MAA SHAA ALLAH,SHEIKH SHAFII WEWE NI MWALIMU ULIYEBOBEA,YANI MUNGU AMEKUPA KIPAJI CHA KUFUNDISHA!! HATA NGUMBARO ANAEANZA KUJIFUNZA LEO KUPITIA MAFUNDISHO UNAYOYAFUNDISHA HAKIKA ATAKUELEWA!! NA UNAELEWEKA VIZURI SANA!! NA CHA KUSHANGAZA HAWA NDUGU ZETU WAKIRISTO WANA KWAMA WAPI KUYAELEWA MAANDIKO?MUNGU AKUZIDISHIE ELIMU SHEIKH SHAFII NA UZIDI KUTUFUNDISHA.ALLAH AKULIPE KHERI NYINGI SHEIKH SHAFII.
Wa kristo kwanini Bado mnatawaliwa na ujinga Hivi kweli mungu anaweza kufa? Kwa Imani ya WA kristo yesu alikufa msalabani Kipindi amebambwa msalabani yesu baada ya uchungu kumzidi alipaaza sawuti akalalamika Eloyi eloyi lama sabatani Mungu wangu Mungu wambu mbona unaniachiya Sasa kama yeye ndiyo mungu ni nafsi moja ya mungu Ni Mungu yupi ungine aliyemuomba Amuokowe kipindi yéyé mwenye anaweza kujiokowa WA kristo mumelogwa Nani Mpaka mkose hekima
MUISLAMU SIKU ZOTE ATAPINGA (MPINGA KRISTO) HADI SIKU YA KIAMA!! SI MAKOSA YAKE ANAFWATWA MAFUNZO YA MUNGU WA DUNIA HII (QURAN 1:2) 2 Wakorintho 4:4 "Kwa upande wao (waislamu), mungu wa dunia hii ametia giza akili za wasioamini, ili wasione mwanga wa Injili ya utukufu wa Kristo, ambaye ana sura ya Mungu."
Kwa kweli wakristo wengi wemepotea kuamini mungu wa utatu. Mimi mwenyewe nilikuwa napata shida kweli kweli kueleza utatu kipindi nilikua nauamini lakini sana nipo huru sana. Kwa mumjua Mungu wa pekee wa kweli na Yesu kristo mwana we.
Tafsiri nzuri sana Shafii, alafu kama unaamini iyo Yohana 1:1, nakuomba usome tena apo apo Yohana:1:11, na matendo:20:28, ukielewa ayo maandiko Shafii karibu kwenye ukristo
Kwa YESU mwenyewe humjui, unawezaje kutangaza habari za kristo wakati humjui tena humuani.Kama unamkubali Yesu toka kwenye majini huko njoo kwa YESU wazi wazi bila kificho
Freday. Unachosema kwa shaffi uko sahihi kabisa tena akisoma MATHAYO 11:27 INASEMA waza kumjua BABA NA MWANA NI MPAKA AJALIWE NA MUNGU. sasa hawa wenzetu wanatumia kutafakari MUNGU KWA UWEZO WA AKILI zao wakati MUNGU MAMBO YAKE YOTE NI YA AJABU KUU. kuumba tu dunia ni jambo ambaro liko mbali mno mwanadamu kuelewa. Kuumba mtu tu jambo kubwa kabisa. Sasa tazama anavowaza kuhusu nafsi. Anakwambia YESU KULE MBIGUNI AMEKAA MKONO WA KUUME WA MUNGU anawaza apo sasa si wawili.. wakati akisoma torati za MUSA NA ZABURI AMBAZO WANAZIAMINI ZINAELEZEA MTU WA MKONO WA KUUME WA MUNGU VIZURI KUWA MKONO HUO WAKUUME si mkono kama mkono ni kofuani kwa MUNGU APO KUUME KWA MUNGU NI KIFUANI. Hapo MUSA ALIELEZEA UNABII NAMNA HIYO NA ZABURI NDIO zaidi kabisa ilitoa unabii huo vizuri sasa WANAPO MSIKIA YESU ANASEMA ANAENDA KUKAA MKONO WA KUUME WAO KWA AKILI ZAO WANAWEKA KITI VICHWANI MWAO. MUHAMAD ATAWAKIMBIA SIKU YA KIHAMA maana amewambia wazizi kurudi kwa YESU ,ATAKUJA KUHUKU , AMEWAMBIA HUYO ki ukweli ni NENO WA MUNGU TENA ANAWAMBIA WAZI ZAI ROHO YA MUNGU., Anawaambia hata mama aliye mzaa ndio mama Bora kuliko wote hata kuzidi mama wa MUHAMAD bado hawashutuki
