Daniel Mwankema ,barikiwa sana sana ,ule mkono wa MUNGU wenye nguvu na uwezo wote Ukushikilie na kukujaza siri zaidi na hekima zaidi kwa Jina la YESU KRISTO Alie hai milele.
Bwana yesu atazidi kusifiwa Jana Leo na milele, nandio njia tu.tunahitaji mafundisho mengi kama haya.kaka yetu mungu aendelee kukupatia elimu zaidi ya kutuongoza.amen
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 I LOVE JESUS ❤❤❤ THANK GOD I'M CHRISTIAN 🎉🎉🎉🎉❤ HALLELUJAH HALLELUJAH
mwalimu ,Adam alitubu , akashushwa duniani , siku ya mwisho haijafika , siku ya hukumu ndio maana alishushwa duniani , bibilia inakataa yesu sio mungu ,wayahudi walimuona alipo zalisa ,ndugu Yao sio mungu wakinga wafipa wanafanya mungu huko kupoteza , Paulo hakumuona yesu ,
Napenda sana mafundisho na mada zako mwalimu Daniel mwakemwa, lakini kuna mada moja au mbili hivi nilitofautiana nawe ili ya kwamba sabato ilibadilishwa lakini nanani hiyo ya kwanza la pili ni ile ya nambari 666 ya ufunuo 13:18.
Wapi yesu kasema mm ndimi niliekuja na kitabu cha biblia ? Wapi ? Na maandiko yanasema nn juu ya yesu alikuja na nn ? Tupeni jibu biblia ni kitabu kilicholetwa na mtume yupi ? @@FridayMwassa
Wewe Mchungaji husidanganye watu Bibilia sio Injili,Bibilia sio Torati,Bibilia sio Zaburi,waambie ukweli kwamba Bibilia ni kabati iliyobebeshwa mzigo wa vitabu na watu kwa matakwa yao,Soma LUKA 1:1-2
🎉😂😂😂😂 Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah I LOVE JESUS ❤❤❤❤❤❤❤❤ THANK GOD I'M CHRISTIAN!! Lukumbuziiiiiiii utateseka sana YESU JANA LEO NA HATA MILELE!!
@@paulmushi2428 Nateseka sana kuona Wachungaji wanaojihita wasomi wanatete Bibilia bila kujibu hoja zilizotolewa na Dr Sulle alitoa hoja kwa kusema hayo maneno kwenye Bibilia hayamo na kwenye Quran yamo ambayo hayo maneno ndiyo maisha ya sisi mwanadamu ya kila siku,Inakuwaje Bibilia munayohita kwamba ni Kitabu cha Mungu inakuwa na mapengo?Huyu Mchunguji alitakiwa atwambie labda Dr Sulle kakosea maandiko au yapo ni ayah hapa!
@@Nim68182 Hata leo ukiamua kukusanya Quran zote duniani ukazificha au ukafanya unavyoweza bado Waislamu tunamehifadhi Quran kwenye vichwa vyetu na ukileta yako ya uhongo ni rahisi kukugundua;sasa sijui unacheka nini?
@@Nim68182 Quran sio Bibilia ambayo kila ibada zinabebwa makwapani kwenu kuelelea kanisani na kila siku lakini yaliyomo bado hamuyaelewi;Bibilia zikiliwa na mbuzi zote itakuwaje?
Kama unachosema ni sahihi hebu jibu hili swali. Kitabu Cha Zaburi alipewa Daudi, kitabu Cha Torati alipewa Musa, kitabu Cha Injili alipewa Issa (Yesu) na kitabu Cha Queani alipewa Muhamad SAW. Je, kitabu Cha bibilia alipewa Nani?
