MCHUNGAJI AMVAA BILA WOGA MCH ALIESILIMU NA KUWA MUISLAMU UMEPOTEA HUKUWA MCHUNGAJI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 458

  • @SunguraShabani
    @SunguraShabani 19 дней назад +2

    HAKUNA WOKOVU KATIKA UISLAM
    SIO MIMI NIMESEMA NI MTUME WAKO MOHAMMED
    NAKUPENDA SANA YESU WANGU KWAKUNIPA WOKOVU BURE ❤❤❤

  • @EstajanethmsafiriJaneth
    @EstajanethmsafiriJaneth 23 дня назад +3

    Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu kumjua Yesu ndugu ni Neema tena ni Bahati tumepata Neema ya kujua Yesu kristo Bwana na mokonzi wetu amani ya Bwana iwe pamoja nawe Amen

  • @yoramabubakar8012
    @yoramabubakar8012 25 дней назад +3

    Allah akuhifadhi mchungaji Abubakar hawa wasikutishe utaishi vizuri haba duniani kwa uezo wa mwenyezi mungu na akhera pia utaingia peponi kwa uezo wa mwenyezi mungu. Mwenyezi mungu humuongoa atakae tatika waja wake . Hakuna dini ya kweli mbele ya Mungu isipokua uislaam 🎉

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf 28 дней назад +13

    Dominick ameifata njia ya sawa sana na Allah amzidishie na amdumishe katika uislamu, hakika hatojuta hapa duniani na kesho akhera

    • @shadrackwilfred2606
      @shadrackwilfred2606 28 дней назад +2

      umejuaje kama njia yake ni sawasawa?

    • @annaurassa7082
      @annaurassa7082 25 дней назад +3

      Mbona wakati was mapepo mnakimbilia ukristo simngetoa hizo pepo

    • @habibulalikila7444
      @habibulalikila7444 25 дней назад

      Wewe kama unayo njoo nikutoe mimi nimewahi kumtegemea Allah na kufanikiwa kuwatoa watu kadhaa mapepo.. mchukue mtu uje naye kama wewe huna then inshaa-Allah unaona power ya UISLAM kunako mapepo na nitakupa siri zote za elimu ya utoaji mapepo na tofauti iliyopo baina ya kwenye UKRISTO na kwenye UISLAM kuhusiana na mapepo.. msiropokage tuu mambo yanataka Elimu Ndugu sio unaongelea vinavyolishwa kwenye Macho to njoo ule chakula cha roho, ni Mambo ya KIROHO HAYO.. MTABAKI KUBEBWA MZOBE MZOBE NYIE.. AMKA NDUGU​@@annaurassa7082

    • @WAREENG1
      @WAREENG1 23 дня назад +1

      Huwezi kuiita Njia fulani ya HAKI huku unatumia UONGO kuisimamisha

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 23 дня назад +1

      Kapotea huyo wala usimpe moyo.

  • @PriscaYohana-o9g
    @PriscaYohana-o9g 7 дней назад +1

    Mungu akubariki sana mchungaji Yesu ni wokovu wetu milele asiyeamini amekwisha hukumiwa anahitaji rehema za Mungu huyo aliyepotea na kuuponda ukristo hatumuachi Yesu ata asemaje

  • @0badiaMwasongwe-rt1wr
    @0badiaMwasongwe-rt1wr 29 дней назад +12

    Ubarikiwe kwa mafundisho mazurii yulee mchungaji fekii majini yamechukua ufaham wake

  • @AllySalim-e5g
    @AllySalim-e5g 27 дней назад +4

    Wewe unataka mwenzako aendelee kumkosea mungu wakati ameshaijua njia ya kweli

    • @WAREENG1
      @WAREENG1 23 дня назад

      Muhammad awe roho mtakatifu? Msikilize vizuri huyu Mchungaji kama unapenda kujifunza kweli. Ila kama unataka kubishana ni sawa pia kwani ndio njia utakuwa umechagua

  • @SuzanaBahati-l1h
    @SuzanaBahati-l1h 25 дней назад +2

    Kuna wengine wanasomea uchugaj kama kaz na si wito,so wakikosa kaz iyo wanapaniki na kutafuta njia nyingine ya kutafuta pesa

  • @AnnaSimon-yx9hh
    @AnnaSimon-yx9hh Месяц назад +5

    Mungu amrehemu saana ndugu yetu kavamiwa na mashetani, MUNGU AMPE NEEMA YA KUIREJELEA NJIA YA UZMA, NJE YA YESU NI MAUTINI, YESU MNUSURU MJAA WAKO UMUONDOLEE GIZA LILOMVAA NA UMUOKOE NA SAUTI ZA KIGENI( KISHETANI)

    • @BinSultan-t5g
      @BinSultan-t5g 28 дней назад

      Hahahahahahaha.......

