Kwa mara ya mwanzo nkiwa na umri 32 kusikia kiongoz wa kidini ktk visiwa hv kuitanabaisha serikali juu ya HAKI kila 1 kataliwa na hofu dhidi ya watawala....ALLAH akuhifadhi sheikh Muhammad Bachu ktk huihubiri HAKI na AMANI bia kuegemea upande wwt.
Mimi wakati miaka ya wakati wa sheikh Nasoro bachu Allah amurehemu na aijaze nuru kaburini mwake... kulikuwa na masheikh wengi tu hasa inchini mwetu Kenya lakini bila ushabiki kaa kuna sheikh alikuwa akiongea na nikaridhika bila kujichanganya alikuwa sheikh Nasoro bachu kwakweli Allah alimufanya kuwa sababu imaani yangu kuwa dhabit katikadini hadi wa leo... Alhamdulilahi Kila napomtizama na kukusikiriza kakangu sheikh Mohammed Nasoro bach sioni tofauti na sheikh Nasoro Bachu..na walai kaa aliomba dua ya kheir dhiidi yako hakika tunashuhudia majibu ya Allah kwa mja wake mwema sheikh Nasoro Bachu.. Allah amurehemu na afanye kaburi lake shimo miongoni mwa mashimo ya jannahtul fil dausil alaa.
Allah akujalie kila lakheri shekh. Umetoa darasa kila mwenye akili timamu atakua amekuelewa.. inshallah iwafikie viongozi wetu Hawa wawili wakae pamoja .wachanganye amani na haki . inshallah allah atatuvusha salama. Maisha yaduniani nimafupi. Kwa allah kuna malipo kwakila ulilotenda.ubaya viongozi mmebeba dhima kubwa sana. Kwaufupi shekh ameeleza. Allah awasaidie viongozi wetu. .nyote mtakakufa na mtalipwa kwa muliyo watendea mnao waongoza.kuna pepo na moto
Sheikh Muhammad Bachu Darsa ya Haki au Uadilifu umeogopa kuingia deep kutokana na khofu ila ni lesson kubwa sana hijjatulwadani mtume alisema na hadithi lquduthiyyu حرمت علي ظلما فلا تظلموا
Sheikh, let's tell the truth, show justice even if people hate us, our goal is to please Allah (swt), not to please mr .... or mrs ... anyone else. Allah akubariki,, Ameen.
Siasa ya Zanzibar ni tatizooo kubwa mnoooo …. Na wasipojielewaa watawala , basi wataendelea kuwauwa raia wake mpka kiama kitasimama….. mungu tusitiriii 🙏🙏
MashaAllah sheikh, nimekuckiliza vzr sn ila kiushauri wng ingetosha kumkataza sheikh asiongelee siasa misikitini kulikoni kuchambua maongezi ya hao wanasiasa kwani kwenye hayomaongezi yako pia inawezakua kampeni kw wale wanaoamini wanayoyatetea ni muhimu na lazima kuyatetea Namaanisha wanaoamini kulinda amani ni wajibu watachukulia hivo na wanaona haki ni lazima wataona wanalazimika kuitetea haki yao
bachu kushasoma hapo kuwa hakuna amani isipokuwa kwa haki cc vp unasema ukiulizwa lipi Bora utasema et amani mm nasema kwa mujibu wa hicho kitabu bc nibora haki kwanza
Pia kw vile sheikh wetu tunakupenda na tunakufatilia sn mie nakuomba hy mambo ya wanasiasa achana nayo inshaAllah utakua ktk heshma na kukueka ktk amani km ulivosema siasa kw Zanzibar ni jambo kubwa na istoshe ukiigusa tu basi watu hukutafsiri vyengine bora iache na uendelee kutukumbusha inshaAllah
Sheikh kasema kweli..mie always nilikua nasupport upinzani lkn nawashauri wazanzibar wenzangu tulinde amani..awo viongozi wa upinzani nahisi wanapigania matumbo yao sana kuliko ivo wanavisema wanadai haki...miaka minne ishapita zanzibar alhamdullilah kuna amani watu wanaeeza kutoka nje ya majumba yao kuhanhaikia kula yao na family zao..bora ya ayo kuliko kufata upinzani kusema tunatanaka zanzibar ya mamlaka kamili..inshallah ikifika muda na subra zetu zanzibar itapata mamlaka kamili lkn kwa sasa tulinde amani..kapige kura mtu unamtaka alafu atakaeshinda au atakaepewa urais basi ndo uyo uyo rais tumsapoti
Kupiga kura humupigi kura kwasababu ni kharamu ila mtawala akishakuiba na kudhulumu watu na kuuwa akajiweka madarakani kwa kwanguvu na kudhulumu wengine munamkubali na kuwaraisi wenu basi na nyinyi munaunga mkono udhalimu na anaeunga mkono udhalimu na yeye anakuwa nani?