Danieli weye ni mtu wa motoni tu Dini ya kiisilam ndio dini ya kweli Weye ni katika wele makafiri wakubwa Weye ni masihi dijal mdogo mkubwa bado hajafika
Koran ilikuja kupotosha yaliyo andikwa kabla mf.bibilia inasema Yesu alikufa lakini koran inayakataa hayo,Isaka alitolewa sadaka na baba yake Ibrahim lakini koran inayakataa hayo, biblia inasema Yesu atakuja kuhukumu ulimwengu lakini koran inasema atakuja kuoa, biblia inasema mpende adui yako lakini koran inasema wauweni wote wasiyo Amini, Quran 5:51,9:29
YANI ULIONA WAPI KITABU CHA HESABU NDANI KISIJIZUNGUMZIE CHENYEWE BADALA YAKE KIZUNGUMZIE VITABU VINGINE MAANA HESABU INATAKIWA NDANI YAKE IZUNGUMZIWE HESABU TU NA SI NDANI YAKE KUWE NA SAYANSI, JOGRAFIA, MAARIFA YA JAMII, KISWAILI KUMBE BIBLIA NI JINA TU ILA KITABU CHA BIBLIA HAKUNA ( HAKIPO ). IZO NI KELELE TU
Wacha kudanganya watu vitabu vilivyo letwa ni 4 zaburi ,taurati, injili,na Quran ,mitume waliopewa vitabu hivyo ni musa,daud,issa,na Mohammad,kama kweli bibilia ni kitabu Cha mungu katika Kimeandikwa wp na kapewa mitume nani?
Khalifa wa kiislamu alitangaza mtume alipokufa yakuwa,walio kua wakimuabudu Muhammad basi yeye amesha kufa,na waliokua wakimuabudu Allah basi ALLAH yuhai,na huyo ndio muanzilishi wa uislamu.

Wacha uongo, Qur'an 3:99 imewataja watu wa kitabu sio Wakristo, Qur'an 5:82 imewataja mayahudi na washirikina, Qur'an 5:51 imewakataza walioamini kuwa marafiki na mayahudi na Wakristo kwakua wanadhulumu, Qur'an 2:62 wametajwa walioamin, mayahudi, Wakristo na wasabai kua wakimuamini Mungu watapata malipo yao. Sasa ukisema Wakristo wametajwa useme wametajwa kwa namna gani? Kwa wema kwa ubaya?
mpumbavu kuandika kwenyewe hujui kaeni na uislam wenu wa majini, mtaani vijibabu vya kiislamu utakuta vinauza genge malimao ksma 7 hivi chumvi pakita 4 na miiko ya kupikia kama 5 hiyo ndiyo biashara yake kubwa analisha familia ni chuma ulete tupu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 waislamu bwana 😂😂😂😂😂
Biblia haikutaja umeme kama umeme Daniel Mwankemwa anawapoteza watu. Max Media nakusubiri kesho pale Ilala kwa Doctor Sully nitamjibu huyo Daniel By Sheikh Suleiman Mbogo
Mbogho umeanza ubishi Kama kawaida yako ,wewe tunakuitaga (Mzee wa kukanusha ukweli.) Biblia imetabiri mambo yalioko na yaliopita na yajayo ,,mf.ukisoma habari za safina ya Nuhu utaona aliipaka lami ndani na nje Sasa utapingaje kua sio lami ya Sasa???
Wewe mtoto mdogo mbogo tulia hakuna uislam bila uongo alafu juin 1 , jiandaeni pale alikeni majini yenu na muddy awepo mumfufue kisha na alaalah awepo tuone kama mnaweza kushindana na ndacha 😂 dawa imekuingia unaanza kubwabwaja 😂 ndacha atawauwa nyie
Adam wa kwanza na adamu wa mwisho😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tupe andiko mungu anamwita yesu adamu,alafu kama yesu kachua dhambi zenu mbona mwanadamu anakula kwa jasho😂😂😂😂😂jamaa maneno matupu bila ya ushahidi kiuhakika.
Dhambi na kula kwa jasho vina uhusiano Gani? Wakati mwingine muwe mnasomaga Neno la Mungu wa kweli,Mungu alipoumba mwanadamu ,hata kabla hajatenda dhambi alipewa kazi na kazi Yenyewe ni kuilima na kuitunza bustani kwahiyo jasho lilianza ,usilete kuanguka kwa mwanadamu na kufanya kazi ,ujue kwanza mwanzilishi wa kazi ni Mungu hata yeye alifanya kazi na hata kupumzika
@@nicksonlyimo1562 kasome mwanzo3:17-19 Kisha ujue kuwa hakuna ukombozi wa Dhambi isipokua Toba,mchungajiwako kasema kama adamu alitubia mbona hakurudishwa bustanini,nasisi tuna waambia kama yesu alikomboa watu na kutoka kwenye dhambi ya adamu mbona adhabu ya kula kwa jasho haijaondoka, alipatanisha Nini Sasa?kasome kwanza ndo ukomenti mambo ya dini.
