Mchungaji ahelezea kisa kilicho mfanya aslimu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 238

  • @rosemery542
    @rosemery542 Год назад +9

    Ma Sha Allah akuzidishie udumu katika uislamu

  • @tatuhamza4677
    @tatuhamza4677 Год назад +10

    Mungu akubark kaka diniyahak niweslam nashukuru Mungu nimezaliwa kwenye wislamu asante mungu

    • @EliasaVitoga
      @EliasaVitoga 2 месяца назад +1

      ❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @YohanaMgege
      @YohanaMgege Месяц назад +1

      Huyu alicho kimbilia anataka kuwa mganga wakienyeji

    • @YohanaMgege
      @YohanaMgege Месяц назад +1

      Hiyo Hana lolote hakua na Imani katika klisito

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 Год назад +11

    Masha Allah Mwenyezi Mungu humuongoa Amtakae Allah akufishe ukiwa Muislamu ili uipate pepo ya Allah

  • @DoctorBondia
    @DoctorBondia 4 месяца назад +8

    Maashallah jazakallahu kheyr Mwalimu Allah atukubali tufe tukiwa waislamu kamili

  • @ShadyaCHORA
    @ShadyaCHORA Месяц назад +2

    MA shaa Allah
    Takbirrrrr
    Allah azidi kukuongoza kakaetu
    Uislamu ni dini ya haki

  • @ashurantunzwenimana5975
    @ashurantunzwenimana5975 Год назад +6

    Pole sana

  • @hamisathuman2582
    @hamisathuman2582 Месяц назад +1

    Dah! Pole sana ndugu yangu.

  • @SalmaSalum-p5o
    @SalmaSalum-p5o 2 месяца назад +2

    Masha Allah ❤ Allah akujaalie ubaki kwenye uislamu mpaka mwisho wa maisha yako mapaka mwisho wa sakratul maut kwahakika umechagua njia sahihi na Allah atakulinda na atakulipa ujira mkubwa duniani na akhera🤲🏻❤️

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa Месяц назад +1

    Masha allah mungu akuongoze ktk uislam .akupe kipaji kikubwa chakuuteteya uislam.na kuupiganiya.

  • @nourdinpro
    @nourdinpro Месяц назад +2

    Takbir

  • @salimmnyeto2023
    @salimmnyeto2023 Год назад +3

    Mashallah. Mola akuongoze Inshallah

  • @SarahKyando-qb3sl
    @SarahKyando-qb3sl 4 месяца назад +6

    Yesu Hatetewi, pole Sana umepotea sana Mungu akusaidie sana

  • @HenriquesAliguene
    @HenriquesAliguene Месяц назад +1

    ❤❤❤❤❤ mungu akulinde shekh

  • @MirajiWaziri-hl2hc
    @MirajiWaziri-hl2hc 2 месяца назад +2

    Mashallah mungu akutangulie na akufishe ktk uislamu

  • @NuroOscar-y4b
    @NuroOscar-y4b Месяц назад +1

    Mungu akujaliye usidi kudumu katika wislam

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA Год назад +9

    Mashallah MUNGU AKUONGOZE INSHAALLAH

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 Месяц назад

    Mungu akulinde kwa kila ovu na fitina na sasa umekuwa Muislamu, Inshalla msafi na kila atakae kukufanyia ov, amjuwe adhabu itakuwa ikimfata atapokwenda

  • @abdallahibrahim280
    @abdallahibrahim280 4 месяца назад +3

    Waliopotea na waongo hawatakoma kukutukana lkn Allah humuongoza amtakaye si rahic kuachana na agano la mungu mtu, allah akujaalie mwisho mwema

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 4 месяца назад +2

    Jazakallwah lkheri

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Месяц назад +1

    aisee elimu yako kubwa sanaaa
    kuna wew mzee #ustazi kesi
    na #ustaz mwaipopo

  • @TumainiMarko
    @TumainiMarko Месяц назад +1

    Mungu akuonyeshe njia angali u haiiii Bado mungu hadhihakiwiii

  • @PaulinaNgohola
    @PaulinaNgohola Месяц назад +1

    Wewe ni mwongo sio Mch. Mungu hadhihakiwi, achakufurahisha watu.

