@@jeanmjimmy Mashetani ndio wameandika Bible 😂.... Kwenye Biblia vitu vingi sana vimefichwa na vimetolewa pia baadhi ya maandiko kuwapotosha NYIE WAKRISTO.... Papa anabariki ndoa ya jinsia moja hapo kunakitu gani kama sio ushetani mambo ya Sodoma na gomora ndio yako kwenye ukristo...
Huyu mchungaji amechanganyikiwa ,mungu wake ni tumbo, eti uislam kwa bible, uongo, unatoa hoja dhaifu ,wakristo hawanjachanganyikiwa kama huyu mchungaji wa tumbo,pole sana pastor, the only way to God john 3:36
Zinaa itawaondoa wengi katika Imani. => Mke zaidi ya 1. => Ngono kinyume na maumbile & Ulawiti. => Shauku ya Mali za Ujinini na kumiliki Majini. => YESU NI NJIA, KWELI NA UZIMA. MTU HAWEZI KUMUONA MUNGU BILA YA KUWA NA YESU.
@@Evharri Hajawahi kuwa mchungaji huyu wala kiongozi wa kanisa nimekuwa naye mtaa mmoja na mwaka Jana alikuja kwenye send off ya mke wangu. Lengo lake ni kuwatapeli waislam kamwe hawezi kukanyaga msikitini hawezi.
@@SuleimanSwidiq-fj5px Yesu anasema hivi, Mathayo 10 : 32 Basi, kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, nami nitamkiri mbele za Baba yangu aliye mbinguni. Mathayo 10 : 33 Bali mtu ye yote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.
@@SuleimanSwidiq-fj5px Aibu Kwa sule na waislam wote hakuwa mchungaji kama mlivyomkalilisha maneno yakusema na bahati nzur kasharud Kwa Yesu baada ya kwenda kwenye uislam na kukutana na majini yakiwa ndugu zake.
ma shaa Allah hongera snaa, Allah akufanyie wepec zaid na akujalie pepo y firdaus... na kw sote waislamu atuongoze ktk njia yke y her, na walio wakristo awaongoe
Allah akulinde na shari zote za maadui na akupe nguvu uutangaze uislam ambao ndio dini ya haki na pia uwe na subra kwani hata manabii walipewa mitihani mikubwa tu katika kueneza dini ya mungu
Alhamdulillahi Rab'ilaamina In shaa llah Mwenyezi Mungu akunusuru n'a mabaya ya huko ulikotoka unayoyajuwa n'a mengine ambayo hujayajuwa n'a akunusuru n'a fitna Zao n'a dhulma Za huko ulikotoka,akupe uchamungu n'a mapenzi kwa Mola wako mlezi akupe rizki ya halali usitetereke n'a familia Yako na akufishe hali ya kuwa Muislaam Allahumma Amiin yaa Rab'bi Allahumma Amiin 🤲🏾,karibu ndugu yangu Muislaam katika uislaam mkono kwa mkono hadi peponi❤
Pole sana Siri za mungu ziko kwa wamchao wewe SI wazizi hili kondoo wanaijua sauti ya mchungaji wao yoh 3:16 alikuja kwa ajili ya ulimwengu hakuna mwingine Kila gotii litapigwa na ulimi utakiri yesu ni bwana hats Muhammad atakiri yesu ni mungu maana yesu ndie muhukumu wa ulimwengu kwa hiyo hatushangai unambegu ya uwislamu yesu ninuru Giza halipo nandani yake fungal mdomo wako usitukane usichokijjuwa.
Huyu jamaa hata haujui ukristo, hajui Yesu alifuata nini, hajui roho wa kweli ati ni Muhammad. Pumbavu kabisa ilipaswa uulize wanaojua na walioitwa na Mungu wakujibu sio hao wachungaji wenu wa theolojia. Sasa kaa huko ili uusome Uislamu vizuri ndio utajua kuwa umepotea.
