Mchungaji ndacha nakupenda saana na mimi,ni mkaaji wa Congo Kinshasa,mwenyezi Mungu akulinde saana na bwana Yesu akutie katika kifua chake, ili kila adui wala ibilisi mwenyewe wasiwe na uwezo wowote ju yako isaya 54 :17
Yesu ndio njia kweli na uzima , ipo siku watajua ukweli kwamba Yesu ni nani .maana wanajua ukweli ila wanadanganya watu bule sababu watu wao hawajui maandiko
@@AbasHabimana Toa Hoja zenye mantiki unasema Tunadanganywa na hujaeleza tunadanganywa nini..!! Au unataka tumuamini mtume aliyemuoa mtoto wa miaka 6 na kumvunja Bikira akiwa na miaka 9...🧐
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu, pst Ndacha wafundishe Mungu akutie nguvu uwafundishe wenzetu waislam wamjue Yesu Kristo kuwa ndiye njia ya kweli na uzima Wala hawendi Mbinguni isipokuwa watubu na wamwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao
Kuna Aya za Quran anazozisoma Ndacha, Waislamu hawazirudii Wala kukanusha. Lkn wao wakitumia Aya za Biblia kimakosa Ndacha anawarekebisha na wanatulia. Hii inaonesha Ndacha ni Mwalimu mzuri. Honestly Ndacha is heading to be a real servant of God. Ndacha Mungu azidi kukupa hekima, ili ukapate rehema siku Ile.
Ndacha barikiwa sana hyo ndyo imani na haki umezjia hubiri na okoa waamin na kubatizwa tmechoka na uongo mungu atusaidia kabisa kungalikuwa na uwezekano angerud atusahihishe kidgo
Mafundisho haya ya mwalimu ndacha yakadumu daima na kusambaa kila mahali. Watu waokolewe. Mwenye akili timamu na inayofanya kazi vzr wala hato umiza kichwa kuelewa. Roho wa Mungu sema na watu hawa. Amina
@edwardntamaboko3414 esra ni WATU na El ni Mungu...kiebrania Waislamu ni wapinga kristo.... imeandikwa yeyete anayesema YESU KRISTO siyo mwana wa MUNGU ni mpinga KRISTO iwaraka wa kwanza wa YOHANA...na waislamu wananukuu kuruani kuwa Mungu Hana mwana KWAMBA Yesu siyo mwana wa MUNGU....
Those who wrote Quran were not inspired by God but Satan. If they were inspired by God the Quran would much with the teachings of Jesus because Jesus came before Muhammad.
Halafu wanabebana na makaratasi kama sijui nini😂😂 hamuoni mwenzenu ndacha anatumiwa na roho mtakatifu ila nyie makaratasi mengi hamna tofauti na wanafunzi wanaoingia darasani na vibomu inaashiria kichwani hamna kitu
Mchungaji ndacha nakupenda saana na mimi,ni mkaaji wa Congo Kinshasa,mwenyezi Mungu akulinde saana na bwana Yesu akutie katika kifua chake, ili kila adui wala ibilisi mwenyewe wasiwe na uwezo wowote ju yako isaya 54 :17
Mchungaji Ndacha MUNGU akubariki sana wewe kichwa hao wakibadilisha walimu wewe una Baki ni wewe unawapa elimi kisawa sawa Amina
I salute you pst Ndacha , Mungu akulinde , na Mungu akubariki
Asante sana mutumishi wa bwana, mungu akubariki
Hongeren ndg waislaam ambao mnachukua uamuzi wa kuokoka hakika mmechagua fungu jema MUNGU atawalinda daima
Kweli Ndacha wewe ni Mwalimu na mwanafunzi wa Yesu Kristo kweli kweli.
Asante yesu wakristo wenzetu gonga like twende sambamba
Asante wakristo
@@fabianmainchanyangachika5017 upande wa yesu uko sahihi👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👍🏿
Mchungaji ndacha mungu akubariki wafundishe
nampenda sana mahubiri ya mchungaji ndacha.hongeri mtumishi.