    • @khuzeimaabdul4275
      @khuzeimaabdul4275 28 дней назад

      Yesu mwnywe anataka kunusuriwa atamnusuru nani wewe?usiposoma utakuwa hvo hvo

    • @AnnaSimon-yx9hh
      @AnnaSimon-yx9hh 28 дней назад

      @@khuzeimaabdul4275 hakuna namna kipofu anaweza kuona Wala kiziwi kuskia, isipokuwa neema ya MUNGU pekee iingilie kati, NAMI nakuombea neema ya MUNGU ikushukie kama ilivyomshukia Paulo, Mungu anakupenda saana ndio maana mpaka sasa upo hai ili uweze kumrejelea hakuna namna tunaweza kumuona Mungu isipokuwa KUPITIA Damu ya YESU Kristo pekee, je ni Damu Gani RAFIKI waitumia kukuondolea dhambi zako? Maana hakuna mwanadamu chini ya dunia aliyetoka KATIKA viuno vya adamu atakayehesabiwa HAKI maana WANADAMU WOTE tumetenda dhambi baada ya adamu wa kwanza kutenda dhambi, hvyo KUPITIA KUPITIA Damu ya YESU kristo ndipo mwanadamu huyo aliyekuwa chini ya anguko huhesabiwa HAKI, hii ni neema kubwa mno na ni upendo wa MUNGU mkuu, shauri ni lako kuikubali NEEMA YA MUNGU AU KUIKATAA. umepewa utashi, nakushauri ukubari neema ya MUNGU ,yakumkubali Kristo YESU kuwa Bwana na mwokozi wako. Ubarikiwe ,,

    • @karimuabdala3234
      @karimuabdala3234 27 дней назад

      Akili zenu ni ndogo sana yesu anaumba?

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 27 дней назад

      ​@@karimuabdala3234sasa wewe kaa hukohuko namajini yenu😂😂

  • @WAREENG1
    @WAREENG1 23 дня назад +2

    Ubarikiwe sana Mtu wa Mungu. Ukweli kumuita Roho Mtakatifu Muhammad ni kuongea uongo wa Kiwango cha juu sana

  • @ashahaji6265
    @ashahaji6265 28 дней назад +3

    Umepotea wewe kaka, mungu humiongoa amtskae

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 29 дней назад +6

    Huyo mchungaji kaingiwa na madogoli ya kiislam
    I feel sorry for him 😭😭😭

    • @khuzeimaabdul4275
      @khuzeimaabdul4275 28 дней назад +1

      Mtaumia sana maana ameiona haki nyie kaeni kuimba na kuweka masanamu kuabudu mtu msiyemuona hta picha halisi

    • @johnsonbernald11
      @johnsonbernald11 26 дней назад +1

      Na ndio dini ambayo kila mwanadamu uzaliwa nayo, na baada ya kuzaliwa ndipo wanadamu ukutoa kwenye uzalio wako wa kidini na wanakupeleka kubatizwa,,,,, yaani unaondolewa kwenye dini yako uliyozaliwa nayo na kupelekwa kwa kina filauni

    • @khuzeimaabdul4275
      @khuzeimaabdul4275 26 дней назад

      @@maryfranknamkumba9182 mtaumia sana

  • @OmarySwaibu-l7h
    @OmarySwaibu-l7h 29 дней назад +8

    Ata mkashifu mungu alijua uwepo wa dini yake tukufu kabla ya kuumba dunia, pigen kelele tu amn jipy nyny

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 28 дней назад

      Anafundishwa na sio kukashifiwa

    • @AhmadaHassan-gy5uj
      @AhmadaHassan-gy5uj 27 дней назад +1

      ​@@josephwilliam5813 mambo ya mtume Muhammad kaoa katoto kadogo hiyo ni nini? Sio kashfa hiyo?

    • @femidayahaya9293
      @femidayahaya9293 27 дней назад

      pole sana ndg yangu..

    • @habibulalikila7444
      @habibulalikila7444 25 дней назад

      ​@@AhmadaHassan-gy5ujndo hoja hiyo kwako??😂😂😂
      Ingekuwa hiyo ni hoja ya msingi na yenye kuhitaji kusemewa basi ingesemwa na akina abuu jahal Waliokerekwa na Muhammad asubuhi mchana na usiku.. we hujiulizi tu kwanini hawana hoja hiyo?
      Watu wanakuproject leo ili kuzidi kukupotezea time wakiogopa utapata muda wa kuchimba bible ili kujibu hoja za waislamu Kimaandiko (kitu ambacho hupelekea wengi KUSILIMU) badala yake wanakubebesha mihoja isiyo na msingi wowote wa kimaandiko na unabaki kubwekanayo bila faida!
      SHTUKA NDUGU!
      Hii hoja haijawahi kuudhoofisha UISLAM never!
      Bali inawadumaza wakristo kimataifa tu..
      Tafakari, chukua hatua (pitia kidogo 7:27 mhubiri)😅😅

  • @JoshuaRafael-r2h
    @JoshuaRafael-r2h 24 дня назад +2

    Mungu akubariki

  • @nassibsuddi6908
    @nassibsuddi6908 27 дней назад +1

    Kumuomba Mungu Kwa Kutumia Utukufu wa Mtu Mwingine ni KUKOSA Heshima, na Haitokubalika Kamwe.

