MAJIBU KWA MWALIM CHAKA NA YUSSUF DIWANI || Muhammad Bachu.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 535

  • @muhidinally3753
    @muhidinally3753 2 дня назад +8

    Sheikh Mohammad hakika wewe unatupeleka katika njia iliyonyooka aliyoileta Allah subhannah wataala. Tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @Tolleiyss-g6b
    @Tolleiyss-g6b 2 дня назад +18

    Nimewahi no13 Leo alhdllh nafaidika sana, mungu amjalie faida sheikh Muhammad Bachu wetu na waumini wote.

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 дня назад

      Maashallah Allah akujuaalie uwe wa mwanzo hivyo hivyo katika kheri nyingi akhy.

  • @KishkitvAhmad
    @KishkitvAhmad 2 дня назад +12

    Masha allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 allah akupe umri mrufu wenye Baraka na manufa uhibuka fi allahi sheikh muhammad nassor bachu

  • @cammackmarck
    @cammackmarck 2 дня назад +8

    Allah akuhifadhi sheikh uzuri wako unaonesh wazi kila kitu katk vitabu kinyume chake wao ndio wanaporoja maana hawana ata ushahid kwenye vitabu diwani anatakiwa atubie kwa icho alichokisema

  • @OmariOmari-y8h
    @OmariOmari-y8h 2 дня назад +6

    Diwani elimu huna hebu nyamaza acha kubishana na muhammd bachu utadhalilika hua ilmu nakwambiya tena allah atkudhalilisha

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 2 дня назад +23

    ALLAH AKUHIFADHI USTAADH WETU ,ENDELEA KUTUFAFANULIA ,NIMEKUWA WA KWANZA LEO ALHAMDULILLAH .MCHUNGAJI NI UBAO WETU LEO ,ALLAH AMUONGOZE KWENYE HAQI AINGIE KTK UISLAM

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 2 дня назад +7

    Mashallah Mohammad umempata ndipo Mganga mpaka ana pwayuka kama mwenda wazimu..Allah amuongoze Diwani.anatia huruma.Sheikh bachu Allah akupe umri uzidi kusafisha mazingara.

  • @muhamadkhalid4976
    @muhamadkhalid4976 День назад +1

    Maashaallah sheikh Muhammad tuko pamoja kwa kila hali mwalimu wetu ❤️❤️💯

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 2 дня назад +9

    Hapo sheikh Bachu umepata, uko sawa na sheikh Diwani hakufanikiwa , amekosa na mimi lugha yangu ni kiarabu. بارك الله فيك الشيخ باتشو لقد أصبت الحق في الصميم، إذ أن عادة الإنسان عندما يصيبه الضر لا يعرف أحدا إلا الله ولكن إذا تعافى ونجا من محنته ينسى ربه

    • @aooshosho4255
      @aooshosho4255 2 дня назад +1

      Sheikh Diwani kwalipi..hapo sheikh ni sheikh bAchu ndie asitaiki kuitwa sheikh... Diwani amechemsha aliemfunza anavyotafusiri alimpoteza....arudi chuo na ache kabisa kujibishana sheikh bAchu maana atamwaibisha zaidi ya hapo..

    • @aooshosho4255
      @aooshosho4255 2 дня назад

      Yaani Diwani ni ubao alafu sheikh bAchu ndie mwalimu si wanafunzi twapata faida 😅😅😅 walahi Raha.... lakini hii inakuwa Raha zaidi uwe umesoma Kiasi na usiwe na ushabiki hapo ndio utaelewa nani afae kuita mwengine mpumbavu jinga😅😅😅... kweli sikila ajuae yuajuwa kumbe ajui kaa ajui.

  • @RashidAhamed-kq6pt
    @RashidAhamed-kq6pt 2 дня назад +3

    Huyu ni mtoto wa shekh wetu kipenzi bachu katuachi tuna mshukuru allah kwa hili mungu amlaze mahali pema peponi shekhe wetu nassor bachu

  • @FayeezAlbahassaney
    @FayeezAlbahassaney День назад

    Sheikh Mohd bachu Allah akulnd na mahasid haw InshaAllah

  • @nduwimanayusuf7661
    @nduwimanayusuf7661 10 часов назад

    ALLAHU askulipe malipo makubwa kwa kazi hii ispokua pepo ya firdaus ue pamoja na Mtume Muhammad

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 2 дня назад +4

    Bachu Alla akupe ufahamu mwingi na hekima za kuanyoosha waganga hawa

  • @ibrahimmaabadi1586
    @ibrahimmaabadi1586 2 дня назад +4

    Hafidhaka Allah ya sheikhna. Yani hao watu hawaogopi hata kumzulia Allah uongo. Sasa nimetambua ni watu wa sampuli gani. Allah awaongoze katika njia iliyo nyooka.