UWADILIFU NI KUFUATA YALE RASUL ALIYO AMRISHWA NA ALLAH BACHU KAA UTULIE WOTE WAKO KATIKA NJIA YA BATWILI NA KUNA HATARI WOTE WANAWEZA KUFU WAKIWA WAPO NJE YA RADHI YA ALLAH USIPAKE RANGI BACHU KUTAKA KUFURAHISHA UPANDE WOWOTE
@@Zanzibar0001 sawa ww ambae akiliyako inaona siyo kipofu kwa ushahidi wa Quran hadithi au Makubaliyano ya wanawazuoni yaani kwakauli ya mwanachuoni jee ni ipi hiyo akili kipofu ?? jibu hili kwanza tafadhali
Ni watu tu ndio wanamwita sheikh nakumbuka darasa ya nyuma iliyopita alisema kwamba hata yeye binafsi hajafikia umri wa kuitwa shekhe ni nyinyi tu ndo mnamuita shekhe ni sisi wenyewe ndo tunayemwita shekhe jamani yeye hajawahi kujiita sheikh hata siku moja kwa sababu anajua ni umri gani mtu anafikia kuitwa shekhe ama anakuwa na vigezo vya kuitwa shekhe
Shekhe bachu ,nakupenda sana na nnakukubali kwa juhudizako katka dini. Ila NAKUOMBA SHEKHE NJOO UWEKE SAWA HIZI SHUBHA ZA HAWA WAGANGA, NA HUYU CHAKA. MBONA HUMALIZI WASHIMA MENGINE?
Huyo mzee 12:03 anayosema c o mageni ni mnafiki anatetea maovu km una hamu yakujengewa subiri ufe utajengew halaf apew miaka 20 umri unagaw ww maiti mtarajiw
Wewe na hawo na huyo ni sasa baada kuzungumsia uislamu na ukafiri na kuonesha ni haramu Muislam kushiriki ktk ukafiri wa siasa za kikafiri. Ukweli mnafikia ktk ukafiri kwa kweli na mnahalalisha ukafiri Hamnaa kitu kwa kweli.
Leo umetoa clip mtandaoni ambayo kwa maoni yangu ni clip namba moja,haina mabishano,malumbano,makejeliano,minakasha ya kimadhehebu na tafauti za kiitikadi ambazo matokeo huwa hayapo sababu kila madhehebu ina itikadi zake juu ya jambo fulani. Kuhusu hii mada iko sawa kabisa kampeni za siasa misikitini iwe ni mwiko na sababu ulizozitoa ni safi sana.Mada kama hizi ndizo zinazofaa mitandaoni,mada nyinginezo madarasani ni muafaka kabisa.
Sheikhe mohammed upo sahihi lakini hawa ccm wanalaana hata watu hatoingia barabarani lakini kwanini wanavamia nyumba za watu kuwaibia kuwabaka ..kuwapiga mfano chaguzi ilopita 2020 nungwi na vijiji vyengine kuhujumiwa
Kusoma raha jamani hapa pamebainishwa mambo sio mchezo Allah akuhifadh sheikh Muhammad inshallah
Kwa hakika sheikh MUHAMMAD ni mzungumzaji wa ukweli ... ALLAH atakulip insha Allah
Huku kwetu Msumbiji. Wallahi ni mtihani. Hayo unayo yasema kipenzi changu kwa ajili ya Allah,Tunayapitia sasa hivi
Uko msumbiji sehem gn
Msumbiji
Hongera Sana... Allah akubariki akuepushe na Kila shar zte
Shukran sheikh Muhammad. Allah akuhifadhi na akuongoze kuisema haki amin.