  • @AujenMgaya
    @AujenMgaya Месяц назад +5

    Mungu amsaidie aielewe kweli ya Mungu

  • @Mary-ie8vm
    @Mary-ie8vm День назад

    Safi sana mtumishi ubarikiwe Zaid unaongea ukweli waislam wenyewe wamepigwa na butwaa wanamshangaa Roho wa kweli sisi tunamjua maana anakaa ndani yetu. waambie mtumishi

  • @abelyshila834
    @abelyshila834 Месяц назад +3

    Yaan Mungu amsaidie sanaaa amepotoka...

  • @ApolinaryBiyengo
    @ApolinaryBiyengo 28 дней назад +2

    Achana ñae katuondolea mzigo aende salama ss na Yesu wetu, Amina

    • @bishopstephanosaid9205
      @bishopstephanosaid9205  28 дней назад

      Kwakweli

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 26 дней назад

      Hao ndio wanaoleta vurugu za dini na ubaguzi,, hajui tofauti ya mungu na yesu ni mchungaji Gani,, na wengi wao ni wavivu sanaaaa

  • @juvenalymwanalyela202
    @juvenalymwanalyela202 28 дней назад +2

    Amina njaa inamtesa huyu kahaba wa imani

  • @RehemaTitus-y2g
    @RehemaTitus-y2g 27 дней назад +1

    Mungu amsamehe,
    Yesu ndiyo njia ya kweli na uzima wa milele,
    Anaichezea neema ya bure

    • @AhmadaHassan-gy5uj
      @AhmadaHassan-gy5uj 27 дней назад

      Jibuni maswali yake matatu

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 20 дней назад

      Eti huyu utakuta ana degree lakini mjinga yesu ndio nani mpaka akupe uzima wa milelel

  • @FatmaBushiri
    @FatmaBushiri 29 дней назад +6

    Subhanallah, uisilamu hauitaji mashamsham kama usemavyo ndugu msemaji,Mungu kashasema ndani ya Quran mwisho wa dunia watu wataingia kwenye uislamu makundi kwa makundi, kwahiyo mwache mwenzio ashaingia kwenye dini ya haki na wewe subuili uongofu kutoka kwa Allah ( s.w) allah akuongoze ktk njia iliyo sahihi ya uislamu

    • @francisfidelis1703
      @francisfidelis1703 29 дней назад +2

      msikilize mchungaji MAANA YA ROHO MTAKATIFU mudi sio roho wa kweli,, yaan ww bora umsubri tu mumeo nyumbani

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 29 дней назад

      Mungu alisema watu wataingia uislamu kwa sababu alijua kuwa watu watakimbilia miujiza, uchawi, uganga na hirizi kuliko kumfuata Mungu mwenyewe ndiyo maana akasema kimbilio lake litakuwa kwenda uislamu maana ndiko yaliko hayo.

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 28 дней назад

      Mtu aendae gizani HAJUI aendako KASEMA YESU huyo anaesema alikua MCHUNGAJI kasilimu hakuwa sawa kwenye huo uchungaji alikua wa mshahara ktk ukristo wa uongo ndio maana hakuijua kweli na amedhihirika anavotetea dini ya mungu asiejua hata lugha za wanaomuabudu

    • @shadrackwilfred2606
      @shadrackwilfred2606 28 дней назад

      haki ipi uislamu unayo? yaani dada fatma unaposema ni dini ya haki, katika jamii ni haki ipi waliyoyayo waislamu ili namimi niwe mmoja wao?

    • @Khalidmghosi
      @Khalidmghosi 28 дней назад +1

      Huyu n pastor lakin n mtupu kabisa

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 24 дня назад +2

    Hongera sana mtu wa MUNGU

  • @UpendoBarnoth
    @UpendoBarnoth 27 дней назад +1

    Hakik hakik barikiwa san nakubali

  • @MaryLyimo-y9z
    @MaryLyimo-y9z 21 день назад

    Yesu Kristo ndio njia na kweli na uzima

  • @RoseRashidi-p9b
    @RoseRashidi-p9b 27 дней назад +1

    Safi sana mtumishi nikue maua yako umeongea vizuri sana

  • @AhmadaHassan-gy5uj
    @AhmadaHassan-gy5uj 27 дней назад +3

    Ameuliza maswali matatu yajibu ili asiwe muislam sio unaleta porojo tu.

