JE, WAISRAEL WANA HAKI YA KUUVUNJA MSIKITI WA AL AQSA ILI KUJENGA HEKALU LA 3?-MDAHALO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 214

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 9 месяцев назад +1

    Ila Shekh amefikisiwa ki maelezo, kwa hiyo anetafuta mbinu tu za kuahiriusha

  • @Immanuel-tb8ys
    @Immanuel-tb8ys 10 месяцев назад +1

    Nawaelewa sana watumishi, mjadala ni mzuri sana lakini kuna tofauti za katika eneo la wigo wa uelewa na busara, pia kama hisia za kiimani zitatumika kutoa hoja tutashindwa kupata mwelekeo sahihi, chamsingi wote tukubali kuongea kwa msingi yote mitatu yaani kisiasa, kidini na kihistoria, kila msingi ujadiliwe na wote kwa wakati mmoja na si kwa wakati mmoja mnajadili kwa kutumia misingi yote, naanisha tuanze kisiasa wote kwa pamoja tunasemaje, kidini wote kwa pomaja tunasemaje. Na tumalizie kihistoria wote tunasemaje hapo ndo tutapata mwafaka

    • @beatricenangale5439
      @beatricenangale5439 10 месяцев назад

      Yesu Kristu hakuanzisha mgogoro Bali huyu nabii Eliya anaconception iliyoyofauti kiimani

  • @FestusJchunya-hc3hv
    @FestusJchunya-hc3hv Год назад +1

    Nabii ilyasa ana damu ya kiislam halafu anajichanganya hata kisiasa waarabu walivamia like eneo wakiwa wanalazimisha dini kiislam kuingiza pale !!! Kama waarabu walivamia na waisrael wakawanyika kurudi kwao baada miaka uliyo itaja haiondoi ukweli kuwa Ile ardhi Yao hata kabla ya 1948 alafu taifa lilikuwepo mwaka huo lilirudishwa !!tu!

  • @BarnashaelJskobo
    @BarnashaelJskobo 8 месяцев назад

    Mwalimu daniel uko sawa kabisa hiyo ni nchi ya ahadi kwa wayahudi na lazima tuachane, na siasa maana imani ilikuwepo kabla ya siasa so hili swala tuchambue kiimani tuache siasa ya juzi tudumu kwenye misingi ya Mungu ya imani tuache siasa

  • @thomsonsabano1488
    @thomsonsabano1488 Год назад

    Hongera sana kwa kujadili mambo mema ya Mungu. Kuliko kujadili mpira tu. Nzega Tabora Tanzania

  • @BanyangaMohammed
    @BanyangaMohammed Месяц назад

    Mazungumuzo maruri watu wa Mungu santé sana

  • @uwandanet9382
    @uwandanet9382 Год назад +1

    Nchi hiyo ni ya Wakanani. Hawo wote ni magaidi wa kimsingizia Mungu

  • @DeusiSetivin-ls9uz
    @DeusiSetivin-ls9uz Год назад +2

    Naunga mkono waya hudi ni sehemu Yao ya kihishoria ndani ya maandiko matakatifu katika bibiria

    • @saeedisa9798
      @saeedisa9798 6 месяцев назад

      Hata hawa tambui masihi Isa mwana wa Mariamu

    • @YusuphRashidi-b1j
      @YusuphRashidi-b1j 2 месяца назад

      Wange mtambua yesu angewalindia hekaru lao kimiujiza lisinge vunjwa

  • @georgemtewele7656
    @georgemtewele7656 2 месяца назад

    Yaani maada kwa Mwalimu Daniel, imekosewa yeye kaja na UTETEZI wa taifa la Izrael uchambuzi haupo ivyo

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Год назад +4

    Vyovyote iwavyo Waisrael wapo kuutimiza unabii ndo maana tukaambiwa kwa mtini tujifunze, tukiona unaanza kuchipuka tuchangamke maana wakati umefika wa ukombozi wetu. Siwatetei Wayahudi juu ya kumkataa Yesu ila Mungu alikusudia sisi tusiomjua Mungu kwanza ili tupate wokovu. WAISRAEL WALIONDOLEWA NA MUNGU KUPITIA WATU NA WAMERUDISHWA NA MUNGU KUPITIA WATU.

  • @georgemtewele7656
    @georgemtewele7656 2 месяца назад

    Daniel sio mwalimu ni Mhubiri wa kikristo, mmekosea sana kumweka na Elias

  • @user-kl1tx3qq1z
    @user-kl1tx3qq1z Год назад +1

    Danieli uko sawa naunasema kweli huyo mwezako hawezijua mMbo yakiroho juu yeye niwa kimwili mhamed yeye die kilicho najisi mathayo 24:15 kwakuweka msikiti mahali patakatifu hari nguruwe ìla anakula vitu vingine Mathieu

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 7 месяцев назад

    Watoa mada muna maneno mengi kwenye utangulizi wenu.
    Munachosha sana

  • @BarnashaelJskobo
    @BarnashaelJskobo 8 месяцев назад

    Kwani nabii eliya siasa imeanza kwanza au imani kwanza kama ni imani imeanza basi lazima tujadili kiimani acha siasa kwanza iwe ya mwisho

  • @PIUSSEBASTIAN
    @PIUSSEBASTIAN 2 месяца назад

    Kua mkwer mwalimu ebu eleza ni wapi kulikengwa kanisa katika aridhi ya islaeli hakuna kanisa pale kunamsikit na masinagogi tu na hakuna mtu wa mungu anayeweza kuuwa watu mamia Kwa mamia namba hiyo Kwa kisingizio Cha kujilinda tumwachie mungu tu ndo ataamua hiyo vita

