"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ‪@StraightPathDawah‬ . Kumbuka pia kuchangia katika uendeshaji wa vipindi vyetu kupitia mpesa number +254722600533 au Lipa na mpesa till number 558297.(Straight Path Association)

Комментарии • 898

  • @EVA.ERICNAMUFWAKAGE
    @EVA.ERICNAMUFWAKAGE 11 дней назад +2

    Mungu akuongezeye sana pastor Ndacha wakristo wangapi tunamtakia mwalimu Ndacha maisha marefu weka like yako kwenye comments

  • @HamdiNuh
    @HamdiNuh 6 месяцев назад +34

    kazi nzuri huyu huyu ndacha ndo alifanya nikasilimu nameombea Allah amuonyeshe pia njia ya haki

    • @WillyQassim
      @WillyQassim 6 месяцев назад

      ALLAHU AKBAR

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 6 месяцев назад +2

      @@HamdiNuh umeslimu kujiunga na majini mapepo wachafu mashetani hapo vip ? Toka huko umepotea vibaya mno

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 6 месяцев назад +3

      Pongezi Alhamdulillahi. Ndacha ni Muongo mzushi. Allah ameeleza wazi jina la Mtume anayeitwa na akina Ndacha eti Yesu ni Isa bin Mariam. Lakini ndacha ajua akitumia jina Isa bin Mariam Ukristo utaporomoka. Kwa hivyo, ili Ukristo upate uhai ni muhimu sana kwao kuzua hilo jina Yesu na kudai eti lilitamkwa na Malaika aliyetumwa kwa Bikra Mariam kumpasha habari ya kumzaa mtoto. Kwani Malaika alikuwa akiongea Kiswahili? Je ni Malaaika ndiye aliyesema, mtoto wa Bikra Mariam ataitwa Yesu?

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 6 месяцев назад +2

      ​@prochesernest5439 Acha kuongea uwongo. Majini ni viumbe vya Mwenyezi Mungu kama viumbe wengine. Kuna wema na wabaya. Na wameumbwa ila hawaonekani. Hata Malaika hawaonekani na watu.

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 6 месяцев назад

      @@mutomubaya kazi mnayo waislamu kuwatetea majini mashetani ndungu zenu mnayatete kwasababu ni viumbe mbona shetani ni kiumbe hamtetei mnawatetea wadogo zake shetani majini hayo hayana tofauti na huyo shetani mmedanganywa na Muhammad heti wameslimu wamekuwa waislamu nyie yakumbatieni Cha moto mtakipata sis wakristo hatuna ushirika nayo hayo majini mashetani ndiomaana tunayafukuza Toka huko njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo nakupa Aya quruan 6:128 hona yanavyojivuna njinsi yanavyonufaishana na nyie waislamu wewe hakuna majini mashetani wazuri Toka huko

  • @shukrialisaya1578
    @shukrialisaya1578 6 месяцев назад +11

    Ma sha Allah shk ramadhan Allah akupe afva na maisha marefu.pst ndacha naye mwenyezi mungu amwongoze kwa njia ilinyooka.

  • @amossaha3932
    @amossaha3932 5 месяцев назад +5

    Kazi nzuri ndacha hebu wachambulie biblia wajue Yesu ni mwana wa Mungu kiroho

  • @AssdfAssd-g3y
    @AssdfAssd-g3y 6 месяцев назад +12

    Shukran sana jazakallah heri inshalla ndacha ataslimu tu polepole unampeleka bila fujo sheikh ramadhn Allah awajaze heri na umri mrefu muweze kuwaelimisha kina askofu na ndacha ❤❤❤❤❤❤❤

    • @RayyanTumtum
      @RayyanTumtum 3 месяца назад

      Amiin amiin amiin

    • @RayyanTumtum
      @RayyanTumtum 3 месяца назад

      Kiukweli ndacha hatumuelewi akiulizwa swali anakutilia aah unajua unajua😄😄😄

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 6 месяцев назад +5

    Mashaalah Ramadhani mwenyezi mungu akuhifhadi una mfahamu ndacha vyema na kumkaba vyema kwa maana yeye ana hepa hepa maswali na kuileta qauli mpya juu yake, sasa suali Rahisi ni kwamba wapi kwa vitabu vyao yesu mwenyewe kasema mimi ni mtoto wa mungu aw mimi mungu bila ya kusemewa na kina paulo aw wengine. ndacha atoe kwa bibilia wapi yesu kwa kinywa chake kasema yeye ni mwana wa mungu.hii ni ukafiri thahiri.

  • @mussazubery8283
    @mussazubery8283 6 месяцев назад +4

    Shekhe asnt Sana kwa arimu yako ss nime erewa kwa utalatibu mzuli. Mno alla ukupe arimu zaidi na mwisho mwema lakn naomba alla anifishe Hali yakua ni musilim 🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @trikayoh3684
    @trikayoh3684 6 месяцев назад +25

    Kazi nzuri Ustadh Ramadhan kwa kuleta waalimu tofauti tuskie kauli zao.. Naomba Allah akujalie uzidi na hii show 😊. Thanks for hosting Ndacha coz yeye ndio Baba Yao wakikristo lakina baado hawana kauli

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 6 месяцев назад +8

      Walahi tushukuru Allah kwa kutupa Nuru waislamu 😢

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 6 месяцев назад +1

      ISAYA 44:24 NATAKA majibu yesu anasema yeye aliyekuwepo na Mungu wakati ISAYA Mungu anakataa alikuwa pekee yake

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 6 месяцев назад

      KITABU CHA MORMONI WANASEMA KILA MWANADAMU ALIKUWEPO KABLA YA KUZAKIWA

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 6 месяцев назад

      @@zahraabdul9652 nuru au giza!