  • @EsterMagesa-k5f
    @EsterMagesa-k5f 22 дня назад +2

    Asant mchugaji mungu aendelee kukutumia watu waujuwe ukweli

    • @NazraMudeibi
      @NazraMudeibi 20 дней назад

      Polen Sana hata huyo yesu mwenyewe atawakataa siku ya kiyama lahu mngekuwa mnajua adhabu wanazopitia wakirsto kaburini laiti mugeingia kwenye uislam Bila

  • @TelesiaMwalongo
    @TelesiaMwalongo 29 дней назад +3

    Kweli alijua kuwadanganya waislamu

    • @khuzeimaabdul4275
      @khuzeimaabdul4275 28 дней назад +1

      Hatudanganyiki kizembe kma nyinyi mlivyodanganywa na picha tu ya yesu ambapo hamna hakika ni yeye 😂

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 28 дней назад +1

    NA BADO NEXT MAPALOKO MAALBINO WAWE NAAMANI 🤩🤩🤩🤩🤩🤩🙏🏾

  • @BishopAdamGige
    @BishopAdamGige 25 дней назад +1

    Huyu hata ukimuangalia tu utajua ni tapeli, hata huko ameenda kutapeli tu, mtamsikia muda sio mrefu, Yesu ni kweli

  • @joseemgongoz
    @joseemgongoz 29 дней назад +1

    Safi sana bishop.Mungu akubariki sana.

  • @godfreyjackson4499
    @godfreyjackson4499 27 дней назад +1

    Fundisho zuri sana mtumishi wa Bwana

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 24 дня назад

    mmmmh hayo si sawa acha awe amepotea mungu wake anajua zaidi yaliyo vifuani mwetu

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 29 дней назад +1

    Ubarikiw sana kwa mafundisho Mazuri baba

  • @hajathhajiselemani3019
    @hajathhajiselemani3019 24 дня назад

    Hongera dominic, wasikutishe hawa , Allah humuongoa amtakaye na humpoteza amtakaye, pambana abubakar hakika umefaulu maisha ya hapa dunian na na kesho akhera

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 29 дней назад +3

    Amina amina mwalimu mungu akulinde na akupe maisha mareu kwa jina la yesu

  • @silvesterkachewa864
    @silvesterkachewa864 28 дней назад +2

    Hamjamuelewa. Yeye alikuwa mchungaji wa ng'ombe na mbuzi kule alikokuwa. Je, kama alikuwa akichunga hao wanyama iweje asijiite mchungaji? Be careful ndugu.

  • @ThomasMsigala-r1i
    @ThomasMsigala-r1i 29 дней назад +1

    Amina mchungaji wa kweli mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake

  • @fortunatusbonifacemagesa4057
    @fortunatusbonifacemagesa4057 28 дней назад +7

    Barikiwa mtu wa Mungu kiufupi huyu siyo Mchungaji ni Mshirika tu hapa kanisani kwetu na Mimi ni Mzee wa kanisa hajawahi kuwa Mchungaji wala kuishi nyumba ya kanisa. Amekuwa na tabia za kutapeli hadi kupelekea kutolewa kwenye uongozi hapa kanisani sasa naona amebadili gia angani na kukimbilia huko.
    Ila mke wake bado tuko naye kanisani Malamba mawili.

    • @jacksonmwafongo1917
      @jacksonmwafongo1917 28 дней назад

      Mutatapatapa sana na kuluputapulu hataki kuabudu mutu ameogopa moto wa mungu yesu ni mutu soma bibilia Yako yohana 8;40 muskengeuze watu moto unawasubiri

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 28 дней назад

      Ndomaana ameamuwa Kubadilika na Kusilimu/Kuwa Muislamu sababu ameona Uislamu ndo Imaan/Dini ya kweli na hata Kama alikuwa Tapeli nk yasompendeza MwenyeziMungu hayo yalikuwa ktk Ukristo.
      Afu eti na Mtowa Mada anawaongopea Wakristo eti alikuwa Muislamu kumbe yaeleke anaupenda Uislamu Nafsini/Moyoni na ndomaana Kajifunika Kitambaa Kinachovaliwa na Waislamu.
      Kama Uislamu haufai iweje Ujipbe Kwa Mavazi ya Uislamu kwani Ukristo umeishiwa Mavazi Rasmi?!
      Hata Kutamka ""TAQBIR na ALLAHU AKBAR ni Shida afu eti allokuwa Uislamu!!!🤫🙆
      Awe/Uwe Muislamu (Uelewe Uislamu/Uusome Uislamu na ya Kiislamu) Kwa Yakini Nafsini/Moyoni (ikuongie Ladha/lmaan ya Uislamu na ulikuwa Muislamu wa VITENDO) itoke ktk Uislamu uende Wapi tena kama Si Kuwashirikina/Kafiri Kwa Kuamini eti Yesu (Kiumbe niungu/Mwana wa Mungu)
      Jibuni Hoja, kwani Wangapi Walikuwa Waovu (Makafiri/Wakristo -Washirikina) wakafanya Touba baada ya Kujuwa Kweli na Haki wakawa Waislamu tuena Waumini/Waislamu Wa VITENDO?!
      Lazima Mumsakame Ili muwashikilie Wajinga wasiweze Kusilimu laakin Mwenye Kutumia Akili ndo ndo nazidi Kumuelisha apate/wapate Kusiilimu Inshaallah

    • @AdanHumbe-os8dg
      @AdanHumbe-os8dg 28 дней назад

      Sasa ikiwa sii mchungaji sii tatizo je asikofu msaidizi wa Africa Musa ngogi alisim nae utasemaje

