RAMADHAN KURIA USO KWA USO NA SAID MWAIPOPO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 164

  • @fatumakambi960
    @fatumakambi960 Год назад +2

    MASHALLAH SHEHK Ramadhan MWENYEZI Mungu akuepushe na shari zote zadunia

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Год назад +29

    Alhamdulilah nimefurahi saaana maana nawapenda wote wawili siku ile Shekhe Mwaipopo alivyo teleza nilijisikia vibaya sana. Namuomba Allah aendelee kutuongoza Waislamu wote tupendane na tuwe kitu kimoja In shaa Allah.

    • @bentybenty2343
      @bentybenty2343 Год назад +2

      Allahumah Amiin 🤲

    • @rizikiali328
      @rizikiali328 Год назад +1

      Alhamdulillah uislamu ni neema mungu awaongoze Allah atupe subra mashallah sheikh Ramadhan Allah akuhifadhi sheikh wetu

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 Год назад

      @@rizikiali328 Amiin Rabbil Alaamin

  • @AliJumanassor
    @AliJumanassor Год назад +12

    Nakupenda Sana sheikh ramadhani
    Karibu zanzibar
    Namuomba Allah anikutanishe unipe mkono ,

  • @Fumokale
    @Fumokale Год назад +1

    Mashaikh wetu Allah awajaalie kila la khairi na umri na afya na subra na IKHLAS...amiin

  • @naimamuktar9028
    @naimamuktar9028 Год назад +10

    MashaAllah sheikh mwaipopo na Ramadan kuria nimefurahi sanaa kuwaona pamoja

  • @TijaraAbdallah
    @TijaraAbdallah Год назад +18

    Poleni sana kwa yote mazito mlio pitia mna malipo yenu kwa Allah, Allah awanyooshee kila lenye kheri, napia awaongezee nguvu zaidi ya kuitangaza dini ya hakki inshaAllah.

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Год назад +14

    Alhamdulillah sheikh mwaipopo ile siku ulipomponda sheikh Ramadan iliniuma sana lakini masha Allah mungu amewawezesha leo mko pamoja

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 Год назад

      Hata mie nilijalibu kumtizame shehe Ramadhani. Haikuniangia hakilini ilaleo wapopamoja Allhamdulillah

    • @samxx411
      @samxx411 Год назад

      Sheikh haifai kukumbusha mabaya

  • @fatumaali2493
    @fatumaali2493 Год назад +3

    We thank Allah for u guys for preaching Islam to the world❤❤

  • @kihimbamushyaibrahim7284
    @kihimbamushyaibrahim7284 Год назад +7

    Alhamdu lillahi masheikhe wetu mumeongezea kikubwa kwenye Dini hii ya mungu mungu awalipe khair duniani na akhera awape subira mungu amurehemu mamako namama yetu sote tunafurahi kuwaona

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Год назад +6

    Mash Allah hayo mazingira ni mazuri na nyumba nzuri.

  • @TijaraAbdallah
    @TijaraAbdallah Год назад +5

    Al hamdulillah Allah awabarik sana.

  • @allyidowa5965
    @allyidowa5965 Год назад +5

    Mashalaa. Mashekhe wetu Allah awaongoze katika utangaza Dini ya Allah '. Allah Awape Afya njema Na Umri mrefu Amiin Nawapenda Saanaa !

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Год назад +6

    Masha Allah hata mimi nilikuwa natamani mkutane hivyo kweli imetimia leo nimeona Alhamdulillah

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 Год назад +16

    Hizo ndio tabia bora za kiislam kufahamishana namaste kusameheana.sio kuendeleaza bifuu tukawapa makafiri mwanya wakupenya .

