WAKRISTO WAMSHANGAA YESU KUONGEA NA KUNDI LA MAJINI BAADA YA KUSINGIZIA QURAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 481

  • @FatmaAboubakar-z7o
    @FatmaAboubakar-z7o 7 месяцев назад +11

    Pole sana shekhe kwakazi iyo unayofanya,Allah akulipe kheri.

  • @RamadhanRamadhan-cx3tj
    @RamadhanRamadhan-cx3tj 8 месяцев назад +4

    Ramadhan una subra ya hali ya juu sana .Allah akuneemeshe zaidi kwa kutuwakilishia sisi waislam. Wenye uwezo wa mali wamuwezeshe yeye na wenziwe kutangaza dini kiurahisi na iwe ndio kazi rasimi. Na ndio hasaa kazi ya Mali mutaikuta mtaikuta mali zaidi here after AMEEN

  • @SharifaKarim-w8r
    @SharifaKarim-w8r 7 месяцев назад +6

    Hakika sheikh unafany kazi nzur san hakika Allah atawalipa

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 8 месяцев назад +9

    Baada ya mchungaji kuupinga uislam, Alhamdulillah kipindi kimeishia na shahada na kidume mr Juma'a amekuwa muuslam na kumuacha pasta kuendelea na kufuru yake lkn tunamuombea kwa Allah amuongoze.

  • @africatoeuropechurchtv8856
    @africatoeuropechurchtv8856 8 месяцев назад +5

    Mungu awazidishie jaman mnajitahidi saana

  • @HabibalKalbi
    @HabibalKalbi 8 месяцев назад +8

    Mashallah tabaraqallah mungu awahifadhi

  • @minhajsahal4467
    @minhajsahal4467 7 месяцев назад +5

    Allahu Akbar.

  • @nasramusaro
    @nasramusaro 8 месяцев назад +6

    Dah! Kaka Ramadhani mwenyezi Mungu amekujaalia akili Masha Allah unawahangaisha mpaka wanataka kulia

  • @isahbarasa
    @isahbarasa 8 месяцев назад +4

    Asalam aleikum waramtulah wabarakatu brother KAZI safi ya mwenyezi mungu

  • @fatmaali6780
    @fatmaali6780 8 месяцев назад +3

    Pastor ana munkar kweli MashaAllah Ramadan una subra sana mm mwenyewe nimechemka

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 8 месяцев назад +12

    Allah awabarikia Insha'Allah

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 8 месяцев назад +8

    Juma Ndugu ngu umepata ukweli nakuamua uamuzi mzr Allah akuogoze apa n kesho akhera

    • @Noorein-ws8wk
      @Noorein-ws8wk 8 месяцев назад +1

      Allahumma aamiin Yaa Rabb Al 'alamiin ❤

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 8 месяцев назад +6

    Ma sha Allah tabaraka Rahman kazi nzuri walim ngu Allah amtagulie Kila kitu

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 8 месяцев назад +9

    Subhanallah jamani hawa watu ni wakaid na maandiko hawayataki wanabadilisha😢😢😢😢Allah awaongoe wallah 😢

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 7 месяцев назад

      SubhanaAllahLeoNimechekaNipojkon.hapaOman.mimi.shagara🤣🤣🤣

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 8 месяцев назад +2

    ❤mashaLLAH SHEIKH WANGU

  • @BastAbdallah
    @BastAbdallah 5 месяцев назад

    Allah Mlezi Wetu Akulipe Kila La Her Shekh Ramadhani

  • @mzamomwangome4961
    @mzamomwangome4961 8 месяцев назад +2

    sheikh wangu Ramadhan Allah akuhifadhi na akulinde pia ya husda za majini na watu.