Soma agano la kale acha hivyo vitabu vinavyo ibuliwa Kila uchao sio sayansinau geografia hii, hii ni vitabu vya Mungu sasa mara huyu kasema vile kesho amos anayake
Mathayo 28 : 17 Nao walipomwona, walimsujudia; lakini baadhi yao waliona shaka. Mathayo 28 : 18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. Mathayo 28 : 19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; Mathayo 28 : 20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Hakuna Jambo zito duniani kama kuiyona haki au kuitambua haki nahuwezi kuijuwa haki bilakupata rehema kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mungu akulinde ufe ukiwa muislamu wakweli.
Wewe hukuwahi kuwa wa Kristo, wakristo hatutapoteza za muda kwako, umechagua ya kwako. Fanya ya kwako. Mbona, husemi ulikuwa kanisa gani? Ww ni msanii tu. Endelea kutumika kipumbavu na utapokea malipo yako AMEN.
Kuukana ukristo siyo mwisho wa ukristo na kuukana uislamu siyo mwisho wa uislamu. Cha muhimu kila mtu abaki kwenye imani yake bila kuona imani ya mwenzake kuwa haifai hizi dini na mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu ila wokovu ni mpango wa Mungu kumtafuta mwadamu. Kwa hiyo mtu akihama upande wa pili asionekane kuwa hamnazo ; kila mtu anauhuru wa kuamua nini afanye ila tusubiri siku ya mwisho mwamuzi ni Mungu mwenyewe ndipo tutajua.
Hilo siyo tatizo. Bali tatizo ni kudanganya wala hakuna mtu anahangaika na maamzi ya mtu ila mtu anapaza sauti kwa kilichopo. Watu tunamjua hahawahi kuwa Mchungaji wala hajawahi kuongoza kanisa na hata cheo chochote Kanisani. Namaanisha watu wanamjua
@JoshuaDalushi Njaa mbaya sana niliongea na mtu wa karibu sana akanieleza kilichokuwa kimepangwa kati yake yeye na sheikh mmoja maarufu sana Kwa lengo la kujipatia pesa. Lakini hakufikiria athari zake za kuzungumza mambo kama hayo kwenye vyombo vya habari.
Sasa tunune Nini uyo alishajifia kwenye dhambi Toka kitambo, na ukiskia wachungaji wakula kondoo ndo hao! Sasa dhambi haifichiki Nuru na Giza lazma vijitenge! Mpokeeen uyo uku kwenye ukristo sio mchezo
Yani kunamkristo anaweza Kununa, mkristo kazi yake niinjili tu nyinyi mnampingania muhamadi na alla wenu lakini sisi tunapiganiwa na yesu Kristo, niguse uone.
YESU ndiye njiya ya kweli na uzima wa milele Mungu akurehemu sana
YESU sio Mungu
YESU ni PROPHET
@@FxL_47
Achana na mafundisho ya mashetani.
@@jeanmjimmy Mashetani ndio wameandika Bible 😂.... Kwenye Biblia vitu vingi sana vimefichwa na vimetolewa pia baadhi ya maandiko kuwapotosha NYIE WAKRISTO.... Papa anabariki ndoa ya jinsia moja hapo kunakitu gani kama sio ushetani mambo ya Sodoma na gomora ndio yako kwenye ukristo...
@@FxL_47
Yako wapi? Wewe achana na mafundisho ya mashetani.
@@jeanmjimmy Rudi shule kijana umekuwa Brainwashed
Daaah! Uislamu ni Dini ya Allah jamani tujitaidi kusoma Allah akuongoze kaka na sisi sote.
Karibu ktk Uislam ndugu yetu. Allah atuongoze sote na atupe husnal khatima Allahuma Amiin.
Aamiyn
karibu katika zedhebu la shetani ambalo ni lslam!
@@JeanMuzaliwa-bs6qh Astaghafilullah alafu shetwan mwenyewe ndio WEWE ad maandiko ya biblia umepewa pia huamini duuh we ni shetwan haswaaa
@@fadhilngalanda7520 Muhammad mtume wauongo pia Muhammad alikuwa agent wa shetani!
@JeanMuzaliwa-bs6qh Astaghafilullah unaadabu lakin kijana wewe sawa hayo maneno yako tupe andiko tuamini sasa hayo unayobwabwaja
Huyu mchungaji amechanganyikiwa ,mungu wake ni tumbo, eti uislam kwa bible, uongo, unatoa hoja dhaifu ,wakristo hawanjachanganyikiwa kama huyu mchungaji wa tumbo,pole sana pastor, the only way to God john 3:36
Zinaa itawaondoa wengi katika Imani.