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 6 месяцев назад

      @@zahraabdul9652 hebu nimulikie nuru iliyoko katika uislamu

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 6 месяцев назад +3

    Kazi nzuri .mashallah sema ndacha anajua ukweli sema ndo ili abishe ndo awe mkristo.....ubishi kaumbiwa

  • @AdelaMkani
    @AdelaMkani 5 месяцев назад +2

    Ndacha your a wonderful teacher!! Grorly to God!!

  • @elbattawy2864
    @elbattawy2864 3 месяца назад +2

    Kumbe ndacha ni mwepesi kiasi hiki, anakubali yesu ni mtume, lakini pia anakubali si mungu, anakubali Mungu wa pekee ni baba nadhan haya si majibu mazuri sana kwa wakiristo wenzake wakisikia - Kazi nzuri Sheikh Ramadhan

    • @alerts9917
      @alerts9917 16 дней назад

      Hata waislamu wapinge kama wayahudi neno la mungu linabaki tu kuwa yesu ni mwana wa mungu . Mandiko ni mengi ya kubali hata yesu mwenyewe alisema mnataka kunipaga mawe juu nimejiita mwana wa Mungu mimi na baba ni kitu kimoja wakasema ni makufuru vile tu waislamu wanavyosema na kufunga masikio wasisikie ukweli wenye uko wazi si andiko moja bali manabii wote waliongea juu yake ila Mohammed tu ndo manake Nathaniel anajua isa alikua anafaa kuwa mwana wa mungu. Baki wa giza juu mnapenda kukaa gizani

  • @MwachanguSalim
    @MwachanguSalim 5 месяцев назад +2

    Barakallah fique, mashallah Sheik Ramadhan mwenyezi mungu akudizishie na akupe maisha marefu uzidi kuwazindua ndugu zetu Hawa. Hakika wako katika kiza!!!

    • @gotfriedmwesiga4234
      @gotfriedmwesiga4234 11 дней назад

      Hilo ndo kosa lililowafanya Wayahudi wamsurubishe Yesu kwasababu hawakumjua ni nani.Kwahiyo hatushangai na nyie kuleta hoja zile zile

    • @gotfriedmwesiga4234
      @gotfriedmwesiga4234 11 дней назад

      Yesu aliwauliza wafuasi wake mimi ni nani? Wakajibu wengine hunena,ww ni mmojawapo wa manabii .Kisha alauliza na nyiny.Peter anasema wewe ni Kristo mwana wa Mungu aliye hai.Yesu akajibu hilo Jibu yamefunuliwa na baba aliÿe mbinguni

  • @sporadaud
    @sporadaud 5 месяцев назад +7

    Well done Ndacha good work

  • @FaithJohn-b8x
    @FaithJohn-b8x 4 месяца назад +7

    Ndacha Mungu akuzidishie uvumilivu na hekima

  • @Endtimerevelationchurchkangemi
    @Endtimerevelationchurchkangemi 4 месяца назад +8

    Ndacha God bless you..Good work for God's kingdom

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 5 месяцев назад +1

    Sheikh Ramadhani Bin Kuria ... Maashaa Allah 💖 ...
    Mafunzo Mazuri .. Tunafahamu Alhamdulillaah

  • @shadrackmwakalinga865
    @shadrackmwakalinga865 3 месяца назад +1

    Kazi yenu ni nzuri sana watu wa Mungu. Naamini elimu hii inatufundisha wengi.

  • @Amna-v8z
    @Amna-v8z 6 месяцев назад +2

    Ustadh Ramadan mungu ndeye atakulipa jaza yako kwa mungu

  • @HamdiNuh
    @HamdiNuh 6 месяцев назад +2

    kazi nzuri sana jazakallahu kheir

  • @Jamalkishangu
    @Jamalkishangu 6 месяцев назад +2

    Kazi nzuri huwenda wakaijuondoa matanga poli wakamjua Mungu wa kweli.

  • @HajiKabacalaf-kv7fd
    @HajiKabacalaf-kv7fd 6 месяцев назад +2

    Barakallahu fikum sheikh wetu,,Allah azidi kukupa hekma. Ndacha Allah amuongoze. Musabato

  • @AbdirashidmohamedNoor
    @AbdirashidmohamedNoor 6 месяцев назад +12

    Kila ilinichekesha ni aliposema huyo pasta yesu ni nabii na bado anaita Mungu.. anajipinga yeye mwenyewe .. Mungu amwongozo wakiristo walio na moyo ya kuona ukweli .. si macho inaona ukweli bali ni mioyo❤

    • @bitsanjE
      @bitsanjE 6 месяцев назад +1

      Bibilia inasema hivyo wewe ni nani

    • @RamooAli-hr3nv
      @RamooAli-hr3nv 6 месяцев назад +2

      ​@@bitsanjE so mwalimu pia ni mwanafunzi 😂😂. Nyie mnajichanganya sana aisee. Yesu ni Nabii na tena Mungu how nah

    • @thekingdragon8358
      @thekingdragon8358 6 месяцев назад +1

      @@bitsanjE IMEANDIKWA MINGU HANA MFANO NA HABADILIKI BADILIKI NA HAKUNA ALIYEMUONA MUNGU SO YESU HAWEZI KUA MUNGU MUNGU HAONEKANIKI IPO WAZI HYO

  • @oldpoultry9341
    @oldpoultry9341 6 месяцев назад +1

    Masha’allaah Mashekhe wetu Allah azidi kuwapa tawfiq yaarabbal alamin.