Utaijuwa kweli na kweli itakuwa huru, acha wangngane na Mohammed, wabishi sana na hawataki kuambiwa ukweli, na wengine hawajuwi nini ika kwa Quran ni kubishanana tu, Mungu akutanguliye nguvu watushi wake
Swali zuli! Maana ya Neno Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya Manabii ila hakimtambui Muhammad na Qur'an yake kama asivyojulikana Kwa MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI
@@paulmushi2428 Mwenyenzi Mungu hutambua viumbe vyote kwani yeye ndiye alewaumba wewe ndiye usietambua. Biblia ni kitabu kilichoandikwa na mikono ya waandishi waongo wa kirumi na ziko biblia zaidi ya 8 na zote zinatofauti kubwa pia kuna biblia mpya ya mashoga iliyochapishwa mwaka 2000 kwa luga ya kiingereza hivyo biblia sii maneno ya Mungu. vitabu vya Mungu ni torati nabii Musa , Injili nabii Issa ( Yesu ). Zaburi nabii Daud Frukani au Quran kateem Nabii Muhammad Peace be Upon them. Je biblia ni kitabu cha nabii hupi?
Bibilia imeitangulia Quran ni kweli lakini kutangulia kwa Bibilia sio kuwa sahihi kwa Mbele za Mwenyezi Mungu,Kama ni kutangulia ndiyo usahihi?Mbona Sheitani alitutangulia kuwepo hapa Duniani;Je Sheitani yuko sahihi?
@@paulmushi2428 Ninataka ukweli wa Bibilia yenyewe make hatuwezi kuutafuta ukweli wa Quran bila kuanza na Quran Yenyewe kwanza ijipambanue Yenyewe kisha ndiyo tuiangalie Upande mwingine,Toa ayah ya Bibilia inayoithibitisha yenyewe ili watu wasiwe na mashaka kuifuata!
Daniel Mwankema ,barikiwa sana sana ,ule mkono wa MUNGU wenye nguvu na uwezo wote Ukushikilie na kukujaza siri zaidi na hekima zaidi kwa Jina la YESU KRISTO Alie hai milele.
Bwana yesu atazidi kusifiwa Jana Leo na milele, nandio njia tu.tunahitaji mafundisho mengi kama haya.kaka yetu mungu aendelee kukupatia elimu zaidi ya kutuongoza.amen
Yesu Dio kweli kabisa hakuna mwingine kama yeye Mungu Akubarik mtumish
Hakuna kama Yesu Kristu ❤
Yupo
Mfano mimi na wewe. Sote ni binadamu kama yesu
Timotheo wa kwanza 2:5
Ubarikiwe sana mtumisi daniel nipo moçambique
Asante saaana MUNGU wa MUNGU alie juu saana umetuelimisha zaidi
ubarikiwe mwl Daniel
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 I LOVE JESUS ❤❤❤ THANK GOD I'M CHRISTIAN 🎉🎉🎉🎉❤ HALLELUJAH HALLELUJAH
Ni mafundisho ya kanisa unasoma bila kuulizwa maswali, hamna hata sehemu moja aliposema mimi Mungu.
Hausomi vizuri
Usiseme hamna sehem aliyo sema Yeye ni Mungu, sema wewe ndio hujuiiii wapi kasema😂
Kasome ufunuo 1:8
Kwani wapi Allah amesema yeye ni Mungu Mtakatifu?
Amen, sifa Kwa bwana na mwokozi wa maisha yetu Jesus Christ.
uyo mchungaji mbishi uyo😊
Makosa mengi na tofauti zilizomo ndani ya hiyo bibilia
Ila kwenye koran yako ambayo hajulikana nani aliandika ndiyo hakuna makosa?.kasome Quran 5:52 na 9:29
Safi sana mwalim tililika tilika sema sema baba sema mungu yup pamoja nawe
Yesu kristo akubariki sana mtumishi mungu,
Barikiwa sana mwl. Daniel
He new the truth
Amen
Hata haeleweki huyu mtu
Utaelewa tu, kaa kwa kutulia kwanza
Utaelewa siku ukiwa katika malango ya kristo siku ukimkuta ndyo jaji wa matendo yako
Mkubwa kabisa lakin anaongea maneno hayana mantik
Ebu ongea wewe
Unaongea sana umeambiwa useme wapi yesu kasema kwenye icho kitabu yeye mungu bas acha naneno Meg mzeee
Kwani wapi Allah amesema yeye ni Mungu Mtakatifu?
