Tatizo kila umuonaye barabarani ni mkristo, eti! Mtu yeyote anawezasema ni dini fulani ila Biblia yesema 'utawajua kwa matendo yao'. Hivi wale Al-shabaab ni Waislamu? Kwa matendo yao?!!!! Mbona wewe hujajiunga nao???
Huyu anae bisha hana tofauti ya uelewa kama wewe, umemezeshwa na kuburuzwa maneno na kiongozi wako wa Dini toka ukiwa mtoto ndio maana ulipewa muda wa kupevuka na kujitambua na kujua lipi baya na lipi zuri, kama kwako Uislam ndio sahihi! Sasa nikikuuliza kwanini wenye makundi ya mauaji ni waislam haohao? Na wanajitetea Qurani imeruhusu na mnapo Ua lazima mseme Allhakibal na Bismilah na maneno hayohayo unatumia Msikitini. Ndio makundi kama hayo ya Osama bin Ladeen, Alshababu, Boko Haramu, Allzakawi, Libya walomgeuka Gadafi, Saadam Hussein, Magaidi ya Somalia, Wanao jilipua kwa kuvaa Mabomu wote hao ni Waislam, Sasa mbona na wewe aujiungi na hayo Makundi? Umejua kama hawako sahihi ila umeona wapi Makundi ya Wakristo wanajiunga kuua watu? Jitafakari na ubaki na njia ya kweli na uzima
@@ustadhfarouq7729 Mungu anazaa kwa NENO wala sio kwa Ngono. Mungu anauwezo wa kufanya lolote, ikiwa Allah hana uwezo huo basi ni dhaifu na amepungukiwa!
Umesema YESU hajawahi kumuita MARIAM mama yake? Ukitumia njia hiyo kuthihitisha basi pia tumia njia hiyo hiyo kuthihitisha YESU ni Mungu kwa maneno ya Yesu mwenyewe akisema MIMI YESU NI MUNGU la sivyo ni blaa blaa tu. Yohana 19:26 Basi Yesu alipomwona mama yake, na yule mwanafunzi aliyempenda amesimama karibu, alimwambia mama yake, Mama, tazama, mwanao. Yohana 2:3 Hata divai ilipowatindikia, mamaye Yesu akamwambia, Hawana divai. Yohana 2:4 Yesu akamwambia, Mama, tuna nini mimi nawe? Saa yangu haijawadia. Yohana 2:5 Mamaye akawaambia watumishi, Lo lote atakalowaambia, fanyeni.
Wewe ndacha pamoja Na hao wapofu wenzako hamukielewi Kiswahili Ukisema amebarikiwa katika wanawake maana yake Maria amebarikiwa kuliko mwanamke yeyote duniani wacha.ujinga.wewe.ndacha hujuwi kiswahili
Huyu ampangia siku ili nimfundishe lunga tu lakini nataka nijifanye mbara Kwanza Kisha akione cha moto. Sababu huyu azengua watu wa Bara kwa kuwatafsiria na kueleza Maandiko na maneno ya Kiswahili KI-MCHUZI MIX
@@mngwaliussi2668 kwa hiyo mtu akisema 'mimi naishi KULIKO mji huu' itamaanisha 'mimi naishi KATIKA mji huu'??? Labda iwe kisukuma, msomi wa Kiswahili kweli WEWE!!!!
Kila siku ni siku ya kuambudu kama mwalimu yuko sawa hata yeye anapaswa kujua hana Mungu,,,sda wanaamini siku wokofu si siku,,huo mlango ulikuwa wa ekalu jerusalem hata yeye anapotea
Nyie mnaopata neema ya kusikia ukweli na bado mnaupinga! basi tambueni hata muda wahukumu ukifika ndio nyie mtakua mnaongozana na kumpokea Mpinga Kristo na Dunia nzima inajua Yesu ndie atakuja Kuuhukumu Ulimwengu ndio maana tunasubiria ujio wa Mpinga Kristo na kila kilichotabiriwa kwenye Biblia kitabu cha zamani kuliko Quran vitu kibao vimesha tokea na vinaendelea kutokea sasa sijui kipi kinawafanya mnakuwa wagumu kuelewa kwa faida ya Roho zenu. Muhamad mwenyewe yupo aridhini nae anasubiria Hukumu na kashasema hajui atafanywa nini siku hiyo ya Hukumu.