SIMULIZI ni sawa unataka kuconfirm mambo ya uislam kwa mchungaji Na hapa unataka kuconfirm mambo ya rohoni ya kikristo kwa muislama ABADAN NI MBINGU NA ARTHI
Shaffi wewe ni mwelelevu kitakacho kupeleka jehanam ni kuendelea kubaki katika uisilamu wakati ukweli unajua tii amri za mungu na sheria na imani ya yesu
Aseee jaman najisikia vibaya kua huyu ni Muslims anadadavua vizuri kua utatu ni uongo ila kunao hao majuha wanaong'ang'ani uongo na bado wanajiita wakristo asee it's so sad,yaani popote wanapo fundisha na kuamini kua utatu ni fundisho sahihi asee don't go there hio ni kambi ya shetani
SHAFII MUONGO....ETI HAKUNA AYA INASEMA KUHUSU NAFSI TATU NDANI YA BIBLIA???? Matayo 28:19 "Kwa hiyo nendeni mkawafanye watu wa mataifa yote kuwa wanafunzi wangu: mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu."
Sasa huo ni utatu? Utatu nikusema, Mungu baba ni Mungu, Mungu mwana ni Mungu, Mungu roho mtakatifu. Yani nafsi 3 zinazounda Mungu mmoja, huo ndio utatu ambapo kwa biblia hakuna mtu wangu
@@MarthaMasha Utatu ni mafunzo potovu ya mpinga Kristo muhammad. Mungu, Yesu Kristo.,Roho Mtakatifu ni moja. Kwa mfano, ukisoma Yohana 1:1...unaona wawili au mmoja????
Msamaha wa dhambi tuliupata kalvari. ..kama huamini ni juu yako..kama umedanganywa amini...kuna imani nyingi sana lakin ipo moja ya kweli yaani Biblia...
Mi nashindwaga kuwaelewaga waislam kuhusu MUNGU Neno MUNGU kwanza inabidi ujue maaana yake , Neno MUNGU ni maanayake ni CHANZO/MUUMBAJI/ (ni the creator and ruler of the universe and source of all moral authority; the supreme being.). sasa yohana 1:1, Isaya 9:6-7 Mathayo 1:23. Na mengineo ya maandiko, Tatizo waislam wanamlimit MUNGU kwa akili zao za kibinadamu, wanataka MUNGU afanye mambo yao kama wanavyotaka wao kwa style za kibinadam binadam
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. 3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. 4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. 5 Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza. 10 Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua. 11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea. 12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; 13 waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu. 14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli. 17 Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo. 18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.
Muongo wewe unaongea mambo gani ya kitoto kabisa yaani ukiambiwa uzunguuke Dunia nzima umlete mtu asiesoma ukimleta Ustadh Shafii tutakuona na kukushangaa kweli acha hizo usimuonee Mwalimu Shafii.
