hawana Imani kwa baba wa mbinguni. Waislamu ni wachawi wakora. Waislamu mashiek lazima wasome uchawi na uganga- elimu Dunia na ahera. Waislamu hata mecca wanaabudi jiwe jeusi huko mecca
Thanks a lot Pastor.these islam have been fighting christianity in all major towns in Kenya.they rebuke the Holy Bible and use it as a novel.since God have used you to reveal to them the truth,what they need,is only Prayers in order for them to know that its only The Bible that has the Truth,Only the Truth and nothing but the Truth.God bless you man of GOD.may God increase you knowledge to spread the good news.I have been blessed by your words.Thank you.
@@claudiamartins3504 hahahaa, hakuna andiko lisemalo Yesu ni sabato, BT kuna andiko Yesu ndiye bwana wa sabato na Hiyo sabato iko kwa ajili ya wanadamu
@@mahadmohamedadhan8634 Ndio maana Waislam hawamjui Mungu ila kitabu chao ni hadithi Muhamed na mkewewe walizo hadithiwa na Padri. Kama si padri Muhamed angejua malaika Jibril? Hamna Taurati, zaburi, vitabu vya manabii na Injili mtajua Mungu aje?
Jiulize wanao abudu sanamu ni Nani? Kama sabato ni jumamosi mbona jumapili ndio wana enda kanisani? Na kama wana omba wakati wote mbona siku zingine makanisa hayana watu
Mwalimu Ndacha MUNGU akubariki sanaaaaaa,hakuna jina jingine tupaswalo kuokolewa kwalo ispokua jina la YESU,injili itahubiriwa kwa mataifa yotee
Amen 🙏🙏🙏 glory to Jesus
This sermon really amazing it's confusing who doesn't know who is God.. but all in all..we believe Jesus christ as our sevior and Saturday is the day to rest ❤❤❤❤
Akuna mtu anaetoka salama akikutana na mwalimu NDACHA 🙌 yani nafrahi sana kuzaliwa katika kristo 💪
From 🇹🇿
True huyu ni Mwalimu Mkuu wa Enjili
amen
Na 🔥 motoni utafrah nae pamoja or cio
WWE ukristo nidini ya wa Grèce unadini wewe
😂😂😂Ndacha you made my day!!
Umeweza
God has now filled men with His Holy spirit to fearlessly come out and call sin a sin,,,,and among them is pr.Ndacha ...continue with this powerful Gospel pr,because we have no time,Jesus is coming soon.God bless you.
Huyo pastor Ni shujaa Sana wa mungu..
Kwa kweli nafuatilia midaharo hii ni nzuri mch Ndacha Mungu akubariki sana jinsi ambavyo Roho wa Mungu anavyokufunulia maandiko unatisha na wahadhiri wengine Wote Mungu awabariki
Amen nabarikiwa sana Sisi wa Kristu tumushukur Mungi
God bless you mtumishi!! Mungu anakutumia kama chombo chake ubarikiwe Sana.
Mungu akubariki pastor ndacha 🤗🤗🤗
Yesu akirudi,hata angalia ulikuwa msabato,mkatoliki,muislam,bila kuokoka unaenda kuzimu!Yesu ndie njia!
Kama yesu ndiye njia mbona usimfate.
amen
Mungu awenawe pastor ndacha 🤗🤗🤗
Asante YESU kwa kumpa mtumishi wako ujasiri,Amen na penda wokovu wa YESU ulio niweka huru.
Good sana uko vzr
Wow, be blessed broh
Ameeeeeeen
Na YESU atashinda , na wafuasi wake kushinda wengine hadi mwisho wa dunia . sio wakristo walio potoshwa bali ni waislamu .
@@abdulhakimhasan7673 puuuuuuuuh
Hii injili inachoma. Vitu vyote vitapita lakini neno litasimama. Pastor Ndacha umejenga Imani yangu na Nina kila sababu ya kuwa Mkristo imara. Mfuasi wa Yesu Kristo
Kama kweli inachoma kilakitu mbona yanatokea tena LGBT YA NINI
YES PASTOR WAAMBIE WAMJUE MUNGU WA KWELI YEHOVA ELOHIM
Twambie ni yupi Mungu wa kweli?
