mashaallah,,,wallahy sheikh historia yako kidogo inilize.,kweli umepitia mengi kwa mitihani baada ya kuslimu kwako,mungu akuzidishie elmu yako akupe umri mrefu wenye barka na afya tele..mungu atuongozee sote ummaty mohammad.amiin.
@@angle3600 nakuita ili ufanikiwe na faida ya kumfuata YESU ni uzm wa milele maana hakuna njia kando na YESU itakupeleka kwa MUNGU Fanya uamuzi wa busara uokoe jahazi YESU pekeake ndie alie njia ya kukupeleka uzimani bila YESU utapotea hata Muhammad atafufukuwa na YESU ahukumiwe
Dini ya haki mbele ya mwenywezi mungu i uislamu soma Quran lakini haikutajwa kwa vitabu dini nyingine Ila uislamu. Amini mungu na watume wote ili ukuwe safe kesho
Ni kweli jamaa yetu kaacha kweli kafuata giza...kufuata majini!!!...sisemi mimi maneno hayo bali Qur'an yenu inasema majini ni ndugu wa waislamu...ndani ya Biblia takatifu hakuna sehemu yoyote Mungu aliwaambia watu wake washirikiane na majini..na hata ilipotokea mtu akafuata majini au kuabudu miungu..Mungu hakuwa radhi nao waliadhibiwa...kweli imani ni kazi...watu wanaamini majini daaa!!!
@@BjleonardBhiandaKweli PAULO alifanikiwa kuanzisha dini 'fake' kwa kutumia jina la Yesu, na akamfanya YESU kuwa Mungu wa kuabudiwa badala ya Mungu Mwenyezi.
Dini ya kwel ni ......... Kuamin Mungu mmoja na mitume wake na malaika,,,, na hyo ndo iman ya watu wote wa kale... Hii kuamin YESU alikufa kwa ajiri ya dhambi zako, kipind yesu hajafa hao wa nyuma waliamin nn 😢
Wachristian wanadhani hatumjui yesu😂 yani kama kunawatu wanamjua yesu niwaislam na historia yake.waislamu nikidogo duniani lakini wana power sana kushinda wachristo ambao niwengi na hamna kitu.hata mimi nilikua huko na nisarakasi tu ziko kanisani😂
Hidaya ni kwa mungu subuhana allah alijua uhakika sithani kwamba mariyamu ni mungu NA. Wazazi wake wawili baba NA mama NA haiwezekani kwa mungu watatu sasa kabla ya kuzaliwa marriya NA kabla ya kuzaliwa yesu mungu alikuwa moja sio unajua mungu hafi milele mbona hao wamekufa NA ikiwepo kufa NA kuzikwa huo sio mungu hayo mambo sio sahihi kabisa ni shirk thambi isio samehewa milele astagfuru alla
Kweli ata mimikuna bibiyangu zamani alikuwa na mbuzi anafuga alikuwa anawavalisha vi fuu vya kwenye mdomo mpaka puani kumbe ile ilikuwa brakoea na walikuwa wanapelekwa kula kwenye kuchungwa alihamdu lilahi
Kanisa ni Roman Catholic,mengine ni madhebu. Mt.16:16-18 Kanisa haliwezi kushindwa,Je? Kuna kiongozi Gani wa Imani ambae ni mashuhuri kumzidi Papa. * Huwezi kuwasogelea Maaskofu Wala Mapadre wa RC.*
Imeandikwa, walikuja kwetu bali hawakuwa wakwetu.,BWANA YESU KRISTO alisema lolote utakalofunga duniani basi litafungwa na mbingun na lolote utakalofungua duniani litafunguliwa na mbinguni. ( mathayo 18:18) vilevile imeandikwa, ungamaneni dhambi zenu ninyi kwa ninyi. Yaani umemtumikia MUNGU siku zote kisha unakwenda kuzimu? MUNGU akukumbuke! Uzinduke
Ukitaka kujua dini ya kiislaam huko kwenu kuna mashekhe wengi sana waulize watakufahimisha sisi waaslaam tunaamini vitabu vyote ya mungu ikiwepo gruani NA tunaamini mitume mohamed mtume wa mwisho lakini hatuamini kwamba yesu ni mungu au ni mtoto wa mungu yesu ni binadamu NA mama yake ni mwanamke anakula NA atakufa tu lakini aliyeuba dunia hafi milele uslaam ilikuja kufundisha majahili lakini ilipokuja huko makaa imepigwa vita NA makafiri ikawa lazima kupambana nao ila tu wakisilimu wayapona dini ya kiislaam ni dini ya mungu NA gruani imetremshwa NA mungu kwa mtume wake mohamed uliza mashekhe huko kwenu kama shekh kashik NA wangine wengi
