MCH. NDACHA AMTOLEA UVIVU DANIEL MWANKEMWA; FUNDISHO LA UTATU MTAKATIFU NI FUNDISHO LA SHETANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 466

  • @RichardShikwande-d6u
    @RichardShikwande-d6u Месяц назад +2

    Usipo msikiliza kwa makini uwezi kuelewa mm nimelewa barikiwa sana pastor ndacha🎉

  • @bensonwandia3995
    @bensonwandia3995 5 месяцев назад +6

    Barikiwa mtumishi Ndacha,watu waelewe neno la MUNGU kikamilifu, Asante

  • @constantinnicoiconoppa587
    @constantinnicoiconoppa587 2 месяца назад

    Amen Mtumishi Ndaca. Watu waachane na Mambo ya Mungu Baba , Mungu Mwana Na Mungu Roho Mtakatifu.

  • @MarthaMasha
    @MarthaMasha 5 месяцев назад +7

    Mwalimu ndacha mimi ninakuelewa vizuri sana. Yani mafundisho yako yamenyooka na yanaenda sawa sawa na maandiko ya biblia, huongezi wala hupunguzi maandiko yenyewe yanajieleza. Asante sana

  • @BrianBayaMusic
    @BrianBayaMusic Месяц назад

    Inanekana badala ya kutafuta Mungu ulitafuta elimu hata ukachanganyikiwa.pole sana.

  • @paschalcosmas6093
    @paschalcosmas6093 5 месяцев назад +7

    YOHANA 1, inasema Neno alikuwa Mungu lkn wafilipi 2, inasema" Nae hakuona kule kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kushikamana nacho, Bali alijifanya hana utukufu".

    • @shabanhamudu1875
      @shabanhamudu1875 5 месяцев назад +1

      @@paschalcosmas6093 Yaan kwaakili ndogo tu ukisoma kiswahili unaelewa imemaanisha nin!??

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 4 месяца назад +1

      @@paschalcosmas6093 Hiyo Yohana 1 inasema pia, "NENO alikuwako kwa MUNGU" .. 🤔 Neno ni nani..!? na Mungu ni nani..!? (Mungu ni wangapi?)

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 4 месяца назад +1

    Pastor Ndacha you're an intellectual

  • @ackimackim1880
    @ackimackim1880 5 месяцев назад +6

    ELIMU YA UUNGU WA YESU .NDACHA BADO HUJAJUA,MUNGU AKUSAIDIE

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 5 месяцев назад +9

    uislamu pekee ndiyo unakiri Mungu ni mmoja wa pekee nyingine ni usanii tu

    • @moshantoj
      @moshantoj 5 месяцев назад

      Lakini siyo wa kweli 😂😂

    • @Venance-h7l
      @Venance-h7l 5 месяцев назад

      @@HabibuUrasa vipi Uyahudi ?

    • @salimakida95
      @salimakida95 5 месяцев назад

      ​@@moshantojmungu ni mmoja tu

    • @MapenziMalanda
      @MapenziMalanda 4 месяца назад

      mungu wa we isalamu sio Mungu wetu wa Kristo. Pole Sana ndugu

    • @moshantoj
      @moshantoj 4 месяца назад

      @@salimakida95 hata waindi wako na mungu mmoja tu na siyo wa kweli

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 5 месяцев назад +9

    Mwalimu ndacha mahubiri yake ni ya bibilia plain ni sahihi kabisa hakuna kuongeza na kuondoa asanti mwalimu mungu akubariki sikuzote

    • @jumamnyonge2148
      @jumamnyonge2148 5 месяцев назад

      Wewe unawaki haongezi Soma John 3:16 uone kama hajaongeza juu ameharakisha kusema uyo mwana ni yesu some sikuwasikiza viongozi kama ungesoma saiyo tu ametaja umeona ameongeza

