NIMEWACHA KUWEKA MAANDIKO VIRAKA - NASAHA YA UPOLE KWA MWINJILISTI NDACHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 936

  • @athmanyusufkea3405
    @athmanyusufkea3405 Год назад +19

    Ewe Mwenyezi Mungu uliyetukuka kwa jina lako, rehema zako na nguvu zako nakuomba umuongoze Ndacha. Aameen

  • @saidimgeni9096
    @saidimgeni9096 Год назад +7

    Ndacha nimjajanja tu ila she unabusara iliyo pitiliza mashaalah shekhe mungu akuzidishie

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Год назад +11

    Sante Ndachaaa leo Papa Francic kawa mpinga Kristo 😮😮Hahahha haleluyaaaaa 😅😅. Alhamudilah umethibitisha ilo.

  • @maryamjuma1980
    @maryamjuma1980 Год назад +18

    Allah akulipe kheri sheihk Ramadhan unatufunza mambo mengi tulivokua hatuyajui juu ya ndugu zetu wa ki binaadamu. Allah akuzidishie afya njema na akuwezeshe zaidi kuzitangaza haki na akakukutanishe na kipenzi chetu mtume Muhammad (s. a. w)

  • @mussamohamedmohamed7048
    @mussamohamedmohamed7048 Год назад +4

    Wallah Thumma Wallah,,waislam,tumshukuruni ALLAH,, TABAARAQ WATA'AALA,,Kwani hii NE'EMA ALLAH ametupatia ya UISLAM,,,Hakika,,hata uwe TAJIRI,kiasi Gani au Uwe MASKINI,Kias Gani ila NE'EMA YA UISLAM NIKUBWA KUSHINDA,,Chochote utakacho kuwa NACHO,, WALLAH ALHAMDULILLAH,,,

  • @BonifacseverianOfficial
    @BonifacseverianOfficial 7 месяцев назад +1

    Ndacha mwenyezi Mungu mtukufu akuzidishie zaidi mapenzi yake yatimizwe.

  • @martinzacharia6888
    @martinzacharia6888 Год назад +4

    Hoja za mwislamu ni zilezile tangia miaka nenda rudi,Ndacha Mungu akubariki sana unawafunza waislamu japo mioyo yao ni mawe

    • @abubakarmohamed9567
      @abubakarmohamed9567 Год назад +2

      Umesema kweli hoja zetu ni zilezle miaka nenda miaka rudi kwa sababu quran yetu haibadiliki kama bibilia zenu

    • @AbdulRahim-rl2df
      @AbdulRahim-rl2df 4 месяца назад

      Mungu awasaidie waje katika njia iliyonyooka inshaallah

    • @michaelamiani6755
      @michaelamiani6755 3 месяца назад

      Ulidanganywa na muhamadi ukasema ni maneno ya mungu pole sana

  • @MahangaYakub
    @MahangaYakub Год назад +2

    Alhamdulillah mwenyeezi mungu akuzidishie elimu na hikma katika mijadala yote na wa Pasteur

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 Год назад +4

    Huyu Ndacha Mwenyezi Mungu ampe hidaya. Tusiwakejeli tafadhalini mtu kama Ndacha ni Ujahliya tu wako nazo

  • @Yesunimwokozi1
    @Yesunimwokozi1 Год назад +1

    Pastor ndacha uko on fire... Sheikh ameshakubali YESU NI ROHO WA MUNGU..CASE CLOSED

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Год назад +1

      Ndacha yupo kimasilahi ndugu, anaijua haki, hawez toka atapoteza vingi....

  • @abdallahsaid1968
    @abdallahsaid1968 Год назад +9

    Allah akulipe kher shekh wetu nipo mbagala tz nakufatilia ikhwan

  • @faizabbas4620
    @faizabbas4620 Год назад +4

    YA RABB NAKUOMBA UMUHIFADHI SHEIKH RAMADHAN...AKULINDE NA AKUHIFADHI ...KWA HAKIKA TUNAELIMIKAA KUPITIA KIPINDI CHAKO..SHUKRAN SANAA NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH SHEIKH RAMADHAN ..

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 Год назад +4

    Maa shaa Allah sheikh MWANYEZI MMUNGU aquzidishia

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p Год назад +2

    Alhamdulillah alhamdulillah alhamdulillah nashkr sana kw neema ya waislam n nachukia kua mtu asiyejua Mungu wa kweli

  • @janekariuku8181
    @janekariuku8181 Год назад +5

    Wow I like the interpretation of Ndacha .evidence from Bible en evidence from Quran .then I like Conversation.may God have mercy on our Muslim brothers in Jesus mighty name.Ramathan be facing such professional the same way you r professional

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 Год назад +2

    Astaghfirullah Mwenye Enzi Mungu atustiri yaarab.Alhamdulilah Rabbil Aalamiin kwa neema ya Uislam. Mwenye Enzi Mungu amhidi huyu ndacha

  • @samsiakassakangeta1780
    @samsiakassakangeta1780 Год назад +5

    Jazaka Allah kwenu nyote wa wili In sha Allah tutazidi kuwafuatilia!