MashaAllah Imaam Sheikh Mohammed Bachu...❤
Bachu, atakae sikia video hii ya leo atajua kabisa kua bachu ni level nyingine ALLAH ametubariki, Allah atuwekee hii hazina ishallah.
Ameen
acha ushabiki kwenye mambo ya dini level nyigine ya nn?
@khamissehel-jr1cs sasa ushabiki gn hapo au hiyo kupiga kampeni msikitn ndo unaona uko sahihi, au yupi katk hao wawili yuko sahihi kwa alichoongea .
YA mama akoo
Naam kweli kabisa mana ikifika siku za uchaguz watu wanahofia ata kwenda mskitin Allah atuhifadhi
shekh Muhammad Allah akuhifadhi wanafiki utawaona hapo
Kwa mara ya mwanzo nkiwa na umri 32 kusikia kiongoz wa kidini ktk visiwa hv kuitanabaisha serikali juu ya HAKI kila 1 kataliwa na hofu dhidi ya watawala....ALLAH akuhifadhi sheikh Muhammad Bachu ktk huihubiri HAKI na AMANI bia kuegemea upande wwt.
Muhimu sana mw.wetu maana wanalingania Shari kuliko amani . Allah akupe nguvu za kuzid kuelimisha
HAKI ipo wapi?.
Wekeni haki na uadilifu, amani itakuja wenyewe
Maalim Allah ajaalie hiki kizazi cha bachu kisikatike kiendelee kizazi na kizazi inshaallah
Tupo na wewe mkono kwa mkono.
Mimi wakati miaka ya wakati wa sheikh Nasoro bachu Allah amurehemu na aijaze nuru kaburini mwake... kulikuwa na masheikh wengi tu hasa inchini mwetu Kenya lakini bila ushabiki kaa kuna sheikh alikuwa akiongea na nikaridhika bila kujichanganya alikuwa sheikh Nasoro bachu kwakweli Allah alimufanya kuwa sababu imaani yangu kuwa dhabit katikadini hadi wa leo... Alhamdulilahi Kila napomtizama na kukusikiriza kakangu sheikh Mohammed Nasoro bach sioni tofauti na sheikh Nasoro Bachu..na walai kaa aliomba dua ya kheir dhiidi yako hakika tunashuhudia majibu ya Allah kwa mja wake mwema sheikh Nasoro Bachu.. Allah amurehemu na afanye kaburi lake shimo miongoni mwa mashimo ya jannahtul fil dausil alaa.
Tunapata faida nyingi kupitia ww shekh muhammad bachu Allah akubarik
Aljy samhn we ni Yule Sheikh Hammad Nassor unatoa Darsa misikiti wa Darajani 😢
Allah akujalie kila lakheri shekh. Umetoa darasa kila mwenye akili timamu atakua amekuelewa.. inshallah iwafikie viongozi wetu Hawa wawili wakae pamoja .wachanganye amani na haki . inshallah allah atatuvusha salama. Maisha yaduniani nimafupi. Kwa allah kuna malipo kwakila ulilotenda.ubaya viongozi mmebeba dhima kubwa sana. Kwaufupi shekh ameeleza. Allah awasaidie viongozi wetu. .nyote mtakakufa na mtalipwa kwa muliyo watendea mnao waongoza.kuna pepo na moto
Shekh mungu akuakuzidishiee sana umeonge maneno mzima sana
Mm nimekuekewa sana Muhammed na maelezo yako Amani inaanza na haki maonevu huzaa ugomvi kwsbb unachokaka unajitolea liwalo naliwe
Haki ndio huzaa amani
Muhamad sheikh kakosea sana walwah natayari kachonganisha watu huyo kashaharibu bora atengeneze kai yake.😊
Maashaa Allah ni nasaha nzur kwa viongoz na jamii nzima 🤗
Yalitukuta Burundi 🇧🇮 mwaka 2015, chungeni amani zenu
Allah akulipe na akuhifadhi Sheikh
Allahuma Amin Amin Amin
Amin Amin Amin
Haki huzaa amani
Sheikh Muhammad Bachu Darsa ya Haki au Uadilifu umeogopa kuingia deep kutokana na khofu ila ni lesson kubwa sana hijjatulwadani mtume alisema na hadithi lquduthiyyu حرمت علي ظلما فلا تظلموا
Masha Allah, uyuu jamaa anaumri mto lakini kanamaarifa sana kwenye maongezi
جزاك الله خيرا يا شيخ محمد ناصر
Mashaallah Nakupnda Sheikh Moh'd Nassor Bachu kwa ajili ya Allah
Sheikh bachu hodari mashallah..🎉
Shekh iyo point alafu baadae akija akakandwa watafatwa watu wanoswali uo msikiti. Duu ila siasa🙌
ALLAH AKULIPE KHERI
Muhamad kujibu ni Sahiji sana nyinyi msisikie tu kaeni hivyo hivyo
Maashallah, allah akuhifadhi na maadui, ameen.