    • @NyotaBuhendwa-g7z
      @NyotaBuhendwa-g7z 16 дней назад

      Achana kumkufuru Mungu wako usitume asira ya Mungu inawaka kwajili yahewa zako.kubuka Karenfonia imechomea juu yaupuunzi

  • @EmmaroseJoseph
    @EmmaroseJoseph Месяц назад +1

    Majini hayachezi mbali na mkengeufu pole sana ajenti mwenda jehanamu

  • @khairatvuai-c1j
    @khairatvuai-c1j Месяц назад +2

    Atakae ingia katika uislamu na kuujua uislamu kiukweli hawezi kamwe kurudi tena katika dini nyengine.

  • @ABDIMUSSA-y4w
    @ABDIMUSSA-y4w Месяц назад +1

    Allah akbar

  • @shamyloya1380
    @shamyloya1380 Месяц назад +1

    Mnaetukana wote polen kwani hamjui mtendalo, mwenyezimungu awahurumie sana.

  • @MariamuSalum-bb9ov
    @MariamuSalum-bb9ov Месяц назад +1

    Mashaallaah karibu kwenye dini ya haki

  • @AminahAminah-d5s
    @AminahAminah-d5s 4 месяца назад +2

    Mashaallah ❤️ ❤️

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 4 месяца назад +2

    Masha allah mungu akuongozea

  • @emilianamichael9416
    @emilianamichael9416 Месяц назад +1

    😭 pole sana tutaonana kule

  • @msomajuma8811
    @msomajuma8811 2 месяца назад +1

    Umepotea milele, pole.

  • @waabuduohalisi7350
    @waabuduohalisi7350 4 месяца назад +5

    Mungu adhihakiwi chochote apandacho Mtu ndicho atakacho vuna.

  • @IsmailHiyesa
    @IsmailHiyesa Месяц назад +1

    Direct peponi "" Amiiin

  • @SalehLofy
    @SalehLofy 4 месяца назад +1

    Dah Wakristo! Na MwenyeziMungu mkabishie hivyohivyo

  • @Malak4.5
    @Malak4.5 Месяц назад +2

    Yupo kazini tusishangae kuna msikiti upo Arabuni unaitwa mama Maria...tunaenda kuwa na Dini moja hao ni watu walioandaliwa na Dini kubwa kuwavuta watoto wa mama mdogo kwenye Dini moja😅😅😅

  • @MyHalzat-r3w
    @MyHalzat-r3w Месяц назад +1

    Huyo yesu ni binadamu km ss ila nyiny ndio mnamfanya mungu ,mungu ni moja tu mbae hata huyo yesu anamuabudu yy

  • @RajabuHassani-k3p
    @RajabuHassani-k3p 2 месяца назад

    Mwenyezi akusamehe mazambi yk karibu sana kwenye uisilam

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 2 месяца назад +2

    Umepotea kabisaaa, Mungu akurudishe kwenye Ukristo ungali hai.

    • @ZaidHamasiZaid
      @ZaidHamasiZaid Месяц назад +3

      Hajapotea, amegundua Ukweli na dini ya HAKI, Mungu ambariki Sana, na wewe tunakukaribisha njooo

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j Месяц назад

    Ashindwe kwa jina la yesu

  • @SamweliNdaki-tl7wi
    @SamweliNdaki-tl7wi Год назад +8

    Wewe hukumjua Yesu vizuri.

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 6 месяцев назад +3

      Ww chizi umeshikiwa akili mwenzio kaiweka huru akili yake kwenye maandiko na mungu akamuongoza

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 6 месяцев назад +4

      Et hakumjua yesu Yan kafiri wewe endelea kung'ang'ania wachungaji wanaondoka

    • @civilyandaniel4559
      @civilyandaniel4559 4 месяца назад +2

      ​@@Zuwenamachelaningeweza ku like maneno yako mara mia moja ningefanya hivyo maana ni maneno ya maana

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 3 месяца назад +1

      Uislam ni Mtamu , Asiekuwa muislamu amekosa bahati laķini mda upo.