mwalimu ,Adam alitubu , akashushwa duniani , siku ya mwisho haijafika , siku ya hukumu ndio maana alishushwa duniani , bibilia inakataa yesu sio mungu ,wayahudi walimuona alipo zalisa ,ndugu Yao sio mungu wakinga wafipa wanafanya mungu huko kupoteza , Paulo hakumuona yesu ,
Unamaanisha Yohana,petro, Paul na mathayo walikuwa wakinga na wafipa
Ameen
Amen Mtumishi,ukweli ndo huo,Yesu ndiye ya kweli na uzima
Umechemka
Uislamu ni nyumba ya udongo iliyo nakshiwa kwa vioo but sio imara kwa kila kitu
Napenda sana mafundisho na mada zako mwalimu Daniel mwakemwa, lakini kuna mada moja au mbili hivi nilitofautiana nawe ili ya kwamba sabato ilibadilishwa lakini nanani hiyo ya kwanza la pili ni ile ya nambari 666 ya ufunuo 13:18.
Cha muhimu ni kuamini kile ambacho muhamed amefuza ambazo nichamuhimu
Muhammad hakufundulidho chochoote zaidi ya kuleta chuki soma Quran 5:51,9:29,unamwamini mfu badala Yesu aliye hai
Shalom ❤
Daaah umewapiga spanaaa za ukweli
Pipa na mfuniko wanaulizana maswali
Ulitaka waongee uongo ili ufurahi
Lugha mbona nyepesi sn tunakushangaa ww unahoji nn ?
Wapi yesu kasema mm ndimi niliekuja na kitabu cha biblia ? Wapi ? Na maandiko yanasema nn juu ya yesu alikuja na nn ? Tupeni jibu biblia ni kitabu kilicholetwa na mtume yupi ?
@@FridayMwassa
Nice 🔥
Wewe Mchungaji husidanganye watu Bibilia sio Injili,Bibilia sio Torati,Bibilia sio Zaburi,waambie ukweli kwamba Bibilia ni kabati iliyobebeshwa mzigo wa vitabu na watu kwa matakwa yao,Soma LUKA 1:1-2
🎉😂😂😂😂 Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah I LOVE JESUS ❤❤❤❤❤❤❤❤ THANK GOD I'M CHRISTIAN!! Lukumbuziiiiiiii utateseka sana YESU JANA LEO NA HATA MILELE!!
@@paulmushi2428 Nateseka sana kuona Wachungaji wanaojihita wasomi wanatete Bibilia bila kujibu hoja zilizotolewa na Dr Sulle alitoa hoja kwa kusema hayo maneno kwenye Bibilia hayamo na kwenye Quran yamo ambayo hayo maneno ndiyo maisha ya sisi mwanadamu ya kila siku,Inakuwaje Bibilia munayohita kwamba ni Kitabu cha Mungu inakuwa na mapengo?Huyu Mchunguji alitakiwa atwambie labda Dr Sulle kakosea maandiko au yapo ni ayah hapa!
Kuna kitabu kililiwa na mnyama😂😂😂😂😂😂 unkijua????
@@Nim68182 Hata leo ukiamua kukusanya Quran zote duniani ukazificha au ukafanya unavyoweza bado Waislamu tunamehifadhi Quran kwenye vichwa vyetu na ukileta yako ya uhongo ni rahisi kukugundua;sasa sijui unacheka nini?
@@Nim68182 Quran sio Bibilia ambayo kila ibada zinabebwa makwapani kwenu kuelelea kanisani na kila siku lakini yaliyomo bado hamuyaelewi;Bibilia zikiliwa na mbuzi zote itakuwaje?
Wakristo tunaongozwo na roho mtakatifu
HUYU MPUUZI HAJUI KITU ETI MAANA YA DINI NI MALIPO!!! KIISLAM MAANA YA DINI NI 'NJIA YA KWELI'
injili ndio ilikuja mwanzo ya Quran lkn bible ilikuwa baada ya Quran
Kama unachosema ni sahihi hebu jibu hili swali. Kitabu Cha Zaburi alipewa Daudi, kitabu Cha Torati alipewa Musa, kitabu Cha Injili alipewa Issa (Yesu) na kitabu Cha Queani alipewa Muhamad SAW. Je, kitabu Cha bibilia alipewa Nani?