Bwani akubariki sana mwalimu Ndacha
mungu akubariki ndacha
Barikiwa sana ndacha hulinifanya nikaokoka juma from kenya
@@melvoLedin-cs6mr umepotea
Fanya mpango kuna yule anaitwa doctor zakir naik aje afunzwe na mwalimu Ndacha
@@melvoLedin-cs6mr
Ulifanya maazuzi hautawahi juta mpaka Yesu arudi,,, Mungu awe nawe ,, usirudi uliotaka kuwe kweupe ,kuwe kweusi
@@yahyamajidyahyahilalal-har8762 mbona ww ndo umrpotea sasa
Hongera bos yesu anakupenda upo katika njia sahihi
Asante mungu kwa kusaliwa krisinto mbuna yesu asifiwe ❤❤
Njia ni moja tu njia ni Yesu atakaemwamini awe mkristo mislamu atauona uzima
Wa milele
Amen 🙏
Mungu akubarirki mwalimu wetu ndacha waeleze waelwe hawa ndugu zetu waislamu
Mwalimu Ndacha Mungu akubariki. Akupe neema na hekima zaidi kuhubiri neno lake
Yesu ndio njia kweli na uzima , ipo siku watajua ukweli kwamba Yesu ni nani .maana wanajua ukweli ila wanadanganya watu bule sababu watu wao hawajui maandiko
@@dennisezakiel3380 kweli mtumishi
Bado hujasema mtaingia tuu mmoja baada ya mwingine hata ww ipo siku utakuwa muislamu inshaallah
Kama huamini usome uislamu kwa undani na ukristo pia soma kwa undani unaugundua ukweli mzima
@@dennisezakiel3380 Yesu ni bwana
Yesu ndio njia yauzima wamilele amen
Que Dieu tout-puissant vous augmentez la sagesse tu es vraiment docteur messieu ndacha
Obrigada 🙏
Barikiwa sana Mwinjilisti Ndacha ❤
Ndacha hana lolote hoja zinamshinda wakristo mbona mnapenda kudanganywa kueni makini sana nahao wachungaji wenu huyo Ndacha anawapoteza kwa maslai yake
@@AbasHabimanaunajua nyani halioni la kudule
Mnadanganywa nyie mnao abudu jiwe
@@AbasHabimana Toa Hoja zenye mantiki unasema Tunadanganywa na hujaeleza tunadanganywa nini..!!
Au unataka tumuamini mtume aliyemuoa mtoto wa miaka 6 na kumvunja Bikira akiwa na miaka 9...🧐
@@robertgeofrey4118 Kua na Adabu ww kafiri unamtukana mtume kweli kafiri mkubwa ww ungali unakwenda namakaratasi chooni
Papa ndacha mungu akubariki sana na akulinde na awa waeslamu mimi papy kutoka Congo goma
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu, pst Ndacha wafundishe Mungu akutie nguvu uwafundishe wenzetu waislam wamjue Yesu Kristo kuwa ndiye njia ya kweli na uzima Wala hawendi Mbinguni isipokuwa watubu na wamwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao
Mungu akubariki sana mwalimu na akuzidishiye mara dufu mchungaji
Mwalimu Ndacha,mungu azidi kukubariki zaidi na kukupenda.
God bless you Ndacha, teach them Muslims why don’t you understand really??
They have Stone hearts 🤣🤣
Ubarikiwe Ev. Mungu akupe ujasiri
Usichoke tuko pamoja ❤
Kuna Aya za Quran anazozisoma Ndacha, Waislamu hawazirudii Wala kukanusha. Lkn wao wakitumia Aya za Biblia kimakosa Ndacha anawarekebisha na wanatulia. Hii inaonesha Ndacha ni Mwalimu mzuri. Honestly Ndacha is heading to be a real servant of God. Ndacha Mungu azidi kukupa hekima, ili ukapate rehema siku Ile.