  • @salmaminja7714
    @salmaminja7714 8 месяцев назад +1

    Allah Akbar. Uctadh Allah akupe subra kwn ni ngumu kuwalingania wasijua din ya haq Allah akupe maisha marf na afya tele ili uweze kuwapa waadh na kusilimu. Allah ni mjuz utapata malipo dunian na kesho akhra. Upo vzrr mnoo. Subhanallah Allahu Ma'anaa. Jazakallah khaira wajazaa. Idhaa Aradallah

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 8 месяцев назад +1

    MashaAllah nimefurahi Daawah Mitaani inaedelea in shaa Allah Kila la kheir waalimu wetu

  • @Nangaikalumekenge
    @Nangaikalumekenge 4 месяца назад

    Pole Shehe Ramadhani kwa kelele ya huyo pastor asiye na hekima.

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 8 месяцев назад +2

    Assalam Aleikum sheikh Ramadhan mashallah Allah awahifadhi hawa watu kuelewa ni wagumu but hawajui

  • @abdigabgos6298
    @abdigabgos6298 8 месяцев назад +3

    JazakaAllah mwalimu

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 8 месяцев назад +2

    ALLAHU AKBAR ❤

  • @SalimOmary-w8j
    @SalimOmary-w8j 8 месяцев назад +1

    MashaAllah maalim kulia nakupenda kwaajili ya Allah kwajinsi unavo tambua maandiko

  • @MohamedMaliwata-i5j
    @MohamedMaliwata-i5j 4 месяца назад +1

    MUNGU akuongoze wew na wengine katika utoaji wa dam

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 8 месяцев назад +3

    Ma Shaa Allah Tabarakallah kazi Allah awaongoze

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 8 месяцев назад +3

    Mashaallah maalim ramadhan allah akuongoze

  • @Allymbaruku991-lj1om
    @Allymbaruku991-lj1om 8 месяцев назад +1

    Ma sha ALLAH

  • @zaitunirashidi5532
    @zaitunirashidi5532 6 месяцев назад +1

    Subra yako ostadhi ni ya kiwango, mm ningepiga uyo pastor makofi

  • @oromiyaajittu7188
    @oromiyaajittu7188 8 месяцев назад +1

    Mashallah

  • @ibnusleyyum9743
    @ibnusleyyum9743 8 месяцев назад +1

    MashaaAllahu

  • @JamaMohamed-xi7uk
    @JamaMohamed-xi7uk 8 месяцев назад +1

    MASHA ALLAH

  • @JohnMunyua-fr8jt
    @JohnMunyua-fr8jt 8 месяцев назад +2

    Kweli ni jacaranda things really hot 🔥 masha Allah

  • @MaryamIssa-y7v
    @MaryamIssa-y7v 8 месяцев назад +1

    Laahaula walaa kuwwata illaa Billahi! ata voice procedure pia shida.duuh!

  • @millionbill7587
    @millionbill7587 2 месяца назад

    I met Ramadan at bbs mall i only said and i quote "RUclips" hope u remember at the escalater 😂. Mashallah big fan

  • @shabaniramadhan6751
    @shabaniramadhan6751 5 месяцев назад

    ❤Tatizo ndugu zetu kitabo chao hawakisomi. Hua wanasoma yale yanao wapa advantage