Mashaallah allah akuhifadhi na akupe elimu
Masha Allah Leo pia umesema haki tena kwa busara pia
Mungu akuongoze waalimu kam nyinyi ndo tunawahitaji Zanzibar tumekufaham snna
Amin Amin Amin
Kweli shekhe bachu ostadh amekosea ila hata viongozi wa siasa haifai kuongelea siasa zao msikitini
@@amirmape6474 hawakuongelea siasa walitoa nasaha kwa waumini
Sheikh, let's tell the truth, show justice even if people hate us, our goal is to please Allah (swt), not to please mr .... or mrs ... anyone else. Allah akubariki,, Ameen.
Alhamdulillah nasaha njema kabisa
Sheikhe upo na akili sana maashallah elimu nzuri sana hii ...
Uyu mzee anaonge pumba sana nshamsikia clip zake nyingi msikiti kaugeuza branj
BAARAKALLAH FIIK habiiby
Siasa ya Zanzibar ni tatizooo kubwa mnoooo …. Na wasipojielewaa watawala , basi wataendelea kuwauwa raia wake mpka kiama kitasimama….. mungu tusitiriii 🙏🙏
@@living_creature99 Aamin na raia pia wajielewe tu
Mwamba nakukubali sana
Alla akuhifadhi
Kwnn Musa hakutuliatu akamuangalia Firauna.
Kuna siku watu walilazimishwa kumtaja rais kwenye hotuba ya ijumaa jambo ambalo wengi wa waumini hawalitaki
Ujumbe ushawafka masheikh waislamu na viongozi
Umeshamaliza maneno amani haisimami kama hakuna hakiiii hakuna uadilifu.
Kwa mungu hakuko mbali fact
Huyo mzee anataka huo mskiti ukimbiwe na hiyo ni nyumba ya mw.mungu
Hakuna amani bila ya haki tujitahidi kutenda haki tupate amani jambo rahisi kabisa
Asalaam maleikm Sheikh Muhammad
MashaAllah sheikh, nimekuckiliza vzr sn ila kiushauri wng ingetosha kumkataza sheikh asiongelee siasa misikitini kulikoni kuchambua maongezi ya hao wanasiasa kwani kwenye hayomaongezi yako pia inawezakua kampeni kw wale wanaoamini wanayoyatetea ni muhimu na lazima kuyatetea
Namaanisha wanaoamini kulinda amani ni wajibu watachukulia hivo na wanaona haki ni lazima wataona wanalazimika kuitetea haki yao
bachu kushasoma hapo kuwa hakuna amani isipokuwa kwa haki cc vp unasema ukiulizwa lipi Bora utasema et amani mm nasema kwa mujibu wa hicho kitabu bc nibora haki kwanza
Mashallah 😊
Chungeni haki ili amani isitoweke
نسأل الله العافية والسلامة
Kama Husein Mwinyi Anataka Amani aanze yeye mfano hski ndio shida haijui
ALLAH BARIK
Pia kw vile sheikh wetu tunakupenda na tunakufatilia sn mie nakuomba hy mambo ya wanasiasa achana nayo inshaAllah utakua ktk heshma na kukueka ktk amani km ulivosema siasa kw Zanzibar ni jambo kubwa na istoshe ukiigusa tu basi watu hukutafsiri vyengine bora iache na uendelee kutukumbusha inshaAllah
Yaan Allah anashirikishwa halaf unalingania Amani? Hski za Allah zitekrlezwe Kwanza. Kama mnalinganiana katika Ukafir halaf mnaita Amani?