    • @bishopstephanosaid9205
      @bishopstephanosaid9205  27 дней назад

      Aisee nitumie no au nitafute 0620423039

    • @mwamwajaonline1881
      @mwamwajaonline1881 27 дней назад

      Unaonekana nawewe hujui kitu​@@jacksonmwafongo1917

  • @AbubakaryAlly-z5i
    @AbubakaryAlly-z5i 13 дней назад

    Wewe bishop hujuwi kitu chochote wala hujawahi kuwa muislam. ALLAH akuihifadhi saasa

  • @danieljoseph273
    @danieljoseph273 28 дней назад +1

    Mungu akubaliki sana mtumishi wake

  • @gracelifechurchtz3787
    @gracelifechurchtz3787 29 дней назад +3

    Huyo Hakuna Mchungaji,ni Tapeli tu

  • @AjuaeGwimile
    @AjuaeGwimile 26 дней назад +1

    Ubarikiwe mtu wa MUNGU Kwa ufafanuzi ulio jaa roho Mtakatifu

  • @ZenaNsemwa
    @ZenaNsemwa 22 дня назад +1

    Usiaangaike na haka kajamaa hana uchungaji wowote namjua vizuri. Aseme uchungaji kaanza lini na aoneshe kanisa lake lilipo

  • @eliasmyamba4767
    @eliasmyamba4767 28 дней назад +1

    Balikiwa sana mtumishi 🙏

  • @nassoromngazija0
    @nassoromngazija0 27 дней назад +2

    Amen 👏🙌

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 29 дней назад +3

    Yaan hawa waislamu anampigia makofi kabisa wakati anawadanganya! Kweli mnaangamia kwakukosa maarifa

    • @Mariam-ke4og
      @Mariam-ke4og 29 дней назад

      Mbona mnaumia jamani huyu ni msema kweli na biblia anaijua kuitafsiri na ameielewa na wengine wataielewa tuu, wacha uongo hata lafidhi ya kiislam huna wacha kuudanganya umma

    • @adeladaudi2047
      @adeladaudi2047 29 дней назад

      ​@@Mariam-ke4og kumbe dini ina lafudhi. 😂😂😂😂

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 29 дней назад

      Mjinga hajijui mwambie mchungaji akuoneshe andiko yesu alisema uingie kanisani

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 29 дней назад

      ​@@chikuiddy9946Yesu alisema wakutanikapo watu kwa jina langu mimi nipo nao,sasa wewe unafikiri kanisa ni jengo,kanisa ni kusanyiko kwa ajili ya kumuabudu Yesu Yesu

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 29 дней назад

      @@edwardntamaboko3414 Ok saw unasema mnaingia kw kanisa kumuabudu Yesu, lkn Yesu mwenyew kama ilivyokuwa desturi yake kw Sinagogi alikuwa anakwenda fanya nn..? nieleweshe na hapo

  • @AllyNassor-de6ck
    @AllyNassor-de6ck 29 дней назад +2

    Yesu sio mungu ni binaadamu kama wewe tu hamna tufauti yoyote katairiwa na wewe pia umekatwa govi

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 24 дня назад

    ndugu dominic simama imara katika nuru ya uislamu allah alishakufutia madhambi siku ile uliyosilimu

  • @kimarojm8253
    @kimarojm8253 26 дней назад

    Poleni ndugu zetu.

  • @Lillian-qt6gi
    @Lillian-qt6gi 25 дней назад

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu. Achana na yule Christopher fake pastor aliye mwacha Yesu Kristo. Aliona hapati sadaka nyingi kanisani kwake, ndo akakimbilia msikitini kama atapata pesa ya chakula. Kule kwenye ameenda, siku akikosa pesa ya chakula, tutaona tena anarudi kwa Yesu. Umshike sana Kristo wetu ndie Mkombozi wetu😍.

  • @OmaryBakariOmary-ts3mf
    @OmaryBakariOmary-ts3mf 14 дней назад

    Yesu alikua njia ya waizlael. Kama mtume Ile awaeleze ya pepo na moto

  • @kingG-qe8ic
    @kingG-qe8ic 25 дней назад

    Wewe hujazaliwa kwenye uislamu au hujaipata Imani sawasaw

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 29 дней назад +2

    Tatizo la wakristo kwanza hawajui kuabudu Mungu kazi yao ni kuimba tu na ndomboro kucheza kuabudu Mungu hawajui pili hadi leo hii hawajui Mungu wa kuabudiwa ni yupi Yesu wanadai ndiyo Mungu sasa imani kama hiyo ni nani atabaki uko labda ni wale makafri wakubwa wanaokula sadaka za waumini wasiyojitambua ndiyo watakaobabaki kwa maslahi ya dunia lakini kwa Mungu hakuna kitu