  • @saidalhamdey
    @saidalhamdey Год назад +2

    MASHALLAH SHEIKH RAMADHAN TUNAKUPENDA SANA WATCHING FROM OMAN

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Год назад +7

    Mmefanya jambo la maana xna kwakumaliza tafauti zenu Allah awabariki na muwe mfano bora kwa jamii zote

  • @MOHDNASSOR-zv5cx
    @MOHDNASSOR-zv5cx Год назад +5

    MASHAA ALLAH, BAARAQA ALLAH FIIYKUM ❤❤❤

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 Год назад +5

    Mashaallah Tabaraka Rahman Allah awajaalie kheri kwa kutetea dini ya haki

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Год назад +4

    Mitume wote wanatoka mbeya, na kuna mmoja katoka mkuranga. Mazingeee😂😂😂😂😂

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 Год назад +9

    'TUSHIKAMANENI katika kamba MOJA YA MWENYEZI MUNGU NA WALA TUSIFARAKANE'

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA Год назад +5

    Mashallah Mashallah 🤲 TABARAKALLAH ❤️❤️🤲

  • @abcfisheries2865
    @abcfisheries2865 Год назад +1

    Pahali pazuri sana hapo.
    TabarakAllah Ma Sheikhe wetu.

  • @salehhimid1119
    @salehhimid1119 Год назад +6

    May Allah keep you guys firm .Remember the trial and tribulations of prophets of Allah because they preached La ilaha illa Allah. keep on preaching the word of Allah and he will take care of you. Nuff Love & respect from the UK 🇬🇧.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Год назад

    Maashaallah shehe mwaipopo umesemakweri. Sgehe Ramadhani jimfano Duniani. Allah amjaaliepepo nasipia amueke miaka mingi yenyeheri nae. Nasipia Allah atujaalie watotowetu wafate nyayozake shehewetu 🤲

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 Год назад +9

    ALHAMDULILLAH kama mmepatana nimefurahi sana maana siku ile shekhe Mwaipopo alipopata Mtihani Kenya akamtaja Shekh Kuriya Mwili wangu ulipata Ganzi

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 Год назад +4

      @aishaomarry mimi pia nilijisikia vibaya sanaa zaidi ya sana. Alhamdulilah haya yamepita hakuna Binadamu alie kamilika

    • @aishaomarry6996
      @aishaomarry6996 Год назад +1

      @@nakundwamkubwe7823 Kwakweli tukijiona tumekoseana ni vizuri kuombana msamaha

  • @Summaya-o8h
    @Summaya-o8h Год назад +9

    Mashallah may Allah bless you all ❤❤❤

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Год назад +2

    Maa shaa Allah. Nampenda sana kwa ajili ya Allah Sheikh Ramadhan ni mtaratibu na Ana hekma sana, Allah amlipe malipo mema akhera na duniani, amiin

  • @missfuyuza5573
    @missfuyuza5573 Год назад +5

    My late Dad mzee Dawood
    may Allah forgive him and grant him jannah .I never hoped he will come to Islam after we tried for many years with him...Allahuma barik sheikh Ramadan was able to convince him and Alhamdullilah by the will of Allah. My both parents entered Islam. And my Dad passed away as a Muslim may Allah join us again in jannatul jannatul firdaus..may Allah protect you sheikh Ramadan and your family may Allah guide your parents and all those who are praying for their families.

  • @ashrafissa778
    @ashrafissa778 Год назад +5

    Mashallah mashallah Allah karem

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Год назад +5

    Hongera xna sherk Rama jaza yako iko kwa Allah

  • @Kitwitwi
    @Kitwitwi Год назад

    Alhamdulillah kwa Neema ya Uislamu ! Twamuomba Allah atupe uongofu na tupate kisomo katika mtihani waliopitia ndugu hawa wawili katika maisha yao.
    Ni furaha yangu kubwa kwa kupatana ndugu Ramadhan na Ndugu Saudi Mwaipopo na kusafiana niya - huu ndio Uislamu wa hakika na hawa wa we ni “kudwa” kwetu sote na wengineo wanao pitia mtihani huu! Kama alivyo sema Nabii Yusuf alipo patana na ndugu zake akanasibisha uteti wao kwa shetani aloingia baina yake na ndugu zake! (Yusuf 13:100). Mwenyezimngu atupe busara ya kuelewa na kuepukana na Ibilisi katika ugomvi baina ya ndugu!

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 Год назад +8

    Mashallah may Allah bless you all

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 Год назад +6

    Mwaipopo hueleweki wewe una rangi mbili mara tu unabadilika nakukumbusha tu uwe na tahazari si kwa ubaya. Ramadhan mtu mwema sana masha Allah.