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 8 месяцев назад +1

    MashAllah kaka Ramma

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA 8 месяцев назад +3

    MASHAALLAH ♥️ TABARAKALLAH

  • @Bintiiiiiiiiii
    @Bintiiiiiiiiii 8 месяцев назад

    Sheikh Ramadhani ukona subra kweli, mwenyezi mungu akupe maisha marefu

  • @comarcabdall1564
    @comarcabdall1564 8 месяцев назад +2

    Keep going ✌️

  • @aminajumale6805
    @aminajumale6805 8 месяцев назад +1

    TabarakAllah

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 8 месяцев назад +5

    Alhamdulillah ala neematul Islam kama wewe ni muislam sema alhamdulillah

  • @yassiinabdi3807
    @yassiinabdi3807 4 месяца назад

    MASHA ALLAHA tunawapenda

  • @HabibuMuhunzi
    @HabibuMuhunzi 5 месяцев назад

    Eti yesu ni mungu jamni hii dunia mungu atusamee

    • @SoosanOman
      @SoosanOman Месяц назад

      Ww hap akusameh usiy amin majini yanawasumbua kua wa bishi

  • @IddyMzuri
    @IddyMzuri 6 месяцев назад

    MANSHAALLAH ,

  • @Hudadhan-qr7tj
    @Hudadhan-qr7tj Месяц назад

    Jazakal kheir sheikh

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 8 месяцев назад +1

    Masha Allah 💖💖💖

  • @SadaqIbrahim-ns8bo
    @SadaqIbrahim-ns8bo 8 месяцев назад +1

    Manshalah

  • @kennedykimutai2298
    @kennedykimutai2298 8 месяцев назад

    This pastor really understands what he's saying I like his coherence

    • @Sal.0
      @Sal.0 8 месяцев назад +2

      Yeah, he isa very FLUENT and coherent LIAR who changes the meaning of EVERY Bible Verse read out by Kuria.!
      Your 'Nusu Mkate Brain' beeds a reset, Omera!

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 8 месяцев назад

    Mashaalah mungu awzidishiye,Ramadhan mungu akupe kheri ila ningiliomba mapasta kaa hawa wanaoRopika maneno za vichwa zao usiwape muda mwingi wa kuwasikiza wanapoteza tu mda hawa ni wale mwenyezi mungu amesema hawasikii ni viziwi hawaoni ni vipofu na hawatarejea mpaka mungu awaongoze. Kwa hivyo huyu jama amekuja na maneno ya paulo yuko katika kila mihadhara na ubishi please ungemtolea hile andiko ilioko bibilia inasema mimi paulo ni mwongo na kuna mwingine pia amesema nimejifanyia kua kalamu ya waandishibkuwa ya uwongo nami ikanibidi nijitungiye tungiye. Ume wapa mdanmrefu warope bila maandishi .

  • @abuually-ol2xc
    @abuually-ol2xc 3 месяца назад

    Nimejifunza kitu katika haja masemezano ! Funzo nililolipata kwamba muislamu anapomzungumzia mwenyezimungu basi hasubutu kusema uwongo .ila mkristo anapomzungumzia mwenyezimungu basi hutumia uwongoo ndio maana unapomuuliza yesu ni mungu anakwambia ni mtoto wa mungu na unapomujliza je mungu anazaa anakwambia oohh maana mungu mungu hazai ila kwa kuwa amekuja duniani kimwili basi ndio tunasema yesu ni mtoto wa munguu 😂😂 yaani uwongoo mtupuu kazi kudanganya watu basi 😂 coz kama kweli ukristo ni dini kweli ya mungu sasa mbona wnajichanganyaa ! Mara waseme yesu ni mungu sijui mara waseme ni mtoto wa mungu yaani tafrani tu ! Namshukuru sana mola wangu kunijaalia kuwa muislamu imani yangu ni thabiti hina kujichanganya wala ubabaishaji ❤

  • @AngoSheriff-be5mq
    @AngoSheriff-be5mq 8 месяцев назад

    Kazi nzuri napenda hii

  • @Hudadhan-qr7tj
    @Hudadhan-qr7tj Месяц назад

    Subxallah

  • @ROGUESON-wb2ts
    @ROGUESON-wb2ts 5 месяцев назад

    Daah allah awaongoz kwakaz

  • @muminaroba9122
    @muminaroba9122 8 месяцев назад

    Allahu Akbar

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 8 месяцев назад

    SubhanaAllah yaani mungu alikuja akaingia kwenye mwili wa mary, 😅😅😅

  • @Al-hidaya.tv.burundi
    @Al-hidaya.tv.burundi 8 месяцев назад

    MaaShaaAllah

  • @MohammedMohammed-gp9xq
    @MohammedMohammed-gp9xq 8 месяцев назад

    hili pastor pumbavu Sana

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 8 месяцев назад

    Subhannallaj eti wakiristo wanasema yesu nimungu innalillah wainna ilaykh lajiun

    • @Majiifande
      @Majiifande 8 месяцев назад +1

      Wewe unasema Yesu ni nani??