=> Mke zaidi ya 1.
=> Ngono kinyume na maumbile & Ulawiti.
=> Shauku ya Mali za Ujinini na kumiliki Majini.
=> YESU NI NJIA, KWELI NA UZIMA.
MTU HAWEZI KUMUONA MUNGU BILA YA KUWA NA YESU.
@@Evharri Hajawahi kuwa mchungaji huyu wala kiongozi wa kanisa nimekuwa naye mtaa mmoja na mwaka Jana alikuja kwenye send off ya mke wangu. Lengo lake ni kuwatapeli waislam kamwe hawezi kukanyaga msikitini hawezi.
Karibu katika dini yahaki mungu akuongoze akulinde namabaya yote yale
Wapi aya Uislamu ni dini ya haki?
Pole sana ndugu hujui tuendalo ndugu nakuhurumia lakini hatushangai kwa ilisha tabiriwa kua waongo manabii wa uwongo mpo pole sana
Pole sana Dominic umejichimbia kaburi mwenyewe na hakuna kilio umepoteza wokovu milele
@@amedesamki425 Sasa hivi huyo sio KAFIRI
Amesha rudi katika njia ya kweli na uzima, ametubu.
Mashallah karibu sana ndugu yangu àllah akukinge na sharri za wadhaalimu akupe nguvu
Allah akulipe kila la kheri ! Karibu sana Mwalim wetu katika uislamu
Hata Dunia yote ikatae ukristo na kumkana Yesu Mimi kwa Yesu sing'oki ng'o. Niko tayari kuuawa nikiwa namkiri Yesu Kristo mkombozi wangu
Huna lolote nduguangu
@@SuleimanSwidiq-fj5px Yesu anasema hivi,
Mathayo 10 : 32
Basi, kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, nami nitamkiri mbele za Baba yangu aliye mbinguni.
Mathayo 10 : 33
Bali mtu ye yote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.
Baba Yako mzazi aliweka mtu kati akikiri mbele zake ili baba Yako akukubali?@@AlfredZacharia-of3je
@@SuleimanSwidiq-fj5px Aibu Kwa sule na waislam wote hakuwa mchungaji kama mlivyomkalilisha maneno yakusema na bahati nzur kasharud Kwa Yesu baada ya kwenda kwenye uislam na kukutana na majini yakiwa ndugu zake.
isome vizuri bibilia
Kama huna uhusiano binafsi na Mungu ni rahisi sana kupotea.
Allah akuhifadhi ndugu yetu. Karibu sana mgeni mwenye heshima. Allah akulinde na sharri.
Allah akupe na akuzidishie afya na imani.
Karibu sana ktk din ya haki ndugu yetu Allah azid kukuongoza ktk njia ilionyooka
Tuambiye ktk hiyo njia ya kunyooka kuna ni nini?
Asante lilobaki ambalo ni muhimu ni kuaingiza watu wengine ktk dini hiyo ya kweli.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 karibu sana katika Uislamu Allah akujalie uwe ni sababu ya wachungaj kuujua, Uislamu
Mashallah mungu akupebidii zaid bro
Maishallah Maishallah KARIBU katika Dini ya Allah Àmiin
Allahu Akbar.
MaaShaaAllah.
Karibu sana kwenye dini ya haki. Allah (SWT) azidi kukuongoza.
In Shaa Allah pia uamuzi wako uwe muongozo kwa wengine.