    • @jumamnyonge2148
      @jumamnyonge2148 5 месяцев назад +1

      Usimteteye juu hata Kwa bible hakuna pahali Sabato ni dini bali ni siku

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 Месяц назад

      Liongo tupu

  • @bakarimakomola
    @bakarimakomola 5 месяцев назад +13

    Unajua ndacha ww huelewekagi kwenye mafundisho yako. Ww mwenyewe kwenye mahubiri yako wakati unabishana na mashekhe unasema kua yesu kwa sababu ni mwana basi ana mamlaka ya mungu na anaweza kurithi utawala wa mungu kwa sababu ; ulishawai kusema kua eti mtoto wa mwanadamu ni mwanadamu basi kwakua yesu ni mtoto wa mungu nae ni mungu! ( hii ndacha ww uliiisema) sasa unalalama nini watu wanaosema kua kuna mungu baba na mungu mwana na kama roho ni roho wa mungu basi nae pia ni mungu. Kwa maana iyo wacha kuwalaumu kwasababu akili zao na zako zinafanana tu kwenye mafikirio ya kibidamu.
    Lakini ukweli ni kwamba mungu hana mwana wa kimwili kama wewe unavosema. Mungu ni baba yetu kwa huruma na kwakua yeye ndie aliyetuumba usimpangie mungu namna ya kuumba. Mungu amemuumba yesu kwa neno.
    Lakini pia kuhusu ubaba wa yesu na mungu hata yeye mwishoni wakati anaenda mbinguni alisema ya kua
    "usinishike maana naenda kwa baba, nenda ukawaambie ndugu yangu naenda kwa baba yangu ambae ni baba yenu, kwa mungu wangu ambae ni mungu wenu"
    Sasa 😂 ndacha unajikanyaga mwenyewe
    Kwa mujibu wako wewe inaonekana miungu iko miwili ambae ni yesu pamoja na mungu baba😂😂😂
    Alafu wengine waliotumia hisia kama wewe wakaongeza roho mtakatifu wakawa watatu.
    Lakini ukweli ni kwamba mungu ni mmoja tu. Mengine yote ni hisia zenu wanaadamu.

    • @abuuahmad3238
      @abuuahmad3238 5 месяцев назад +1

      Swadakta

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z 5 месяцев назад

      Ndacha hana lolote amesoma sana maandiko sasa yanamchanganya 😂😂😂 kuna vitu havihitaji akili kubwa

    • @DennisWaweru-ml4lf
      @DennisWaweru-ml4lf 5 месяцев назад +3

      Ndugu yangu huelewi ndacha sababu hutaki kumwelewa.wewe unacho kifikiria ni vile utakavyo bisha Wala sio kuelewa...alafu kama wewe kabisa ni mkristo umefanya kosa la jinai kwa kusema yesu ni kiumbe huku yesu anasema nalizaliwa

    • @Benfilimon
      @Benfilimon 5 месяцев назад

      Ndacha anatambua uwepo wa mungu ,, pia uwepo wa yesu, pia uwepo wa roho ya Mungu,, anacho pinga ni dai la kusema, hao watatu ni mungu mmoja , ila fundisho la ndacha ni hili
      Mungu kwa mapenzi yake alimuzaa yesu kabla ya ulimwengu kuwepo, na hivyo yesu

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z 5 месяцев назад

      @@Benfilimon dini zote zinaamini kuwa Mungu ni mmoja mwenye nafsi tatu yaani ni sawa na binadamu pamoja na viungo vyake vinafanya kazi kwa pamoja kwa kushirikiana

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 5 месяцев назад +2

    Wewe hujui. Unatakiwa ukae chini ufundishwe. Ni fumbo la Imani

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 5 месяцев назад +7

    Dah hizi imani nyengine mtihani yesu ni mungu na yeye ana mungu wake duh😮

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 5 месяцев назад

      Dah hizi imani nyengine mtihani mtume anamnajisi mtoto halafu anadai amepata wahyi kwa ala duh

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 5 месяцев назад

      Dah!kuna wazazi wengine hawana imani na watoto wao,maana Muhammad (s.a.w)hakumbaka huyo mtoto alienda kumposa kwa mzee wake na babayake ndio kamuozesha😅​@@noahwamalwa4385

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 5 месяцев назад +1

      @@noahwamalwa4385kwaiyo mtu ukimuoa unakua ume mnajisi eeeh ndio mafundisho mnayo fundishwa ayo 🤣

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 5 месяцев назад

      ​@@noahwamalwa4385nyinyi kanisani kwenu mehalalishiwa kuowana wanaume kwa wanaume,mke kwa mke.papa francisco amesema ila akuna hoja.

    • @DenisMpihigwa
      @DenisMpihigwa 5 месяцев назад

      @@MohamedMohamed-u3t1n hujui kitu ww

  • @EnockKibona-xe5hp
    @EnockKibona-xe5hp 4 месяца назад +2

    Unapenda sana kujadiliana! lakini si kwakutaka kuelewa! ila unataka kushindana!