  • @gahunguleonidas2606
    @gahunguleonidas2606 Год назад +1

    Katika some hili Ndacha amemuvulia sana huyo muislame sijuwe ni kwa sababu walimpiga mawe amejilinda sana ndiomaana akasema wafanye mujadala kuhusu maada hiyo ya Uungu wa Yesu. Mungu akubaliki sana pastor Ndacha.

  • @ufafanuzi4382
    @ufafanuzi4382 Год назад +6

    Ndacha umebadilika . Hapo mwanzo hukuwa wa kutaka kuelewa ilikuwa ubishi tu. But sasa kweli unataka kuelewa na kujifunza. Mashehe wamekutoa kwa utatu wakakuleta kwa mungu mmoja pekeee. Neno la mungu akitaka lolote ni kuwa nalo linakuwa. Yesu ni neno la mungu kama vile kwa genesis mungu alisema iwe nuru ikawa nuru. Nyoka ya musa iliitokana na fimbo ni kwa neno la mungu. Kondoo alioshushiwa ibrahim kuichinga ni neno la mungu. Mungu anasema kuwa lina kuwa. Maria pata mimba akapata!

  • @ramadhandawuudalbertmachan6726
    @ramadhandawuudalbertmachan6726 Год назад +2

    Mashallah ramadhani ,KAZI nzuri Ila kwa ndacha unajikasa kwa mafundisho Ila ,tenga sifa za mungu ndio ueleze aliye muwezesha yesu kuwa na miujiza hizo sote ,na baada ya hapo yesu alituaiti kuwa kama yeye ikiwa tuna Imani kama yeye.

  • @husha6372
    @husha6372 Год назад +60

    Naomba NDUGU Zetu waislamu sote tu muombee Ndacha sio Kwa kumkejeli kumtusi Inshallah inshallah

    • @mamawamoya3344
      @mamawamoya3344 Год назад +8

      Yaa Allah ,muongoze mja wako huyu katika njia ilio nyooka.

    • @nooor1120
      @nooor1120 Год назад +6

      Yaa Allah mlainishe moyo wake bwana Ndacha aingie ktk dini yako ya haki uislam.

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 Год назад +3

      Huyu ndacha ni mbaya huyu, Allah ndo anajua

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 Год назад +1

      @@habibasalim3092 ubaya wake ni upi

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 Год назад +2

      @@mamawamoya3344 Allah mwenyewe kiama ana kesi ya kujibu

  • @masoudkassim2106
    @masoudkassim2106 10 месяцев назад

    Mashallah Shekh wtu Allah akulipe ujira wa pekee pia Allah amjalie ndugu ytu awe Miongon mwetu cc Waislm Allah humma Ameen

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 Год назад +5

    Masha Allah TabarakAllah, Shukran ustadh Ramadhan kuria

  • @blackchair_chairman1307
    @blackchair_chairman1307 Год назад +1

    Ubarikuwe sana mtumishi Ndacha ... Umebarikiwa

  • @omarshaban4735
    @omarshaban4735 Год назад +3

    Masha Allah sheikh ramadhan debate nzuri

  • @BonifacseverianOfficial
    @BonifacseverianOfficial 7 месяцев назад

    Napenda namna mnajadiri kwakuelewana Mungu awabariki nyote

  • @husha6372
    @husha6372 Год назад +8

    MashAllah MashAllah Ndacha anakuja Pole Pole Sana Inshallah inshallah Mungu ata muonyesha haki NA uongofu inshallah Inshallah

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Год назад

      Aje kwenye majini ama?

    • @nooor1120
      @nooor1120 Год назад +1

      Ameen aameen

    • @nooor1120
      @nooor1120 Год назад +1

      @@madetetv6576 majini gani wewe bhana wacha propaganda zako.

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Год назад

      @@nooor1120 kwahiyo unakataa majini sio waislamu?

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Год назад

      @@jkewl999 hahahaha majini Ni waislamu

  • @asokulualimasi8391
    @asokulualimasi8391 Год назад

    Ramadhani uwezi level ya ndacha, ubarikiwe sana mwinjilist ndacha kwaku mfundisha, wata mjuwa Yesu tu

  • @gadafiismail8126
    @gadafiismail8126 Год назад +5

    Assalamualaikum walahumatulahi wabarakatu..Allah swt doesn't share his name with his creatures, he remains the most powerful, most merciful, most forgiving.