  • @hoffmanlupaya5728
    @hoffmanlupaya5728 Год назад +3

    Hivi Hamza unabii wa kumpatanisha Mungu waYesu Kristo na shetani umeutoa wapi? Unatoa unabii wa kumpatanisha na shetani? Mungu Yehova na mungu wako alla hawawezi kuwa kitu kimoja hata mwisho wa Kila kitu

  • @Space-f9y
    @Space-f9y Год назад +1

    Kumtaja Yesu haina maana kwamba mtaiona pepo la hasha , YESU anasema enendeni ulimwenguni kote mkaihubiri injili na kila aaminiye kuwa YESU NI BWANA na Mwokozi wa maisha yake ataokoka , hakusema atakaye muamini mohammadi, YESU anasema mimi ndimi njia ya kweli na uzima hakuna mtu atamwona baba bila kupitia mimi (YESU) Full stop. Mafundisho mengine zaidi ya hapo ni ya mpinga kristo ( wapinzani wa YESU

    • @yohana1242
      @yohana1242 7 месяцев назад

      Wew kweli hujielewi yesu amtaje Mohammed kwa nini wakati Mohammed hajaja bado duniani ule ulikua ni wakati wake alipotumwa na mungu kuja kauwalingania watu na kila mtume ana wakat wake

    • @NduguEzekiel
      @NduguEzekiel 7 месяцев назад +1

      ​@@yohana1242 umepotoka na UKIFA na hali hiyo bila kutubu utaenda jehanam...

    • @yohana1242
      @yohana1242 7 месяцев назад

      @@NduguEzekiel mkiristo tunamuelewa san na anajiona yuko sahihi na imani yake na anajiona yuko kwenye haki pasipo kujua ukwel wandani na dini yake ya kipagani utaabuduje sanamu utaabuduje sanamu ushaambiwa muabudu mungu wala usimshirikishe na kitu chochote kuweka sanamu tu ndani ya nyumba dhambi nyingi san nyinyi munaeka masanamu kila pembe wakristo muelezwe vp ili muelewe tunaoko enda ni kubaya kuna azabu za mungu

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 9 месяцев назад

    Someni vizuri bible. Baada ya wayahudi. Kimuasi MUNGU. Mungu ariwaambia. Nitawatawanya. Mtakua mateka wamataifa. Kisha nitawakusanya tena kama kuku akusanyavyo vifaranga.kwa hyo saivi MUNGU anawakusanya mabaki.kwahiyo waislamu hapo cyo kwao. Wavamizi. Watokeeeeee.

  • @WilliamChristopher-q1o
    @WilliamChristopher-q1o Год назад +1

    Mbna we nabii unachengesha mamb tena unachanganya mamb hujui kua Israel alipewa na mmiliki wa dunia pia hao waliotolewa kama waturuki walikua sio pao Israel walipewa umiliki wa milele

  • @hoffmanlupaya5728
    @hoffmanlupaya5728 Год назад +3

    Hamza shetani anakutumia vizuri mno. Shetani amekupata wakala sahihi. Unajiona unanua na kuelewa vizuri mambo hayo. Ukweli shetani kakuvalisha lipepo limekupovusha unatumika bila kujitambua. Huo unabi wako unaodai unao ni maluweluwe hakuna kitu kama hicho. Hilo ni mijini imekuvaa inakuendesha. Subili uje uone mwisho wake.

  • @EmanueliYuda
    @EmanueliYuda Год назад

    Iv Zakaria alianza kutabiri mwaka gani?

  • @nduwayokarenziamon2236
    @nduwayokarenziamon2236 Год назад

    Jambo la 3. Kwa nini sheh amza ana rudo sana kwa neno ghaidi? Hapo hatambue yakwamba anapigana kidi kwa chombo cha ma neno. Hio dini kwa muelekeo wa imani ni siasa inayo muongoza kwa undani.

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 Год назад +2

    Daniel hupo sawa kabisa

    • @BonnBonn-op6dr
      @BonnBonn-op6dr Год назад

      Sasa huyu Daniel amekudja kwenye debat ya vita ya wa Yahudi nawa Palestina awo amekudja kwenye Debat ya Biblia???? Hata sura hayina Nuru kweli kabisa inatisha

  • @nduwayokarenziamon2236
    @nduwayokarenziamon2236 Год назад

    Jambo langu la mwisho lita wahusu nyinyi sote muliopo kwa kuongoza mazungmuzo haya. Mu sipo zungumza hili neno mkiwahusu wakaaji wa mahali haya, kuliko ku izungumuzia ki historia kama mahali pekee yaani ( geographical territory), (chronilogical history) na different occupations or invasions kwenye mahali hapo mtazidi kukosea ninyi sote. Imani tofauti ulimwenguni kote zina msingi wake kwa imani kutoka mahali hapo. Ha kuna miungu tofauti, kwa undanii mcanganyiko huo, muna Mungu anaye miliki vyote pasipo ifahamu wetu na bila kuelewa matendo yake.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 месяцев назад +1

      Nimejaribu kusoma ujumbe wako kuna mahali sijaelewa hasa pale ulipoandika kwamba imani zote zimetoka hapo Masahariki ya Kati. Jambo hilo siyo kweli. Uislamu asili yake ni Makka Saudi Arabia

