MCH. NDACHA ACHUKIA UNAFIKI WA WAKRISTO KUTOAMBIANA UKWELI KAMA AKINA DR SULLE NA USTADHI SHAFII

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024
  • MCH NDACHA NA MWALIMU MASSAWE WAMEUNGANA KATIKA KUHAKIKISHA WANALIFIKISHA KANISA LA MUNGU MBELE NA KUAMUA KUSEMA UKWELI JUU YA UKRISTO

Комментарии • 117

  • @HappyAlbatross-yx2dc
    @HappyAlbatross-yx2dc 5 месяцев назад +10

    Mmbarikiwe walimu kwa kazi nzuri muitendayo na mwenyezi mungu akipenda awajaze roho wake mtakatifu.

  • @Listondaniel
    @Listondaniel 3 месяца назад +2

    Mch. Ndacha ni mwalimu mzuri sana na ana hoja nzuri sana ila hupenda kuwadhalilisha wapinzani wake. Kwa mijadala ya kielimu sio vizuri kujipiga kifua. Akiwa mnyenyekevu ni mwalimu mzuri sana na sioni anayemshinda kwa hoja

  • @GideonLenard
    @GideonLenard 5 месяцев назад +3

    Hawa ndio walimu wa injili yani mtu asipowaelewa hatoelewa tena mafundisho yoyote mimi nimewafutilia vyokutosha mungu awape maisha marefu sana ilimusaidie watu

    • @AMwanjoka
      @AMwanjoka 5 месяцев назад

      Injili kadri ya uelewa wako na sio kadri ya kweli ya Kristo
      Shida ipo kwenye kuelewa Injili halisi inafananaje

  • @Fredlimbu
    @Fredlimbu 5 месяцев назад +2

    Barikiwa sana mtumishi,ukweli utabaki kuwa ukweli

  • @PaulRuben-eu5nh
    @PaulRuben-eu5nh 5 месяцев назад +1

    Amin mbarikiwa sana

  • @susankathure2382
    @susankathure2382 5 месяцев назад

    ❤❤❤congratulations son of the soil. Truth will set you free 🎉more grace brothers 🙏

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 5 месяцев назад +1

    Mubarikiwe watumishi

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 5 месяцев назад +5

    Ni kweli

  • @allen89j
    @allen89j 5 месяцев назад +2

    Vizur san

  • @douglasktnmose7186
    @douglasktnmose7186 4 месяца назад

    Thanks brothers for your strong massage to the world. I would like to join you with immediate effect, how will i get that foundermental believe of yours.

  • @SleymanKassim
    @SleymanKassim 4 месяца назад +2

    ndacha amekubali mafunzo ya waislam.wamekufuru wale wanaosema mungu ni watatu, na leo ndacha anathibitisha,

  • @LoezjosemwalapwaMwalapwa
    @LoezjosemwalapwaMwalapwa 2 месяца назад

    Ndacha🙏🇲🇿

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 5 месяцев назад +3

    Tuko pamoja na nyinyi, napenda kazi zenu

  • @funakoshtadash6163
    @funakoshtadash6163 5 месяцев назад

    Bwana awabariki sana watumishi wa Mungu

  • @haymanobonyo8829
    @haymanobonyo8829 5 месяцев назад +5

    napenda Ndacha Anamtangaza Mungu wakweli na njia ya Uzima wa milele

    • @berry4726
      @berry4726 5 месяцев назад +1

      Njia ndio nini?? Hata ya kwenda nyumbani kwangu bado ni njia.