Enock Ndale ubarikiwe wamjue Yesu alie Bwana na mwokozi wetu
@@magdalenajuma6229 Nakusikitikia apo bado hujamjua Mungu wa kweli.
Hakuna mkristo anamjua na kumumini na kumuabudu Mungu wa kweli kama yupo ajitokeze nimuulize masiali kama atajibu
@@godisgreat1845
Ask me
Am here
Amen... pastor My God bless u continue like that...... wengi wana uchungu kwa kuskia ukweli waambie ata wale wa sundayw wajue ukweli wa mambo.
Hana ukweli ila shetan wakanisani wamjaa kwakichwa yake..saut yake imkua kama yashetan..ata sura zake zimebadilka kaa zashezan wakanisni..bblia ilisma kanisni kuna kiti cha cha enzi chashetan..ndio hao mashetan wamejaa kwa ndacha..nayeye anatumia nguvu zashetan wakanisa...
Ewe kafri ulie laaniwa katika injili na zabur nataurat naquraan..somen vzr bblia mujue ukweli musife mukiwa nimkfri .jahannam inawsubiri makafri namshetan..Hao viongozi wenu wao niwanachama wamshetan..hawatki kuambia ukweli watakosa rzki
Kwani hauna habari muhammad ndie alimdilimisha shetani akawa muislam? Toa ata shetani ni mkristo Mimi nitakutolea ata shetani na majini wore ni waislam na kitabu chao ni quran s
ruclips.net/video/X83K3nWdbZ8/видео.htmlsi=NcgncX5kMID9_vhy
Kanisa limewaka moto
Mpendwa fuatilia kisa hiki
Nampenda ndasha sana...tena sana...tuletee muhadhara latest mko sawa sda....nakubuliana na nyinyi 100%
Alfa na Omenga mwanzo na mwisho ni YESU pekee.
Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU kuwa shushiya hao Injili ya kweli
Ndacha May God bless you.uko soo clear
Mtumishi Keep Moving sir
Aminaaaaaa YESU NAKUPENDA MUNGU MKUUUU😘😍
Sotw twampenda Yesu Christu....au sio?
Shindwa una andiko Yessu anasema mimi ni Mungu wacha kuamini upotovu wa wachungaji Hawa wanajali mambo ya Dunia wala hawajali jinsi gani Mungu atawaadhibu kwa kuwa fuata Hawa wapotoshaji nyie mnadhani Ndacha anawaongoza kumjua Mungu hapana sivyo alivyo fuatilieni mijadala vizuri Kisha wekeni kumbukumbu kwa maneno yake kila siku huwa anabadilisha na kusema vyengine kwa sababu huyo ni mchungaji biblia imewatahadharisha juu ya Hawa wachungaji lakini hataki kuamini hata biblia inapofikia kuwajadili na kuwajua someni wenyewe maandiko mumjue Mungu msiwategemee Hawa
Wahalambu wanafukaka Manduka wana henda kusaali waalambu wana juuwa dini awata funguw manduka mupaka watoke kusaali kuko kalimbu aliwahi kumusuhaniya mtoto wake tena akatomboka sana juu akufunga duka akasema akasema funga tukahenda tuka muchukulu mwenyenzi mungu kwakuwa yeye jo anatupa Barak
Rudi shule wewe ujue kuandika,lugha gani hii umeandika?
Basi pastor unaweza kunipa numba yako yasimu ili uje kuhubiri kwetu Rwanda ili kila mtu ajuwe ukweli wa Biblia?