  • @YudaNtemi
    @YudaNtemi 26 дней назад

    Roho wa Mungu ni Mungu, Roho wa ndacha ni Ndacha mwenyewe 😂😂😂😂😂

  • @ev.willingtone01
    @ev.willingtone01 4 дня назад

    Was Omindo wamegeuza neno, sasa wanalileta wanavyo just wao, Mungu Atusaidia sana,

  • @ChrisantJohn-d3l
    @ChrisantJohn-d3l 5 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂Kumbe leo nimeelewa ndacha hujui baadhi ya vitu vinakugalala gaza daaaah 😂😂😂😂😂😂 pole mzeee

  • @YouTuuuuuuube
    @YouTuuuuuuube 4 месяца назад +1

    Nimempenda mtangazaji ana maswali mazuri

  • @BraisonMeela
    @BraisonMeela 5 месяцев назад +4

    Watu wanaposikia Mungu ni mmoja wanchukukulia kama vile Yeye ni physical na Ana umbo ambalo huwezi kuligawanya. Ebu fikiria tunaambiwa Mungu yuko mahali popote (Omnipresent), Ana uwezo wa kumsikia kila mtu kwa wkt mmoja (Omniscient), Ana uwezo wa kufanya lolote wkt wowote (plenipotential) Unapata hisia gani? UTATU NI FUMBO Ndacha huna uwezo wa kumdifine. YESU kasema "Alieniona mimi amemuona Baba, Mimi na Baba ni wamoja" one God three persons - - The Holy Trinity

    • @Venance-h7l
      @Venance-h7l 5 месяцев назад

      Kama umequote injili ya Yohana jua kuna debate miaka mingi juu ya utata wa icho kitabu .. especially kuhusu ilo andiko kua Yesu ni Mungu cuz injili tatu za awali mathayo , marko hazijataja hilo na Yohana mt. Imeandikwa almost miaka 30 baada ya Yesu na aliyekiandika hajulikani

    • @richardchimba3800
      @richardchimba3800 5 месяцев назад +1

      Kama utatu ni fumbo wewe umejuaje utatu Upo ?

    • @presenttruthpioneersministry
      @presenttruthpioneersministry 4 месяца назад

      @@BraisonMeela God is a physical being, else we could not be created in His Image. There many places in the Bible that teach God has hands, ears, eyes, head, legs, nostrils etc. This doesn't mean he cannot have knowledge of all the universe.

    • @gabrielsaelie8091
      @gabrielsaelie8091 4 месяца назад

      Utatu ni utetezi wa uwongo wa kanisa katoliki lanalofundindi utatu wa Mungu. Uwongo huo hautetewi kwa neno la Mungu kupitia biblia. Kanisa katoliki linashindwa kuthibitisha utatu kwa maandiko ndio maana linafundisha kuwa UTATU NI FUMBO. Wakiwa na maana hulichunguziki. Fundisho la utatu ni la uwongo na ni fundisho la shetani.

    • @dicksonandrew25
      @dicksonandrew25 4 месяца назад

      @@Venance-h7l soma Isaya 9:6 itakusaidia

  • @SamhhIlo-ib4ij
    @SamhhIlo-ib4ij 4 месяца назад +2

    Mwanzo 1:26 inakiri Mungu ni mmja ila sio nafsi moja labda mkifute kitabu cha mwanzo🙏🏿

  • @Hagaispeck
    @Hagaispeck 5 месяцев назад

    Mungu akubariki mutumishi

  • @EnockHonga
    @EnockHonga 4 месяца назад

    Ndacha upo sahihi mtumishi barikiwa Sana

  • @JamesKuria-n7y
    @JamesKuria-n7y 5 месяцев назад +2

    Mtumishi dacha ...kiti ni kimoja tu cha MUNGU BABA NA BWANA WETU YESU KRISTO;tusome tito 2;13.

  • @EnockKibona-xe5hp
    @EnockKibona-xe5hp 4 месяца назад +1

    Hapo unachemka ndacha!! Umesha geuka mpinga kiristo.kasome mathayo 28:16-20 uone kile Yesu aliwaagiza wanafunzi wake.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 5 месяцев назад +1

    Umechanganyikiwa Ndacha, Yesu anasema mkawafanye wanafunzi mkiwabatiza kwa JINA la Baba Mwana na Roho Mtakatifu. Siyo kwa majina, Baba Mwana na Roho Mtakatifu ni jina moja. Ndacha huwezi badili hiyo, hapo umekuwa muislam. Na umemkana Yesu.

    • @kevinjoash7
      @kevinjoash7 5 месяцев назад +1

      Lakini hakusema wabatizwe Kwa Jina la Mungu Baba, Mungu Mwana Na Mungu Roho. Hapo ndio Kuna utofauti

    • @amoskariuki2881
      @amoskariuki2881 3 месяца назад

      Naamini mungu baba , mungu mwana na mungu roho mtakatifu.Ndacha Ako na head knowledgeable lakini Hana ufunuo wa maandiko

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 5 месяцев назад +1

    Napenda sana mafundisho yako mtumishi. Lakini sasa unapokua kwenye mdahalo na wahislamu, unasema eti BWANA YESU ni Mungu. Sisi tunaho fatilia mafundisho yako, nikama vile umetuchanganya.