  • @RamadhaniShembilu-l1e
    @RamadhaniShembilu-l1e 2 дня назад +2

    Mashallah allah akulipe sheri shekhe bachu, hawa waganga ukweli hawana hojja, naelimu pia niweupee,wamesomea matusi tuuu,hojayao ilibaki matusi matupu

  • @bindjuma8821
    @bindjuma8821 2 дня назад +1

    Jazak'Allahu khayr Sheikh Muhammed bachu iyo familia ya madiwani imesha poteza muelekew sabasa kashindwa hoja za maulidi kapotey sas nduguy yousouf diwani kaamuwa kuja kupotosha Allah azid kuwaongoza

  • @SleepyBarbecue-oe6cu
    @SleepyBarbecue-oe6cu 2 дня назад +3

    Allaah akujaze kheir yaa sheikh, hata ktk nyakati zetu hizi ipo mifano ya washirikina tena wanaojinasibisha na uislaam baadhi ya wakati wanaacha kuomba wanavyoomba ktk shirki zao na kumuabudia Allaah, baadae humidity shirking zao, waganga kuku waislam inapofika ramadhani huwacha Uganga na kuingia kwenye ibada ya funga, ikiisha tu ramadhan Uganga unarudia palepale.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 дня назад +6

    Mtu kama hana subira pia hana sifa ya kuwa dai'.ALLAH A'ZZA WAJALLA Ametuamrisha kuwa na subira katika Daawa na maeneo mbali mbali.

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 2 дня назад +12

    Napenda sn jinsi Bachu alivyokua hajibu matusi wala halalamikii kutukanwa na Diwani wala matusi yao hayamrudishi nyuma ktk daawa, laiti nae angekua anajibu matusi basi Diwani angefarijika kuona kua kumbe sote n wajinga ila kadri anavyojibiwa kistaarabu ndio anavyozidi kuumia 😢

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 дня назад +2

      @@abdulmohd6880 Allah says in the Quran وَإِذَا سَمِعُوا۟ ٱللَّغۡوَ أَعۡرَضُوا۟ عَنۡهُ وَقَالُوا۟ لَنَاۤ أَعۡمَـٰلُنَا وَلَكُمۡ أَعۡمَـٰلُكُمۡ سَلَـٰمٌ عَلَیۡكُمۡ لَا نَبۡتَغِی ٱلۡجَـٰهِلِینَ

    • @MussaYasini
      @MussaYasini 2 дня назад +1

      Sahihi kabisa akhy

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 2 дня назад +5

    أسأل ألله أن يوسع لي ولك كلّ طريق وينجيني وينجّيك من كلّ همٍّ وضيق
    أسأل ألله أن يملأ قلبي وقلوبك بالأنوار ويحفظني ويحفظك

  • @abdulazizimbwana1586
    @abdulazizimbwana1586 День назад

    Mashaallah shekh muhammad bachu allah akuhifadhi nakila baya

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 2 дня назад +2

    MAASHAA ALLAH TABARAKALLAH SHEIKH ALLAH akupe subra kwakazi nzito

  • @AhmedMohamed-mw3ev
    @AhmedMohamed-mw3ev 2 дня назад +2

    Masha Allah endelea kutupa elimu mm nakuelewa vizuri sana shekh wangu

  • @Khatib-iv9pb
    @Khatib-iv9pb 2 дня назад +1

    Mashallah mashallah mashallah, sheikh Allah akuzidishie elimu uzidi kutuelimisha, Allah amekujaalia ufasaha sheikh wetu mashallah, mtu km hataki kufahamu ubakie ukaidi wake tu

  • @mbarakjamal1273
    @mbarakjamal1273 2 дня назад +1

    Yussuf diwani hajui nguvu yake katk jamii, anatupotosha wengi mno , na sisi tunamuamini kwasababu ni shekhe kumbe atuvuruga, SUBHANALLAH, MUHAMMAD BACHOU ALLAH AKUHIFADHI TUPE VITUUUUUUUU