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 5 месяцев назад

      Ameen

    • @myself4128
      @myself4128 4 месяца назад

      kasema Njia Ya uzima wa Milele,kwako sio uzimani pole sana ​@@berry4726

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 4 месяца назад +1

    Mimi niwambie ukweli nawapenda SANA sanaaaa naninawaelewa SANA Mbarikiwe SANA

  • @davidogero9796
    @davidogero9796 7 дней назад

    amen

  • @PeterSaqware
    @PeterSaqware 4 месяца назад +2

    Wekeni juhudi zenu pia katika maombi maana usomi na hekima za mwanadamu haziwezi kumfahamu Mungu. Note mahali ufahamu wenu unapoishia kufikiri ndo wa MUNGU unapoanzia so ni Bora sana msome lakini kutunza utakatifu na kumsikiliza Mungu Kwa kuomba Kwa nidhamu ya Hali ya juu sana

    • @Thepresentruthsministry270tv
      @Thepresentruthsministry270tv 4 месяца назад +1

      Wanaomba sana ndio sababu wapo hapa na watazidi kuwa mbele mpaka juu

    • @gabrielsaelie8091
      @gabrielsaelie8091 2 месяца назад

      ​​Naamini wa aomba sana@@Thepresentruthsministry270tvMungu atawapa hekima kwa kuwa wanaelezea ukweli wa Mungu

  • @loysamwel6308
    @loysamwel6308 5 месяцев назад +1

    Mko na kazi

  • @Onchieku-cp8wd
    @Onchieku-cp8wd 5 месяцев назад

    AMINA..

  • @Onchieku-cp8wd
    @Onchieku-cp8wd 5 месяцев назад +2

    NIKO HAPA..

  • @PeterKamau-ty9nl
    @PeterKamau-ty9nl 5 месяцев назад +5

    Mko naukweli

  • @willygwaikana
    @willygwaikana 5 месяцев назад

    Wasabato huihalalisha Sabato kwa kutumia maagizo ya Mungu kuhusu Amri hiyo yaliyo katika maandiko, lakini wajumapili huitetea jumapili kwa kutumia mawazo yao pasipo kutoa neno lenye agizo la Mungu kuhusu jumapili. Yeremia 23:15,16; 30-32,; Mithali 3:1-7 na Marko 7:6-13. Hivi kwa mfano Yesu atakapokuja akimuuliza mjumapili jumapili uliagizwa na nani kuitii jumapili? Hivi watamjibuje Yesu hao walioishika jumapili??!!!!

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 5 месяцев назад

    Mimi nawasalimia tu. Masawe panga mkutano Arusha, na ndacha awepo. Waislamu wamjue yesu. Barikiweni.

    • @salimakida95
      @salimakida95 5 месяцев назад

      @@petermgonja8547 waislam wanamjua yesu ,amezungumza kwenye quran surat mariam.Isispokuwa wakristo ndio hawamjui yesu aliyewaachia injili lakinj leo wanasoma biblia 😄 🤣 aliyeaambiwa wasile nguruwe leo wanakula

    • @salimchimwaga8384
      @salimchimwaga8384 5 месяцев назад +1

      Umesikia hawamjui???au wakusudia Yesu yupi Mungu wenu wa bandia au mwana wa mariamu??

    • @salimakida95
      @salimakida95 5 месяцев назад

      @@salimchimwaga8384 swali zuri sana 😄 wenyewe hawamjui ni yule mungu au mtoto wa mungu

  • @dancanomwenga1987
    @dancanomwenga1987 5 месяцев назад +1

    Safii sana, naendelea kuelewa Bibiria

  • @DaudiRobart-z8s
    @DaudiRobart-z8s Месяц назад

    Mwalim naomba namba Yako tafadhar Mimi nipo Tanzania naitaji pia kutoka huku ambako nimashaka meng

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 5 месяцев назад

    Shalom watumishi wa MUNGU, someni 1w yohana 5:8, itawasaidia, wa kristo tunaenda kanisani jumapili ni siku ya ushindi aliyofufuka katika mwili, nafsi yake ni MUNGU yohana 1:1-5, 12, 14, siku zote ni za MUNGU , ahano la kale alitenda kazi MUNGU, agano jipya YESU KRISTO, leo tuliokoka tunaongozwa na ROHO MTAKATIFU ni mwalimu wetu anatufundisha kuomba kuelewa NENO, na ndiyo maana ibada za watu waliokoka unaona kabisa uwepo wa MUNGU ukijidhihirisha waziwazi, sio manabii wa uongo walioandaliwa kuzimu hao kaa nao mbali