    • @emmanuelbyuzura6117
      @emmanuelbyuzura6117 5 месяцев назад

      @@byoseasolokoci7257 Nadhani Ndacha anaposema Yesu ni Mungu kwa asili, lkn yupo Mungu mwenye nguvu kupita yesu

    • @mohammedrajabumwamba1322
      @mohammedrajabumwamba1322 4 месяца назад

      NDUGU KARIBU KTK UISLAMU

  • @alfredpius-g6k
    @alfredpius-g6k 5 месяцев назад

    Ndacha barikiwa huko vizuri sana mimi nakuekewa

  • @benjaminbhokeye7885
    @benjaminbhokeye7885 4 месяца назад

    Mungu amejifunua kwa wingi mwanzo 1:26;3:22;11:3-7 na Isaya 6:8
    Wingi huu umetajwa katika agano jipya Mathayo 28:19; 1Petro 1:2 na Luka 3:21-22
    Mafungu hayo yanaweka wazi juu wingi katika utendaji wa Mungu.

  • @matuidipictures7739
    @matuidipictures7739 4 месяца назад +1

    Unaongea kimwili tu yani kiroho upo mbali sana , unawapotez wengi san Mungu akusaidie san

  • @benardnjoka5359
    @benardnjoka5359 5 месяцев назад

    Mwalimu ubarikiwe sana

  • @ackimackim1880
    @ackimackim1880 5 месяцев назад +1

    KWELI BINADAMU HAKOSI KASOLO, NDACHA KUHUSU UUNGU WA YESU,NA SABATO VIMEKUPIGA CHENGA

  • @shaurikhamisi5689
    @shaurikhamisi5689 4 месяца назад +1

    Nimuongo ndacha ana kigeu geu

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 5 месяцев назад +3

    NDACHA NI MTU ANAEJUWA PROPAGANDA LAKINI MENGI HAYAJUWI NA HATOYAJUWA KWA SABABU NI MBISHI ANAYEJIFANYA MJUWAJI NA KUMBE HAJUI . HATA KISWAHILI HAJUWI.

  • @AlfredAlfred-yd2mg
    @AlfredAlfred-yd2mg 5 месяцев назад +1

    Mtumishi up vzr yesu si
    Mungu labda kichaa anaeamini hayo yesu ni mwana wa
    Mungu sio
    Mungu mwana

  • @magigemesanga2284
    @magigemesanga2284 2 дня назад

    Ndacha kuhusu utatu Mtakatifu haujui kitu, ebu rudi shule upya. Yohane 14;7-9

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 5 месяцев назад +1

    Silimu tu acha ujinga 😂😂😂

  • @jamesgasper6764
    @jamesgasper6764 4 месяца назад +1

    Mmhhh!! Wewe ndacha mbona huereweki jamani wakristo njoeni uku ndacha anawabiriga kotekote juu na chini!! Adisasa sijui yesu kama ni mungu mwana au nabii, maana ananivuruga tu.

  • @abdullatifushambe4435
    @abdullatifushambe4435 5 месяцев назад +1

    Ikili inaanza kuwaingia kidogo kidogo mpaka mtajua ukweli kuwa mlikuwa mnadanganywa na hao viongozi wenu

  • @paschalcosmas6093
    @paschalcosmas6093 5 месяцев назад +1

    Hili somo naweza kumfundisha ndacha had aelewe,. Ndacha unakubali tena huw unawafundisha waislamu kuw mtoto wa Mungu ni Mungu lkn hapa unakataa.

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 5 месяцев назад +1

    Bwana mdogo, hiki unachokifanya ukilenga kupata umaarufu, unahatarisha mahusiano yako na Mungu. Kweli utapata umaarufu kwa wanadamu lakini tunaonywa tusiwe walimu wengi kwani kuna adhabu.
    Ni heri kujifunza kukaa kimya na kunyenyekea. Ni hatari sana kijana. Ni bahati mbaya sana waanzilishi wa SDA waliwajenga ktk misingi ya ubishi na malumbano. Mnauharibu Mwili wa Kristo (Kanisa) mjue. Haya bwana.

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 5 месяцев назад +1

    Wewe na mbwa huna tofauti sababu unakula matapishi yako

  • @shaurikhamisi5689
    @shaurikhamisi5689 3 месяца назад +1

    Wewe ndacha ndio unasema mtoto wa nyoka ni nyoka leo una badilika husemi tena mtoto wa mungu ni mungu Sasa wewe ni muongo

  • @ThomasKiwiok
    @ThomasKiwiok 4 месяца назад +1

    Wanasbandistan yani wasabato wana changanyikiwa kutuelewa kristo yesu kuwa Ni Mungu! Awaelewi mahandiko maana ya kusema katika YOHANA,1:1_ na mahandiko zinginezo.

