Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa Neno zuri sana...umetumia maandiko kwa kusema ukweli...YOHANA 14:6 Njia pekee ya kwenda mbinguni ni katika Yesu Kristo pekee...njia zingine zote ni kupotea..Namshukuru sana Mungu kwa kuniokoa kupitia Yesu Kristo.
Mungu kaumba Majini na binadamu ili wamuabudu yeye na hayo ni maneno ya Mungu mwenyewe ndani ya Quran (WALA SIKUWAUMBA MAJINI NA BINADAMU ISPOKUWA WANIABUDU MIMI)
Shidaaa nikuwa MUNGU wa kwenye Biblia c MUNGU wa kwenye Quran hapo ndipo watu wanashindwaa kutambua na ubishii hauwezi kuishaa kwamaana kila mtu hapo na imani yake.
Na ndomaana Quran unawezaa kulogeaa kitu chochotee yaan ushirikina lkn Biblia haiwezii na inakatazaa huoni hapo Tofauti? Muhammad alipozaliwa majini na mashetani yalishangilia YESU KRISTO alipozaliwa malaika mbinguni walishangilia huoni Tofauti hapo? Biblia iliandikwa na manabii wakiongozwaa NA ROHO WA MUNGU LKN QURAN WALIOANDIKA WALE AKINA OMARY WALIKUWA WANAPANDISHAA MASHETANI KICHWANI HUONI TOFAUTI HAPO??
@@0badiaMwasongwe-rt1wr Naomba andiko yakuwa Mtume Muhammad SAW alipozaliwa mashetani walifurahia usilete maneno yko,na ukumbuke pia Quran ndo mwongozo wa maisha,na hata Mungu ndani ya Quran kuna Aya zinatulinda na mabaya lkn hakuna Aya ya kuroga na ukumbuke huo ulimi wako kesho kwa Muumba utakwenda kujibu
Wakristo njoeni huku ivi huyu ndio padri au mchungaji?? Jaman wakristo somoni dini huyu mchungaji hana elimu ya dunia wa ya akhera hamna analolijua inalilah
Mwaka 570BK alizawali mtu aliyekuja kuleta sumu mbaya sana mwaka 610BK alitokewa na shetani akampa kazi ya kudanganya watu. Mamailioni wanapotea na imani ya uongo😭😭😭😭
Sidhani kama wengi wanatamba huyo mtu alikuwa possessed na evil spirit na pia suicidal thoughts may be ndo mana followers wa hiyo MTU wote wana suicidal traits na almost as if always possessed with the DRAGON
@@mtz5582 Mafundisho gani yanaonesha ana evil spirit? Jaribuni kuwa fair basi japo kidogo. Hivi dini inayoruhusu ushoga, dhambi ambayo Mungu aliangamiza jamii nzima kwa gharika inatafsiriwa ndio dini ya Mungu? kuweni fair...
Luka 4:17-19 Neno: Bibilia Takatifu 17 Akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifun gua mahali palipoandikwa: 18-19 “Roho wa Bwana yu juu yangu. Amenichagua kuwahubiria maskini Habari Njema. Amenituma kuwatan gazia wafungwa kuwa wako huru, kuwaambia vipofu kuwa wanaweza kuona tena; na kuwaweka huru wanaoonewa, na nitangaze mwaka ambao Bwana atawabariki watu wake.”
@@selemanimchana3598 Hivi kweli Allah alimtuma malaika wake kwa marehemu Muhammad akamuomba asome japo hajui kusoma wala kuandika? Allah hakujua kwamba marehemu Muhammad hakujua kusoma wala kuandika? Alafu akamufinya...
HATA PAULO ALICHUKULIWA NA JINI! 2 Wakorintho 12:7. 7. Na makusudi nisipate kujivuna kupita kiasi, kwa wingi wa mafunuo hayo nalipewa mwiba katika mwili, mjumbe wa Shetani ili anipige, nisije nikajivuna kupita kiasi. 1 Timotheo 1:20. 20. Katika hao wamo Himenayo na Iskanda, ambao nimempa Shetani watu hao, ili wafundishwe wasimtukane Mungu.
UCHAWI UPO ISRAELI! Isaya 47:12. 12. Simama sasa na uganga wako, na wingi wa uchawi wako, uliojitaabisha nao tangu ujana wako; labda utaweza kupata faida, labda utaweza kushinda. Matendo ya Mitume 13:6. 6. Walipokwisha kupita katikati ya kisiwa chote mpaka Pafo, wakaona mtu mmoja, mchawi, nabii wa uongo, Myahudi jina lake Bar-Yesu;
Mbona Mungu Wako alishirikiana na Majini? 1 Wafalme 22:20.,21.,22.,23. 20. BWANA akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili akwee Ramoth-Gileadi akaanguke? Basi huyu akasema hivi; na huyu hivi. 21. Akatoka pepo, akasimama mbele za BWANA, akasema, Mimi nitamdanganya. 22. BWANA akamwambia, Jinsi gani? Akasema, Nitaondoka, na kuwa pepo wa uongo kinywani mwa manabii wake wote. Akasema, Utamdanganya, na kudiriki pia; ondoka ukafanye hivyo. 23. Basi angalia, BWANA ametia pepo wa uongo kinywani mwa manabii wako hawa wote; naye BWANA amenena mabaya juu yako.
Majini nimalaika waliowaasi,ndio maana mungu akawatupa hapa duniani ili wakae mbali na mungu mpaka siku ya kihama,toka kwa hio dini yamajini waliosilimu njoo kwa njia iliyo nyooka ambayo ni yesu kristo ndie njia,kweli,na uzima, kariba,
IBILISI MWENYE-KITI WA KANISA NI JINI ..? Ufunuo wa Yohana 2:12.,13. 12. Na kwa malaika wa kanisa lililoko Pergamo andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na huo upanga mkali, wenye makali kuwili. 13. Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani.