Kwelishehe asante sana
Naomba namba ya simu ya huyu sheikh Bachu
Sheikh kasema kweli..mie always nilikua nasupport upinzani lkn nawashauri wazanzibar wenzangu tulinde amani..awo viongozi wa upinzani nahisi wanapigania matumbo yao sana kuliko ivo wanavisema wanadai haki...miaka minne ishapita zanzibar alhamdullilah kuna amani watu wanaeeza kutoka nje ya majumba yao kuhanhaikia kula yao na family zao..bora ya ayo kuliko kufata upinzani kusema tunatanaka zanzibar ya mamlaka kamili..inshallah ikifika muda na subra zetu zanzibar itapata mamlaka kamili lkn kwa sasa tulinde amani..kapige kura mtu unamtaka alafu atakaeshinda au atakaepewa urais basi ndo uyo uyo rais tumsapoti
Bila ya haki amani haitosimama
Kupiga kura humupigi kura kwasababu ni kharamu ila mtawala akishakuiba na kudhulumu watu na kuuwa akajiweka madarakani kwa kwanguvu na kudhulumu wengine munamkubali na kuwaraisi wenu basi na nyinyi munaunga mkono udhalimu na anaeunga mkono udhalimu na yeye anakuwa nani?
Tunaongozwa na katiba isiyokua ya uislam lakini hutakiwi kuvunja amani Bora hawajaingilia dini inatakiwa kumtii kiongoz
Hata kama ni kwa dhulma, rais ni rais tu, hata ukimkataa, yeye ndie rais.
Kweli nakunga mkono sana msikiti tutaikosesha hadhi misikiti na huuu wakati si wakampeni serekali itatowa muda maalumu wa kampeni
sheikh izo video zinazokuj endelea kueka sawa lakin usiek msimam wak sheikh wazi
Sheikhe bachu sisi kufata mfumo wa demokrasia nisawa 3 Tufamishe.
Yule sio shegh bali ni kilanza tu( kama kasoma na elimu imemfikisha hapo hamna kitu mle))) hajielewi yule kabisaaa: yule mweupe mweupe
Maashaallah safi sanna
UWADILIFU NI KUFUATA YALE RASUL ALIYO AMRISHWA NA ALLAH BACHU KAA UTULIE WOTE WAKO KATIKA NJIA YA BATWILI NA KUNA HATARI WOTE WANAWEZA KUFU WAKIWA WAPO NJE YA RADHI YA ALLAH USIPAKE RANGI BACHU KUTAKA KUFURAHISHA UPANDE WOWOTE
inavyoonyesha wewe hujaisikiliza yote, umesikiliza vipande vipande tu halafu ukaamua kubwabwaja.
Labda kapewa kiasi ya kufuta macho ampigie upato ila alhamdulillah Kuna faida ya watu wajue siasa n miskiti kandooo
Leo ndo nimeamini wew kweliiiii kichwa cha mwendawazimuuuuuuuuuuuuuuu
ww ulitaka iweje kwa mfano
Umetoka kulewa nin wee bunju
@@allysaid5800 Allah anilinde nakilevi chochote nimekuliza jibu swali ww ulitaka iweje nirahisitu kusema ulichotaka bachu aongee sasa mambo ya ukulewa yanatoka wapi
Akili yako ni miongoni alizozitaja Allah kama akili iliyokuwa Kipofu
@@Zanzibar0001 sawa ww ambae akiliyako inaona siyo kipofu kwa ushahidi wa Quran hadithi au Makubaliyano ya wanawazuoni yaani kwakauli ya mwanachuoni jee ni ipi hiyo akili kipofu ?? jibu hili kwanza tafadhali
Bachu leo ndio nimeona hekima yako il usivutane kwenye made hebu utapotea
Kuna masheikh ni wakereketwa sana wa vyama hawawez kujizuia hii ni kutokujilewa
Kiukwel amezubgumza maneno ya fitna ndani ya msikiti ,amesahau lazi za miskiti na wajibu wake laiti angejua asingeporoja hii porojo
Uyu mbona anaonekana kama sio shekhe, ni mkereketwa ila hataki2 kusema
Fact
Ni watu tu ndio wanamwita sheikh nakumbuka darasa ya nyuma iliyopita alisema kwamba hata yeye binafsi hajafikia umri wa kuitwa shekhe ni nyinyi tu ndo mnamuita shekhe ni sisi wenyewe ndo tunayemwita shekhe jamani yeye hajawahi kujiita sheikh hata siku moja kwa sababu anajua ni umri gani mtu anafikia kuitwa shekhe ama anakuwa na vigezo vya kuitwa shekhe
Huyo hawajui silva wanavo kamata vyombo
Shekhe bachu ,nakupenda sana na nnakukubali kwa juhudizako katka dini. Ila NAKUOMBA SHEKHE NJOO UWEKE SAWA HIZI SHUBHA ZA HAWA WAGANGA, NA HUYU CHAKA. MBONA HUMALIZI WASHIMA MENGINE?