  • @ufafanuzi4382
    @ufafanuzi4382 Год назад +1

    Waruuhun minhu kwa ayaah haimanishi ni rooho ya mungu, bali inamanisha ni roho kutoka kwake. Roho ya mungu ingesema waruuhuhuuu! منه minhu ina manisha kutoka kwake bana

  • @husha6372
    @husha6372 Год назад +5

    Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Sheikh ikiwa kunayo Mtu atamuongoza Ndacha Inshallah inshallah itakuwa Ni wewe Kwa Sababu Wewe hum sikiliza na NaFikiri ndio na yeye hukuheshimu inshallah Inshallah Ndacha ata silimu Chini Ya mkono Wako Inshallah inshallah Mungu amjaaliye

  • @HassanJabir-g2e
    @HassanJabir-g2e 9 месяцев назад

    Allah akujalie afya na uzima akuzidishie Elimu uendelee kulingania Atakulipa mema kwa kazi yako ya dawa ushamfikisha mbali ndacha kuna ciku atairoa shahada t inshallah

  • @ianhassan1116
    @ianhassan1116 Год назад +3

    Masha Allah MashaAllah Good job Ramahda

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Год назад

    Yesu kristo ni nguvu yamungu. Roho mtakatifu ni nguvu yamungu lilitumwa neno .neno hilo lilitoka mdomoni mwa MUNGU. HUNIITOI HAPO

  • @farajiawadhi8558
    @farajiawadhi8558 Год назад +4

    Allah akupe kila lakheri shelh

  • @reubenmwagisa4380
    @reubenmwagisa4380 8 месяцев назад

    Ndacha wewe ni mwalimu, na unafanya kazi nzuri sana.

  • @safiakara1868
    @safiakara1868 Год назад +6

    Subhanallah... May Almighty Allah guide us to straight path

  • @msafiriibrahim5104
    @msafiriibrahim5104 Год назад

    Ipo siku itafika na Ndacha ataacha kabisa kuhubiri uongo aache kabisa kuweka maandiko viraka na kutafsiri Hadidhi za MTUME MUHAMAD SAW Visivyo.
    ndacha Nakuombea sana mwenyezi Mungu akuongoze kwenye njia ilioyo nyooka na Upige shahada ya kuwa hakuna apasaye kuabudiwa kwa haki ila MwenyezimMungu mmoja asiye na Mshirika na Muhammad saw ni mtume wake na pia Yesu sio Mungu wala mwana wa Mungu
    utasilimu tu Inshallah

  • @abdallahsaid1968
    @abdallahsaid1968 Год назад +15

    Uyo ndacha ukweli anaujua ila maslahi tu ya maisha ndo yanamfanya asiuweke ukweli bayana ila Allah ajaalie imani katika kifua chake nasisi atuzidishie imani katika vifua vyetu

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Год назад +1

      Aamin yarab

    • @mamawamoya3344
      @mamawamoya3344 Год назад +1

      Amiin

    • @bakariomari3692
      @bakariomari3692 Год назад +4

      Ramadhan hongera sana, naomba umulize swali hili ndacha,,mwanadamu aliumbwa kwa udongo, shetani aliumbwa kwa moto na malaika kwa Nuru, je yesu aliumbwa material gani? Kwa sababu hio point yake ya kuwa yesu aliumbwa kama vile alivyoumbwa HAWAA ndio hainiingii kwa akili.

    • @nooor1120
      @nooor1120 Год назад +1

      Aamiin yaarabb

    • @jacksonkilonzo1439
      @jacksonkilonzo1439 Год назад

      MUNGU NDIO AWAONEKANIE NYINYI MTOKE GIZANI MJUE KUNA MUNGU MMOJA KUNA ROHO MTAKATIFU NA KUNA MWANAWE AMBAYE NI YESU KRISTO BILA HIVYO MTAPOTEA NA MAFUNDISHO YENU MNAYOKATAA YESU NI MWANA WA MUNGU

  • @swadiknassirmwanasi
    @swadiknassirmwanasi Год назад

    Mwenye kurithiwa nimwenye sifa ya kufa.
    Je,Mungu anaitaji mrithi tupeni maandiko.

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 Год назад +9

    Shida wa wakristo wanamueleza yesu kuliko yeye mwenyewe

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 Год назад +1

    Njia ya kwenda mbinguni ni Yesu kristo hakuna dini ya haki ya kumpeleka mtu mbinguni Ndacha ubarikiwe sana unafanya kazi nzuri

    • @mudighurayra
      @mudighurayra Год назад

      Unajua kama hujasoma shida inakua ndio hii nyie si munasema yesu alitabiriwa na manabii sasa kitu kinacho tabiriwa kinakua hakija tokea ila kitatokea sasa kama yesu wakat uwo ambao hajatokea jee hao manabii walikua wakifata njia gani

    • @rehemaabinelynyagawa2878
      @rehemaabinelynyagawa2878 Год назад

      @@mudighurayra ni Yesu siyo yesu jifunze kuandika kwanza maana naona huelewi kila kitu

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 Год назад +3

    Mashaallah mashaallah ndacha mdg mdg ataingia ktk din ya haki inshaallah

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 Год назад

      Uislam ni din ya hak ya shetan

    • @saudahassan6667
      @saudahassan6667 Год назад

      @@zaburi2386 pole sana tumia akili yangu sasa ww fikiria mungu akuumbe halaf atahiriwe ivi yanaingia akilini yesu sio mungu mpka dunia inaisha

    • @emanuelkyomo3772
      @emanuelkyomo3772 Год назад

      @@zaburi2386 na Ukristo ni dini ya nani?