Francis Joseph anasema anaulizwa muislam asiyekwenda shule swali,huyu MTU anaelewa anachosema kweli?kwa akili yake ustadh shafi hajaenda shule kweli?MTU maswali yake yanawachanganya,kama huyu hàjaenda shule basi shule haitakuwa na maana
Kama au juin utatu unaupugufu mukubwa sana tuumbe mutuelle kwa mufano wetu ni utatu apo ni wingi yoane alibatizwa sauti ilisikiwa apo yesu roho n'a MUNGU
Nafsi NI HIZI I, WE, SHE, HE, IT , YOU, YOU THEY. sasa AKILI IKIJUA HAYA WALA HAOWEZI ANGAIKA NA MAOJIANO. NDIO MAANA HATA SIKU MOJA WALE WALIO anza toka YESU ALIPO IACHA DUNIA NA KURUDI AKOKUWEPO MWANZO WAO WALIKUSANYA USHAIDI WAKE WOTE NA WANAOPAKA SASA HAO NI KATOLIKI. hawa wanajua mengi mno. Sasa NIWAPE MFANO WA MCHAWI AU JINI kama likijibadili likaonekana kwa ubile lingine mfano mchawi mwana ume au mwanamke akajibadili akaonekana kama FISI AU PAKA AU BUNDI je katika nafsi ukimuona utssemaje. LAZIMA UTAEMA IT SIO HE TAYARI NAFSI INAZIONA HAPO NA TAYARI UMESHA ONA jua hivyo. Sasa MUNGU NI MKUU ZAIDI. KWA MUSA ALIONA MOTO UNAWAKA LWENYE KICHAKA KIBICHI. NA AKASIKIA SAUTI MIMI. NI MUNGU. SASA ALIONA RIHO MTAJATIFU MARA NYIGI UJITOKEZA KAMA MOTO. SASA BASI MSIPOTEZE MDA KUSUMBUA AKILI ZENU ati MUNGU KA ALIKUWA YESU KWA HIYO MBIGUNI HAKUWEPO MUNGU. MUNGU KOTE KWAKE MBIGU KWAKE DUNIANI KWAKE YUPO POTE.. WAKATI WA MUSA MUNGU ALIFANYA JAMBO LA AJABU KWA AKILI ZETU TUNGEKATAA. MUSA ALIMUOMBA MUNGU ASHUKE AJE MWENYEWE AWAONGOZE KATIKA SAFARI YAO. MUNGU ALIWAAMBIA NITENGENEZEENI SANDUKU na ndio kisa na sababu ya UJIO WA YESU NA MUSA ALIWAAMBIA KWAKUO MUNGU MLIPOTAKA MUMUONE MLISHIDWA SASA ATAWALETEA NABII MFANO WA MUSA, saaa shika neno mfano mfano mfano ili ndio ukae unajiuliza. SASA WAISLAM HAYA KUYAKUA ITAKUWA NGUMU nisiseme mengi
Shafii wwe haya maswali Yako yote inatakiwa um face Mwalimu Nacha face to face umuulize maana wwe unaongea vitu isivo vijua huna uhakika navyo lkn Ndacha atakufunza vizuri sana utakua m kristo mzuri sana 😂
Sasa simulizi unamuuliza Muislam mambo ya utatu Ataelewa kweli?😂😂😂 , MTU mwenyewe hata shule hajaenda , Yesu asingekua Mungu asingeweza kuhukumu , asingetuma Malaika, asingechagua mitume, kule kwenye ufunuo Yesu atamkamata shetani na kumtupa kwenye ziwa la Moto,
Sasa wew kwa akili yako uloenda shule wapi ktk bibilia kunathibitisha utatu mtakatifu?? Nyiè wakristo mbona mnajizima data? Mara yesu ni mungu mara mwana wa mungu mara mungu yupo ktk nafsi tatu tuwaelewe nini?
@@issaabdallah76601 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. 2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. 3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. 4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. 5 Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza. 10 Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua. 11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea. 12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; 13 waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu. 14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli. 17 Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo. 18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.
Wakristo anafuata mahubiri tu hawafuati maandiko andiko likiwa kinyume na mafundisho ya sande shool 😅hawataki akili zimelala ktk DOGMA yaani kila kitu ndiyo😅 hii Aya 17:3 Yohana, imemaliza kila kitu maana ni maneno ya yesu hayo.. WAKUJUE WEWE MUNGU WA PEKEE NA WA KWELI NA YESU ULIEMTUMA. 😅hiyo ya mimi na baba tu umoja ni maneno ya Yohana. Siyo ya yesu. Maneno ya yesu ni hayo hapo. Juu 17 :3.
