Labda hao masheghe lakini sio mashekh, ndacha hamna kitu yupo ki biashara, fatilia Channel yake anasema yesu ni mungu, lakini ikifika kutetea yesu ni mtume yupo,kwenye kutetea utatu yupo lakini kwenye Channel nyingi amesema hakuna utatu, yuko vizuri ndacha kwa matusi na kupindisha maandiko, huyo kafiri kasilimu zaidi ya mara 2 na alitishiwa na viongozi wa SDA, alafu kafukuzwa makanisa
Mwalimu hodari ndacha mpaka mashekhe wanatingikaa na kutoa jasho nyembaba mungu amulinde,mashekhe wameshindwa na mdahalo mpaka wanakata kata maandiko na kupoteza watu
@@PasserbyMan-ju8ky ndacha hatumiii hata vikaratasi VYA kuchungulia....ila shafii akipokonywa kikaratasi... Atakuwa bubu..Hadi achungulie. Ha ha haaaaaa!
Wasichokijua wakristo wengi khs Ndacha ni kuwa anakata maandiko kupitililza , na ndo maana wanaharakia kusherehekea , kiuadilifu alitakiwa amalize maaandiko , sasa yy Ndacha anajua km anafanya ubabaishaji lakini haachi hy tabia kwa kuwa anajua hili ndo linalowafanya wakristo washangilie , maana ameshaambiwa khs hilo zaidi ya mara 1 lakini hataki kuacha
Ndacha ashawajibu ila nyie huwa hamumsikilizi ndio shida yenu, ashwaambia wewe umepewa dakika 5 ujibu hoja za walimu kama watano, unataka umalize aya huo mda unatosha? Kama hamalizii andiko hiuo ni kazi ya walimu wenu kuja kumalizia hilo andiko, yeye anadili na mda, tatizo walimu wenu badala ya kujibu hoja huwa wanakuja kuwachekesha halafu badae wanalalamika, wachekeleeni walimu wenu wao siwanadhani mijadala ya dini ni cheka tu
@@mobutu3884 mda wa kukamilisha andiko kwa Ndacha upo wa kutosha tu na dalili ni kuwa badala ya kukamilisha andiko huwa anachomeka maneno yake yy na msomaji wake so hapana hoja hapo , walimu wa kiislamu wayasemayo wanatoa katika bible so km ni vichekesho basi itakuwa bible ndo ina vituko hvy vya kuchekesha
Wewe ndacha unafundisho uongo ili uonekane lakini Yule asiekuwa na elim unampoteza haraka but kupoteza muislam aliejaliwa na Allah kutoka Kwa tumbo umuwezi kumbadirika
Sema uongo alioufundisha ili tujue wewe na yeye nani muongo au unadhani wote ni mashabiki wa dini hapa? Wengine tunasikiliza hoja na zinasomwa katika vitabu nyie walimu wenu waendelee kuchekesha majukwaani na kulalamika tu ili wawapoteze, wanakuja kufanya comedy kwenye mijadala ya dini😂
@@mobutu3884 unasikiriza hoja zinasomwa wajua nini wewe Kwa Qur'an akipachika utajuaje asipoieleza utajuaje inavyotakikana..Sisi waislamu tunafunzwa dini tangu tukiwa wadogo Hadi tukiwa wakubwa tunasoma tena yote hata bibilia wacha nyinyi munangojea kuubiriwa na mchungaji hata bibilia ujui kilichokuwa ndani nikipi basi maadamu umeenda kanisani Sunday au jumamosi ukaubiriwa waona wajuwa Kila kitu...wewe hata nikikwambia Aya hii ameibetesha hivi ama akimaliza ameikata utaelewa vipi juu hata quran ujui bibilia ni YENU pia ujui...Sisi hata awe imamu au muadhiri akikosea Tu hapo analekebishwa je nyinyi ...sasa nitakuambia vipi eti amedanganya hapa au pale lazima pia wewe uwe msomi au mujuzi ndio uelewe lakini ukiwa shabiki Tu juu mkristo amesema au muadhiri amesherehesha kwahiyo amepatia pole utawahi elewa.