  • @mkenyampole5793
    @mkenyampole5793 Год назад +2

    🤣🤣Francis Ndacha never disappoint,,,Mungu akubariki sana endelea kuhubiria hawa waislamu mpaka waokoke wamrudie Yesu

    • @rodahchemos3315
      @rodahchemos3315 Год назад +1

      Sure he never disappoint ako na evidence kamili

    • @rodahchemos3315
      @rodahchemos3315 Год назад +1

      Lengo lao ni kumsilimu tu hawataki kufungua akili

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Год назад

      sisi waislam kwa kweli tunafurahi sana mana ndacha anaendelea kutusaidia kuwavuta wakristo kariiibu kabisa na waislam.... Kitendo cha yeye kukubali kwamba Yesu si Mungu muumbaji na pia hakuna kitu utatu kwa waislam ndo haswaaa tumekua tukipiga kelele siku nyingi!!! na bado anakwambie yule papa wa wakatoliki ni mpinga kristo.... alaf anasema kabisa wanaoukubali utatu ni makafiri... huyu mwamba amebakiza hatua chache sana awe muislam na tunamuombea mana ameanza kuiona haki!!! asilimia 99.999 ya wakristo wanaamini utatu isipokua ndacha tu

  • @isayalemberua9195
    @isayalemberua9195 Год назад +4

    hakika wa tumishi wa mungu mnajitahidi sana kufundisha mungu awabariki sana

  • @melchizarn
    @melchizarn Год назад +1

    Nimeipenda mjadala huu sana. Kujifundisha tu kwa upole na maneno ya upendo.

  • @sabrialabri5350
    @sabrialabri5350 Год назад +5

    وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِنْ دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ
    Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua.
    AL AN'AM 108

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад +2

      Shukran

    • @mudighurayra
      @mudighurayra Год назад

      Yes na ndio wana mtukana sana ila Mungu atawaonesha njia ilio nyooka In Shaa Allah tukaingie peponi sote kwa pamoja na wote watao amini ukweli

  • @LuisFaustinoLuis
    @LuisFaustinoLuis 5 месяцев назад

    Ndacha mungu akubaliki sana amina

  • @Directorkalama
    @Directorkalama Год назад +8

    Ndacha Mungu akuzidishie

  • @p.matabaro
    @p.matabaro 10 месяцев назад

    GOD is a vibe with the body and creation: your soul belongs to Good

  • @farajiawadhi8558
    @farajiawadhi8558 Год назад +3

    Maashallah shekh mfundishe huyu

  • @Leo-xc1nh
    @Leo-xc1nh Год назад +1

    Mashallah mafunzo mazuri shekh

  • @hashimabdi
    @hashimabdi Год назад +3

    Mashallah ustadhi

  • @fadhilshafi2947
    @fadhilshafi2947 Год назад

    Sheikh Omar upo smart sana kichwani... hujakubali kabisa janjajanja zakuweka viraka maandiko

  • @ameirjuma8425
    @ameirjuma8425 Год назад +3

    Nimemuona Mwalimu wa kiislam hakubali qur an iwekewe kitab chengine juu Mashaa Allah mwenyezi mungu akulipe kila lenye kher na ww

  • @DanKanu-ox4hx
    @DanKanu-ox4hx 8 месяцев назад

    Mungu akubariki Ndacha

  • @robertwilson1133
    @robertwilson1133 Год назад +5

    Pongezi Sana Pastor Francis Ndacha.

  • @countercheck887
    @countercheck887 Год назад

    Mwalimu Ndacha ndie Dawa yenu waislam. Hakuna alifika kiwango cha debate zake. Hongera Mwalimu Ndacha

  • @humanitydensity8974
    @humanitydensity8974 Год назад +4

    AL IMRAN 58-61. "Haya tunayo kusomea ni katika Aya na Ukumbusho wenye hikima.Hakika mfano wa Isa kwa Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa Adam; alimuumba kwa udongo kisha akamwambia: Kuwa! Basi akawa.Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi usiwe miongoni mwa wanao fanya shaka. Watakao kuhoji katika haya baada ya kukufikilia ilimu hii waambie: Njooni tuwaite watoto wetu na watoto wenu, na wake zetu na wake zenu, na sisi wenyewe na nyinyi wenyewe, kisha tuombe kwa unyenyekevu tutake laana ya Mwenyezi Mungu iwashukie waongo."

  • @chikandajr.1051
    @chikandajr.1051 Год назад

    Pastor Ndacha anaijua vizuri sana biblia👏👏

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 Год назад +3

    Ndacha karibu tena Ku pikwa,....

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 Год назад +2

    Thanks Ustadh, walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh.