😂😂😂😂😂💪🙏🙏 kumbe hawo c waisilamu Exactly 👏👏👏👏👏👏👏
Barikiwe Sana rafiki kwa kazi nzuri unayoifanya
Waisalam jamani mmeumbuka
Kazi ya unafiki kumsema uwongo huo
Savio Tv kwer baba sema kwer y mung
Kazi nzuri mwinjilisti Ndacha
Amen Amen bwana yesu anastahili sifa nimeamini yesu ndjye njia ya uzima
If you were achristian well but if you were amuslim don't be deceived the gay is lying read the complete verse surah 7:163 and understand that was acertain israil community and also 16:124 which talks to the prophet not to follow those who refused to follow Abraham.and he is lying by saying ati siku ya sabato ndiyo siku ya ibada wala siyo ijuma please check well iwill put the full ayah here
Unahangaika wewe 😂😂😂 yaani mishipa inakutoka Kwa kuutetea ukafiri 🙌🙌
Makafir ni ndugu za majini
We, sheh, kubali, kuwa, umeambiwa ukweli, ooh Jesus fanya miujiza,🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
😂😂😂😂😂😂 Kubalini kuwa hakuna dini ila uislam tu angalieni katika hii dunia watu wanavyoingia dini ya kiislamu bado tu mme lala na kitabu cha mwingereza na sasa katika Makanisa wanamfundisha LGBT Hamjuwi kama BIBILIA wamebadilisha mambo mengi
Love you pastor ndacha kutuelemisha
Mungu akubaliki mzee!
Barikiwa sana mtu wa Mungu akika Sabato ni muhuli wa Mungu
Asante mchungaji nitamwambia dadaangu atoke kwenye kanisa yakisiramu akimbie 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃haraka aripotea kweri 😹😹😹😹😹😹😹
Amina Sana wapeukweli hao wamuludie Mungu Yesu kristo ndo jibu
Waislamu bandia plus bonoko😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆😆hamuwezi kutupoteza sisi Wakristo Injili ya YESU KRISTO IKO louder and clear kabisa 🙏🙏🙌🙌🙌💃💃
Uyo Yesu ndio nani?
Nani waliopotea nakupotezwa kama si nyinyi makafiri wakiristo? Tunamuomba Allah atuepushe na upotovu wenu huo. Hivi hata huoni ni kwa kiasi gani wakiristo wenzako wanavyosilimu wanapoiona haki inayotoka kwa Mola wao? Na miongoni mwao ni hao wakubwa wenu katika mapadri na wengineo basi hivi hutafakari? Hebu jiulize iyo dini yako ya ukiristo imetokea wapi kama si uzushi.
Kwani uusulanu umetoka wapi
@@hanifaabdalla2096
Satani anakudanganya Sana
Yesu alisema ndie njia ya ukweli na uzima hakuna mwenye atakae ingia mbinguni bila kupitia kwake.sasa wewe unamufuata Nani????
@@hanifaabdalla2096 huwezi kumjuwa hadi Ufunuliwe na Roho mtakatifu
YESU Kristo ndio bwana na mwokozi wa ulimwengu mlele AMINA 🙏
napenda sana kipindi hiki, Yesu kristu ashifiwe sana
Mungu akubariki pastor ndacha
GOD bless you for giving people a light of heaven the truth of God thank you so much
Jane Kwahada , ubarikiwe Sana kondoo wa BWANA
Ewee kafri ulie laaniwa namungu katika injili nataurat nazabur naquraan...Bblia insma kanisnai kuna kiti cha enzi chashetan. Iksma tena munapo kusanyika kanisani sikwafaida Bali nikwahasara.iksma walio lala katika kiristo wamepotea...kwann mupotee najua iko kwa uislam .nabii yesu hakuenda kanisani wala hakuwatuma Muende huko kanisani kwa shettan. Munafanya nn huko kwenye shetan??mabishop napamsta makuhani wote hao niwanachama washetani..wao wanwpoteza ninyi wafuaci ili Riziki yao itokao kwahetan waikose...bc njoon kwenye njia ya uzima kwuislam...