    • @francisfidelis1703
      @francisfidelis1703 29 дней назад +2

      pole
      jibu hoja hizo

    • @0diraWilson
      @0diraWilson 29 дней назад

      Tatizo uelewa finyu. Unaposema Wakristo ni MAKAFIRI, unafahamu maana YAKE au unaropoka tu. Unajua maana ya Ukristo nini?. Au Unataka usikike nawe umezungumza?. Basi kama nia yako ni kuutukana Ukristo, nataka kukuonya Chunga Mdomo wako, utakuponza. Na uwe na ADABU. usijaribu tena, maana nikikujibu ulivyo ropoka, usikimbilie Mahakamani, nako huko nikakudhalilisha. ACHA UJINGA KUZUNGUMZIA USICHO KIJUA. msituone tunakaa kimya ukadhania tuko wajinga, na usidhani siwezi kukujibu, La, sivyo. YESU KRISTO tunamjua. Na huyo mungu wenu tunamjua ni nani?. Nina amini KATIBA ya nchi, usitukane IMANI usiyo ijua vizuri. Lakini ukitaka ujibiwe kwa Lugha ya Kuidhalilisha IMANI yako UTASHANGA. TOA HOJA NASI MANENO YA NAMNA HIYO @pastorpeter.

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 29 дней назад

      Wakristo wanaimba hiyo ndombolo kusifu na kutukuza sifa za Mungu.Kuna kipindi cha kuabudu na kusifu.Unafikiri ni kama nyie waislamu mnaobinua mikundu na kusujudia ardhi(mizimu)?Pia mnaimba taarabu huku mkiyumbisha vichwa

    • @charlesmwasi7646
      @charlesmwasi7646 29 дней назад

      Yule mchungaji atapulizwa Kama bosi wake

    • @karimuabdala3234
      @karimuabdala3234 27 дней назад

      ​​@@francisfidelis1703 huyo jamaa mbona hana hoja toka lini yesu akawa mungu mwenyezi mungu allah subhana wataala anatufunulia katika Qur'an je? Roho mtakatifu ni nani??

  • @bernardmpinge843
    @bernardmpinge843 28 дней назад +1

    Huyo hakuwa mchungaji,

  • @simonbundala6382
    @simonbundala6382 27 дней назад +1

    Mchungaji nakupa big up!! Kwa ufafanuzi mzuri. Mungu azidi kukubariki.

  • @CharlesAlly-jp1ms
    @CharlesAlly-jp1ms 28 дней назад +1

    Huyu anayejiita mchungaji kuondoa utata aonyeshe vyeti vyake alivyosomea uchungaji kama ni kweli atusibitishie😢

    • @karimuabdala3234
      @karimuabdala3234 27 дней назад

      Kazi ya mungu ni wito hakuna kusomea ushekhee ila kuna kusoma dini ushekhee unakuja tu baada ya elimu kama nyie mnasomea uchungaji basi kuna mashaka makubwa sana juu ya imani na na dini yenu

  • @zakariaambwene4091
    @zakariaambwene4091 29 дней назад +1

    Kweli Mungu atusamehe huo ni ungo wa uwazi anawadanganya Waisramu huwezi kuitwa mchungaji kama hujaitwa na Mungu mdo9:9

  • @crispuskasanga8487
    @crispuskasanga8487 29 дней назад +1

    Mchungaji stephano kama Roho wa Mungu yupo nawe ,naomba Mungu akufunulie ujue shuka ambayo umejifunika ina maana gani na siri gani.

  • @zakayomoleli
    @zakayomoleli 29 дней назад +2

    Huyu jamaa anasema alikuwa MCH yaani huu uchungaji unanishangaza MCH,alikuwa anafundishaje wakati yeye mwenyewe alikuwa hajamwamini YESU,yeyote aliempokea YESU ndani yake anauhakika ya kuwa YESU ndie mlango wa kweli,hadanganyiki,huyu alikuwa mzabibu mwitu hajawahi kumjua YESU Wala Roho mtakatifu,amezidi kuwapoteza waislam ambao tayari walikuwa wamepotea

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 29 дней назад +2

    Huyo sio mchungaji wa roho itakua wa ngombe

  • @kombrashid-bn2gr
    @kombrashid-bn2gr 27 дней назад

    Acha uongoww,hataww ulitafuta dili,na ulipoona hupati malengo,ukakimbilia ukristo,ila juwa kunamaisha baadayahaya,tutarudi kwa Allah kuamakini naww,Allah atupe mwisho mwema amiin

    • @bishopstephanosaid9205
      @bishopstephanosaid9205  26 дней назад

      @@kombrashid-bn2gr my friend Yesu ni MWOKOZI

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 20 дней назад

      @@bishopstephanosaid9205 jamani pumzi zisiwahadae, wacheni viburi siku ukianza kutolewa roho ndio utaelewa Kama maharage ni nyama au Sio

  • @MOHAMEDIABDURAHMANI-hu2gi
    @MOHAMEDIABDURAHMANI-hu2gi 24 дня назад

    MUNGU anazaliwa! nyinyi ndiyo mnatafuta kiki mfuateni Dominic MUOKOKE NAADHABU YAALLAH

  • @PauloDaniel-p8d
    @PauloDaniel-p8d 27 дней назад +1

    Mungu akubariki kwa ufafanuzi mzuri juu ya Roho wa Mungu ni nani.