    • @jamilajamila4572
      @jamilajamila4572 8 месяцев назад

      @@Majiifande yesu ni mtume wa mwenyezi mungu

    • @SoosanOman
      @SoosanOman Месяц назад

      ​​@@jamilajamila4572 Toa andik linalo sem yesu si Mungu ww ni mwana Damu N aliye kukuzaa ni mwanadamu na yesu ni mwana wa Mungu. Na yesu ni Mungu

  • @RamadhanRamadhan-cx3tj
    @RamadhanRamadhan-cx3tj 8 месяцев назад

    Luka cpt 4 vrs 41 Yesu kaukataa u wana wa Mungu. Pia awakemea wamwitao mwana Mungu. Kwa kuwa yeye ni nabii

  • @HalimaJuma-n1k
    @HalimaJuma-n1k Месяц назад

    Asalam aleikum sheikh ramadhan huyo paster amezowea kurapu Kansan kudanganya watu Allah awaongoze

  • @issackSalah-xh1bg
    @issackSalah-xh1bg 5 месяцев назад

    ❤❤❤❤

  • @abdisalammohamed3691
    @abdisalammohamed3691 7 месяцев назад

    Kongole Sheikh wetu

  • @ShabaniHaruna-ul6yu
    @ShabaniHaruna-ul6yu 8 месяцев назад

    Mungu wa kweli hakuzaa wala hakuzaliwa

  • @josemu870
    @josemu870 8 месяцев назад

    MashAllah

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 8 месяцев назад

    : وَإِذْ صَرَفْنَا إِلَيْكَ نَفَرًا مِنَ الْجِنِّ يَسْتَمِعُونَ الْقُرْآنَ فَلَمَّا حَضَرُوهُ قَالُوا أَنْصِتُوا فَلَمَّا قُضِيَ وَلَّوْا إِلَى قَوْمِهِمْ مُنْذِرِينَ ۝ قَالُوا يَا قَوْمَنَا إِنَّا سَمِعْنَا كِتَابًا أُنْزِلَ مِنْ بَعْدِ مُوسَى مُصَدِّقًا لِمَا بَيْنَ يَدَيْهِ يَهْدِي إِلَى الْحَقِّ وَإِلَى طَرِيقٍ مُسْتَقِيمٍ ۝ يَا قَوْمَنَا أَجِيبُوا دَاعِيَ اللَّهِ وَآمِنُوا بِهِ يَغْفِرْ لَكُمْ مِنْ ذُنُوبِكُمْ وَيُجِرْكُمْ مِنْ عَذَابٍ أَلِيمٍ

  • @saniairadukunda4400
    @saniairadukunda4400 8 месяцев назад

    ASSALAM alaykum warahmatullah wabarakatuh 😂😂😂😂😂😂 hao jamaa ningumu sana kuelewa. ALLAHU alisha maliza kwakusema katika sura til baqara yakua .HAO NI VIZIWI NI MABUBU NA TAYARI WALISHA FUNIKWA NA VIFUNIKO VIKUBWA

  • @RamadhanRamadhan-cx3tj
    @RamadhanRamadhan-cx3tj 8 месяцев назад

    Yesu ni Muisilam .

  • @AbdirahmanhHalakhe-pn2zd
    @AbdirahmanhHalakhe-pn2zd 8 месяцев назад

    MASHAALLAH

  • @kennedymanyonge6170
    @kennedymanyonge6170 8 месяцев назад +14

    Wakristo ni kelele tu hakuna kitu wanajua. Wanasoma maandiko na kuyatasfiri kama fasihi simulizi.

  • @rizikiwilliam-eh3oi
    @rizikiwilliam-eh3oi 8 месяцев назад

    Huyo pastor yuwahisi mkojo

  • @bibleknowledge-b1y
    @bibleknowledge-b1y 5 месяцев назад

    Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye.
    Yesu aliteseka, kufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zetu.. Bila hivyo hakuna msamaha...
    Wakolosai 1:14 [14]ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;

    • @BabasahdSahd
      @BabasahdSahd 2 месяца назад

      MUNGU 🙏 AKUONGOZE uwe Muslim 🤲🙏 allau Akbar mwenyezi mngu ndyo mujuzi Zaid🤲🙏🤲

    • @bibleknowledge-b1y
      @bibleknowledge-b1y 2 месяца назад

      @BabasahdSahd siewezi nikaamini mtu mmoja from no where..Shetani alimtuma nyoka/kumvaa nyoka(alikuwa hajui kusoma wala kuandika) na kukanusha maneno ya Mungu hivyo unataka nipotee au...Tunaokolewa kwa kupitia neno la Mungu ambaye ni Yesu Kristo..Who are you.