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 Год назад +5

    Mungu aumba pepo na moto ndacha kajichagulia moto kwa hiyari yake

    • @mudighurayra
      @mudighurayra Год назад

      Usimuingize motoni kabla hajafa maana pengine yeye anaweza akasilimu ikawa kuna ukaribu zaidi wa kuingia peponi kuliko me na wewe tulie zaliwa kwenye uislamu, maana yeye akisilimu leo anakua msafi kabisa na anasilim anakufa apo apo unafkir nini kinatokea

    • @mudighurayra
      @mudighurayra Год назад

      Hukumu tumuachie mwenyewe Allah

    • @michaelamiani6755
      @michaelamiani6755 3 месяца назад

      Ndacha hajasilimu wewe umesilimu kwa hivo ndungu ya jini kwa hivo wewe na jini ambao ni mapepo njia moja

  • @T.O.G.W.M
    @T.O.G.W.M Год назад

    Pole Francis ndacha kwa vurungu pole my broh

  • @shueb123
    @shueb123 Год назад +8

    This guy is intelligent,,,and his intelligence is really confusing him . I will pray for him inshaAllah. . .

  • @Rastermirish
    @Rastermirish Год назад +1

    Ameen barikiwa mtumishi wa mungu

  • @Sharrif456
    @Sharrif456 Год назад +4

    Uyu dacha ni mshidani kweli

    • @jacksonkilonzo1439
      @jacksonkilonzo1439 Год назад

      MUNGU NDIO AWAONEKANIE NYINYI MTOKE GIZANI MJUE KUNA MUNGU MMOJA KUNA ROHO MTAKATIFU NA KUNA MWANAWE AMBAYE NI YESU KRISTO BILA HIVYO MTAPOTEA NA MAFUNDISHO YENU MNAYOKATAA YESU NI MWANA WA MUNGU

    • @jacksonngusi4122
      @jacksonngusi4122 Год назад

      Abdala ata mie nimefuatilia vizuri uko nami

  • @stephenmaina4406
    @stephenmaina4406 Год назад +2

    Yesu ni neno la mungu,kuna tofauti ya neno na roho.

  • @mutomubaya
    @mutomubaya Год назад +5

    Ndacha anajichanganya. Anajaribu kujitoa kwenye ukatoliki lakini hatoki. Hawa watu waliingizwa na Mzungu kwenye mafundisho ya uwongo kwamba Mungu anaitwa jina la kizungu, Jesus. Sasa wanajaribu wawezavyo wapotoshe watu wengi. Kuhusu Mungu anazua mambo ambayo hayapo kabisa. Manano aliyotumwa nayo Mtume, Muhammad, Swalla Allahu alayhi wa sallam, ndio sahihi, bila shaka. Hakika Hakuna apasae kuabudiwa kwa HAQQI ila Allah na (hakika) Muhammad, Swalla Allahu alayhi wa sallam, ni Mtume wa Allah. Na Qur'an ni ushahidi wa kutosha na Sunnah. Na Allah ndiye anayejua zaidi.

    • @qerysir4410
      @qerysir4410 Год назад +1

      Warabu wamekufanya mtumwa wa fikra zao

    • @richardmuita4339
      @richardmuita4339 Год назад

      Uislamu haujatoka kwa Mungu...waislamu wasipo okoka na kumuamini Yesu kama Korani inavyowaamuru ...Yesu ni mwanzo na mwisho...na waislamu na binadamu wote watasimama mbele yake siku ya kiama... mmkatae Yesu kwamba si mwana wa Mungu na si Mungu lakini Hilo halitawasaidia...mtaangamia jehenamu ya moto msipo badili.. kumuamini mtume Mohammad SAW badala ya Issa/Yesu.. Mashehe na MA Imam wenu ndio wanaopotosha waislamu kwa kukengeuwa ukweli kwenye Koran na biblia.

    • @horemow9832
      @horemow9832 Год назад

      Bila Yesu hauwezi ingia Mbinguni ngangania dini tu hakuna mtu yeyote atakaye kufa akiwa Muslim ataingia mbinguni ukitaka kujua hilo kufa kwa hiyo dini ndipo utakapo juwa

    • @emanuelkyomo3772
      @emanuelkyomo3772 Год назад

      @@horemow9832 Basi leta aya iliyosema Wakristo wataingia Mbinguni aya moja tu basi

    • @horemow9832
      @horemow9832 Год назад

      @@emanuelkyomo3772 John 14:6

  • @salimalmahrizi395
    @salimalmahrizi395 Год назад

    Huyo ni NDACHA Muislamu .Mungu mmoja tu hana mwanzo wala mwisho .

  • @samsiakassakangeta1780
    @samsiakassakangeta1780 Год назад +3

    SIJAONA AYA HATA MOJA MUNGU AKISEMA YESU ALITOKA NDANI MWAKE!