  • @MpokiMwakaje
    @MpokiMwakaje 25 дней назад

    roho wa kweli anaweza kuoa maana Hana mwili wanao muona ni wale waliozaliwa Mara ya pili

  • @AujenMgaya
    @AujenMgaya Месяц назад +1

    Mungu ageuze

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 29 дней назад +2

    Tumuombee kuna roho ya KUOA wanawake wa NNE imemuingia

    • @jacklinedeus6068
      @jacklinedeus6068 29 дней назад +1

      Nahisi hivyo😢

    • @karimuabdala3234
      @karimuabdala3234 27 дней назад

      Kuoa wanawake wengi sio dhambi daud baba yake Suleiman alioa wanawake wangapi?? Au je yesu yeye alizaliwa kwa mwanamke gani?

    • @nahlaaasidee1848
      @nahlaaasidee1848 27 дней назад

      Af nyinyi Wazinifu wakubwa,
      Kuna kiongozi mmoja wa dini yenu wanaodai hawaoi wilaya fulani. Anatembea na watt wa shule ya sekondari na wengine anawapa ujauzito na mimba wanatoa,..
      Kwa kifupi ni mzinifu, malaya.
      Hamna lolote wazinifu wakubwa.

  • @OmanOman-cl7kv
    @OmanOman-cl7kv 27 дней назад

    Ubarikiwe

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 26 дней назад +1

    Uliwah kumuona yesu anaingiya kwenye nyumba ya mungu na ubani mu kitezo anawasha moshi ktk kiteszo.. na kuimba kupiga mangoma na mafilimbi acheni uongo kupoteza wenzenu kwa ajili ya maslahi yenu. Mnazani hatujuwi tunajuwa kilakitu ndio mana tunawapiga vita.

  • @alihamad7731
    @alihamad7731 26 дней назад

    Wew mzee wacha kupotosha wakristo wenzako, njoo kwenye uislam dini ya hakii isiyo na shaka, uyo yesu sis ni mtume wetu.

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 29 дней назад +3

    Jamani huyu mbona haisemi ukweli hayo maandiko anatoa wapi Biblia gani anasoma hayo wapi mbona anapitisha maandiko

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 26 дней назад

      Wala hajuwi lolote huyo naye pita si mchungaji haijuwi injili apo ustadh Dominic anamtizama anamcheka tu Wala hajioni

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 26 дней назад

      Wanajuwa kutabiri kanisani nakupiga mangoma kelele tu mjini hakuna kingine wanajuwa

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 26 дней назад

      Sikugani walimuona yesu anaenda kanisani nakupiga mangoma nakurukaruka kama mwendawazim ajawah na haitofikiaga

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 26 дней назад

      Mi ntawaambiya mazima sabab hamnishindi kumjuwa ukristu nimezali ktk familia hiyo.sasa tusianze kutoleana siri ju Mimi ni kichaa. Mkinichafuliya diniyangu na masheh zangu .Nami nitatowa siri zenu zote banana.ju ninawajua mwanzo mwisho.malengo yenu

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 26 дней назад

      Kitu kikubwa kilamtu aheshim dini ya mwenzake. Mkiwachafuwa masheh zangu Nami nitawachafuwa.

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 27 дней назад +1

    Huyo mpumbavu anajibiwa na watu walio toka hukohuko😂😂😂

  • @fredynjige5663
    @fredynjige5663 23 дня назад

    Mtume Mohamed hawezi kuwa roho wa kweli, kwasababu alipigana vita jihad

  • @EuniceDaniel-l8f
    @EuniceDaniel-l8f 24 дня назад

    Umepotea Baba. Siku ITAKUA mbivu na mbichi

  • @Fettywarama
    @Fettywarama 26 дней назад

    Taq biiiiri ❤ kwa Christopher

  • @paschalvenance1833
    @paschalvenance1833 29 дней назад +1

    Huyu kilistofa ni mzinzi na mpenda pesa anataka namna ya kuoa wakina Ashura,Humaiyya,zuhura na majini wakutosha.

  • @ShabanMohamed-e9l
    @ShabanMohamed-e9l 23 дня назад

    Kwa mujibu wa bibel Kuna roho saba zilizo kuwa Kwa mwenyezi mungu na zika tumwa duniani Kwa mujibu w ufunguo he roho wa kweli ni roho yangapi katka hizo saba na kazi zake nizipi na roho mtakatifu niyangapi katika hizo saba na kazi zake nizipi

  • @hoseahezroni3159
    @hoseahezroni3159 27 дней назад

    Kuna wengine wanapotea kwa upumbavu. Huyo hakuwa Mchungaji ni mwongo tu. Yesu ni njia tena uzima

  • @EuniceDaniel-l8f
    @EuniceDaniel-l8f 24 дня назад

    Na hakuwa Mkristo. Anadanganya watu.