Alhamdlillah mushukuru mola Kwa kukujaalia kuwa muislam Sasa pigania na watu wako waijue haki
Maa shaa allah, allah Akbar Allah akujaalie kheir afya ma akulinda na maadui
ma shaa Allah hongera snaa, Allah akufanyie wepec zaid na akujalie pepo y firdaus... na kw sote waislamu atuongoze ktk njia yke y her, na walio wakristo awaongoe
Alhamndulillaah kwa kujua haqi karibu Sana Allah akulinde akuhifadhi akupe mwisho mwema
Allah akulinde na shari zote za maadui na akupe nguvu uutangaze uislam ambao ndio dini ya haki na pia uwe na subra kwani hata manabii walipewa mitihani mikubwa tu katika kueneza dini ya mungu
Alhamdulillahi Rab'ilaamina In shaa llah Mwenyezi Mungu akunusuru n'a mabaya ya huko ulikotoka unayoyajuwa n'a mengine ambayo hujayajuwa n'a akunusuru n'a fitna Zao n'a dhulma Za huko ulikotoka,akupe uchamungu n'a mapenzi kwa Mola wako mlezi akupe rizki ya halali usitetereke n'a familia Yako na akufishe hali ya kuwa Muislaam Allahumma Amiin yaa Rab'bi Allahumma Amiin 🤲🏾,karibu ndugu yangu Muislaam katika uislaam mkono kwa mkono hadi peponi❤
Mashaallah allah azidi kukuongoza katika njia ilio Sahihi
Masha Allah karibu sana ktk dini ya kweli.greetings from Boston USA
Pole sana Siri za mungu ziko kwa wamchao wewe SI wazizi hili kondoo wanaijua sauti ya mchungaji wao yoh 3:16 alikuja kwa ajili ya ulimwengu hakuna mwingine Kila gotii litapigwa na ulimi utakiri yesu ni bwana hats Muhammad atakiri yesu ni mungu maana yesu ndie muhukumu wa ulimwengu kwa hiyo hatushangai unambegu ya uwislamu yesu ninuru Giza halipo nandani yake fungal mdomo wako usitukane usichokijjuwa.
Mashallah kusilimu kwa huyu dominic wakristo kuweni na tafakarini uislam ni dini ya allah naamini wengi mutasilimu
Allah akufanyie wepec kila lenye kheri lianze nawew Allah aqbar Allah aqbar
upate wasaa wakwenda fiisabillah kuna mengi mazuri utajivunia biidhinillah
Allah Akbar mungu akulinde kwa baya na shari zote mbaya dhidi Yako ww muumini mpya karibu kwenye dini ya kweli na uzima...
YESU ndie njia kweli na uzima
Mashallah islam is moving faster..alhamdullilah
Allah akujaze nguvu zaidi ya hii uliyonayo maana vita ya anayesilimu ni kubwa sana ñdugu zangu
Allah akuzidishie imani na upeo wa uono katika ufaham wa dini ya haki mbele ya uislam...... Allah akuongoe zaidi kabla na baada ya maisha hap dunian
Maashaa Allah wewe ulikua unamtafuta Mungu kwa kweli na Allah akakuongoa Allah akuhifadhi
Allahu Akbar hakika Allah humuongoza amtakae karibu katika uislamu ndugu
MaashaaAllah Jazaakumullahu khaira karibu sana ndugu yetu
TAKBIRI ALLAHU AKBARU. ALLAH AKUNUSURU NA LENYE SHARI NA WEWE. WENGI WANAJUWA ILA NAMNA YA KUTOKA. MASHA ALLAHU KHEIR
Mashaa Allah TabaarakAllah, Allah amthibitishe na waliopotea Allah awaongoze awaoneshe haki waweze kuifata na baatil waiache.
Allah akupe uthabiti katika dini yako ya kiislam
MashaAllah, Allah akupe thabati pamoja na mimi kati dini yake
Mashallah karibu katika Haq.
Allah akulinde
Mimi mkristo, nimeokoka nampenda YESU na sita mkana mpaka kufa kwangu, Nakupenda YESU umenitendea mengi hata hii pumzi silipii, Asante Yesu.
Hata uyo Yesu anatumia pumzi na halipii😂😂😂😂
Kalibu kwenye dini ya haki,ma sha Allah, Allah akulinde
Allahu Akbar. Subhanallah. Karibu ndugu yetu ❤❤🫂💖
takbiiiir allahuakbar idhajaa nasurullahi walfathu waraitanasa yadikhuluna fidinilahi af wajaaa ,emungu tujaliye mwisho mwema sisi na wazazi wetu
MashaAllah Alhamdulilah Karibu katika uislam
Nakuombea Dua mungu asikufukuze ktk uisilamu.
Karibu ktk dini ya haqi , Allah akudumishe kwenye Uislaamu.
karibu katika dini ya majini!