MAJINI HUWAINGIA WAKRISTO! Mathayo 12:43.,44.,45. 43. Pepo mchafu, amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika, asipate. 44. Halafu husema, Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka; hata akija, aiona tupu, imefagiwa, na kupambwa. 45. Mara huenda, akachukua pamoja naye pepo wengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo; na mtu yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza. Ndivyo itakavyokuwa kwa kizazi hiki kilicho kibaya. HAKUNA AYA HATA MOJA YESU AKISEMA LIVE KUWA DAMU YAKE NI KINGA YA MAJINI AO MASHETANI! UNANUKUU UFUNUO AMBAO NI NDOTO SI MAMBO HALISIA! WAPI AYA YESU AKISEMA LIVE KUWA DAMU YAKE NI KINGA YENU DHIDI YA MAJINI??.
@@msemakweli243 wewe huwezi fahamu wanasoma vitabu wanavyotaka wao wanabadili maana, kwa mfano biblia inasema wakujuwe wewe Mungu wa kweli na pekee na yesu uliyemtuma...sasa hapa Mungu wa kweli na pekee wakristo wanabadili mnasema mmoja lkn ana utatu, yesu pia na yeye ni Mungu umeona tatizo lenu
Eti Quran ina vyanzo vinne: Taurat,Injili na zaburi, Baada Muhammad kurogwa na Kwenye Mashairi. Huyo ndio Daniel, chuki yake juu ya uislaam yamsukuma kusema lolote la uongo, bila kujali kwamba anayoyasema yana baki na wajukuu zake watayasoma na watauona uwongo wake.
Katika viumbe wote walioumbwa na mwenyezi Mungu ni viumbe wawili ndiyo wamemkana mwenyezi mungu na kumzushia uongo anae mpinga uyo hanaesabika ni shetani jiulize uko kundi gani
Weeeeeee koma nyokooo unajua Qur'an gani shindwe ,,,,mtume wetu hana mahusiano n majini Wala nini hivi viumbe kama mimi na wewe tena ukome ukomae ulimwengu wao tofauti na sisi Wana maisha yao wanaoa wanaolewa juu n viumbe wanatuona hatuwaoni kwa uwezo w Allah
KUHUSU NABII MWONGO PAULO AMPINGA YOHANA UNAYENUKUU! PAULO AONA MTUME MWONGO NI YULE ATUMIAYE HILA! 2 Wakorintho 11:13. 13. Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo. NA KATIKA HAO WAONGO MMOJA WAO NI PAULO MWENYEWE! 2 Wakorintho 12:16. 16. Lakini na iwe hivyo, mimi sikuwalemea; bali kwa kuwa mwerevu naliwapata kwa hila.
Inaonesha hajui kuwa malaika hawana sifa ya kumuasi MUNGU, kwa hiyo si kweli kamba majini ni malaika walioasi, malaika ni viumbe wengine na majini ni viumbe wengine. Kama hamjui semeni mfahamishwe.
@@Hussein-gx4qu aja kupingana na qurani Muhammad alisimu mapepo au kwa lugha nyingine majini sule anayatumia kukanga watu pamoja nakutoa kafara cku mnaita yakujinja majini husheherekea damu unadhani hatujui
@@FridayMwassa Soma vitabu, malaika hawajaumbwa na matamanio, wao wameumbwa kutii amri ya Mungu hawajawahi kuasi tangu kuumbwa kwao. Majini ni viumbe walikuwepo kabla ya binadamu na malaika ni viumbe wengine kabisa hawafanani na viumbe wengine.
AMBIA WATU HAWA PEPO WA CHAFU WANAWATII WAKRISTO KWA NJIA IPI KATI YA NZURI NA MBAYA? Luka 10:17. 17. Ndipo wale sabini waliporudi kwa furaha, wakisema, Bwana, hata pepo wanatutii kwa jina lako.
JE, MUHAMMAD ALIKUA MKRISTO ALI AWE NABII WENU AO MTUME WENU MUONGO? DANIELI UMEJAA UONGO KAMA MUNGU WAKO! Yeremia 4:10. 10. Nami nikasema, Aa, Bwana MUNGU! Hakika umewadanganya sana watu hawa na Yerusalemu, ukisema, Mtakuwa na amani lakini upanga umeingia katika nafsi za watu.
ELIM NI PANA NA UELEWA UMEFICHWA KATIKA KUULIZA, ACTUALLY SIKITIKO LANGU NA HUZUNI YANGU NI KWAMBA WEMGI HAWANA ELIMU, HAWAJUI NA HAWAJUI KAMA HAWAJUI NA HAWAKO TAYARI KUJIFUNZA.. HUYU NAE ANAJITATHMINI KAMA MWALIMU..!! ELIM NI BAHAR BADO UNASAFARI NDEFU SANA..
Mwalimu unapunguza ukali ukweli nomashetani kwasabab Majin nikizazi Cha ibilisi alie akolewa na malaika wakati alla alipo ombwa na malaika waje kuangalia je kipikilichobaki wakamkuta mtoto mdogo ndio anebaki nae alikua ni ibilisi wakamchukua wakampeleka ndio hao maji vp shetani awe na kizazi chema nimashetani Huu ndio wislamu kwetu sis wakristo huu upagani haupo wao ndio wametusimulia
Jini si malaika kwa imani ya kiislamu, ni viumbe viloumbwa na Mwenyezi Mungu kwa moto kama binaadamu walivyoumbwa kwa udongo. Malaika wameumbwa kwa nuru na hawawezi kumuasi Mwenyezi Mungu kamwe. Sasa kwa imani yenu mnaweza kuzungumzia viumbe vyengine tofauti na wanavyovizungumzia waislamu kwa kuwa waislamu hawaamini majini kuwa ni malaika
KINACHO WATATIZA NYINYI NIKWAMBA HUWA MNADHANI NAKUAMINI UNAPOISHIA UKOMO WA MTU KUFIKIRI KATIKA JAMBO FULANI HUWA NDO UHALISIA NA MWISHO WAKE THUS WHY MNAHITIMISHA KUPATA MATOKEO KTK JAMBO.. BASI ENDELEENI KUWEKA MIPAKA KATIKA AKILI ZENU ILI MSIPATE KUJUA KILICHO NJE YA UFAHAMU WENU.