  • @adilmohamed2117
    @adilmohamed2117 6 месяцев назад +3

    Allah awajalie mashekhe wetu uwislam tume utupa kwenye hi ibada

  • @AbdikadirGarbole-re2xy
    @AbdikadirGarbole-re2xy 6 месяцев назад +2

    MashaALLAH Ramadhan ALLAH akupe maisha marefu , ndacha mpaka asilimu asitoke hapa

  • @GentilKalembire
    @GentilKalembire 5 месяцев назад +1

    Mungu akubariki sana Ndacha kwakuelimisha hao waeslam

  • @IbraahAfrica227b
    @IbraahAfrica227b 5 месяцев назад +5

    Ndacha 4 life and proud to be a Christian ❤❤

  • @khatybzuber9744
    @khatybzuber9744 5 месяцев назад +2

    asalam aleykum
    ALLAH akuhifadhi sheikh ramadhan
    nashauri ndacha awe anaheshimu QUR AN asiwekee simu na aishike kwa nidhamu mzingatie hilo

  • @erickbyamungu973
    @erickbyamungu973 5 месяцев назад +2

    Mungu akubariki sana mtumishi ndasha

  • @MejumaaRashid-s8g
    @MejumaaRashid-s8g 6 месяцев назад +1

    Mshallah kazi nzuri mashkehi wetu na pasta in shaa Allah ata silimu tu

  • @muadhellamy001
    @muadhellamy001 6 месяцев назад +6

    Ustadh naomba uichambue video hii vizuri umuanike ndacha amejichanganya sana na kusema kauli tofauti tofauti anapoulizwa swali kwa mara ya pili

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 6 месяцев назад +1

    Masha allah ramadhani kuria kwa kazi yakoo mungu akupea nguvuu

  • @wairimuYosef
    @wairimuYosef 4 месяца назад +4

    Yesu si Mungu.

    • @alerts9917
      @alerts9917 16 дней назад

      Mara si Mungu mara si mwana nyinyi pia mmechanganyikiwa. Kama yesu aliambia Nathaniel kabla uitwe na philip nilikuona ukiwa umekaa chini ya mti na Nathaniel alimwita mwana wa mungu hivo alikua anajua mungu ako na mwana mbona akamwita mwana wa mungu kama ni makufuru

    • @wairimuYosef
      @wairimuYosef 16 дней назад

      @@alerts9917 He was born by Man who is a spirit because of the way The Most High breathed in man. That is why he was called son of Man and Son of The Most High because He is The Word which is the Breath of the Most High. It is not because the most High gives birth. And the 2 don't make Him equal with the Most High.

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 6 месяцев назад +1

    Ustadh khalifa hogera umetulia kazi nzuri ma sha Allah

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 6 месяцев назад +2

    Jazaka Allah Kheir Sheikh Ramadhan

  • @IbrahimRashidHassan
    @IbrahimRashidHassan 6 месяцев назад +1

    MASHAALLAH ALLAH S.W.T akuongoze akupe afya na maisha marefu ili uwalete hao wanaoshirikisha ALLAH S.W.T katika njia ilio nyoka (street path )watoke ngiza waje nuruu na dacha ALLAH S.W.T amuongoze amulete nuruu. Dacha anajua ukweli lakini sababu ya pesa hawezi

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 5 месяцев назад +1

    Meu pastor ndacha Deus te abensoe ❤❤

  • @Bibliamsingihalisi
    @Bibliamsingihalisi 3 месяца назад

    Mungu akubariki mtumishi dacha katika safari ya kumsilimisha ramadhani kuria na waislamu wengine wazidi kuelewa uungu wa bwana wetu yesu kristo

    • @YunisIsmailSheikh
      @YunisIsmailSheikh Месяц назад

      Katika safari ya kumsilimisha?
      Ramadan Mungu akubariki

  • @Hobalu-mi7ml
    @Hobalu-mi7ml 4 месяца назад +1

    Mimi ni mzaliwa wa mozambique wilaya ya mwidumbe kabila la kimakonde 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Pastor na kukubali sana mana una jua kwongea kwa kufafanua jisi ya bwana wetu yesu klisto 🇲🇿

    • @ashrafhakim6499
      @ashrafhakim6499 Месяц назад

      Nao estas entender Bem. Mungu akuonyesha njia ya ukweli

  • @QualityBrand-cc2fn
    @QualityBrand-cc2fn 6 месяцев назад +2

    alhamdulillah, maashaallah mwalim

  • @FarajiSalimu
    @FarajiSalimu 6 месяцев назад +1

    maashallah umefanya vrz sana shekh

  • @BinezaBaraka
    @BinezaBaraka 4 месяца назад +1

    Mungu akuongezee Upako Mtumishi NDACHA.