@@sulehassanshall6140 hujui kitu unasema
Hi my sister
Imeandikwa,Mathayo 4:4-10 na Isaya 28:10,13,9
This encouraging and I support Ndacha for what he is doing let's join him so that we may fasten the second coming of Christ so that the word may be witness on the judgment day
Huyu pastor sijuwi naweza pata wpi waaah 😂😂😂😂🙏🙏
Francis Ndacha, asante mwalimu wangu
Hana lolote, huyo anawapotosha, uisilamu ndio dini ya haki
Waaa asante sana nimebarikiwa sanaaaa mtumishi wa mungu
Amen. Remember the Sabbath day (Saturday) to keep it Holy.
Amen Amen Amen pastor glory be to God hallelujah 😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏😅😅
Bwana wetu yesu kristo asifiwe milele daima
Mungu azidishe power kwa wachungaji
Muislam..ujue kwanza utofauti ya amri za Mungu na amri za watu,umeleta amri za watu tu
God bless you 🙏
Mungu ni mkuu hakika, injili lazima ihubiriwe kwa kila kiumbe.
Well done passtor Ndacha
No name that can heal and rescue than jesus name. ..i didnt healed by calling Muhammad ....I love you jesus
But still suffer .
Subhanaallah huyu anajiamini sana hajuwi kesho yake bro wacheni upumbavu wa kizungu aliomidanganya.
barikiwa sana kwa kuitambuwa sabato
annastazia kibole
Ukweli wa Mwenyez Mungu utabaki balebale Sabato ndio
Ukweli wa Mwenyenz Mungu utabaki palepale Sabato ilifanyika kwaajili ya Mwanadam yani shehe anaonyeshatu kua anajua ukweli ulipo naipo ck atabatizw
Amen pastor ndacha 🙏🙏
Hahaha waislamu hawajielewi kabisa mkubali kuzaliwa mara ya pili hapo inakubalika🙏🙏🙏💃💃💃💃💃
Huezi pinga bible, ndacha ❤❤❤❤❤❤❤❤
pastor ndacha Mungu akubariki.
Na sadaka?
😅😅😅😅
isaiah fema nipe aya ya kuzaliwa kwa Muhammad ndani ya Quran....
@@calvinmchopa2222 لقد جاءكم رسول من انفسكم عزيز ما عنتم حريس عليكم بالمؤنين رؤوف رحيم. Nawe nipe aya katika bibilia Yesu alizaliwa tarehe 25 December
Q-9: 128
Yesu ndiye sadaka ya kuteketezwa. Hatuitaji tena kutoa kafara ya kuteketeza maana damu ya Yesu imetuosha na kutufanya watakatifu. Nyote waislamu na hawa wasabato mnawapotoza wanaowasikiliza. Mungu awasamehe.
ata sina lakucomment.
Amina mcugaji YesuKristo akulinde udeleye kuwaubiri
16:124...hakika sabato imewekewa wale......kwahivyo Kuna wale waliowekewa....wacha kupoteza watu.....ati waislamu wamepotea..je wakatholiki na anglican nao jumapili tutasema nn....hiyo aya inao wale mungu alielekeza...soma vizuri uelewe we pastor wacha biashara
Joyce#unapinga Nini sasa juu sikuelewi
Ningekua mimi ndo muislam ata nisingebishana na uyu jamaa maana uyu jamaa ni noma alafu anataja haya zotee kama auna imani unaweza lia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hakuna hata aya moja hapo kutoka Qur'an.
Huyo jamaa ni chizi. Mapepo yanamsumbua kichwa yake..Ana mapepo elf moja..Atakua wapi na Akili kujua Dini yakiislam. .mwanzo mapepo wamtoke. .kisha ndio ata faham dini yakiislam..Na mukifuata huyo hamutajua ukweli mutakua kwenye giza leusi sana..