When anyone says unkind things about our Blessed Mother Mary, to me it is clear he is not serving Jesus but other powers. Mary was most favoured with very special blessings which no other woman in this world ever received from Almighty God. God chose her among all women on earth to carry His Son in her precious Woumb! She carried the Word of God. She was put right in the middle of salvation plan. She cared forJesus from infant to adulthood. No other woman has ever received these kinds of blessings. Jesus called her "Woman" to fulfil the prophesy in Genesis. Mary became the New Eve. We do not worship her, she is created like all of us, but she definitely deserve our respect, honour and thankfulness for bearing for all humanity a saviour. I love her because through her I have learned to love and adore her Divine Son more deeply. She is the mother of faith in Jesus and we should follow her example.
@@BIBLIANURUYADUNIA sina haja ya kukupa andiko. Unaijua biblia, na yote nimeyaandika yanafahamika kutokana na maandiko ya biblia tukisoma kwa maakini bila kupuuza.
Kama vile nyinyi munatumia history maneno ya watu kwa siku ya saba ni jumamosi, lakini Bible ni siku ya kwanza ya week ambayo ni jumapili, ndiyo siku ya sababu.
Wewe umepotoka, jiulize Good Friday ni nini. Hata wakatholiki wanajua Ijumaa ndio siku Yesu alikufa na akazikwa upesi kwa kuwa Sabato ilikua karibu kuingia yaani Jumamosi! Hiyo ni Biblia inasema, vitabu vya historia vinaunga mkono tu! Au wewe unamaandiko yanayothibitisha Yesu hakufa na kuzikwa siku ya Ijumaa?!
@@janekwada6805 nkt Yesu alifufuka siku ya kwanza ya juma yani jumapili. Wewe una kuja kusema sabato ni siku ya kwanza ya juma yani jumapili 😂😂😂😂duu. History inaendana na bibilia wewe una soma vitabu kweli? Alafu unatoa ufunuo 1:3. Iyo andiko inakusaidia nini wakati ujui siku ya saba ni lini😂😂😂
@@saitotisapiyo9446 it's like you don't understand what I say. Plz I don't say Sabato is a day no it's meaning it is Luke 23 :56. Plz don't answer what you didn't understand
Mwalimu Ndacha Mungu amempa hekima ya maandiko anajibu maswali kama Yesu alivyokuwa anajibu this is so inspiring
Wee pastor MUNGU akuzidishie NEEMA zaidi na akubariki sana....umefurahisha roho yangu.+.
Ee baba wambinguni umtunze ndacha
Mchungaji Ndacha mungu akubariki sana hao wapo kimwili sana
Mwalimu uko na kazi ngumu
Kabisaa
Hyu jamaa hatar, yaan biblia yte ipo kichwani
Mungu aendelee kuwajidishia hekima na neema yake
Barikiwa sana mtumishi ndacha
Mungu azidi kuwabariki
Great!!! nimesoma leo
Nashukuru Mungu kwa yote Asante sana watumishi hoping that Tanzania meeting will be successful.
Imenilazimu nirejelee kamusi nione maana ya vua.
Ubarikiwe sana Mr Ndacha
Ubarikiwe sanaaaaaaaaa mchungaji
Heheheheeeeeee unacheza Na Ndacha Wewe...... Piga injjili mtumishi mteule
Amen amejibiwa na neno lililo hai
Huyu jamaa ni mkatoliki kabisaaaaa
Mbarikiwe zaidi mwalimu
Mungu akubariki Ndacha
Mungu akubarik ndacha
hallelujah, watu wapashwe habari njema ya wokovu
Barikiwa saana mtumishi
Mwalimu Ndacha uko sawa
Mubarikiwe watumishi
Ndacha uko kazi ngumu,mungu akuongoze
Amina sanaaaa Pastor
God bless u ndacha
The grace of our Lord, my Lord and God and saviour is amazingly great.
Barikiwa sir mwalimu ndacha
Anayeuliza swali ana upungufu wa kupuuza maandiko mengine
Always Following you . Francis Ndacha and Paulo
Mwalimu usife moyo ukonakazi ngumu sana kiukweli unanibadilisha sana
safi mwalimu wangu
Kweli Ndacha ni dawanol
Kwani inayoabudu mungu ni roho ama ni siku? John 4:23-24
...na Mungu apewe sifa
Mwalimu ndacha naomba ukuje kilgoris siku Moja watu wamepotea uku hawajui neno la kweli
Congrats ndacha
Habari hizi ziendelee kuhubiriwa pande zote za ulimwengu
Mtumishi mtumishi tuko pamoja
Sisi wote kama tunge funza watu kama ndacha.aki YESU WETU.huko mbinguni angefurshi saaaaana
Hahaaa Baba La WAJINGA.... Leo umepatikana. Yani wakristo wenzako pia wagongana na Wewe kwa ubozo wako
Tatizo kila umuonaye barabarani ni mkristo, eti! Mtu yeyote anawezasema ni dini fulani ila Biblia yesema 'utawajua kwa matendo yao'. Hivi wale Al-shabaab ni Waislamu? Kwa matendo yao?!!!! Mbona wewe hujajiunga nao???