  • @DevotaSanga
    @DevotaSanga Год назад +1

    kumbuka vita hii inapiganwa na watoto wa mtu mmoja kasoro mama zao

  • @PIUSSEBASTIAN
    @PIUSSEBASTIAN 2 месяца назад

    Halafu muelewe hiyo vita ni ya ndugu Moja wote watoto wa ibrahimu hao Ismaili na isihaka nyinyi mnaingiaje hapo kujadili wanachopigania wanakijua wenyewe mnapoteza muda wenu tu inaitajika elimu kubwa sana na uelewa ebu tafuta misingi ya hivi vitabu vinne yaani torati zaburi. Injili koraani hivi ni vitabu vya mungu vyote Sasa someni vitabu hivi Kwa ufasaha ndo mtaelewa ukwer wa mungu

  • @josephmahona3006
    @josephmahona3006 Год назад +1

    Mwl danieli nimekufatiria sana umekosa maarifa kama aliyokua nayo nabii eliyas mdaalo mzuri tunazidi kujifunza ila mimi ni mkristo ninae simama na elyas

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Год назад

      Fafanua

    • @shabanmaganga9972
      @shabanmaganga9972 4 месяца назад

      Daniel kapaniki badala ya kutoa elimu kifupi ufahamu wake kuhusu mada bado Sana

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 2 месяца назад

    Watoto wamungu una wajua kwenda zako😂😂😢😢

  • @DeusiSetivin-ls9uz
    @DeusiSetivin-ls9uz Год назад

    Erias ana piga chenga kwa kujitetea kwa kufuata Siasa

  • @babauna3458
    @babauna3458 Год назад

    Wajua mayahudi kabla kupelekwa Jerusalem. Walikua wanaletwa Uganda. Eid amini akawafukuza . Alafu wa kapelekwa palestine ndio balaa zote. Kwanza mayahudi hawatambui yesu ni mungu wao ndio walimuaa mungu yesu.

  • @shabanmaganga9972
    @shabanmaganga9972 4 месяца назад

    Je usayuni ni ukiristo ?

  • @IddyHussein-n2y
    @IddyHussein-n2y Год назад

    Wakristo vipofu Kwanini washirika wao ni mashoga (Marikani Ujerumani Uingeleza Ufaransa na.....) Nyie wakirsto vipofu na viziwi Mungu asimamiwe na na watu wanaungana na watu wanaoamrsha uchafu.

    • @sammganga6865
      @sammganga6865 Год назад

      Vipofu nyinyi mnaoshondwa kung'amua mambo mnadanganywa na dini feki.

  • @DevotaSanga
    @DevotaSanga Год назад

    naomba unifafanulie lzraeli haikupewa nchi ya kanani na mungu je unaelewaje kuhusu safari ya wana wa izraeli kutoka misri hadi kanani nakuuliza nabii eliasa

  • @uwandanet9382
    @uwandanet9382 Год назад +1

    Niko pamoja nawe Daniel. Mpango wa lsraeli kuwa Taifa si mpango wa Mungu.

  • @marysanga5310
    @marysanga5310 Год назад

    maada ilikua sio siasa mukiingia katika siasa siasa hazipo katika Mungu siasa hazina ukweli
    Mungu alio ichagua inji hio kuwapa wana waisilaeli ndio anaye jua siasa ni wongo MUNGU ni kweli

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 9 месяцев назад

    Huwezi kutumika mabwana wawili.

  • @evangelistjacintajonathan3914
    @evangelistjacintajonathan3914 Год назад

    Lazima huo msikiti ubomolewe Kama ishara ya kumpisha mpinga kristo aingie na kanisa liondolewe

  • @gwantwamwakajela4362
    @gwantwamwakajela4362 9 месяцев назад

    Mwalim Danieli hatoshi kufafaniua maandiko sisemi hafai ila hatoshi

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  9 месяцев назад

      Gwantwa unataka nifafanue nini wakati Sheikh Hamza hatimaye alikiri kwamba ni kweli vitabu vya Kiislamu, Kiyahudi na Kikristo vinathibitisha kwamba Israel ni mali ya Waisrael? Ikiwa niliyekuwa ninajadili naye ameelewa na kukubali, kutotosha kwangu kufafanua kunatoka wapi? Fuatilia kwenye channel yake umsikilize mwenyewe alichosema.

  • @Juniorjacob-le1rr
    @Juniorjacob-le1rr Год назад +2

    Mafarisai walitawala TZ kitambo hamwezi pumua tena (yaani waislam)

  • @ChristinaCharles-py1ct
    @ChristinaCharles-py1ct Год назад

    Wayahudi hawana haki ya kuuvunja msikiti wa al aqsa.

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 Год назад

    HAMZA ANawafunfisha sisi tufuta vitabu diyo mstakwa mtu hivi mayahud watapiganasku mwisho munguamewaapa laana matamanyo yawo kugeuzahaki wanajuwa wakefuta yawo amuza tuwekee maada tujifunza kutoka kwako

  • @TamboDhadho
    @TamboDhadho Год назад

    Sasa kama huo msikiti Al aksa unasimamiwa Lebanon through trust Islamic fund.itakuaje waisraeli wauvunje huo msikiti.na miaka yote waislam ndio wanaosali hapo?

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 9 месяцев назад

    Kuna maada hazihusuani na siasa. Eliya ulitakiwa kujibu maada husika. Usihushe cyasa. Maana hata ssi Tanzania. Tuna history yetu. Kwa hyo mtu akija kutufanyia vurugu. Lazima tugane nao.kwa hyo Sasa ulitakiwa kujadili maada husika.