@@Catherine-mh8sw Ndiyo, leo ndio nimeelewa Mungu ni baba ambaye ndio alimtuma Yesu, ingawa tena huko nyuma niliambiwa Yesu na Mungu ni kitu kimoja, nababaika mpaka natamani nisome Course ya IMANI
@SIMULIZIZONE nafikiri kuhusu uislam hujapata maelezo vizuri ya kukuthibitishia yesu si mungu. Wewe kwa ujumla unataka kujuwa ukweli hasa ili ufuate, ila sasa , waislam wanavyosema yesu si mungu, unataka ufafanuzi vizuri, ili ujuwe njia ipi ni sahihi ufuate. Ila kwa sasa pengine unaamini yesu ni mungu, utashikilia njia hiyo mpaka upate kwa uhakika yesu si mungu na hakuna utatu ndiyo, utaanza kufikiria,je dini ya kweli ni ipi? Haya mambo kuelewa kazi kweli
Shukrani sheikh wetu kwa elimu Mwenyizi Mungu akuzidishiye
MAA SHAA ALLAH,SHEIKH SHAFII WEWE NI MWALIMU ULIYEBOBEA,YANI MUNGU AMEKUPA KIPAJI CHA KUFUNDISHA!! HATA NGUMBARO ANAEANZA KUJIFUNZA LEO KUPITIA MAFUNDISHO UNAYOYAFUNDISHA HAKIKA ATAKUELEWA!! NA UNAELEWEKA VIZURI SANA!! NA CHA KUSHANGAZA HAWA NDUGU ZETU WAKIRISTO WANA KWAMA WAPI KUYAELEWA MAANDIKO?MUNGU AKUZIDISHIE ELIMU SHEIKH SHAFII NA UZIDI KUTUFUNDISHA.ALLAH AKULIPE KHERI NYINGI SHEIKH SHAFII.
Mungu akulinde uzidi kutoa ilimu
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚
...
Mungu ni mjanja....alituma mtoto wake akafadhaike...mwanawe mungu si mungu.
Allah atujalie tupate huo mdahalo wa shafi na Ndacha
Allah akujaalie Umri Ustadh Shafi na azidi kukuongoza
Wa kristo kwanini Bado mnatawaliwa na ujinga
Hivi kweli mungu anaweza kufa?
Kwa Imani ya WA kristo yesu alikufa msalabani
Kipindi amebambwa msalabani yesu baada ya uchungu kumzidi alipaaza sawuti akalalamika
Eloyi eloyi lama sabatani
Mungu wangu
Mungu wambu mbona unaniachiya
Sasa kama yeye ndiyo mungu ni nafsi moja ya mungu
Ni Mungu yupi ungine aliyemuomba
Amuokowe kipindi yéyé mwenye anaweza kujiokowa
WA kristo mumelogwa Nani Mpaka mkose hekima
Wow Shafi leo amekubali Neno = Yaani Yesu
Yohana: 1:14 😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏💪💪👋👋❤️❤️
Shafii, Mungu hafi wa hajawahi onekana, aliyekufa na kuonekana ni Mwana wa Mungu Yesu kristo.
Sifa ya Mungu ni kuumba na sio kuzaa kenge wewe
MUISLAMU SIKU ZOTE ATAPINGA (MPINGA KRISTO) HADI SIKU YA KIAMA!!
SI MAKOSA YAKE ANAFWATWA MAFUNZO YA MUNGU WA DUNIA HII (QURAN 1:2)
2 Wakorintho 4:4 "Kwa upande wao (waislamu), mungu wa dunia hii ametia giza akili za wasioamini, ili wasione mwanga wa Injili ya utukufu wa Kristo, ambaye ana sura ya Mungu."
Omba mechi na shafii mwambie simulizi akupeleke
@@AllyAbdallah-w8b
Walimu wakiislamu wote ni waongo...kazi yao ni kutumia taqqiyah. Nitampiga 100 bila!!
Kwa kweli wakristo wengi wemepotea kuamini mungu wa utatu. Mimi mwenyewe nilikuwa napata shida kweli kweli kueleza utatu kipindi nilikua nauamini lakini sana nipo huru sana. Kwa mumjua Mungu wa pekee wa kweli na Yesu kristo mwana we.