  • @allialbusaid
    @allialbusaid 2 месяца назад

    Mekwenda vizuri ndani ya mjadala kongole wenyekujifunza wananafasi mungu awaongoe maelezo yenu mvuto kwa wenye hekima ya kielimu Allahu karim🙏

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 6 месяцев назад +3

    mashallah sheikh Ramazani mwenye akiri timamo amesikiya

  • @DicksonSalimu
    @DicksonSalimu 6 месяцев назад +1

    Mungu wa kweli na wapekee na awape mafunuo zaidi ya uchambuzi na mafundisho ya kweli ili kila.aaminie na kuifuta njia ya kweli ya uzima apate kuyapokea na kuifuta kweli yake

  • @huskaosman2660
    @huskaosman2660 Месяц назад +1

    Manshallah sheik ramadan kuri mungu hakusadia kaka

  • @MichaelDonaldnchingaMichaelDon
    @MichaelDonaldnchingaMichaelDon 5 месяцев назад +3

    Akili ndongo sana Mungu ana zaa kwa neno yani anatamka inakuwa, Au unafili anatanua miguu mtoto anatoka,ii niakili ya kislamu

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 5 месяцев назад +1

      "Mungu anatamka, inakuwa" .... Hii ndio imani ya Kiislamu.. Karibu kwenye dini ya kweli ❤

    • @YunisIsmailSheikh
      @YunisIsmailSheikh Месяц назад

      Akili ya reverse ya wakristo....
      Mara yesu ni mungu mara Mtoto wa mungu 😊

  • @ShakurAKBAR
    @ShakurAKBAR 6 месяцев назад +1

    Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuh nimependa hiki kipindi ,ALLAH Akulipe Kila lakheri ustadh kwa kuzidi kuipambaniya dini Ya ALLAH ,ila ningependa tu kugusiya pastor ndacha nimewahi kufatiliya mdahalo wako ukihakikishiya Watu kuwa yesu Ni MUNGU ila Leo umeeleza tena kuwa yesu sii MUNGU ni Vizuri Sana kwa kijikosowa kwenye kauli zako

  • @josemu870
    @josemu870 6 месяцев назад +1

    Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya dawa iendelee kwa neema ya uislamu barikiweni sana sana kwa mafundisho bora Allhamdhillah

  • @simonnjenga7173
    @simonnjenga7173 6 месяцев назад +9

    Ndacha is the man of God... He is my guy in one religion.... E truth in you is the light of the world

    • @anwarambar6141
      @anwarambar6141 6 месяцев назад

      eti Ndacha ni A man of God usiwachekeshe walio nuna

    • @simonnjenga7173
      @simonnjenga7173 6 месяцев назад

      @@anwarambar6141 a Bible ilikuja kabla Quran haijadika... bible Niya 600Bc bt Quran ni ya 7 century... Waislamu mlicook vitu kutoka kwa bible... Enda kwa historia uone gani ndio ilitanguliq ndio uanze kupingana ...

    • @barutiabuu9492
      @barutiabuu9492 5 месяцев назад

      Look at what the old man is saying, let's come to Islam so that the infidels don't die

    • @simonnjenga7173
      @simonnjenga7173 5 месяцев назад +1

      @@barutiabuu9492 I can't join dini ya waaasi na kuuwa watu ety mwende mbinguni direct... What is that.... Mjifunze kuwa wema kwa ata...

    • @simonnjenga7173
      @simonnjenga7173 5 месяцев назад +1

      @@anwarambar6141 bible ilikuja mbele ya Quran na mambo iko kwa bible ndio imefogged to Quran... Mkibwdilisha majina ety yesu khisa.... My friend go back to the root

  • @josephineobure3420
    @josephineobure3420 6 месяцев назад +2

    Mwalimu Ndacha barikiwa sana kwa kujitolea kuwaelezea ukweli ili na hao waamini Yesu kristo ni mwana wa MUNGU aliyetukufia msalabani ili tukombolewa sisi wenye dhambi ili tumtambue yeye ndo njia ,ukweli na uzima wa milele.

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk 6 месяцев назад +1

    Aslam alykum cheikh wetu, Aksanti sana kwa kumupa darassa NDAca , Mungu musaidiye asikilize na alewe.

    • @YohanaPaul-b3v
      @YohanaPaul-b3v 4 месяца назад

      Darasa gani ww!, endeleeni kujidanganya, 😂😂😂😂

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 6 месяцев назад +4

    Pastor ndacha unaelezea yesu mwenye umjui waislamu assalamu Alaikum warahmatulahi wabarakatuh sii tushukuru Mungu kwa kutujulisha mengi kuhusu mitume wote allihamudulila (tujitahidi kitafuta pepo Isa -bin Mariam karibu anarudi na vile munavyio juwa yeye ndie atakuwa swalisha )hiyo siku 😢 jee Imani mtakuwa Bado nayo ? Allah atusaidie tusipotoshwe 😢🤲🤲🙏

    • @ronaldmatimbo9691
      @ronaldmatimbo9691 6 месяцев назад

      Umepotea wewe...