    • @MinzaKazungu
      @MinzaKazungu 2 месяца назад +1

      ​@@Zuwenamachelakbla hujatukana Soma maandiko Kwanza, YESU ndio njia ya kweli na uzima, mwapotea kwasabab hamyajui maandiko Wala uweza wa Mungu. Huyu alikuwa mhuni Kama wahuni wengine,

  • @ZaharaHamis-i7l
    @ZaharaHamis-i7l 3 месяца назад +2

    Mashaallah

  • @JamalSaidy-y3q
    @JamalSaidy-y3q Месяц назад

    Yesu wew unamjua

  • @MwinjumaMwesongo
    @MwinjumaMwesongo 4 месяца назад +2

    Allh akuongoze katkatwaayak

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt Месяц назад

    Allahu akbar❤❤❤

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Месяц назад +1

    Wewe nitapeli

  • @maizaramzamilo480
    @maizaramzamilo480 4 месяца назад +1

    Mungu akuongoze

  • @vaikaayagadiel520
    @vaikaayagadiel520 Месяц назад +1

    Kumbe mwenyezi mungu ana dini sasa anamuabudu nani kama yeye ana dini

  • @AsiaMasaka
    @AsiaMasaka 3 месяца назад +1

    Manshaallah

  • @SalehAthumani
    @SalehAthumani Месяц назад

    Bismillah arahman Rahim mwenyezimung mkubwa tunakuombea dua ukifa ufe ukitamka kalma ya Laila ahillallah Muhammad rasullallah

  • @DaudiMwangati-id1tk
    @DaudiMwangati-id1tk 5 месяцев назад +3

    Pole Yesu hukumjua ndio maana majini yalikupata sawasawa shetani alikuwa nyumayako pole Sana.

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 5 месяцев назад +2

      Pole wew uliopo kizani na Paulo wako

    • @PiliIbrahim-j1i
      @PiliIbrahim-j1i 2 месяца назад +1

      Kwani wakristo hawana Majin mwenzenu yupo njia sahihi

    • @sayidabdillah8505
      @sayidabdillah8505 2 месяца назад

      Majini na ss binadamu ni viumbe tumeumbwa na mungu
      Wako majini wakiristo na pia wako majini waislamu kw7bu mungu ametaka viumbe hwa wawili kati ya jini na binadamu wamuabudu mungu kwa hiari but malaika waoo hawakupewa hiari ya kuchagua bali lazima kwaoo wamuabudu mungu tuu

    • @mshambaused3840
      @mshambaused3840 2 месяца назад

      She tani yuko nyuma yake 😅😅😅😅 wewe jeee

  • @NgatwileKijati
    @NgatwileKijati Месяц назад

    Polen msio waisilam

  • @IssaMohamed-h5g
    @IssaMohamed-h5g 2 месяца назад

    Alla akujalie kwa kuwa muisilamu inshalla mpaka siku ya kiama

  • @civilyandaniel4559
    @civilyandaniel4559 4 месяца назад +4

    Siyo busara kumtukana mtu alie amua kufanya uchaguzi wa dini anayo ipenda yeye
    Kama waona mwenzako kapotea , jukumu lako ni kumuombea siyo matusi na siyo maneno makali
    Hatahivyo yupo sawa kimtazamo wake

  • @bakarishaban9311
    @bakarishaban9311 Месяц назад

    Mungu,,akuongeze,,hekima,,

  • @frankmuhomi
    @frankmuhomi 4 месяца назад +2

    Mungu akurehemu kwakweli umepotea pole Sana, unatumia nguvu kudanganya watu, Yesu huwa hatetewi anajitetea mwenyewe, fanya ufanyayo tayari ulishahukumiwa, na utakufa ktk dhambi zako kwasababu mlango wa msamaha ni mmoja tyu Naye ni Yesu pekee huko kungine kote ni upotevu ndugu acha kupoteza muda wako kwasababu huwezi kubadilisha chochote, wapo walijitahidi kupotosha lkn walishakufa na ukristo unaendelea huwezi kuupiga teke mchokoo

    • @AminahAminah-d5s
      @AminahAminah-d5s 4 месяца назад

      Mkisikia ukweli ndio mwaugeuza uongo

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 4 месяца назад +1

      Sasa Yesu yupi yule mwana wa mariam au yupi

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 3 месяца назад

      HUYU MCHUNGAJI AMESILIM KWA SABABU ALISHAONA UKWELI KUPITIA MAANDIKO.
      YA NINI KUENDELEA KUWA MGALATIA WAKATI AMEONA UKWELI. WATU KAMA HAWA MUNGU HUWAONYESHA NJIA MAPEMAA.
      AMÈEN❤

