UNABII WA DANIELI 2,7 NA UFUNUO 17 BY FRANCIS NDACHA MUJINI NAKURU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 69

  • @sarahwanjala6601
    @sarahwanjala6601 5 лет назад +9

    Kweli kabisa God bless you injili itahubiriwa kote ulimwenguni nimebarikiwa sana

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 года назад +20

    Hands up if you love Teacher Francis Ndasha MAY GOD Almighty CONTINUE to bless you Exceedingly

  • @khalifamuhammed3019
    @khalifamuhammed3019 5 лет назад +5

    mchingaji ndacha mungu akuongezee maisha marefu uzidi kuweka mambo sawa yani nakuonea huruma kweli kwa kazi hii maana watu haelewi kabsa nini mungu anataka kuna waislam na wakristo wa juma pili ya shetani kawateka kabsa yani

  • @CalvinVinceO
    @CalvinVinceO Год назад

    Aminaaaaa.... Unabii wa Danieli na Ufunuo ni wa hakika lakkini pumziko ni kwake Yesu mwana kondoo wa Mungu...Roma atatutesa lakini Mungu yuko nasi...

  • @janekwahada580
    @janekwahada580 5 лет назад +4

    Truly this teaching could be teaching our children and in church all Christan could be Holly all the time. Wange linda wokovo wa YESU Christo ubarikiwe muchungaji wa mungu

  • @isaiahstadius2383
    @isaiahstadius2383 4 года назад +4

    Pastor Ndacha karbu MAZIMBU SDA MOROGORO TANZANIA nakukubali sana.

  • @Streetplaces
    @Streetplaces 3 года назад +1

    God bless Mtumishi Ndacha

  • @macochieng5872
    @macochieng5872 5 лет назад +5

    Kamanda piga injili ni muda wakumtafuta Mungu fundisha watu wa Mungu

  • @mosesmungai3986
    @mosesmungai3986 6 лет назад +7

    Brother Ndacha may the Lord bless you. Na ningugwetha tuhujie hamwe dungata

  • @delphinbyaleo5745
    @delphinbyaleo5745 4 года назад +1

    Ni muzuri na ubarikiwe na Mungu

  • @williamkadzomba2570
    @williamkadzomba2570 4 года назад

    Be blessed brother Mungu akuzidishie hekima na kukulinda uendelee kuifanya kazi ya Mungu

  • @timotheojoel1828
    @timotheojoel1828 5 лет назад +5

    Uko vzr mtmsh wa MUNGU piga vitaa

  • @PeterOmiro
    @PeterOmiro Год назад

    Mungu akubaliki mtumishi mwema

  • @ArmandMananira
    @ArmandMananira 2 месяца назад

    Be blessed. Mubarikiwe

  • @kinotisilas
    @kinotisilas Год назад

    Vitu ya kukula soma vizuri bratha

  • @christianmsungu155
    @christianmsungu155 6 лет назад +4

    Karibu na kusini huku maana waisilamu kila kona maana jina la Kristo lazima lismame daima

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 лет назад

      ISLAM IS A TRUE RELIGION.

    • @rosenyambura16
      @rosenyambura16 5 лет назад +2

      Islam is satanic demonic religion.It's against Jesus death and resurrection

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 лет назад

      Allah is the Greatest

    • @rosenyambura16
      @rosenyambura16 5 лет назад +2

      Allan is the greatest deceiver

    • @isaacsilomba
      @isaacsilomba Год назад +1

      Jesus is the trueth

  • @t7zkc5tpxgim28
    @t7zkc5tpxgim28 5 лет назад +1

    AMEN, Mungu akubariki sana pastor

  • @thxzbst49cnh80
    @thxzbst49cnh80 6 лет назад +2

    Amen,barikiwa sana mtumishi

  • @davidmwangi8256
    @davidmwangi8256 2 года назад

    Amen...en be blsd Man of God

  • @obedkipchumba8182
    @obedkipchumba8182 Год назад

    I wish would be waved through Adventist world redio and other stations too. Everyone deserve to hear this message. May God guard the word in Ndacha and as a vessel too.

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 4 года назад +2

    I will support Pastor Ndacha

    • @eliahgenya7902
      @eliahgenya7902 4 года назад

      Barikiwa ndacha hapo hakuna wa kuweka muhadhara na wewe kwenye unabii .

  • @festokiraryo.6107
    @festokiraryo.6107 6 лет назад +4

    Waislam mumkiri yesu

    • @kipngetichtirop7024
      @kipngetichtirop7024 5 лет назад

      Uko sawa kabisa nitapataje nomber yako

    • @allyhamisi4709
      @allyhamisi4709 5 лет назад

      Kwan ww unamkir ? Kwanz ww huna andiko unalomfuwat issa mwana wa mariyam

  • @obediencekambale5804
    @obediencekambale5804 3 года назад

    Mungu akubariki Sana

  • @espoirbat5806
    @espoirbat5806 2 года назад

    Kula nguruwe sio zambi. Yesu alitakasa vyakula vyote (Marko 7:17-22

    • @funakoshtadash6163
      @funakoshtadash6163 9 месяцев назад

      Rafiki, kama umekomaa kura nguruwe wewe kale tu, Yesu anazungumzia matendo ya nje na mawazo ya moyo, anazungumzia ibada kwake, mukhutadha wa Yesu uko katika Mark 7:6, na ufafanuzi wa Yesu ni katika mstari 21,22. Ukiamua kujifanya huelewi ni umechagua kutokuelewa.