Danieli weye ni mtu wa motoni tu
Dini ya kiisilam ndio dini ya kweli
Weye ni katika wele makafiri wakubwa
Weye ni masihi dijal mdogo mkubwa bado hajafika
Quran imekuja kusahihisha yalio potoshwa ndani ya vitabu vinajulikana kama Tarantino injili, nazaburi
Koran ilikuja kupotosha yaliyo andikwa kabla mf.bibilia inasema Yesu alikufa lakini koran inayakataa hayo,Isaka alitolewa sadaka na baba yake Ibrahim lakini koran inayakataa hayo, biblia inasema Yesu atakuja kuhukumu ulimwengu lakini koran inasema atakuja kuoa, biblia inasema mpende adui yako lakini koran inasema wauweni wote wasiyo Amini, Quran 5:51,9:29
Hili kafiri kichwa maji😁😁😁
Sawa na hayawani
Kafiri mama yako
@rashidmohamed Nyie mbumbumbu hamna elimu mnamfuata mtume mbumbumbu asiyejua kusoma wala kuandika
Bible hiyo sio ya Kweli ni feki
Ya kwako original iko wapi
Ukumbk kuw Korani ililiwa na mnyama, kati yahio ulokuw nayo na illiyoliw na mbuzi cjui ipi ilikuwa kwel😂😂😂😂😂😂😂😂
Hakukua na kitabu Cha biblia wakati WA yesu
Unaelewa nini maana ya biblia
kiukweri nimemsikiliza mwanzo mwisho ata sijamuerewa nini anachokusudia au ametetea nini apo mbona atoi ushaidi juu ya yare alioongea sure..???
YANI ULIONA WAPI KITABU CHA HESABU NDANI KISIJIZUNGUMZIE CHENYEWE BADALA YAKE KIZUNGUMZIE VITABU VINGINE
MAANA HESABU INATAKIWA NDANI YAKE IZUNGUMZIWE HESABU TU NA SI NDANI YAKE KUWE NA SAYANSI, JOGRAFIA, MAARIFA YA JAMII, KISWAILI KUMBE BIBLIA NI JINA TU ILA KITABU CHA BIBLIA HAKUNA ( HAKIPO ). IZO NI KELELE TU
Hatoupata leo mpk kiama.
Umepiga pua hapo
Kiboko au mpumbavu tu uyo mlevi
Wacha kudanganya watu vitabu vilivyo letwa ni 4 zaburi ,taurati, injili,na Quran ,mitume waliopewa vitabu hivyo ni musa,daud,issa,na Mohammad,kama kweli bibilia ni kitabu Cha mungu katika Kimeandikwa wp na kapewa mitume nani?
Wewe hujui chochote ila umekalili
Mie ni mwanafunzi wa Shafii tutakutana katika mdahalo
Khalifa wa kiislamu alitangaza mtume alipokufa yakuwa,walio kua wakimuabudu Muhammad basi yeye amesha kufa,na waliokua wakimuabudu Allah basi ALLAH yuhai,na huyo ndio muanzilishi wa uislamu.
Allah ameanzisha uislam lini na wapi waweza nipa andiko?
Hatujafundishwa kuamini hivyo kuhusu vitabu kasome tena
IKIWA NDIO UPEO WAKIELIMU YA DINI NDIO HUU? BASI NIKITUKO NA KICHEKESHO KTK USO WA HII ARDHI.YANI NI -VE
Huwelewi Quran Daniel
Ifundishe wewe kama mimi sijui
Hhhhhh. Apo umeangukia pua koroani ndo kitambo ça 1 duniani
Kama Quran ilitelemshwa wakati wa Muhammad iweje useme ya kitambo
Bibilia sio injili acha kupotoa watu
Biblia nineno lakigiriki lenye maana ya mkusanyiko wa vitabu ndani ya huo mkusanyiko Kuna vitabu vya Injiri na vitabu vya torat
@@joycedimoso8648 je wakati wayesu biblia ilkuwepo
Ondea kwa kutoa aya sio kwa utashi wako.