Yani ndacha ukope andiko toka kwenye qraani kuutete ukiristo dah wewe rud tu kenya kule unaogopa kwanini usiweke mjadala na ustdh yariti kama ww kidume halafu unasema et mtu akisilimu anachinjwa wapi uliona mtu kabatizwa akachinjwa?kandacha kamechoka😅
@@JeanMuzaliwa-bs6qhnabii Moussa alioa wake wawili, nabii Ibrahim kaoa zaidi ya watatu , Issack name zaidi ya wawili , Daudi zaidi ya saba na Solomon zaidi ya alfu na wote ni mitume na waja wema wanaomuabudu Mwenyezi Mungu ndani ya bibilia . Sasa wewe umepata wapi kumwita mwanamume anaeoa zaidi ya make mmoja kahaba
Kwanza ndacha ni mnafiki kuna madohalo ndacha alisema iki patikana verse in the bible yesus kamwita mariam mama kaadi ku silimu Na kapewa verse na hadi sasa bado ha ja silimu
Kwa hiyo na hilo kadanganya kwamba ukiacha uislam adhabu yake sio kuuawa? Hivi kwa nini waislamu siku zote wanapinga vitabu vyenu? Jamani someni au hata kama mnasoma msitake kupinga ukweli
Hiyo sheria ni ya uongo mtu akiritadi na akarudi tena ktk uislam anatakiwa auliwe ni mnafiki. Lkn hizo sheria hazifuatwi, watu kila siku wanaritadi na hakuna tatizo lilote. Hata Mwizi anatakiwa akatwe mkono mbona hakatwi ,Mzinifu apigwe mijeledi hadi afe mbona hauawi n.k. Kwa sbb hizi nchi zetu haziruhusu kuhukumu kiislam
😂😂😂😂Huyu shaff yuanikumbusha utotoni,tulikuwa tualizana eti utamweza?And you could eti ndio lakini asitumie ngumi(Unachagulia adui silaha atakuja nayo)😂😂😂
Ndacha we ubishi tu huna unacho kijua kujia mini sana alafu sii muelewa iisa ni mtu kama wewe yesu Ali Sali we Sali? Kama una mfata yesu alifunga ndevu we unafuga? Yesu alivaa kanzu we unavaa maneno tu kwajili ya ulaji acha ujanja ndacha
Ndacha ako na shida gani kweli😂😂😂 mtu akitaka kua mkristu anaweza tu nani alichinjwa kwa zama izi atuambie lakini nivile dini yenu sio ya kweli na wala sio ya haki ndomana muislam mwenye akili hawez ktamani ukristu
Hivi kweli mnamfuata mtume Mohamad ambaye yeye mwenyewe hajui atafanywaje hajui anapoelekea 😂😂😂 Dah inasikitisha sana sasa mnamfuata Wanini ?njooni kwa YESU Ndugu zangu waislamu acheni kuwa vipofu wa kiroho mtatumbukia shimoni wote nawaomba sana njia kweli na uzima ni YESU acheni kuwa na shingo ngumu nyie waislam
Ndacha ndio kawaida yake kunamjadala alifuta maneno ya bblia mwisho akanyanyua spika mdahalo ukaishia hapo ndacha muhuni alimkimbiaga x past ibrahimu mpaka
Yupo ki biashara, 😄🤣😂😆😄🤣😂, hiyo yote inaonyesha kua wachungaji wenu wanajua kua uislam ndio dini na hizo zengine ni biashara, alafu ndacha hapendi kuitwa mkiristo, anasema yeye sio mkiristo ni msabato
Ndacha songa mbere ukweri ni upanga ndiyo maana wanalalamika hawana hoja kwako hata gidogo mbere ya wa kristo turikaja mbere natutaendambere hawa watabaki naubishi tu
Muuaji akifiwa hulia machozi halisi sio bandia, Mwongo wa karne dunia ya mwisho amekwazika leo kisa kitabu chake kuweka wazi adhabu ya mudi wake, wewe si ndo unatupeaga story zako za kimbeambea sababu unaowahadithia ni mataahira wanachekacheka tu na takbiirr kibao, sasa ukikutana na wanaojua wakikubana unapanic sababu ushazoea msikitini kutoa umbeaumbea hawakupingi , kama umevimba shafii pasuka
Ndacha, umebarikiwa sana katika utumishi wako, na Mungu akuzidishe kila uchwao 🙏
Mashallah, alhamdulillah shekh Shafii umefanyakazi ya kutukuka Allah atakulipa. Wewe ndio kiboko cha Ndacha
Masheikh Allah Awabariki Nyote Walimu WA Kislam.