  • @nyarondiajames4999
    @nyarondiajames4999 3 месяца назад

    Unafundisha jambo usilolielewa kabisa.Yesu ni Mungu basi

  • @ThomasKiwiok
    @ThomasKiwiok 4 месяца назад +1

    Wapendwa Ni kweli ndacha ni mtumishi wa Mungu ama ako kwa peshara yake.pona anakaana sana kuwa kristo yesu kuwa siyo MUNGU ?ama na cheza

  • @JohnKaliagi
    @JohnKaliagi 2 месяца назад

    Ndacha unaakili nyingi sana

  • @sarboko
    @sarboko 5 месяцев назад +1

    Unajichanganya ww

  • @alanmwijarubi
    @alanmwijarubi 5 месяцев назад +1

    Umesema Mungu akikupa roho wake amekupa presence yake, yaani yeye mwenyewe. Kumbe huyo roho Mtakatifu ni Mungu mwenyewe.

    • @BarakaZabron-py2fz
      @BarakaZabron-py2fz 4 месяца назад

      ushasema "ROHO WAKE"WEWE ROHO WAKO NI MTU MWINGINE KANDO NA WEWE?.

    • @bramzkelly
      @bramzkelly 3 месяца назад

      This guy.!amelogwa na mafundisho ya dini ya SDA.Isaiah 29:13

  • @alanmwijarubi
    @alanmwijarubi 5 месяцев назад

    Neno alikuwako kwa Mungu, naye neno alikuwa Mungu.
    Imekaaje hiyo.
    Mungu ni mmoja, ila anakuja kwako kadri unavyomhitaji wewe. Kama unataka kumuona Mungu kama muumbaji wako, au mwokozi wako, au kiongozi wako katika maisha.. hiyo ndiyo inakupa nafsi tatu za Mungu yuleyule mmoja.

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael 5 месяцев назад

    1YOHANA 4:15
    15 Kila akiriye ya kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, Mungu hukaa ndani yake, naye ndani ya Mungu.
    MUNGU HUKAA NDANI YETU NA KITENDA KWA ROHO YAKE.

  • @muznazahra455
    @muznazahra455 4 месяца назад

    Kama ni hivyo hata sisi binadamu tulizaliwa kabla kama unavyotaa mfano wa Yesu Isa a.s....kwa kweli kwa Imani ya mafundisho ya Mungu wahubiri mwachanganya watu....

  • @a_melly
    @a_melly 5 месяцев назад

    Ombeni Mungu kila jambo **KWA JINA LA YESU **
    Sio...Kwa jina la Baba, mwana na roho mtakatifu.

  • @AbijuuFuraha
    @AbijuuFuraha 4 месяца назад

    Neno mungu na neno mungu mwenyez tofautiake Ni up? Kwan kwenye dictionary ya kingereza neno God Lina maana gan?

  • @GeffChallo
    @GeffChallo 5 месяцев назад +13

    ukienda kwa waislamu unahoji kwamba Yesu ni Mungu,,ukija kwa wakristo unadai Yesu si Mungu,,,,,UMECHANGANYIKIWA

    • @filexbenefits5612
      @filexbenefits5612 5 месяцев назад +7

      You don't know anything bro, read your bible and don't put your words in someone's mouth

    • @Davidjame711
      @Davidjame711 5 месяцев назад +3

      Uliye changayikiwa ni wewe maana ujue kwa nn Yesu anaitwa Mungu hajajua bado

    • @jeffrankjeff1433
      @jeffrankjeff1433 5 месяцев назад +2

      @@GeffChallo Tatizo lako ni kwamba unasikiliza lakini huelewi, makinika utaelewa ndugu

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 5 месяцев назад

      Yesu Kristo ni chapa ya nafsi ya Mungu. (Waebrania 1:3). Mungu ni nafsi moja tu.
      Bali Yesu ni mmoja na Mungu (Yohana 10:30 " Mimi na Baba tu umoja.")
      MFANO(INGAWA SIYO HALISI)
      Mwanadamu ni Nafsi hai(ambayo ni Roho) lakini ana mwili pia, je utawaita nafsi mbili? Au wawili?

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 5 месяцев назад

      Mridhi wa vitu vyote..Anaitwa Mungu kwasababu ni Mwana wa Mungu lakini hakuwi Mungu namba Mbili..Ni mwana Pekee wa Mungu hio ndio Imani na Uungu​ 1cor8:6@@DeusdeditMichael

  • @ufunuotv
    @ufunuotv 5 месяцев назад

    Imani ya mkiristo yafaa aamini Kristo NI mwana WA MUNGU yaani ametoka mbinguni na makao yake n mbinguni

  • @magigemesanga2284
    @magigemesanga2284 2 дня назад

    Francis ndacha usichanganye watu, Ukimuona Yesu umemuona Mungu Baba na Roho Mtakatifu, acha kuchanganya watu wewe.

