Mazinge nakuonea huruma sana mzee wangu umefanya mambo makubwa sana sema huku unakoelekea na awa jamaa watakuvunjia heshima yako wanaitania din awa jamaa wanaona din kama mziki wao nakuomba sana mzee wangu wachana na awa watoto kabisa ni wapumbavu sana
Ila ukitaka kuelimisha watu na waingie kwenye Dini using open kuvunjiwa heshma yako duniani kwani utaipata Heshma Akhera hapo yupo sahihi na kama hao wanaohusika kama watakuwa Sahihi na maelezo yao kiongozi wa Dini humo ndipo mwake kwa sababu kiongozi wa dini anatakiwa Awafuwate waliopotea ili Awarudishe kundini sasa ukimfuwata anaejuwa utamfund8shq nn na yy anajuwa kikubwa Tuwaombee duwa haya yanayoongelewa yawe ya uhakika mwijaku usimcheze Shere shekhe wetu hayo unayoyaongea tunaoma yazingatiwe kwani kumrudishq mwana mpotevu si Haramu.
Tukumbuke nabii ibrahimu alikuwa,anajumuika na waliokuwa wanaabudu jua ila yy anajua icho n kiumbe sio mungu lengo n kuwatoa uko kwa utaratibu ivyo ujumbe unaweza kuufikisha sehemu yoyote ila usitoke ktk neno la laila ailallah
Mwijaku ana maisha gani ya kumridhisha mungu sababu mungu ni shahidi kwa tunayo yaona kwa mwijaku anavyo ishii je mwijaku ni kama abubakar bin siddik au ni masilahi tu ya maokoto ya watu walio muasi mungu
Jamani ebu msituletee ujinga kwenye hii dini,,,,bongofleva na dini wapi na wapi,,we shekh mzima unategemewa unaenda kuchochea zinaa,,,ivi mnavyoona harmonize muowaji,,,dam ndo kwanza inachemka na angekuwa namba 1 yule sijui ingekuwaje umu duniani
@chikuiddy9946 ,mbona huendi kuimba kaswida club na kupiga dufu,,,kila jambo lina mahala pake,,,we kama hukufunzwa na wazazi wako hamna mtu atakayekuweza,,hakuna
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah Mazinge njaaa mbayaaa sana huo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana waislam huo ni msibaa mkubwa umarufu wako unaupongeza Kwa uchafu wenu umekua msaniiii kumbe nyinyi ni wanafki wakubwa mazinge hapo ni mtihani mkubwa umeubeba
Uwenda shekh Mazinge kafitinika Mfano kaekewa million moja mezani aende kwenye ilo tukio au kaekewa laki5 mezani kwenye tukio LA nususaaa Uwenda ata Wewe ungefitinika ungeeenda Pia Uwenda alichoambiwa akakifanye nitofaut na alivyovikuta tumuombe Allah atuepushe na fitna Ikikuepuka fitna ya mwanamke bas elewa kuna fitna ya Pesa Allah ndie Hakim juuu yake maaana ndo anajua niayake
Ikiwa hata wafungwa gerezani Nabii Yussuf aliwafikia kuna tatizo gani Mazinge kutaka kubadilisha mitazamo ya vijana kujihalalishia zinaa na kukaa kwenye mstari Hngera sana Mazinge wala hujajidhalilisha wala kudhalilishwa kuna siku mtamuelewq Mazinge mtamuelewa vzr
Mijitu Kama hii ya wakina Mwijaku ni wakuwaogopa sana ktk jamii ni wanafiki wakubwa ogopa sana watu wanaoweza kubadili maneno kwa maslahi Yao kwa lengo la kupata Tension na kujificha ktk mgongo wa Dinni
Sheikh wangu mazinge huyo mwijaku anakupeleka jehanamu bila kujua kwa tamaa huko unapokwenda njaa inakwenda kudhalilika nakuonea huruma maskini umefanya mengi lkn kwa hilounatuaibisha sana sheikh mazinge
Bora umesema sisi hatukusema naatukemeya hilo tunasameewa kwamola wetu. Mashee wanadawa tunasamee shukrani bwana mazinge nawanahabari kwaujmla leo mmefanya jambo lakindini ingawa imani nania zenu nicoment hamnawasi ujumbe umefikishwa.