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 27 дней назад

    Mungu hapendi watu waongo. Mwe semeni muache kishuona ukweli hata mseme nini habadiliki tena

  • @AMIRIKASIM
    @AMIRIKASIM 28 дней назад +1

    Kamanda Haufundishi kitu bali unachekeshatuu ila Herinyinyimnao chekaleo kesho ...... 24:50 😂😂

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 27 дней назад

      Duh kweli wewe kichwa ngumu yaani hapo hujaelewa tu😂😂😂

  • @Kijazi1132
    @Kijazi1132 28 дней назад +1

    Kwa hiyo uislam ni mashetani kuanika mapaja ya mama zenu ndio uchamungu vizurisana

  • @PauloShemzize
    @PauloShemzize 29 дней назад +1

    Yohana 14:6

  • @allykigatta7564
    @allykigatta7564 24 дня назад

    ..BROO UNATUMALIZIA BANDO TU...HUNA JIPYA AISEE....

  • @MwasabuniSuleiman
    @MwasabuniSuleiman 28 дней назад

    Bwana yesu alisema roho mtakatifu akija ataongoza kanisa mmoja sasa ilo kanisa ni la jumapili ama jumamosi

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 27 дней назад

      Naona kama wewe unaanza kuelewa taratibu

  • @EliudiMwuaja
    @EliudiMwuaja 28 дней назад

    😂😂😂😂😂 Dominic kavhanganyikiws😂😂😂😂 kamanda msaidie huyo

  • @feizalmas
    @feizalmas 27 дней назад

    Yesu aliwaambia waombe Kwa jina lake watu wakati wake tu. Kama Ili yo Kwa Musa na daudi waliomba Kwa majina ya waliotumwa kwako kama wawakilishi wa mungu.

    • @bishopstephanosaid9205
      @bishopstephanosaid9205  27 дней назад

      Hapana hili ni agizo la milele soma Marko 16: 16-18 hapo Yesu anaondoka anaacha maelekezo

  • @FadhilaSalim-r9u
    @FadhilaSalim-r9u 23 дня назад

    Vp unasema yesu ni mungu wakati yeye ni mtume wa mungu. Kwa akili yangu wewe pia karibu utaslimu

  • @Elecovid
    @Elecovid 28 дней назад +1

    Uyo mchungaji ni mbwa amesilimu atakufa mapema

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 26 дней назад

      Sasa akifa mapema we ndo UFI?utabaki zam waduniya?

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 26 дней назад

      Mbona mko mapumbavu wakosa adabu wakubwa.mapotevu..

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 26 дней назад

      Pindi alikuwa mwa uyo upotevu wenu mlikuwa hamjasema kama ni tapeli ivi kaona ukweli amekuwa ni tapeli..mwey?

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 26 дней назад

      Hamna la heri hata papa was roma siku ataongozwa ukweli mtamwita ni tapeli hamjui yesu.

  • @SaeedSalum
    @SaeedSalum 25 дней назад

    umetumwaa mshkji

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 26 дней назад

    Na sio yeye tu na wengine watakuja ktkt uislam.wakumzidi uyo wengi tu mtaona watakuja izi ni nyakati za mwisho izi. Lazima ukweli uonekane

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 28 дней назад +1

    Kumbe siyo muchungaji nitapeli ameenda ili akatapeli na huko

  • @Sabuniwilson
    @Sabuniwilson 29 дней назад +2

    Ila nikumwombea tu

  • @feizalmas
    @feizalmas 27 дней назад

    Nyie wakiristo mnatabu sana kaeni mtulie kachagua Imani ya kweli. Mwaka huu kabla ya kuisha na ronado anasilimu jiandaeni kupeleka vijembe

  • @MarthaMacha-xb6vg
    @MarthaMacha-xb6vg 29 дней назад +1

    Asant baba huyo shetani ndio maana kakaenda kuungana na mashetani wenzake barikiwa

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 29 дней назад

      Halafu sasa shetani mkubwa kiti chake kipo kanisani

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 29 дней назад

      Shetani yuko kwenye misikiti yote imewekewa shetani kwenye pande za kuelekea makha

  • @JAMSMDOE
    @JAMSMDOE 29 дней назад +2

    Yaani wewe ndiyo umemsaidia huyu mchungaji feki na huyu hakuwa na kanisa hata kanisani kwetu alikuja kusali akajitambuliaha hatuku mwelewa ni kama mtu mwenye laana hivi.

  • @LeventinaNyamya
    @LeventinaNyamya 27 дней назад +1

    MUNGU akutunze mtumishi ubarikiwe sana

  • @SaeedSalum
    @SaeedSalum 25 дней назад

    We bwataaaa mwsha wa sku mchungji ashkuw muislm

  • @tujajackson8142
    @tujajackson8142 29 дней назад +2

    Hata waislam wenyewe wenye akili zao wanamshangaa tafsiri yake huyu jamaa feki hata biblia haijui alikuwa haingii hata class