  • @hafidhali3020
    @hafidhali3020 5 месяцев назад +2

    Mtajuana Makafiri

    • @willygwaikana
      @willygwaikana 5 месяцев назад

      Hivi mwislamu anasafisha pua yake kwa maandiko yepi ya vitabu vyao? Naomba jibu wewe usie kafiri

    • @hafidhali3020
      @hafidhali3020 5 месяцев назад

      @@willygwaikana sjakufahamu,kusafisha pua? what does it mean?

    • @willygwaikana
      @willygwaikana 5 месяцев назад

      @@hafidhali3020 Hujafahamu kwa sababu dini yenu inaficha maovu ya Muhamad, mafundisho mabaya ya quran na hadith. Mafundisho ya ovyo ni aibu kuyaweka mbele ya watu. Hivyo hufichwa maana kama yakiwa hadharani, basi waislamu wengi wasio washabiki wataukimbia uislamu. Wewe Hafidh kama hujui kusafisha pua na sababu zake basi hujawa mwislamu wa kweli. Mwislamu wa kweli hata anafundishwa kuua wasio waislamu.

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 5 месяцев назад +1

    Hidini yakuungaunga sikuzote inambaska hakjilikani imetokea wapi hata yesu mwenyewe haijui walakuanzisha ukristo walahajahi walakuwaita wanafunzi wake wakristo

    • @AMwanjoka
      @AMwanjoka 5 месяцев назад

      Hoja za kitoto kama hizo ndizo. Zinakufanya tuendelee kuishi gizani ukiamini Giza ndiyo Nuru yenyewe
      Pole sana
      Yesu ambaye Yu hai sasa akiwa mbinguni kwa Baba
      Sasa hoja yako inakufa kwa kuwa zaidi ya miaka 2000 "binadamu" Yesu yuko hai kwamba ile ya mwanadamu u mavumbi na mavumbini utarudi HAIMHUSU YESU, kuamini kuwa Yesu ni mwanadamu mwenzako na shida ya kutafakari tu

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo9775 5 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 5 месяцев назад

    ✌️👊🙏.

  • @MeshackKaboja
    @MeshackKaboja 2 месяца назад

    Mimi naitwa meshack kaboja malugu nipo geita tanzania naomba geita tuweke kanisa

  • @otaibonny8835
    @otaibonny8835 5 месяцев назад +3

    Ninyi hamtangazi yesu ila msimamo wenu.. hubiri yesu

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 5 месяцев назад

      Wataka wakitembea wataje kila waendapo Yesu Yesu Yesu...som Isiah58:1 yaeza kuwa wewe sio Mkristo ni mpiga Kristo..Acts18:28 Paulo twajifunza kwake Acts17:2

    • @otaibonny8835
      @otaibonny8835 5 месяцев назад

      @@OLUNGAJOSHMAH hawa wanatangaza dhehebu Yao, si yesu..

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 5 месяцев назад +1

      Nyinyi mmejawa na unafiki ndacha yupo sahihi

    • @otaibonny8835
      @otaibonny8835 5 месяцев назад

      @@msemakweli243 unafki gani Ndacha niambie katika harakati zake TZ, wameweza kushinda watu wangapi kwa kristo.
      Hawa kazi Yao ni kushindana na madhehebu nyingine za kikristo si kutangaza neno njema. Eti sabato, Mara nini nilifuata mjadala yake na mchungaji moja kuhusu sabato..
      hawa ni naibu mungu na wameingia itilafu

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 5 месяцев назад

      @@otaibonny8835 sasa wewe unavyoonekana hata bibilia uijui maana ukijua kuwa amri na sheria ni za milele sasa ninyi watu wa j2 si mnafunga kwaresima imeandikwa wapi na mnashelekea kirsimax ndo maana unaona kama ndacha ni mkosefu lkn ukweli yupo sahihi

  • @kitengemetshwaya7752
    @kitengemetshwaya7752 5 месяцев назад

    Samhani jatahiti kunyenyekea kwa mungu atakufunulia zaidi kuna neno imekupungua nalo ni hi, unasema bado nashika amri y 4 ndo maana ya kuwa we n msabato je ikishika yote utaitwaje?