  • @alifoum6236
    @alifoum6236 День назад

    Allah akuhifadhi pamoja na sisi, usichoke ustath hakika ukweli unazidi kuonekana

  • @SALIMTV-vo7es
    @SALIMTV-vo7es 2 дня назад +1

    Masha Allah Shukran , Allah akujalie kheyr na Siha njema Ssisi tunamfaham mganga wa tiba asili huyoo, Hana elimu anakurupuka Kwa kauli hii ni sawa na murtada huyuu

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana 2 дня назад +4

    Asalam alaikum warahmatullah allah akupe subira kijana wetu mwalim bachu kwa maneno machafu anayo kuchafuwa kwayo huyo diwani

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 2 дня назад +4

    ALLAH A'ZZA WAJALLA Akuhifadhi al akhiy lkariim. Endelea kubainisha Haqqi. ALLAH SUBHANAHU WATAALA Akuimarishe ktk subira. Watu wengine ni mitihani kwa mengine.

  • @AliJuma-k2t
    @AliJuma-k2t 2 дня назад +1

    Kwahili laleo bachu ukosawa mnyenge mnyongeni lakini hakiyake mpeni lakini aelewe tu hatayeye wakatimwengine hufanya kamahaya au kuliko haya kwahio wenzako wanapokukosoa usiwembishi hakunamkamilifu ispokuwa allha pekeyake mungu akuongoze katika kuijuwa haki nakuitowa kw umma❤❤

    • @hassanmohamedlaizer569
      @hassanmohamedlaizer569 День назад

      Allah akuongoze na wewe katika haqq❤❤

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 16 часов назад

      Sio swali la leo tu kama utamfuatilia Muhammad Bachu mambo mengi anayojadiliana na watu anakuwa yupo sawa ukianana na ushabiki utagudua hilo.wewe vuatilia clipu zake tofautitofauti.

  • @HamadMwalimu
    @HamadMwalimu 2 дня назад +2

    Masha Allah Allah akuhifadh she Muhammad bachu

  • @k.kchakua1376
    @k.kchakua1376 2 дня назад +2

    Jazaqallahu khaira Sheikh wangu Allah akuzidishie Afya njema wew na Familia yako.
    Ahh.. Allah Akuhifadhi na Hasad ..Endelea kutuelimisha Kama yeye hataki kuelewa kwakukaza UBONGO ...Jamii inakuelewa. Acha aendelee na Matusi atakutana nayo Kaburini.

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 дня назад +1

      Wallah akhy nimepeleleza watu wingi sasa tumeshachoka kuwaombea kina diwani na ndugu yake uongofu maana wamezidi sasa,,, Namuomba Allah awabainishe diwani na mdogo wake.

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g 2 дня назад

      @@KhalfanMassoud Diwani hajawahi kukubali kosa tangia aanze kukosolewa ndio maana awaita Salafy ni wakatoliki Subhaanallah.

  • @MasoudChoum-pp1ob
    @MasoudChoum-pp1ob День назад

    Leo umewasafishia mazingira kiongozi barallah fii umrika wa ilmika wa fii swadiq

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 2 дня назад +2

    Maashaa Allah Jazaka Llahul khayr. kwakweli Diwan hajielewi anataka kushindana na haqi ata km atakufuru yeye hajali iliobaki ni Allah kuwaadhiri tu

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 дня назад

      Allah awabainishe maana sasa tumechoka kuwaombea uongofu,,,

    • @saadaAbdalla1371
      @saadaAbdalla1371 2 дня назад

      ​@@KhalfanMassoud kweli kabisa wao wanatak ushindan wanasahau hii ni dini mtihani

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 2 дня назад +3

    فرَّج الله همك، وقضى دينك، وأسعدك في الدنيا والآخرة ‏ "♥"🤲🏽❤❤❤

  • @ShauriAbdallah
    @ShauriAbdallah 2 дня назад +2

    Aisee wanakuchukia bure tuu,wanakutukana buree.Kumbe Allah kakusaidia unaelewa mambo.