  • @djhassim_254
    @djhassim_254 8 месяцев назад

    Allah akbar

  • @DanKanu-ox4hx
    @DanKanu-ox4hx 8 месяцев назад

    Yesu ni mtume sio Mungu

    • @Majiifande
      @Majiifande 8 месяцев назад

      Ni sawa na Muhammad??

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 7 месяцев назад

      ​@@MajiifandendyoIlamtumeNizaidi.kwaniyeyeNiwaulimwenguwooteYahnWatuWoote

  • @samxx411
    @samxx411 8 месяцев назад +2

    Mara nyingi wakristo wanapinga ili kubisha uislamu tu lakini hawana maandiko ya uhakika. Pastor anajazba sana ili kuzuia kusafahamishwe watu wakafahamu

    • @SoosanOman
      @SoosanOman Месяц назад

      Majini yanawasumbua nyie😂😂

  • @AftinWarsame-w8c
    @AftinWarsame-w8c 8 месяцев назад +1

    Pasta anaspeed sna

  • @seifissa9705
    @seifissa9705 8 месяцев назад +2

    Jeshi la mtu mmoja

  • @Idysalim
    @Idysalim 8 месяцев назад +1

    This pastor is talking too much anahitaji sauti ya salim Ngugi ndo anafaa kuwa mwalimu wake, mashaAllah Ramadhan una subra sana na huyu pastor ambaye anaongea mambo ya kichwa tu Allah awape mwongozo eti Mungu anafanana na sisi Subhana-Allah

  • @SalimOmary-w8j
    @SalimOmary-w8j 8 месяцев назад

    MashaAllah muslim itaeleweka

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 8 месяцев назад

    Neema ya Bwana wetu YESU KRISTO Mwana wa MUNGU Yatosha. MUNGU Mwenye Nguvu, Baba wa Milele. Isaya 9:6 📖

    • @alyumaraos
      @alyumaraos 8 месяцев назад

      Yesu hana neema neema zote ni zamungu ndugu.tatizo nyinyi munajichanganya wenyewe yesu huyo huyo ni mungu mara ni mtume,mara ni mwana wa mungu yan heb zingatieni enyi watu tumien akili.

    • @patrickmaina5459
      @patrickmaina5459 8 месяцев назад

      @@alyumaraosKristo Yesu ni yote Katika Yote.....

    • @yussufhassan486
      @yussufhassan486 8 месяцев назад

      😂Yesu ni mungu wakati alikua tumbo la mamake nani mungu yenu?

    • @patrickmaina5459
      @patrickmaina5459 8 месяцев назад

      @@yussufhassan486 Ndani ya Mariam kulikuwako Neno la Mungu (Yesu) Na Neno la Mungu ni MUNGU Mwenyewe.

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 8 месяцев назад

      ​@@patrickmaina5459kwa hiyo mungu katumbukia kwa Mariam kazaliwa uyahudini ? Sasa wayahudi wakisema tuwaachie majumba yetu inabidi tutii maana ndugu za mungu ndio washasema, bahati nzuri huyo mnaemchezea sio yule nabii wa MUNGU, mtoto wa Mariam, huyonwenu ni yule yesu yusta

  • @ABUUALLY-z6x
    @ABUUALLY-z6x 4 месяца назад

    😂😂😂😂 wakristo wabishii hatariii daah Allah awaongowee

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 8 месяцев назад

    Sawa Shehe.

  • @samxx411
    @samxx411 8 месяцев назад +1

    Pastor anawachanganya watu wasielewe maandiko.