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 Год назад

      Na ni mpole sana tena hajui kuongea .ALLAH awakutanishe peponi

    • @Abuyusuf134
      @Abuyusuf134 Год назад

      Huyu mwaipopo haeleweki. Kitambo alikua akimzungumza vibaya kuhusu dawah ya ramadhan akifanyia barabarani. Simuelewi😢😢

    • @Kitwitwi
      @Kitwitwi Год назад

      @@Abuyusuf134. Nina ADAMU huteleza ! Muhimu ni kusameheana!

  • @SalimOmary-w8j
    @SalimOmary-w8j Год назад +3

    Masha Allah love you walim wetu

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 Год назад +1

    Maashaallah baarakallah mungu awape nguvu na imani na msimamo katika dini ilio ya hakki na Allah atupe mwisho mwema

  • @medinahusein
    @medinahusein Год назад +1

    Masha Allah mwenyezi mungu amuzidishie na amubariki Ramadhan na straighpath tv “Ameen”

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo Год назад +1

    Masheikh wetu njooni zanzibar,,,, Wallahi nakupendeni sana kwa ajili ya Allah,,,,Masha Allah Allahu-akbar,,,,,, sheikh Mwaipopo na sheikh Ramadhani njooni zanzibar,,,,,, from Jambian zanzibar,,,,,,,,

    • @seifissa9705
      @seifissa9705 Год назад

      Wallah mpaka machozi Mwenyezi mungu awape nguvu na imani iliyothabiti inshaallah

  • @isarichard
    @isarichard Год назад +1

    MaashaAllah tabarakallah. ❤🇿🇲 . Mimi nawapenda sana nyie masheikh wa dawah. Kitu kimoja nita minasiha musijiunge nawatu wa maulid/miladu nabi.

  • @ashrafissa778
    @ashrafissa778 Год назад +5

    Allah awalipe kher nyigi inshallah

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py Год назад

    Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.

  • @zainaal-nabhani9034
    @zainaal-nabhani9034 Год назад

    Mashallah mungu awajaliye kila laheri mashehewangu

  • @shanishaban
    @shanishaban Год назад +4

    Waaleykum salam
    Japo umenisusa kwasasa karibu nyumbani ramadhani kuria

  • @AbuurabiuJuma-wn5il
    @AbuurabiuJuma-wn5il Год назад +1

    Ramadan kaguo imekuja tz karibu sana nawapenda sana ww na mwaipopo uislam ndo unataka hivo kupatana Allah awalinde

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 Год назад

    Mashaallh Ustadhi Ramadan karibu Tz tunakupenda kwajili ya Allah ❤❤

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Год назад +1

    mashallah
    Mm namfaham shekh Ramadhan shekh mwaipopo
    From Turkiye hapa

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي Год назад

    MashaAllah Alhamdllah Rabbllaamin nimefurahi kuwaona mkiwa pamoja mashekh wote mimi ni mtanzania nampenda sana Ramadhan Kurya namfuatilia sana najifunza mengi kutoka kwako shekh Ramadhan leo nabishana na asie muislam hii yote kwa sababu ya mafundisho yako na daftari kwa ajili ya kuandika Mwenyeez Mungu akusimamie sana

  • @marvelousofzanzibar9556
    @marvelousofzanzibar9556 Год назад +2

    MashaAllah Allah awakutanishe kwa mara nyengine tukiwa peponi ila kama na mimi ni miongoni mwa watazamaji wenu naomba muje Zanzibar sheikh mwaipopo ulisema utakuja Zanzibar kuonana na yule mtu alie ukataa uislamu.

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 Год назад

    Sheikh Ramadhani Allah akufanyie wepesi kwa kila unalofanyq

  • @abubakarhajjabubakarhajj1252
    @abubakarhajjabubakarhajj1252 Год назад +2

    Alhamdulillah Mwenyeezi Mungu atawalipa Jannatul firdaus al aala

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Год назад +3

    Kumbe mliwahi kutofautiana? Sheikh Mwaipopo inaoneka unamttzo mana Sheikh Ramadhan mpole sana. Allah akuongoze ww na sisi sote, amiin

  • @HafsaHassanHusen
    @HafsaHassanHusen Год назад +4

    Asalamalyhum guys. Surely I am proud of you guys. My almighty Allah grants you guys jannatul fardoos.