Amin
Ndacha pongezi sana mungu akubariki kwa kazi njema
SHEIKH SHAFII ALLAH AKUONDOSHEE NA MATATIZO YA DUNIA AKUPE AFYA NJEMA NA UMRI MREFU
Shafi Allah akuzidishie kila la kher
Shafii Allah akupe umri mlefu na wenye afya
Umetishaa shafi mungu hakuzidishiye
Amin
Wallahi Ndacha watumiwa na Allah SWT kuumaliza Usabato wako na Ukristo zaidi,huna kitu baba Ndacha,na Wallahi Ndacha huwawezi wahadhiri wa kiislamu
Ndacha Your A Precious Germ..!!
Ndasha nakikosi Chalo imara Sana Mungu awabariki Sana jamaa walizidiwa Sana.
Ndacha 1 ni zaid ya masheghe elf 1
Labda hao masheghe lakini sio mashekh, ndacha hamna kitu yupo ki biashara, fatilia Channel yake anasema yesu ni mungu, lakini ikifika kutetea yesu ni mtume yupo,kwenye kutetea utatu yupo lakini kwenye Channel nyingi amesema hakuna utatu, yuko vizuri ndacha kwa matusi na kupindisha maandiko, huyo kafiri kasilimu zaidi ya mara 2 na alitishiwa na viongozi wa SDA, alafu kafukuzwa makanisa
Kwaakili zako ndio unaona ni mwalimu sio kwa Watalaamu kama sidi
Mwalimu hodari ndacha mpaka mashekhe wanatingikaa na kutoa jasho nyembaba mungu amulinde,mashekhe wameshindwa na mdahalo mpaka wanakata kata maandiko na kupoteza watu
Ilo jasho anakutoeni nyinyi msio jua maandiko hakuna shekhe ataetolewa jasho na kafir hat atokewap
Ndacha Ubarikiwe Sana kazi Yako Inajieleza
Ndacha Mungu akuzidishie kwa kutusaidia kiimani ili tuendelee kuelewa vitu zingine katika dini ya kislam.
Amin
Ndacha ni mwalimu Toshaaaaa alhamdulilaaa
Swadakta Sheikh Shafi
Ndacha ni machine....🔥🔥🔥🔥🔥
Ilokosa oil na girisi 😂😂😂
Anatamani wawe wao wawili yaani kumanisha amebanwa anataka abatishwe chini ya maji wengine wasijue😂😂😂😂😂
Ndacha mwalimu
Ustadh shafi wallahi uko vizuri ajabu sana
Ndacha A Real Man of God A Voice in the wilderness.
Ww huwezi mudahalo
Mwalimu wangu afichua siri za waislamu na kuwekwa hadharani mungu amlinde na ambariki sana nashukuru mungu
Enyi waislmu hamumuezi ndacha mungu ndie anaye muongoza moto wa kuotea mbali,
@@JohnOuya-w7j soma maandiko ww siumeona ndacha alivyochemka
Kuna waizrael wa kiroh na wa kimwili unakili ww soma biblia
Mmmmh. Shaffiii yupo sahihi
Ndacha aache kukata Aya Aone atapigwa mapema.😂😂😂😂
Ndacha kwa Shafee umuwezi
Ndacha kachemsha hawezi
Waizrael wa kiroho na wa kimwili😂😂😂😂😂😂😂 ndacha amechemka
Shafii anataka kuokoka chini ya maji
Nafulah sana mnavyo Fanya
Ndacha mbishi tu
Timu iliyofungwa inalalamika. Aliyefunga hufurahi....waisraeliiii....