Hizo Aya anazo nukuu mwalimu Ndacha ziko katika Quran ama
Mungu akuweke sana
Ukristo ndo dini peeke
Proudly Christian❤
Reeh Gold wallahi my sister unajidanganya nakupa mawaidha angalia wazungu waliowaletea dini na kuwadanganya Mungu ni watatu father son and holy spirt venye wanasilimu watch mawaidha ya Sheik Ahmed deedat na Dr zakir naik iyo mbili tu sikupi mingi
Reeh Gold Sheik Ahmed deedat is class six dropout bt wise man anawashika wazungu wale wakubwa malawyer na professers na wale wamesoma wewe huoni kama ni miracle and he is just class 6 drop out Allah is Great
Huyu pastor ameweza kabisa nashukuru mungu sna....huyu pastor ako wpi ?????
Waislamu murudieni Mungu
Ukirito ni dini ya makafiri waliolaaniwa na mwenyezimungu Islam ndio dini ya haki ni Islam kama hamujuwi
sisi tayari tunaabudu mungu mmoja wewe unasema mungu yupi
Sisi Tuko kwa Allah kilasiku
Kwani nyinyi mko na Mungu?
We utarudi lini
Barikiwa sana mucungaji wa Bwana
Warumi 14: 5 - 6:
Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku, mwingine aona siku zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe.
Yeye aadhimishaye siku, huiadhimisha kwa Bwana; naye alaye, hula kwa Bwana, kwa maana amshukuru Mungu; tena asiyekula, hali kwa Bwana, naye pia amshukuru Mungu.
Very best ndasha
Waislam mavi yamewagonga kwenye vyupi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Asante Mungu kwa kua mkiristo Asante baba angu kwa kuiacha dini ya mashetani umenizaa Kwenye ukiristo Asante baba😘😘😘😘😘
Nyie ndio wasenge wacristo ma ana nyie makafiri mutajuta siku ya kiama au mukifa
@@zulfaabdallah3217 waulize wasenge wezio waislam walio kufa kama wameingia peponi alafu nipe jibu😂😂😂😂😂😂😂😂amna atae uona ufalme wa mbinguni bila kumuamini yesu amna ata siku moja mbona amnza yule anawaambia kila siku na anawasomea iyo iyo Qran yenu mtachomwa moto nyinyi wachawi wauwaji wafuga majini
We sasa ndo shetani Wa pembe mbili..haya ni maneno ya MTU Wa Mungu au shetani..matusi haibadilishi chochote jibu maswali ulioulizwa..Mimi siwezi kukutukana ...huyo Muhammad (saw) uliye mtusi hajawahi kukutukana.. na anafwatwa na mabilioni duniani si kama wewe hata kwenu hujulikani..na matusi yote ulio tukana inaonyesha babako na mamako niwatu wasiokua na tabia ndo wakakufunza matusi..hufai hata kujiita MTU w Mungu Shetani wewe...
@@financialloan9818 kwani ufalme Wa mbinguni in wanyanyako ndo unapangia watu kuurithi..wewe hata nadhani umekunywa bangi
Na ni wewe unakaa unafanya kazi y kutengeneza siweji ndo unaimbaimba machafu
Je! Mwenyezi Mungu hatoshi kwa mja wake, na wanakuogopani pamoja na wale wasiokuwa Yeye, basi hana wa kumwongoa? wa mbingu na ardhi, bila ya shaka watasema, Mwenyezi Mungu: “Je! .Mnazuia rehema zake?” Sema: Mwenyezi Mungu ananitosheleza wanaomtegemea itamfikia adhabu ya kumfedhehesha, na itamfikia adhabu ya milele. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu kwa ajili ya watu kwa haki, basi ni kwa ajili ya nafsi yake Potelea mbali kwa ajili yake, na wewe si wakala wa Mwenyezi Mungu juu yao, anachukua roho wakati wa kufa kwao, na wale ambao hawakufa katika usingizi wao Huipeleka nyengine kwa muda uliowekwa. Hakika katika hayo zipo Ishara kwa watu wanao fikiri watajihadhari na mfano wa Mwenyezi Mungu wa miguu miwili ambayo ndani yake wana washirika wanaogombana na mtu aliyesilimu. Je! Basi mtakuwa mlangoni kwenu Siku ya Kiyama, Je! Na wale wanaoileta Haki na kuiamini, hao ndio watakao kuwa nao, hao ndio malipo ya watendao, ili Mwenyezi Mungu awafutie ubaya wa waliyo yatenda Naapa kwa aliye teremsha Taurati na Injili na Upambanuzi na Zaburi na Qur'ani yenye hekima kwa Bwana wa Mitume Muhammad rehema na amani ziwe juu yake. Mungu awe juu yake yeye na familia yake na maswahaba zake na awape amani wote, na kwa ukweli wa Mungu alivyoumba jua, mwezi, sayari, nyota, mbingu, ardhi, majini, wanadamu, Adam. , amani iwe juu yake, na Hawa, amani iwe juu yake, Shetani, pepo, pepo, wanyama waharibifu, ngamia, miti, mawe, miamba, milima, mchanga, ndege, simba, fisi, simba, nyoka, nyoka, nge. , na kila ndege wa angani, na kila mnyama kitambaacho juu ya nchi, na kila kiumbe kiendacho juu ya ardhi, na baharini, na mito, je! itokeze katika ardhi, kisha ikatoa mimea yenye rangi mbali mbali, kisha ikasisimka, na ukaiona inageuka kuwa ya manjano, kisha anaivunjavunja kifuani Mwenyezi Mungu anaufungua kwa Uislamu, basi yeye yuko juu ya nuru ya Mola wake Mlezi! Wale wanaomcha Mola wao Mlezi hutetemeka kwa hayo, kisha ngozi zao na nyoyo zao zikalainika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu ubaya wa adhabu Siku ya Kiyama, na wataambiwa madhalimu: “Onjeni uwongo wa walio kuwa kabla yao, maadamu nyinyi mmekwisha pata Mwenyezi Mungu aliwaonjesha fedheha ya maisha ya dunia na adhabu ni kubwa zaidi, laiti wangelijua, Mungu Wangu, nionyeshe nguvu zako na uweza wako katika kila jeuri na jeuri juu ya ardhi yako na chini ya ardhi yako. Mungu wangu, uadilifu, uadilifu, uadilifu, na kila nilipowaita kuwasamehe, wanaweka vidole vyao masikioni mwao, na kuacha kuabudu chochote kisichokuwa wewe, ili upate kusamehewa Kwa ajili yao. , ikiwa wangefanya hivyo, wangeweka vidole vyao masikioni mwao ili wasisikie wito wangu kwao kwa ajili ya hilo, na wangejifunika nguo zao Mungu Wangu, sasa wanakuamini, basi usioneshe chochote bali wape adhabu, na waonyeshe adhabu chungu katika nafsi zao, katika mali zao, na katika watoto wao, baraka za Mwenyezi Mungu na amani zimshukie Bwana wetu Muhammad na jamaa zake na maswahaba zake, ewe Mwenyezi Mungu, Amina, Mola Mlezi wa walimwengu wote.
Huyu shekh anapotosha watu...yesu alisema yafaa kutenda kazi njema siku ya Sabato. ..je ng'ombe wako akitumbukia shimoni siku ya Sabato hutamtoa? Someni bana msipoteze muda kulumbana
I like this guy..trust me he is genius
Mandiko ya Mungu yajitetea kweli Amen 🙏
Eee bwana wee,Wacha roho ya mungu ikuelekese kwa kila unenapo.Nimefurai jinzi unanenea hao wa islaamu.niko kwao huku SAUTI ARABIA mtu wamungu.be blessed.
Let the truth be truth good work God be praised
mungu awe nayi daima wakirsto
Yesu ndiye njia kweli na uzima
James Demunga xx yesu ni dini au nabii..
Acha wehu wewe mohammed
Ya kwenda town au Eastleigh?