@@gemmamwajombe3169 uislamu haujaenezwa kwa upanga ila ukristo ndio uliongezwa kwa upanga ndugu fatilia historian ya crusade war ila kama itaamua kufuata propaganda za kanisa itakula kwako milele ukitaka details sema tukupatie kama hauogopi mabadiriko
@@omarmwapanahd4819 jiandae vizuri kwa kuwa unakoelekea ,utakuwa wa kwanza kutangulia motoni ukijidanganya una dini,jiongeze ndg yangu moto usikuwahi haujabadilika
Huyu mwongo sana amekuwa sheik wa mchongo mambo mengi anasema uwongo huku kasema alikuwa mchungaji wa lutherani huku anasemea mambo ya kikatolic huyo wa mchongo
Baad ya kumtumia shetani sasa mnarud KTK imani yenu yakipepo ukua mchungaji ulikuja kuibia nakudanganya watu pandikizi la kipepo nendenituavhie Yesu wetu
Jiulize ; ni dini gani wanakata viuno kwenye nyumba Yao ya ibada wakati wa kusali? Hatari sana eti wanamchezea bwana. We ALLAH waongoze wanadamu wenzetu na SS usitupotoshe Aamin
Wow 😍😍 tunazidi kumiminika katika dini ya Allah (sw) nawapenda sana Waislamu wenzangu
MashAllah
Ndio dalili za kiyama
hakika allah akuongoze na kifo ikukute hali yakuwa ukufe muislam aaamiiin
mashaallah,,,wallahy sheikh historia yako kidogo inilize.,kweli umepitia mengi kwa mitihani baada ya kuslimu kwako,mungu akuzidishie elmu yako akupe umri mrefu wenye barka na afya tele..mungu atuongozee sote ummaty mohammad.amiin.
Mwenyeezi Mungu akupe afya na umri Sheikh ili tuzidi
Kupata elimu ya kutufaa
Kwa maisha yetu kesho
Akhera.....Aameen.
Welcome back brother to your original faith Alhamdulilah Rabbil Aalamiin Allah bless you and all Muslims around the world. Allah Akbar
Amiin yarab
@@ummohammed8380 b.
Allahuma barik yaa shekh . Allah akuhifadh allah akupe uzima . Na akuuingize peponi amin yaa rab Amin
Allah akuzidishie Umri na Afya njema Shk wetu.
Allahu akbar Allahmmdulillah Allah akulipe apa duniani na kesho akhera kwakazi unayo ifanya ya Allah
Karibu kwenye dini ya haki na ya kweli,mimi pia nilikua mkatholik,nashukuru mungu kwa kunionyesha dini ya haki
Masha allah
🤣🤣🤣kwaio na wewe unamsubiri YESU aje kuua nguruwe na kuoa?
Ulikuwa mkatoliki ni kweli hukua kwa YESU basi nakuita njoo kwa YESU upone yy ndiyo njia yako ilio hai ya kukupeleka kwa MUNGU
@@davidmghanga8502 siezi rudi nyuma tena
@@angle3600 nakuita ili ufanikiwe na faida ya kumfuata YESU ni uzm wa milele maana hakuna njia kando na YESU itakupeleka kwa MUNGU Fanya uamuzi wa busara uokoe jahazi YESU pekeake ndie alie njia ya kukupeleka uzimani bila YESU utapotea hata Muhammad atafufukuwa na YESU ahukumiwe
Mashaallah mashaallah Allah azidi kukuongoza sheikh ❤❤❤❤❤
Ma Sha Allah karibu sana kwenye dini ya haki Allah akujalie kila kheri ktk hii dini na apushe na Shari (Allahumah Amin yarabi 🙏🙏🙏)
Hakika ya dini mbele ya Allah ni uislam
ALLAH akbaru ALLAH akbaru ALLAH akbaru Hakika mwenyezi MUNGU humuongoza amtakaye hongera shekhe
Mashallah sheikh MUNGU akupe UMRI
Well come bro...Allah akupe rehma na furaha Ameen
Waaleykum msalaam warahmatuhllah wabarakatuh Allah atakusimamia kwa kila jambo lenye kheri InshaAllah
Masha Allah, na wengne awape mwanga , na sote tudumu tukiendeleza dini ya kiislamu.