  • @JamesMoses-jd1yq
    @JamesMoses-jd1yq 5 месяцев назад

    Ndacha nakukubali asilimia kadhaaaaa

  • @AMwanjoka
    @AMwanjoka 5 месяцев назад

    Haiwezekani kwamba Msabato awe na Mkristo na Mluthery naye awe Mkristo wakati msingi wa imani ni tofauti
    Hivyo kuna ambaye ni mkristo kweli na mwingine ni mzushi anayejiita Mkristo

  • @ackimackim1880
    @ackimackim1880 5 месяцев назад

    AMRI KUU NI UPENDO, SABATO IPO NDANI YETU KILA SIKU,YESU NDIYE SABATO.SIKU ILIKUWA AGANO LA KALE KABLA YA KRISTO.

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 4 месяца назад

    Kwahiyo kanuni za imani zilibadilishwa kuwa msingi ya imani na vyote vinatumika na SDA

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 5 месяцев назад +1

    Pastor Ndacha ungeokoka ukakubali kuongozwa na ROHO MTAKATIFU MUNGU anekutumia vizuri sana angekutumia uwalete watu kwa YESU KRISTO, YESU aliwauliza ni nani kati yenu n'gombe wake akatumbukia kwenye shimo akamwacha?, ombi langu kwa MUNGU akupe Neema ya wokovu

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 5 месяцев назад

      @@PeterJonathan-c8k hujui mengi ndacha yupo sahihi

    • @landelinusbyabato2512
      @landelinusbyabato2512 5 месяцев назад +1

      Kwani kuokoka ni kusali jumapili?

    • @PeterJonathan-c8k
      @PeterJonathan-c8k 5 месяцев назад

      @@landelinusbyabato2512 jibu ni siku ya ushindi ya kufufuka kwake BWANA na MWOKOZI wetu YESU KRISTO

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 5 месяцев назад

      Nyie mbona waongo mungu ni mmoja alie baba huyo ndacha anasema juzi ulikua unasema yesu ndio mungu sasa nyie mnaakili timamu kweli?

    • @PeterJonathan-c8k
      @PeterJonathan-c8k 5 месяцев назад

      @@MohamedMohamed-u3t1n kila mtu ashike alicho nacho, siku tukivua miili itajulikana, elewa YESU ni MUNGU

  • @PaladinInsurance
    @PaladinInsurance 5 месяцев назад

    Ndacha kafunguka baada ya kushindana na waislam kapata elimu kubwa, masawe ni adui wa uislam

  • @PeterMashiku-qx7xw
    @PeterMashiku-qx7xw 5 месяцев назад

    Ukiwa hujuwi maana ya sabato utateseka sana

  • @OsmanXossen
    @OsmanXossen 5 месяцев назад

    Kubalianeni nyinyi wakristo kwanza Kisha ndio mje muambie waisilamu miungu yenu ni mingapi

  • @PaladinInsurance
    @PaladinInsurance 5 месяцев назад

    Masawe na ndacha wanataka kuazisha kanisa lako ili wavuje usabato siku hizi makanisa ni viwanda ya kutengeza na kufafuta kuibiya wasio elewa dini haswatana wakiristo hawa jielewi wanako elekea

  • @JamesMoses-jd1yq
    @JamesMoses-jd1yq 5 месяцев назад

    Ndacha hana mpinzani

  • @dullahfar7775
    @dullahfar7775 5 месяцев назад

    Naamini ndacha muda si mrefu atavaa kanzu na kofia ya kitani

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 5 месяцев назад

    Upuuzi

  • @salisali3738
    @salisali3738 5 месяцев назад

    😅😅😅

  • @MwasabuniSuleiman
    @MwasabuniSuleiman 5 месяцев назад

    Wasabato na mnasoma vitabu vya Paulo mwanzilishi wa ukatoliki

  • @rodgerskiponda7871
    @rodgerskiponda7871 5 месяцев назад

    Mimi naona wanacho kiamini hawa,ndicho wanacho kiamini hata wale wengine ila shida ni utofautiano ktika maelezo.