  • @fatmasuleimanhamad
    @fatmasuleimanhamad 2 дня назад +1

    Maashaallah. Mwenyezi Mungu akulipe kheri Inshaallah

  • @alifoum6236
    @alifoum6236 2 дня назад +1

    Allah akuongoze wewe na sisi, hakika ukweli unaonekana

  • @AdnanFonte
    @AdnanFonte 2 дня назад

    m/mungu akubariki muhammad bachu ❤❤ na amsamehe mzazi wako

  • @AdnanFonte
    @AdnanFonte 2 дня назад

    ❤❤❤❤ bachu unajua vitabu sana hukurupuki tu

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 2 дня назад

    Wallahi bachoo Alla akuzidishie subra nasisi atupe subra hili jamaa lina matusi mabaya sisiwengine tusingeweza hili jamaa nijahili sanna

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 2 дня назад

      😂😂😂😂😂😂 kweli kabisaaa

  • @dhidhasalim267
    @dhidhasalim267 День назад

    Huyu diwani ni wale "fi qulubihim maradha fazadahum maradha".
    Ni vizuri pia anawakilisha masheikh ubwabwa wengi Afrika mashariki ambao wanafaa kuanikwa namna wanavyopotosha waislam.Sheikh Bachu Allah akuhifadhi akupe umri mrefu upate kutubainishia maovu wanayoyafanya ili ummah uongoke insha'Allah.

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 2 дня назад +3

    Hivi shekh wangu Muhammad bachu mpaka sasa hukugundua kwamba Diwani ni Jaahili Murakkabu anakupa shida bure

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 2 дня назад +1

      😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤kweliiiiiii kabisaaaaa

  • @FatnaIddy-p6k
    @FatnaIddy-p6k 2 дня назад

    Masha Allah Allah akujaze kheri sheikh wetu

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 2 дня назад

    Allah akubariki Muhammad Bachu kupitia wewe wanaelimika wengi

  • @hassanmohdally5217
    @hassanmohdally5217 2 дня назад +1

    Diwani anakurupukaa sanaa kmaa Shekhe haifai kufanyaa hivyoo huyyu bachu anaelimu kubwaa sanaa

  • @abdulwahidmansour5450
    @abdulwahidmansour5450 День назад

    Allah akuongoze ww na sisi mpaka peponi

  • @zitoinze8953
    @zitoinze8953 2 дня назад

    Allah akuhifadhi ya sheikh na amsamehe sheikh yussuf diwan

  • @Bantu-u9m
    @Bantu-u9m 2 дня назад +2

    Hata hao washirikina wanao tamka Alla, kwanza wanamtambua Alla Mwenyewe, halafu pamoja naye wanaambatanisha na chengine katika nyanja zote tatu za kumpwekesha Alla. Iwe katika maombi 1. Ibada 2. Au sifa. ( Shirki imegawika sehemu mbili - kuna shirki ndogo na kubwa!

  • @khamisali5942
    @khamisali5942 2 дня назад +3

    Tangu dunia iumbwe na na vitu vyote vilivyomo ndani yake Haijawah kutokea kiumbe chchot kuitwa ALLAH. Hata hao makafiri hawasubutu kutengeneza mungu wao halaf wakamwita ALLAH leo diwan kwa ujinga wake anawapa makafiri jina la ALLAH ndo jina miungu yao huyu ni AHMAQ

  • @MASOUD-e3i
    @MASOUD-e3i 2 дня назад

    Allah Akubariki Sheikh Bachu Masha Allah

  • @BafaaAbuu-c5y
    @BafaaAbuu-c5y 2 дня назад +3

    Allhamdulillah allah akupe elimu yenye manufaa na ww na sisi pia kupitia ww inshaallah shekh tunakuelewa sana huyo diwani wa washirikina tayari kashazalilika allah kashamfedhehesha anadai alipigiwa simu akaambiwa aache matusi uongo aliambia kua maneno alio yaongea kuhusu allah amekufuru arudie tafsiri lakin nilicho gundua ukiachana na uchawi naushirikina pia ana kibri kikubwa mpiga haki

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 2 дня назад +2

    ❤❤❤❤أسأل الله أن يرفع درجتك

  • @ShauriAbdallah
    @ShauriAbdallah 2 дня назад +1

    Kazi kutukana tuu,kumbe hakuna wanachojua.

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud 2 дня назад +15

    Jamani hili ni ombi letu sisi naomba mulipe likes ili liwe linaonekana kwa ukaribu na mapema mtu akiangalia comments,,,,
    > *_Tunamtaka diwani afunguwe comments section_*.
    > *Matusi yake hayatomfaa kwa Allah na kitu chochote*.
    ****OPEN THE COMMENTS SECTION* FUNGUA COMMENTS SECTION.