Hata akitoa Aya mnazipinga tunawajua nyie
😂😂😂 HUYU MI SIJAMUELEWA KABISA ALICHOJIBU ANAZUNGUKA TU, ALAFU ELIMU YAKE NDOGO SANA HUWEZI MLINGANISHA NA SULE 😂😂
Sule huyhuy mfuga majini na mgangaa wa kienyejii au mwingine 😂😂
Huwezi kumuelewa kama hutaki ukweli
YANI ULIONA WAPI KITABU CHA HESABU NDANI KISIJIZUNGUMZIE CHENYEWE BADALA YAKE KIZUNGUMZIE VITABU VINGINE
MAANA HESABU INATAKIWA NDANI YAKE IZUNGUMZIWE HESABU TU NA SI NDANI YAKE KUWE NA SAYANSI, JOGRAFIA, MAARIFA YA JAMII, KISWAILI KUMBE BIBLIA NI JINA TU ILA KITABU CHA BIBLIA HAKUNA ( HAKIPO ). IZO NI KELELE TU
Unajua maana ya neno biblia?
Wacha uongo, Qur'an 3:99 imewataja watu wa kitabu sio Wakristo, Qur'an 5:82 imewataja mayahudi na washirikina, Qur'an 5:51 imewakataza walioamini kuwa marafiki na mayahudi na Wakristo kwakua wanadhulumu, Qur'an 2:62 wametajwa walioamin, mayahudi, Wakristo na wasabai kua wakimuamini Mungu watapata malipo yao. Sasa ukisema Wakristo wametajwa useme wametajwa kwa namna gani? Kwa wema kwa ubaya?
Jamaa ana mwembwe njingi sana,af kuarabu hujui, kasome lugha ikae ulimini na akilini kisha ndo uusome uislam,bila hivyo ni porojo tu
mpumbavu kuandika kwenyewe hujui kaeni na uislam wenu wa majini, mtaani vijibabu vya kiislamu utakuta vinauza genge malimao ksma 7 hivi chumvi pakita 4 na miiko ya kupikia kama 5 hiyo ndiyo biashara yake kubwa analisha familia ni chuma ulete tupu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 waislamu bwana 😂😂😂😂😂
Embu Fanya uwakutanishe hawa
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu,Yesu Kiristo ndiye mfalme,endelea kufundisha!
Wewe ukifa muchungaji unafata nani....????????
Nafuata Yesu
huyu jamaa anaongea hajui anazumza nn
Biblia haikutaja umeme kama umeme Daniel Mwankemwa anawapoteza watu. Max Media nakusubiri kesho pale Ilala kwa Doctor Sully nitamjibu huyo Daniel By Sheikh Suleiman Mbogo
Atakapokuja usisahau kumsomea kitabu cha Halal na Haram katika Uislam.
Mbogho umeanza ubishi Kama kawaida yako ,wewe tunakuitaga (Mzee wa kukanusha ukweli.) Biblia imetabiri mambo yalioko na yaliopita na yajayo ,,mf.ukisoma habari za safina ya Nuhu utaona aliipaka lami ndani na nje Sasa utapingaje kua sio lami ya Sasa???
Wewe mtoto mdogo mbogo tulia hakuna uislam bila uongo alafu juin 1 , jiandaeni pale alikeni majini yenu na muddy awepo mumfufue kisha na alaalah awepo tuone kama mnaweza kushindana na ndacha 😂 dawa imekuingia unaanza kubwabwaja 😂 ndacha atawauwa nyie
Mbogo acha kutapatapa tulia Kwa Sule ulithishwe mikoba ya unganga wa majini yenye kuwaletea mali😅😅
Adam wa kwanza na adamu wa mwisho😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tupe andiko mungu anamwita yesu adamu,alafu kama yesu kachua dhambi zenu mbona mwanadamu anakula kwa jasho😂😂😂😂😂jamaa maneno matupu bila ya ushahidi kiuhakika.