wewe unasema hivo .labda huijui dini yako .kafanya jambo zuri sana dini hutangaziwa popote unaingiq uyo ni jeshi tena namuonea choyo mana kaitangaza mbele ya wandaiyshi wa habari .sasa wewe .huelewi
ivo ndivo inavotakiwa ,dini ya Allahk .unaitangaza popote .na katiksa dgini yetu sote ni ndugu unatakiwa wote uwafanyre .rpafiki ..je atakapokaa mbali atamlingania nani
Tusiwahukumu na kuwasema watu na kujiona sisi tumemaliza , nasema hivi kwasababu huyu Mazinge alimsema sana Mzee Yusuf aliporudi kuimba baada ya kuacha mambo hayo. Alifikia kumlaani haswaa, leo nayeye anaingia humo humo, kuingiliana na watu wapuuzi. Tuiogopeni njaa, indhalilisha.
Ukisikia mwisho mbaya basi Sheikh Mazinge ndio mwelekeo wake ,Utukufu wa dini ya Kiislamu ni mkubwa mno usioelezeka ata kwa namna yoyote ile,Sheikh Mazinge heshima uliojengea ndio wa kuambatana na wasanii 😢
Huyu mwijaku eti uchamungu upo ndani ya moyo haloo sasa kwa stairi hyo kila mtu mchamungu bhc mana asilimia kubwa kila mtu anafanya dhambi uku moyo wake ukiumia uchamungu ni matendo kaka huyo harmonize anajitetea tu na ndomn mtu akifa kaburini anaenda na matendo yake we vipi wew
Unajua hawa akina mwijaku wametumia mbinu ya kumchukua shekhe MZINGE, ili ionekane wanania njema. Sio kweli kabisa hawana nia njema. Wamemteka shekhe kiakili ili shekhe aone wanania njema. Hawa jamaa ni wapuuzi tu
Harmonize anafanya Mziki wa kuwavuta watu kwa Shetani na anafanya zinaa Mziki unapoteza wengi Wee shkhe mbona humkemei Harmo kwa mziki wake wa kishetani pia
Shekh mazinge nakuomba haya makafili hayafai hata kugusana nayo nguo unajiondolea heshima uliotengeneza miaka 30 nchini haya makafili achana nayo ni bola ungeenda kanisani kuwap maandiko kuliko kukaa na haya mashoga ya kina juma lokole na harmonize haya ndo makafili makubwa yanayochochea ushoga nchini
Yani we shee ndo msenge kabxa ktk wasenge wote walokua apo unaacha kusema njaa zako ndo zimekupeleka apo unasingizia mungu apendi zinaa aloo we ni kuma kabxa
Sindoapo kukashifu mtu a aenda kwenye imani sio kwani dhambi mbona mnatembea nawakristo acha ubaguzi eti msingi kiuno iliamteke kajala ukijua kiuno iliabadili dini kubadili simaamuzi yaMtu kwanini iwe kiuno
Innalilah wainna ilah lajiun Sheikh hapo umeteleza hakuna muoaji hapo kesho wakirudiana hao bila ya kuoana na wkt unatengenezwa connection wewe pia utakuwa ni miungoni mwa hiyo zinaa itakayoendelea
Mazinge nakuonea huruma sana mzee wangu umefanya mambo makubwa sana sema huku unakoelekea na awa jamaa watakuvunjia heshima yako wanaitania din awa jamaa wanaona din kama mziki wao nakuomba sana mzee wangu wachana na awa watoto kabisa ni wapumbavu sana
Ila ukitaka kuelimisha watu na waingie kwenye Dini using open kuvunjiwa heshma yako duniani kwani utaipata Heshma Akhera hapo yupo sahihi na kama hao wanaohusika kama watakuwa Sahihi na maelezo yao kiongozi wa Dini humo ndipo mwake kwa sababu kiongozi wa dini anatakiwa Awafuwate waliopotea ili Awarudishe kundini sasa ukimfuwata anaejuwa utamfund8shq nn na yy anajuwa kikubwa Tuwaombee duwa haya yanayoongelewa yawe ya uhakika mwijaku usimcheze Shere shekhe wetu hayo unayoyaongea tunaoma yazingatiwe kwani kumrudishq mwana mpotevu si Haramu.