    • @Ahmadiyyāh.02
      @Ahmadiyyāh.02 2 дня назад

      😂😂😂😂 hahahaha,hata Mimi naona kabisa siwezi kutoa COMMENTS

    • @khalifa_kuchi
      @khalifa_kuchi 2 дня назад +1

      Diwan na upepo ni sw wote wanapoingia ktk hoja ambayo wana uhakk kua wao wamekosea bx wanafunga comments section sijui kw nn sas km kwel wao wapo ktk haki na wanajiamin kw nn wafunge comments section najiuliza mpk leo sijapata jibu me pia naomba afikishiwe ujumbe InshaAllah na huenda ikawa ni 7bu ya kuacha ushirikina wake

    • @MohammedBakari-pn9yg
      @MohammedBakari-pn9yg 2 дня назад

      Yan diwan kila anavyojibu namuona kumbe jama nimweupeeee ktk hii dini kama alivyokua mweupe dk sule

    • @MafundaSule
      @MafundaSule 2 дня назад +1

      ​@@MohammedBakari-pn9yg Diwani hataki kusoma na hasikilizi ushauri wa sh Muhammad bachu mara kwa mara anamnasihi kusoma, yan levo za Diwani, Sule na Mazinge zinaendana

    • @YahyaAli-o9z
      @YahyaAli-o9z 2 дня назад +2

      ​@@MafundaSule nyny ndo hamjasom mnaopotosh watu neno الله makafiri wanatamka hivi neno آله haujuw na جمع ya الله au haujuw na آلهتهم الهتنا hamyaoni hayo maneno ? Hakuna kafiri ambaye anatuhid wachen upotoshaji soma Aya 16 suratul hashri كمثل الشيطان إذ قال الإنسان كفر فلما كفر قال إني بريء منك إني أخاف الله رب العالمين na hii Aya tuambieni iblisi anayo tauhid maan yak kasem إني أخاف الله رب العالمين semen iblis anayo tauhid wachen kupotosh watu

  • @niffonlinetz7214
    @niffonlinetz7214 2 дня назад +1

    ALLAH AKULIPE KHERI SHEKHE WETU

    • @AbdullaHaji-b7d
      @AbdullaHaji-b7d 2 дня назад +1

      Allah SW Akuhifadhi kijana sheikh Mohammad

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 День назад

    Kijana mdogo mwenye Ilm kubwa Ma Shaa Allah

  • @feizalmas
    @feizalmas День назад

    Kisa Cha hao watu wa kwenye jahazi inaonekana ni watu walomjua Allah na haliyakua walikua wanaabudu miungu Kwa maslahi Yao ndomana walipopata tabu wakamuomba Allah Kwa kua wanamjua. ila hawa wakiristo wa Leo hawamjui Allah na hawamuamini.

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 2 дня назад +4

    A.alaikum
    Ndugu yangu yussuf Diwani nakukumbusha mambo mawili ambayo umekua ukiyafanya:
    1.Kwanza Umekua Ukiwatuka wanawazuoni ukidhani unamtukana M.bachu na kukumbusha tu Nyama zao zina sumu kali na dawa yake huna wewe
    2.Pili Umeikufuru Qur'an bila wewe mwenyewe kutambua na kama unatambua hilo basi unakibri ukumbusho tena nakuomba kwaajili yaAlllah rudi ukatubie na useme shahada tena kwani usisahau wewe ni marehemu mtarajiwa na utakwenda kuulizwa kwani Haki haiyangaliwi yatoka wapi ndio iwe Haki hatakama ni kwa mtu usio mpenda bado ni Haki na nijukumu lako kuikubali.shukran.

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 2 дня назад +1

    Shukran Jazeera

  • @jumabalozi
    @jumabalozi 2 дня назад +4

    Mh leo cjaona coment za masufi nazani kuna kitu wamefaham allah awaongoze.

    • @naasibabuu
      @naasibabuu 11 часов назад

      wapo hoi saiz wanajiuliza huyu diwani ni sheikh au ni miongoni mwa walioshindwa kwenye udiwano

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 2 дня назад

    Assalaamu alaykum ahasnte sheikh Muhammad Bachu kwakutufumbua macho.

