KWANINI NILIACHA UKRISTO- RAMADHAN KURIA BIN KAGUO NCHINI OMAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 552

  • @samxx411
    @samxx411 Год назад +12

    Sheikh Ramadhan hayo maneno yako bado ni daawa imetosha Mungu akupe wepesi katika maisha..kazi unayofanya ya daawa ni ngumu tunafahamu ila tupo pamoja na wewe hadi peponi inshallah..

  • @tantinebettynduwimana380
    @tantinebettynduwimana380 Год назад +3

    sheikh Ramadhan Allah akubariki sana umeniongezea imani mimi nilikua sijui uislam ila kupitia vipi ndi vyako nimejua mengi sana kuhusu uislam

  • @Leseelasumayia
    @Leseelasumayia Год назад +9

    I can a test to these I took me three years of wanting to change to be a Muslim I was scared at first , when I took the liberty of being a Muslim
    It was like a burden on my back was taken away
    Alhamdulillah I cried, I was happy mum heart was filled with happiness
    Alhamdulillah

  • @aslamchannelonline3541
    @aslamchannelonline3541 Год назад +5

    Mimi naipenda Ile ya Daawa Mtaani, one to one
    Allah akuzidishie

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 Год назад +7

    Masha Allah TabarakAllah masheikh wetu Allah Awahifadhi

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 Год назад +24

    Masha ALLAH mungu atawaongoza familia yako isha ALLAH watasilimu

  • @bakari52
    @bakari52 Год назад +20

    Hapa kweli ndo tunasema Mungu alikuongoza. Na bwana Ramadhan uling'ang'ana kutaka kujua ukweli. Ninachojivunia zaidi ni kwamba pesa sio kigezo Cha kukufanya usilimu. Niko na Imani Insha Allah Pepo utaiona na uingie. Ustadh Ramadhan wewe ni jiwe, mwamba

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 Год назад +8

    Allah akuzidishie elmu, umri, afya njema, amani na akufanyie wepesi wa kazi ya daawah Sheikh Ramadhan Kuria Kaguo Amiin Thumma Amiin

    • @aishahassan3214
      @aishahassan3214 Год назад

      Waislamu aibu hii. Ubahili kama huu kanisani haupo ndo maana dini yetu haiendelei

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 Год назад

      Amiin

  • @abeidsaid8026
    @abeidsaid8026 Год назад +19

    may Allah bless Ramadhan Kuria .i will never forget this sheikh.

  • @alimaalim2454
    @alimaalim2454 Год назад +17

    Mashaa Allah great work continue with the work of Daawah. Bring people from astray to the nur (light) bi'idhnilahi

  • @haafidhaboubakary3097
    @haafidhaboubakary3097 Год назад +6

    Maashallah Allah akuongeze na akufanyie wepesi inshaallah uweze kupata vifaa

  • @tocaworld7864
    @tocaworld7864 Год назад +5

    Jazzakallah, Tabarakallah, Allah akubariki sana Tena sana ustadh Ramadhani kuria bin Kaguo . Allah akuhifadh.

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 Год назад +1

    MA SHAA ALLAH RAMADHAN SHEIKH MZURI NA DAWAH KATIKA DINI YETU YA KIISLAM

  • @nasymchuzi8667
    @nasymchuzi8667 Год назад +3

    Maalim Ramadhan namkubali sana namfatilia sana nampenda kwaajili ya Allah karibu Tanzania

  • @maryamjuma1980
    @maryamjuma1980 Год назад +7

    Allah akuzidishie afya njema, elimu na ufahamu uzidi kuifanya kazi ya mitume in shaa Allah na Allah atakulipa

  • @nooor1120
    @nooor1120 Год назад +10

    Maa shaa Allah sheikh wetu Ramadhan tumekumiss kule dawaa channel.in shaa Allah ukirudi kazi iendee biidhnillah.

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 Год назад +5

    MashaAllah ustadh Ramadhan Allah akuongoze Leo dunian na kesho akhera

  • @hajiyussuf834
    @hajiyussuf834 Год назад +1

    Shekhe Ramadhan nakupenda kwaajili ya Allah.

  • @hilmialiomar1983
    @hilmialiomar1983 Год назад +5

    Sheikh Ramadhan unajitahid kupigania dini yetu ya kiislam kwa kutoa dawah na kusilimisha wasiowaislamu,Allah (SWT) akujaalie firdaus.

