AlbayaanTv
AlbayaanTv
  • Видео 202
  • Просмотров 439 355

Видео

UMAUT BAADA UMAUTI
Просмотров 384 часа назад
NDUGU MTAZAMAJI WA CHANNEL YETU USIACHEKUFATILIA NA KU SUBSCRIBEB HII COMMENT
SIRI ZA KIROHO; GOODLUCK GOZBERT KUCHOMA GARI ALIYOPEWA NA GEOR DAVIE, MWL NDACHA ACHAMBUA MAKANISA
Просмотров 559 часов назад
NDUGU MTAZAMAJI WA CHANNEL YETU USIACHEKUFATILIA NA KU SUBSCRIBEB HII COMMENT
UISLAMU DINI YA KUHURUMIANA {SHEIKH KIPOZEO}
Просмотров 1019 часов назад
NDUGU MTAZAMAJI WA CHANNEL YETU USIACHEKUFATILIA NA KU SUBSCRIBEB HII COMMENT
SIRI IMEFICHUKA GOODLUCK GOSBERT KUCHOMA GARI ALIYOPEWA NA GEO DAVIE wanakuingiza kwenye ushetani
Просмотров 41921 час назад
NDUGU MTAZAMAJI WA CHANNEL YETU USIACHEKUFATILIA NA KU SUBSCRIBEB HII COMMENT
UNAMKUTA MTU ANAJIITA SHARIFU UONGO MTUPUCHALE MWILI MZIMAMNAMILIKI VILINGE ACHENI UCHAWI
Просмотров 20День назад
NDUGU MTAZAMAJI WA CHANNEL YETU USIACHEKUFATILIA NA KU SUBSCRIBEB HII COMMENT
SHEIKH KIPOZEO JE KAFIRI NI NANI
Просмотров 723День назад
NDUGU MTAZAMAJI WA CHANNEL YETU USIACHEKUFATILIA NA KU SUBSCRIBEB HII COMMENT
IPM MCHUNGAJI ALIYEACHA UISLAMU NA KUWA MKRISTO ATOA SIRI YA DINI YA KIISLAMU NA UKRISTO
Просмотров 1 тыс.14 дней назад
NDUGU MTAZAMAJI WA CHANNEL YETU USIACHEKUFATILIA NA KU SUBSCRIBEB HII COMMENT
VIJUE VITABU 22 VILIVYO NJE YA BIBLIA YA VITABU 66 ORIGINAL INA VITABU
Просмотров 69614 дней назад
NDUGU MTAZAMAJI WA CHANNEL YETU USIACHEKUFATILIA NA KU SUBSCRIBEB HII COMMENT
TUUPE THAMANI YA UISLAMU ILI TUPATE FADHILA ZA ALLAH
Просмотров 16814 дней назад
NDUGU MTAZAMAJI WA CHANNEL YETU USIACHEKUFATILIA NA KU SUBSCRIBEB HII COMMENT
Vilema FEKI waumbuliwa na aliyekua MCHUNGAJI
Просмотров 8714 дней назад
NDUGU MTAZAMAJI WA CHANNEL YETU USIACHEKUFATILIA NA KU SUBSCRIBEB HII COMMENT
PROPHET IPM IBUKA JANGA LA MOTO LOS ANGELES MAREKANI AFUNGUKA KUTOA UNABII TAZAMA HAPA
Просмотров 33014 дней назад
NDUGU MTAZAMAJI WA CHANNEL YETU USIACHEKUFATILIA NA KU SUBSCRIBEB HII COMMENT
PROPHET IPM ATEMA CHECHE MBELE YA DR SULE ASOMA QURAN NA BIBLIA LIVE ATAJA WANAOMCHUKIA LIVE LAZIMA
Просмотров 1,3 тыс.14 дней назад
NDUGU MTAZAMAJI WA CHANNEL YETU USIACHEKUFATILIA NA KU SUBSCRIBEB HII COMMENT
MWL NDACHA AUNGANA NA WAISLAMU KUMPINGA MWL DANIEL MWANKEMWA KISA KUMWITA YESU NI MUNGU MKUU
Просмотров 29314 дней назад
NDUGU MTAZAMAJI WA CHANNEL YETU USIACHEKUFATILIA NA KU SUBSCRIBEB HII COMMENT
SHEIKH_KIMWELI_ATAJA_SAYANSI_YA_QURAAN
Просмотров 2621 день назад
NDUGU MTAZAMAJI WA CHANNEL YETU USIACHEKUFATILIA NA KU SUBSCRIBEB HII COMMENT
IJUWE SIRI YA KIFO CHA MWIMBAJI WA INJILI
Просмотров 16321 день назад
IJUWE SIRI YA KIFO CHA MWIMBAJI WA INJILI
ELIMU_BADO_INAENDELE
Просмотров 3021 день назад
ELIMU_BADO_INAENDELE
ELIMU_KUHUSU_UISLAMU[SHEIKH_SHAFII_NA_DOCTAR_KIMWELU
Просмотров 2921 день назад
ELIMU_KUHUSU_UISLAMU[SHEIKH_SHAFII_NA_DOCTAR_KIMWELU
MCH NDACHA NA SHEIKH MWAIPOPO KUJADILI KATI YA UKRISTO NA UISLAMU IPI DINI YA KWELI YA MUNGU
Просмотров 5221 день назад
MCH NDACHA NA SHEIKH MWAIPOPO KUJADILI KATI YA UKRISTO NA UISLAMU IPI DINI YA KWELI YA MUNGU
KISA CHA ISRA NA MIRAJI
Просмотров 14421 день назад
KISA CHA ISRA NA MIRAJI
SHEIKH ANUALY AELEZEA KISA CHA MANABII
Просмотров 17028 дней назад
SHEIKH ANUALY AELEZEA KISA CHA MANABII
SHEIKH RAMADAN
Просмотров 2828 дней назад
SHEIKH RAMADAN
TOFAUTISHA UISLAMU NA WAISLAMU/SHEIKH_SHAFII
Просмотров 83Месяц назад
TOFAUTISHA UISLAMU NA WAISLAMU/SHEIKH_SHAFII
SHEIKH_BADO_ANASISITIZA_IBADA
Просмотров 51Месяц назад
SHEIKH_BADO_ANASISITIZA_IBADA
SHEIKH_AKILINGANIA_KWA_VISA_VYA_MTUME
Просмотров 64Месяц назад
SHEIKH_AKILINGANIA_KWA_VISA_VYA_MTUME
MCHUNGAJI_KESI_AKIWA_WAKOSOA_WAKRISTO
Просмотров 95Месяц назад
MCHUNGAJI_KESI_AKIWA_WAKOSOA_WAKRISTO
DUA YA KUNGUA MWAKA
Просмотров 113Месяц назад
DUA YA KUNGUA MWAKA
WAKRISTO_WAPATA_TABU
Просмотров 2 тыс.Месяц назад
WAKRISTO_WAPATA_TABU
JE_JIBU_SAHIHI_LIPI
Просмотров 318Месяц назад
JE_JIBU_SAHIHI_LIPI
DUA KUTOKA KWA KIJANA MDOGO
Просмотров 229Месяц назад
DUA KUTOKA KWA KIJANA MDOGO