Yes alikuja Kwa nyumba ya Israeli TU.Mwafrika hayumo
Wasraeli wa kimwili na kiroho 😂😂😂😂 wakristo wamepigwa za kichwa😂😂
@@PasserbyMan-ju8ky NDACHA NI KIDUME. SHAFIII ANALALAMIKA....NDACHA ANAWIKA HADI KONGO....SHAFIII NI WA BONGO TUUU. NA BADO....ATAWAMALIZA.
@@PasserbyMan-ju8ky ndacha hatumiii hata vikaratasi VYA kuchungulia....ila shafii akipokonywa kikaratasi... Atakuwa bubu..Hadi achungulie. Ha ha haaaaaa!
@@ernestbensonmwamengo1642 porojo azitaki umakini Wala kuhakikisha unaongea tu 🤣🤣🤣
Ndacha hata kiswahil hujui utaelewa nin dunian hapa
Kashawashinda Mohamed sio wa kufatwa 😂😂😂
ww ni mbumbumbu sana!
@@charlesboniphace2249na Paulo aliewaletea udude unaitwa ukiristo ndie alikupoteza
Miaka nenda rudi,mwamba wa Yesu ni ndacha, makafiri hawamwez
Huyu ndacha kilaza kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndacha huna lolote maneno tuu mengi lkn huna mpya, huwez kupambana na waislam, ndacha utaumbuka sana na uongo wko
ww mchawi ww upo kkshabiki tu
Wasichokijua wakristo wengi khs Ndacha ni kuwa anakata maandiko kupitililza , na ndo maana wanaharakia kusherehekea , kiuadilifu alitakiwa amalize maaandiko , sasa yy Ndacha anajua km anafanya ubabaishaji lakini haachi hy tabia kwa kuwa anajua hili ndo linalowafanya wakristo washangilie , maana ameshaambiwa khs hilo zaidi ya mara 1 lakini hataki kuacha
Ndacha ashawajibu ila nyie huwa hamumsikilizi ndio shida yenu, ashwaambia wewe umepewa dakika 5 ujibu hoja za walimu kama watano, unataka umalize aya huo mda unatosha? Kama hamalizii andiko hiuo ni kazi ya walimu wenu kuja kumalizia hilo andiko, yeye anadili na mda, tatizo walimu wenu badala ya kujibu hoja huwa wanakuja kuwachekesha halafu badae wanalalamika, wachekeleeni walimu wenu wao siwanadhani mijadala ya dini ni cheka tu
@@mobutu3884 mda wa kukamilisha andiko kwa Ndacha upo wa kutosha tu na dalili ni kuwa badala ya kukamilisha andiko huwa anachomeka maneno yake yy na msomaji wake so hapana hoja hapo , walimu wa kiislamu wayasemayo wanatoa katika bible so km ni vichekesho basi itakuwa bible ndo ina vituko hvy vya kuchekesha
Wewe ndacha unafundisho uongo ili uonekane lakini Yule asiekuwa na elim unampoteza haraka but kupoteza muislam aliejaliwa na Allah kutoka Kwa tumbo umuwezi kumbadirika
Safi ana lolote ni muongo
Sema uongo alioufundisha ili tujue wewe na yeye nani muongo au unadhani wote ni mashabiki wa dini hapa? Wengine tunasikiliza hoja na zinasomwa katika vitabu nyie walimu wenu waendelee kuchekesha majukwaani na kulalamika tu ili wawapoteze, wanakuja kufanya comedy kwenye mijadala ya dini😂
@@mobutu3884 unasikiriza hoja zinasomwa wajua nini wewe Kwa Qur'an akipachika utajuaje asipoieleza utajuaje inavyotakikana..Sisi waislamu tunafunzwa dini tangu tukiwa wadogo Hadi tukiwa wakubwa tunasoma tena yote hata bibilia wacha nyinyi munangojea kuubiriwa na mchungaji hata bibilia ujui kilichokuwa ndani nikipi basi maadamu umeenda kanisani Sunday au jumamosi ukaubiriwa waona wajuwa Kila kitu...wewe hata nikikwambia Aya hii ameibetesha hivi ama akimaliza ameikata utaelewa vipi juu hata quran ujui bibilia ni YENU pia ujui...Sisi hata awe imamu au muadhiri akikosea Tu hapo analekebishwa je nyinyi ...sasa nitakuambia vipi eti amedanganya hapa au pale lazima pia wewe uwe msomi au mujuzi ndio uelewe lakini ukiwa shabiki Tu juu mkristo amesema au muadhiri amesherehesha kwahiyo amepatia pole utawahi elewa.