Wakatholic sio wakristo wote wanaamini hivyo
Me ndugu zangu wakristo sehemu moja huwa munaniacha hoi "Eti yesu kristo alikufa msalabani kwa ajili ya zambi zetu sisi"
Mungu kazi yake nikuumba hazai anae zaa ni kiumbe na mungu sio kiumbe
Tafsiri nzuri sana Shafii, alafu kama unaamini iyo Yohana 1:1, nakuomba usome tena apo apo Yohana:1:11, na matendo:20:28, ukielewa ayo maandiko Shafii karibu kwenye ukristo
Asanta mtangazaji kwa kutuletea Ustaz Shafii
Mungu ni mmoja tu.
Utatu hakuna.
Kutetea utatu ni kazi ngumu sana
Kwa YESU mwenyewe humjui, unawezaje kutangaza habari za kristo wakati humjui tena humuani.Kama unamkubali Yesu toka kwenye majini huko njoo kwa YESU wazi wazi bila kificho
Tulia ongeza maarifa au ndo vile dawa imekuingia
Kwan Kakwambia Anamkataa Yesu? Na Aje Kwa Yesu Huko Ni Wap, Maana Alipo Sheikh Ndo Sehemu Sahihi Ambayo Huyo Yesu Anafatwa Kuliko Kwenu
Freday. Unachosema kwa shaffi uko sahihi kabisa tena akisoma MATHAYO 11:27 INASEMA waza kumjua BABA NA MWANA NI MPAKA AJALIWE NA MUNGU. sasa hawa wenzetu wanatumia kutafakari MUNGU KWA UWEZO WA AKILI zao wakati MUNGU MAMBO YAKE YOTE NI YA AJABU KUU. kuumba tu dunia ni jambo ambaro liko mbali mno mwanadamu kuelewa. Kuumba mtu tu jambo kubwa kabisa. Sasa tazama anavowaza kuhusu nafsi. Anakwambia YESU KULE MBIGUNI AMEKAA MKONO WA KUUME WA MUNGU anawaza apo sasa si wawili.. wakati akisoma torati za MUSA NA ZABURI AMBAZO WANAZIAMINI ZINAELEZEA MTU WA MKONO WA KUUME WA MUNGU VIZURI KUWA MKONO HUO WAKUUME si mkono kama mkono ni kofuani kwa MUNGU APO KUUME KWA MUNGU NI KIFUANI. Hapo MUSA ALIELEZEA UNABII NAMNA HIYO NA ZABURI NDIO zaidi kabisa ilitoa unabii huo vizuri sasa WANAPO MSIKIA YESU ANASEMA ANAENDA KUKAA MKONO WA KUUME WAO KWA AKILI ZAO WANAWEKA KITI VICHWANI MWAO. MUHAMAD ATAWAKIMBIA SIKU YA KIHAMA maana amewambia wazizi kurudi kwa YESU ,ATAKUJA KUHUKU , AMEWAMBIA HUYO ki ukweli ni NENO WA MUNGU TENA ANAWAMBIA WAZI ZAI ROHO YA MUNGU., Anawaambia hata mama aliye mzaa ndio mama Bora kuliko wote hata kuzidi mama wa MUHAMAD bado hawashutuki
Soma kwnza alafu neo utukane mashekhe
Soma, vizuri yohana 1:1
Hapo Mwanzo kulikuwako neno, NAYE NENO, sio lile neno.
SIMULIZI ni sawa unataka kuconfirm mambo ya uislam kwa mchungaji
Na hapa unataka kuconfirm mambo ya rohoni ya kikristo kwa muislama
ABADAN NI MBINGU NA ARTHI
Shaffi wewe ni mwelelevu kitakacho kupeleka jehanam ni kuendelea kubaki katika uisilamu wakati ukweli unajua tii amri za mungu na sheria na imani ya yesu
Wew kitakichkuoeleka haawia ni kutinjua mungu wa pekee na mtume yesu
Sheikh shafi mungu akujalie
Kumbe mwankemwa anafundishwa pia na waislamu hakuna utatu😮😮😮😮😮😮
Imagine
Islam ni ushindi daima...Allah awe pamoja nawe Sheikh wetu na sisi atupe Elimu zaidi na mafanikio Akhera
Aseee jaman najisikia vibaya kua huyu ni Muslims anadadavua vizuri kua utatu ni uongo ila kunao hao majuha wanaong'ang'ani uongo na bado wanajiita wakristo asee it's so sad,yaani popote wanapo fundisha na kuamini kua utatu ni fundisho sahihi asee don't go there hio ni kambi ya shetani
Shafii, Ndacha na Mwankemwa mnatuchezea Akili
Unapoenda ikulu ukasema nahitaji waziri hakuna waziri atakuja.Mungu ni cheo lakini baba mwana roho
Kumpenda bureeee shekh wetu❤🌹🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@@salamalsawaqi1206 hii bendera ni ya nchi gani
Ustarhi Shafi , ndio Yesu alitumwa . Sasa kama nani ? Si uanzie kusoma hio Yohana 17:1-5.