  • @salumndege6486
    @salumndege6486 Год назад +1

    Mimi nashangaa siye watu weusi tunahusika wapi ktk migogolo ya wazungu

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 2 месяца назад

    Hapana islaeli hatetei dini ya isipokuwa ananilinda kwa uvamizi wa makundi yakindi na vita iliyopo ipokwa misingi ya kidini ya kislam na waislam ndio katika vita ivi wanajiita kuwa iyo ich ni ya kislam amza unapoteza kwasababu ya mapenzi yeke

  • @blues4life633
    @blues4life633 Год назад

    Unakua live kuptia mtandao gani Daniel?

  • @NassorBinSalum
    @NassorBinSalum 2 месяца назад

    Vp kwa upande wa Zanzibar pia tuna haki waislamu kulivunja kanisa la mkunazini tukalifanya msikiti au

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Год назад +2

    Mbona nabii anajificha kwa mchina? Ugomvi wa Isrel na Palestine hauwezi kuondoshwa kwenye udini, haiwezekani. Nabii Hamza akajipange tena.

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 Год назад

      Uondoshwe wapi UN au wapi? Mana kidini bwana Yesu ndio aliewafukuza kwa uovu wao na huku ktk uislamu Mungu ndie aliewapiga marufuku kurejea mpaka gog wamagog watakapowarejesha tena. Na kila mara wanapokuwepo ktk ardhi ile takatifu wanafanya umwagaji damu na fasad ndio kama walivyokua wakifanya tokea Israel ilipoundwa 1948. Kihistoria ukisema ardhi ya mababu zao kwani hata huyo Abraham ambae ndio babu wa Israel jee yeye hakuwakuta wenyeji pale? Acheni kulishwa propaganda na kufanya muishi kama vipofu.

  • @hafidhimuadham9976
    @hafidhimuadham9976 Год назад

    Uyo hamza ni mkristo naunabii wake umeshafika mwisho naongea mie (sharif muadham

  • @mkude
    @mkude Год назад

    Wewe mwalimu Daniel wapalestina wapo hapo zaidi ya miaka 1000 na walikuwepo mayahudi wachache wanaishi kwa amani kwahiyo wewe unaunga mkono waisrael waje hapo wawatoe na kuwaua na kuwabomolea nyumba zao,halafu hao waisrael wala hawana ukaribu na wakristo leo hii wewe ungekuwa Jerusalem ungekuwa pamoja na wapalestina, angalia Gaza wamelipiga KANISA ambalo waislamu na wakristo wameuliwa walikuwepo hapo wakijihifadhi

  • @TamboDhadho
    @TamboDhadho Год назад

    Kwani niulize hao wote wanaopigana.hao ni mandugu na wote ni famili ya Abraham.sasa Abram ni muislam ama niwa dining gani

  • @peterthobias5000
    @peterthobias5000 10 месяцев назад

    Eti nabii jamani yy mwenyewe ni gadi kwa mungu maana imeandikwa nyakati za mwisho kutatokea manabii wa uongo

  • @bisagakaboboye8060
    @bisagakaboboye8060 Год назад +1

    Je kupambana na ukoloni ni ughaidi au ni kudai uhuru wa nchi yao? Taifa la israeli lilikuwepo tangu mwanzo lakini wakoloni wakawafukuza nchini mwao.

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 7 месяцев назад

    Saud Arabia wana katiba yao inaitwa Dastur siyo Quran

  • @EsitaDavid2-wp1uf
    @EsitaDavid2-wp1uf Год назад

    MWALIMU DANIEL YUKO SAWA,MUNGU WA ISRAEL NDIYE MUNGU MWENYE NGUVU,KARIBUNI KWA MUNGU WA ISRAELI MUNGU WA BWANA WETU YESU KRISTO, ANAKUJA KUTUCHUKUA,DUNIA INAENDA KUCHACHA NA BADO.UFUNUO ,1-22.

  • @shadrackmwasonya8781
    @shadrackmwasonya8781 Год назад

    Wasemaga "Hii imeendaaaaaa" "Hiii imeeendaaaaaaaaa! Mungu awabariki Sana Makamanda.

  • @MichaelMsongole
    @MichaelMsongole Год назад

    Elia anacho zungumuza nisahihi kabisa ila kwasababu muko kwenye Dunia isio nauruma isio penda amani lazima muwasapoti marekani na chote kinacho tokea nimufumo wamumarekani

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Год назад

      Umeelewa kichwa cha mada? Tumeongea kuhusu ISrael au Marekani?

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 2 месяца назад

      hajaelewa .diyo hao magaidi wanaovamia Israeli

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri Год назад

    Umoja wa Mataifa,mwaka 1941 walipiga kura ya kukubali kuwa Palestine igawanywe kati ya waarabu waliokuwepo na waisraeli waliohamia kutoka maeneo mbalimbali.Kura iliyopigwa ilikubalika kuwa waisraeli wahamie Palestine iliyokuwa inatawaliwa na Waingereza.Waingereza walipoondoka Palestine,waisraeli waliunda Taifa lao.Kule Umoja wa Mataifa,waarabu walikataa matokeo ya kura.Waarabu walishindwa katika kura hiyo na walikataa kutambua au kuishi pamoja na waisraeli katika nchi ya Palestine.Hii ndiyo tatizo la msingi.