Комментарии

  • @GeorgeKaduma-z5z
    @GeorgeKaduma-z5z 3 дня назад

    Saa yaha

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 3 дня назад

    Bwana Simulizi, ni kweli alio yasema huyo Mchungaji anae jiita Nabii yakuwa Bibilie imeharibiwa na mikono ya watu, methali moja: Kwenye kitabu cha Mwanzo, sura ya 19 inamsingizia Nabii Lote alizini na Mabinti wake wawili baada ya kunywesha pombe na hawa mabinti zake, vipi tuseme yakuwa Mungu ndiye aliyo yasema maneno haya ya kumtuhumu Nabii wake aliye mchaguwa mwenyewe yakuwa amezini, haya ni maneno ya kupachikwa na watu waovu

    • @alyaqdhan5206
      @alyaqdhan5206 3 дня назад

      Pia Bwana Simulizi, kuna scholar maarufu duniani anahusika na historia ya maandiko ya Kikristo anaitwa Bert Ehrman ni professor kwenye University of North Carolina ameandika kitabu ( Forged ) unaweza kuki-download from the websites anaeleza kwenye kitabu hiki maandiko ambayo yanaonekana kama ni feki, methali: Waraka 1 na 2 Timotheo hayakuandikwa na Paulo bali yaliandikwa baada ya kifo chake na kadhalika kuhusu Waraka wa Tito

      Bwana Simulizi, pia professor Bart Ehrman aliongea kwenye kitabu chake Forged kuhusu andiko la John 8:58 (Before Abraham was, I am ) Wakristo wanalo lipenda sana kuonyesha kama Yesu ana Ungu kwa sababu alikuweko kabla Nabii Ibrahim, professor Bart anasisitiza kama andiko hili limetungwa au limeongezwa na waandishi wa Bibilie kwa sababu vipi andiko muhimu kama hili kwenye mafundisho ya Kikristo halafu halipatikani kwe injili tatu zilizo tangulia Mathayo, Marko na Luka