    • @pastorprospermlembasayunip500
      @pastorprospermlembasayunip500 Месяц назад

      Alikuwa Mchungaji wa Kanisa Gani? ​@@mombasa0076

    • @StellaStella-z4e
      @StellaStella-z4e Месяц назад

      ​@@mombasa0076kweli kabisa alhamdullilah

  • @EmmaroseJoseph
    @EmmaroseJoseph Месяц назад

    Sijajuta kuwa mkristo aliyeokoka hizi ni siku za mwisho mwenye kujichafuà na azidi kuwa mchafu mwenye kujitakasa na azidi kujitakasa pole yao wote wasio na YESU

  • @RayaRashid-dc2hn
    @RayaRashid-dc2hn 9 месяцев назад +4

    Takbiiiiiiiir

    • @civilyandaniel4559
      @civilyandaniel4559 4 месяца назад

      Tafsiri yake
      takbiri. Mtukuze Mungu
      alahu akbari Mungu ni mkuu

  • @msomajuma8811
    @msomajuma8811 2 месяца назад +1

    Ulikuja kanisani kupeleleza mafuta ya upako tu lakini siyo kujifunza neno la Yesu. Ndiyo maana umepotea milele.

  • @jumaramadhan1013
    @jumaramadhan1013 Месяц назад

    Sema Mungu ndiye Ana nguvu ,kwanini hamutaji Mungu saaana bali Yesu ndiye mnatanguliza ?Yesu alimuabudu Mungu

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 Месяц назад +1

    si ahelezea,aelezea

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 4 месяца назад +1

    Allah akuhifadhi

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og Месяц назад

    Karbu sana mchungaji

  • @bonifacelimbanga5465
    @bonifacelimbanga5465 4 месяца назад +1

    Huyu jamaa ni Mganga kabisa, anatangaza biashara...

  • @EmmaroseJoseph
    @EmmaroseJoseph Месяц назад +1

    Na kweli ana kola arudishe kola yetu avae vya huko hiyo ivue isije ikageuka ikawa tanzi kwako

  • @BadruHisha
    @BadruHisha 4 месяца назад +2

    Swadakta Allah akuongoze mpaka jannat

  • @mwalitv4555
    @mwalitv4555 3 месяца назад +7

    Hukumjua Yesu vizuri....Yesu na majini ni maji na mafuta..

    • @abdulkisome9538
      @abdulkisome9538 2 месяца назад +1

      Wew una elimu ya ukristo kumzid huyo jamaa?..maneno yako yananyesha hata biblia hauijui

    • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
      @Mahershalalhashbazi-kf6xi 2 месяца назад +1

      Huyu ni mganga ana nadi uganga wake hapo

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 2 месяца назад +1

      Safari hii Paulo anakosa wachungaji wanabakia wafata mikumbo tu

    • @KassimKassim-wv8db
      @KassimKassim-wv8db Месяц назад +1

      Hawa wakristo hata asilimi Papa wa Vatican, mtasema hakumjua yesu

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa Месяц назад

      Basi kama sisi nimajini,na nyiye ni mashetani.wapotevu wakubwa uyo mungu kamuepusha na shetaniii

  • @nipemasinga.5567
    @nipemasinga.5567 Месяц назад

    Wewe ndugu umevamiwa kabsa pole ilikuwa mchungaji lakini hujuwi neno lamungu , biblia inasema YESU mwenyewe anasema kutatokea makristo wa uwongo na 10:42 10:42 manabii wa uwongo kwann wewe unadili na watu wamafuta ambao wanaihubir injili kwa fitina, lakini ulikuwa mchungaji ilandani yako umebeba majini huna roho mtakatifu ndani, maana mwenye roho mtakatifu huonyeshwa yote ktk roho nakufahamu yote mwema na mabaya pole saaaàna ndugu yangu jehanam inakusubir

  • @MaryamIssa-y7v
    @MaryamIssa-y7v 2 месяца назад +1

    Ndugu zetu wana mapoovu kuwaambia amesilimu mbona watu kila leo wanatiririka kwenye uislaam na hasa imezidi vita vya Palestine vimechangia nchi za ulaya watu kusilimu mpaka makanisa mengine inageuzwa miskiti acheni povu.haya mambo yalishatabiriwa.nyakati za mwisho watu wengi wataingia ktk dini ya M/Mungu makundi kwa makundi.SURAT NASWIRI. verse 1_2

    • @shamyloya1380
      @shamyloya1380 Месяц назад +1

      Mwabuduni mungu wa kweli, yesu sio mungu bali ni nabii aliyetumwa kwa watu km mitume wengine. Fungueni macho mpate kuona njia ya uzima.