@@JeanMuzaliwa-bs6qhsoma kwanza
@@omarybakari1681 nisome nini sijasoma?ww ndie unatakiwa usome!
Tupe Andiko Dini ya majini Acha kukurupuka Kuwa muislam Dini ya mwenye ezi mungu
Huyu jamaa hata haujui ukristo, hajui Yesu alifuata nini, hajui roho wa kweli ati ni Muhammad. Pumbavu kabisa ilipaswa uulize wanaojua na walioitwa na Mungu wakujibu sio hao wachungaji wenu wa theolojia. Sasa kaa huko ili uusome Uislamu vizuri ndio utajua kuwa umepotea.
Mwenyezimungu akkuongoze katika maisha yko ya sasa na akhra
Ooo!!! Pole.sana. Na wewe ni Mwogo na huijui female Biblia
Mashallah 🙏❤ allahu Akbar allaahu Akbar allaahu Akbar laaailaaa hailallah allaahu Akbar allaahu Akbar walillah lhamde
Mashallah karibu sana kwenye uislam
Neno Moja hapo la ujasri amelisema nimelipenda sana, nimeslim sijawafuata Waislam Bali nimeufuata uislam. Huu ndio uthabiti na uimara ktk dini
Mngejua mngeweka akiba ya maneno
Kwa kweli wahadhiri Allkah awape kheri dunia na akhera mnafanya kazi kubwa sana! Fanye n kwa ikhlasi insha Allah
Mungu aliweka mbele yetu LAANA na BARAKA ongera kwa kuchagua LAANA.Mungu aliweka mbele yetu UZIMA na MAUTI hongera kwa kuchagua MAUTI
Chuki binafsi tu,nabado utaongea ujinga mpaka utaharisha,mwenzako kafata haki
Chuki halisaidii.... chunguza vitabuni na usome vizuri utafuata ukweli pia
Soma agano la kale acha hivyo vitabu vinavyo ibuliwa Kila uchao sio sayansinau geografia hii, hii ni vitabu vya Mungu sasa mara huyu kasema vile kesho amos anayake
Alhamdullillah, Uislamu ni dini ya kweli
Masha'Allah, Allah Atuajalie uongofu.
Usije ukaludi tena kwenye ukristo,ubakie huko huko,kwa sababu waliondani ya Yesu kristo hawana roho ya kutapatapa,
Waislam mpokeeeni uyo! UKRISTO SIO MCHEZO
Ana vyeti gani alivyohitimu? Naona uelewa mdogo!
Hakika Amepokelewa Na MOLA Sisi Siokitu Kikubwa.
Ameshapokelewa na Allah sisi si kitu kwake
@@samwa9496 ni HURUMA kupokelewa na Allah miungu ya makkar 😂😂😂😂
Allah akufanyie wepes inshallah pia akulinde na vitimbi vya walio potea
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏
Njaaa Mbaya , Jamaa Karudi Kwenye Nuru Kweli Karudi Tena Kwa Yesu Kristu
Wahazir wakubwa wakiislam wenye uwezo wamshike mkono twende nae Sawa inshallah
Wewe ingekuwa kweli mchungaji usinge fanya unayo yafanya mungu akurehemu sana
Masha-allah, karibu katika dini ya haki
Mashaallah Allah Kareem tunakushukuru kutufanya kua waisilam
Mungu akupe mwisho mwwema
Aaamina
maa shaa Allah najivunia kua muislamu
Mungu akusaidie nuru ya macho yako imetiwa giza
MashaAllah Tabaraka Allah akuongoze
Maashaallaah ALLAAHU akulipe Aamiin
Mathayo 28 : 17
Nao walipomwona, walimsujudia; lakini baadhi yao waliona shaka.
Mathayo 28 : 18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Mathayo 28 : 19
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Mathayo 28 : 20
na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Uko sawa mpendwa
Amen dada hata hatuogopi, maana huyu kaenda kuungana na Majin kwenye uislam
Hakuna Jambo zito duniani kama kuiyona haki au kuitambua haki nahuwezi kuijuwa haki bilakupata rehema kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mungu akulinde ufe ukiwa muislamu wakweli.