  • @StephanoGavile
    @StephanoGavile 4 дня назад

    Kwa jina la Yesu kila goti litapigwa, la vitu vya mbinguni na vitu vya duniani na chini ya nchi na kila ulimi utakiri kuwa "YESU KRISTO NI BWANA"

  • @AbilahMsomi
    @AbilahMsomi 8 дней назад

    M/mungu akujalia umri mrefu uzd kuyafanya yalio mema

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 10 дней назад

    Kaona kwenye uislam pesa hakuna dini inafuata maandiko na mafundisho ya manabii akaingia ukristo akajipa cheo cha unabii watu wanamfuata na hata akipa cheo cha uungu kwa wakristo watamuabudu tu hawanagashida 😁😁😁😁

  • @Al_oufy123
    @Al_oufy123 10 дней назад

    IPM umepotea mjomba😢

  • @zedmsuya420
    @zedmsuya420 11 дней назад

    Tamaa za sadaka, na kuikumbatia dunia😢

  • @fahmimohd261
    @fahmimohd261 14 дней назад

    Naomba namba ya huyu Ipm

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 14 дней назад

    Ipm rudia uislam uliouwacha kabla ya uhai wako kwisha

  • @mwesi527
    @mwesi527 17 дней назад

    Aungana na waisilamu kwani nyie waisilamu mnaamini yesu ni mwana wa MUNGU.

  • @NagmaKhamisi
    @NagmaKhamisi 17 дней назад

    Dunia imeisha 😢

  • @omaar5693
    @omaar5693 18 дней назад

    6:32 Mwalimu ile ALFAT-HA sina pingamizi ila hii ya sasa umejifunzai amwamu hii ya mama Samia ..huenda ulikesha nayo usiku jana

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 18 дней назад

    Jamani tutafute ukweli imani iliofundiswa na manabii ilivurugwa na tawala zilizopita Za kigiriki na zakirumi zilipo itawala israeli ikiwemo paolo baba wa imanimpya ya ukristo❤❤

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 18 дней назад

    Biblia si kitabu cha Mungu ispokua nimkusanyiko wavitabu vitabu ambavyo ndaniyake kunamaneno ya mwenyezimungu ❤

  • @PendoKalama-rn8pf
    @PendoKalama-rn8pf 19 дней назад

    Ipm asisahau kuwambia wakristo ndo wapo kwenye njia sahihi .....

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa Месяц назад

    Naaam maustadh wangu nawapenda bila unafki

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa Месяц назад

    Wewee mazingeee wshooosheee wote wakae kumstari

  • @NduwimanaGaddy
    @NduwimanaGaddy Месяц назад

    Kwakweli Mimi siongezakitena kufatiliya mihadhala kwasababu wakristo hawanaga haya na mbele ya wafaziwao🤷

  • @PeterJames-p1h
    @PeterJames-p1h Месяц назад

    Uislam nayo din hiy au genge la wanyang,anyi tu

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 Месяц назад

      Uislam ni Dini ushahidi upo kwenye andiko, tupe wew ushahidi kwenye andiko ukristo dini

  • @yusufsadic2930
    @yusufsadic2930 Месяц назад

    Huyu ana hakil Naten naomb kwa Shekh Mazing Wajing kam hawa msifany nao mdahal nimjing kabis huyu

  • @HashimMohamed-ku8mg
    @HashimMohamed-ku8mg Месяц назад

    Sasa mbona mnatoka katika ukristo mnakua waislamu ikiwa uislamu sio dini ya haki??munamfanyia Allah istihzai?

  • @HashimMohamed-ku8mg
    @HashimMohamed-ku8mg Месяц назад

    Uislamu dini ya haki Quran 3:18-19 Quran 3:84-85

  • @HashimMohamed-ku8mg
    @HashimMohamed-ku8mg Месяц назад

    Yani hawa wanafanya mchezo anatoka katika ukristo anakua muislamu kisha anasoma Quran Kwa ufahamu wake anapindisha maana ya Aya kisha anatoka katika uislamu anakua tena mkristo kisha anaanza kuushambulia uislamu

  • @ABDIMUSSA-y4w
    @ABDIMUSSA-y4w Месяц назад

    Allah akbar

  • @djumasuleimanisuleimani2724
    @djumasuleimanisuleimani2724 Месяц назад

    Huuuuuuu uyu pasta anafanana na yombo comedy mpaka sauti

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri Месяц назад

    Huwezi kuwa na nyongezi ya macho uweze kusoma vizuri vitabo

  • @brothermuadhwam890
    @brothermuadhwam890 Месяц назад

    Ww huna akili ata kidogo wakristo mnafeli wapi hamtaki kusoma dini nyie 😂😂😂😂 maan maandiko yapo wazi

  • @hamisathuman2582
    @hamisathuman2582 Месяц назад

    Dah! Pole sana ndugu yangu.