SHETANI HUWAPEPETA NA KUWAINGIA WAKRISTO YESU MWENYEWE AKIWEPO ACHA UONGO! Luka 22:3.,31. 3. Shetani akamwingia Yuda, aitwaye Iskariote, naye ni mmoja wa wale Thenashara. 31. Akasema, Simoni, Simoni, tazama, Shetani amewataka ninyi apate kuwapepeta kama vile ngano;
Hivi huyu mchungaji yeye mwenyewe anasoma kwa kiswahili na bado haelewi anachojaribu kueleza sheikh...ni kwamba anapinga hakuna jini mwema anaemkaa mtu kichwani
MUHAMMAD ALOKIRI ISA NI MTUME ,ROHO NA NENO LAKE ALLAH LEO WEWE WAMTUHUMU NI MWONGO? { يَٰٓأَهۡلَ ٱلۡكِتَٰبِ لَا تَغۡلُواْ فِي دِينِكُمۡ وَلَا تَقُولُواْ عَلَى ٱللَّهِ إِلَّا ٱلۡحَقَّۚ إِنَّمَا ٱلۡمَسِيحُ عِيسَى ٱبۡنُ مَرۡيَمَ رَسُولُ ٱللَّهِ وَكَلِمَتُهُۥٓ أَلۡقَىٰهَآ إِلَىٰ مَرۡيَمَ وَرُوحٞ مِّنۡهُۖ فَـَٔامِنُواْ بِٱللَّهِ وَرُسُلِهِۦۖ وَلَا تَقُولُواْ ثَلَٰثَةٌۚ ٱنتَهُواْ خَيۡرٗا لَّكُمۡۚ إِنَّمَا ٱللَّهُ إِلَٰهٞ وَٰحِدٞۖ سُبۡحَٰنَهُۥٓ أَن يَكُونَ لَهُۥ وَلَدٞۘ لَّهُۥ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِۗ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ وَكِيلٗا } [Surah An-Nisāʾ: 171] Ali Muhsin Al-Barwani: Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha.
Yaani ww unae muhoji una kosea ume shindwa kumuuliza maswali ya umuhimu. Alipo sema majini ni malaika waasi kwanini asinge kupa Usha hidi kwenye vitabu kuthibitisha hayo maneno yake.
yesu ni mwana wa mungu amerithi jina la babake sio Mungu wewe vipi?. kwani mtoto wako hawezi tumia jina lako?. ni follow upate elimu utoke kwa dini ya mohammed na uchawi anawafundisha yenye walikuwa wakiabudu kule makkah.
Kwa nini tukio la kusulubiwa na kufa na kufufuka kwa Yesu liwe jambo la kiimani? kwani halikutokea hapa Duniani? kwani halikushuhudiwa na watu? walio lishuhudia-kama wapo-agizo la kuamini litawafaa nini?
Wewe mchungaji huna akili timamu,kwanza useme jini ni kiumbe au si kiumbe kama ni kiumbe aliumba kwa lengo gani?kwani binadamu muasi si kiumbe?acheni kupotosha watu

Mchungaji wako ndacha ameweka wazi kwamba Yesu ana asili ya Mungu, tena akapiga mfano wa mtoto wa ng'ombe kuwa naye ni ng'mbe kwa bababu ana asili ya ng'ombe mamaake.Sasa basi ukiwa na ng'ombe na mtoto wake unakuwa na ng'ombe wawili. Je ukiwa na Mungu na mtoto wake mwenye asili ya mungu babaake una Miungu wangapi? Na kama amechanganya asili mbili, basi huyo ni mungumtu.
Mchungaji mimi sina elimu saana! Ila kuna malaika na majini, na ndio maana wakati mungu alipowaamuru malaika wamsujudie adamu lakini ibilisi alikataa kwa kua yeye sio miongoni mwa malaika, hujawa na elimu bado
Huyu jamaa hata haelewi, sasa hapa anatuambia ni madai majini hudai kuwa wanatoka miji mitukufu na hujiuwanisha na majina mazuri kama vile sharif, huyu jamaa hajielewi kiswahili kina mchanganya
Ukafiri mbaya sana yani wanalazimisha malaika waliasi hakuna malaika wanaoasi sifa ya malaika hawamuasi mwenyezi mungu elimu za kukaririshwa na paulo itawapeleka motoni
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa Neno zuri sana...umetumia maandiko kwa kusema ukweli...YOHANA 14:6 Njia pekee ya kwenda mbinguni ni katika Yesu Kristo pekee...njia zingine zote ni kupotea..Namshukuru sana Mungu kwa kuniokoa kupitia Yesu Kristo.