@@PeterJackson-uh2ik Kama aya zipi waislamu hawaziludii Wala kukanusha..
Taja aya moja tu? Haijatolewa ufanunuzi
Joshua 7:12 waisrael wamelaaniwa hivi hili andiko kwenye biblia ndacha aligusa?!😃😃
Ndacha barikiwa sana hyo ndyo imani na haki umezjia hubiri na okoa waamin na kubatizwa tmechoka na uongo mungu atusaidia kabisa kungalikuwa na uwezekano angerud atusahihishe kidgo
Ndacha ni kiboko ya waislamu
Lbd kiboko ya Wakiristo msojielewa kondoo mlopotea
Mchungaji ndacha nabarikiwa sana na mafundisho yako Yani napenda sana mafundisho yako yani nakuombea uahi zaidi mwalimu ndacha mungu akulinde .
Praise the LORD of lord's
🔥🔥🔥ndacha genius
Mchungaji ndacha Mungu akubariki sana
Ndacha ukweli ubaki ukweli 🙏💯
Ndacha unafundisha vizuri sana Mungu akulinde
Mohamed alikuwa mtume wa shetani kama vile yesu alikuwa mtume wa mungu wa kweli mtaelewa lini waislamu
Ndacha has very wide knowledge of both the Bible and Quran, and this makes him so lethal in debating.
Yesu ni Mungu
Ameeen ameeen ameeen...ooh may God protect mwalimu Ndacha..you are a blessing to the kingdom of God.
Mafundisho haya ya mwalimu ndacha yakadumu daima na kusambaa kila mahali. Watu waokolewe. Mwenye akili timamu na inayofanya kazi vzr wala hato umiza kichwa kuelewa. Roho wa Mungu sema na watu hawa. Amina
Tujuane kwa koment watumishi wa kristo gonga like hapa
Yesu ni neno la Mungu
Na ni Mungu
Isaiah 9:6
1Timothy 3:14
@@tomkingoro1252 nkisoma isaya 9:6 hua anafunga kila kitu . Hiyo ilikua miaka 600 BC..mtoto mwanaume, Mungu mwenyenguvu
MUNGU akubariki sana, na akupe kuishi maisha ma refu sana hapa duniani, na zaidi aku linde sana
Ubarikiwe sana mutumishi wa bwana
Yesu ndie MUNGU kamili... waislam tafadhar tusiishi kwa kukalili tujaribu kumwelewa yesu
Waapi andikooooo .. Isaya 9:6 wataobisha rejea hiyoo
Asante Sana mungu akubarik
Ndacha upo vizuri mtumishi wa mungu alie hai wasikutishe hao wapo mwilini wanaongelea ya mwilini
Yesu do kilakitu chamaisha na usima wa milele amina
Barikiwa sana mtumishi maana hawa waislam huwa wana bisha bila kujibu hoja za msingi MUNGU awasamehe
God bless you servant of God Pst Ndacha.
God protect your servant in Jesus name Amen
Ubarikiwe sana Mtumishi wa baba
Great insight pastor
Yesu kristo mwana wa mungu,waislm waabudu majini
Mungu akubariki ndacha
Asante sana mwalimu ndasha uwafunze wale wapate kuamini n'a kubatizwa ,nakufata kutoka DRC ,sud-kivu
Asante sana ndacha.naitwa Mohammed na nimeokoka ju y hoka zako
Mungu aku bariki sana Mtumishi wa Mungu.
Mungu azidi kuwafanya wakristo kuwa vichwa siku zote ubarikiwe mtumishi
Mungu akubariki sana mwalimu ndacha
Njia ya kweli uzima wa milele ni Bwana wetu yesu kristo, njooni kwake.