Anasema ustadh shafii ni mweupo sababu ya sychology tu, anajuwa ustadii shafii ni moto lakini anajaribu kubabaisha
Shafi kashindwa mdahalo
Dawa ya ndacha ni kinyogoli
Ndacha anaweza kwani mulikua wangapi?
Kweli abaetoka kwa uislam auwawe. Lakini kwa serikali hii ya kikafiri sheria hio haiko
Ndacha ni muongo eti waisrael wa kimwili na kiroho😂😂😂😂😂😂
Anaambiwa Wana wa Izraeli,yeye anasema izraeli
😂😂 shafii ni mwanagenzi tu, hawezi kushindana na ndacha
Hako kaandishi umekakomoa ndacha maana nikaislamu we ndacha tunakushuhudia unajua
Yani ndacha ukope andiko toka kwenye qraani kuutete ukiristo dah wewe rud tu kenya kule unaogopa kwanini usiweke mjadala na ustdh yariti kama ww kidume halafu unasema et mtu akisilimu anachinjwa wapi uliona mtu kabatizwa akachinjwa?kandacha kamechoka😅
Shaff ni mwoga sana lakini yuaibika kuonyesha😂😂
Ndacha ni bwege tu.
bwege ni ww ambae umemfuata mtume wauongo!
@@JeanMuzaliwa-bs6qh kawaida ya mwanamke kahaba ubisha
@@jimjam-xg7rv makahaba wakubwa ni nyie waislamu ambao munaoa wanawake zaidi ya umoja!
@@JeanMuzaliwa-bs6qhnabii Moussa alioa wake wawili, nabii Ibrahim kaoa zaidi ya watatu , Issack name zaidi ya wawili , Daudi zaidi ya saba na Solomon zaidi ya alfu na wote ni mitume na waja wema wanaomuabudu Mwenyezi Mungu ndani ya bibilia . Sasa wewe umepata wapi kumwita mwanamume anaeoa zaidi ya make mmoja kahaba
We mzee unasema baada ya kufufuka yesu akambadilisha ya Musa!! Wakati mwenyewe amesema hakuja kuitengua taurati Bali ni kuiendeleza
Hata hiyo tafsiri ya ahmadiya hatukubali
Eti atakatwa kichwa na mbona msomaji wao anaitwa paul Hassan na hakatwi kichwa? Na pia kuna johana Ali
Kwani hilo nalo neno ? 😁 kwa jina ndo litakalo mpeleka mtu mbinguni
😂😂😂 naingia zangu kwenye uislam
@@manigatz5271 Karibu
Kama tukisema Mathayo 3 mstari wa 5 Basi mstari wa tano Lazima usomwe wote sio kuoshia hewani. Huu ndio ujanja wa kitoto wa akina Ndacha
NDACHA NI MWALIMU 😄😄😄😄😄
Kwanza ndacha ni mnafiki kuna madohalo ndacha alisema iki patikana verse in the bible yesus kamwita mariam mama kaadi ku silimu
Na kapewa verse na hadi sasa bado ha ja silimu
Kwanza wako wengi na ndacha ako pekeake
Wasilamu wamelemewa
Ndacha barikiwa sana, ukweli usemwe
Ndacha anapenda sana kuropoka hajui kuongea na hana elimu yoyote
Lakini Mohamad alifanyiwa oparesheni ya kutolewa shetani
Kwani Waizrael walimkubali Yesu au walimpinga? Kwani waliomkataa na kumsulubu Yesu ni akina nani Kama sio Waizrael? Ndacha wacha kuchanganya watu!!
Bankozi ni mpumbafu shana kwa sababu yeye atuilii vizuri. Uyo ana lolote.
Iyo tu haipo kwa iyo aya, ni wewe uliongeza.
Ndacha wacha uwongo kusema wasilamu aliwacha dini wakachiwe. Huyo musomi wako Paulo alichiwa? Wacha uwongo?