Kinachomvunjia heshima Mazinge ninjaa yaani huyu mzee ukishamuahidi pesa anafanya chochote kile kwakweli anakoelekea huyu mzee nikudhalilika
Kweli kabisa
Yes alipenda kuwa karibu na makahaba ,waizi watozaushuru wapokea rushwa. Ili awabadilishe.
Akina omar hawangesilimu kama mtume angejuwa mbali nao ,kama hange waonyesha njia.....
Unataka awa na wewe mtakatifu.....ndio unavyojiona. Uliyenyooka, huna baya ,uliekamilika😢. ... hamna mkamilifu WACHA KUHUKUMU.
Sasa amekosea nn hapo au unaleta mihemko ya kitoto
Musimseme kwa ubaya sana shekhe mazinge 😢ana nia nzuri yakuwarejesha vijana ktk njia ilionyooka, sio njaa kwani maisha yake yanaendeshwa na Allah.
Sheikh anazingua sanaa. Anajiharibia 😢😢 sanaa
Allahumma swalli aala muhammad. ❤❤❤msalieni mtume wamngu. .......... +shurani Dr mwalim mazinge........... Allah akuthibitishe kwadawa zajamiiy yawenye kuzungumza kiswahili nakeaumani.
Nimemfahamu vizuri sana mazinge
Shekhe Mazinge kwa makubwa uliyoyafanya kwenye dini.Achana na hayo mambo😢😢😢 ila tunakuombea Kwa Allah akuongoze kwenye njia sahihi
Alichokosea hapo nn?
@shabanmohamed7071 wewe hujasikiliza?mpaka uulize!!!
Aachane na mambo gani? Kwani Kuna baya gan kaliongea hapo? Mbn ninyi munapnda kicomments mamb yakijinga?
Sisi wenye D mbili tumeona sheikh kafikisha ujumbe dunia nzima❤❤❤
Sheikh tunashukur kwa dw mungu akujalie aku9ngezee miaka mingi ya kuishi sheikh
NDUGU ZANGU MAZINGE ASITUKANWE KIUKWELI MAZINGE KATOE ELIMU KUBWA SANA ....tuangalie aliyoyasema
Sasa mtu analingania dini ana kosa gani nyie wehu
Nakupongeza Mwijaku pia SHEKHEH Mazinge.
Safii sana Sheikh Mazinge na Safi sana Mwijaku
Ww huna unalolijua
@KassimAlly-xp4dz ww ndio unalo
Prof.Mazinge yupo sawa
❤❤❤❤❤❤safi sana Kwa kuerimisha najuwa din popot ilinganie Mzee Mazing na mwijaku mungu atawalipa
Tukumbuke nabii ibrahimu alikuwa,anajumuika na waliokuwa wanaabudu jua ila yy anajua icho n kiumbe sio mungu lengo n kuwatoa uko kwa utaratibu ivyo ujumbe unaweza kuufikisha sehemu yoyote ila usitoke ktk neno la laila ailallah
Mwijaku ana maisha gani ya kumridhisha mungu sababu mungu ni shahidi kwa tunayo yaona kwa mwijaku anavyo ishii je mwijaku ni kama abubakar bin siddik au ni masilahi tu ya maokoto ya watu walio muasi mungu
Asante mwijaku, mwijaku umesoma, unajua kujibu sana
Jamani ebu msituletee ujinga kwenye hii dini,,,,bongofleva na dini wapi na wapi,,we shekh mzima unategemewa unaenda kuchochea zinaa,,,ivi mnavyoona harmonize muowaji,,,dam ndo kwanza inachemka na angekuwa namba 1 yule sijui ingekuwaje umu duniani
Yawezekan mjinga ukawa wewe
@shabanmohamed7071 saw
Acha ushamba ujumbe ushafika
Kwan Sheikh kaenda kuimba iyo bongo flava
@chikuiddy9946 ,mbona huendi kuimba kaswida club na kupiga dufu,,,kila jambo lina mahala pake,,,we kama hukufunzwa na wazazi wako hamna mtu atakayekuweza,,hakuna
Namuomba shekhe wangu mazinge awe makini kwani ibilisi utumia watu najua msimamo wako katika dini ya uisilam
Mazinge ana zeeka vibaya sijui ni njaaa
Nimekwelewa.mungu Atuongoe njia iliyo sahihi
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah Mazinge njaaa mbayaaa sana huo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana waislam huo ni msibaa mkubwa umarufu wako unaupongeza Kwa uchafu wenu umekua msaniiii kumbe nyinyi ni wanafki wakubwa mazinge hapo ni mtihani mkubwa umeubeba
Kafikisha ujumbe shekh wetu hana baya
Mazinge siku hiz unaalikwa kwenye matamasha subhanallah Allah akupiganie upate mwisho.mwema
Sio sheria ya kiislam hakuna laa ipo ila haifatwi tu.