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 5 месяцев назад +2

    YESU SI MUNGU hata iwe vipi

    • @MapenziMalanda
      @MapenziMalanda 4 месяца назад

      @@mombasa0076 kwako si Mungu ila kwangu ni Mungu Tena Alie hai milele yote.

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 4 месяца назад +1

      ​@@MapenziMalanda
      Tafuta elimu .
      Usibweteke na kukariri.

  • @BulozeMahano
    @BulozeMahano 5 месяцев назад

    Jambo mwalimu Ndacha MUNGU Akubariki Asiekuwa na roho wa MUNGU hawezi akakuelewa

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 Месяц назад

    Umeleta injili ya mungu wawili

  • @MohamedAhmada-ie7ke
    @MohamedAhmada-ie7ke 5 месяцев назад +6

    Apo ndio utakapo jua kua ndacha analinda tu ukiristo mjadala wa majuzi 2 apa kwenye mdahalo ulisema yesu ni Mungu mwana mbaka ukasema mwana wa nyoka ni......., mwana wa Mungu nae ni Mungu

    • @samxx411
      @samxx411 5 месяцев назад +1

      Umeona eeee jamaa huyu anawapoteza sana wakristo lkn wakristo hawajielewi tatizo

    • @AsiaHamis-b4o
      @AsiaHamis-b4o 5 месяцев назад +1

      Hahaha umenikumbusha eti mwana wa mungu ni....mtoto wa nyooka ni...Leo ndacha kakana wakristo Wala hawastiki

    • @MarthaMasha
      @MarthaMasha 5 месяцев назад +1

      Mbona waislamu hamuelewi. Yesu kuitwa Mungu hiyo ni sawa kabisa maana ni mwana wa Mungu kwa asili wala sio kwa nafsi. Nafsi ya Mungu ni moja na Yesu ni mwana wala sio Mungu mwenzake lakini Yesu amerithi vyote kutoka kwa babake, mfano, ni muumbaji, anasamehe dhambi, anafufua, anaabudiwa, Ana uzima ndani yake na kadhalika

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 5 месяцев назад

      @@MarthaMasha apo ndio na amini maneno ya wale waliosema nchi hii bila ya waislamu mbaka leo ingekua ina tawaliwa, kwa akili zenyewe ndio hizi dah

    • @programminglanguagestutori9118
      @programminglanguagestutori9118 5 месяцев назад

      @@MohamedAhmada-ie7ke Kama wewe kwa kuitwa mwanadamu unakuwa Adam hutaelewa chochote . Tena Kuitwa Jina la baba yako unakuwa baba yako?

  • @RobertKasyamakula
    @RobertKasyamakula 4 месяца назад

    Theologia haijawahi jibu swala la ufunuo , tunyenyekee tu mungu atufunulie,,,

  • @josephorenge731
    @josephorenge731 3 месяца назад

    ‭Yohane 1:1-5 BHN‬
    [1] Hapo mwanzo, Neno alikuwako; naye alikuwa na Mungu, naye alikuwa Mungu. [2] Tangu mwanzo Neno alikuwa na Mungu. [3] Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye. [4] Yeye alikuwa chanzo cha uhai na uhai huo ulikuwa mwanga wa watu. [5] Na mwanga huo huangaza gizani, nalo giza halikuweza kuushinda.
    Ndancha wewe umejaa kiburi huelewi maandiko omba uongozi wa roho mtakatifu akuongoze

    • @BakariKaimite
      @BakariKaimite 2 месяца назад

      @@josephorenge731 Sasa ilikuwaje Neno ageuke awe Mungu na Neno ageuke awe Mwana?
      Ndacha yupo vzr sana nandomaana ukisoma yohana 1.14 inasema neno alifanyika kuwa Mwana wa Mungu.
      Na haisemi Mungu aligeuka awe Mungu Mwana. Bali neno la Mungu liligeuka likawa Mwana wa Mungu.

  • @basilejuma
    @basilejuma 4 месяца назад

    Ndacha umefunfisha vizuri sana mwanzo hadi mwisho ukitumia maandiko,yule akuelewi ni dudumari

  • @hamisirai6635
    @hamisirai6635 5 месяцев назад +1

    Pastor ndacha a ata hazard uisilam bila kujua Qur'an 5 72

  • @PeterMashiku-qx7xw
    @PeterMashiku-qx7xw 5 месяцев назад

    Uweza wa Mungu unawachanganya watumishi

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 5 месяцев назад

    ukristu ni dini ya ajabu sana, hata wanaemuabudu hawamjui duuh, mungu awawekee wepesi muione nuru ya mwenyezimungu

  • @LudyJuma-t7z
    @LudyJuma-t7z Месяц назад

    Ktk isaya 6 mbona wale masalafi wasema mtakatfu mala3 ?