Kwa hiyo na hilo kadanganya kwamba ukiacha uislam adhabu yake sio kuuawa? Hivi kwa nini waislamu siku zote wanapinga vitabu vyenu? Jamani someni au hata kama mnasoma msitake kupinga ukweli
Hiyo sheria ni ya uongo mtu akiritadi na akarudi tena ktk uislam anatakiwa auliwe ni mnafiki. Lkn hizo sheria hazifuatwi, watu kila siku wanaritadi na hakuna tatizo lilote. Hata Mwizi anatakiwa akatwe mkono mbona hakatwi ,Mzinifu apigwe mijeledi hadi afe mbona hauawi n.k. Kwa sbb hizi nchi zetu haziruhusu kuhukumu kiislam
😂😂😂😂Huyu shaff yuanikumbusha utotoni,tulikuwa tualizana eti utamweza?And you could eti ndio lakini asitumie ngumi(Unachagulia adui silaha atakuja nayo)😂😂😂
Huyu ndacho ni ovya sana kwanini anakata maandiko
Ndacha ndacha dah wewe ni mbishi kama mti wa mpingo wahadhiri wote wamekuelimisha lakini wapi kenya Uganda kongo lakini hauelewi
wabishi duniani ni waislamu!
Ndacha we ubishi tu huna unacho kijua kujia mini sana alafu sii muelewa iisa ni mtu kama wewe yesu Ali Sali we Sali? Kama una mfata yesu alifunga ndevu we unafuga? Yesu alivaa kanzu we unavaa maneno tu kwajili ya ulaji acha ujanja ndacha
Ndacha muhuni tu Hana lolote
Ndacha ako na shida gani kweli😂😂😂 mtu akitaka kua mkristu anaweza tu nani alichinjwa kwa zama izi atuambie lakini nivile dini yenu sio ya kweli na wala sio ya haki ndomana muislam mwenye akili hawez ktamani ukristu
Hivi kweli mnamfuata mtume Mohamad ambaye yeye mwenyewe hajui atafanywaje hajui anapoelekea 😂😂😂 Dah inasikitisha sana sasa mnamfuata Wanini ?njooni kwa YESU Ndugu zangu waislamu acheni kuwa vipofu wa kiroho mtatumbukia shimoni wote nawaomba sana njia kweli na uzima ni YESU acheni kuwa na shingo ngumu nyie waislam
Na wewe kama ndacha tu kilaza wewe! Siku Yako ya kufa unaijua? Hata huyo yesu mwenyewe hajui
Ya kesho unayajua wewe zaidi ya mungu pekee
Ndacha ndio kawaida yake kunamjadala alifuta maneno ya bblia mwisho akanyanyua spika mdahalo ukaishia hapo ndacha muhuni alimkimbiaga x past ibrahimu mpaka
Ustadh shafii ni kiboko wa ndacha
Waaapi??😂
Ndacha ni Simba mwebrania kweli kweli mahekhe wamejikusanya kupambana na mwebrania ni mmoja hii ndio maana ya mtu wa Mungu haogopi mataperi😂😂😂
Yupo ki biashara, 😄🤣😂😆😄🤣😂, hiyo yote inaonyesha kua wachungaji wenu wanajua kua uislam ndio dini na hizo zengine ni biashara, alafu ndacha hapendi kuitwa mkiristo, anasema yeye sio mkiristo ni msabato
Ndacha songa mbere ukweri ni upanga ndiyo maana wanalalamika hawana hoja kwako hata gidogo mbere ya wa kristo turikaja mbere natutaendambere hawa watabaki naubishi tu
ndata rudi kenya hujui lolote bali wataka mikate kanisani utakwenda motoni kupoteza watu mjinga wewe
ww sasa ndo empty brain!
Muuaji akifiwa hulia machozi halisi sio bandia,
Mwongo wa karne dunia ya mwisho amekwazika leo kisa kitabu chake kuweka wazi adhabu ya mudi wake, wewe si ndo unatupeaga story zako za kimbeambea sababu unaowahadithia ni mataahira wanachekacheka tu na takbiirr kibao, sasa ukikutana na wanaojua wakikubana unapanic sababu ushazoea msikitini kutoa umbeaumbea hawakupingi , kama umevimba shafii pasuka