Uyo mtangazaji kachukua kesi ya ngedere kampelekea nyani shafiii😂😂😂😂
MTANGAZAJI UTAMUULIZAJE MPINGA KRISTO KUHUSU UUNGU WA YESU KRISTO????
SHAFII MUONGO....ETI HAKUNA AYA INASEMA KUHUSU NAFSI TATU NDANI YA BIBLIA????
Matayo 28:19 "Kwa hiyo nendeni mkawafanye watu wa mataifa yote kuwa wanafunzi wangu: mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu."
Sasa huo ni utatu? Utatu nikusema, Mungu baba ni Mungu, Mungu mwana ni Mungu, Mungu roho mtakatifu. Yani nafsi 3 zinazounda Mungu mmoja, huo ndio utatu ambapo kwa biblia hakuna mtu wangu
@@MarthaMasha
Utatu ni mafunzo potovu ya mpinga Kristo muhammad.
Mungu, Yesu Kristo.,Roho Mtakatifu ni moja.
Kwa mfano, ukisoma Yohana 1:1...unaona wawili au mmoja????
Shekhe shafii nakuomba uwe unatoa na aya za qur ani,kwa mfano huo utatu ktk qur ani mungu kaukosoa,
Mada hiyo si sahihi kwa muislamu, simulizi hapo umechemka
Ni mada ya kiroho sio. Hahahahahaha
Yani huyu shafii sasa anaanza kuelewa
Sheikh shaffi wafundishe wa Kristo wenyewe hawafahamu kitabo chao
Yaan ukristo ni vichekesho
Hiyo ni siri ambayo mtu asiyeamini hawezi kujua, Mungu ni mmoja tu aliyemtuma yesu .na yesu ni mwana wake aliye na asili yake Mungu
nilikuwa nafikiria Shafii hajui kitu lakini nilipomzikiliza nikajua kumbe ni kweli hana elimu
Wakristo ndio mujui kua shafii ni mwalimu wa maandiko sema hamtaki kukubali na hii itawagharibu siku ya qiyama
Hii kuelewa kazi
kuelewa sio kazi ila kama umeshakaririshwa mambo nawe hutaki kujifunza, mbona kafafanua vizuri
@@nassorsharifu9837 mimi kuelewa kazi. Kila mtu ana akili yake
Msamaha wa dhambi tuliupata kalvari. ..kama huamini ni juu yako..kama umedanganywa amini...kuna imani nyingi sana lakin ipo moja ya kweli yaani Biblia...
leo huyu jamaa akili zimemrejea.
Shafii wacha ubishi ,yaona8. 21 nini maana ya dhambi na mshahara wa dhambi ni nini?
Mi nashindwaga kuwaelewaga waislam kuhusu MUNGU
Neno MUNGU kwanza inabidi ujue maaana yake ,
Neno MUNGU ni maanayake ni CHANZO/MUUMBAJI/ (ni the creator and ruler of the universe and source of all moral authority; the supreme being.).
sasa yohana 1:1,
Isaya 9:6-7
Mathayo 1:23.
Na mengineo ya maandiko,
Tatizo waislam wanamlimit MUNGU kwa akili zao za kibinadamu, wanataka MUNGU afanye mambo yao kama wanavyotaka wao kwa style za kibinadam binadam
Tatizo watoto wa kikiristo hawasomeshwi kitabu chao wao wanahangaaika na mitihani ya taifa tu
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
5 Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.