  • @benjaminbhokeye7885
    @benjaminbhokeye7885 4 месяца назад +1

    Sasa jamani tumwelewe nani Yesu au Ndacha. Maana Yesu amesema Mungu ni Roho (Yohana 4:24)
    Bwana ni Roho (2Wakorintho 3:17)
    Mungu amejifunua katika utendaji wa nafsi tatu. Ndiyo maana Yesu anasema "Atamwomba Baba atuletee msaidizi mwingine ambaye Roho Mtakatifu" Yohana 14:16,17,26
    Pia Matendo 1:8 " Nanyi mtapokea nguvu akisha wajijilia kwenu Roho Mtakatifu"
    Matendo 13:2 "...Roho Mtakatifu akasema nitengeeni Barnaba na Sauli"
    Hivyo wanaposema Roho Mtakatifu na Yesu ni nafsi katika utendaji ni kweli. Na hili halina maana kuwa Mungu wapo watatu, ni mmoja anayetenda kwa wingi

  • @eliapeter2950
    @eliapeter2950 5 месяцев назад +1

    Ndacha kwa waislam unajitahidi kufanya vzr. ila hapo bado ujaelewa kabisa na unapotosha maandiko kwakuwa wewe ni mtu wa mwilini sio na rohoni

  • @josephorenge731
    @josephorenge731 3 месяца назад

    Jesus is our everlasting father

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael 5 месяцев назад

    YESU KRISTO NI CHAPA YA NAFSI YA MUNGU. MUNGU NI NAFSI MOJA; NAYO NDIYO MUNGU
    WAEBRANIA 1:3
    3 Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu;
    NA HATA YESU ASEMA, KATIKA:-
    YOHANA 10:30
    30 Mimi na Baba tu umoja.
    Yohana 10:30

  • @barakamwantolwa4336
    @barakamwantolwa4336 5 месяцев назад +2

    Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu..Sio Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu roho mtakatifu hamna hiyo kitu...
    Kama unaamini Yesu kristo ni Mwana wa Mungu na una aamini Roho mtakatifu yupo

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 5 месяцев назад

    Ndacha juzi tu ulikua unabishana yesu mungu si niwewe😂😂😂😂😂😂

  • @barakamasijita2259
    @barakamasijita2259 5 месяцев назад +5

    Huyu mchungaji anajua sana

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 5 месяцев назад +1

      Anakijua nini ?
      Anaejuwa ni lazima atakuwa muislam.....

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 5 месяцев назад

    Pastor k eu Confio

  • @WanderiCharles
    @WanderiCharles 4 месяца назад

    According to Hosea 2:11 and colosian 2:16 what does it mean and why did the deciples not kept the sabbath and broke bread on the first day of the week

  • @ayoubali-x6n
    @ayoubali-x6n 5 месяцев назад

    NAKUOMBEA KWA MUNGU AKULETE KTK UONGOFU MH NDACHA NAAAMNI IPO CKU UTATHIBITISHA KUWA MUNGU NI MMOJA,HAKUZAAA WALA HAJAZALIWA NA UNALIJUWA HILO IPO CKU INSHAALAH UTAWAAMBIA WAKRISTO UKWELY WOTE NA NN KILICHOPO NYUMA YA PAZIA

  • @mwlpierre
    @mwlpierre 5 месяцев назад +2

    Mchungaji Ndacha umeingea vema sana

  • @BrianBayaMusic
    @BrianBayaMusic Месяц назад

    Yaani hujui kua hayo ndio yanayoukamilisha wokovu.

  • @muznazahra455
    @muznazahra455 4 месяца назад

    Hapo kuhusu Mitume kuuawa umesema vizuri ...

  • @MartineJoseph-u6i
    @MartineJoseph-u6i 4 месяца назад

    Mwl upo sahihi kabisa

  • @muznazahra455
    @muznazahra455 4 месяца назад

    Jamani wakristo hata elimu wasioku nayo wanaielezea yaani neno alikua kwa M.Mungu...kiukweli wakristo wamechanganyikiwa sana ila Ndacha anajaribu kutafuta njia ila bado inataka mda sana .