  • @FrankAloyce-ic6rq
    @FrankAloyce-ic6rq 2 дня назад +2

    Uyo ndo bachu msomi anajua anachokifanya

  • @twahaally7251
    @twahaally7251 День назад

    وَالدَّلِيلُ قَوْلُهُ تَعَالَى:
    Na dalili ni kauli Yake Ta’aalaa:
    فَإِذَا رَكِبُوا فِي الْفُلْكِ دَعَوُا اللَّـهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ فَلَمَّا نَجَّاهُمْ إِلَى الْبَرِّ إِذَا هُمْ يُشْرِكُونَ ﴿٦٥﴾
    ((Wanapopanda merikebu humwomba Allaah wakiwa wenye kumtakasia Yeye Dini, lakini Anapowaokoa katika nchi kavu, tahamaki hao wanamshirikisha))[17]

  • @NdarukeJuma
    @NdarukeJuma 7 часов назад

    Sheihe wangu paleulipomradi alhad madam yahaleluya nimekua napatadarasakubwasanakutokakwako endelea kutuelimisha sheih

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 День назад

    Diwani Na genge lako nendeni Kwa Sheikh Muhammad bachu mkasome tafsir hsmjui kitu

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 2 дня назад +3

    Looolo diwani muombe Allah msamaha Wacha kiburi, yule shekhe Wa tanga alikuonya ukamwita mkatoriki Sasa kwa hili wewe na yeye mkatoriki ninani

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 2 дня назад +1

    Hata Wana wa Israil (Wakti wa Mussa) Walipokuwa yakiwafika Madhara (Kuletwa/Kuzagaa Vyura, Chawa, na Maji kuwa Damu (Wana wa Islail walikuwa) wakimkimbilia Mussa awaombee kwa Allah ili yaaondoke Madhira (Allah awaondolee Vyura, Chawa na Maji yasiwe Damu) laakin wakishaondoshewa Madhira hurwjea ktk Ushirikina Wao.
    Diwani wacha Ubishi/Kibri

  • @abdulwahidmansour5450
    @abdulwahidmansour5450 День назад

    Maalim msikiti wko unaotoa khutba i jumaa uko wp nishautafuta Sana siujui wakati mwengine tunasafiri kwa ajili ya ijumaa

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 2 дня назад +4

    Lugha za utapeli utaskiya anasema 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Katika mazingira kama hayo .。katika namna kama hizo ..mpiga ramli bhana mweupeeee kama mchana kichwa manundu kichwa box😂😂😂😂😂

    • @AminiDjuma
      @AminiDjuma 2 дня назад

      😂😂😂😂

    • @AminiDjuma
      @AminiDjuma 2 дня назад

      😂😂😂😂

    • @LuluAquai
      @LuluAquai 2 дня назад

      😂😂😂

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 2 дня назад

      @@AminiDjuma yaani huku zanzibar ndo chimbo lake lautapele na lugha kamaizo wallah mtihani shekh

    • @dinakipingo1905
      @dinakipingo1905 2 дня назад

      Katika hali za namna hiyo😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂

  • @salehrashid-fx9rq
    @salehrashid-fx9rq 2 дня назад

    Diwani ni pocho limefanya ubao wallahi. Yaani hata ukimsikiliza diwani unajua kuwa kichwani hamna kitu pia hana uwezo mzuri wa kufikiri

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 2 дня назад +1

    Sasa ikiwa Allah ni jina laweza kutumika kwa wengine yusufu Diwani Tupe jina La Mola wetu ambalo kwa hilo hatushirikiani na yoyote katika kumuomba kwni sisi waislam Hatumshirikishi Allah

  • @ZakariaTau
    @ZakariaTau 2 дня назад

    Ismail Fred south Africa diwani hua nakua mini sn ila laleo umeniangusha na uombe toba, bachu wew Kuna mda fulani nakuonaga mtoto mbaya sn mkosa adabu ila Leo niseme asant Allah akulipe

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 16 часов назад

      Ukimsikiliza diwani katika mabishano na Muhamad Bachu utamkataa Yussuf Diwani utamgundua hana hoja nzito ama anazotoa Bachu tafadhali Fuatilia Mada mbali mbali ambazo hujadili.mfano: Neno Haliluya ,mada ya tauhidi na nyinginezo lazima utamkataa Diwani anayoelezea sio sawa.