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu 8 месяцев назад

    Mimi nauliza Kwani uislam uje kwa lugha ya kiarabu na siyo lugha tofauti

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v 8 месяцев назад

      Kila kitabu Mungu kakichagulia lugha yake kulingana na mtume mwenyewe na watu wake,mf Kuna mpaka bible za kinyakyusa lakini Mungu hakuturemsha kwa kinyakyusa kweli si kweli,Mungu ametemsha Qur-an kwa kiarabu sababu mtume aliyempa jukumu Hilo ni Muarabu km injili na torati zilivyoshushwa kulingana na lugha za mitume hao hivyo qur an kushushwa kwa kiarabu:- 1. Ndio uchaguzi WA Allah alioutaka. 2.Mtume aliyemshushia na jamii yake lugha Yao kiarabu. 3.Qur-an kushuka kiarabu na hamna kutengeneza kwa lugha nyengine Ili isiweze kubadilishwa badilishwa km walivyofanya ubande WA pili. 4.ndio identity ya uislaam wote kokote utakapoenda Duniani mfanano ni Mmoja kisomo kilekile iwe urusi iwe marekani uwe mzungu uwe machina uwe Afrika ume Masai uwe jaluo lugha Moja tu

  • @abdinasir5514
    @abdinasir5514 7 месяцев назад

    Wanafuraha husikia kuhusu uislami😅❤

  • @ShabaniHaruna-ul6yu
    @ShabaniHaruna-ul6yu 8 месяцев назад

    Mim8 ninamke wangu anao majini na nimkristo Ivo majini ha wakristo wanayo

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 8 месяцев назад

    Jini ukumuacha ajiondokea bila mpango,ataataenda kuingia kwa mtu mwengine,na wengine wanasema toka na uende katika shimo la giza,,akienda gizani,si ataenda kuendelea kubaki mbaya

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 8 месяцев назад

    Hahaha et mungu hakuumba majini

  • @AshamMussa
    @AshamMussa 8 месяцев назад +2

    Wanosema Yesu mungu kwenye bblia ni maneno yakusemewa lakini mwenyewe sehemu zote kajiita kuwa yeye ni binadamu

    • @bassambashirou4604
      @bassambashirou4604 8 месяцев назад

      Wanamlazimisha japo kakataa yaani ni mwendo wa kijitoa ufahamu tu

    • @mutuasteve2179
      @mutuasteve2179 20 дней назад

      Gojeni Yesu atakuja awapate, mtakuwa mmchelewa,,, Yesu ndiye njia ya kweli, ya kweli na uzima hakuna aendaye kwa Baba ila kwa njia yake.

  • @KoronelioObedi
    @KoronelioObedi 7 месяцев назад

    Yesu atawaumiZa vichwa mpaka kufa,

  • @africatoeuropechurchtv8856
    @africatoeuropechurchtv8856 8 месяцев назад

    Aman Kweli wafuasi wa Wazungu na Waarabu hamumjui kabisa Bwana YESU.Sisi Tunasema Yesu Ni MUNGU.

  • @lokedavid4949
    @lokedavid4949 8 месяцев назад

    Waislamu Na mwezi wanajuanaje

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 8 месяцев назад

      Kwani we adi Leo bado hujajua kazi ya mwezi?

    • @ahmedabdulle4351
      @ahmedabdulle4351 8 месяцев назад

      Uliza mwezi utakujibu

    • @lokedavid4949
      @lokedavid4949 8 месяцев назад

      Kenya najua 2 Ni kwamba wanaabudu hiyo mwezi but wameficha kama vile wameficha kuabudu jiwe ruk yemeni

    • @lokedavid4949
      @lokedavid4949 8 месяцев назад

      @@faudhiasaidi3669 Mohammed Kwa sababu alitaka kuvutia wakristo akasema yesu Ni nabii wao,kuvutia wayahudi Musa,Yunus,eliya Ni nabii kuvutia wahindi Na Pakistani ID'd IL fitr chakula, kuvutia wapenda sanamu Wa Arabia Na Yemen, kaaba mawe . kuvutia wapenda kuabudi mbingu kama vile Mongols Na watu Wa Asia Kati akachukua mwezi kama simbol YA msikiti, kufurahisha wanasayansi akasema microphone Ni halal, kufurahisha wanapenda Raha Na vijana akasema Kuna 72 virgins

  • @ikujoitambu2712
    @ikujoitambu2712 8 месяцев назад

    MashaAllah kwani kipi hapo mwakristo wanabisha?