  • @NassirHassan-w5r
    @NassirHassan-w5r Год назад

    Ndugu ramadhan na Al akh mwaipopo we love youfor thesakeof ALLAH

  • @khamisoothman5294
    @khamisoothman5294 Год назад

    Mashaa allah mabrouk jazakumullah kheri

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura Год назад

    Asalam alaykum
    Ma Shaa Allah
    Masheikh zetu, Allah awahifadhi

  • @demhaihaludba2833
    @demhaihaludba2833 Год назад +5

    Mashallah nimefurahi kumona nyiyi wawili mukiwa pamoja,na nkuweli wale Wana kula hiyo mihatharati ni waislamu wengi wao hasa wa Somali,

  • @omaryntagala3740
    @omaryntagala3740 Год назад +1

    Mashallah nimependa sana kuwaona pamoja

  • @fatmasaiid4889
    @fatmasaiid4889 Год назад

    Asalam alaikum warhatullah wabarakatuh masheik wetu twawapenda kwa ajili Allaah , Allaah awajalie kila la kheir na awajalie umri mrefu mzid kuelimisha umma in shaa Allaah

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv Год назад +4

    MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚

  • @suleimanmohammed630
    @suleimanmohammed630 Год назад +4

    Masha Allah

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Год назад +4

    Walahy watu wa kusilim wengi wao wana iman sana.Ramadhan utaacha faida itakayokufuata hadi kaburini.Uliona upendelee zaidi wa kusilim kwa vile wa wewe ulipitia maisha hayo.ALLAH akupe umri mrefu uzidi kufanya makubwa zaidi ya haya.

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw Год назад +1

    Mashaallah Mashaallah Mashelkh Allah hawalipe pepo ya filidas inshallah

  • @BashirAli-kd2se
    @BashirAli-kd2se Год назад +7

    MashaAllah

  • @asiaoman2979
    @asiaoman2979 Год назад +6

    Mashaallah karb njombe utufahamishe din ya hak

  • @eghteenauto3737
    @eghteenauto3737 Год назад

    Mashaallah jazakalallah shekh

  • @kassimkibwe4614
    @kassimkibwe4614 Год назад

    Poleni mashekhe kwa misukosuko mliopitia, Allah awape kheri hapa duniani na kesho akhera, masha'allah.

  • @asl6295
    @asl6295 Год назад

    Inshaallwah Mungu awajaalie kheri Mashekh wetu

  • @iddkaoneka7485
    @iddkaoneka7485 Год назад +7

    Mumefanya jambo zuri sana kumaliza tofauti zenu. Fanyeni Daa'wah sasa. Ukristo ulivyo Mbeya utadhani Vatican😂

  • @isseamin2017
    @isseamin2017 Год назад

    masha Allah mungu awabariki

  • @mohamedswaleh800
    @mohamedswaleh800 Год назад

    mashallah Allah awalipe wema ingekuwa vizuri hata huko tanzania kufunguliwe jengo kama lile ambalo lipo kenya ili kusomesha watu dini na kuwapokea katika uislamu

  • @saphinalutaha9077
    @saphinalutaha9077 Год назад +1

    Nawapenda ❤❤❤❤

  • @JokhaSalehv
    @JokhaSalehv Год назад

    Mashaallah. Ramadhan Allah akuongeze hivyohivyo mpaka mwusho wa uhai wako. nakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 Год назад

    Mashallah jazakallah kheir

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni Год назад +3

    Alhamdulillah km mmepatana,tunakupendeni sana kwaajili ya Allah,shekh Ramadhan sichoki kukukaribisha Zanzibar😂

  • @azizashiundu5778
    @azizashiundu5778 Год назад +5

    Alhamduililaahi ❤ Alllah Akbar

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo Год назад +2

    Masha Allah,,,,,,, Allahu-akbar

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 Год назад

    Allah akulinde kakangu❤❤

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 Год назад +2

    Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 Год назад

    Maa shaa Allah ❤❤😊

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 Год назад +1

    Nawapenda sn ma Shekh wng kwa ajil ya Allah

  • @madawamchuwa8253
    @madawamchuwa8253 Год назад +1

    Allah awalipe kheri zenu insha'Allah 🤲

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 Год назад +1

    Mashallah .asheikh wetu

    • @iddyjuma8036
      @iddyjuma8036 Год назад

      Dodoma tunawahitaji sana jamaniii

  • @Sal.0
    @Sal.0 Год назад +1

    MashaAllah. Ustad, hapo mulipo kaa, ni wapi? Ni Hoteli?