  • @michaelmaina990
    @michaelmaina990 Год назад

    Thanks!

  • @johnmuturigithinji3581
    @johnmuturigithinji3581 Год назад

    Daniel7 and ufunuo 17I like it

  • @muitajames7289
    @muitajames7289 Год назад

    Napenda sana haya maubiri

  • @kennedymatheka3007
    @kennedymatheka3007 2 года назад

    Good job, watu wapende ukweli

  • @ochungcalvince210
    @ochungcalvince210 3 года назад

    Roma mnyama mbaya kwelikweli

  • @bivonodeny8895
    @bivonodeny8895 4 года назад

    To me av learn and I will never be cheated or failed to read the Bible

  • @phabiandaniel5729
    @phabiandaniel5729 4 года назад

    Mimi nimtu ambaye nimejifunza kwako sana ubalikiwe

  • @schadracnsengiyumva6525
    @schadracnsengiyumva6525 2 года назад +1

    Mbona katika kitabo cha matendo ya mitume wamehalalisha nguruwe? ACT10:10

  • @financialloan9818
    @financialloan9818 6 лет назад +2

    Njoo tz uokoe taifa maana watu awamjui yesu kbs Uko mikoani ndo balaaa Mohammed katawala

    • @allyhamisi4709
      @allyhamisi4709 5 лет назад

      Ww hujuw t2 lakin huu nikwat wa muhammad , wakat wa issa umepita zaman sema nyinyi munaasi t2

  • @AsaphObed-s6m
    @AsaphObed-s6m 10 дней назад

    Kule Vidmate wanakata sauti apo mwisho inaonesha jinsi gan ni ukwer

  • @zacharynganga2124
    @zacharynganga2124 3 года назад

    Am in real class......be blessed

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 5 лет назад +1

    Kutavusiri bibilia kunastahiri roho mtakativu akuongoze.

  • @mtuwawatumtunamtu2520
    @mtuwawatumtunamtu2520 5 лет назад +1

    Mungu akubariki sana PR. Ndacha

    • @robertmwenda3536
      @robertmwenda3536 5 лет назад

      Ubarikiwe mtumishi karibu kwetu ilast board tz

  • @plujorilugano9489
    @plujorilugano9489 4 года назад

    MUNGU aliye Hai azidi kukufunulia zaidi na zaidi siri zake ili tupone

  • @kabojamalugu8174
    @kabojamalugu8174 5 лет назад +2

    Usikate tamaa wewe ukihubili wakaamini watu 2au4tosha jabisa ilaukweli ndohuoo

  • @emmanuelpeter5507
    @emmanuelpeter5507 4 года назад

    Amina

  • @nathankoechmutai5861
    @nathankoechmutai5861 5 лет назад +5

    kindly Evangelist Ndacha, i would like to be making a contribution to support the work of God whenever am blessed with anything, so give me the contact to your ministry if it is okay with you.How do i access copies of all your programs?I need to have it on a flash disk if possible.

    • @BIBLIANURUYADUNIA
      @BIBLIANURUYADUNIA  5 лет назад +2

      0705602959

    • @BIBLIANURUYADUNIA
      @BIBLIANURUYADUNIA  5 лет назад

      NATHAN KOECH MUTAI..NIMEFULAHI SANA KWA ANJILI YA KUFUATILIA MAFUDISHO,MUNGU WA MBINGUNI AKUPE MIMBALAKA WAKUFANYA USAPORT KAZI YAKE..AMEN

  • @abcdg1995
    @abcdg1995 4 года назад

    Waiting for MUSLIMS to understand the Bible is like waiting a ship at the Airport

    • @Ldm7846
      @Ldm7846 Год назад

      That's why we need the Holy spirit to guide us during teaching

  • @collinskombo1297
    @collinskombo1297 5 лет назад +1

    How can i get your books. collins in nairobi.

  • @personalcomputer1208
    @personalcomputer1208 2 года назад

    Pastor Nina swali mm ni muumin wa kristo wa kwel aliye hai
    Ila kuna kiumbe kinachanganya kichwa anasema yeye hana dini alafu Anatumia mistari ya biblia tena anasema mashetani watatu katika biblia ni uislam ukristo na uyahudi
    Msaaada kama ukisoma sms yang
    Na huyu Prophète Kacou 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @rosenyambura16
    @rosenyambura16 5 лет назад +2

    Ndacha juu watu Hawajui hizo namba namba za VICURIUS FII DEI.Ungewaamia hizo numerous zilitoka wapi.Coz most of the people they don't know.wanaweza sema ni wewe umeziweka ili zifikishe 666.

  • @saitotisapiyo7167
    @saitotisapiyo7167 5 лет назад +1

    Sasa una ona hapo tuwachane na hayo tutaongelelea badae ndacha wewe Noma.

  • @abdallamsanyumo5701
    @abdallamsanyumo5701 5 лет назад

    Kwani ukitakiwa kuja kuhubiri Tanzania inawezekana?