  • @FestusJchunya-hc3hv
    @FestusJchunya-hc3hv Год назад +1

    Waarabu wenyewe sio ardhi Yao kwamba wanahaki halafu hata quiran Ina SEMA wazi kuwa Ile ardhi walipewa wayahudi!!

    • @mkude
      @mkude Год назад

      Kwahiyo kama walipewa mayahudi halafu walipotea kukawa kunakizazi Cha watu hapo wanaishi zaidi ya miaka 1000 ndo wakawauwe na kuwatoa kwahiyo red Indians wenye asili ya America waende america wakawauwe na kuwatoa.soma historia bro wewe mkiristo leo ungekuwa Jerusalem ungekuwa pamoja na wapalestina Kwa ubaya wa waisrael,wakristo nao wananyanyaswa huko na kutemewa mate,angalia Gaza wamelipiga KANISA na kuwauwa waislamu Kwa wakristo waliokuwa wanajihifadhi

  • @SarahKapella-rm2of
    @SarahKapella-rm2of Год назад

    Yule anayeanza kuzuru mwingine ndiye Gaidi.

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 2 месяца назад

    Mimi naona ninchi yao maana.wameludi hivi hekalu la selemani .hivi litajengwa wapi

  • @DevotaSanga
    @DevotaSanga Год назад

    ibrahimuni nani misri ni nini n a lzrae ni tai fa ambalo liliingiaje kamani namamba inijibu eliyasa

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 2 месяца назад

    Nabii eliya sikuelewi

  • @hilarymtepa9811
    @hilarymtepa9811 Год назад

    Ni kweli mataifa yote sasa hivi yanaendeshwa ki-secular.Hiyo Saudi Arabia Quran haitumiki kihiivyo ,imebakia kimaandishi tu lakini kiuhalisia dini haitumiki.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Год назад

      Kwa hiyo Saudi Arabia haina Katiba kwa sasa?

  • @mkude
    @mkude Год назад +1

    Acheni kupotosha watu hakuna atakaevunja huo msikiti wala waisrael hawajalizungumzia hilo,halafu haihitaji kuwa muislamu kupinga ubaya wa waisrael inahitajiubinadamu kuipinga Israel wanawaua watoto kwa wanawake,hao waisrael wala hawapo karibu na wakristo leo hii wewe mkiristo ungekuwa Jerusalem ungekuwa pamoja na wapalestina, waisrael wanawanyanyasa wote wakristo kwa waislamu angalia huko gaza wamelipiga KANISA ambalo wakristo na waislamu wamewaua walimuwa wanajihifadhi

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 Год назад

      Wakristo wanapopingwa na Waisrael ni kutokana hawajafunguliwa neema ya kumjua Yesu Kristo ambaye hakuleta kumtangaza yeye kwa vita bali kwa neno tu waliomkubali walifuata neno na wakawa na amani ndani ya Waisrael,sasa wasiolikubali bado wanaamini Yesu alikuwa muasi wa Imani yao ya Kiyahudi,baada ya hawa wawili kusuguana kiimani pia wakawa wameshasambaa mataifa yote ya Kiarabu ikiwemo Madina,Saudi Arabia(Makabila matatu ya Waisrael walitawala pale wakaja kutimuliwa baada ya Muhamad kuanzisha Uislam na kuwachinja).
      Kuja kwa Uislamu ndiyo kulikuja na hali ya kueneza Imani yao kwa Kuharibu na Kuua kiasi cha kuiteka Israel na kulazimisha kujenga Msikiti wa A-lAqsa hiki ni kipindi cha Halifa Umar baba wa mke wa Muhamad aitwaye Hafsa(historia yake Umar alikuwa katili sana kwa kuchinja kiasi alipewa jina la utani na Muhamad Saifullah yaani Upanga wa Allah
      Wayahudi wanafanyiwa haya yote kwa ajili ya Uislamu tu,leo hii Waisrael wanaonekana wabaya ni kwa sababu Waislamu wameibeba ajenda ya Wapalestina kwani kwa Imani yao ndani ya Quran Muislamu ndugu yake ni Muislamu sasa Wapalestina waliikumbatia imani ya Kiisalamu kwa kuona ni Watetezi wake kwani Ndani ya Q'uran kuna maelekezo ya kuwaua Wayahudi na pia Wameambiwa ni maadui zao Wakristo na Waisrael(Wayahudi).
      Hivyo hata hawa Walimu wanashindana hapo kwa sababu wanamkaribisha huyo Muislam anayeitwa Hamza Isa na kudai ni Nabii Elyassa(Elias) ambaye Waislam hapa Tanzania walishamuweka kitimoto na kupangua hoja zake za Kinabii na uchochoro anaouona ni kukaa karibu na Wakristo ili kujitanua.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz Год назад

      Kuua wanawake na watoto hiyo sio hoja hata Mungu mwenyewe miaka ya nyuma aliwaagiza wana wa Israel waende vitani wakaue watu wote ikiwemo wanawake na watoto na kisisalie kitu.kikubwa tuwaombee kwa Mungu na Mungu akikubali maombi yetu wataishi kwa amani.

  • @azizmunisi1806
    @azizmunisi1806 Год назад

    Naomba mniambie pale palestin ni nani walikua wanaishi kabla nabii Ibrahim kununua ardhi pale na walikua wanaitwaje

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Год назад

      Walikuwa wanaishi Wakanani kama Quran 5:20-21 ilivyosema

  • @libetztanzania-kiswahilina2845
    @libetztanzania-kiswahilina2845 Год назад +2

    SHEKHE HAMZA NABII ELIYA KARIBU KWA YESU KRISTO MNAZARETI MWANZO NA MWISHO ALFA NA OMEGA NDIO NJIA UKWELI NA UZIMA.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Год назад +1

    Kwani hata ingekuwa ni kujadili kisiasa, kwani kisiasa, ni nchi gani itakubali kuvamiwa iwe kisiasa au kidini wakakubali? Israel watakubalije wanyang'anywe nchi yao?