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 5 месяцев назад +2

    Si walikua wakisaidiana hoja hawa juzi tu 😅

    • @AsiaHamis-b4o
      @AsiaHamis-b4o 5 месяцев назад

      Basi kuwa prove tofauti waislam hua hawaend kufundisha bali kushindana hapo Sasa ndacha ndio anafundisha waislam hawapo😂😂😂Leo kabadilika kama sio yeye,

    • @shabamuhidin634
      @shabamuhidin634 5 месяцев назад

      😂😂😂ndo Ukristo huo dini ya uongo lazima kue na mkorogo

  • @YeremiaKuyangwa
    @YeremiaKuyangwa 5 месяцев назад

    Ndacha we mbona kama mtihani saivi

  • @jumamnyonge2148
    @jumamnyonge2148 5 месяцев назад

    Si waislamu wana waita Makafiri ni Kitabu chenu

  • @jorgitolucasbaluth8903
    @jorgitolucasbaluth8903 5 месяцев назад

    Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.
    1 Yohana 5:8

  • @erickagwe8841
    @erickagwe8841 5 месяцев назад +1

    Ndacha Yuko sahihi sana, ila inabidi uwe na akili huru(isiyofungwa na mapokeo ya makanisa na mazoea).

  • @bramzkelly
    @bramzkelly 3 месяца назад

    Umesoma biblia ukaimaster but pray to be filled by the Holy spirit.

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 5 месяцев назад

    Hapo kwenye kuzaliwa nako Mh kazi ipo kwa kweli

  • @IsayaMollel-sv6nr
    @IsayaMollel-sv6nr 5 месяцев назад

    Ndasha hubiri hata yesu walimpinga binadamu hawa mmh ila fikisha ujumbe mwenye masikio na asikie abadilike au abaki ju njia iendayo jehanam imesonga

  • @propKibali
    @propKibali 2 месяца назад

    Ndacha unaelewa kwa sehemu, soma Yohana 10:34,35.

  • @IsayaMollel-sv6nr
    @IsayaMollel-sv6nr 5 месяцев назад

    Uzuri mwalimu ameitisha mdahalo kama sio kweli afundishwe wacheni kukomenti ujinga kama mnajua nendeni uanjani mkamfundishe sio matusi jaman hio nikuelimishana mbna munaogopa kaitisha mjadala,ndasha mi nimekuelewa hubiri usichoke mungu yuko upande wako

  • @jumamnyonge2148
    @jumamnyonge2148 5 месяцев назад

    Wee bwana kuwa muislamu ujisalimishe Kwa Mungu juu hata usabato Mungu amekataza Sabato Kila msabato akifa ni msabato yeye ni kuni

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael 5 месяцев назад

    Petro ambaye ndiye Mchungaji wa kwanza; hakubatiza (kwa jina la Baba na ....)
    MATENDO 2:38
    38 Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.
    KWASABABU:-
    Jina ni lake aliye wa Pekee; na mwana ni chapa yake; ndiyo maana haitamkwi, kwajina la Baba (na la) Mwana; bali kwa jina la Baba (na) Mwana (na) Roho Mtakatifu.
    MITUME WOTE WALIBATIZA KWA JINA LA YESU; WALA SI VINGINEVYO.
    NA UBATIZO NI BAADA YA KUMWAMINI YESU, WALA SI KWA VICHANGA.

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman 5 месяцев назад

    Katika imani tata isiyoeleweka kuhusu mungu ni yupi ni UKIRISTO wote hapo mmepotoka hakuna ukweli hapo mungu ni mmoja tu yesu si mwana wala mungu bali ni mtumwa wa mungu mmoja na yeye mungu mmoja hana mshirika wala hafanani na chochote katika viumbe vyake wala hakuzaa wala hakuzaliwa

  • @DavidMatata
    @DavidMatata 4 месяца назад

    Mtumishi Mimi nakuomba unifahamishe kuhusu kwenye ubatizo,je tubatizwe vipi?Kwa Sababu kwenye matayo, 28:19 inasema kuhusu utatu,na wewe unasema kwamba huo ni Ushetani!!!Sasa nakuomba unifahamishe tubatizwe vipi? Thanks... Ubarikiwe!!

  • @josephorenge731
    @josephorenge731 3 месяца назад

    Ndacha huelewi kiswahili tofautisha kati ya mtu na nafsi

  • @bramzkelly
    @bramzkelly 3 месяца назад

    Unaimani safi but lugha inakuchanganya

  • @adinasibahati3133
    @adinasibahati3133 5 месяцев назад

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 💖💖🙏 TRUE NDACHA

  • @jumamnyonge2148
    @jumamnyonge2148 5 месяцев назад

    Na hapo Kwa yesu kusema atawachiya Roho wa kweli ndacha mbona una juwa ukweli then unaficha wakristo jiulizeni Roho mtakatifu anaonekana ama Roho ya kweli ni inayo unekana