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 6 месяцев назад

      Umekwishakupotea

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 6 месяцев назад

      @@SiriliNachan nyie mlie kwa ukweli mjuzi lolote Allah awasaidie

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 6 месяцев назад

      @@ronaldmatimbo9691 wewe ulie kwa njia nzuri nakwombea

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 6 месяцев назад +1

      @@zahraabdul9652 na yesu mwenywe ndo atakuja kutuchukua wafuasi wake😊

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 6 месяцев назад +2

    dah! ndacha leo kapata mwamba wke, shekh ramadhan MashALLAHu

    • @UshindiDavid
      @UshindiDavid 6 месяцев назад +1

      Mwamba gani kujipa moyo tu😂

  • @EmmyRowland-ir5gh
    @EmmyRowland-ir5gh 4 месяца назад +1

    💯% inasema MTOTO wa NYOKA n NYOKA, MTOTO wa Ng'ombe NI ndama Ila bado NI NG'OMBE .... 🎉

  • @abduljaffer
    @abduljaffer 6 месяцев назад +6

    Eti Mungu amefanyika mwili. Msiba huu. Mungu haonekani please wala kivuli ya kubasilika ❤

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 6 месяцев назад

      Soma bibilia

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 6 месяцев назад

      Allah Sio Mungu WA kweli huyo ni kiumbe

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 6 месяцев назад

      @@prochesernest5439 na hawaamin ukiwauliza kwann wanasujudia kuelekea al kaaba wanakwambia n umoja

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 6 месяцев назад

      @@prochesernest5439 ongeza volume

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 6 месяцев назад +1

      Kama jini anaweza kujibadilisha awe mnyama, ndege, binadamu n.k. Mungu muumba wa viumbe vyote yeye hawezi! Sisi tunajua ni Shetani hawezi kubadilika kwa hivyo kama Allah hawezi kubadilika basi yeye si yuko sawa na Shetani. Enyewe hata sifa zake kama Al-Makir, Al-Muzil ni sawa na sifa za Shetani

  • @muznazahra455
    @muznazahra455 6 месяцев назад +1

    Jazakumullah khair InshaAllah...

  • @muznazahra455
    @muznazahra455 6 месяцев назад +1

    InshaAllah step by step nuru ya Hidaya itakuja kuenea ulimwengu mzima ,kwa hivyo Ndacha pia ni maalumat yameongezeka na kupata kujua kuwa Yesu siyo Mungu,binadamu wote siku zetu zote haziwi sawa ,tuzidi kupanda marhala za juu siku baada ya siku...na Ndacha pia twamuombea Hidaya na wengine wengi kama yeye..

  • @EmmanuelPaul-l6p
    @EmmanuelPaul-l6p 5 месяцев назад +2

    Yesu kristo kwani ni jina moja hapo ndipo jibu lilipo kwa maana ya kwamba hukaa ndani yangu nami ndani yake

  • @franchise.licensing.institute
    @franchise.licensing.institute 5 месяцев назад +1

    I love the maturity in this discussion.

    • @PriscaBartazal
      @PriscaBartazal 3 месяца назад

      You are blasphemy you ought to repent your sins because there is no words of good in bible juses was right to say his father is god coz every creature his father is god juses he did not guilty but his disciples they were fool to write life of Jesus and add their unknown things they mislead people and God decided to sent Mohammed as light path to all people who going astray

  • @AliHassanAli-jd9ru
    @AliHassanAli-jd9ru 6 месяцев назад +5

    Assalam Aleikum Warahmatullah Wabarakatuh mashallah sheikh ramadhan Allah akulinde sheikh wangu

  • @HabibuabdiAmiri-xi4fi
    @HabibuabdiAmiri-xi4fi 5 месяцев назад +1

    She ramadhan mungu akubarik

  • @jonasmumbere5416
    @jonasmumbere5416 5 месяцев назад +6

    Ndacha akafanya niwe mchristo . Mungu akuzidishiyee

    • @blackangelsaccrobatsjunior6762
      @blackangelsaccrobatsjunior6762 5 месяцев назад +1

      Ulikuwa wa dini gani before

    • @jacksonpatrick9814
      @jacksonpatrick9814 Месяц назад

      Cha maana ni kwamba watu kujua kama Yesu anaweza kushuka Leo na kuhubiria WAISLAAM hawawezi kumkubali ila tu watamkana kama wayaudi,sababu wao wanamjua ISSA bin maria period.But filling to know in him was God.he was prophicied by the prophets in old testament like Isaia untill he was born by Mary as the son of God.Jesus with time told Jewish before there was Abraham I am.yaani kabla kuweko kwa abrahan alikuwa lakinq hakuwa amechipuka kutoka kwa babake Mungu Ili azaliwe na Mariam lkn wakati ulipowadia Mungu karuhusu kuzaliwa na Mariam ila si kwa njia ya mapezi ya baba na mama.