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Год назад

      Na huwezi kuiona milele kozi majini yameziba ufahamu wako

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 Год назад

      @@madetetv6576 Tatizo lilianzia tu pale Mohamad alipomsilimisha shetani, so hamtaelewa kamwe.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      @@madetetv6576 majini si yameumbwa na yesu. Kwa nini yesu asiyatulize kupoteza watu

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 Год назад +1

      Ndugu yangu
      Assalaam alaykum
      Kumbe upo huku pia
      Maashaallah.

    • @samsiakassakangeta1780
      @samsiakassakangeta1780 Год назад +1

      Nipo huku pia.

  • @zainaal-nabhani9034
    @zainaal-nabhani9034 Год назад +2

    Mashallah sheh ramazan mungu akubariki sana

  • @mwanakombokalamu7009
    @mwanakombokalamu7009 Год назад +4

    Allah amuongoze maana bado haeleweki au pengine alilipwa mara anakubali kisha anapinga tena kwetu dua zetu inshAllah aone haki

  • @virusimbayajunior
    @virusimbayajunior Год назад +1

    I love this guy,, wisdom tupuuu

  • @samsiakassakangeta1780
    @samsiakassakangeta1780 Год назад +3

    Ndacha tuambie hapo Methali 8:1-....YESU ALIZALIWA JE?

  • @piusmwinzi178
    @piusmwinzi178 Год назад

    Ndacha mwalimu wao wa kushusha na kumaliza wivu shikilia hapo mtumishi wa Mungu 🙏

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 Год назад +3

    Asalam alykum uwislam nuru 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Год назад +2

    ALLAH akuongoze Ndacha siku moja uje ujutie maneno yako ya kuukataa uislam.

    • @jacksonkilonzo1439
      @jacksonkilonzo1439 Год назад +1

      MUNGU NDIO AWAONEKANIE NYINYI MTOKE GIZANI MJUE KUNA MUNGU MMOJA KUNA ROHO MTAKATIFU NA KUNA MWANAWE AMBAYE NI YESU KRISTO BILA HIVYO MTAPOTEA NA MAFUNDISHO YENU MNAYOKATAA YESU NI MWANA WA MUNGU

    • @emanuelkyomo3772
      @emanuelkyomo3772 Год назад +1

      @@jacksonkilonzo1439 Ungekuwa Muislam ingekuwa ni Kheri kwako kama unajua

    • @jacksonkilonzo1439
      @jacksonkilonzo1439 Год назад

      @@emanuelkyomo3772 HERI ipi hapo mnambiwa uislamu mtupu hautoshi kuwa waislamu mpaka mjifunze kutoka kwetu sisi wakiristo hujawai soma hapo mahali kwa quran yenu wewe🤣🤣🤣🤣

    • @emanuelkyomo3772
      @emanuelkyomo3772 Год назад

      @@jacksonkilonzo1439 acha uongo wewe unasoma Qur'an ipi shida nikianza kukupa aya za Qur'an ujue nyie imewachukuliaje itakupa dhiki koh ngoja nikuache tu uendelee kutokujua.,

    • @jacksonkilonzo1439
      @jacksonkilonzo1439 Год назад +1

      @@emanuelkyomo3772 USIONE tukiwa hivi tumesoma vitabu vyenu vyote hamuwezi danganya watu tena labda wale wasio soma uislamu ni dini iliyo na mapungufu mengi ndio maana munambiwa mkiwa na jambo lolote mtulize sisi watu wa vitabu yan wakiristo na wayahudi , kumanisha Walioandika hiyo quran walijua haiwezi jisimamia yenyewe

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Год назад +7

    Poor him 😢 anatapatapa kwa tamaa za kidunia. Allah amuongoze Ndacha asimame kwenye haki.

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 Год назад +1

      Kabisaa

    • @countercheck887
      @countercheck887 Год назад

      🤣🤣🤣🤣

    • @countercheck887
      @countercheck887 Год назад

      Nyinyi ndo mliopotea. Achaneni na Dini za majini

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 Год назад

      @@countercheck887 tutokee hapa . Nenda kamuulize Mchungaji wako ivi ! Wapi
      Andiko ukristo ni Dini ? Nani kawaambia muwe wakristo? Je kwanini Yesu hakuwai kufanya ibada ktk kanisa? Je wapi andiko wakristo mtaingia paradise? Iweje mnaimani tofauti na wote ni wakristo? Kwanini hamtahiriwi na Yesu alitahiriwa? Kwanini mnakwenda kanisani uchi ? Mchungaji wako akikupa majibu njoo ukoment hapa .

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 Год назад

      @@countercheck887 Nenda muulize Mchungaji wako ivi !!
      Kwanini kiti cha enzi cha shetani kipo kanisani? Kwanini mnakula nguruwe na Mwenyezi Mungu amesema msile nguruwe? Kwanini mnaabudu siku tofauti na wote ni wakristo? Kwanini Biblia zipo tofauti? Kwanini mnakunywa pombe kanisani ( DIVAI)?