Akika ALLAH NIFISHE MIKIWA MWISILAMU
Allah akuongoze naawaongoze waklisto waielewe njiayahakki kwasababu Allah humuongoza amtakae nakumuachakupotea amtakae
Allah atuongoze njia sahihi sote inshallah, na Kwa rehma zke atupe mwsho mwema amen
Unamwacha Yesu na kujichovya kwenye Dunia mzima mzima
Pole!😢😢😢
Takbiriii Allah Akbar!!
Allahu Akbar
Dini ya haki mbele ya mwenywezi mungu i uislamu soma Quran lakini haikutajwa kwa vitabu dini nyingine Ila uislamu. Amini mungu na watume wote ili ukuwe safe kesho
Pole sana sana tena nakusikitikia umefuata majinini umemuacha YESU kiristo kweli wewe ni mfuu
Wewe bakiatu huko mwenzako kajiepusha na moto wajehanam endelea kufutiwa zambi na wachungaji
zidi kuwanasihi waio mupwekesha alla
Ni kweli jamaa yetu kaacha kweli kafuata giza...kufuata majini!!!...sisemi mimi maneno hayo bali Qur'an yenu inasema majini ni ndugu wa waislamu...ndani ya Biblia takatifu hakuna sehemu yoyote Mungu aliwaambia watu wake washirikiane na majini..na hata ilipotokea mtu akafuata majini au kuabudu miungu..Mungu hakuwa radhi nao waliadhibiwa...kweli imani ni kazi...watu wanaamini majini daaa!!!
@@BjleonardBhiandaKweli PAULO alifanikiwa kuanzisha dini 'fake' kwa kutumia jina la Yesu, na akamfanya YESU kuwa Mungu wa kuabudiwa badala ya Mungu Mwenyezi.
Paulo delusional....still live
Barakah ALLAHU fiiqum hbbi kwa kuandaa hadraa hii Mashallah ALLAH SWT awajaalie janatul firdhaus aalyah wabillah tawfiq Inshallah
Allah akutunzie afya yko, nakulipe kwakila juhudi yako kwenye dini y haki,
Masha-allah, Allah akuongoze zaidi na akuzidishie elimu yenye manufaa kwako na akujaalie mwisho mwema
Allah akutanguliea akuzidishie imani
Allah akulipe fafhila hizo kesho na stukutanishe nawe ktk Pepo ya firdaus yake Inshaalah
Allah atuongoze sote na aturejeshe kwake sote tukiwa ni wafuasi sahihi wa Mtume (Saw)
Wakristo nyinyi noma mnafutiana mazambi wenyewe kwa wenyewe 😂😂😂😂 huyo anaekufutia mazambi yeye mwenyewe anamtegemea mungu amsamehe
Hatari sana cjui ata akili zao Zina mattzo gani Haki ya mungu
Subuhana lhaaa
Poleni Sana wahazhiri wetu alha awazidishie subira
Mshllh mungu akubariki
Baaraka llaah shekh. Kwakweli. Allaah akupe Afya nzuri. Na Akukinge na.maaduwi.
Dini ya kwel ni .........
Kuamin Mungu mmoja na mitume wake na malaika,,,, na hyo ndo iman ya watu wote wa kale... Hii kuamin YESU alikufa kwa ajiri ya dhambi zako, kipind yesu hajafa hao wa nyuma waliamin nn 😢
Masha Allah
Masha Allah Ustaz
Mungu akutangulie shk
Waaskofu wengi duniani wameingia katika uslaam NA wakiristo kwa mamilion wanaingia kila siku lakini hutaweza kuona muslaam kaingia ukristo
Lengo la kuingia huko Ni kwa lengo moja tu la new world order soma biblia ndugu yangu utagundua Jambo la Siri kubwa mno linaloujia ulimwengu et
@@allychengula3511
Walio kwambio sio kweli soma dini usiambiwe
Wapo maliyo pya wanawo ingia katika ukirsto fwatiliya kwa makini sana sema ivyo utavitiya kwako
Maa shaa llah.,
Allah sw Akupe mwisho mwema.