  • @ROGUESON-wb2ts
    @ROGUESON-wb2ts 6 месяцев назад +2

    Allah akuzidishie hekma

  • @abdallahmohamed2221
    @abdallahmohamed2221 6 месяцев назад +1

    Baarakallahu fiikum straight path daawah

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 6 месяцев назад +5

    Ndacha neno like ndani yako na umefundisha vizuri

  • @minaniyasini7834
    @minaniyasini7834 6 месяцев назад +6

    Allah awajaliye afya njema na subra wahadhiri wetu

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu 6 месяцев назад

      ruclips.net/video/L_iOjl7Pn0s/видео.htmlsi=UjcPhUHJbuHpNhdr

  • @MartinMutuma-n1g
    @MartinMutuma-n1g 2 месяца назад

    Ndacha Mungu akuzidishie

  • @EmmanuelRichard-g7r
    @EmmanuelRichard-g7r Месяц назад

    Sio kwamba mungu anazaa kwamapenzi ya mwili, hapana, mungu anamfanya mtu kua mwanae, ktk roho

  • @josephekitale327
    @josephekitale327 6 месяцев назад

    yesu ni mwana wa mungu tena ninabi wamungu❤❤❤

  • @HabibaMussa-mf3ny
    @HabibaMussa-mf3ny 6 месяцев назад +1

    Asalaam alykum.allah amuongoze ndacha ktk njia ilionyooka,maana amefunikwa nakitu kizito sana naanatia huruma sana.allah muongozee

  • @PaulMutemi-t4i
    @PaulMutemi-t4i 7 дней назад

    Ndacha God bless you wewe ni taa ya ao watu Wacha wakatae wakisikia

  • @edingollow9446
    @edingollow9446 6 месяцев назад

    Subhanallah huyu ndacha ananichangaza sana Kwa sema yesu ni mungu mara ni mungu ni baba ya yesu,,

  • @oscarwilliam8341
    @oscarwilliam8341 6 месяцев назад +2

    Ndacha nimekuelewa sana sema hawa waislamu Baazi mungu kashatia vifuniko mioyo yao maana hata ukiwafundisha hawatajua

    • @Bahati47
      @Bahati47 6 месяцев назад

      Kwa mafundisho haya yakufanyika mwili akafanyika nyama? Bado hmjatupata

    • @oscarwilliam8341
      @oscarwilliam8341 6 месяцев назад

      @@Bahati47 sio kazi yetu mungu ndio atafanya iyo kukutoa uko

    • @Noorein-ws8wk
      @Noorein-ws8wk 6 месяцев назад

      Kama Mmungu katutia vifuniko tusiseme Mmungu ana mwana basi namuomba Mmungu atuzidishie vifuniko ili tusiseme km Mmungu ana mwana.❤

    • @barutiabuu9492
      @barutiabuu9492 5 месяцев назад

      Kaka ukisikiliza vizur hii hoja bas hutoweza Hata kumpongeza ndacha kwa alivyo jichnganya shida yenu wa kristo huwa hamtak kusoma zaid yakupiga tu makelele mitaani ila kusoma hamtak mnasomewa tu so kusilimu ni bure kalibuni sana kwenye dini. Ya mungu ili msife makafiri

  • @JamesKuria-n7y
    @JamesKuria-n7y 6 месяцев назад +1

    Tito .2.13..YESU KRISTO ni Mungu. ufunuo 1.7.8.YESU KRISTO ni mungu .......ila mwili wake haukua mungu bali mungu alikuwa ndani ya huo mwili ulio ridhi jina la lake abao ni YESU..WAHIBRANIA 1...4...ATUKUZWE milele na milele Amina

  • @deogratiusthobias4322
    @deogratiusthobias4322 5 месяцев назад +1

    Hongereni walimu,nyie mmetulia kila mtu anampa mwenzie kujieleza,Sio kina Mazinge makele tu kama walevi,nyie ni big up kila mtu ameelewa kwa iman yake,Ndacha nakuelewa

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 6 месяцев назад +35

    Yesu baba ake Mungu 😅😅 kweli Mungu azae nasisi viumbe wake tuzae 😢 msiba huu kwa hawa wagalatia. Allah awasamehe wote mnao jiita wakristo kwasababu Wallah nawahurumia.

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 6 месяцев назад +2

      Wenywe tunawahurumia😊😅😅

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 6 месяцев назад +1

      @@SiriliNachan hayakuhusu wewe endelea kunywa Divai.

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 6 месяцев назад

      @@nakundwamkubwe7823 sawa ila ndo ivo mungu mwenywe kamwita yesu mungu😂😂

    • @OscarGerald-vp9kx
      @OscarGerald-vp9kx 6 месяцев назад +1

      ​@@SiriliNachanandiko MUNGU anamwita YESU MUNGU!???

    • @faridaalwaily-hk4xf
      @faridaalwaily-hk4xf 6 месяцев назад

      Lahaulaa walaa kuwaataaa ilaaa billaaah

  • @carolinelucky9199
    @carolinelucky9199 6 месяцев назад +2

    Nyinyi mta chomeka nani kawabia mungu anataka mizani....na mukome mungu mwenye tuna homba ni wetu zote hufai kujanji...na mkome

  • @IsaacNzai-e7s
    @IsaacNzai-e7s 4 месяца назад +2

    Ndachaaa❤❤

  • @LudyJuma-t7z
    @LudyJuma-t7z Месяц назад

    Amen yesu ni muumbaji

  • @PasserbyMan-ju8ky
    @PasserbyMan-ju8ky 6 месяцев назад +9

    Mimi maranyingi hua na sema ndacha hoja za kikiristo haziendi isipokua ujisahaulishe maandiko mengine 18:32 hapa ndacha kajisahaulisha andiko la yohana 20:17...naenda kwa baba yangu naye ni baba yenu,kwa mungu wangu nae ni mungu wenu,na andiko la matayo 27:46 mungu wangu mungu wangu mbona unaniacha.Na mengine mengi.
    HUU NI UPOTOSHAJI
    Eti yesu kwenye bibilia ajasema mungu angu bali anasema baba yangu,mwalimu mzima anaongopa mchana kweupeeeeeee😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣✍️

    • @muznazahra455
      @muznazahra455 6 месяцев назад

      Kazi nzuri watu waache kuichanganya na kumshirikisha Allah,au kumwekea Allah MSHRIKA,NA YOTE HAYO AMESHAYAKATAZA HADI KATIKA VITABU VYAO ,KWA HIVYO LENGO NI KUJIFUNZA NA KUJUA IMANI YAKO IKO SWAHIH AU LA....ALLAH AWALIPE KILA LA KHERI KWA KAZI YENU NZURI YA USHIRIKIANO KWA nia ya kuwaamsha wengi...