  • @T.O.G.W.M
    @T.O.G.W.M Год назад

    Francis ndacha He s very Wise man ONLY Because He has WISDOM OF JESUS CHRIST

  • @samsiakassakangeta1780
    @samsiakassakangeta1780 Год назад +7

    Kisha utaendelea kudai mdahalo nami?
    Muonee huyo Ramadhani Kaguo anayekupa maziwa hakupi chakula kigumu!
    Waebrania 5:12.,13.,14.
    12. Kwa maana, iwapasapo kuwa waalimu, (maana wakati mwingi umepita), mnahitaji kufundishwa na mtu mafundisho ya kwanza ya maneno ya Mungu; nanyi mmekuwa mnahitaji maziwa wala si chakula kigumu. 13. Kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni mtoto mchanga. 14. Lakini chakula kigumu ni cha watu wazima, ambao akili zao, kwa kutumiwa, zimezoezwa kupambanua mema na mabaya.

  • @saidchombo5952
    @saidchombo5952 Год назад

    Nafurahi sana kuona watu wakifundishana na kufurahi pamoja, InshaAllah mchungaji ipo siku ataujua ukweli.

  • @mwaserarashid5451
    @mwaserarashid5451 Год назад +6

    Inakuaje yesu alikuwepo mwanzo alafu aje azaliwe

    • @mamawamoya3344
      @mamawamoya3344 Год назад +2

      Balaa

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 Год назад

      Ulitaka aje Kwa njia hapa Dunian

    • @chelseafcinafrica4313
      @chelseafcinafrica4313 Год назад

      @@zaburi2386 melkesedeke alikujia njia gani hapa duniani?

    • @dicksonkoech9528
      @dicksonkoech9528 Год назад

      Inakuwaje mtume Mohammed karogwa n nimtume wa mungu?

    • @davidkomba616
      @davidkomba616 Год назад

      Kwa Mungu hakuna jambo linashidikana acha kuuliza swali ilo mbele za Mungu

  • @aminamahamud9333
    @aminamahamud9333 Год назад

    MashaAllah MashaAllah
    Allah akuzidishie ustadh Ramadhan

  • @samsiakassakangeta1780
    @samsiakassakangeta1780 Год назад +3

    Mneno matupu tu ya Ndacha na Paulo!

  • @FauziahNambaka-bn2ln
    @FauziahNambaka-bn2ln 7 месяцев назад

    Huyu ndacha anafaa kuambiwa kabla mungu atamke hilo neno yesu hakuwepo

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 Год назад +3

    Huyu ndacha anajua ukweli tumwombee Allah awe muislamu.

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 Год назад

      Kuwa muislam ni hasara kubwa

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 Год назад

      Ukweli ni kwamba wewe na Mohamad wote mnasubiri Yesu siku ya kiama aje kuwahukumu kwa dhambi zenu.

    • @bacteria5184
      @bacteria5184 Год назад +1

      @@mobutu3884 kazi ya kuhukumu ni ya mwenyezi mungu sio ya nabii yeyote.

    • @samuelmwauragichuhi6568
      @samuelmwauragichuhi6568 Год назад

      majini walislim wakawa waislam...sijaona mahali majini walislim wakawa wakristo

    • @bacteria5184
      @bacteria5184 Год назад

      @@samuelmwauragichuhi6568 mungu aliumba watu na majini,wapo watu wazuri na wabaya na majini hali kadhalika.

  • @KevinBulime-ed4ik
    @KevinBulime-ed4ik Год назад

    Nacha upo vizuri wafundishe wote wasiomjua mwana wa mungu

  • @stoispapi2380
    @stoispapi2380 Год назад +3

    Jesus is God according to Ndacha..
    When you come to the Scriptures it's different from what he is saying.
    God is not a human.
    Trinitarians don't agree with him at all .. they are his biggest fans when he talks to muslims.

  • @FatmaDoha-k2k
    @FatmaDoha-k2k 10 месяцев назад

    Masha Allah tabaraka Allah Allah jazakha aAllahu kairani

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 Год назад +3

    Hahhaaaa 🤣🤣 ndacha eti.....wasikate nusunusu

  • @remirezaqim
    @remirezaqim Год назад +1

    NAWAPONGEZA SANA KWA KUHOJIANA KWANJIA NZURI KWA KUELEWASHA KUTUMIA MAANDIKO VYEMA ALLAH ATUONGOZE SOTE TUIJUE HAKI NA KUIFATA

  • @nooor1120
    @nooor1120 Год назад +4

    Mr Ndacha bado hajasilimu?Allah akujalie usilimu kwani uislam ndio dini ya haki.

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Год назад

      Yani aache neema ya Yesu afate majini ya Muhamadi haiwezekani kamwe

    • @nooor1120
      @nooor1120 Год назад +1

      @@madetetv6576 mbona majini yapo kanisani kila siku munakemea majini huko wala hayeshi yanazidi kuzaliwa huko kanisani.
      MUHAMMAD majini ya kazi gani, hebu soma usilimu na wewe wacha ushabiki.