Asante Mwalimu Kuna Watu tunapona sana Be Blessed Bwana Yesu Mzuri sana
Haujapona chochote msikilize vizur anachoongea usifuate visherehesho tu
@@SaidIsmail-f1jkwaani kuna uongo gani aliyosema mwalimu Daniel wakati kasoma vitabu vyenu
@@SaidIsmail-f1jwe njoo kwa Yesu ndugu ndo kuna amani ya kuwakwepa majini, la sivyo wewe na majini subirini jiko la moto wa adhabu 😢
Mwenyezi mungu akubariki sana pastor Daniel mwendelee kutubariki na ujumbe
Asante mwalimu Daniel mwankemwa, MUNGU akulinde saaana,barikiw
Mbarikiwe Sana Watumishi Wa Mungu Kwa Elimu Hiyo Mnazidi Kutufumbua Akili"
Mungu ni mkuu,barkiwa daniel,mungu akulinde
asante mtu wa mungu nataka kujua sana nakwa ndani.
Asante mtumishi Daniel tumefunguliwa kwa elimu hiyo
daniel tunashukuru sana kwa kuzidi kufumbua ukweli hao ndugu zetu wamjue yesu wakweli mwana wa mungu aliye hai
Anaongea pumba tu tangu neno lake la kwanza kafanganya mtaliwa sana Hela nyie na mtapotezwa sana
Duh, na wewe nawe, Mara yesu mwana wa Mungu mara ndie Mungu😂 mbona hamueleweki nyinyi??? mmerogwa?
@saidimkwinzu9106 Mmezoea kudanganywa ndiyo maana mnachukia ukweli
Ustadhi Daniel ameiva kwa Neno Bwana akutie nguvu
Usimshushe thamani mtumishi wa Mungu,kwa kumuita ustaadh(mwalimu wa Quran,majini) muite Pastor au Muinjilisi,au Mwalimu wa Neno la Mungu
@@Mahershalalhashbazi-kf6xi hana anachojua yy tu anashindwa kutofautisha majini na malaika ww unamuona bonge la mwalimu malaika hajawai kuwa jin
@@mayangeramadhani8497
Soma ufafanuzi wa Surat Al Fatiha utajuwa anachokisema Mwalimu Daniel
Mungu kaumba Majini na binadamu ili wamuabudu yeye na hayo ni maneno ya Mungu mwenyewe ndani ya Quran (WALA SIKUWAUMBA MAJINI NA BINADAMU ISPOKUWA WANIABUDU MIMI)
Shidaaa nikuwa MUNGU wa kwenye Biblia c MUNGU wa kwenye Quran hapo ndipo watu wanashindwaa kutambua na ubishii hauwezi kuishaa kwamaana kila mtu hapo na imani yake.
Na ndomaana Quran unawezaa kulogeaa kitu chochotee yaan ushirikina lkn Biblia haiwezii na inakatazaa huoni hapo Tofauti? Muhammad alipozaliwa majini na mashetani yalishangilia YESU KRISTO alipozaliwa malaika mbinguni walishangilia huoni Tofauti hapo? Biblia iliandikwa na manabii wakiongozwaa NA ROHO WA MUNGU LKN QURAN WALIOANDIKA WALE AKINA OMARY WALIKUWA WANAPANDISHAA MASHETANI KICHWANI HUONI TOFAUTI HAPO??
@@0badiaMwasongwe-rt1wr Naomba andiko yakuwa Mtume Muhammad SAW alipozaliwa mashetani walifurahia usilete maneno yko,na ukumbuke pia Quran ndo mwongozo wa maisha,na hata Mungu ndani ya Quran kuna Aya zinatulinda na mabaya lkn hakuna Aya ya kuroga na ukumbuke huo ulimi wako kesho kwa Muumba utakwenda kujibu
@@0badiaMwasongwe-rt1wrbibilia ina n
mpaka nyaraka za Enonga
@@binseif2216msikilizeanatoa Aya kwenye vitabu vyenu auusikiliziiii????
Asante sana mtumishi KAZI Yako ni Njema.
Umeeleza vizuri Sana .
Wakristo njoeni huku ivi huyu ndio padri au mchungaji?? Jaman wakristo somoni dini huyu mchungaji hana elimu ya dunia wa ya akhera hamna analolijua inalilah
Kwa hiyo hivyo vitabu nivya uongo anavyo Soma?
Quran 3:7
Ongea ukweli na wewe tukusikie.
Worth watching 😊
Mtangazaji uko vizuri bro
Na wakati mnaanguka makanisani uwa mnaangushwa na nini?
Tv chanel ya mwakemwa huitwaje?
Wakristo someni majini wanaishi mikunduni mwenu.soma matayo 12:40-45
🤣🤣🤣🤣
Mwaka 570BK alizawali mtu aliyekuja kuleta sumu mbaya sana mwaka 610BK alitokewa na shetani akampa kazi ya kudanganya watu. Mamailioni wanapotea na imani ya uongo😭😭😭😭
Sidhani kama wengi wanatamba huyo mtu alikuwa possessed na evil spirit na pia suicidal thoughts may be ndo mana followers wa hiyo MTU wote wana suicidal traits na almost as if always possessed with the DRAGON
@@mtz5582 Mafundisho gani yanaonesha ana evil spirit? Jaribuni kuwa fair basi japo kidogo. Hivi dini inayoruhusu ushoga, dhambi ambayo Mungu aliangamiza jamii nzima kwa gharika inatafsiriwa ndio dini ya Mungu? kuweni fair...
Yesu pia hakusoma, niambie wapi yesu aliambiwa soma, lakini Muhammad aliambiwa soma kwa jina la Allah
Luka 4:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
17 Akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifun gua mahali palipoandikwa: 18-19 “Roho wa Bwana yu juu yangu. Amenichagua kuwahubiria maskini Habari Njema. Amenituma kuwatan gazia wafungwa kuwa wako huru, kuwaambia vipofu kuwa wanaweza kuona tena; na kuwaweka huru wanaoonewa, na nitangaze mwaka ambao Bwana atawabariki watu wake.”