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Год назад

      😂ZANZIBAR NA PALESTINE😂
      @Wakiristo waliivamia Zanzibar kwa jina la Mapinduzi Matukufu na wakaifanya kuwa Koloni yao kwa jina la Muungano Daima.

  • @nicksonlibent2903
    @nicksonlibent2903 8 месяцев назад

    Eliasi unakosea kusema kwamba Israel ni taifa la Kishetani, tubia huo uovu...
    Kama Kweli wewe ni Mwenye nia njema inakuwaje unataja jina na shetani kwenye maswala ya kisiasa?

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Год назад +2

    Shekhe Hamza anasema Yesu ni mkombozi wa maisha ya wanadamu. Waislamu mnakubali hilo? Kama hamkubaliani naye maana yake anakufuru siyo? Kama ndivyo, mnamuunga mkonoa Kafiri na kwahiyo wotemmekuwa makafiri😂

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 Год назад

      waislamu ata baadhi ya maneno yaliyopo kwenye bibilia yenu ni ya kweli lkn Haina Mana kuwa tumeunga mkono kila kilichopo ktk bibilia kwa sababu kuna mengine ni ya uzushi, alafu waislamu wameruhusiwa kushirikiana na watu wengine ata kama c waislamu ndio mana mitaani tunaishi na tuna heshimiana, ata wewe tunakuunga mkono ikiwa tu kuna jambo litakuwa la kweli kuna wakristo wengi tu kuna baadhi ya mambo wanayajua kuhusu uislamu na tunaungana nao ktk mambo ayo

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 Год назад

      Kutokana na ufatiliaji wangu wa Waislam kujua Biblia siku hadi siku watajua ukweli kwani baadhi ya maandiko ambayo Muislam anayakubali ni yale tu yatakayo tumika kuukandamiza Ukristo tena kwa kukatisha maandiko kwakusomewa na Shekhe na chuki na ubaya wanao pandikizwa Waislam toka wakiwa wadogo kuwa Wakristo ni watu wabaya na Biblia ni kitabu cha uongo na wala msikiguse wakati Mashekhe wanajua ukweli vizuri ila waumini ndio wanadanganywa wasijue kweli. Baada ya Wasilam walofanikiwa kufafanuliwa Biblia kila siku wanampokea Yesu mpaka India wameona wachome moto makanisa na kuwaua wakristo. Irani wanateka wakristo wanawaua nakuzika kwenye kaburi moja watu hata mia sasa nani magaidi?

  • @RasmaKazitanga
    @RasmaKazitanga Год назад

    Jamani tujichange nauri hamza aende israel akatulize vita

  • @nicksonlibent2903
    @nicksonlibent2903 8 месяцев назад

    Kitu cha kujifunza na ninaamini unakijua na ni vile unajizima data tu.
    UKIANGALIA MAANA TU YA JINA YAKOBO NI VITA, ISRAEL NI MAPAMBANO, SO NI LAZIMA KUMILIKI NA KUTAWALA KWA ISRAEL KUZINGATIE MABAVU

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Год назад +1

    Ugomvi wa Israel na Palestina ni wa kidini na kihistoria, Hamza anajificha kwenye siasa inayoanzia 1948 Israel waliporejea kwenye nchi yao rasmi,. Azungumzie historia kabla ya kurejea kwao 1948. Israel ni nchi ya nani kwa asili?

  • @silaondijo-hi6mi
    @silaondijo-hi6mi Год назад +3

    Free free Israel

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 Год назад

      FREE MASHETANI WA ISRAELI

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 Год назад

      ​@@mombasa0076😂😂😂😂 asante ndugu

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 Год назад +1

    Huyu Daniel Hana akili kabisaaaa huyu hamza njaa ndiyo inamsumbua mpaka kujiita Nabii uzayuni ni chama Cha Freeman mason Cha kiyahudi

    • @pueblo148
      @pueblo148 Год назад

      Nimecheka sana.
      Daniel Yuko sahihi.huyu mwenye kualika umoja wa mataifa mara wachina juu juu haeleweki

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 7 месяцев назад

      Wewe ndio huna akili usitukane wenzio kuwa mtaarabu

  • @JosephShana-r8o
    @JosephShana-r8o Год назад

    Huwezi kuzungumzia historia ya Israel bila bila kuhusisha Biblia.

  • @simonbaltazar9152
    @simonbaltazar9152 8 месяцев назад

    Watajengaje hekalu bila kuwa na sanduku la agano? lazima uelewe kuwa hekalu litakalojengwa ni la shetani,sio la MUNGU

  • @uwandanet9382
    @uwandanet9382 Год назад

    Wote ni magaidi nchi hiyo ni ya Wakanani

  • @DifaRobelindo-cj2ij
    @DifaRobelindo-cj2ij Год назад

    Kama ichi yetu angalikua na watu wasio kuwa na akil kama tanzania basi tungepata tabu sana yani wa israel walikua watu weusi kk?