Mimi shekhe wangu ni mselem tu
kabisa yani
Wewe una akili sana maa shaa Allah❤❤
Kwahyo km ni shekh wako inatuhusu nn
@@adamhashim3352 acha mambo ya kike mwanaume wewe ebooo ungekua karibu ningekutia kidole
Allah ndo mjuz wa mumbo Allah akufanyie wepec
Shekh mazinge Achana nahao utauzalilisha uwislamaa
Awa mashee
Misiwaelewi kunavitu vyamana vyakuongelea
Nawasiwasi sana
Mazinge weee umemtetea sharifu mshirikina leo unavutwa kutangaza wazinzi hao.unatuangusha shekh sisi tunajivunia uwepo wenu ktk dini
Ww mwijaki waniudhi Sana mkeo unamuacha uchi ww uigwe Kwa lipi
Mazinge achana na hawa Mapimbi. Wewe ni tofauti na hawa Mapimbi.
hawezi kuachana lazima awalinganie
Mazinge unajikosha vizur lakn umefeli kwakweli
Uwenda shekh Mazinge kafitinika Mfano kaekewa million moja mezani aende kwenye ilo tukio au kaekewa laki5 mezani kwenye tukio LA nususaaa Uwenda ata Wewe ungefitinika ungeeenda Pia Uwenda alichoambiwa akakifanye nitofaut na alivyovikuta tumuombe Allah atuepushe na fitna
Ikikuepuka fitna ya mwanamke bas elewa kuna fitna ya Pesa
Allah ndie Hakim juuu yake maaana ndo anajua niayake
Huyi mwijaku ni sheytwani wa maneno sheykh mazinge wew msomi sikuliza tu hizi fitina zao za mdomo.utaona tu
Ikiwa hata wafungwa gerezani Nabii Yussuf aliwafikia kuna tatizo gani Mazinge kutaka kubadilisha mitazamo ya vijana kujihalalishia zinaa na kukaa kwenye mstari
Hngera sana Mazinge wala hujajidhalilisha wala kudhalilishwa kuna siku mtamuelewq Mazinge mtamuelewa vzr
Nabii yusufu n myahud achana nae akuhusu
Myahudi hajaumbwa?
sikutegemea kama sheikh mazinge atakuwepo apoo 😭😭😭
Mazinge utaumbuka sana maana njjaa umeiweka usoni kumbuka umefanya makubwa saana lakini unajiharibia sifa yako
Njaa mbaya sanaa aisee
Nimeliia sana mazinge ...mwijaku atakupoteza .....ujui uchwa maana yake😂😂😂😂😂
Mazinge ni chawa wa mungu popote anafikisha ujumbe
Ujumbe umefika vizr sana,zinaa mbaya
Napo mnapolaumu baya gan mazinge aliloongea kafikisha ujumbe kwenye njia ambayo watu wanapoangalia sana uko.
Mijitu Kama hii ya wakina Mwijaku ni wakuwaogopa sana ktk jamii ni wanafiki wakubwa ogopa sana watu wanaoweza kubadili maneno kwa maslahi Yao kwa lengo la kupata Tension na kujificha ktk mgongo wa Dinni
Sheikh mazinge yupo sahihi
Kwanzia Leo Mimi sio mfuasi wako mazinge japo tulipigwa mabomuu furaisha kirumba mwanza miaka ya 2000 umeniangusha Sana .ila Asante nashukuru Sana
Ndomana kasema kuwa anajua mtasema na kweli lakini hakuna baya alofanya Mazinge ila wewe kama ulikuwa na yako ni sawa!