  • @marympochela7903
    @marympochela7903 2 месяца назад

    Biblia inasema, alikuwa kwetu lakini hakuwa wa kwetu, maana kama kweli ulikuwa mchungaji halafu umedrop mpaka hapo ulipo, pole

  • @angle3600
    @angle3600 Год назад +1

    ❤❤❤

  • @MwnahamisiNahenga
    @MwnahamisiNahenga Месяц назад +1

    Makafiri wanachukia kwanini sasa

  • @mizengopeter9141
    @mizengopeter9141 Месяц назад

    hayo yote acha myafanye ma protestant msio mjua mungu

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 4 месяца назад +1

    Hangera sana umesalima na jahannam

  • @NoelChambo
    @NoelChambo Месяц назад

    Sasa uislamu si ushetani labisa😂

  • @EzekieliRuanda
    @EzekieliRuanda Месяц назад +1

    Kwaiyo yesu umjui au vp?

  • @YohanaMgege
    @YohanaMgege Месяц назад +1

    Sema wewe mmegombana na wachungaji wenzako katika ma silahi ya sadaka ndomaana umehama imani nyinyi ndio wale aliye wasema yesu

  • @26thTalent-d4n
    @26thTalent-d4n 2 месяца назад +1

    NYINYI MTUKANENE LAKINI UWO TIO UKWELI USILAMU NDIO DINI YA HAKI ISIWAHADAE DUNIA MKIFUMBA JICHO MTAJUTA

  • @romancosmas8863
    @romancosmas8863 Месяц назад

    2 Wathesalonike 2:10-12
    [10]na katika madanganyo yote ya udhalimu kwa hao wanaopotea; kwa sababu hawakukubali kuipenda ile kweli, wapate kuokolewa.
    [11]Kwa hiyo Mungu awaletea nguvu ya upotevu, wauamini uongo;
    [12]ili wahukumiwe wote ambao hawakuiamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisha katika udhalimu.
    Kuna watu wameandikiwa kupotea kwahyo tusimshangae huyu aliyekuwa anajifanya Mchungaji. Pengine alipokuja mwanzo hakuwa na Kweli yote na hata alipokimbilia vilevile. Bado sana!

  • @Majaliwa2024
    @Majaliwa2024 Месяц назад +1

    Pepo huyu aokoke bila hivyo ataishia uganga wa kienyeji

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 4 месяца назад +2

    Hakuna cha ukorofi kaona mwanga ameufuata ametoka gizani

  • @juliusmkongwa40
    @juliusmkongwa40 4 месяца назад

    Kwel wewe ni mpuuuz mara 💯 na zaid ya 100, utapigwa kuliko paulo na upofu utapigwa

    • @alghafryabdullar1100
      @alghafryabdullar1100 4 месяца назад

      Wewe ndio mpuuzi unaye mwabudu mwanaadam mwenzio kwa upumbavu ulonao

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 4 месяца назад +4

    Mungu akuongoze akupe Kila la her

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 4 месяца назад +2

    Nenda mwamakwenda uliamini usichokijua kwan yesu c alisema c wote wanaoniita bwanabwana watakao ingia mbinguni nawe i mingoni mwa hao nenda cc tutapambaa❤na tumwone❤ tumuone yesu

  • @NEEMASWEDI
    @NEEMASWEDI 4 месяца назад

    Wewe baba kwenda uko, umerogwa wewe. kakumbatiwe na majini uko tuache sisi na ukiristo wetu na YESU wetu.