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 Год назад

    ACHENI KUPOTOSHA WATU , MNACHOFANYA NYINYI NI UCHOCHEZI NA UPUUZI .
    NANI AMEAMBIWA AVUNJE MSIKITI NA HUO MSIKITI UNAKUKERENI KWA LIPI.
    ACHENI PROPAGANDA ❤
    KAMA NINYI MNATAKA KUVUNJA MSIKITI NENDENI TU MKAVUNJE TUONE MTANUFAIKA NA NINI .

  • @jumayakobo7703
    @jumayakobo7703 Год назад

    Waizieli Hawa siyo wale wa yakobo Hawa ni wahatari Santa Mimi naamini hivyo

  • @HassanYusuph-j1e
    @HassanYusuph-j1e 3 месяца назад

    Niyi walimu hakuna taifa linaitwa lsrael lsrael ni jina la yakobo alilopewa na mungu baada ya kupigana na mungu na kushinda soma biblia viziri

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Год назад +1

    Huyu Hamza alikuja hapa kujadili mgogoro wa Israel na Palestina kana Nabii au kama Hamza tu? Nashangaa nabii gani hataki mjadala wa unabii unaohusu Israel anataka siasa? Mimi huyu huwa ananichanganya tu, simuelewagi.😂

  • @TamboDhadho
    @TamboDhadho Год назад

    Sasa bw.daniel.kama wayahudi walikataa mambo ya mungu.na pia walmkataa Issa.sasa hao niwatu gani simakafiri.wanawakataa mpaka hao wanao jiita wakristo pia hawatambui.sasa hao ndio mnawatetea

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 Год назад

      Bado watabaki kuwa Waizraeli na pale patakua kwao mpka mwisho wa Dunia. Ila kutawanyika na kuteseka mpaka kukusanyika yote hayo yameandikwa kwenye Biblia, kingine kutokana na wao kumpinga na kumkataa Yesu! hivyo hata ule utukufu walikua nao haupo tena kwao na hata zile kabila 12 ziliishia kipindi cha kuondoka Yesu nae ndie aliutoa huo utukufu, hivyo upande wa kisiasa kweli ni magaidi kidini pale ni kwao ingawa wazawa hawakua wazungu ni watu weusi wale wanatumia jina Izrael lakini wale ni Pandikizi la wazungu USA na England kwa malengo yao maalum.

  • @hoffmanlupaya5728
    @hoffmanlupaya5728 Год назад +1

    Daniel huyo sio nabii na Hana unabii wowote jina lake ni hamza mwite hivyo. Mwulize amefika wapi na unabi wake.

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 Год назад

    Ndio waisrael Wana haki ya kuvunja msikiti wa Aqsa

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 Год назад

      Nenda kawasaidie kuvunja msikiti na kwa kukusaididia huko ni mbali misikiti iko mingi hata huo uliyopo kwenu ni msikiti kavunje lakini ujue huvunji uislamu unavunja nyumba yakufanyia ibada na katika uislamu tunaweza kufanya ibada popote tu.

  • @AbuKhalifah-t2h
    @AbuKhalifah-t2h Год назад +3

    Yani makafiri mpaka nyuso zao hazina haibah kabisa nyuso zimewakauka kabissaa hamna hata nuru ukafiri. Yani mtu ukiwa NJ mshenzi umesha fanya madhambi meengi hata sura yako inakuwa nikama maiti iliyo kaushwa wapuuzi wakubwa na hayo maombi hamumuombi mungu mnamuomba shetwaani

    • @samoramussa5336
      @samoramussa5336 Год назад

      Acha maneno yako mabaya juu ya mtumishi wa Mungu,

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Год назад

      hauna akili tangulini mwislam akawa na nuru , ninyi ndio makafiri wapinga kristu

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 Год назад

      Pinga Kristo Utalitambua Tu Kwa Maneno Yake Ya Ushuzi Ushuzi Binti Kujamba Jamba

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 Год назад

      Makafiri wapi unawarejea? Nini maana ya kafiri? Kwa maana, Ile maana unayoitumia kumuona mtu mwingine kwako ni kafiri, vivyo hivyo kwa maana Ile Ile wewe pia ni kafiri. Kwa hiyo yeye ni kafiri kama wewe ilivyo kafiri. Huna Cha kujivunia!

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 Год назад

      Mayahudi Ni watu waliolaaniwa maana hata yesu wanasema Ni mtoto wa zinaa, nashangaa wakristo wanavojikomba Komba Kwa mayahudi

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 Год назад

    Kwaujumla huko united nation
    Swala hili halizungumzwi kidini kama sisi tunavyo zozana
    Nimikataba aliyopangiwa Israel anapingana nayo
    Na kuwakandamiza Palestinian un hawaelezi kuhusu
    Ibrahim wala Jesus Christ

  • @eliasKivuyo-v6r
    @eliasKivuyo-v6r Год назад

    Unajiita nabii kumbe mwehu tu huna ufaham wwt ww ni manafiki wa kutupa.