10 Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.
11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
13 waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
17 Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo.
18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.
Kwa hiyo Jesus kamuona mungu?
Sasa kumfunua ndio kumuona
@@Catherine-mh8sw Swali gani?! Sasa
Umesoma vizuri maandiko nliokupa au kibri
utatu si biblia
Wewe ni saizi yangu,mwache ndacha akutane na wa saizii yake
Kanye ukalale
Chafii uya juua bibli auna na roho utafundisha nini wewe unasema yesu anasema mukabatize kwa jina la baba na mwana na roho awa siyio wa tatu opo
Mtangazaji unazingua, unamuulizaje muislamu kuhusu uungu wa yesu?
Shafi hajui analoliongea kabisa
Muongo wewe unaongea mambo gani ya kitoto kabisa yaani ukiambiwa uzunguuke Dunia nzima umlete mtu asiesoma ukimleta Ustadh Shafii tutakuona na kukushangaa kweli acha hizo usimuonee Mwalimu Shafii.
Ukristo sio dini ya mungu hakuna ufunuo wowote ule baina ya mungu na wagiriki
Makafiri hawana akili
Utatu uko soma 1yoane 5-5-9
Wakirsto ukiwabana maswali utawasikia mambo ya kiroho ayo
Francis Joseph anasema anaulizwa muislam asiyekwenda shule swali,huyu MTU anaelewa anachosema kweli?kwa akili yake ustadh shafi hajaenda shule kweli?MTU maswali yake yanawachanganya,kama huyu hàjaenda shule basi shule haitakuwa na maana
😅1yoane 5-5-9
Kama au juin utatu unaupugufu mukubwa sana tuumbe mutuelle kwa mufano wetu ni utatu apo ni wingi yoane alibatizwa sauti ilisikiwa apo yesu roho n'a MUNGU
Kuna point uli spoke siyo yote
Nafsi NI HIZI I, WE, SHE, HE, IT , YOU, YOU THEY. sasa AKILI IKIJUA HAYA WALA HAOWEZI ANGAIKA NA MAOJIANO. NDIO MAANA HATA SIKU MOJA WALE WALIO anza toka YESU ALIPO IACHA DUNIA NA KURUDI AKOKUWEPO MWANZO WAO WALIKUSANYA USHAIDI WAKE WOTE NA WANAOPAKA SASA HAO NI KATOLIKI. hawa wanajua mengi mno. Sasa NIWAPE MFANO WA MCHAWI AU JINI kama likijibadili likaonekana kwa ubile lingine mfano mchawi mwana ume au mwanamke akajibadili akaonekana kama FISI AU PAKA AU BUNDI je katika nafsi ukimuona utssemaje. LAZIMA UTAEMA IT SIO HE TAYARI NAFSI INAZIONA HAPO NA TAYARI UMESHA ONA jua hivyo. Sasa MUNGU NI MKUU ZAIDI. KWA MUSA ALIONA MOTO UNAWAKA LWENYE KICHAKA KIBICHI. NA AKASIKIA SAUTI MIMI. NI MUNGU. SASA ALIONA RIHO MTAJATIFU MARA NYIGI UJITOKEZA KAMA MOTO. SASA BASI MSIPOTEZE MDA KUSUMBUA AKILI ZENU ati MUNGU KA ALIKUWA YESU KWA HIYO MBIGUNI HAKUWEPO MUNGU. MUNGU KOTE KWAKE MBIGU KWAKE DUNIANI KWAKE YUPO POTE.. WAKATI WA MUSA MUNGU ALIFANYA JAMBO LA AJABU KWA AKILI ZETU TUNGEKATAA. MUSA ALIMUOMBA MUNGU ASHUKE AJE MWENYEWE AWAONGOZE KATIKA SAFARI YAO. MUNGU ALIWAAMBIA NITENGENEZEENI SANDUKU na ndio kisa na sababu ya UJIO WA YESU NA MUSA ALIWAAMBIA KWAKUO MUNGU MLIPOTAKA MUMUONE MLISHIDWA SASA ATAWALETEA NABII MFANO WA MUSA, saaa shika neno mfano mfano mfano ili ndio ukae unajiuliza. SASA WAISLAM HAYA KUYAKUA ITAKUWA NGUMU nisiseme mengi
Hivo Ni Viwakilishi Mzee Unachanganya..Nafsi Haina Wingi
shaffi umemkimbia mwalimu francis-ndacha kweli mudahalo sasa umerudi kuboronga nyumbani kwako waislamu mnashida kweli kwel!