Weka link hapa tafadhali... mimi sijaona hizo SHUBUHA.
ruclips.net/video/c-HRtE_mlLk/видео.htmlsi=MZSwKm3mK1srV4RJ
udhu upo iyo hadith ipo isemayo.ivo ila imedhoofishwa Allahu aalam
Huyo mzee
12:03 anayosema c o mageni ni mnafiki anatetea maovu km una hamu yakujengewa subiri ufe utajengew halaf apew miaka 20 umri unagaw ww maiti mtarajiw
Mashehe mchele kama hao wapo tele.
Assalaam aleykum warahmatulah wabarakatuh, naomba kuuliza ukitia nia ya kuchukua udhu lakini wakati unaanza kuosha viganja vyako hukusema Bismillah, je udhu utaswihi?
Haujasihi
Husein msikilize huyu Muhammed utaelewa unachofanya wacha kuigiza
Wewe na hawo na huyo ni sasa baada kuzungumsia uislamu na ukafiri na kuonesha ni haramu Muislam kushiriki ktk ukafiri wa siasa za kikafiri.
Ukweli mnafikia ktk ukafiri kwa kweli na mnahalalisha ukafiri
Hamnaa kitu kwa kweli.
Kama wanafunzi tuchungeni san kutoa comment zeny maneno ya kejeli kw walimu wet wlokosea licha y madhaifu yao.
SHEIKH MUHAMMAD UMEONGEA NASAHA MZR KWA PANDE ZOTE MBILI
MASHA ALLAH MUHAMMAD
Leo umetoa clip mtandaoni ambayo kwa maoni yangu ni clip namba moja,haina mabishano,malumbano,makejeliano,minakasha ya kimadhehebu na tafauti za kiitikadi ambazo matokeo huwa hayapo sababu kila madhehebu ina itikadi zake juu ya jambo fulani.
Kuhusu hii mada iko sawa kabisa kampeni za siasa misikitini iwe ni mwiko na sababu ulizozitoa ni safi sana.Mada kama hizi ndizo zinazofaa mitandaoni,mada nyinginezo madarasani ni muafaka kabisa.
Wewe bachu sisi kufata demokrasia nisawa. Maana demokrasia niharamu nahao wote wanaotaka uongozi ni wanademokrasia ambayo ni haramu.
Shekhena nae yupo kazin huyo kashatia mfukon 10,000
Hogera shehe
Maneno mabaya gani aliyosema
Huyu ni mlevi tu na asiejijuwa na wala hajitambui
Bila haki hakuna amani,kuomba duwa ni sawasawa na unafiki ikiwa hakuna haki,,,
Tunaenda na othman masooud othman kua rais wetu. Ccm hatuitaki tena wauwaji mpka kwa wachimbaji mchanga
Sheikh hii style yako mpya ya kuwa una hema hema!!! Kila neno inaboa
Kila MTU lazma upambane nae utajibu wangap kwani alipongea hajajua km yupo masjid mengine yakupite 😢
Kwani kuna haja gani hapo ya kupanga vitaabu teeeele hapo wakati kukaa wewe tu pekeako kunatosha....
Akhiy tambua kwamba dini yetu ipo ki elimu na dalili na sio kiakili akili tu kwaiyo tambua hivyo na usome hadaaka llaah yaa akhiy
Kwani wewe inakuuma nini!?
mashallah, allah akupe afya zaid,
Punguza muda wa video kaka kata hata mara mbili
Sheikhe mohammed upo sahihi lakini hawa ccm wanalaana hata watu hatoingia barabarani lakini kwanini wanavamia nyumba za watu kuwaibia kuwabaka ..kuwapiga mfano chaguzi ilopita 2020 nungwi na vijiji vyengine kuhujumiwa
Sheikh Bacha mimi nakuuliza swali kwani kusema hivyo wanasiasa wao imeruhusiwa ?