Aliambiwa na nani
@@selemanimchana3598 Hivi kweli Allah alimtuma malaika wake kwa marehemu Muhammad akamuomba asome japo hajui kusoma wala kuandika? Allah hakujua kwamba marehemu Muhammad hakujua kusoma wala kuandika? Alafu akamufinya...
HATA PAULO ALICHUKULIWA NA JINI!
2 Wakorintho 12:7.
7. Na makusudi nisipate kujivuna kupita kiasi, kwa wingi wa mafunuo hayo nalipewa mwiba katika mwili, mjumbe wa Shetani ili anipige, nisije nikajivuna kupita kiasi.
1 Timotheo 1:20.
20. Katika hao wamo Himenayo na Iskanda, ambao nimempa Shetani watu hao, ili wafundishwe wasimtukane Mungu.
UCHAWI UPO ISRAELI!
Isaya 47:12.
12. Simama sasa na uganga wako, na wingi wa uchawi wako, uliojitaabisha nao tangu ujana wako; labda utaweza kupata faida, labda utaweza kushinda.
Matendo ya Mitume 13:6.
6. Walipokwisha kupita katikati ya kisiwa chote mpaka Pafo, wakaona mtu mmoja, mchawi, nabii wa uongo, Myahudi jina lake Bar-Yesu;
ndacha mwenyewe hampati uyo mch danieli kwa ubishi...uyo mwisho
Mchungaji Daniel Mwankemwa siyo ustadhi
Mbona Mungu Wako alishirikiana na Majini?
1 Wafalme 22:20.,21.,22.,23.
20. BWANA akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili akwee Ramoth-Gileadi akaanguke? Basi huyu akasema hivi; na huyu hivi. 21. Akatoka pepo, akasimama mbele za BWANA, akasema, Mimi nitamdanganya. 22. BWANA akamwambia, Jinsi gani? Akasema, Nitaondoka, na kuwa pepo wa uongo kinywani mwa manabii wake wote. Akasema, Utamdanganya, na kudiriki pia; ondoka ukafanye hivyo. 23. Basi angalia, BWANA ametia pepo wa uongo kinywani mwa manabii wako hawa wote; naye BWANA amenena mabaya juu yako.
majini sio malaikaa bali ni biumbe tofauti n'a malaika n'a mwanadamu
Majini nimalaika waliowaasi,ndio maana mungu akawatupa hapa duniani ili wakae mbali na mungu mpaka siku ya kihama,toka kwa hio dini yamajini waliosilimu njoo kwa njia iliyo nyooka ambayo ni yesu kristo ndie njia,kweli,na uzima, kariba,
@@JohnOuya-w7jlete abdiko kuwa majini ni malaika walioasi. 😂😂😂
Hawa elimu hawana ndo mana wanapata shida sana juu ya elimu ya viumbe hawa😂😂
Ufunio 12;7-9@@Maalim_Samatta
Wewe nenda kaulize kwenye koran yako ikwambie kuhusu wakristo na wayahudi@@Maalim_Samatta
IBILISI MWENYE-KITI WA KANISA NI JINI ..?
Ufunuo wa Yohana 2:12.,13.
12. Na kwa malaika wa kanisa lililoko Pergamo andika;
Haya ndiyo anenayo yeye aliye na huo upanga mkali, wenye makali kuwili. 13. Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani.
MAJINI HUWAINGIA WAKRISTO!
Mathayo 12:43.,44.,45.
43. Pepo mchafu, amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika, asipate. 44. Halafu husema, Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka; hata akija, aiona tupu, imefagiwa, na kupambwa. 45. Mara huenda, akachukua pamoja naye pepo wengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo; na mtu yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza. Ndivyo itakavyokuwa kwa kizazi hiki kilicho kibaya.
HAKUNA AYA HATA MOJA YESU AKISEMA LIVE KUWA DAMU YAKE NI KINGA YA MAJINI AO MASHETANI!
UNANUKUU UFUNUO AMBAO NI NDOTO SI MAMBO HALISIA!
WAPI AYA YESU AKISEMA LIVE KUWA DAMU YAKE NI KINGA YENU DHIDI YA MAJINI??.
I like the way you ask him 🙈
ASANTE SANA KWA SOMO HILI, NIMEELIMIKA PAKUBWA👏👏👏
OMBI: Wakutanishe DANIEL na NDACHA kwa ajili ya HOJA YA SABATO na UTATU MTAKATIFU🔥🔥🔥🔥
Kumbe ndiyomaana hujibishiatu bilakuwana uthibitisho kwakilewanachokijua.
asante sasa mtu wamungu nataka kujua saidi
Daniel na mwalimu dacha wanafilisi uislamu
Jipe moyo
Ila wakristo mnahitaji kusomeshwa kweli, hawa walimu wenu watawapoteza sana ila kwa baadhi ya wakristo nadhani wanafahamu hivyo...
Unabishana na ukweli
@@msemakweli243 ukweli upi tatizo wakristo hamsomi vitabu yaani mchungaji akisema sawa
@@samxx411 anasoma vitabu bado wewe unabisha
@@samxx411sisi ndiyo watu wa kitabu au unabishana na koran yako
@@msemakweli243 wewe huwezi fahamu wanasoma vitabu wanavyotaka wao wanabadili maana, kwa mfano biblia inasema wakujuwe wewe Mungu wa kweli na pekee na yesu uliyemtuma...sasa hapa Mungu wa kweli na pekee wakristo wanabadili mnasema mmoja lkn ana utatu, yesu pia na yeye ni Mungu umeona tatizo lenu
Huyu huko kwa Shafi na Sule mbali sana huyu wallah hata mimi maamuma haniwezi wallah thumma wallah
Eti Ustadh Daniel 😂😂😂
Eti Quran ina vyanzo vinne: Taurat,Injili na zaburi, Baada Muhammad kurogwa na Kwenye Mashairi. Huyo ndio Daniel, chuki yake juu ya uislaam yamsukuma kusema lolote la uongo, bila kujali kwamba anayoyasema yana baki na wajukuu zake watayasoma na watauona uwongo wake.