    • @muznazahra455
      @muznazahra455 6 месяцев назад

      Amri kumi alizopewa Nabii Musa amri ya kwanza ilisema usimshirikishe M.Mungu na kitu kingine ,Mungu watatu anatoka wapi? Tuwafuwafuate vipi wakati nyinyi mnaenda kijume na maandiko yaliyoko ndani ya Bibilia na ,hamuwelewi maana ya mwana kabisaaaaa ,

    • @brightzone.
      @brightzone. 6 месяцев назад

      @passerbyMan-ju8ky Tatizo ni swala la utambuzi tu.
      Jiulize swali moja.
      Kwanini Yesu hakusema naenda kwa Baba yetu au Naenda kwa Mungu wetu?
      Bali alisema kwamba,
      Naenda kwa Baba yangu ambae ni Baba yenu, kwa Mungu wangu ambae ni Mungu wenu - jiulieze na uelewe huo utofauti.
      Vile vile,
      Ni kweli yesu alisema Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha.
      Lakini kwa kauli hiyo Yesu alikua anakamlisha ufunuo katika kitabu cha Zaburi 22:1
      Zaburi 22:1 inasema kama yesu alichokisema - Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha?

    • @PasserbyMan-ju8ky
      @PasserbyMan-ju8ky 6 месяцев назад

      ​​@@brightzone.Ndivyo mnavyo ongopewa?hapo unataka kumfundusha yesu Cha kusema,maneno Yapo mengi mtuhuchagua neno Gani aseme, Sasa ulitaka aseme naenda kwa baba yetu nae ni baba yenu?😂
      Mtu kusema huyu ni baba yangu na ni baba yako wewe,hii ni kauli ya kuonyesha msisitizo ,ama kusema huyu ni baba yetu hii nikauli ya kawaida,kibibilia mungu kuitwa baba amanishi amezaa ni baba kiulezi wa Imani
      Na mzaliwa wa kwana ni mzaliwa wa kwanza kiimani,
      Na mwana ni mwana kiimani
      Na mwana wapekee
      Ni mwana wa pekee kiimani.hapo ndipo mlipo feli wakristo,na ndio mana kibibilia ukimwamini mungu unafanyika kuwa mwanae yohan 1:12 hivi munasoma bibilia au munasomewa?poleni😊

    • @brightzone.
      @brightzone. 6 месяцев назад

      @@PasserbyMan-ju8ky umesema vyema. Mungu kuitwa baba kibiblia.
      Jinsi tulivyo sisi na alivyo Yesu kwa Mungu Baba ni tofauti.
      Sisi ni wana wa Mungu kiimani.
      Yesu ni mwana wa Mungu wa kuzaa.
      Na ndio maana Yesu akasema naenda kwa Baba yangu ambaye ni baba yenu, Mungu wangu ambae ni Mungu wenu.
      Na hiki ndio kitu tofauti na Uislamu.
      Allah hawezi kuwa baba kwa namna yoyote ile. Kila muislamu anajua kwamba ni kufuru kumuita Allah Baba.
      Niko hapa tujifunze.
      Njoo tena tujadiliane ndugu.

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 6 месяцев назад +1

    Tit 2:13 SUV
    [13] tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

  • @GwamakaAndwele
    @GwamakaAndwele 5 месяцев назад +1

    Kwa kusema kwamba yesu n mwana wa mungu n kukufuru na wengine kusema kwamba yesu n mwana wa mariamu na ndo maana wengine n waislam na wengine n wakristo

  • @CarolyneMutindi-k8k
    @CarolyneMutindi-k8k 5 месяцев назад +1

    Yesu ni mungu wacha .halikuja kama an expresion of Gods image akafanyika mwili

  • @markangel1588
    @markangel1588 3 месяца назад

    Yesu yuh Mwana wa Mungu. Hiio ndio hata mwisho wa dahari, Shetani alijuwa kuja kwa Mwana wa Mungu ila hakiwa na uhakika hata alpokuwa yupo duniani alifanya udadisi, naye uishi na kusema Mungu hana mwana, Luka 4: 1-9 angalia swali lake kwa Yesu. hakula cho chote , kwa hiyo baada ya muda huo aliona njaa.
    3 Shetani akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru jiwe hili liwe mkate.”