    • @naasibabuu
      @naasibabuu 11 часов назад

      ​@@jumamohamed3168jamani huyu diwani sio sheikh tuelewe hivyo

  • @abdulwahidmansour5450
    @abdulwahidmansour5450 День назад

    Shukran jaziila

  • @a.a.ua.a.u6816
    @a.a.ua.a.u6816 4 часа назад

    allah ni mmoj tu kwan adhana tu nijbu tosh kwak

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 дня назад

    Allah na mtume wake wametufahamisha, kuna masheitwani wa kijini na masheitwani wa kibinadamu kwahiyo yisufu diwani ni sheitwani maruhun raana tullahy, Anapewa wahy na masheitwani wa kijini kupoteza watu akisaodiana na wafuasi wake ni vi ibilisi vidogo dogo, Watubie kwa allh endapo wakifanya kibri Allah avunje migongo yao na aangamize ndimi zao yeye na masheitwani wenzie walinganizi wa moto hawoo

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 2 дня назад

      ❤❤❤❤😂😂😂😂😂❤❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @AbdullahiHussein-ik4eo
    @AbdullahiHussein-ik4eo 2 дня назад

    M.a sheikh Hawa wanamasikio n Hwa skii

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 2 дня назад +1

    😁😁😁😁😁 Diwali kachemka jamani mdomo umempoza tena kuna aya ALLAH anasema baada ya kuwaokoa baharini kisha wakamshirikisha ALLAH,ALLAH anawaambia kuwa akiamua atawarudisha baharini awagharikishe huko au ALLAH akiamua atawapelekea kimbunga huko huko kwenye nchi kavu awaangamize

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 2 дня назад +2

    Huyo Yusuf Diwani si kama hajui hayo unayosema Muhammad lakini hakubali Kwa Sababu ya ukaidi na anatetea Kwa Sababu yeye mwenyewe ni mpiga Ramli

  • @AliyKijangwa
    @AliyKijangwa 2 дня назад +2

    Mm sio muwahabi lakini sijafurahishwa na lugha ya Sheikh Yusuf diwani

  • @Sempreapostandonaverdade989
    @Sempreapostandonaverdade989 2 дня назад +1

    Mimi ni mkristo, lakini Kwa maelezo haya Sheikh Mohammed Bachu , nimekupenda Bure ,Yaani upo vizuri , na huyo Diwali, asipoelewa na kutubia Kwa Mujibu WA dini yenu, du u ....Muungu wenu (Allah) Atajua vya kumfanya siku ya kiyama.
    Na kama vile unavyo muombea Mchungani wetu Chaka na sisi tunakuombea Kwa Yesu usife ila umekuwa mkristo.

    • @khalifa_kuchi
      @khalifa_kuchi 2 дня назад

      Sisi tunakuombeen nyny muingie ktk uislamu ktk dini ya hakki na hata ww ukifwatilia kw sheikh muhammad bachu bx utaelewa kua hii ni dini ya kwel na sio dini nyengine yyte InshaAllah karib ktk dini ya hakki na hakika utakua bora kw allah

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 дня назад

      @@Sempreapostandonaverdade989 _Wallahi, Nimefurahi kusikia umempenda Sheikh Muhammad bachu,,,_ _Allah akufanyie wepesi kwa kumpenda mjawake iwe ni sababu ya yeye kukupenda na kukuelekeza katika dini ya hakki ya Uislamu,,,_ _Tunakuombea kwa Allah akuwafikishe uweze kuufuata Uislamu,,,_
      *NAKUSIHI* endelea kufuatilia haya maswala zaidi na zaidi ipo siku uwazi utakubainikia.

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 2 дня назад

      Maashaallah karibu sana

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 2 дня назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @khamisali5942
    @khamisali5942 2 дня назад +2

    Diwani anatakiwa kutaraaj km anatak radh za ALLAH la km ndo anashirikian na akina chaka shauri yake sisi tunamnasih tu

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 дня назад

      @@khamisali5942 Hakika akhy

    • @swalehbakari2667
      @swalehbakari2667 2 дня назад

      Vijana wenzangu tusomen mda bado upo Elimu aina mwisho tusomen

  • @MbwanaHusein
    @MbwanaHusein 2 дня назад +2

    Uyu yusufu diwani kachanganyikiwa sana anatukanatu ajielewi atakidogo

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 2 дня назад +2

      Yule n mtu mzima hovyo, na matusi yte yale n baada y kuona kua biashara yao y uganga imebainishwa hadhatani

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 2 дня назад +1

    Hata hilo jina *YESU" husikii Kuitwa Mtu mwengine ndo ijekuwa Jina la ALLAH (alomuumba Yesu na Viumbe wote) ndo jina lake eti litumike/lifananishwe na Miungu wa Makafiri/Washirikina!!!,🙌🤫🙆