    • @zaburi2386
      @zaburi2386 Год назад

      @@nooor1120 Majin ni maislam Kwa mujibu wa Quran 72:14

    • @nooor1120
      @nooor1120 Год назад

      @@zaburi2386 ikiwa jini muislam ndio kaslimu huyo

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад +1

      @@madetetv6576 majini ni ya muhammad au ya yesu aliye yaumba?. Muhammad hajaumba kitu. Aliyeumba ndiyo mwenye vyake

  • @T.O.G.W.M
    @T.O.G.W.M Год назад

    Quran sio kitambu Cha mwenyenzi Mungu...Ramathan emotions 😅😅😅twaziona husoni mwako kubali hufuzwe na Francis ndacha 😂😂😂😂haumuwenzi Ndanca ... Francis ndacha He is very wise

  • @samsiakassakangeta1780
    @samsiakassakangeta1780 Год назад +14

    KURITHI ASILI HAKUMFANYI KIUMBE AWE MUNGU! SOTE TUMERITHI ASILI YA MUNGU!
    { وَإِن مِّن شَيۡءٍ إِلَّا عِندَنَا خَزَآئِنُهُۥ وَمَا نُنَزِّلُهُۥٓ إِلَّا بِقَدَرٖ مَّعۡلُومٖ }
    [Surah Al-Ḥijr: 21]
    Ali Muhsin Al-Barwani:
    Na hakuna chochote ila asili yake inatokana na Sisi; wala hatukiteremshi ila kwa kipimo maalumu.
    JE, HATA MBUZI AITWE MUNGU MWANA MAANA NAYE NI ASILI YA MUNGU?
    NDACHA👉🎤

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 Год назад

      Huyu ndacha anajua anapinda uliki anajua kila kitu kwamba uislamu ndio dini ila amepotosha watu atakwenda motoni pamoja nao na kuwahonga kuwanunua watu na kuwadanganya na vitu va kifahari Laanatullah

    • @kinawaka6858
      @kinawaka6858 Год назад +1

      Ukiata kuelewa biblia uliza waalimu wanao ijua biblia vizuri ukisoma tuu mwenyewe kama gazeti kwa nia ya kutaka kuikosoa hutaielewa

    • @samsiakassakangeta1780
      @samsiakassakangeta1780 Год назад +2

      Hakuna mwalimu wa Biblia awezaye kukuelewesha Biblia! Maandiko kuyaelewa hakuombi Mwalimu,bali kwa hitaji Akili! Waweza kuwa na akili zaidi hata ya huyo Mwalimu naye akajikuta anasoma kwako!
      Achana na dhana hiyo potovu kuwa kila kitu ushikiliwe ufamu na walimu!

    • @samsiakassakangeta1780
      @samsiakassakangeta1780 Год назад +1

      HIVI HAUJUI KUWA HAO WALIMU WENGI WAO NDIO WAPOTOSHAJI WA KONDOO?
      FIKIRIA AYA HIZI ZA BIBLIA:
      Mathayo 15:15.,16.,17.
      15. Basi Petro akajibu, akamwambia, Tueleze mfano huo. 16. Yesu akasema, Hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? 17. Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?
      TAZAMA PIA:
      Yeremia 50:6.,7.
      6. Watu wangu wamekuwa kondoo waliopotea, wachungaji wao wamewapoteza; wamewapotosha milimani; wamekwenda toka mlima hata kilima, wamesahau mahali pao pa kupumzika. 7. Watu wote waliowaona wamewala; na adui zao walisema, Sisi hatuna hatia, kwa kuwa hao wametenda dhambi juu ya BWANA, aliye kao la haki, yaani, BWANA, tumaini la baba zao.
      Umeona!

    • @kinawaka6858
      @kinawaka6858 Год назад

      @@samsiakassakangeta1780 Kama kuwa na akili ndio kujua na kufahamu mambo basi waislamu wenye akili wangetambua na kuacha ibaba ya sanamu ya kuabudu sanamu, imagine dunia nzima imedanganywa heti kuna Mungu anaitwa Allah na kumbe ni ibada ya sanamu tuu na wenyewe hawajui maskini

  • @IbrahimAli-vi9ep
    @IbrahimAli-vi9ep Год назад +2

    Ndacha anakuja pole pole katika dini ya haki

  • @SOLARTALKTV
    @SOLARTALKTV Год назад +3

    From the look of things, Bro Ramadhan is asking very pretty questions.
    His statements beats clearly beats the logic.. 🤣
    LAW vs FAITH

  • @aminamachudemachude2992
    @aminamachudemachude2992 10 месяцев назад +1

    Ndacha é faraó vai admitir último dia😂😂😢.............
    Sheikh Ramadhan Mashallah 🙏🙏🙏🙏

  • @vintolinoguta3933
    @vintolinoguta3933 Год назад

    Hongera Ndacha kwa mafunzo Bora sana , naomba Mungu aniwezeshe kufikia kiwango hicho aliokupa

  • @petergoyandi5699
    @petergoyandi5699 8 месяцев назад

    God bless ndacha anafunua watu macho