  • @wilsonkinga
    @wilsonkinga 5 месяцев назад

    Na waliomsulubisha YESU ni wasabato

    • @qerysir4410
      @qerysir4410 5 месяцев назад

      Sema Wayahudi!
      Wakati huo hapakuwa na madhehebu yaliyoko sasa, wote waliitunza siku ya Bwana

    • @filexbenefits5612
      @filexbenefits5612 5 месяцев назад

      You will never get salvation with such understanding unless you loosen your heart

    • @JamesMoses-jd1yq
      @JamesMoses-jd1yq 5 месяцев назад

      Fata mafundisho ya ndacha

    • @willygwaikana
      @willygwaikana 5 месяцев назад

      Ukisema hivyo, basi hujui kuwa Yesu aliuawa na dhambi za ulimwengu tangu Adam. Ina maana wewe umekataa kuwa hukuua Yesu. Waliohusika kumuua Yesu kimwili waliwawakilisha wote waliomuua Yesu Kiroho maana walimwengu wote wadhambi wasingekusanyika Yerusalemu kumuua Yesu. Lakini ujue pia kwamba waliomlilia Yesu mitume na wanawake wote walikuwa wasabato. Wajumapili hawakuwepo kipindi hicho. Lakini Mwanzilishi wa Sabato ni Mungu, ndiye msabato namba moja maana ndiye alietamka kuibariki na kuitakasa Sabato na yeye Mwenyewe akapumzika siku hiyo na ndipo kuwaamuru wanadamu waikumbuke na kuitakasa. Yesu atakapokuja sijui utamjibu nini atakapokuuliza nani alikuamuru uishike jumapili. Utamjibuje, Hebu jibu tuone.

  • @VianneyNkurunziza-j3s
    @VianneyNkurunziza-j3s 14 часов назад

    Mutacoka kabisa muko munajisumbulia bure kwasababu hamunaandiko mungu aka wafanya wa sabato ?

  • @OsmanXossen
    @OsmanXossen 5 месяцев назад

    Km nyinyi wenyee taari Kuna unafki ndani yenu waislamu mtawaambia nini seriously

  • @HoseaAnjelus
    @HoseaAnjelus 5 месяцев назад

    Mwalimu ndacha nisaidiye namba yako nikukupigiye nipate kuelewa mahali inafaa kwenda kwenye ukweli

  • @PascasMathew
    @PascasMathew 5 месяцев назад

    Ndaca kwani kuelewa kwako ndiko kutafanya wote waelewe kua uko saw ? Wewe umesoma na wengine wamesoma wote nao ndivyo walivyoelewa . Mungu humfunulia kila mmoja jinai apendavo . Fainali ni hukimu ya mwisho.

  • @MuhindoNgoma
    @MuhindoNgoma 5 месяцев назад

    Muko katika kupapasa papasa ukweli ila ni vema pia kuenda vyio vya biblia ili kuelewa zaidi ila pia makasi kiukweli yana mifumo yake ambayo yote ni taratibu za biblia

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 5 месяцев назад +1

    Kama nyiehamuwezikutambua utatuwaMungu yesu nauungu wake mutautautambuajesasa?

  • @thekingdragon8358
    @thekingdragon8358 3 месяца назад

    jibu lenu na njia sahihgi lipo katika uislamu sivyo mtangaika kutafuta ukweli na hamtopata sababu inamana nyie ndo wakristo wa kweli wengne hawajielewi ama mnataka kusema nyie ndo njia correct ya kuenda mbinguni wakristo wengne na waliotangulia kabla yenu kimewaramba sio

  • @adamcharo9327
    @adamcharo9327 5 месяцев назад

    Huyu ndacha very soon atakuwa muislam.