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 Год назад +1

    Masha Allah Ustaz Kuria

  • @bausifarouk1798
    @bausifarouk1798 Год назад

    Nimefurahi kuona mwaipopo na Ramadan wako pamoja.mashallah

  • @Allymbaruku991-lj1om
    @Allymbaruku991-lj1om Год назад

    Ma Sha ALLAH

  • @farheenmasoudchannel2495
    @farheenmasoudchannel2495 Год назад

    ALHAMDULILLAH MA SHA ALLAH

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 Год назад +5

    Allah atakupa unacho taka kwa imani yako

  • @rahmamukuria9323
    @rahmamukuria9323 Год назад

    Asalam alaykum, Allah azindize Baraka na kila la heri kwako shk Ramadhan kuria. mimi ni wakusilimu kwetu Familia waliniwekea chuki, siendi kwetu nao hawaezi kunitebelea,

  • @Aminedanisman76799
    @Aminedanisman76799 Год назад +2

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah

  • @aminaoman8418
    @aminaoman8418 Год назад +1

    mashallah❤❤❤❤

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 Год назад +4

    SUBHANALLAH 😢poleni xana kwa mithian muliopitia pamoja na wote waliopitia kama nyinyi .ALLAH awalipe pepo ya Fridaus inshaAllah 🤲🤲

  • @dogandmachete
    @dogandmachete Год назад

    ikiwezekana Ramadhan I'll contact you soon.....masaibu tu kidogo from moving to moving.. kazi unaoifanya Mola aendelee kukuzidishia mashAlllah

  • @munamuna4621
    @munamuna4621 Год назад

    Mashaa Allah 😢😢😢

  • @ramajuma4063
    @ramajuma4063 Год назад +2

    Uislam ukiwa hivi tutaingia pepeni sote juu Ile issue ya mwaipopo ya yule madam alietaka uwa alafu akamshika mwaipopo kweli Leo nawaona pamoja mumenitia moyo Sana mimi lakini kila nikona dawaa mtaa Imani yangu yazidi zaidi insha Allah mungu atueke mahali pema peponi

  • @HolyDebate
    @HolyDebate Год назад

    Kwa kweli hawa mashehe wetu wanapitia shida tu wa support Kwa kile chochote tunacho Kwa sababu hawa mashehe wetu hupigwa na mayai kwenye mkundu wao . Mkundu wao umepitia mengi support!!!

  • @hassanadam3007
    @hassanadam3007 Год назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤mashaa ALLAH

  • @mohamedhalake5913
    @mohamedhalake5913 Год назад +1

    Ndungu Yangu Allah akulipe kwa wema uliofanya

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw Год назад +2

    Kwakweri nimejifuza kuwa kusamei janbo zuri sana

  • @ahmadabdallah6641
    @ahmadabdallah6641 Год назад

    Huu ndio Uislamu. Allah Awabariki na kuwahifadhi. Hakuna unafiki. Peupe parwanja

  • @YunusMasaza
    @YunusMasaza Год назад +5

    Mashallah lkni kakayetu mwoipopo punguza jaziba ona sasa niabu kwako pia ss kukuamini nimtihan japo tumekusamehe twakuombea pia

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Год назад

      Kweli nimeacha kumfatilia naona km simuamini amini tangu siku nilomuona anapandisha watu mashaitwani na kusema vibaya wanaosoma Qur-an na kutukuzq miziz. Wkt Qur-an hata km hufahamu maana ni twiba kubwa ya kila maradhi muhimu imani. Yy akitumia neno kupiga kelele km sijasahau neno km ilo alolitumia.