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 6 месяцев назад +3

    Mchungaji ndacha anaeleza vizuri kabsa,mwenye akili na asikiye,na mbishi aendele kubishi

  • @gibsonmonari
    @gibsonmonari 6 месяцев назад

    Kazi nzuri ndacha

  • @LudyJuma-t7z
    @LudyJuma-t7z Месяц назад

    Ubalikiwe ndacha pamoja na hao wa isumali nao pia ni wana wa Ibrahim mungu awazidishie

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 6 месяцев назад +3

    Huyu ndacha ana juwa vizuri sana ukweli ulipo, lakini subhana Allah, bado Allah haja mchaguwa, asa yaarab Allah amhidi na amu ongoze katika njia ya haqi

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 6 месяцев назад

      Haki iko wapi katika uislamu, hebu nielezee vile unaweza kumueleza mtoto mdogo aelewe

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 6 месяцев назад +1

      @@kennodhiambo fanya utafiti uta ona haki iko wapi

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 6 месяцев назад

      @@rayaalhabsi1725 haki ya uislamu ndiyo hii
      Quran 2:191 “Slay the unbelievers wherever you find them.”
      Quran 3:28 “Muslims must not take infidels as friends”
      Quran 3:85 “Any religion other than Islam is not acceptable”
      Quran 5:33 “Maim and crucify the infidels if they criticize Islam”
      Quran 8:12 “Terrorize and behead those who believe in scriptures other than Quran”
      Quran 8:60 “Muslims must muster all weapons to terrorize the infidels”
      Quran 8:65 “The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them”
      Quran 9:5 “Whenever opportunity arises, kill the infidels wherever you catch them”
      Quran 9:123 “Make war on infidels living in your neighborhood”
      Quran 47:4 “Do not hanker for peace with infidels; behead them when you catch them
      jisomee katika lugha utaelewa vizuri hata kama ni kiarabu lugha ya Mungu wenu

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 6 месяцев назад

      Hajuwi vizuri angejuwa angesilimu

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 6 месяцев назад

      ​@@kennodhiambonitumie namba yako nikununulie qur an uiyone haki

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 6 месяцев назад

    Masha Allah Sheikh Ramadhani Kwa Mafundisho

  • @AishaAlkharusi
    @AishaAlkharusi 6 месяцев назад +1

    Huyu kijana mungu amongoze ktk haki apate kuijuwa dini ya kislam

  • @EmmanuelPaul-l6p
    @EmmanuelPaul-l6p 5 месяцев назад +1

    Kufanyika kwa vituvyote kupitia mwana ni swala la sisi kujua kwamba Mungu alipenda tuishi kwa kushirikiana kama alivyofanya yeye kwakuwa hata mwiliwetu tu unategemeana. Macho miguu mdomo pua sikio kwahiyo ishu ni ubinafsi ila jibu ni mungu aliumba kilakitu

  • @LoySamueli
    @LoySamueli 4 месяца назад

    Twende kazi

  • @InnocentKitungano-tv5rl
    @InnocentKitungano-tv5rl 6 месяцев назад

    Mch. Ndacha, .Kwa sababu Naona waeslam Awahelewi. kama mnahamini Mungu anaweza kila kitu kwanini mnahamini Awezi kuzaha, kwamahana kwamungu yote yanawezekana, Na mkikataha kwamba Mungu Awezi yahani mnamfananisha na mwanadamu kumbuka kwamba mungu sio mwanadamu, Naam nakuhambia Mungu ni mungu Akuna linalo shishindikana kwake.. Kama unahamini mungu Anaweza kwani ukataye awezi kuzahh. KWASABABU NAONA MCH. NDACHA AMEKUHELEWESHA AUHELEWI UFANYWE NINI SASA.😊

    • @hashirukitumbi6245
      @hashirukitumbi6245 6 месяцев назад

      MUNGU NI MUUMBAJI SIO MZAZI ANAUMBA ATAKACHO KWA UWEZA WAKE UKISEMA MUNGU ANA ZAA HAYO NI MATUSI MAKUBWA MUNGU HANA JINSIA YA KIKE WALA YA KIUME.MUNGU HABEBI MIMBA. TAFAKARI

  • @muznazahra455
    @muznazahra455 6 месяцев назад +1

    Waaleikum Salaam warahmatullah wabarakatuh

  • @GodriverRaphael
    @GodriverRaphael 5 месяцев назад

    Umewaeleza vema pasta ni vem wakamuomba mungu alie umba dunia na kila kilichopo awape kwerii na waitambue kwer ya munguu Hakikaa

  • @FIDELBALUMEJOSEPH
    @FIDELBALUMEJOSEPH 6 месяцев назад +3

    mchungaji ndacha , mungu akulinde na akupe maisha marefu ili utangaze habari njema duniani kwote na mataifa yote wajuwe ya kwamba yesu nibwana , na mokozi wa dunia

  • @EmmanuelPaul-l6p
    @EmmanuelPaul-l6p 5 месяцев назад +1

    Na yesu kuzaliwa ba mariamu ilikuwakwaajiliyetu wanadamu ili utukufu ubaki kwa Mungu na kujenga imani kwetu kwamba sisi sote ni wana wa mungu ila Yesu ni wa pekee

  • @mwanyunimadee4157
    @mwanyunimadee4157 4 месяца назад +1

    Yesu alikuwepo kabla hta ya dunia n hakuwa n mwili kama wako sheikh ,pili yesu alifanyika mwili akatumwa duniani kupitia maria

  • @lusajojaguar7609
    @lusajojaguar7609 26 дней назад +1

    Mimi niliachana na uislamu kwa sababu ya ugumu wa moyo wa waislamu.... ni wagumu kuelewa