Yes
Katika viumbe wote walioumbwa na mwenyezi Mungu ni viumbe wawili ndiyo wamemkana mwenyezi mungu na kumzushia uongo anae mpinga uyo hanaesabika ni shetani jiulize uko kundi gani
Hapo mwankemwa unaongopa sakaramentu ya ni ya kiroma hili humshinde shetani lazima utii amri na sheria na imani ya yesu
UKWELI UNAUMA MASHEHE WAO NDO WANAYATUMIA KWENYE UGANGA KUPIGA RAMLI
@@StanleyMwaipopo pamoja nakuroka watu pakana na muisilamu utasumbuliwa na jini hawa nihatari sana
Mzee aujue kitu kabisa polesana nakuonea urum
Kosoa kwa hoja
sasa huyu hana andiko majini wote wamelaaniwa wakristo mnatumia kiungo gani kufikiri eti huyu nae mwalimu
Mzee sioni hoja zako huwezi kusimama na dr sule wala ust shafii vile ni vichwaa vitakuumbuwa mzee
Umeona eeeh😅 yaani hawa ni mabwabwa kweli, eti majini ni malaika walioasi dah😂😂😂
@Maalim_Samatta Muhammad amewaingiza chaka
Kwa hiyo maislam wite wanasupport majini badala mpinge hile
Huyu mzeee anaelimu ndogo sanaaaa
WEWE NI KIBOKO. ULIMTOA JASHO. MAZINGE. PALE IGOMA. MWANZA
Hahahaha huyo ni poyoyo hanaelim ya kiroho anafuata matamanio yake.msikilize vizuri kisha utafakari?
Weeeeeee koma nyokooo unajua Qur'an gani shindwe ,,,,mtume wetu hana mahusiano n majini Wala nini hivi viumbe kama mimi na wewe tena ukome ukomae ulimwengu wao tofauti na sisi Wana maisha yao wanaoa wanaolewa juu n viumbe wanatuona hatuwaoni kwa uwezo w Allah
Kwa matusi haya bila shaka wewe ni mwislam swafi, mtume wako alimsilimisha shetani akawa mwislam lakini wewe maamuma subiri usomewe na mashehe
@@FridayMwassa 🤣🤣🤣😭😭ati alisilimisha nani weee wajua majini na mashetani ni akina nani acheni ukafiri mkiwa waislamu ndo mtajua ni akina nani majini na je tunauhusiano ,,,,
Siwezi kua na urafiki na majini,
KUHUSU NABII MWONGO PAULO AMPINGA YOHANA UNAYENUKUU!
PAULO AONA MTUME MWONGO NI YULE ATUMIAYE HILA!
2 Wakorintho 11:13.
13. Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo.
NA KATIKA HAO WAONGO MMOJA WAO NI PAULO MWENYEWE!
2 Wakorintho 12:16.
16. Lakini na iwe hivyo, mimi sikuwalemea; bali kwa kuwa mwerevu naliwapata kwa hila.
Inaonesha hajui kuwa malaika hawana sifa ya kumuasi MUNGU, kwa hiyo si kweli kamba majini ni malaika walioasi, malaika ni viumbe wengine na majini ni viumbe wengine. Kama hamjui semeni mfahamishwe.
Jini hajawahi kuwa maraika Wala maraika hajawahi kuwa jini
@@Hussein-gx4qu aja kupingana na qurani Muhammad alisimu mapepo au kwa lugha nyingine majini sule anayatumia kukanga watu pamoja nakutoa kafara cku mnaita yakujinja majini husheherekea damu unadhani hatujui
Mtangazaji umemuuliza swali zuri lkn unaona mwankemwa hana analojua ,
Jini atakuwa aje yena malaika???
Kama ndio mchungaji wa wakristo wanamuamini basi dah msiba mkubwa. Akili hamna kabisa, eti majini ni malaika walioasi...
Nikweli majini walikuwa malaika na wapoasi ndipo wakatupwa duniani
@@FridayMwassa Soma vitabu, malaika hawajaumbwa na matamanio, wao wameumbwa kutii amri ya Mungu hawajawahi kuasi tangu kuumbwa kwao. Majini ni viumbe walikuwepo kabla ya binadamu na malaika ni viumbe wengine kabisa hawafanani na viumbe wengine.
AMBIA WATU HAWA PEPO WA CHAFU WANAWATII WAKRISTO KWA NJIA IPI KATI YA NZURI NA MBAYA?
Luka 10:17.
17. Ndipo wale sabini waliporudi kwa furaha, wakisema, Bwana, hata pepo wanatutii kwa jina lako.
JE, MUHAMMAD ALIKUA MKRISTO ALI AWE NABII WENU AO MTUME WENU MUONGO?
DANIELI UMEJAA UONGO KAMA MUNGU WAKO!
Yeremia 4:10.
10. Nami nikasema, Aa, Bwana MUNGU! Hakika umewadanganya sana watu hawa na Yerusalemu, ukisema, Mtakuwa na amani lakini upanga umeingia katika nafsi za watu.
Mzee wewe mwenyewe sahii Jini yuwakutumia hauko Sawa kimaelezo kunakifungu Kwa bibilia yesu alibebwa Na shetani hapo VP Buda.