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 5 месяцев назад +2

    Bado ajasema

  • @solihanegier890
    @solihanegier890 5 месяцев назад

    Makafiri wakubwa nyie endeleeni tu kukufufu iko siku mtaijuwa ukweli

    • @DavidMatata
      @DavidMatata 5 месяцев назад

      Mtumie wako mohamedi alikuwa chizi,alitumwa na allah(shetani)na malaika zake (majini).. Takbirrr.

    • @willygwaikana
      @willygwaikana 5 месяцев назад

      Hivi kama wewe sio kafiri kwanini mnasafisha pua zenu mara tatu. Leta jibu sababu ya kusafisha hiyo pua yako, unasoma wapi kwenye vitabu vyenu.

    • @DavidMatata
      @DavidMatata 5 месяцев назад

      @@willygwaikana Kafiri mwenzangu mtume mohamedi.

  • @bisagakaboboye8060
    @bisagakaboboye8060 5 месяцев назад

    Hao jamaa biblia hawaielewi. Kama Mungu ana nafsi moja je Yesu wanamwamini kama nani? Hawaoni kama wanajichanganya?

  • @harrisonodiwa7248
    @harrisonodiwa7248 5 месяцев назад

    Hivi mwalimu Ndacha unaposema umejitenga una ministry wako yamaanisha una kanisa lako? Balaa! Mimi mbona ni muadventista msabato na siamini kwa utatu,hivyo hautumii vitabu za HGW?Inekuwa heri useme wewe ni muadventista msabato wa awali.

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 5 месяцев назад

    Hamna uwezo wa kuwaingiza waislamu kwenye ukafiri labda kwa kuwalipa fedha kama mlivofanya kwa murtad yule msomaji clip yake ipo anasema kafata nini huko

  • @ackimackim1880
    @ackimackim1880 5 месяцев назад

    MASAWE NA NDACHA,WOKOVU NI KILA KITU,KUBALINI TU KUOKOKA ,MTAKUWA NA NGUVU ROHONI NA MWILINI.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 5 месяцев назад

    Unafiki ni upi sasa Masawe? Nyinyi mnaishi kwa sheria na wenzenu wanaishi kwa neema, na maandiko yako wazi!!? Na kiukweli wasabato wa siku siyo Wakristo, walimkataa Yesu, wanakuwaje wakristo?

    • @qerysir4410
      @qerysir4410 5 месяцев назад

      Sasa ukiwa na 'neema' ndio uende ukaibe? Neema haiondoi sheria!

    • @JamesMoses-jd1yq
      @JamesMoses-jd1yq 5 месяцев назад

      Kama Una hoja basi kamtafute ndacha

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 5 месяцев назад

      ​@@JamesMoses-jd1yqNa wewe kama unamuamini mwalim ndacha mwambia amtafute bishop ngonyani amfundishe maandiko , hakuna mkristo msabato sabato NI ya wayahudi , kama unabisha nenda kagoogle hiyo movement yenu ya seven day Adventist ilianzia wapi kama sio ya miaka 1840, William Miller alipokosea kupiga mahesabu ya kurudi Kwa Yesu na akaamua kutoweka , wakaja watetezi wake ,kama Joseph bite, Helen G white ndo wakaleta hiyo siku ya sabato ,ambapo wakristo wa kwanza hawakuwahi kusali siku ya sabato bali wayahudi

    • @willygwaikana
      @willygwaikana 5 месяцев назад

      Hujui usemacho, ni bora ujishushe uulize kuliko kulishwa maneno ambayo huwezi kuyajibu Yesu atakapokuja kukuliza jumapili uliagizwa na nani!!!

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 5 месяцев назад +1

    Tuko pamoja na nyinyi, napenda kazi zenu