  • @desireas
    @desireas Год назад

    Naitwa AS DESIRE jamani tunawafuata hata huku drc Mungu awabariki

  • @WilliamChristopher-q1o
    @WilliamChristopher-q1o Год назад +1

    Shekhe umesema kua hawa waisraeli walitoka ndipo hao wapalestna wakaingia pale Israeli sasa tuludi kidunia hivi wewe Leo hii utoke hapo ukute ndani kwako kuna mtu kaleta familia nani gaidi au utatoka uende ukalale mtaloni

    • @mkude
      @mkude Год назад

      Unaleta mifano ya kitoto acha unafiki wewe wapalestina wapo zaidi ya miaka 1000 hapo taifa la Israel lilishasambaratika,sasa wanahaki gani ya kurudia nakulazimisha na kuuwa watu walikuwa wanaishi hapo kizazi na kizazi,halafu hao waisrael Wala hawana ukaribu na Nyinyi wakristo leo hii ungekuwa Jerusalem ungekuwa pamoja na wapalestina, huko Gaza wamelipua kanisa ambalo waislamu Kwa wakristo waliokuwa wanajihifadhi

    • @WilliamChristopher-q1o
      @WilliamChristopher-q1o Год назад

      Vitu vingine mbona hata kwa macho tu vinaonekana bas nikubaliane na wewe kua hao waisrael walisambalatika wapalestina wakakaa kwao iweje sasa baada ya kuludi kwao wapate nguvu kuliko hao hamas jaman tuache ubishi Israel wananguvu na uwezo mkubwa kwasababu mungu wao ananguvu pia nimaagano kutoka kwa mungu mkuu

    • @WilliamChristopher-q1o
      @WilliamChristopher-q1o Год назад

      Alafu pia huyu nabii anakili kua mskiti lazma uvunjwe sasa unavujwa vip jua kua mungu anaweza hata kumtumia shetani kutimiza agano Lake kama kwel hao hamas ni wa mungu kwann wasivunje msikiti wenyewe wajenge hekalu pia swala la wao kuuwawa hapo kwangu mimi haina shida kabisa kumbuka kabla hata ya Israel kumiliki hapo wakaanani walikua hapo mungu aliwatoa kwa nguvu na kwa mauaj makuu iweje hamas

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 10 месяцев назад

    Jee waisrael watakapo taka kurudi nchi aliyotoka Ibrahimu hapo uru wa wakaldayo au mesopotamia kwa sababu Mungu alimwambia toka ktk nchi ya baba yako na ndugu zako na jamaa zako hata nchi nitakayo kupatia ,je?? Israel wakiamua kirudi irak waislamu hamata lalamika tena na kusema wanevamiwa na waisrael???

  • @mmeagroup-TV
    @mmeagroup-TV Год назад

    Nonsense

  • @aliabdallah4233
    @aliabdallah4233 Год назад

    Bwana Hamza unanimlza ukimambia Danieli tueke biblia pembeni tuchambuwe kisiasa kwanza tatzo danieli kusiasa hujuwi ndio mana alkwepa

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 Год назад

    mwankema ovyo Sana Mwaipopo amekuita muendeshe mjadala unmkimbia

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 Год назад

      Ndugu fungua Clip za nyuma za Mwaipopo yeye ndo hataki na amewatangazia na mashekh wenzake wasifanye debete yoyote na hawa kina chaka kisa akisomewa mistari ambayo wengi wa Waislam hawaijui na inamuanika Muhammad yeye Mwaipopo anasema wanamtukana Muhammed wakati ni ukweli na nivitabu vya kiislam vyenyewe vimeandika

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 10 месяцев назад

      Wewe mwakemwa hueleweki n
      Kuna klip yako moja niliona nikaona wewe kweli na WA ovyo na
      Mwalimu Daniel,nataka unifahamishe ili tuamini kuwa biblia ni kitabu Cha Mungu Hawa kina petro ,Marko,yohana, Paulo,na wengine,walio semwa katika biblia,haya maneno wanayosema wao wsmesmbiwa na nani?

  • @MichaelMsongole
    @MichaelMsongole Год назад

    Nimeamini wasomi maporofesa ningumu kujuwa hili la malestina na izirael mupaka uwe nanema .naitwa waipinta

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Год назад

      Sijaelewa hebu fafanua tena ujumbe wako

  • @GaudenceSanga-lr6zo
    @GaudenceSanga-lr6zo Год назад

    Israel ni taifa jipya au lilikuwepo? Na kama lilikuwepo kwao wapi? Shegh hamza nipe jibu

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 Год назад

      Ilo taifa la izrael halipo yani limekufa

  • @TatuKhatib-f1u
    @TatuKhatib-f1u Год назад +1

    Awe muislam au mkristo ukweli usemwe

  • @hafidhimuadham9976
    @hafidhimuadham9976 Год назад

    Usiongope watu wrwe sio nabii

  • @nduwayokarenziamon2236
    @nduwayokarenziamon2236 Год назад

    Jambo la 5. Sheh ametupotosha pale alipo anzia, hapo alipo hakikisha ya kwamba mwaka 1948 siyo mwanzo wa israheli ni wakati wa kurudishwa kwake, lakini hakubali kutafsiri sionists ni watu gani, na ukimifuata vizu, utasikia kwamba, anapenda kuuepuka ukweli fulani kwani anapigana sana kidini apana ki historia..

    • @mkude
      @mkude Год назад

      Ndugu soma acha unafiki,unajua wewe mkiristo leo hii ungekuwa Jerusalem ungekuwa pamoja na wapalestina Kwa mauzi wanayowafanyia wakristo Kwa waislamu mnatemewa mate nyinyi mkionekana Jerusalem halafu leo unawaona wazuri,wamepiga Gaza Kanika la Karne linamiaka zaidi ya 800 wamelipiga wamewaua wakristo na waislamu waliokuwa wanajihifadhi katika Hilo kanisa,hata mayahudi wengi Duniani hawakubaliani na taifa la israel.sasa hivi nchi zenye wakristo wengi wameshavunja mahusiano na Israel Kwa ubaya wanaoufanya