Dhambi na kula kwa jasho vina uhusiano Gani? Wakati mwingine muwe mnasomaga Neno la Mungu wa kweli,Mungu alipoumba mwanadamu ,hata kabla hajatenda dhambi alipewa kazi na kazi Yenyewe ni kuilima na kuitunza bustani kwahiyo jasho lilianza ,usilete kuanguka kwa mwanadamu na kufanya kazi ,ujue kwanza mwanzilishi wa kazi ni Mungu hata yeye alifanya kazi na hata kupumzika
@@nicksonlyimo1562 kasome mwanzo3:17-19 Kisha ujue kuwa hakuna ukombozi wa Dhambi isipokua Toba,mchungajiwako kasema kama adamu alitubia mbona hakurudishwa bustanini,nasisi tuna waambia kama yesu alikomboa watu na kutoka kwenye dhambi ya adamu mbona adhabu ya kula kwa jasho haijaondoka, alipatanisha Nini Sasa?kasome kwanza ndo ukomenti mambo ya dini.
😂😂😂😂😂😂
Utaijuwa kweli na kweli itakuwa huru, acha wangngane na Mohammed, wabishi sana na hawataki kuambiwa ukweli, na wengine hawajuwi nini ika kwa Quran ni kubishanana tu, Mungu akutanguliye nguvu watushi wake
Ona anvyolopoka lopoka hoja hewa kabsa
Dawa iyo tulia bruh iingie taratibu ukitikisika sindani unabaki mwilini😂
Tulia dawa inywee😂😂
Ma Ant Christ ya kiislam mumefyata
orginal Bible old testament scriptures ndio inakubalika na waislamu sio new testament fake
That's why you always dodge the debate. Stay quite!
Biblia ni kitabu cha nabii gani?
Swali zuli! Maana ya Neno Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya Manabii ila hakimtambui Muhammad na Qur'an yake kama asivyojulikana Kwa MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI
@@paulmushi2428 Mwenyenzi Mungu hutambua viumbe vyote kwani yeye ndiye alewaumba wewe ndiye usietambua. Biblia ni kitabu kilichoandikwa na mikono ya waandishi waongo wa kirumi na ziko biblia zaidi ya 8 na zote zinatofauti kubwa pia kuna biblia mpya ya mashoga iliyochapishwa mwaka 2000 kwa luga ya kiingereza hivyo biblia sii maneno ya Mungu. vitabu vya Mungu ni torati nabii Musa , Injili nabii Issa ( Yesu ). Zaburi nabii Daud Frukani au Quran kateem Nabii Muhammad Peace be Upon them. Je biblia ni kitabu cha nabii hupi?
Upuuzi
Bibilia imeitangulia Quran ni kweli lakini kutangulia kwa Bibilia sio kuwa sahihi kwa Mbele za Mwenyezi Mungu,Kama ni kutangulia ndiyo usahihi?Mbona Sheitani alitutangulia kuwepo hapa Duniani;Je Sheitani yuko sahihi?
Basi Tupe Aya ndani ya Qur'an inayosema Biblia ni kitabu kisicho sahihi!! Hatuhitaji porojo zisizo mashiko wala uthibitisho wa Maandiko!!
@@paulmushi2428 Sio porojo ndiyo maana nakutaka ayah ya Bibilia isemayo ni Kitabu sahihi kwa watu wote wa ulimwengu huu!
@@paulmushi2428 Ninataka ukweli wa Bibilia yenyewe make hatuwezi kuutafuta ukweli wa Quran bila kuanza na Quran Yenyewe kwanza ijipambanue Yenyewe kisha ndiyo tuiangalie Upande mwingine,Toa ayah ya Bibilia inayoithibitisha yenyewe ili watu wasiwe na mashaka kuifuata!
yesu yupo hai vipi nawakati hayupo pamoja na sisi toa uthibitisho wa kimaandiko
yesu atarudi lini mzee
Waislam ni sikio lakufa halisikii dawa/ni msiba mkubwa😂😂😂😂😂😂
Kaa hapo ubweteke eti yesu kafa kwa ajili ya dhambi zenu makafiri.
Kila mtu na abebe msalaba wake.
Soma Ezekiel 18:20
Galatia 6.5
Kumbu kumbu 24:16
Marko 8:33
The majority of Christiaans are not true because They running christianty their way , but not God way.
To proclaim that Jesus is the judge of the last day is to run Christianity the wrong way? Are you sober? Who will return again Jesus or Muhammad?
Elimu ya Dr Sulley ktk maandiko yuko juu mno zaid yko Daniel ulimshindwa kwnye midahalo utamuweza sasa, acha kuwadanganya makafiri wenzio
Mjinga tuu. Yeye hajui kutofauticha injili na bibilia. Hana hoja uyo