Mkuu kwani hujasoma maandiko ya kwambwa wapo watatu washuhudioa mbinguni...Baba,neno na Roho mtakatifu na hao ni wamoja...1 Yohana 5:8?? Mbona unapingana na maandiko mkuu .. unasema Kuna Mungu na Yesu tu...😢 Nakushukuru maana umenisaidia sana katika kujifunza mengi ila kwa hili la kukataa roho mtakatifu Mungu anipe ufunuo...nitakua tofauti kidogo na wewe..
Pastor Mungu akuzidishie siku za kuishi, tupate elimu zaidi. Wanajaribu kutumia maandiko kupindisha but umenyoosha
Namkubali ndacha sana ☝️☝️☝️2
Ubarikiwe 🎉❤
Napenda jisi mwalimu Ndacha anavyo jibu maswali
Hiki kizazi ni kama cha nuhu wanapenda mchezo kuriko mungu
Mungu akubaliki sana
Ndacha Shafi amekumaliza na Kinyagoli amekuzika kabsaa juzi
Mungu mmoja yahwe mungu yesu mungu lakini mungu mmoja halafu ndio anafundisha msiba
MUNGU AKUBARIKI SANAA Ndacha🙏🏽
Hapo ndacha kwa kufa kwake yesu soma Dan 9:27 na matt 12:40 uone sio Friday ni wed
Wokovu uko kwa siku ya kufa?? Umeshai sikia Good Wednesday au Good Friday? Wokovu wetu ni Kristo kutufia na Kufufuka.Luke24:54
👊👍✌️.
Balikiwa sana
Namba ya Ndacha niulize swali
Ndacha kiboko yao
AMEN
Mkuu kwani hujasoma maandiko ya kwambwa wapo watatu washuhudioa mbinguni...Baba,neno na Roho mtakatifu na hao ni wamoja...1 Yohana 5:8??
Mbona unapingana na maandiko mkuu .. unasema Kuna Mungu na Yesu tu...😢
Nakushukuru maana umenisaidia sana katika kujifunza mengi ila kwa hili la kukataa roho mtakatifu Mungu anipe ufunuo...nitakua tofauti kidogo na wewe..
Ndacha wanakuka vinyonga ao
Yani swali unajibu kwa andiko duuh
Mzaliwa wa kwanza wa VIUMBE wote lakini yeye yesu sio KIUMBE contradiction kama zote khaa
Nyie acheni kukufuru kwa hiyo yule mcheza sinema ndio mnasema kafanana na nani ?
Napenda jisi mwalimu Ndacha anavyo jibu maswali
Napenda jisi mwalimu Ndacha anavyo jibu maswali