  • @baakathirmahmoud5617
    @baakathirmahmoud5617 Год назад +3

    Nimefurahi sana kuona umealikwa Oman Allah akujaalie afya na swiha na mwakani tuonane Makkah. 😊 aamiyn

    • @khadijahamina8457
      @khadijahamina8457 11 месяцев назад

      amin sote piya allah atu fikishe uko insha allah

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 Год назад +6

    Allahuakbar allah akusimamie na atusimamie naatuongoze katka njia iliyonyoka sisi na vizazi vyetu allah inusuru diniyako na atunusur waislam sote ulimwenguni amin

  • @zuberimohamed7699
    @zuberimohamed7699 Год назад +1

    Allah amuongoze na atuongoze sote na inshallah watakuja ingia kwenye uislamu wazazi wako inshallah

  • @mwanakombokalamu7009
    @mwanakombokalamu7009 Год назад +5

    Walleikum sallam warahamatullah wabarakatuh mashAllah ustadh Allah akupe umri mrefu uendelee na daawah inshAllah

  • @Zsdaughter
    @Zsdaughter Год назад +5

    May Allah reward you bro Ramadhan. We beg Allah awafunulie Uislam wazazi waweze kuiona Nuru. Ameen ameen.

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p Год назад

    Ma Sha Allah tabarakallah sheikh wetu Allah akupe afya njema n akuzidishie elimu

  • @fridahmulongo2697
    @fridahmulongo2697 Год назад +20

    Mashallah sheikh this story of urs motivates me as one who also changed from Christianity to Islam ,Alhamdulillah

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 Год назад +8

    Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh, karibu sana Ustadh wetu

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 Год назад

      Alhamdulillah
      JazakaAllaahu'khayran
      Ahlus Sunnah tuko na itikadi tofauti na Ibaadhi au
      Ma Ibaadhi
      Huyu Ustadh Rashid Shukery ni Ibaadhi
      Baadhi ya itikadi yao ni
      Kupinga Kumuona Allaah siku ya Qiyaamah kwa Waumini
      Ziko Aayah nyingi kutoka katika Quran na Sunnah (Hadith)zinasema kuwa
      Waumini watamuona Allaah siku ya Qiyaamah
      Baadhi ya itikadi zao ziko karibu sana na Shia au M'aShia .
      Hata vitabu vya ki Ibaadhi ni
      Marufuku Saudi Arabia
      Allaah Atupe Hidaayah

  • @fahami3583
    @fahami3583 Год назад +2

    Allah akupe mwisho mwema shekhe Ramadhani binafsi nakufuatilia sana na navutiwa na upambanaji wako katika dini

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Год назад +7

    Hakika ALLAH humuongoa amtakae.ALLAH akukutanishe na kipenz chetu Mtume MUHAMMAD swala na salaam ziwe juu yake.

  • @ashibbaluch3781
    @ashibbaluch3781 Год назад +11

    MASHA'ALLAH...May Allah guide and bless you always..

  • @Ismaelnoton2543
    @Ismaelnoton2543 Год назад +3

    Mashallah sheikh naomba uje utulinganie hii sehemu tunaishi kwa sababu napata changamoto sana mahali nilipo

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  Год назад

      Naomba utume message Kwa WhatsApp +254722600533 au +254777600777

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Год назад +2

    Maa shaa ALLAH , MUNGU akufungulie milango ya Baraka na neema sheikh wng Ramadhani kw kazi unayoifanya

  • @ramajuma4063
    @ramajuma4063 Год назад +1

    Masha Allah vile vile sheikh ahamed deedat alikua anambia watu wafanye daawa atakama ni kwa haya moja na ndivyo ilianza mashallah mungu akuzidishie

  • @asiaoman2979
    @asiaoman2979 Год назад +5

    Mashaallah Allah akuzidishie

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 Год назад +2

    Mashaallah mashaallah sheikh ramadhan nakupenda kwa ajili ya allah

  • @maximusalnono6425
    @maximusalnono6425 7 месяцев назад

    Brother Ramadhan kwangu mimi nakuona wewe ni mmoja ya walinganizi bora nafatilia vipindi vyako popote nilipo na nakuombea kwa Mungu akupe umri mrefu na nguvu katika shughuli zako

  • @kombrashid-bn2gr
    @kombrashid-bn2gr Год назад +1

    Mashaallah,jazakallahul khaiiir,waba'dal khair,jannatul firdaus nuzula maajamiiilmuuminiin,waqauluhuu taalaa,innamaa nutw imukumliwajhillahi,laanuriidu minkum jazaawwala shukuuraa,swadaqallahul adhwiim,kazinjema.