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 2 дня назад

    shekh Diwali amedhalilika sana yaani anasema jina la ALLAH linatumika hata kwa asiyekuwa ALLAH

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 2 дня назад

    Diwani anaendana sana Na baba levo na mwijaku ... wallai mm namuona chawa tu

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 2 дня назад +1

    Na itumie nafasi hii kuwaonesha wakristo kua Uislamu sio Dini ya mtu au taifa binafsi, ikawa anavyotaka yeye, au linavyo taka hilo taifa ndio iwe hivyo.
    Dini ya Uislamu ina nidhamu zake zilizo toka kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote, na kiumbe bora kuliko viumbe wote Mtume wetu Muhammad Alayhisswalaatu Wassalaam.
    Sasa hawa wanaojiingiza kwenye mijadala haliyakua elimu hawana, bali wanasahau kua nafasi hizi zinahitaji elimu na bahthi kubwa ili ukae mezani kujadili mambo, na matusi dharau kejeli, urongo, hapa sio mahali pake

  • @muhammadkarama9996
    @muhammadkarama9996 2 дня назад +2

    Huyu diwani ni mpuuzi sana. Ana ubishi wa kitoto mwili mkubwa akili kijiko nusu

    • @HassanIddy-v1b
      @HassanIddy-v1b 2 дня назад

      ❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hudhaifahsadru-xr2gg
    @hudhaifahsadru-xr2gg День назад

    KIUKWELI INASIKITISHA TENA SANA KUONA MUISLAM ANAKATAA TAWHEED TATU LAKINI HUYOHUYO ANASEMA ALLAH WAPO WENGI.

  • @BinmuhamadSuwayd
    @BinmuhamadSuwayd 2 дня назад

    SHEKH MUHAMAD BACHU HUYU JAMAA C MSOMI WACHANA NAE MANA HANA ELIM AIJUAYO HUYU WACHANA NAE TU

  • @IssaLuhindi
    @IssaLuhindi 2 дня назад +1

    Sheikh Muhammad Bachu Allah Akuhifadhi. Nina khofu kubwa kuhusu ndugu yetu Yusuf Diwani kujitia kwenye hatari ya kufru kwa kuikataa haki iliyo wazi eti kwa kucha kuaibika hadharani. Tunamsaidiaje ndugu yetu Yusuf ili asende huko anakoelekea?

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 5 часов назад

    Diwani elimu Hana elimu yake kupiga lamli Na utapeli (Dua ya ngamia)! Na bingwa wa matusi

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 2 дня назад +1

    Ninachokiona hp diwani wala hajibiwi na shekh bachu bali ni vitabu tu vinamjibu 😂😂😂

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 2 дня назад

    Ni yusuf diwani na wakristo na alhdi musa salim wa haleluyaa

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 2 дня назад +2

    Diwani hebu tueleze tafsiri yako wewe ya hayo unayozungumza umeitoa kwenye kitabu gani,

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 2 дня назад +1

    Tuko pamoja from 🇲🇫

  • @chamaibra5966
    @chamaibra5966 День назад

    Eliimu ya diwani ni sufi kwa huu mjadala kachemsha vibaya kuna nchi miaka ya karibuni waislam walishinda mahakamani kuwa neno allah lisitumike kuitwa kwingine

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 День назад

    Shukran ❤

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 2 дня назад +1

    Kilio changu kwa Shee Diwani regea nyuma ndugu kila ukijibu unaonekana mweupeeeee.Rudi nyuma umche Allah ndugu.

  • @Moc.khalfan
    @Moc.khalfan 2 дня назад +3

    ... Wanauomba Allah yeye anasema washirikina wanaomba miungu yao mbona mwisho imemalizia ( Idhahum yushrikuun) Sasa anapo kwa tafsiri yake anaeishirikishwa nani? Mana kwa tafsiri ya diwani nilivyomfahamu Mimi washirikina waanaomba miunge yao tahamaki wanamshirikisha miungo yao Sasa wao wanawashirikishwa vipi hio miungu yao?

    • @hassanmohamedlaizer569
      @hassanmohamedlaizer569 2 дня назад

      Katika Hali za namna kama hiyo 😂😂😂

    • @JumaAbeid-y5p
      @JumaAbeid-y5p 2 дня назад

      Duuu Yani ww umezungumza Jambo moja zuri Sana laiti sheikh Yusuf diwani angewaza Jambo hili basi asingesubutu kutoa tafsiri ktk kichwa chake