    • @mshambaused3840
      @mshambaused3840 2 месяца назад

      Majin? Kwani huaga mnaombeaana nini kanisani na kupandisha mashetani 😅😅😅😅😅 kabla hujaongeafikiria

  • @SarahKyando-qb3sl
    @SarahKyando-qb3sl 4 месяца назад +1

    Mchungaji wa kweli hawezi kumuacha Yesu Kristo na kwenda kwa shetani

    • @AbdulAden-m7w
      @AbdulAden-m7w 4 месяца назад

      Mfuasi wa Paulo inauma Sana Kwa mtu kuacha ukafiri

  • @HamiduMsaka
    @HamiduMsaka 4 месяца назад +3

    Pole kumkosa Yesu umechanganyikiwa

    • @civilyandaniel4559
      @civilyandaniel4559 4 месяца назад

      Haswaa ila anayo yaonyesha hapa niya kanisa tupu

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 4 месяца назад

      Pole na wewe uliebaki ktka upotevu

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 4 месяца назад

      Sasa uyo yesu wako akimkosa atakuwa amemkosa mungu ?nakuuliza wewe mjinga.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 4 месяца назад

      Sasa uyo yesu wako akimkosa atakuwa amemkosa mungu ?nakuuliza wewe mjinga.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 4 месяца назад

      Yesu ambae yunaamini sio mjinga mpotevu kama nyiye na ndiyo mana unaona sisi tuko kwenye msitari iliyenyooka nyuso zetu zinanuru Zina udhu sabab tunafata injili yaukweli ambayo aliyefundisha bwana yesu.

  • @SteveMilinga
    @SteveMilinga 4 месяца назад

    Falaww hujuiktu achaujingaww

  • @JosephatLusato
    @JosephatLusato Месяц назад

    1 yahana 2/19 umetimiza madiko

  • @pastorypetro6861
    @pastorypetro6861 4 месяца назад +1

    Acha usanii wew huna lolote hujawahikuwa mchungaji wew,Mungu yupi wew aliekufanya uislamu??????

    • @zuenahassan8882
      @zuenahassan8882 4 месяца назад

      Wwe unalazimisha ukufe mkristo kwa dini ya paulo ili ukaingie motoni tambua yesu akiwepo hakuna dini ilioitwa ukristo soma usipotee ukenda jutia kwa mungu hakuna samahani

  • @ismailhassan848
    @ismailhassan848 Месяц назад

    Wakristo wakiona hivi inawakera wanachukia hata kama ilikuw wanamjua wanajifanya hawamjui

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 4 месяца назад +1

    Bado hujaslim usingeendelea kuvaa kola ya kichungaji....

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 3 месяца назад +1

    Hata hauwendani kuwa mwanawayesu maigizo nimekuhama bule

  • @lonissanga7505
    @lonissanga7505 4 месяца назад +1

    Hauna akili

  • @LucyTesha
    @LucyTesha 4 месяца назад

    Mmmm kama umepotea umepotea mwanakulaaniwa utachomwa na moto wa jeanamu unamkana yesu wewe ndo umepotea kabiza

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 4 месяца назад

    Siku moja atarudi ndo maana havui vivazi vya watu...

  • @kassimothman666
    @kassimothman666 Месяц назад

    Mm yote Sawa lkn MTU tena muislam kuniambia kuna binaadamu alioa ama aliolewa na jini Hilo wala sikubaliani nalo ila awe NI jini mahaba Tu anaemwendea MTU usingizini Hilo linawezekana
    Na MTU akisema wapo wanaooana BC tujue anaeozesha pia NI nani

  • @ShabaniMussa-f3k
    @ShabaniMussa-f3k 4 месяца назад +3

    Nyie m nae mpa pole huyo jamaa na nyinyi mda simda mrefu mtasilimu.

  • @JesusPower-n7h
    @JesusPower-n7h Месяц назад

    umehama dini mbona povu linakutoka dini sio siasa kasome isaya 9:6 nakuendelea we mamluki sio mkristo

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 Месяц назад

    Huyu kanuniliwa ili auchafue ukristo eti kavaa sauti,huna hata nembo ya yesu wewe,'i muisramu,unaogiza tu,

  • @pascaljoshua8879
    @pascaljoshua8879 4 месяца назад

    Wewe nitapeli tu,wewe ni ajeti aliyejificha ndani ya kanisa sasa Mungu ameamuwa kukuweka hadhalani