  • @RossaMengo
    @RossaMengo 11 месяцев назад

    ALLAH atazidi kukuongoza na kukufanyia wepesi kwa kila jambo Allahumma Amiin Amiin yaarabi Amiin

  • @abubakarishame2624
    @abubakarishame2624 Год назад +3

    Mashaallah mungu akubariki ndugu Ramadhani Kuria. Allah akuzidishie uchamungu akusamehe dhambi zako na Allah akufanyie wepesi Kila utakapo kuwa. Ningeomba niweze pata copy ya hicho kitabu "UISLAM KATIKA MUANGAZA WA QUR'AN NA BIBILIA".

  • @MejumaaRashid-s8g
    @MejumaaRashid-s8g 4 месяца назад

    Subuhanallah Alihamdhulillah Alahuakibaru Allah akuongoze kwa kila hatua unayo piga na awajalie ufahamu wote familia zetu wenye hawaja amini Allah awafanyie wepesi na urahisi

  • @ahmedrustu1283
    @ahmedrustu1283 Год назад +4

    Asallam aleikum warahmatulahi wabarakattu, SUBHANALLAH, ALLAAAAAAHU AKBAR, Allah akuifadhi sheikh Ramadan, Maneno yako imenifungua akili, na waisilamu tafadhali tumuunge mkono sheikh watu, na kila anafanya kazi mzuri ya dawah, kazi ya dawah sirahisi kama vyenye tunafikiria ni kazi ngumu...... na waislimu tusiwe wabishi, Allah awape nguvu afia na umri mrefu, Amiin.

    • @omarmvoi3803
      @omarmvoi3803 Год назад +1

      Maa shaa Allah.Daawwa mitaani Ina nibamba sana, na inanstija nzuri sana. Sheikh endekea mayo.

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 Год назад +1

    Maashaallah baarakallah mashekh wetu mungu atuongoze sote na atupe mwisho mwema

  • @Zeituna30
    @Zeituna30 Год назад +4

    جزاكم الله خيرا

  • @bakari52
    @bakari52 Год назад +5

    Allah azidi kukuongoza Insha Allah

  • @MwasemaMbwana
    @MwasemaMbwana Год назад

    Amiin insha'Allah mungu atawaongozaa wazazii wako insha'Allah waonee nuruu❤

  • @sulimankarusi8345
    @sulimankarusi8345 Год назад +4

    Mashallah Sheikh Ramadhan kukuja Omani.

  • @berberaboy9277
    @berberaboy9277 Год назад

    Ramadhan kuria Wallah Allah s.w atakulipa kama umehusika kumfanyia dhulma sheikh mwaipopo yale machozi aliyotoa na mioyo yetu iliyoumia kwa ajili yake Allah akailipe dhidi yako kama unahusika

  • @ummohammed8380
    @ummohammed8380 Год назад +1

    Asallam aleikum
    Sheikh Wangu Rashid
    Punguza kidogo pupa
    Una haraka ya kuuliza
    Tunakupenda Sana sheikh Rashid
    Na mgeni wetu

  • @samsiakassakangeta1780
    @samsiakassakangeta1780 Год назад +3

    Masha Allah!
    Kazi iendelee👊👊

  • @Leseelasumayia
    @Leseelasumayia Год назад

    Mungu akupe mwisho mwema

  • @najaasalim8942
    @najaasalim8942 Год назад +4

    Alla akuwezeshe kumtumikia daima kwa afiya

  • @osmnaabubakar1230
    @osmnaabubakar1230 Год назад

    Masha Allah hafidu Allah shekhi ramadan

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 Год назад +5

    Masha Allah Ustaz Gakuo

  • @ngokaomary5123
    @ngokaomary5123 Год назад +5

    Omani imaani amaani MashaaAllah 🙏

  • @morallyify
    @morallyify Год назад +1

    Maa shaa Allah.Mwenyezi Mungu akubariki

  • @stoispapi2380
    @stoispapi2380 Год назад +15

    Masha'Allah.
    Allahu guides whom he wills.
    You made a very big step..
    You found the truth and you stopped looking.. Alhamdhulillah.