Point kubwa MTU anapo silimu asisilimu kuwafuata waislaam Bali afuate uislaam
Hakika
Karibu muislamu mwenzetu 🎉🎉🎉🎉😂😂😂 mabano kunde yanamaana wake asante mchunga 😢😢
=> Yesu ni Njia kweli Na Uzima, Mtu haji Kwa Baba ila Kwa Njia ya Yesu.
=> Ukimkana Yesu Duniani nae Atakukana kawa Mungu.
Allah akuongoze innsha'allah
Allah akuogoze n waislam wote hadi kesho akhera
Wewe hukuwahi kuwa wa Kristo, wakristo hatutapoteza za muda kwako, umechagua ya kwako. Fanya ya kwako. Mbona, husemi ulikuwa kanisa gani? Ww ni msanii tu. Endelea kutumika kipumbavu na utapokea malipo yako AMEN.
Mashallah karibu ktk dini ya allah
Kuukana ukristo siyo mwisho wa ukristo na kuukana uislamu siyo mwisho wa uislamu. Cha muhimu kila mtu abaki kwenye imani yake bila kuona imani ya mwenzake kuwa haifai hizi dini na mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu ila wokovu ni mpango wa Mungu kumtafuta mwadamu. Kwa hiyo mtu akihama upande wa pili asionekane kuwa hamnazo ; kila mtu anauhuru wa kuamua nini afanye ila tusubiri siku ya mwisho mwamuzi ni Mungu mwenyewe ndipo tutajua.
Hilo siyo tatizo. Bali tatizo ni kudanganya wala hakuna mtu anahangaika na maamzi ya mtu ila mtu anapaza sauti kwa kilichopo. Watu tunamjua hahawahi kuwa Mchungaji wala hajawahi kuongoza kanisa na hata cheo chochote Kanisani. Namaanisha watu wanamjua
Masha'allah karibu sn ndugu yetu
Mashaallah allah azadi kuwafunua
MashaAllah Allah akuongoze sana
Kwa bahati nzuri namfahamu jamaa huyu vizuri hajawahi kuwa mchungaji wala kiongozi wa kanisa. Njaaa mbaya jamani khaaa!! Mungu akuhurumie mdogo wangu!
Kabisa hata mimi namfaham na tumesali kanisa moja sasa sijajua ana shida gani tu
@JoshuaDalushi Njaa mbaya sana niliongea na mtu wa karibu sana akanieleza kilichokuwa kimepangwa kati yake yeye na sheikh mmoja maarufu sana Kwa lengo la kujipatia pesa. Lakini hakufikiria athari zake za kuzungumza mambo kama hayo kwenye vyombo vya habari.
Mungu akurehemu mchungaji feki
Mashallah Barak Allah, Allahu Akbar.
Ingizaneni wote kwenye dini, halafu mumuache Yesu aje achukue kanisa lake, Alf nyinyi mbaki na Dino yenu nzr ya haki
Wale wa kukosoa waisrael weusi watoto wa ndacha na Daniel wamenuna hatr hii imeenda wa allah akiba....😊
🤣🤣🤣
Yani huyo hata kuwa wa Kwanza sababu Nuru Bado hajaiona Yani huyo haja ijuwa bible na chanzo
Sasa tunune Nini uyo alishajifia kwenye dhambi Toka kitambo, na ukiskia wachungaji wakula kondoo ndo hao! Sasa dhambi haifichiki Nuru na Giza lazma vijitenge! Mpokeeen uyo uku kwenye ukristo sio mchezo
Yani kunamkristo anaweza Kununa, mkristo kazi yake niinjili tu nyinyi mnampingania muhamadi na alla wenu lakini sisi tunapiganiwa na yesu Kristo, niguse uone.
@@SamoraTabagakbs
Mungu akutie nguvu
Mungu akuongoze inshaallah
Karibu katika dini havia mbele ya Allah.
حفظه الله ورعاه
Siyo Bure una Pepo YESU akusaidie ,huko utakuwa mgeni wa YESU
Hata wakristo wana mapepo mbona mnayakemea kama hayapo
Hongera sana mungu azidi kukuongoza🎉
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚 💚
Masha'Allah Karib kwenye Dini ya haqi
Mashallah welcome broo 🙏 ❤
Allah atujaalie mwisho mwema