Yesu sio jina lake jina lake ni issa
@@jamesm.darnes640 wewe unamtukana mtume wa Allah mtume wetu Muhammad
Waislamu wanasilimu wakitumia sheria wao hawana Imani kwa baba wa mbinguni. Waislamu ni wachawi wakora. Waislamu mashiek lazima wasome uchawi na uganga- elimu Dunia na ahera. Waislamu hata mecca wanaabudi jiwe jeusi huko mecca
Mungu akubariki unasema kweli umewakomicha wambiye wapi kindongo
Balikiwa sana mtumishi,unamungu
mungu atunusuru bibilia imejieleza
Thanks a lot Pastor.these islam have been fighting christianity in all major towns in Kenya.they rebuke the Holy Bible and use it as a novel.since God have used you to reveal to them the truth,what they need,is only Prayers in order for them to know that its only The Bible that has the Truth,Only the Truth and nothing but the Truth.God bless you man of GOD.may God increase you knowledge to spread the good news.I have been blessed by your words.Thank you.
Shukran ustadh kwa kupeyana elimu. Halafu pastor anajikaranga na mafuta yake. 🤣🤣🤣
Wewe tabiaaaa
BWANA YESU akubarki mtumishi wa
MUNGU
Saturday is the holy day of worship set aside by God,no question about that!!!.
Yes but when the Victory happened?
Sabato ni siku ya mapumziko sio siku ya ibada
@@mhogomchungu7168 ni kifungu gani cha Qurani kinachowaambia Waislamu wapumzike jumamosi Tafadhali nataka kujifunza
Yesu ni sabato
@@claudiamartins3504 hahahaa, hakuna andiko lisemalo Yesu ni sabato, BT kuna andiko Yesu ndiye bwana wa sabato na Hiyo sabato iko kwa ajili ya wanadamu
Huyu Shekhe anaongea points za Ndacha hajaleta anything new..... he can't defend his religion
Biblia nikitabu kitakatifu,yesu aSifiwe milele
Wakristo na waislamu niwatoto wa Ibrahim acheni kuyumbana bali kaeni chini mwondoshe tofauti zenu.
Thank you Allah for making me Muslim, hii ni hatari sana ....subhanallah tangu lini mungu anapumzika.....ovyo kabisa
Mungu kupumzika iko katika kitabu cha mwanzo wa nabi musa ambayo waislamu pia wanasema ni halali
Hamna mahali imesemekana mungu amepumzika katika uislaamu tafadhali
@@mahadmohamedadhan8634 Ndio maana Waislam hawamjui Mungu ila kitabu chao ni hadithi Muhamed na mkewewe walizo hadithiwa na Padri. Kama si padri Muhamed angejua malaika Jibril? Hamna Taurati, zaburi, vitabu vya manabii na Injili mtajua Mungu aje?
Pole mama naniiiiii!!
Jiulize wanao abudu sanamu ni Nani? Kama sabato ni jumamosi mbona jumapili ndio wana enda kanisani? Na kama wana omba wakati wote mbona siku zingine makanisa hayana watu
Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa kutowa ukweli
Congratulations Teacher Francis Ndasha I love your dressing code. .Ah ha ha,
Wasabato mubalikiwe sna
Huu n msiba, thank you Allah for choosing me to be among of Muslim ☪, ni wizi mtupu uo
Fatuma slayman acha ukundu jielewe msiba huko kwwenu ujueeee
Neno la mungu lina majibu yote jaman
si ljumaa wala jumamosi sabato ya kweli ni ku mwamini bwana Yesu kwa kuacha dhambi kwani siku hizi hatutegemei wanyama kwa ondoleo la dhambi
Biblia gani inasema sabato nikuaja dhambi ama ni maneno yako? Brother chunga Sana.
Chunga sana brother, shetani sio rika yetu
Shalom Hallelujah..... Wape elimu Ndacha wa Msa
Shehe simwelewi kabisa kachemka
Pastor plz 🙏 🙌 👏 😌 naomba namba yako tafadhali
Leta no yako uekwe kwa group yake ya WhatsApp..