Shidaa uelewa hakubebwaa Kama unavyofikili wewe ila alijalibiwa
Alikuwa anajalibiwa
Dk sure kayatakamwenyewe
ELIM NI PANA NA UELEWA UMEFICHWA KATIKA KUULIZA,
ACTUALLY SIKITIKO LANGU NA HUZUNI YANGU NI KWAMBA WEMGI HAWANA ELIMU, HAWAJUI NA HAWAJUI KAMA HAWAJUI NA HAWAKO TAYARI KUJIFUNZA..
HUYU NAE ANAJITATHMINI KAMA MWALIMU..!!
ELIM NI BAHAR BADO UNASAFARI NDEFU SANA..
Mnaombea vipofu wanapona lakini nyinyi mkitaka kusoma bibilia mnavaa miwani
😂😂😂
@@Maalim_SamattaKwaani kuna kipofu umemuona hapo,kutumia miwani siyo dhambi kama maandishi hayaonekani vizuri
vp zile nguo anazovaa papa na maaskofu au mapadri.
Kuna jini ......kuna malaika .....kuna bin Adam .......na kuna shetani we vipi??? Nakuvamiya kiyarabu
Huyu mchungaji hajui lolote et malaika ni jini😂😂😂shenzi sana
Mwalimu unapunguza ukali ukweli nomashetani kwasabab Majin nikizazi Cha ibilisi alie akolewa na malaika wakati alla alipo ombwa na malaika waje kuangalia je kipikilichobaki wakamkuta mtoto mdogo ndio anebaki nae alikua ni ibilisi wakamchukua wakampeleka ndio hao maji vp shetani awe na kizazi chema nimashetani
Huu ndio wislamu kwetu sis wakristo huu upagani haupo wao ndio wametusimulia
Tatzo muandishi anaelimu kuliko mchungaji😂😂😂 na ndio maana wanagona
Hakuna muasi mzuri shetani pamoja na malaika zake majini walitupwa kutoka mbinguni
Yeye anasoma kama irivo andikwa naona hajakosea rabda nyie mnaokubariana namajin ndoo mnaona akosea
Jini si malaika kwa imani ya kiislamu, ni viumbe viloumbwa na Mwenyezi Mungu kwa moto kama binaadamu walivyoumbwa kwa udongo. Malaika wameumbwa kwa nuru na hawawezi kumuasi Mwenyezi Mungu kamwe. Sasa kwa imani yenu mnaweza kuzungumzia viumbe vyengine tofauti na wanavyovizungumzia waislamu kwa kuwa waislamu hawaamini majini kuwa ni malaika
Kwamujibu wa uislam majini wanapotubu wanakuwa waislam lakini kwa wayahudi na wakristo jini hawezi kutubu
@@FridayMwassa Shetani ambae Ni ibilisi hawazi kutubu, majini Ni viumbe vinavyoweza kutubu Kwa imani yetu. Huenda tunazungumzia vitu tofauti
Sema ukweli uongoze wakiristo wacha kupoteza wenzako. Unajua kabisa uislamu ndio dini lakini unakataa
Huna jipya
Eti kumbe walishamalizana 😂😂😂
majini hawajawahi kuwa malaika
Umejaa chuki na hasadi na ndio sababu haupati mwili!😮😮😮
Huyu amelaaniwa hawezi kuitambua haki jini na malaika ni viumbe viwili tofauti
Tuulizeni sisi watu wa kitabu tutawasaidia
Marini said mashetani
Technologia imekuja kuufunu uislam ulivyo
KINACHO WATATIZA NYINYI NIKWAMBA HUWA MNADHANI NAKUAMINI UNAPOISHIA UKOMO WA MTU KUFIKIRI KATIKA JAMBO FULANI HUWA NDO UHALISIA NA MWISHO WAKE THUS WHY MNAHITIMISHA KUPATA MATOKEO KTK JAMBO..
BASI ENDELEENI KUWEKA MIPAKA KATIKA AKILI ZENU ILI MSIPATE KUJUA KILICHO NJE YA UFAHAMU WENU.
Ww huwezi kupambana na shafi wala sule mana hata majini hujui jini ni jini na malaika nimalaika tu vitu viwili tafauti
Jini si malaika jini nijini tu
SHETANI HUWAPEPETA NA KUWAINGIA WAKRISTO YESU MWENYEWE AKIWEPO ACHA UONGO!
Luka 22:3.,31.
3.
Shetani akamwingia Yuda, aitwaye Iskariote, naye ni mmoja wa wale Thenashara. 31.
Akasema, Simoni, Simoni, tazama, Shetani amewataka ninyi apate kuwapepeta kama vile ngano;
😂😂😂😂 Duuh noma ndio maana bibilia ina waita wachungaji ni umbwa walio bubu 😂😂😂😂sasa hapo vp
Hivi huyu mchungaji yeye mwenyewe anasoma kwa kiswahili na bado haelewi anachojaribu kueleza sheikh...ni kwamba anapinga hakuna jini mwema anaemkaa mtu kichwani
Huyu anae kuhoji uwezo wake ni mdogo sana wa kuelewa.
Kwani ulisema uwezo wake mdogo wa kumuhoji
MUHAMMAD ALOKIRI ISA NI MTUME ,ROHO NA NENO LAKE ALLAH LEO WEWE WAMTUHUMU NI MWONGO?