Maa Shaa Allaah Alhamdulillah
Allahu AKIBAR Allahu AKIBAR Allahu AKIBAR alhamdulillah
Subirini moto wa jehnam
Ustadh luvanda allah akuhifadhi
mashaallah jazzaka allahu kheri
Waislamu ta..ta...ta...Taqbiiiiiiiiiir
Amin🙏😂
Mashaallah mashaallah allah akujaalie kila la kher
Mashaallah Allah azidi kukuongoza
Wachristian wanadhani hatumjui yesu😂 yani kama kunawatu wanamjua yesu niwaislam na historia yake.waislamu nikidogo duniani lakini wana power sana kushinda wachristo ambao niwengi na hamna kitu.hata mimi nilikua huko na nisarakasi tu ziko kanisani😂
Subhanalha mungu akuongeze
Allah Akiamua kukuepusha na jehannam Atakutoa huko uje kwa haki na ukweli,,, kama Hataki Atakuacha tu uendelee kuongea matope na mwisho uingie motoni.
Subuhanallah Lailahailalla Allahu Aqbar
hahahaha sema sema ndg yangu na mungu atakuhifadhi inshaallah
Jalla jalalu.Mungu nimkubwa
Uislam Raha sana jamn daaaaaah,
Uongo tu. Ungefikia level hiyo ungekuwa na uelewa mpana na ungejua kutofautisha giza na nuru.
Mashaallah❤
No matter how much Western Monsters fight versus Islam , Islam Shall Never perish Inshallah
Yes islam will never perish but muslims will surely perish forever if you don't believe Jesus as Saviour and redeemer of your life
Hidaya ni kwa mungu subuhana allah alijua uhakika sithani kwamba mariyamu ni mungu NA. Wazazi wake wawili baba NA mama NA haiwezekani kwa mungu watatu sasa kabla ya kuzaliwa marriya NA kabla ya kuzaliwa yesu mungu alikuwa moja sio unajua mungu hafi milele mbona hao wamekufa NA ikiwepo kufa NA kuzikwa huo sio mungu hayo mambo sio sahihi kabisa ni shirk thambi isio samehewa milele astagfuru alla
Jazakallhu haira
Kuna mwingine au ni Sheikh Isa aliyesimu zaidi ya miaka 25
Mbeya makafiri wengi unaweza kutembea usikute msikiti
Miskiti ipo ila ni pale mjini tu ukitoka nje hupati hata mmoja
Wew Ni muongo mbeya Kuna misikit sio mmoja, misikit Hadi ntokela upo
@@maxpesa8811 hufaham mbeya et misikit Hadi ndaga, et
Mashaallah jazakumllah kheir amiin
Hao waumini makanisa 48 wasiskike kuombolezea kiongozi wao au kuambatana naye pakoje apo
Mashallah sheikh anaitwa nani?nimevutiwa na mawaidha zake
Shk Issa John Luvanda
Kweli ata mimikuna bibiyangu zamani alikuwa na mbuzi anafuga alikuwa anawavalisha vi fuu vya kwenye mdomo mpaka puani kumbe ile ilikuwa brakoea na walikuwa wanapelekwa kula kwenye kuchungwa alihamdu lilahi
Allahu ak'baru Allahu ak'baru Allahu ak'baru
Mashallah ya sheikh
Kanisa ni Roman Catholic,mengine ni madhebu. Mt.16:16-18 Kanisa haliwezi kushindwa,Je? Kuna kiongozi Gani wa Imani ambae ni mashuhuri kumzidi Papa.
* Huwezi kuwasogelea Maaskofu Wala Mapadre wa RC.*
Mashallah...Al Islam dini...
اللهم امين يارب العالمين
Mashaallah 🙏🙏
Allah hu aqbarrr
Ulikuwaje mchungaji kivipi kama ulikua hujui Yesu ni nani hicho kiilikustahili.