Wewe bwana unachanganya kweli
We don't have Trinity, we have Godhead
Wakristo ni wabishi qweli
Shafii wwe haya maswali Yako yote inatakiwa um face Mwalimu Nacha face to face umuulize maana wwe unaongea vitu isivo vijua huna uhakika navyo lkn Ndacha atakufunza vizuri sana utakua m kristo mzuri sana 😂
Biblia Ni Story Z Watu Wala Sio Kitabu Cha Mungu
Huyu Shafii nm kristo tu sema majini Yao ndo Yana muogopesha hajitoa u Islam, lkn hi nm kristo mkubwa sana
Bibilia ni "story" za jaba aiwezekani yesu kristo alikuwepo kabla ya kuumbwa ulimwengu na neno kristo ni neno la kigiriki
Sasa simulizi unamuuliza Muislam mambo ya utatu Ataelewa kweli?😂😂😂 , MTU mwenyewe hata shule hajaenda , Yesu asingekua Mungu asingeweza kuhukumu , asingetuma Malaika, asingechagua mitume, kule kwenye ufunuo Yesu atamkamata shetani na kumtupa kwenye ziwa la Moto,
Sasa wew kwa akili yako uloenda shule wapi ktk bibilia kunathibitisha utatu mtakatifu?? Nyiè wakristo mbona mnajizima data? Mara yesu ni mungu mara mwana wa mungu mara mungu yupo ktk nafsi tatu tuwaelewe nini?
@@issaabdallah76601 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
5 Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.
10 Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.
11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
13 waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
17 Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo.
18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.
Wapi yesu alituma malaika? Nipe andiko nijifunze
@@Catherine-mh8sw shida wanahubiri ya kwao sio ya biblia
Wakristo anafuata mahubiri tu hawafuati maandiko andiko likiwa kinyume na mafundisho ya sande shool 😅hawataki akili zimelala ktk DOGMA yaani kila kitu ndiyo😅 hii Aya 17:3 Yohana, imemaliza kila kitu maana ni maneno ya yesu hayo.. WAKUJUE WEWE MUNGU WA PEKEE NA WA KWELI NA YESU ULIEMTUMA. 😅hiyo ya mimi na baba tu umoja ni maneno ya Yohana. Siyo ya yesu. Maneno ya yesu ni hayo hapo. Juu 17 :3.
Islamic mlirogwa na ukristo? Mtajuaje mambo ya roho
Huyo kijana hata hajaelewa hata kidogo anaitika tu
@@Catherine-mh8sw Nimeelewa
@@SIMULIZIZONE umeelewa kwamba Kuna Mungu, alafu mungu kamtuma yesu.
@@SIMULIZIZONE yani yesu mwingine na mungu ni mwingine?
@@Catherine-mh8sw Ndiyo, leo ndio nimeelewa Mungu ni baba ambaye ndio alimtuma Yesu, ingawa tena huko nyuma niliambiwa Yesu na Mungu ni kitu kimoja, nababaika mpaka natamani nisome Course ya IMANI
@SIMULIZIZONE nafikiri kuhusu uislam hujapata maelezo vizuri ya kukuthibitishia yesu si mungu. Wewe kwa ujumla unataka kujuwa ukweli hasa ili ufuate, ila sasa , waislam wanavyosema yesu si mungu, unataka ufafanuzi vizuri, ili ujuwe njia ipi ni sahihi ufuate. Ila kwa sasa pengine unaamini yesu ni mungu, utashikilia njia hiyo mpaka upate kwa uhakika yesu si mungu na hakuna utatu ndiyo, utaanza kufikiria,je dini ya kweli ni ipi?
Haya mambo kuelewa kazi kweli