Mahubili safi mchungaji. Though about corona go slow on that please. We have had more worse diseases even b4. Remember leprosy killed as many people too. All these is in Jesus's prophecy. Don't mix it up with the papacy please. It's just like any other worst diseases foretold
@@rosemutinda3076 just because magonjwa zingine hazijazambaa duniani doesn't mean they don't exist. I gave an example of leprosy... it was as scary too & it is in the Bible. Swine flu is another example though it was contained before izambae. Magonja ni mengi dada...read mathew 24. All these are foretold. Don't panic yet, its just the beginning of sorrow
Kama Bwana angelikua anaulazima wakuabufiwa jumamos basi makanisa ya SDA yangekua mengi kuliko yajumapili maanake mambo yashetani hayawezi yakachukua nafasi kubwa kuliko ya Mungu haiwezekani siku yajumapili iwe niyashetani halafu Mungu awaache watu wote waende jumapili naanyaze hivo basi atakua ni Mungu ambaye hanamaana so Mungu slazma Mungu asbudiwe jumamos sikuyoyote Mungu anafaa kuabudiwa
Ndiyo nguvu za Mungu nikubwa nawengi lazma waifwaate japo wengi watashindwa katka safari kumbukeni nyinyi walim wasabato sabato haitawaokoa atakayewaokoa ni Yesu ninachowashauri tu nikwamba hubirin Yesu tu lakin mkiendelea kuhubiri sabato mnafanya kazi bure maana sabato nkwamwanadam nasimwanadam kwaajili yasabato Yesu alisema hivyo
Kwakuitii sabato saana mkamuua Yesu hiyo siku mnasema watu walkua wakienda shamba Yesu akafufuka toka kaburin kwahvo siku ya Yesu ni jumapili kwasababu alkua gizani sabato naakarudi nuruni tena Sunday kwahvo sabato nisku yamauaj mwalim
Barikiwa sana pasta ndacha
Continue spending the painful truth to the word brother... be blessed
Barikiwa sana ndacha
Mungu azidi kuwapa nguvu ya kueneza injili... barikiweni sana
Ubarikiwe sana Ndacha.Hii ndo Injili ya Kweli.
Mungu akubariki kwa ujumbe wake n niko tayari kumfuata yesu
Following from Diaspora U.S.
Mwalimu Mungu akubariki sana
Mungu akubaliki sana
Barikiwa Mtumishi
GOOD MORNING MWALIMU FRANCIS NDACHA THANKS FOR THE YOUR LOVELY TEACHING.
Chapa njili kwel
The only guy speaking the truth...
MUNGU AWABARIKI SANA KWA KUCHAPA INJILI YA KWELI
Ndaca Mungu akubariki san ila kivyangu sijajuw vizur Sabato ya ukweli niipi?
ALIYE NA SIKIO ASIKIE ,WOKOVU NI SASA
Neno litaendeleya wapinge wasipinge
Amen
Injili ya milele
NDACHA PLZ SHARE UA NO WATU WA GULF WANT TO SENT OUR CONTRIBUTION USUKUME INJILI MBELE
Mahubili safi mchungaji. Though about corona go slow on that please. We have had more worse diseases even b4. Remember leprosy killed as many people too. All these is in Jesus's prophecy. Don't mix it up with the papacy please. It's just like any other worst diseases foretold
Ni ugonjwa upi mwingine umeshawai wekewa lockdown ama ulitikisha dunia
@@rosemutinda3076 just because magonjwa zingine hazijazambaa duniani doesn't mean they don't exist. I gave an example of leprosy... it was as scary too & it is in the Bible. Swine flu is another example though it was contained before izambae. Magonja ni mengi dada...read mathew 24. All these are foretold. Don't panic yet, its just the beginning of sorrow
Lockdown was there before in Spain 100yrs ago
@@jeremy-jz6ms Corona is nothing we believe our Almighty Father
@@judithcherono2595 Amen
Kama Bwana angelikua anaulazima wakuabufiwa jumamos basi makanisa ya SDA yangekua mengi kuliko yajumapili maanake mambo yashetani hayawezi yakachukua nafasi kubwa kuliko ya Mungu haiwezekani siku yajumapili iwe niyashetani halafu Mungu awaache watu wote waende jumapili naanyaze hivo basi atakua ni Mungu ambaye hanamaana so Mungu slazma Mungu asbudiwe jumamos sikuyoyote Mungu anafaa kuabudiwa
Kumbuka wanaoenda mbinguni wanapitia njia nyembamba meaning ni wachache. Wewe ukifuata majority utaenda jehanamu.
Kumbuka wanaoenda mbinguni wanapitia njia nyembamba meaning ni wachache. Wewe ukifuata majority utaenda jehanamu.
Ndiyo nguvu za Mungu nikubwa nawengi lazma waifwaate japo wengi watashindwa katka safari kumbukeni nyinyi walim wasabato sabato haitawaokoa atakayewaokoa ni Yesu ninachowashauri tu nikwamba hubirin Yesu tu lakin mkiendelea kuhubiri sabato mnafanya kazi bure maana sabato nkwamwanadam nasimwanadam kwaajili yasabato Yesu alisema hivyo
Yesu ni bwana wa sabato na watu wote walitii na tutatii sabato kwa inch mpya Isaiah 66:17-24