Mimi ni Mkirsto🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pole wenzio wakimbia ad Kwa kifo lakin wew Kwa akilizako unakubali kwenda jehanam duu
Sub-hana llah
Mashaallah Allah azidikukuongoza
MUNGU akusamehe kwakua hujui ulitendalo
Masha Allah Mungu akubariki
Aminia kabisa usilamu ndio dini ya kweli mbele ya allah
Imeandikwa, walikuja kwetu bali hawakuwa wakwetu.,BWANA YESU KRISTO alisema lolote utakalofunga duniani basi litafungwa na mbingun na lolote utakalofungua duniani litafunguliwa na mbinguni. ( mathayo 18:18) vilevile imeandikwa, ungamaneni dhambi zenu ninyi kwa ninyi. Yaani umemtumikia MUNGU siku zote kisha unakwenda kuzimu? MUNGU akukumbuke! Uzinduke
Watu wameganda torati,lakini YESU alikuja kutimiliza,sio kutangua
Bwana awangazie Nuru ya Uso wake,mkafunnguke mpate okolewa
Uislam ni dini ya SHETANI jim3 kuwa muislamu miaka 27 natumai QUR'AN kwnye UGANGA najua machafu YOTE 😊
ما شاء الله ❤
Sijajua ni kwa Nini Uislamu ilienezwa kwa Upanga naomba sababu
Ukitaka kujua dini ya kiislaam huko kwenu kuna mashekhe wengi sana waulize watakufahimisha sisi waaslaam tunaamini vitabu vyote ya mungu ikiwepo gruani NA tunaamini mitume mohamed mtume wa mwisho lakini hatuamini kwamba yesu ni mungu au ni mtoto wa mungu yesu ni binadamu NA mama yake ni mwanamke anakula NA atakufa tu lakini aliyeuba dunia hafi milele uslaam ilikuja kufundisha majahili lakini ilipokuja huko makaa imepigwa vita NA makafiri ikawa lazima kupambana nao ila tu wakisilimu wayapona dini ya kiislaam ni dini ya mungu NA gruani imetremshwa NA mungu kwa mtume wake mohamed uliza mashekhe huko kwenu kama shekh kashik NA wangine wengi
@@gemmamwajombe3169 uislamu haujaenezwa kwa upanga ila ukristo ndio uliongezwa kwa upanga ndugu fatilia historian ya crusade war ila kama itaamua kufuata propaganda za kanisa itakula kwako milele ukitaka details sema tukupatie kama hauogopi mabadiriko
Nyinyi amna baba ila sisi wakristo tunae baba
@@gemmamwajombe3169 wewe ulijuaje km ulienezwa kwa upanga
Sasa SI umuulize uyo ulomsikia
Mashaallah
Mashallah Barakallah fiika
Msidanganyike mjiongeze,hayo ni maneno tuu msibabaike na dini,dini ya kweli ni Mungu tuu,pia taf.tafakari MUNGU NI nini,uachane na dini hiyo
Makafir wote motoni
@@omarmwapanahd4819 jiandae vizuri kwa kuwa unakoelekea ,utakuwa wa kwanza kutangulia motoni ukijidanganya una dini,jiongeze ndg yangu moto usikuwahi haujabadilika
Huyu mwongo sana amekuwa sheik wa mchongo mambo mengi anasema uwongo huku kasema alikuwa mchungaji wa lutherani huku anasemea mambo ya kikatolic huyo wa mchongo
MASHALLAH ❤
Hata huyo mchungaji Ni msanii pia hata mazinge mwamposa wote ukanda Ni mmoja
Baad ya kumtumia shetani sasa mnarud KTK imani yenu yakipepo ukua mchungaji ulikuja kuibia nakudanganya watu pandikizi la kipepo nendenituavhie Yesu wetu
Mashallah ♥️
Hatushangai izi ni sku za mwisho vibwengu Ving vitatokea
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar 🙏
Huelewi unachokitenda majini yamekuvaa ukiwa mchungaji wewe ulipenda kuoa wengi Rudi Yesu anakuhitaji.
Pole sana kaka mnabiwa kanisani waislaamu wanamakini usiwasikilize ili usijue ukweli ukijua utapungua kanisani
Allahu akbar
Msijali ata hapa Kenya wanatoka kakamega
Nenda kwe uslam salama usikashifu ulikotoka
MaashaAllah
Kumcha MUNGU na Kumuabudu MUNGU katika Roho na Kweli ndiyo kuna Kuurithi Uzima wa Milele, Jesus Is Come Back.
Hapo Sasa🤝👍
Unamchaje na Una Muabuduje??
is coming back as a Muslim...
Unashangaa mitume kutoka Mbeya? mbona mitume wa kwenye vitabu vya dini wote walitokea mashariki ya kati
mashallh mashallh
AllahuAkbar
Karibu kwenye dini ya haki
Yani umuache yesu urid kufuga majin na kuwa gaidi uwe ajeti wa mapepo
Jiulize ; ni dini gani wanakata viuno kwenye nyumba Yao ya ibada wakati wa kusali? Hatari sana eti wanamchezea bwana. We ALLAH waongoze wanadamu wenzetu na SS usitupotoshe Aamin
Mungu wetu ameruhusu tumuimbie na kucheza kwa shangwe. Kama wa kwenu haruhusu Pole.
ALLAHU AKBAR
Yesu hakua na wewe
Allaah bless you
Mashaallah mungu tuzidishie imani ktk nyoyo zetu tusimamie dini yetu