{ يَٰٓأَهۡلَ ٱلۡكِتَٰبِ لَا تَغۡلُواْ فِي دِينِكُمۡ وَلَا تَقُولُواْ عَلَى ٱللَّهِ إِلَّا ٱلۡحَقَّۚ إِنَّمَا ٱلۡمَسِيحُ عِيسَى ٱبۡنُ مَرۡيَمَ رَسُولُ ٱللَّهِ وَكَلِمَتُهُۥٓ أَلۡقَىٰهَآ إِلَىٰ مَرۡيَمَ وَرُوحٞ مِّنۡهُۖ فَـَٔامِنُواْ بِٱللَّهِ وَرُسُلِهِۦۖ وَلَا تَقُولُواْ ثَلَٰثَةٌۚ ٱنتَهُواْ خَيۡرٗا لَّكُمۡۚ إِنَّمَا ٱللَّهُ إِلَٰهٞ وَٰحِدٞۖ سُبۡحَٰنَهُۥٓ أَن يَكُونَ لَهُۥ وَلَدٞۘ لَّهُۥ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِۗ وَكَفَىٰ بِٱللَّهِ وَكِيلٗا }
[Surah An-Nisāʾ: 171]
Ali Muhsin Al-Barwani:
Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha.
Eti ni malaika waasi jamanii jini kawa malaika ume tupiga hapo😅
Hujuwi kitu wewe kasome tena
Yaani ww unae muhoji una kosea ume shindwa kumuuliza maswali ya umuhimu. Alipo sema majini ni malaika waasi kwanini asinge kupa Usha hidi kwenye vitabu kuthibitisha hayo maneno yake.
Mungu gani anaeabudiwa namajini?
yesu ni mwana wa mungu amerithi jina la babake sio Mungu wewe vipi?. kwani mtoto wako hawezi tumia jina lako?. ni follow upate elimu utoke kwa dini ya mohammed na uchawi anawafundisha yenye walikuwa wakiabudu kule makkah.
@@edinahbonareri2251 bibilia haijatumia jina lababa mtume gani alitumia jina lababae?
Hujuwi nani jini nani malaika
Kwa nini tukio la kusulubiwa na kufa na kufufuka kwa Yesu liwe jambo la kiimani? kwani halikutokea hapa Duniani? kwani halikushuhudiwa na watu? walio lishuhudia-kama wapo-agizo la kuamini litawafaa nini?
Sio jambo la kuamini bali ni ukweli sasa unashindwa kuamini ukweli?
Wewe hunaelim.jini ni kiumbe malaika nikiumbe na binadamu nikiumbe.shetani ni tabia siyo kiumbe .na malaika hawana sifa ya kuasi
Hahahaha huyu jamaa anaongea mambo asio yajua sababu Kwanza hakuna malaika muasi sasa Bora atafute elimu kwanza
Wewe mchungaji huna akili timamu,kwanza useme jini ni kiumbe au si kiumbe kama ni kiumbe aliumba kwa lengo gani?kwani binadamu muasi si kiumbe?acheni kupotosha watu
Je petro naye vipi maana yesu aliosema shetan
yesu ni mwana wa mungu amerithi jina la babake sio Mungu wewe vipi?. kwani mtoto wako hawezi tumia jina lako?. ni follow upate elimu utoke kwa dini ya mohammed na uchawi anawafundisha yenye walikuwa wakiabudu kule makkah.
Mchungaji wako ndacha ameweka wazi kwamba Yesu ana asili ya Mungu, tena akapiga mfano wa mtoto wa ng'ombe kuwa naye ni ng'mbe kwa bababu ana asili ya ng'ombe mamaake.Sasa basi ukiwa na ng'ombe na mtoto wake unakuwa na ng'ombe wawili. Je ukiwa na Mungu na mtoto wake mwenye asili ya mungu babaake una Miungu wangapi? Na kama amechanganya asili mbili, basi huyo ni mungumtu.
Kurithi ni hadi anaerithiwa afe.
Jinga jinga unawaja tu moto utawameza nyinyi bipofu
Yani hijamaa kama chizi halijuwi lolote da kama sege duuu
Mchungaji mimi sina elimu saana! Ila kuna malaika na majini, na ndio maana wakati mungu alipowaamuru malaika wamsujudie adamu lakini ibilisi alikataa kwa kua yeye sio miongoni mwa malaika, hujawa na elimu bado
Sasa kwanini Allah alimuhukumu ibilisi japo yeye hakupewa hiyo amri ya kumsujudia Adamu? Yaani Allah siye mkweli?
Ibilis alikuwa nani kama sio malaika
@@msemakweli243 Ndugu wetu ameandika kwamba Iblis hakuwa malaika... Sijuwi kwanini Allah alimuhukumu... Yaani Allah siye mkweli
@@bustedislam3578 hajielewi
Ndacha mwanafunzi kwa Daniel akasome tena
😂😂
Ndacha hana lolote yeye ni bingwa wa kukalili vifungu vya biblia na koran
@@DodomaTanzania-r5z na ww ni mbingwa wa nni
Huyu jamaa hata haelewi, sasa hapa anatuambia ni madai majini hudai kuwa wanatoka miji mitukufu na hujiuwanisha na majina mazuri kama vile sharif, huyu jamaa hajielewi kiswahili kina mchanganya
yuko sawa kabisa. toka katika dini ya ibilisi
Ukafiri mbaya sana yani wanalazimisha malaika waliasi hakuna malaika wanaoasi sifa ya malaika hawamuasi mwenyezi mungu elimu za kukaririshwa na paulo itawapeleka motoni
Brother hope mzima na kwema sorry naomba kujua kama Akuna Malaika aliehasi Je Shetani Ibilisi Alikuwa nani kwa uwelewako?
@@frankmugomba3484 shetani ibliss hakuwa malaika bali alikua jinni jinsia yake
Na ndio maana pamoja na kua alikua jinni lakini alikua mja mwema baadae akaasi akallaniwa ila hakuwa malaika
Kwani torati aliandika Paul???
@@0badiaMwasongwe-rt1wr torati imetiwa mikono na hao akina paul ambayo ndio mnadai ndio torati aliyopewa musa kuna yalisalimika na kuna yaliyoharibiwa