  • @kennodhiambo
    @kennodhiambo 8 месяцев назад

    Ninaomba Ramadhan uzingatie sana mafunzo ya uislamu au Quran. Mimi binafsi ninajua hakuna mafunzo ya maana katika dini ya uislamu. Mabishano na uwongo ndizo zimejaa katika dini hii - madai ya manabii ni waislamu, Yesu alisujudu, aliingia msikitini, alitawadha na kadhalika. Sisi Wakristo tunaamini Yesu ni Mungu na pia ni Mwana wa Mungu kama tu vile mnaamini Quran iliteremshwa kutoka mbinguni.Mbona mchemshwe sana na imani yetu kwa Yesu ilhali mnaamini mambo hata wazimu hawezi kuamini eti Quran iliteremshwa, Muhammad ni mtume wa mwisho n.k

    • @samxx411
      @samxx411 8 месяцев назад

      Unajichanganya kama petroli na dizel

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 8 месяцев назад

      @@samxx411 Nimejichanganya wapi? Ni nani mwenye akili timamu anaweza kuamini kwamba kitabu kimeteremshwa kutoka mbinguni!!!

    • @samxx411
      @samxx411 8 месяцев назад

      @@kennodhiambo kitabu cha Mungu hujieleza chenyewe bila ya mawazo ya mtu/watu. Quran tayari imejieleza yenyewe kuwa imeteremshwa na malaika jibril (Gabriel) kutoka kwa Mungu na akashushiwa mtume Muhammad katika kifua chake (akahifadhishwa)..hivi ndivyo inavyotakiwa pia vitabu vyote vijieleze sio kuvisemea wewe (mawazo yako)

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 8 месяцев назад

      @@samxx411 wewe unaamini iliteremshwa?

    • @samxx411
      @samxx411 8 месяцев назад

      @@kennodhiambo naamini imeteremshwa 100%

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 8 месяцев назад

    Kwahio yesu aliingia kwenye mwili akue mungu, kisha akufe amuache shetani aendelee kupotosha watu wamuasi yeye mungu,,tena huyo mungu auwawe na wanadamu wake alowaumba mwenyewe

    • @FRANKJOSEPH-ke8hs
      @FRANKJOSEPH-ke8hs 8 месяцев назад

      Unaokufa ni mwili lkn roho Iko hai sawasawa na kufa kwa yesu aliuacha mwili lkn yy kwasababu ni Mungu na Mungu ni Roho aliendelea kuwa hai na kuendelea na kazi yake ktk Roho na hata sasa yuko hai ktk Roho ndio maana huwezi kumuona Leo ktk mwili

    • @shafiismaily9223
      @shafiismaily9223 8 месяцев назад

      Hata kwa binadamu kinachokufa ni kiwiliwili, roho huenda kwa mungu!!​@@FRANKJOSEPH-ke8hs

  • @aminmohamad3443
    @aminmohamad3443 6 месяцев назад

    Kimbikimbi at 39:24😂😂😂this guy said mashuwali

  • @Adm9464
    @Adm9464 8 месяцев назад +2

    Pastor kelele. Unga ita mwagika.

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 8 месяцев назад +1

      SADAKA ina tetewa kwa UWONGO wa Pastor wote!

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 8 месяцев назад

    Pasta mshindani kweli aisee

  • @NakyanziChristine-r3s
    @NakyanziChristine-r3s 8 месяцев назад

    Yes sie mugu

  • @alerts9917
    @alerts9917 9 дней назад

    Shetani hawezi kubadilika ndo maanake anaitwa shetani basi akibadilika hakuna maana ya wokovu ndo maanake shetani alijifanya kuwa malaika wa nuru kudanganya waislamu. Kwa kweli waislamu ni vipofu 😢