Ata Kula wapi ikiwa anapata Amana yake na darasa anatoa
Mtihani Wallah dini inavopelekwa mpaka inafanyiwa usani Allah tuokoe waja wako
Hajaongea vibaa
Sheikh Mazing mtu mzima haoni micezo ya hawo vijana
Sheikh wangu mazinge huyo mwijaku anakupeleka jehanamu bila kujua kwa tamaa huko unapokwenda njaa inakwenda kudhalilika nakuonea huruma maskini umefanya mengi lkn kwa hilounatuaibisha sana sheikh mazinge
Yaaani mmeenda kuombea dua kwa alomuita mungu mwanamke
Bora umesema sisi hatukusema naatukemeya hilo tunasameewa kwamola wetu. Mashee wanadawa tunasamee shukrani bwana mazinge nawanahabari kwaujmla leo mmefanya jambo lakindini ingawa imani nania zenu nicoment hamnawasi ujumbe umefikishwa.
Mzee Mazinge unajichanganya
Mazinge huwa ni njaa tu, ukimuahidi pesa unamnunua vzr tu
Mazinge unayumba vby sana now days
Hivi mazinge nae ameamua kuwa miinga hiv kwel,hat siamin nimekuzarau kuanzia leo mjinga we mzee
Kbs
wewe unasema hivo .labda huijui dini yako .kafanya jambo zuri sana dini hutangaziwa popote unaingiq uyo ni jeshi tena namuonea choyo mana kaitangaza mbele ya wandaiyshi wa habari .sasa wewe .huelewi
Haweziiii kubadili dini
Kweli zinaa imekua bei rahisi watu waachee zinaa barka ya nchi itapatikana
msenge kwei ubadili dining kwa uyo Malaysia we chzi
Njaa tupu hyu sheikh hana lolote deal hilo na amezeeka😢
Mwijaku sindio alimuweka Rehan mkewe kwaajili ya Mpira?😅😅😅😅😅😅
Ndiyo miziki Hamo aache
Kweli mwijaku chizi
Kwani mazinge nae ni Sheikh!!!! Tumefika mbali sana mpaka mashekhe hatuwajui
Dar hakuna Shekh huwezi ukamuona Shekh anaenda kwenye ujinga kama ao
Hata Hamo nae ni mkristo maana anaenda makanisani!
Maskini shekh mazinge kaitwa kweny dua tu hata haelewi kinachoendelea jmn😢Mungu amsamehe
Waache zinaa mziki waendelee nao, km ameamua kuwachana angewachana kwa maovu yote wanayofanya
Mazinge na bado watakuzarahu sana iyo jiya unatafuta siyo kabisa unaenda mujinga kama uyo kama ni jaaa twabiye tujuwe chakukusaidiya
ivo ndivo inavotakiwa ,dini ya
Allahk .unaitangaza popote .na katiksa dgini yetu sote ni ndugu unatakiwa wote uwafanyre .rpafiki ..je atakapokaa mbali atamlingania nani
Mazinge hayupo sawa anaitaji akapimwe akili maana binaadamu kila akikuwa ndio akilizinapunguwa
Tusiwahukumu na kuwasema watu na kujiona sisi tumemaliza , nasema hivi kwasababu huyu Mazinge alimsema sana Mzee Yusuf aliporudi kuimba baada ya kuacha mambo hayo. Alifikia kumlaani haswaa, leo nayeye anaingia humo humo, kuingiliana na watu wapuuzi. Tuiogopeni njaa, indhalilisha.