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 Год назад

      Ramadhan bin kuria aka STOIS PAPI.....very weak reasons for saying its women dressing that made you deny the one True God and Jesus Christ.
      For if you believe and accept Jesus Christ, the Holy Spirit in you makes you unconscious of worldly things >>>> 2 Corinths 5:17 Therefore, if anyone is in Christ, he is a new creation.The old has passed away; behold, the new has come. 18 All this is from God, who through Christ reconciled us to himself and gave us the ministry of reconciliation;
      And in any case >>> 1 Corinthians 10:13 No temptation has overtaken you except what is common to mankind. And God is faithful; he will not let you be tempted beyond what you can bear. But when you are tempted, he will also provide a way out so that you can endure it.
      I pray and hope the rest of your family members will not follow you to the way of destruction.

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 Год назад

      @@issajumamwinyi6191
      We have got no business with whatever Paul says about jesus.
      Paul is a liar.
      Jesus calls pple like you dogs..go sit and think.

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 Год назад

      Ramadhan bin kuria aka @@stoispapi2380
      You have been brainwashed by your teachers about Paul....Koran doesn't say anything about Paul except your teachers when they find the kitchen is too hot to handle...
      You like quoting Paul's letter's when it suits you....but when against you, Paul is a liar 😂😂😂😂😂😂.

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 Год назад

      Ramadhan bin kuria aka @@stoispapi2380 I will never tire on teaching you why "Jesus calls pple like you dogs..go sit and think"
      That period, not sure about now....a dog is anyone non jew - that includes you my brother.
      That woman Jesus called dog was non jew (canaanite)....the name dog was acceptable...just as it is acceptable today when i call non believers like you KAFIR!!
      you understand now??
      so its your turn too go sit and think!!🤣🤣🤣
      🤣

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 Год назад

      @@issajumamwinyi6191
      I have never quoted anything that Paul says... you liar.

  • @maryamjuma1980
    @maryamjuma1980 Год назад +4

    Mashaa Allah baarakallahu fiik

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko Год назад +4

    Mashaallah jazakumllah kheir amiin mola atawaongoza ktk din y haki very soon inshaallah

  • @nailahsaeed837
    @nailahsaeed837 Год назад +2

    Mashallah shekh Ramadhan Allah Barik

  • @ip_header
    @ip_header Год назад +8

    Allah ampe mwisho mwema Sheikh Ramadhan, anafanyakazi kubwa sana

  • @hajinkulunge8493
    @hajinkulunge8493 Год назад +4

    Sheikh Ramadhani Allah akuzidishie Mimi nipo comores ila nakufuatilia sana

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 Год назад +1

    Ramadhani kuria Allah akuhifadhi sheikh lety

  • @mohamed-zh6cn
    @mohamed-zh6cn Год назад +3

    Ustad ramadhan mansha allah nakupenda sana Ustad

  • @tausimustapha3816
    @tausimustapha3816 Год назад +1

    Mashallah mwenyezi mungu amuhifadh inshallah

  • @shariffsuleyman4932
    @shariffsuleyman4932 Год назад +3

    Masha-Allah beutiful mabrook barakallah

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl Год назад

    😢😢😢 wallah maneno yako ni mazito sana ulioyaongeaa na hakika yametugusa sisi waislamu ,Allah akulipe pepo ya firdaus Ameen

  • @josephgitau8146
    @josephgitau8146 Год назад +2

    Good conversations,likes youur answers,always watch

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 Год назад +5

    Mashaallah sikosi vipindi vyako

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura Год назад +3

    Asalam alaykum
    Warahmatullah wabarakatuh
    Ma Shaa Allah
    Tabaraqallah
    Yale maswali nilikuwa najiuliza
    Kuhusu background yako
    Sheikh wetu Ramadhan Kuria bin Kaguo Leo nimepata majibu
    Alhamdulillah
    Pia sheikh wetu Shukery
    Allah awalipe badali