  • @MyHalzat-r3w
    @MyHalzat-r3w Месяц назад

    Huyo yesu ni binadamu km ss ila nyiny ndio mnamfanya mungu ,mungu ni moja tu mbae hata huyo yesu anamuabudu yy

  • @EzekieliRuanda
    @EzekieliRuanda Месяц назад

    Kwaiyo yesu umjui au vp?

  • @dennisngonyani1795
    @dennisngonyani1795 Месяц назад

    HADITHI ZIPO ZAIDI YA MIAI TATU

  • @hassanlibingai8811
    @hassanlibingai8811 Месяц назад

    Huyo jamaa mpotoshaji mpuuzi, sijawahi kumpenda

    • @MwinyiJuma-n4i
      @MwinyiJuma-n4i Месяц назад

      @@hassanlibingai8811 wanatumia na kanisa Hawa

  • @emilianamichael9416
    @emilianamichael9416 Месяц назад

    😭 pole sana tutaonana kule

  • @Majaliwa2024
    @Majaliwa2024 Месяц назад

    Pepo huyu aokoke bila hivyo ataishia uganga wa kienyeji

  • @MwinyiJuma-n4i
    @MwinyiJuma-n4i Месяц назад

    Huyo mnafiki mkubwa shekh shafii ndio wale waliosomeshwa na kanisa kuja kuwapotosha waislam mpumbavu mkubwa huyo anabunibuni tu alaaniwe

    • @AllyNassor-de6ck
      @AllyNassor-de6ck Месяц назад

      Huyo analaana kubwa Sana kuwapotosha wakiristu

  • @YohanaMgege
    @YohanaMgege Месяц назад

    Sema wewe mmegombana na wachungaji wenzako katika ma silahi ya sadaka ndomaana umehama imani nyinyi ndio wale aliye wasema yesu

  • @MarkNyongesa-f9p
    @MarkNyongesa-f9p Месяц назад

    😢😢😢😢😢 nawahurumia sana, kwani Muhammad ni muyahudi?

  • @MarkNyongesa-f9p
    @MarkNyongesa-f9p Месяц назад

    Yani hata miaka mingi, huezi pata unabii kuhusu Muhammad, hakuna, Acha kubandiliza yasiokuwemo.

  • @ikrhamtv9678
    @ikrhamtv9678 Месяц назад

    Shek niko na dada yangu ha miyaka mitano 5 kitandani, naomba dua zako sina huwezo wa kufika huko, lakini malipiyo nalipa kwa kutuma

  • @GiramoRachideRachiderach-yh6ee
    @GiramoRachideRachiderach-yh6ee Месяц назад

    Masha allah

  • @kassimothman666
    @kassimothman666 Месяц назад

    Mm yote Sawa lkn MTU tena muislam kuniambia kuna binaadamu alioa ama aliolewa na jini Hilo wala sikubaliani nalo ila awe NI jini mahaba Tu anaemwendea MTU usingizini Hilo linawezekana Na MTU akisema wapo wanaooana BC tujue anaeozesha pia NI nani

  • @nipemasinga.5567
    @nipemasinga.5567 Месяц назад

    Wewe ndugu umevamiwa kabsa pole ilikuwa mchungaji lakini hujuwi neno lamungu , biblia inasema YESU mwenyewe anasema kutatokea makristo wa uwongo na 10:42 10:42 manabii wa uwongo kwann wewe unadili na watu wamafuta ambao wanaihubir injili kwa fitina, lakini ulikuwa mchungaji ilandani yako umebeba majini huna roho mtakatifu ndani, maana mwenye roho mtakatifu huonyeshwa yote ktk roho nakufahamu yote mwema na mabaya pole saaaàna ndugu yangu jehanam inakusubir

  • @JosephatLusato
    @JosephatLusato Месяц назад

    1 yahana 2/19 umetimiza madiko

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 Месяц назад

    Wewe nitapeli

  • @shamyloya1380
    @shamyloya1380 Месяц назад

    Mnaetukana wote polen kwani hamjui mtendalo, mwenyezimungu awahurumie sana.

  • @NuroOscar-y4b
    @NuroOscar-y4b Месяц назад

    Mungu akujaliye usidi kudumu katika wislam

  • @MwnahamisiNahenga
    @MwnahamisiNahenga Месяц назад

    Makafiri wanachukia kwanini sasa

  • @IsmailHiyesa
    @IsmailHiyesa Месяц назад

    Direct peponi "" Amiiin

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 Месяц назад

    si ahelezea,aelezea

  • @HenriquesAliguene
    @HenriquesAliguene Месяц назад

    ❤❤❤❤❤ mungu akulinde shekh