Hakuna ndoa ya wazinif, ukizini na mwanamke bac ni haram kumuoa na ukimuoa mtakuwa mnazini maisha yenu yoooteee
Sasa kama niharam kumuoa mbona mnazidi na mabint wawatu nakuwabebesha mimba kuwatupa huko Nako sio haram
Mbona mwambino ndo analengwa 😅😅😅 ukitafakari zaidi hapa ni mondi anachambwa na mwijaku😅
Mazinge unajivunjia heshima
Kwani kajala ana familia au ampajui kwao au mngefanya kimya kimya mngepungukiwa na nini
App hamna sheehe ap kaichkuw njaa yke tumboni kaiwek kichwn hana lolote haman sheh apo
PESA IMEMTOA NYOKA PANGONI😂😂😂😂😂😂
Ukisikia mwisho mbaya basi Sheikh Mazinge ndio mwelekeo wake ,Utukufu wa dini ya Kiislamu ni mkubwa mno usioelezeka ata kwa namna yoyote ile,Sheikh Mazinge heshima uliojengea ndio wa kuambatana na wasanii 😢
Duuuh shekhe nae alikuwepo 😂😂😂😂
Uislam n dini ya mapepo
Huyu mwijaku eti uchamungu upo ndani ya moyo haloo sasa kwa stairi hyo kila mtu mchamungu bhc mana asilimia kubwa kila mtu anafanya dhambi uku moyo wake ukiumia uchamungu ni matendo kaka huyo harmonize anajitetea tu na ndomn mtu akifa kaburini anaenda na matendo yake we vipi wew
Kofia kama ya igweeee
Unajua hawa akina mwijaku wametumia mbinu ya kumchukua shekhe MZINGE, ili ionekane wanania njema. Sio kweli kabisa hawana nia njema. Wamemteka shekhe kiakili ili shekhe aone wanania njema. Hawa jamaa ni wapuuzi tu
Duwa na mziki wapi na wapi
Harmonize anafanya Mziki wa kuwavuta watu kwa Shetani na anafanya zinaa
Mziki unapoteza wengi
Wee shkhe mbona humkemei Harmo kwa mziki wake wa kishetani pia
Mnamjua Kajala ninyi😅
Rehema ni ya bwana Yesu tu, rehema haiwezi toka kwamwanadamu wala mtume awaye yoyote, kama huna Yesu huwezi kuwa salama, okokeni ndugu zangu
Yesu nampenda sababu ni nabii wa allah
Na Yesu ni mwanaadamu pia
Yesu binadamu pia
Maskini Mazinge wewe njaa dah
Hamna cha dini wala nini, kajala ni mu kristo
Sheikh mazinge jiepushe na hawa wasanii,watakudhalilisha Sana tena.
ata kamala kalelewa kwenye dini
Shekh mazinge nakuomba haya makafili hayafai hata kugusana nayo nguo unajiondolea heshima uliotengeneza miaka 30 nchini haya makafili achana nayo ni bola ungeenda kanisani kuwap maandiko kuliko kukaa na haya mashoga ya kina juma lokole na harmonize haya ndo makafili makubwa yanayochochea ushoga nchini
Yani we shee ndo msenge kabxa ktk wasenge wote walokua apo unaacha kusema njaa zako ndo zimekupeleka apo unasingizia mungu apendi zinaa aloo we ni kuma kabxa
Kuna siku kaja kukuomba unga au kaja mwenyewe apo si kaitwa acha dharau ,
Kuna siku uyu mazinge kwa kupnda pesa kwake siku moja tutamkuta kwa mwamposa akimsaidia mahubiri knsani
wabongo wagumu kuelewa mazinge katukumbusha ubay wake nn
Sasa huyu mange amekuwaje tena mbona anaharikia uzeeni 😢
Afrika Afrika !!!!’munasumbuka bule
Ssa huyu mazing kujifanya kama kna pepekalee ndo nn pumbavu zake nja ndo zinazompeleka kwenye majukwa
Bitoto vinatakarerewa namashangazi😂😂 huwenda mabinti wawapo TZ mwabinti kwawazee vijana kwamabibi😂😂mufano wamhamadi kuowa vikogwe nimwenderezo huku TZ aibu haipotena😂😂
Kwani lazima kajala ndio abadili dini kwann asiwe harmonize kubadili
Sindoapo kukashifu mtu a aenda kwenye imani sio kwani dhambi mbona mnatembea nawakristo acha ubaguzi eti msingi kiuno iliamteke kajala ukijua kiuno iliabadili dini kubadili simaamuzi yaMtu kwanini iwe kiuno
Innalilah wainna ilah lajiun Sheikh hapo umeteleza hakuna muoaji hapo kesho wakirudiana hao bila ya kuoana na wkt unatengenezwa connection wewe pia utakuwa ni miungoni mwa hiyo zinaa itakayoendelea
ata kama hakuna muoaji lakini yeye ameshafikisha ujumbe sasa
unapinga nni
Tunajua kuwa dhina ni moja kati ya madhambi makubwa
Huyu shekhe kashakua mnafiki na mafuta Kiki, bora aende studio
kichwa miringo ana miaka karibia 50,lakini mambo yake ni ya kitoto sana
Mmmhh... 😅 haya.. kwaiyo huyo mchapaji wa viboko ni nani tena.. kwan yeye hapat zambi akimchapa viboko mwenzake..?