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 Год назад

    Jazzakallahu kheiran Allah akuzidishie imani na akulipe jannatul firdaus kwa juhudi yako ya fy sabilillahi

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 Год назад +2

    Sheikh Ramadhan namkubali sana. Nafarijika na vipindi vyake nikiwa kazini bandari dubai

  • @faridyshaame4705
    @faridyshaame4705 9 месяцев назад

    MA SHA ALLAH 😢😢SHEKH RAMADHAN NIMETOKWA MACHOZI KWA HII DOCUMENTARY YAKO SABABU NI NYINGI ILA IN SHA ALLAH TUPO PAMOJA BIIDHNLAH

  • @halimaali3719
    @halimaali3719 Год назад +1

    Mashaallah kakaau mungu akujalie sana uclam

  • @bakari52
    @bakari52 Год назад +1

    Bwana Ramadhan Allah akuzidishie hekma

  • @sophianyangalio3796
    @sophianyangalio3796 Год назад +1

    MashaAllah Allah azid kuwalinda masheikh wetu Nasie pia wallah mpk machoz yanitoka

  • @BakariMakamba-lz2uu
    @BakariMakamba-lz2uu Год назад

    Mungu akupe afya nyema

  • @msumirashid5722
    @msumirashid5722 Год назад

    Maashaallah mwenyeez mungu atuhifadhi dunian na akhera waislaam wooote,... inshaallaah

  • @ggv866
    @ggv866 Год назад +2

    Mashaallah Allah akupe kujalie mema

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 Год назад +1

    Mashallah uwislam nuru 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @abdimuktar1351
    @abdimuktar1351 Год назад +2

    A very dedicated sheikh keep up the spirit

  • @maryamjuma1980
    @maryamjuma1980 Год назад

    Allah alikuchagua uje uwe suluhisho la waisilamu wapya vipi wasaidiwe kupata elimu Allah akumiminie Baraka bin kaguo na wote wanafanya kazi hii ya mitume in shaa Allah mafikio yawe jannatu firdaus siku ya kiama

  • @HamadSaid-cm5hs
    @HamadSaid-cm5hs Год назад

    Allah akubariki

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 Год назад +2

    Maa shaa Allah jazakhalaherih

  • @musaomar5230
    @musaomar5230 Год назад +7

    MashaAllah..may Almighty Allah bless you brother Ramadhan.

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 Год назад +3

    Mashallah barakallah...👏👏

  • @samwelndaki201
    @samwelndaki201 Год назад

    Huyo alikuwa.hajui ukristo

  • @Samsungjprime-ww9ve
    @Samsungjprime-ww9ve Год назад

    Mashaallah Masheikhe wetu nakupendeni sana kwa ajili ya Allah

  • @thimaathman7002
    @thimaathman7002 Год назад +5

    MashaLLAH

  • @moanamessi1749
    @moanamessi1749 Год назад +4

    Mashaallah, tabaraka Allah

  • @halimaomar3280
    @halimaomar3280 Год назад +1

    Allah amuongoza ampendae MashaAllah

  • @Alkaburu
    @Alkaburu Год назад +1

    Allah akuhifazi sheikh

  • @khadijaali2173
    @khadijaali2173 Год назад +1

    Masha Allah /mkono kwa mkono had peponi

  • @adamusama7917
    @adamusama7917 Год назад +3

    Mashallah sheikh wetu

    • @aishachannel8510
      @aishachannel8510 Год назад +1

      ManshAllah🤲🙏🙏❤❤❤❤❤💙💙💙💙

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 Год назад +1

    Masha ALLAH tabaraqallah. 💞💞💞💞💞

  • @ianhassan1116
    @ianhassan1116 Год назад +4

    Masha Allah MashaAllah MashaAllah

  • @wahidashabaz814
    @wahidashabaz814 Год назад

    Mashallah nakufatilia shekhe ramadhan

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 Год назад +5

    Mashallah

  • @aminamohammed7946
    @aminamohammed7946 Год назад +1

    Walaykum salaam waramathulahi wabarakatu

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 Год назад +2

    Takibirrr masha Allah

  • @aishahassan3214
    @aishahassan3214 Год назад +2

    Waislamu aibu hii. Wenzetu wakristo hawana ubahili ndo maana ukristo unaenda mbele uislamu hauendelei