Tuko Pamoja dacha may God continue being with you
Kama una amini humna dini yakweli kwe nye u ulimwengu nipe like
Ubarikiwe mch ndacha. Hawana hoja ni ubishi tu
ubarikiwe baba MUNGU akubariki saaaaaaaana ❤🎉😂😂❤😂🎉🙏🙏🙏🙏🙏
Ndacha unafundisha vizuri Amina
Mtume waIslamu nimajanga alierogwa akapata wazimu miaka 2 akajaribu kujinyonga kwakujirusha juu yamlima namwishowe akafa kwakula nyama yenye sumu Alaah hakumutaarifu akala nakuugua uchungu alisema ooh Aisha sumu inanikata utumbo. Muhammad alimchukua Zainabu mke wa Mwanawe Zaid kwajina Zainabu . Huyu ndie Nabii waIslamu hatarisana
Like any prophet Mohammed tought and showed us how to reach God. Jesus did not just teach he himself is the way.
Sisi kama wakirsto twambie nduguzetu ukweli Asante ndugu
Ubarikiwe mchungaji
😢waislamu mnazingua kwa hiyo Muhammad atawapeleka watu wake
Mchungaji mungu abariki wafundishe wajue neno la mungu
Muhammad ni kwa waarabu tu siyo kwa wanadamu wote. Hao waarabu hawakuwa na muonyaji. Yesu ndiye njia...na mtu haendi kwa baba ila kwa YOHANA. 14:1-3
soma Muhammad nimtume wa mwisho wakati wa yesu kilikuwa hakuna mtu mweusi kabisaaa ni waisrail tu ulizia ujue ilimu
Yesu ni Mtume wa Wanaezraeil soma vizuri Bibilia yako
😮 Quran yenyewe inafafanua kuwa watu waisraeli maana yake ni wacha Mungu,hivyo Yesu ni mtume wa wachamungu ndiyo maana ya waisraeli
@edwardntamaboko3414 esra ni WATU na El ni Mungu...kiebrania Waislamu ni wapinga kristo.... imeandikwa yeyete anayesema YESU KRISTO siyo mwana wa MUNGU ni mpinga KRISTO iwaraka wa kwanza wa YOHANA...na waislamu wananukuu kuruani kuwa Mungu Hana mwana KWAMBA Yesu siyo mwana wa MUNGU....
Nampenda ndacha anajiamini sana,, Mungu awe nawe daima
Ubarikiwe ndacha kwa maneno yenye uzima
AMEN. AMEN. CONGRATURATIONS Mwalimu Ndacha
.
Wamekiraba kweli kweli..Yesu ni bigwa wa mhitaji wa majinni!
Mungu akubariki sana na akuongezee hekima
Mchungaji Mungu amekubariki
mungu awabariki sana Kwa kazi nzuri
Wakristo mkifungua mioyo kuelewa😢😢😢
Hamtapotea
Those who wrote Quran were not inspired by God but Satan. If they were inspired by God the Quran would much with the teachings of Jesus because Jesus came before Muhammad.
Umbarikiwe
❤❤❤❤amen, tuko na Yesu
Ndacha waonee huruma utawatoa udenda hawana wanachojua hao
Ww ndo hujuwi ndo mana mnaliwa pesa zenu upumbavu
Mungu akubari
Ndacha mungu akubariki Kwa kutufunza ukweli
YESU NI MUNGU
Babaa uko vzr Mwalim wambie waelewe Yesu ninani
❤❤❤❤❤❤
Jesus❤❤❤❤❤
Ndasho mungu akusaidie uwafundishe
God bless you ndacha
God bless you pastor ,,me from bomet,,
Asante sana Mwalimu Ndacha. Jamani nipeni namba ya Mwalimu huu Ndacha
Mungu akubarik San nmeipenda debate hi
Jesus christ is lord all the way. Mungu atusaidie
Halafu wanabebana na makaratasi kama sijui nini😂😂 hamuoni mwenzenu ndacha anatumiwa na roho mtakatifu ila nyie makaratasi mengi hamna tofauti na wanafunzi wanaoingia darasani na vibomu inaashiria kichwani hamna kitu
@@JacobMakwilo-u6e waislamu dawa yao ni huyu mwamba ndacha 😀😀
Ndacha ❤❤❤
Barikiwa mtumishi ndacha