Huyu anae bisha hana tofauti ya uelewa kama wewe, umemezeshwa na kuburuzwa maneno na kiongozi wako wa Dini toka ukiwa mtoto ndio maana ulipewa muda wa kupevuka na kujitambua na kujua lipi baya na lipi zuri, kama kwako Uislam ndio sahihi! Sasa nikikuuliza kwanini wenye makundi ya mauaji ni waislam haohao? Na wanajitetea Qurani imeruhusu na mnapo Ua lazima mseme Allhakibal na Bismilah na maneno hayohayo unatumia Msikitini. Ndio makundi kama hayo ya Osama bin Ladeen, Alshababu, Boko Haramu, Allzakawi, Libya walomgeuka Gadafi, Saadam Hussein, Magaidi ya Somalia, Wanao jilipua kwa kuvaa Mabomu wote hao ni Waislam, Sasa mbona na wewe aujiungi na hayo Makundi? Umejua kama hawako sahihi ila umeona wapi Makundi ya Wakristo wanajiunga kuua watu? Jitafakari na ubaki na njia ya kweli na uzima
Kwanni waisilam wanapenda kubishana na ukweli?
Ukweli gani eti kuwa mungu anazaa 🤣🤣🤣 mungu nimuumbaji mungu hazai ww Isaya 64:8
@@ustadhfarouq7729 Mungu anazaa kwa NENO wala sio kwa Ngono. Mungu anauwezo wa kufanya lolote, ikiwa Allah hana uwezo huo basi ni dhaifu na amepungukiwa!
Ao wakristo enyewee hawafamiani hhhh
I WISH UNGEKUWA UNATOA ANDIKO MUISLAMU AKIKUULIZA SWALI SIO KUUNGA UNGA VIRAKA HAVINA MWELEKEO.
Umesema YESU hajawahi kumuita MARIAM mama yake? Ukitumia njia hiyo kuthihitisha basi pia tumia njia hiyo hiyo kuthihitisha YESU ni Mungu kwa maneno ya Yesu mwenyewe akisema MIMI YESU NI MUNGU la sivyo ni blaa blaa tu.
Yohana 19:26
Basi Yesu alipomwona mama yake, na yule mwanafunzi aliyempenda amesimama karibu, alimwambia mama yake, Mama, tazama, mwanao.
Yohana 2:3
Hata divai ilipowatindikia, mamaye Yesu akamwambia, Hawana divai.
Yohana 2:4
Yesu akamwambia, Mama, tuna nini mimi nawe? Saa yangu haijawadia.
Yohana 2:5
Mamaye akawaambia watumishi, Lo lote atakalowaambia, fanyeni.
KJV John 2:4
4 Jesus saith unto her, WOMAN, what have I to do with thee? mine hour is not yet come.
KJV John 19:26
26 When Jesus therefore saw his mother, and the disciple standing by, whom he loved, he saith unto his mother, WOMAN, behold thy son!
@mwalimu dacha we want the all video of this
Mko wapi
😂😂😂hii kazi ni ngumu watu awakubali ukweli 😅😅wanapinga Bible haha 😂 😂😂 God have mercy
Sauti
Wewe ndacha pamoja Na hao wapofu wenzako hamukielewi Kiswahili
Ukisema amebarikiwa katika wanawake maana yake Maria amebarikiwa kuliko mwanamke yeyote duniani wacha.ujinga.wewe.ndacha hujuwi kiswahili
Huyu ampangia siku ili nimfundishe lunga tu lakini nataka nijifanye mbara Kwanza Kisha akione cha moto. Sababu huyu azengua watu wa Bara kwa kuwatafsiria na kueleza Maandiko na maneno ya Kiswahili KI-MCHUZI MIX
@@mngwaliussi2668 kwa hiyo mtu akisema 'mimi naishi KULIKO mji huu' itamaanisha 'mimi naishi KATIKA mji huu'???
Labda iwe kisukuma, msomi wa Kiswahili kweli WEWE!!!!
45 Wewe umebarikiwa kwa kuwa uliamini kwamba Bwana atatimiza yale aliyokuambia.” 46 Mariamu akasema: “Namtukuza Bwana,Luka1:45
Wacha urongo Wewe Bonzo... Ati Hakuna and iko Yesu amuita Mariam mama!!!! Yohana 2:1-4😂😂😂
Wapi mamayangu si mama leta kwa kizungu
Amen
Huyujaa mpumbavu Sana anamaswali yahovyo
Kila siku ni siku ya kuambudu kama mwalimu yuko sawa hata yeye anapaswa kujua hana Mungu,,,sda wanaamini siku wokofu si siku,,huo mlango ulikuwa wa ekalu jerusalem hata yeye anapotea
Ati yesu hajawai ita mariamu mama katika bibilia..ai ndacha really WACHA KUDANGANYA WATU...YOHANA 2:1-4
Wapi andiko ina sema mamayangu. Ama toa kwa bibilia ya kizungu. Mimi uwita mwanamke yoyote mama ila si mamayangu
@@saitotisapiyo9446 ubishi to swali linasema nini
@@Pixe_lify nkt Mama yangu ama masikiyo huna?😎
Ujui kitu unalopokatu ww msahili ungekuwa na hakili unaabudu majin pole ukipata elimu utajuwa unakufa unaenda na majin yako uku 🔥🔥🔥🔥🔥
Dacha uko sawa but uko arrogant kimpango
Ndacha umepatikana sasa kwasababu unapoteza watu sana
We Sugulika na waislamu
Nyie mnaopata neema ya kusikia ukweli na bado mnaupinga! basi tambueni hata muda wahukumu ukifika ndio nyie mtakua mnaongozana na kumpokea Mpinga Kristo na Dunia nzima inajua Yesu ndie atakuja Kuuhukumu Ulimwengu ndio maana tunasubiria ujio wa Mpinga Kristo na kila kilichotabiriwa kwenye Biblia kitabu cha zamani kuliko Quran vitu kibao vimesha tokea na vinaendelea kutokea sasa sijui kipi kinawafanya mnakuwa wagumu kuelewa kwa faida ya Roho zenu. Muhamad mwenyewe yupo aridhini nae anasubiria Hukumu na kashasema hajui atafanywa nini siku hiyo ya Hukumu.
When anyone says unkind things about our Blessed Mother Mary, to me it is clear he is not serving Jesus but other powers. Mary was most favoured with very special blessings which no other woman in this world ever received from Almighty God. God chose her among all women on earth to carry His Son in her precious Woumb! She carried the Word of God. She was put right in the middle of salvation plan. She cared forJesus from infant to adulthood. No other woman has ever received these kinds of blessings. Jesus called her "Woman" to fulfil the prophesy in Genesis. Mary became the New Eve. We do not worship her, she is created like all of us, but she definitely deserve our respect, honour and thankfulness for bearing for all humanity a saviour. I love her because through her I have learned to love and adore her Divine Son more deeply. She is the mother of faith in Jesus and we should follow her example.
Wapi Andiiko ndiye muombezo?
Wapi Andiko yeye ni muombezi
@@BIBLIANURUYADUNIA sina haja ya kukupa andiko. Unaijua biblia, na yote nimeyaandika yanafahamika kutokana na maandiko ya biblia tukisoma kwa maakini bila kupuuza.
Leta andiko dada plz
@@kiswahili_mangat confused Catholics, oooooh Catholic
Mungu yuwazaa😂😂😂😂😂😂😂
Chief mkali Mungu huzaa kwa Neno
Ukweli ni mchungu
Ndacha hapo kwa katika wanawake nimekataana na wewe
Wamefanya nn dadangu
Wakristo wanapambana AllahuAkubaru
kama vile Shiya na Suni; waislamu wanaopingana. Au ulidhani watu hawajui Waislamu wana madhehebu mbalimbali?!!!
Abdullah wasiojua wanapambana kujua hakuna makosa hapa
Hawa watu ni ubishi tu hawana lolote wanapora tu watu wabatizwe wawe wasabato wajifunze biblia
this guy is asking rhetorical questions....
Kama vile nyinyi munatumia history maneno ya watu kwa siku ya saba ni jumamosi, lakini Bible ni siku ya kwanza ya week ambayo ni jumapili, ndiyo siku ya sababu.
Wewe umepotoka, jiulize Good Friday ni nini. Hata wakatholiki wanajua Ijumaa ndio siku Yesu alikufa na akazikwa upesi kwa kuwa Sabato ilikua karibu kuingia yaani Jumamosi! Hiyo ni Biblia inasema, vitabu vya historia vinaunga mkono tu! Au wewe unamaandiko yanayothibitisha Yesu hakufa na kuzikwa siku ya Ijumaa?!
Hahaha ati jumamosi ni siku ya kwanza kwa bibilia hahaha hatari sana
@@saitotisapiyo9446 nani kasema jomamosi soma mandiko siyo history tutaishi kwa neno la Mungu siyo ya wanadamu. Ufunuwo 1 :3